Mpeni deal mzee mkongwe comedy mzuri bila kufikiria anajibu hapo kwa hapo mpeni matangazo anapendwa sana na pia anaburudisha sana Kilubwa kwake code zake kuziielewa big up mkongwe bondei in air
K9 balaa sana mzee hiyo unaelekea Kabanga sio mchezo ukishafika shuleni tu pale unaanza kuishuka ni hatari sana na hiyo ya rusumo inaitwa machinjioni nayo hailali na njaa mpaka gari ndogo zinakomaga hapo
Huyu jamaa kanikumbusha mbali sana,TULIKUWA STAFF 11, KUFIKA RUSUMO TUKASHTULIWA NA WATU WALIOKUWA WAKIPIGA KELELE WAKISEMA GARI INAUNGUA,kumbe ni Landcruiser yakwetu,wakati wa kushuka huo mlima ilishika break mpaka taili ikaanza kuwaka moto...
Duuh nilichogundu kuwa madereva wengi wa gali ndogo hawazifahamu alama nyingi za barabaran mfano hapo baba leo swali alilo liuliza nimegundua kuwa angekutana na hiko kibango cha toxicna gia box asijejuwa nini kimemaanishwa
Ni kweli wengi hawafahamu. Lakini hapo kwenye kipindi lazima mtangazaji aulize kwa faida ya wasikilizaji na watazamaji wake. So ilikua lazima aulize fuvu na gearbox na 1 low vinamaanisha nini ili hata ambaye si dereva aelewe.
Yaani sijawahi kucomment .ila napenda kusema watu tunacheka tu huyu jamaa anavyotuchekesha ila watu wenye shule za driving wangemtumia huyu jamaa private kumfanyia mtu driving exam hawa madereva wa maroli hakuna kupita exam ya kuendesha maroli bila kufaulu mtihani huo watu wengi Tz wanatumia kufundisha tu utingo kesho anapewa roli . Hii ingesaidia madereva kuepuka pia ajali za barabarani. Nchi za wenzetu hakuna driving licence bila kupita exams kwa shule zilizodajiliwa siku ya exam kosa 1 tu la barabarani ukifanya na wasimamizi wa exam wakaliona utarudia Hakuna kupita hivi hivi. NA Maroli hayaruhusiwi kuovertake hovyo hovyo kisheria
Mzee anazidisha chumvi. Kitonga ni mlima wa kawaida sana japo ni mrefu 8 km na hiyo k9 ni mlima mkali ila ni wa kawaida nao. Kwa hapa Tz milima ya kutisha ipo songea tu huko ndio dereva yeyote akipanda au kushuka anatakiwa atulize mzuka...kuna jamaa angu alipanda vikumburu 1st time akafika mahali akapaki presha juu akaenda duka la dawa kuulizia sigara😅
Liomuita walikosa content ujue waulizaji wa maswali katika media hawakupi nafasi ukaongea au wakakuuliza cha maana hao wao wanauliza vitu ili kipindi kichangamshee kiende hewani, muda wa madai yako sijui shida za maderrva huo muda hawana
Wanalipwa baadhi ya kampuni kama Simba limited, wanajiriwa maana kulipwa ni kuajiriiwa sababu pesa zako zitatiwa nssf utakatwa alsilmia 7na muajirii asilimia 13
toka kenya hapa. nimepatana na video zake kule facebook. ikabidi nimemsaka huyu mzee. yeye ni true comedian
Huyu jamaa angepata nafasi CHEKA TU ingekuwa poa sana
Hahaha
Duuuh
BABA LEVO ALIMPELEKA KUANGALIA HIVI MAJUZI NDARO NA LEONRALDO
@@salimmalaka256nadhani ni Leonardo sio Ronaldo
@@nancyg8664 YES NDIE HUYO LEONARDO
Mpeni deal mzee mkongwe comedy mzuri bila kufikiria anajibu hapo kwa hapo mpeni matangazo anapendwa sana na pia anaburudisha sana
Kilubwa kwake code zake kuziielewa big up mkongwe bondei in air
Baba levo mtafutie kipindi huyo ana faida katika fani ya uchekezaji na atatoa elimu katika udereva kwa njia ya comedy 😎😎😎😎🙏🏿🙏🏿🙏🏿👍
Sure ❤
Nimekubali sana hiyo ya mahimahu ya nairobi na hiyo ya Nakuru kweli nihatari sanaaa
It's called Mai mahiu.
