Tony!! You are more than a man. You have a big heart and a powerful spirit. You made a decision not many men can dare to. Coming out to speak openly about your relationship with Cherry has lifted many spirit. I just like you!! Wishing you the best in life. You are great!! Ahsante sana kum-support huyo mrembo.
Pole sana Dada Mungu yupo na hao wote walikufanyia Unyama huo Razima watapata Asabu Yao Malipo ni hapa hapa Duniani 😢 ila Mungu awasimamie katika Maisha yenu ww Pamoja na watoto wako wote na Shemeji yetu🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Pole sana na Hongera kwa kuwa muwazi kiasi hicho. Mungu anawaponya kabisa wenye haki. Wewe ulitumika ili wengine wanjue Mungu kwamba yeye ni mponyaji wa kweli.
Pole sana dada Cherry 😢 jaman iyo miaka vijana walikuwa waovyo sana, kulikuwa natabia kama kunamtu amekutongoza ukamkataa anakufanyia kitu cha ajabu wallah 😢kuna jirani yetu alichukuliwa mbele ya wazazi wake nahuyo mtu alikuwa amehasilika kwaiy alikuwa anabaka watu kuwaambukia jaman yule kaka Mungu amuukumu nyau yule yule dada alikuwa anajichukia kwa kile kitendo alichokuwa anafanyiwa nayule mtu 😢 pole sana dada Cherry
MUNGU hajawahi shindwa hakuna gumu kwake mtegemee MUNGU na utapona download app inayo itwa kanguka utasikiya ushuuda wa wengine walio poa pole sana dada ❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera sana Chery na mume wako mlichokifanya ni muhimu sana kwa jamii. Huu ugonjwa inabidi tuupokee kama magonjwa mengine siyo kama ilivyosasa mgonjea kuonekana mdhambi au kunyanyapaliwa. Yeyote anaweza kuupata bila kutarajia. Kuishi kwa kutumia dawa ni sawa kama magonjwa mengine tu. Nina uhakika mtu akiulizwa leo achague ugonjwa mmoja wapo kati ya figo na ukimwi atachagua ukimwi
In shot Mambo ya MUNGU tuachie MUNGU.. sababu ni kitu hakufanya maksudi ndo maana waona anaishi na mzima wa afya kbsa ..uskute ata virusi vimeisha nguvu mipango ya MUNGU si ya kuingiliwa kbsa
We umeona kama mimi story ina gaps nyingi zinazo raise doubts. Kwanza namna alivyo bakwa ilikuwaje saa 2 usiku mapema kabisa mtu kubakwa na anadai aliingiliwa na vijana wengi jambo linaloashiria walitumia muda mrefu hapo hapo anadai mwenzake alikua anapiga kelele inawezekanaje hadi hao wati wote wakamwingilia kimwili bila watu kusikia kelele ambazo mwenzake alikua anapiga? Lakini pia kwa namna alivyoeleza inaonyesha walimbakia pale pape alipokamatiwa how come mida ya saa mbili hilo eneo lisiwe na watu hata wa kupitapita kwa muda wote huo aliokuwa akiingiliwa na vijana wengi?? Swali jingine kwanini aliamua kwenda dodoma ndo akacheki afya baada ya mwaka mzima kupita kwanini asingeenda dar kule kule ukizingatia alivyofika dodoma alienda hospital nyingine sio ile waliyomwambia arudi? Kulikua na ulazima gani wa kwenda dodoma akacheki afya sasa kama alienda hospital tofauti?? Maswali ni mengi sana kwa kweli kutokana na stori yake?
Chely Ni Mzuri Sanaa, Tena Kwa Wazuri Wenzio Wenye Maambukizi Kama Wewe Mbona Hata Kama Wana Maambukizi Mapya Mbona Binafsi Naingia Mazima Kabisaa, Nimuulizie Vyeti Vyake Mimi Vinanihusu Nini??!
