BAADA YA ANDIKO, KAMWE ATOLEA UFAFANUZI ALICHOMAANISHA | AMWAGA RATIBA YA SIKU YA WANANCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 93

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 2 หลายเดือนก่อน +6

    Leo Ally Kamwe yupo serious sana, kama vile kuna kitu hajaridhika nacho

  • @mariachikudo6498
    @mariachikudo6498 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ali kamwe upo vizur,fanya kazi.wanayanga itig tunakukubali sana

  • @vuaihaji6703
    @vuaihaji6703 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ undeliondoka ubgetukera sasa zaid ya sana ALLY ALLY ALLY nimekuita mara tatu unajuwa mana yake kuitwa mara tatu

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ratiba nzuli Sana yanga mbele kwambele ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @JumaJuma-g5e
    @JumaJuma-g5e 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kamwe. Plus. Manara. Viva.

  • @AthumaniKipilili
    @AthumaniKipilili 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani yupo huyu yanga Raha sana😊

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 2 หลายเดือนก่อน +1

    ally kamwe manara wote watu wetu kazi safi🎉

  • @AmeShaa-h4n
    @AmeShaa-h4n 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uwongoz wa Yanga kwnn hayo makombe huku Zanzibar hafiki kumbuken kuwa aslimia kubwa ya huku visiwan ni mshabiki na wapenzi wa yanga mnatuangusha

  • @MohamedMwaya
    @MohamedMwaya 2 หลายเดือนก่อน +15

    Nikuombe tu Mzee wetu manala ubaki kma mhamsishaji huyu mdgo wko aendelee na Yale ya cku zote nawapenda sana mnatupa raha,sana,

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 หลายเดือนก่อน

      MARAISI 2 KWENYE
      INCHI MOJA NI NGUMU SAN

    • @MWINYIKADHI
      @MWINYIKADHI 2 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi mkuu​@@allahisone6386

  • @MagdalenaMsemwa
    @MagdalenaMsemwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli alikamwe upo viziri binafsi nakupenda Santa kama semaji la Tim yangu pedwa ya yanga

  • @flaviannyakeji
    @flaviannyakeji 2 หลายเดือนก่อน +6

    Unapotajja Dua ufafanue kuwa ni kwa dini zote isionekane kama kuna chembe ya udini maana Timu ina wachezaji na washabiki wa dini zote

    • @dulapele7868
      @dulapele7868 2 หลายเดือนก่อน

      din ya hak ni uislam2

  • @GosbertJohnson
    @GosbertJohnson 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kamwe wewe msemaji mkini sanaaaaa

  • @KisakaZdmk
    @KisakaZdmk 2 หลายเดือนก่อน +1

    @kisakazdm nimekusikia jinsi ratiba na utamu wa siku ya jumapili ya wananchi ilivyo.Sisi huku Arusha mmetuandaliaje?

  • @josephjeremiah-x5v
    @josephjeremiah-x5v 2 หลายเดือนก่อน +9

    Like hapa umefurahi kamwe kumuona

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga tam bhana nimefurah sana

  • @JastinChaula-vc6no
    @JastinChaula-vc6no 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazeee kila ukigusa wayaa,waya

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 2 หลายเดือนก่อน

    kwa mtazamo wangu mm binafsi naona ni vyema tu haji angefungiwa miaka 20 mana anapenda sana bifu na watu

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alikamwe SEMA no wiki ya Mwananchi Hilo ndo jina siku yeti ilivyo sajiliwa rekebisha hilo

  • @EliasHagai
    @EliasHagai 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masimango hata kidini au kimila huwez kumsimanga mtu, ni laana mnjitakia ,Mungu hapendi

  • @SaidCannal
    @SaidCannal 2 หลายเดือนก่อน

    Ally Shaban Kamwe nafasi ingine ambayo nakutabiria ni kuwa mbunge wa bunge la Tanzania na ikiwapendeza kuwa waziri wa michezo Tz.

