MAOMBI YA NYAKATI NGUMU // ZABURI 13
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
- Ujumbe: Maombi katikati ya shida
Andiko: Zaburi 13:1-6
Pastor: Innocent Mashauri
1 Ee Bwana, hata lini utanisahau, hata milele? Hata lini utanificha uso wako?
2 Hata lini nifanye mashauri nafsini mwangu, Nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Hata lini adui yangu atukuke juu yangu?
3 Ee Bwana, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.
4 Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.
5 Nami nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
6 Naam, nimwimbie Bwana, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Mungu simama namini Kwa hii maombi ni shendea Vita mungu wangu amen
Mungu wangu nisadie kujua ww katika maisha nibadilishe nikae karibu nawe
Mungu amponye baba angu akujue kuwa ww ni Mungu hakuna mwingine zaidi.
Baba Mungu akubariki Sana ndugu yangu pastor Nina ushuhuda pastor heeee ubarikiwe Sana kwa maombi nilikataa tamaa Sana nilijua Mungu Ameni acha heeeeee Mungu an anipe da sana
Dear Lord show me your mercy guide me , protect me and my kids Lord remember me 😢in you I put my trust, Amen 🙏
Mungu aniwezeshe kuishi maisha matakatifu na anijaze nguvu mupya
Eee Bwana Yesu Mwana wa Mungu nahitaji unirehemu unisaidie new mkamilifu nfunze kutenda mema na kukataana na mabaya
Amen amen amen Asante mungu wangu kwa uaminifu wako kwangu maana kufika hata siku ya leo nikwauwezo wako baba,naomba neema yako izidi kunibeba bila wewe siwezi🙌♥️🙏
Mungu Nakomboa familia yangu kwa damu ya Yesu
Asante sana mtumishi kwa kwendelea kutumika na Roho mtakatifu
Naomba nikumbuke Mungu maana nahisi moyo wangu umechoka sana
shalom
Ameen mungu ni mwema Kila siku namuona nakushukulu sana pastor innocent mashauri mungu ukupe kibali Cha kutuongoza watoto wako maana wewe ni baba kwetu mungu akutunze 🙏🙏
Mungu wewe ni mwema siku zote
Asante mungu kwa mafundisho yako
Aminaa napokea Kwa jina la Yesu
Amen
Amen 🙏🙏🙌🙌
Ee mungu wangu 😢😢😢😢nitie nguvu mana moyo wangu nahic nmechoka baba nikumbuke kw mala nyingine baba 🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🙏🏽🙏🏽🙏🏽😭😭😭
Amen nisaidie mungu wangu
❤amen
Amen 🙏 thank
EE Mungu nikumbuke usiku Wa Leo napitia machungu Moyo wangu nikumbuke mungu nionekanie 🇸🇦🇸🇦
Pole cana Mungu akukumbuke
Mungu nisaidie
Mungu niguse
Mungu wangu nisaidie sana
Siku zote Mungu Ni mwaminifu
Ubarikiwe nafutilia Sana maombi Yako
🙏🙏🙏🙏🙏🙏tuombeane
Mungu yupo kabisa
Amen asante mungu
Amina ubarkiwe muchungaj nimefarijika sana
Hitaji langu kuu ni kujijua baba
Mungu nirehemu Mimi mwanao maana bila wew siwezi
Ameeeen
MUNGU SI MWANADAMU
Ameen🙏🤲🤲
Ameen
Masiono namungu ❤ asante mungu kwaneema Yako yaleo😂
Iyo nikwelikabisa 😢mungu anatupenda sana
Baba nikumbuke tena natena 1:28
❤❤❤🙏
❤
Kama mimi nimejoka Maisha 😭😭😭
Emeeeen
AMEN
Amen
Amen asante mungu
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen asante mungu