Kweli
@@patrickkarugu7199😊
Na mazeras balaa pia
Dah unyamaaa sana
Daah uyu mzee kiboko yaan nilikuwa nime vurugwa lakin nimejikuta nacheka
KO Mzee kakutoa mvurugo😂
Mzee anaongea kwa code balaa eti ushuke na kaseja kama huna D 2 huwezi elewa
Huyu mzee fala san😂😂😂
Namkubali sana ana kipaji kikubwa sana😂😂😂
Wow, I love the conversation. Huyu Mzee is So experienced. Why not Make him an Officer In Truckers association. He will do a Good Job
Huyu jamaa ni comedy anafaa sana udereva alivamia
K9 balaa sana mzee hiyo unaelekea Kabanga sio mchezo ukishafika shuleni tu pale unaanza kuishuka ni hatari sana na hiyo ya rusumo inaitwa machinjioni nayo hailali na njaa mpaka gari ndogo zinakomaga hapo
Haki huyu mzee mpeeni kazi yaani kuchangamsha kipindi😂😂😂😂
Rusumo machinjioni kiboko sana
Ebwaaaaa mzee epewe matangazo jaman apige mpunga kidogooo
NDIOOOOOOO
ALLAH AMRAHISISHIE ❤🎉
Hio salgaa ukweli huo mlima mwamba
Huyu jamaa kanikumbusha mbali sana,TULIKUWA STAFF 11, KUFIKA RUSUMO TUKASHTULIWA NA WATU WALIOKUWA WAKIPIGA KELELE WAKISEMA GARI INAUNGUA,kumbe ni Landcruiser yakwetu,wakati wa kushuka huo mlima ilishika break mpaka taili ikaanza kuwaka moto...
Hio K9 asee nikweli ngara hio nibalaa asee😂😂 nilikutana na lori speed yake nisawa na mtoto anavyo tambaa
😂😂😂Mb zangu zimeenda kihalali wallah nimejikuta nipo happy mwanzo wa interview mbk mwisho
Kongole sana dreva mkongwe
Huyuu dereva kweriii . . . K9 hatariiii Sana pia Kuna pale panaitwa machinjioniii
Huyu jamaa muongo sana anawatia kamba tu wasafi media
Yupo sahihi make kabanga ngara/ rusumo sio poa
Anaongea ukweli.......ila ana namna yake ya kuongea kuchekesha
#Ngarayiwachu #homesweethome #Ngara Kagera tz dah mzeee katembea aseee mteremko unaanzia sehemu inaitwa #lukole Kuna high school hapo shule yangu...
Daah! Huyu dereva mcheshi sana.
Nimecheka 😅😅
Daa mzee tunamkubali sasa sana
Huyo mzee kanivunja mbavu zangu na story za nyani wa kitonga.
Pia Barbara mbaya hapa Tanzania ni kutoka mbeya mjini kwenda chunya kuelekea makongorosi to tabora
Huyo mpeni kipindi cha usafiri na pia ni comedian 🎉❤😂
😂😂😂😂
K9 shikamoo aise umejua kunifurahisha mzee wangu
daaaah aisee
Duh!
Nakubali dachi udevu
Mkogwe umenikumbusha k9❤❤
dereva nakubali sana
Ule mlima wa tznia kuingia Burundi siopowa😊
Duuh nilichogundu kuwa madereva wengi wa gali ndogo hawazifahamu alama nyingi za barabaran mfano hapo baba leo swali alilo liuliza nimegundua kuwa angekutana na hiko kibango cha toxicna gia box asijejuwa nini kimemaanishwa
Ni kweli wengi hawafahamu. Lakini hapo kwenye kipindi lazima mtangazaji aulize kwa faida ya wasikilizaji na watazamaji wake.
So ilikua lazima aulize fuvu na gearbox na 1 low vinamaanisha nini ili hata ambaye si dereva aelewe.
MZEE comedian huyu🤣🤣🤣
Noomaa sanaa😅
Any other Kenyan who saw his reel on facebook and came here looking for him
Kwanza niko hiyo taxin anasema😂😂😂😂
Hiyo K9 naijua saana ni balaaa
Sawa lakin hiyo k9siyo Kama anavosema huyu mzee km 38 kweli labda kutoka Kona ya benako had ngara hapo sawa
@@lukasjelamisanana677038 ni nyingiiii sanaaa !!! Ila panaogopeshaaa jmb
Huyu Mzee uwa namkubali sana inabidi aandike kitabu cha historia ili Sisi madereva chipukizi tuendelee kupata muendelezo
K NINE NOMA MZEE
Aina mpya ya usanii TZ
Mzee mpeni kipindi coz kipindi kimenoga mwanzo meisho
salgaaa hatari ....watu daily wazikwa pale
Lakin pia mteremko mkar upo burundi huo wenyewe ukianza kushuka ni unashuka km zaid ya 30 bugarama hiyo
😂😂 simchezo aisee
Namkubali sana huyu mzeee
Me too 🎉❤
Hahaha, dah ! Anachekesha.