  • @joshuahassanmwamsangu9542
    @joshuahassanmwamsangu9542 2 หลายเดือนก่อน

    Hana furaha kama alivyozoeleka😊

  • @williamsonLucas-o3i
    @williamsonLucas-o3i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unasimanga, unakula,unasimanga, unakula. 😂😂😂😂,nimeipenda hyo.

  • @NyorokaNyenge
    @NyorokaNyenge 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kamwe ameamua kuficha sura yake halisi moyoni mwake,akabakiza sura ya utu uzima ,hii inaonesha dogo amekomaaa kiakili,
    Katika maisha jifunze kubeba na himili hisia zako.itakusaidia baade .

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jamaa kweli hayuko sawa....
      Tone na sura ni vitu viwili tofaut ..

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน

      Acheni kumdadisi kijana

  • @MnyawiCyprian
    @MnyawiCyprian 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba tunakuelewa🖐️

  • @HenryMwamasage
    @HenryMwamasage 2 หลายเดือนก่อน +1

    kwa hiyo Ally kamwe ni meneja habari na Manara ni mshereheshaji😂😂😂

  • @JoelOkenja
    @JoelOkenja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ally kamwe naitaji kujua idadi yachapati maana awauyakwanza zilikuatano kutokana natukio lataree5 hiivp

  • @QuenFeliciani
    @QuenFeliciani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very good ,yanga juuuuuuuuu

  • @NzobeMasanja
    @NzobeMasanja 2 หลายเดือนก่อน +1

    tunakuerewa msemaji wetu

  • @AliceChentesa
    @AliceChentesa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daima mbele nyuma mwiko💚

  • @elihurumalucas4625
    @elihurumalucas4625 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana amekomaa kweli kwel

  • @addymsola4625
    @addymsola4625 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaishia kwenye media uwanjani hamuendagi

  • @nelsonbisi6499
    @nelsonbisi6499 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi mwana Simba lkn tarehee 8 siendii naijua hyoo 🏃🏃🏃🏃🏃🏃

    • @georgemallya4311
      @georgemallya4311 2 หลายเดือนก่อน

      Mwanasimba yupi acha kutuongepea wewe ni Yanga

    • @DarliotonTumaini
      @DarliotonTumaini 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂​@@georgemallya4311

  • @GodfreySylvester
    @GodfreySylvester 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona kama sura yako inaonesha kuna shida moyoni mwako. Atuja kuzoea kwenye Hali iyo

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi nimeona 😅😅😅

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabsa

    • @vaxminja9053
      @vaxminja9053 2 หลายเดือนก่อน

      Simba mnahangaika kweli 😂

    • @davidwatson6821
      @davidwatson6821 2 หลายเดือนก่อน

      Anajua kinachomsononesha moyoni mwake

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli...jamaa usoni hayuko sawa.😅😅

  • @saimonrodgers8262
    @saimonrodgers8262 2 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu ulichoongea ni copy za Simba ,kweli Simba Ni Big NATION, wao wanaanza wengine wanaiga

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 หลายเดือนก่อน

    Ali kamwe yuko sawa banab🫲🫲🫲🫲🫲🫱🫱

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi naomba mniweke kwenye kamati ya kuwasema na kuwasimanga

  • @KaghuvaMsuya
    @KaghuvaMsuya 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni yanga damu huyo manara ni chawa tu hapo huyo n I Simba damudam

  • @magrethsanga4971
    @magrethsanga4971 2 หลายเดือนก่อน

    Ally kamwe wanayanga tunakukubali huna baya

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye kusimanga sijapenda

  • @NajimKasonso
    @NajimKasonso 2 หลายเดือนก่อน

    Headline na alichokisema ni tofauti

  • @SaidMasoud-ng1fd
    @SaidMasoud-ng1fd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ali kamwe sio msemaj😂😂😂 ivo kusema hajui😂😂😂

  • @JumaJuma-g5e
    @JumaJuma-g5e 2 หลายเดือนก่อน

    Ahmed. Kolo. Ally. Anaumia. Akiwa. Waapi??

