MAPYA YAIBUKA: MWALIMU ALIYELAWITIWA NA MWANAFUNZI, HAKUBAKWA, ALIJITAKIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 85

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 19 วันที่ผ่านมา +11

    Uyo hakimu apandishwe cheo

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 19 วันที่ผ่านมา +9

    Oya kumbe ile "mtoto kautaka" nikweli😅😅😅

    • @blackeagle4441
      @blackeagle4441 18 วันที่ผ่านมา

      😅😂😂😂mtoto kautaaaaa mtoto kautaka😂😆😆😆

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 19 วันที่ผ่านมา +6

    Mtangazaji mbona kama bwabwa vile

    • @user-ib2ew9ec3d
      @user-ib2ew9ec3d 19 วันที่ผ่านมา

      Anaonekana pilao man😢

  • @user-db4cg5mh5b
    @user-db4cg5mh5b 19 วันที่ผ่านมา +5

    Da naputa kama napaona vire kalibu na kijiji kimoja kinaitwa namaonga mkorea namikupa chiumo mihambwe michenjere yote tandaimba hiyo 🎉🎉🎉🎉🎉 nanyamba migombani namkuku hinju maramba mtendi madaba lilombe kitama11 mbalala na chunyu daaa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ sema yote kwa yote dunia hina mambo

    • @SebastianDaniel-mb4nl
      @SebastianDaniel-mb4nl 19 วันที่ผ่านมา

      Chikumbililo pachani

    • @melitalaunoni4018
      @melitalaunoni4018 18 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉 mbona migombni jmn 🎉🎉🎉🎉

    • @user-db4cg5mh5b
      @user-db4cg5mh5b 18 วันที่ผ่านมา

      @@melitalaunoni4018 hee nm nimekaa sana uko nisha zunguuka baazi ya maeneo mengi sana tanzania 🇹🇿 hii hicho kijiji kimezungukwa na vijiji vifuatavyo hinju na nyamba nitekela na mkuku mm nilikuwa naenda mbaka kure bondeni kule kwenye ziwa lile mkonye kitere masuguru mtamba swara kote kure nimevuruga kwenu kuzuri

    • @user-db4cg5mh5b
      @user-db4cg5mh5b 18 วันที่ผ่านมา

      @@SebastianDaniel-mb4nl ya ndugu uko nimevuruga sana tuu mbaka masuguru mtamba swala na kalala wilaya za tanzania azisumbui kwangu mana mikoa nilisha malizaga zamani sana

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 15 วันที่ผ่านมา

      Wakowako, unangukumbua kuakaye neko

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 19 วันที่ผ่านมา +5

    Vile mnamvyo shabikia hayo maneno! Loooh ni aibu hata sijui munaisemaje na kutoa matashtiti

    • @user-nl8ec4np1t
      @user-nl8ec4np1t 18 วันที่ผ่านมา

      Umeona eh kama mazuri hivi

  • @tboymanyota
    @tboymanyota 19 วันที่ผ่านมา +3

    Ilikua ni practical

  • @issakimvuli2099
    @issakimvuli2099 19 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona wanaoruhusu kuingiliwa wako wengi tu lkn hawafungwi?

  • @AbdulMussakabagambe-qd6lv
    @AbdulMussakabagambe-qd6lv 19 วันที่ผ่านมา +2

    Ok nikweli mwalimu anapaswa kupewa adhabu ipasavyo ila na nyinyi mnatia chunvi sana 🤔🤔🤔🤔

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mtu kataka mwenyew 😢 na huyo mwnfunz nae atiwe ndan

  • @babalao910
    @babalao910 18 วันที่ผ่านมา +1

    BORA KAFUNGWA 30 ANGEWAHARIBU WATOTO ZAIDI, ILA SHERIA ZA TANZANIA DAH! " AMBER RUTHY VP? YULE ASKARI WA ZANZIBAR VP?".