Pole mungu akutie nguvu lakin ilikuwaje hao wabakaji kama walikuwa nahamu ya tendo hilo siwangewabaka wote wawili kwanini wakubake peke yako alafu pia mtu ukibakwa ukipelekwa hospital unapewa dawa za kuzuia ukimwi namimba ilikuwaje wew madaktar wakuruhusu uende nyumban bila kukupa dawa jmn
Cheery kipenzi kwanza pole sana kwa changamoto za kidunia. Pili mtoto wako wa kwanza anamiaka Saba kipenzi kama kweli umemzaa mwaka elfu mbili kumi na sita ni miaka Saba sio nane bado hatujavuka mwaka 2023 atafikisha nane mwaka kesho . Tunakupenda cherry we love you so much mama and your inparation to the people❤🥰
How? i don't understand 😢, kuna pep na inazuia, after kubakwa tu unaanzishwa dawa before 72 hours for 28 days then you go back for check-up, maybe she was affected before but she didn't knew about it
anadanganya dogo huyu, katengeneza script kichwani anawaaminisha watu hamna madaktari au manesi wasiojua kwamba kuna dawa unaweza tumia kama unahisi umepata maambukizi ili kuzuia mapema kwa masaa kadhaa so navyoona huyu kauza mwili wake kwa faida na kwenye hiyo akapata ngoma
Sema wewe mwandishi wa kike jitahidi kuendana na maudhui ya story! Yaani simulizi ya kusikitisha wewe unalipuka kanakwamba upo na Juma lokole mnachamba, khaaaaa? 😮
Kwa namna storyteller anavyo sema, kuko contradictions kwenye habari hiyo, ila la msingi ni kwamba anasaidia kuwapa wengine ujasiri wapimwe wachukue dawa endapo watakutwa ni waasirika. Jambo lingne ni pale wanasema kuwa ukinywa dawa vizuri utafikia stage ya kusipo waambukiza wengine hata bila condom. Congo Kinshasa my home.
anadanganya story yake, alafu nikosa kisheria kujua unamaambukizi na kujaribu kumuambia mtu....hawezekani mtu akabakwa na madaktari wakazuia maambukizi kwa kutumia dawa ambazo zipo
lakin mm nachojiuliza kwanini hawakumpa PEP(post exposure prophylaxis) mtu baada ya kubakwa au tukio lolote ambalo anaweza pata VVU n lazma akija hospital tumpe izo PEP ambazo atatumia mwez mzima kabla masaa 72 kuanza Toka amepata tukio la kuweza msababishia VVU Sasa kwa nn hiyo hospital haikufanya ivyo daaah ,,,
mwenyewe nimejiuliza hicho hicho huyu kuna jambo anatuficha story yake haijanyooka either kagawa mwili kwa faida ya hela au kuna mtu kadate naye akambambikizia
Nawaza tu, wangemuanzishia PEP siku hiyohiyo baada ya kufika Hospitali pengine asingepata HIV. Kwanini walimruhusu aende akae siku kadhaa ndo arudi tena kupima? Hapo kuna hesabu ilikosewa.
Hii ilisha nikuta demu kaja kuniambia ana mimba yangu na pia ni mwasirika ila tulipo enda kupima akakutwa yeye ndiyo anao ila mm sina ase nili muonea sana huru yule dada na nilitamani sana kuishi naee mpaka mwisho ila ndiyo ikashindikana
Wasiomfatilia ndio hawatamuelewa lkn kama unamfuatilia vizur unamuelewa pole dada .nakuelewa sana nakufuatia sana mungu akupe wepesi mana yeye ndie mwenye kuleta uzima na ugonjwa
Tony!!
You are more than a man. You have a big heart and a powerful spirit. You made a decision not many men can dare to. Coming out to speak openly about your relationship with Cherry has lifted many spirit. I just like you!! Wishing you the best in life. You are great!! Ahsante sana kum-support huyo mrembo.
Pole sana Dada Mungu yupo na hao wote walikufanyia Unyama huo Razima watapata Asabu Yao Malipo ni hapa hapa Duniani 😢 ila Mungu awasimamie katika Maisha yenu ww Pamoja na watoto wako wote na Shemeji yetu🙏🙏❤️❤️❤️❤️
ni kweli dada mimi natumia dawa kwa miaka 24 mungu ni mwema hongera sana Cherry
Duh pole 😢
Mungu akulinde zaidi ben@@FranklinGeorge-g5i
Pole sana chery,mungu atakupa maisha mrefu,pia usiache kumeza dawa mashani kote.
Pole sana na Hongera kwa kuwa muwazi kiasi hicho. Mungu anawaponya kabisa wenye haki. Wewe ulitumika ili wengine wanjue Mungu kwamba yeye ni mponyaji wa kweli.
Pole dada cherry.nakutia.moyo
Hongera kwa kujikubali
Mungu wetu wa sirini ataendelea kukutunza.