Baba Levo leo umekutana na chizi kuliko wewe
K9 kiumeeni kabisa tena kabisa
K9 naijua babu
K9 ni hatari sana
Hapo kwenye k9 umetupiga inakilomita 9 tu Ila ni mporomoko mkali sana
Hiyo ni sifa ya fasihi simulizi inakuwa na chuku nyingi
Kakosea wapi mbona hapo tunapajua wengi
Si ndy k9 ww mbege
K9 siyo kilometer 9 ni Kona 9 mzee
Hata mm nimeshangaa Kutoka Benaco mpaka mjini Ngara ni 36Km halafu yeye anasema K9 ni 38Km 😂
Kumbe mjomba wa Muheza Hahaha
Lala nayo babu
K9 nimepita jana balaa kwel
Ken9 na loriiii😳 mbn hatariiiii !!!! Nimteremkooo mkal hatariiii
Yaani sijawahi kucomment .ila napenda kusema watu tunacheka tu huyu jamaa anavyotuchekesha ila watu wenye shule za driving wangemtumia huyu jamaa private kumfanyia mtu driving exam hawa madereva wa maroli hakuna kupita exam ya kuendesha maroli bila kufaulu mtihani huo watu wengi Tz wanatumia kufundisha tu utingo kesho anapewa roli . Hii ingesaidia madereva kuepuka pia ajali za barabarani. Nchi za wenzetu hakuna driving licence bila kupita exams kwa shule zilizodajiliwa siku ya exam kosa 1 tu la barabarani ukifanya na wasimamizi wa exam wakaliona utarudia
Hakuna kupita hivi hivi. NA Maroli hayaruhusiwi kuovertake hovyo hovyo kisheria
Ngara ata gari dogo kama halina nguvu utakesha
😁😁🤣🤣 burundu inaiona ile lakini upo tanzania 🇹🇿 bado dah 😁😁🤣🤣
Kobero hapo hatari
Is soo funny
apewe nafasi uyo ataokoa jazz madereva awana bb wala mama mtz ana saman katika kazi yake
Mwanamke huyo yeye ANAWAZA HELA TU, kila muda yeye ni hela tu
Mate ya chumviii noma sana...usiombee aisee..
Jamaa anakubalika sana ache udele anachekesha sana 😂😂
Baba nakubal San mkongwe
Mwamba namuona sana Morogoro
I laughed so much
Kwan uyu mzee ni cimedian au 😅
Aisee 🤣
Hapo kwenye kucha kutoka jasho! Kubababake😂
Anachekesha sana
😂😂 Ila mandevu
Nimecheka kifala😅😅😅😂
LIFE EXPERIENCE
K9
Mzee Sasa staafu
MKOKAA
Hayo makampuni matatu yaliyo tajwa halo na mzee dereva mkongwe wamuite wamlipe maana kawatangazia biashara.
Astaghfurulaah; mitume hawasaidii na Bilal hasaaidii bali Mungu husaidia; ni Mungu tu si binadam
Nisawa anasema Mongok a ukila unasema pekeyako unajikuna kichwa
K9 sio km 38 bwana tumepita huko acha uongo nimesomea ngara huo mlima naujua vizuri
Muongo Sana huyu mzee 😂😂
Ndio maana mombasa umepigwa marufuku huo mgukaa, unalemaza wa2 kwl kwl
😂😂😂lakini ndugu iyo kitu hailiwi na farasi Nairobi
Mzee wa hovyo
Mkongwe
Dah hatari
Mzee anazidisha chumvi. Kitonga ni mlima wa kawaida sana japo ni mrefu 8 km na hiyo k9 ni mlima mkali ila ni wa kawaida nao. Kwa hapa Tz milima ya kutisha ipo songea tu huko ndio dereva yeyote akipanda au kushuka anatakiwa atulize mzuka...kuna jamaa angu alipanda vikumburu 1st time akafika mahali akapaki presha juu akaenda duka la dawa kuulizia sigara😅
Wewe dereva!???
@@JosephineItambu ndiyo
Waniulize mimi maimai nitwawambia mlima wawanaume huo
Ha ha ha mzee namkubali sanaa
Leo nimecheka Hadi kilio
nime chekaa😂😂
K9 kali
Imenikubusha mbali sana mume wangu alifia hapo ndeleve ilimshida Gali akauwa meme wangu
Pole sana dada 😢
Mzee mwongoo sasa K9 unakuwa kitega burundi wakat K9 ipo vijiji vya ngara
KASEMA UKIWA JUU YA MLIMA UNAIONA BURUNDI VP NI KWELI AU KAONGOPA???
Hapo mahimahu ni noma upande bonde Haina Ata mwisho
Sijasikiya swali muhimu maswali zote zakiboya tu.ivi hao madereva wamalori wanapo zeeka bila shaka kunakustafu je?wanalipwa.
Sasa akulipe nani sasa
Inategemea na company anapofanya
Unataka swali gani,, we boya ama ni? Hii ni mambo za madereva sio wewe,, ama unataka wakuulizie bei ya bhachu??
Liomuita walikosa content ujue waulizaji wa maswali katika media hawakupi nafasi ukaongea au wakakuuliza cha maana hao wao wanauliza vitu ili kipindi kichangamshee kiende hewani, muda wa madai yako sijui shida za maderrva huo muda hawana
Wanalipwa baadhi ya kampuni kama Simba limited, wanajiriwa maana kulipwa ni kuajiriiwa sababu pesa zako zitatiwa nssf utakatwa alsilmia 7na muajirii asilimia 13
cheka tu pale anaondoka na kijiji