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน +2

    usoni bwana Ali kamwe Hana furaha kabisa anajua hana ufalme tena

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Hatujamzoea hvo 😅😅😅

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 2 หลายเดือนก่อน +3

    Magoma yupo hapo..kama hayupo basi magoma sio mzeee

  • @mbarakarajabu8748
    @mbarakarajabu8748 2 หลายเดือนก่อน

    Ali sio kawaida yako kuwa serious hivyo 😅 unaonekana huna furaha bro

  • @RashidiSaidi-j6n
    @RashidiSaidi-j6n 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli nimeamini huyu jamaa ni mshamba

  • @ZawadiSimon-r5p
    @ZawadiSimon-r5p 2 หลายเดือนก่อน

    uzinduzi umepoa hivoo

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo Kaiza Chiefs unayoiongelea ni mbovu mno kutokea, siyo ile iliyocheza na Simba

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hamnaga cha kwenu kipya??? Ila kwa kuiga,nakujitia wajuaji nyie utopolo,sikui hamuonagi hata aibu,kila kitu kuiga,nyooooo,

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน

      Unaumia ukiwa wapi Dunduka

  • @HamisiMtengwa
    @HamisiMtengwa 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe manara ni bwana mdogo kwa ally kamwe usimletee figisu ktk cheo chake

  • @ShedrackmartinBalama
    @ShedrackmartinBalama 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ya kuchangisha damu haijapishana saaaaana na ile ya mnyama simba

  • @KacheroElias
    @KacheroElias 2 หลายเดือนก่อน

    Ally naomba utuwekee wale wamwiduka band na wimbo wao wa NAIPENDA YANGA goma kari sana

  • @JudicateShuma
    @JudicateShuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    We nimwanachama wa utopolo,

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel UTOPOLO hawana shukran yt aliyofnya Ali komwe leo wanamfanya km kiraka...sio poa

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 2 หลายเดือนก่อน

      Utateseka sana, kamwe bado yupo saana yanga, daima mbeleee.

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 2 หลายเดือนก่อน

      @@jumamustapha8254 hujielew ttzo

  • @hamadiomari9257
    @hamadiomari9257 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona uso umekonda ghafla kuna kitu kinakutafuna taratibu 😊😊

  • @williamsonLucas-o3i
    @williamsonLucas-o3i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nimeipenda,mtu kala chuma nne na bado akachoma moto uwanja wa watu.😂😂😂,yani wabongo bn

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 หลายเดือนก่อน

    Chezea manara wewe.utakimbia mwenyewe na bado

  • @edwardmwaliko9078
    @edwardmwaliko9078 2 หลายเดือนก่อน

    Ally mbona hatuoni mbwembwe zako leo

  • @jumasella-s2k
    @jumasella-s2k 2 หลายเดือนก่อน

    dogo mhongo sana

  • @hellensizya7706
    @hellensizya7706 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haa😂😂😂😂 tuwasimange tu😅

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 2 หลายเดือนก่อน

    Sema uyo mzungu angekuachia Tu ugali wako Ulikua unajitahidi Sana

  • @Richardlimbe-ef1pn
    @Richardlimbe-ef1pn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tumekuelewa

  • @STAMILIMTEGO
    @STAMILIMTEGO 2 หลายเดือนก่อน

    Ludi upige kazi unajua kuwkomexha makolo

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hujui kuongea, mwsnamume huyo hapo pembeni mwako ananesanesa kwenye kiti

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +3

      Tunakubali hajui lakini ndiyo msemaje wetu huyu na tunatamba naye

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

    Haji umezeeka sura yako inatisha bwana achana na hiyo kazi bwana

  • @ClementKonda-uj1nj
    @ClementKonda-uj1nj 2 หลายเดือนก่อน

    Kamwe wewe wa hovyo

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 2 หลายเดือนก่อน

    Kilichomkuta Nugaz ndo kilekile kinachomkuta mista kamwe...

  • @jafethleonard5821
    @jafethleonard5821 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @varesrobatsaimon
    @varesrobatsaimon 2 หลายเดือนก่อน

    Wote wajinga mnao wasimaga