Huyo kijana pongezi sana. Ninamshukuru Mungu kwa ajili yako kwakuwa ummfanya binti yetu kuwa na amani zaidi
Pole sana dada Cherry 😢 jaman iyo miaka vijana walikuwa waovyo sana, kulikuwa natabia kama kunamtu amekutongoza ukamkataa anakufanyia kitu cha ajabu wallah 😢kuna jirani yetu alichukuliwa mbele ya wazazi wake nahuyo mtu alikuwa amehasilika kwaiy alikuwa anabaka watu kuwaambukia jaman yule kaka Mungu amuukumu nyau yule yule dada alikuwa anajichukia kwa kile kitendo alichokuwa anafanyiwa nayule mtu 😢 pole sana dada Cherry
Nimekupenda Sana dada angu na Mungu wa Mbinguni akutie nguvu kwani huo sio mwisho wa maisha nakupenda sanaaaa sanaaaa
MUNGU hajawahi shindwa hakuna gumu kwake mtegemee MUNGU na utapona download app inayo itwa kanguka utasikiya ushuuda wa wengine walio poa pole sana dada ❤️❤️❤️❤️❤️
Namhurumia sana dada mungu yupo pamoja nawe na atazidi kukusaidia kwa ujasiri wako ❤❤❤
Ukweli unamueeka mtu huru nimempenda kwa hilo na anaonekana ni mdada mwenye roho safi mashallah so pretty ❤
Maa Shaa Allah nimewapenda sana mko wazi sana na mmeongea vizur Mungu awajaalie mfunge ndoa Aamiyn
Tony e a Cherry vocês são uma benção, Deus vós abençoe pela um belo história, nenhum Homem pode tomar essa decisão.
Hongera sana Chery na mume wako mlichokifanya ni muhimu sana kwa jamii. Huu ugonjwa inabidi tuupokee kama magonjwa mengine siyo kama ilivyosasa mgonjea kuonekana mdhambi au kunyanyapaliwa. Yeyote anaweza kuupata bila kutarajia. Kuishi kwa kutumia dawa ni sawa kama magonjwa mengine tu.
Nina uhakika mtu akiulizwa leo achague ugonjwa mmoja wapo kati ya figo na ukimwi atachagua ukimwi
Kweli japo ukimwi unaweza athiri figo
Ukimwi source yake kubwa ni zinaa tu
@@musasabuu2808kweli uzinifu haswa ndio chanzo cha matatizo haya kwa vijana
Cherry mungu akutunze hawakuelewi ila ipo cku watakuelewa kipenzi nakupenda
Pole sana walikuwa wengi ila mm nimekupenda kuishi na virusi vya ukimwi sio mwisho wa fursa wala kuishi
Mm nafikiri yule boss wake wa dodoma ndio kamuambukizi huwezi bakwa saa 2 nkuhungu
Nimependa Sana cherry 🍒❤❤❤ kitendo poah Sana ulicho fanya
Nakupenda sana dada mungu akulinde
Pole sana dada mungu akuponye siku zote🙏🙏🙏😭
Dah mwenyez mungu amsaidie na amtangulie kwa kila kgali
Pole sana dadaang Mungu aendelee kukutia nguvu
Pole sana dada mungu yu pamoja nawe
Pole mdg wangu mungu yupo atakusaindia
Me najiuliza ktu kmoja Chery walikua wawil na rfk zke kwann abakwe yeye peke ake na vjana wote ao af rfk ake aachwe??
Hapo chacha
Shukran!! Dada ww ni mfano wa kuigwa ktk jamii
Story ina maswali mengi sana!!
All in all pole sana na Mungu akutie nguvu.
I'm so glad wewe umeona hili!
In shot Mambo ya MUNGU tuachie MUNGU.. sababu ni kitu hakufanya maksudi ndo maana waona anaishi na mzima wa afya kbsa ..uskute ata virusi vimeisha nguvu mipango ya MUNGU si ya kuingiliwa kbsa
Hasa huyu mwanamke Diva anaboa sana
We umeona kama mimi story ina gaps nyingi zinazo raise doubts.
Kwanza namna alivyo bakwa ilikuwaje saa 2 usiku mapema kabisa mtu kubakwa na anadai aliingiliwa na vijana wengi jambo linaloashiria walitumia muda mrefu hapo hapo anadai mwenzake alikua anapiga kelele inawezekanaje hadi hao wati wote wakamwingilia kimwili bila watu kusikia kelele ambazo mwenzake alikua anapiga?