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y 18 วันที่ผ่านมา +1

    Dida kazeeka sana mkorogo mubaya sana yaani Kila kukicha anazidi kukonda pesa anayo shida ni nini

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 19 วันที่ผ่านมา +1

    Babu iddy anaongea kwa msisitizo🙌🏼😂😂

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 18 วันที่ผ่านมา

    Hii dunia imefika mwisho😢😢😢😢😢😢😢😢 kizazi hiki jamani jamani😭😭😭

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mwalimu kaliwa ushuzi na mwanafunzi

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 18 วันที่ผ่านมา

    Haya maswala nchi inavyoyachukulia sijui tunaenda wapi,hii pia ni njia ya kuyasambaza haya mambo raia wayachukulie kawaida.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wazazi muangalie na majina ya shule za kupeleka watoto shule inaitwa naputa

  • @selemanijumaselemani7191
    @selemanijumaselemani7191 18 วันที่ผ่านมา

    Wangempiga 50 kama mwalimu shoga watoto anaofundisha wanaiga nini kwake, kama sio kufundisha usenge shuleni.

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 19 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa huko ataliwakweli mpaka atosheke

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 18 วันที่ผ่านมา

    Mashoga wapo wengi watangazaji wasanii watu wa kawaida ktk jamii nawengine haitaji shida kujuwa hivyo police wangalie na huko

  • @Keyjop
    @Keyjop 18 วันที่ผ่านมา

    Uuuuwi... 😢

  • @JumaBakari-ld5rr
    @JumaBakari-ld5rr 17 วันที่ผ่านมา

    Mwantumu na dula

  • @vero57
    @vero57 19 วันที่ผ่านมา

    Kheee we mwalimu weee !! Khaaa hii []

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ila Idriss nawewe kwa muonekano wako upo kama wale wale unaowazungumzia

  • @alimangale9599
    @alimangale9599 18 วันที่ผ่านมา

    Ila nyie watanzania mwapenda kufirana sana mnalaana 😢😢

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ni hatari kwa taifa

  • @festoaidan8955
    @festoaidan8955 19 วันที่ผ่านมา +2

    Bado ndugu yenu

  • @prezgal8869
    @prezgal8869 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo ataenda kua chakula ya nyapara

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂katoa tigo mwenyewe duh

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 18 วันที่ผ่านมา

    Kheee makubwa haya 😢😢

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 19 วันที่ผ่านมา

    Shida nilionaya hapa kichani ,,, huyo mwanafunzi alipataje hisia ya kufanya tendo maana Ili mwili usisimke lazima upende jambo lenyewe eti. Kwahyo ilitaman HADI akasisimka ? Maana asingetaman asingesimama sehem zake za Siri na asinge fanya tendo hilo

  • @Official83640
    @Official83640 19 วันที่ผ่านมา

    Miaka ya nyuma kuna Mwalim shule ya msingi Tandika alikuwa na hiyo tabia yakuingiliwa na wanafunzi aisee ingekuwa kufatiliwa zaman watu wangefungwa wengi😂😂😂

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 18 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo mshenzi huenda alishaharibu watoto wa shule wengi saana.acha akazeekee huko magereza.kwani siku hizi juma hatangazi?mbona hayupo kulichambua hilo?

  • @vero57
    @vero57 19 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu kazi yako ni kufundisha masomo ya shule!! Sio kufanya mapezi !!!

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 19 วันที่ผ่านมา

    Duu Dume zima kutaka mkunyunyu aibu gani 😢😢😢

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 18 วันที่ผ่านมา

    Nimechek mmi 😂😂mwalimu njoeniii

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 18 วันที่ผ่านมา

    Eti haaaah,,

  • @raphaelnambombi3709
    @raphaelnambombi3709 18 วันที่ผ่านมา

    Hata huyo dogo alikuwa ametamani maana kama fikra hazitaki ni vigumu kusimamisha uume

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 18 วันที่ผ่านมา

    Itakuwa mwalimu alikuwa shoga jamani

  • @aishasoloka5616
    @aishasoloka5616 18 วันที่ผ่านมา

    0:47

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 18 วันที่ผ่านมา

    Wanaume wameisha jamani 😢

  • @user-ey3gu2yl7h
    @user-ey3gu2yl7h 18 วันที่ผ่านมา

    Mtoa taarifa nae mmh mlamba midomo mmh anajisikia laha kutoa iyo taarifa

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona ya juma lokole amsemi

    • @isayamr.nothingtosomething4222
      @isayamr.nothingtosomething4222 19 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli wangemsema2 nayeye