Lakini pia kwa namna alivyoeleza inaonyesha walimbakia pale pape alipokamatiwa how come mida ya saa mbili hilo eneo lisiwe na watu hata wa kupitapita kwa muda wote huo aliokuwa akiingiliwa na vijana wengi??
Swali jingine kwanini aliamua kwenda dodoma ndo akacheki afya baada ya mwaka mzima kupita kwanini asingeenda dar kule kule ukizingatia alivyofika dodoma alienda hospital nyingine sio ile waliyomwambia arudi?
Kulikua na ulazima gani wa kwenda dodoma akacheki afya sasa kama alienda hospital tofauti??
Maswali ni mengi sana kwa kweli kutokana na stori yake?
Mashallah Jah May bless you.
Chery, Mungu ni mwema.mno, halipo.jambo kubwa kwake, hata yeye anajua jinsi atakavyokufanya juu yako katika maisha yako
Kwa kweli nimemuonea huruma sana huyu dada,ila pia niko na furaha kwa jinsi alivyojikubali kwa kweli anatia vijana wengi moyo
Tutaaminije km kabakwa.
Ah .....mauza uza mengi
😊😊😮 11:23 11:24 😅😅😅 11:25 😢😅😮😅😅😅😅😮😊
@@tahiyasaidi6532😊q
@@tahiyasaidi6532❤
@@tahiyasaidi6532ongea kwa kituo ndugu yangu
Hata wewe unaweza kukumbwa pasipo kubakwa
Hujamaliza safari ndugu
Big up sana tony
Chely Ni Mzuri Sanaa, Tena Kwa Wazuri Wenzio Wenye Maambukizi Kama Wewe Mbona Hata Kama Wana Maambukizi Mapya Mbona Binafsi Naingia Mazima Kabisaa, Nimuulizie Vyeti Vyake Mimi Vinanihusu Nini??!
Asantee cherry ❤
Haijalishi yupo na ukimwi mi nimemkubali pic kali sana ila mm nipo salama kiafya mrembo upo tyr ❤🎉
Pole mungu akutie nguvu lakin ilikuwaje hao wabakaji kama walikuwa nahamu ya tendo hilo siwangewabaka wote wawili kwanini wakubake peke yako alafu pia mtu ukibakwa ukipelekwa hospital unapewa dawa za kuzuia ukimwi namimba ilikuwaje wew madaktar wakuruhusu uende nyumban bila kukupa dawa jmn
Polesan dada mungu nimwema kilawakati
Cheery kipenzi kwanza pole sana kwa changamoto za kidunia. Pili mtoto wako wa kwanza anamiaka Saba kipenzi kama kweli umemzaa mwaka elfu mbili kumi na sita ni miaka Saba sio nane bado hatujavuka mwaka 2023 atafikisha nane mwaka kesho . Tunakupenda cherry we love you so much mama and your inparation to the people❤🥰
Chelly Mw/ Mungu Akutunze Akubaliki
Hospitali kwanini hawakumpa dawa za kuzuia maambukizi ya 1kwa1 km wanazopewa wajawazito wenye vvu ili kuzuia kuambukiza mtoto.
Kwa takwimu za nchi sasahivi huyu Dada aendelee kutoa shuhuda kwakweli. Mambo ni mengi.
Pole Dada cherry 😢nakupendaga
Kazini kuna kazi
Lakini madakitari walikosea ungepewa prophylaxis usingepata pole
Huelewi kuhusu prophylaxis
pia kumbuka n elf 2011
Shemeji mungu akutunze
Hiii story sio iyo vvu kama yuko nayo alitowa sehemu sababu ukienda hospital kitu chakwanza kama umebakwa wanakukinga ukimwi na mimba
N kweli aseee Sasa nashangaa kwann hakupewa hii uwongo
Yes
Au tunataka kuhukumu kimtindo?
Mzee alompa kaz au ugumu wa maisha ulimfanya kudate na watu wenyeukimwi
jamn 2011 sio 2024 zingatien ilo
Duuh😢😮😊
nywele za juma ukiziangalia vibaya kwajuu zimekaa kama karanga 😂😂
Nimecheka kwa sauti daaa😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nilikuwa natafuta hii comment
How? i don't understand 😢, kuna pep na inazuia, after kubakwa tu unaanzishwa dawa before 72 hours for 28 days then you go back for check-up, maybe she was affected before but she didn't knew about it
Mwenyewe ndo najiuliza au pep zilianza mwaka gani
@@MariaFrimin pep iko tokea kitambo sana ni vile ilikuwa haijuilikani sana na watu, but ukifuatilia story anasema alienda hosi. I'm also confused
@@MariaFrimin also what i would like you to know pep huwa ni hiyo hiyo ARVs, ARVs ilikuja kitambo sana
Anatuchanganya
@@MarthaNkojundo maana nashangaa
Polee sana dadaaa yanguuu
Mm ni mkazi wa nkuhungu saa 2 huwezi kubakwa na jee kwann mwenzio hakukimbia kupiga kelele. Wakati ulisema alikuwa nyuma?
Mungu ni mwema jamani dada
Mungu akutienguvu
Pole san dada jmn😓😓😓😓😓
Pole sana kipenz hayo nimapito tu ya hapa duniani
Jamani nani huyo ariye mbaka mtoto mrembo hvi katuaribia utamu jaman
Pole sana dad akeee😢😢😢
Naombeni namba zake aniambukize ukimwi
Pole sana by kwnn rafiki yk hakubakwa?
Pole sanaa
Daaah polee San
Mm namtaka huyo ukimwi sio ugonjwa ogopa kansa na magonjwa mengne sio ukimwi alaf shamba lina mikorosho 2 shamba lina faida
Cherry au Mama Ivy ni huyu au nakufananishaaa?
Pole sana dadangu angu 😢
May God Grant you with unspeakable joy siz😢😢
Ningekuowa ila jamaa kasha niwai sio mbaya safi
Kwa nilivyosikiliza hii story huyu Chery alitembea na yule mzee wa kwenye hyo hoteli ya dodoma.
hapo nikweli. kwa kubakwa amedanganya Aliambukizwa na yule mzee
@@nappekiliakiliasalimu346 Yes yule mzee alimwambukiza ila alipobakwa akajua ameambukizwa na wale wabakaji yawezekana tena yule mzee aliwatuma ili amchanganye binti!hebu fikiria kwann hawakumbaka yule mwenzie?
Wewe unaye bishi nakushangaa sana, kwaani watu hawabakwi? Mungu anakuona
Stupid mind
Nami nawaza itakuwa yule mzee
Huu ugonjwa wa ukimwi😮😮 siku hizi unajitangaza mwenyewe
Hii move tu wsmeitengenez wasafiii,dada kaamua kujicholesha kwa ajil ya kulipwa tu hakuna lolote hapo
16:47 16:48 16:48
anadanganya dogo huyu, katengeneza script kichwani anawaaminisha watu hamna madaktari au manesi wasiojua kwamba kuna dawa unaweza tumia kama unahisi umepata maambukizi ili kuzuia mapema kwa masaa kadhaa so navyoona huyu kauza mwili wake kwa faida na kwenye hiyo akapata ngoma
Dida tulia kidogo acha kuwa na mbwembwe unaongea kama unakimbizwa alafu kuna maswali unauliza ilhali tayr ameshaelezea.....
Ila Huyu Dida Asaivi Anaongea Vibaya Sijui Anaongeaje😂
Mwacheni dida wangu😅😅
Pole sana dd
Dada mzuri ukimkubali Yesu anaponya uachane na hizo dawa
Humtakii mema mwenzako kumkubali yesu na kuacha dawa kunahusiana nini
@@ummyayman9449😅😂😂😂
good advice
Acha uongo wewe mambo ya uongo toka hapa
Acha kumtia ujinga wewe ..!
Pole sana cherry
Daaa! Mpaka naogopa kuparamia hata mke wangu. Wewe unao? Ebu njoo unieleweshe
Sema wewe mwandishi wa kike jitahidi kuendana na maudhui ya story! Yaani simulizi ya kusikitisha wewe unalipuka kanakwamba upo na Juma lokole mnachamba, khaaaaa? 😮
madactor walimkosea uhyu dada ,angepewa prophraxis acingepata hata
Hii story kidogo inaukakas
Hongera sana cherry ❤
Kwa namna storyteller anavyo sema, kuko contradictions kwenye habari hiyo, ila la msingi ni kwamba anasaidia kuwapa wengine ujasiri wapimwe wachukue dawa endapo watakutwa ni waasirika. Jambo lingne ni pale wanasema kuwa ukinywa dawa vizuri utafikia stage ya kusipo waambukiza wengine hata bila condom. Congo Kinshasa my home.