    • @Official83640
      @Official83640 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@isayamr.nothingtosomething4222Ushahidi unatakiwa mbona wanaomlala hawatoi ushahidi hiko ndy kinachompa jeuri Juma lkn ushahidi uwepo aah mbona atahama mji

    • @Shokolokobango9385
      @Shokolokobango9385 18 วันที่ผ่านมา

      Kwan lokole pia anafinywa

  • @user-lb1nr2fw7t
    @user-lb1nr2fw7t 19 วันที่ผ่านมา

    Duuh hii dunia sio aisee

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 19 วันที่ผ่านมา +1

    juma lokole je yy

  • @georgekamosi9501
    @georgekamosi9501 18 วันที่ผ่านมา

    Ni aibu hata kukoment jamani😢😢

  • @user-bo3jd6ng5d
    @user-bo3jd6ng5d 18 วันที่ผ่านมา

    Dida anazeeka dada angu siku hazigandi

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 19 วันที่ผ่านมา +1

    Huyi akimu angeniuliza mimi ningemwambia amfunge miaka 67 ili atoke akiwa na miaka 100

    • @jinikisirani7928
      @jinikisirani7928 19 วันที่ผ่านมา +1

      Nyoooo subiri yakukute

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 19 วันที่ผ่านมา

      @@jinikisirani7928 umeiskiza hiyo video au umekimbilia ku reply comments za watu? Uo ujini kisirani wako peleka ukooo, hayo yatakukuta wewe

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 18 วันที่ผ่านมา

    Hata mm ningemla

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 18 วันที่ผ่านมา

    Watu wanao firwa wauriwe wanatuaribia watto wetu jmn

  • @user-jn3wh5og4x
    @user-jn3wh5og4x 18 วันที่ผ่านมา

    Duh sodoma na gomola hii

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh asee siku hizi Kuna matukio niyaajabu mno😢😢

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 19 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji hatumuuelewi

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 19 วันที่ผ่านมา +2

    Alafu kina agrey na delicious James wapo mtaani wanatamba dunia hii inamaajabu kweli

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona lokole kakaa kimya?😂

  • @blackeagle4441
    @blackeagle4441 18 วันที่ผ่านมา

    😂🤣😆😆😆😆😆🤦🏽‍♂️🙆🏾‍♂️aweeeeeeee #jaiva mtoto kautaaaaa😂🤣😆😆😆😆😆😆
    Ila didah 😂🤣😆😆😆😆

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 18 วันที่ผ่านมา

    Angimplekea Moto moto

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 19 วันที่ผ่านมา +1

    kwa mujibu wa taarifa hii miaka 30 ni kidogo sana

  • @MaryamRashid-zd6gl
    @MaryamRashid-zd6gl 19 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu shoga hilo

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 18 วันที่ผ่านมา

    Yaani taarifa nzuri lkn watoa taarifa wanapiga kelele tu😢. Mjifunze namna yakutufikishia taarifa basi bhn. Fanyeni kazi kiprofessional bhn. Mnavyotoa habari mtasema mnafurahia Hilo swala jmn.

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hiv hii dunia inashid gani 😢

  • @brightmboya596
    @brightmboya596 18 วันที่ผ่านมา

    Mtoto kautaka

  • @subirarichard3236
    @subirarichard3236 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu tutete nawatoto wetu

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa kuna Ramadhani hawa mmmmh

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 19 วันที่ผ่านมา +2

      Akina pendael pia wamo humohumo sio akina Ramadan 2

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 18 วันที่ผ่านมา

      @@kutailass6671 utakuwa hauna ushahidi bila shaka 😊. Na mimi ninao. Kuna afande yule wa Zbar alikuwa anaitwaaaaa...... ?

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 18 วันที่ผ่านมา

      @@mosesg.pendael8381 jina si tatizo

  • @abdillahsaleh894
    @abdillahsaleh894 19 วันที่ผ่านมา

    Jaman rama rama nyieeee jina lishakua Bala hli