sure,hasa baada ya kutoka hospital siku ya kwanza
anadanganya story yake, alafu nikosa kisheria kujua unamaambukizi na kujaribu kumuambia mtu....hawezekani mtu akabakwa na madaktari wakazuia maambukizi kwa kutumia dawa ambazo zipo
Huyu ni muongo, mtu akibakwa akienda hosp lazima apewe ARV dose ili kuuwa virusi. Huyu kwanza hana akili nzr, kitendo cha kujinanga mtandaoni.
inauma kinoma, binadam ndo wanafanya binadam wezao kuwa wanyama, pole dada ,Ila kwa nn Sasa na ww ulitafta mtu umwambukize asee😢😢😢
Wote wanatiktok hawa nilisikia cherry akisema mwanaume wake anaish nae mwaka wa9 sasa na kazaa nae watoto wawili how comes inakua miaka mi3 ghafla😢😢
Mbona mlembo kwani ukwimwi k2 gni ss 2natimba
Uyu dada namfuatulia sana tiktok
daah cherry nimfano wa kuigwa she is super women ww jmn mmmmmmmmwaaaaaaaaaa
Jaman naomben kujua ratiba ya iki kipindi napendaga sn iki kipindi kinaoneshwa tv gan na mda gan
lakin mm nachojiuliza kwanini hawakumpa PEP(post exposure prophylaxis) mtu baada ya kubakwa au tukio lolote ambalo anaweza pata VVU n lazma akija hospital tumpe izo PEP ambazo atatumia mwez mzima kabla masaa 72 kuanza Toka amepata tukio la kuweza msababishia VVU Sasa kwa nn hiyo hospital haikufanya ivyo daaah ,,,
kama wangefanya ivyo asingepata maambukizi
mwenyewe nimejiuliza hicho hicho huyu kuna jambo anatuficha story yake haijanyooka either kagawa mwili kwa faida ya hela au kuna mtu kadate naye akambambikizia
Naombeni namba zake alaka 🙏🙏🙏
Aise Mungu tuhurumie sisi wakawako , wewe kaka , huo ujasiri hapana si m sapoti mtu achukuwe uamuzi huo. Samahani lkni kama nimekosea
Nawaza tu, wangemuanzishia PEP siku hiyohiyo baada ya kufika Hospitali pengine asingepata HIV. Kwanini walimruhusu aende akae siku kadhaa ndo arudi tena kupima? Hapo kuna hesabu ilikosewa.
Siyo kwamba madaktari walikosea,dada anasema kipindi iko anabakwa huduma ya PEP ilikua haipo Tanzania...!!
Hata mimi nimejiuliza😢😢
Huduma ya PEP kipindi iko ilikuwepo
Pole San mdogo wangu Ucjali utapona iko cku
Dah,,vijana tukapime kama iki chuma ndio hivyo je tunazagamua wangapi kama hao.nb.tutumie kinga jamani.
Hii ilisha nikuta demu kaja kuniambia ana mimba yangu na pia ni mwasirika ila tulipo enda kupima akakutwa yeye ndiyo anao ila mm sina ase nili muonea sana huru yule dada na nilitamani sana kuishi naee mpaka mwisho ila ndiyo ikashindikana
DAAAH DIDA BANA MSHABIKI KWELI KWELI😫
Tony wew nikijana hodari sana....Mungu azidi kukulinda....mpo wachache sana hapa duniani
stori na uhalisia mbonaa haviendani jaribu kuweka waz taarifa miez 3 mara mwaka uhalisia ukojee hapo?
Mtu hawezi kutafuta kiki kwa maradhi" elewa tu hivyo alivyoeleza ndugu yangu," tuzidi kumwombea Dua azidi kumpa uzima aleee watoto wake.
Dada pole sana😢
Apa swali Wengi walikua wasibiri wanazagamuana vipi apo ndo kwenye elimu kwenyewe
polesana dada asee
Juma lokole yupo serious kusikilizàa kinoma
Wasiomfatilia ndio hawatamuelewa lkn kama unamfuatilia vizur unamuelewa pole dada .nakuelewa sana nakufuatia sana mungu akupe wepesi mana yeye ndie mwenye kuleta uzima na ugonjwa