KIVUMBI KWA MAJINI YANAYOWAINGIA WATU KUPITIA NDOTO, NABII MKUU AYATOA KWA MPIGO - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2020
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

ความคิดเห็น • 98

  • @josephatpetro5480
    @josephatpetro5480 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi sitasahau siku nilifika Ngurumo ya upako 18.05.10 siku ya jumanne kila kitu kilifungunga asante sana baba nabi mkuu

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimejiunganisha kupokea kwa jina layesu mapepo kwa heri iwee kwangu na family's yetu tumepokea Amen

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen, najiunganisha na madhabahu hi👈nimepokea kwa jina la Yesu👍

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 4 ปีที่แล้ว +4

    Amelitaja jina Yesu nimelisikia pia

  • @ruthmwamgunda1603
    @ruthmwamgunda1603 4 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu nimekuwa nakusikiliza sana naomba mungu nipe nauli nifike nikuone baba walau nipone mimi

  • @richardstanle4715
    @richardstanle4715 2 ปีที่แล้ว

    Amina najiunga nawee kupitia familia yangu na mtoto wangu Aamini Atapona

  • @sebastiankikoko4779
    @sebastiankikoko4779 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi sharooo sharooo kwamajina naitwa asteria mericho omary modem nimzaliwa wa kilolo naitJ no mtumishi geodiver nahitaj na maombi asante mungu akubalik san utakayo isoma mesej yangu

  • @kelvinmalowa1423
    @kelvinmalowa1423 4 ปีที่แล้ว +1

    Yea. He is a great man of God indeed. A Ministry spanning many decades in miracles and wonders.

  • @richardstanle4715
    @richardstanle4715 2 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 ปีที่แล้ว

    Àsante sana Baba kwa uponyaji

  • @magretmartin6992
    @magretmartin6992 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba kwa kazi nzuri namba

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 4 ปีที่แล้ว +3

    Najiunganisha pia in Jesus name ondoka kwng

  • @sarahadamnakintu6893
    @sarahadamnakintu6893 2 ปีที่แล้ว

    Great job man of God kweli

  • @mtoromasumbuko8979
    @mtoromasumbuko8979 2 ปีที่แล้ว

    Amen mungu afunguwe maisha yangu

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Powerful Anointing miracles

  • @exaudmungure3042
    @exaudmungure3042 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana.

  • @kamikazijesca7708
    @kamikazijesca7708 2 ปีที่แล้ว

    Natamani kuja tanzania hatakama sijawai kuja Mungu Anipe nguva

  • @gracemmari6108
    @gracemmari6108 4 ปีที่แล้ว +1

    nimepona kwa jina LA yesu

  • @williamwasonga6664
    @williamwasonga6664 3 ปีที่แล้ว

    Amen daddy

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 4 ปีที่แล้ว

    Niko mmoja wapi na amini nimepona katika jina la Yesu amina

  • @chalesnguyaine9991
    @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว

    Hakunaga kukanyaga mafuta hapa bali ni neno moja tu kwa jina la Yesu funguka amina your the real man of God be blessed

    • @esthermutinda2656
      @esthermutinda2656 4 ปีที่แล้ว

      Hi nisaidie kujua kwenye naeza muona niko Machakos

  • @janeingutia3114
    @janeingutia3114 4 ปีที่แล้ว

    Amen napokea uponyanyi katika jiana la yesu

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 ปีที่แล้ว

    Nimepokea kibali chakwenda nyumbani tanzania 🙏🙏🙏🙏

  • @jobjoseph9942
    @jobjoseph9942 4 ปีที่แล้ว

    Nifungue nami Nabii

  • @goldvilysamweli3716
    @goldvilysamweli3716 4 ปีที่แล้ว

    amen mapepo pita mbali mim mwana wa nabii mkuu

  • @damsonwillison435
    @damsonwillison435 4 ปีที่แล้ว

    Baba Asante sana kwa kudumu muwafungua/kutufungua watu wako

  • @maryfransince7038
    @maryfransince7038 2 ปีที่แล้ว

    I Trust in Your Anointing.

  • @mariambakari6693
    @mariambakari6693 3 ปีที่แล้ว

    Nimepokea kwajina la Yesu

  • @gladyjeremiah4286
    @gladyjeremiah4286 4 ปีที่แล้ว

    Amina ahsante sana babaangu

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว

    Salute you Daddy

  • @mwana3887
    @mwana3887 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa wale Hater's Ambao wanasema jina la yesu halitaji now you're Quite tafuteni reasons zingine but the time will tell the truth if this is a true servant of God

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 4 ปีที่แล้ว

      mm namfuatiliaga sana sijawahi sikia akitaja jina la Yesu kwa ukweli lazima tuseme miujiza haitubabaishi lakini anaifanya kwa mamlaka ipi??? ata shetani ana miujiaza upoòooo

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 ปีที่แล้ว

      @Glory Nguma Tatizo la watu wengi sasa hivi wanapenda sana kujudge bila hata kumfutilia mtu na biblia inasema usihukumu ili nawe ukahukumiwa

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 4 ปีที่แล้ว

      @@mwana3887 emu nitoke hapa usijui umenitokea wapi hamtaki kuambiwa ukweli ukiambiwa ukweli mnapanic mtaka mdanganywe mpaka akili zenu zimekuwa mgando lini Huyo nabii wenu umemsikia akiombea kwa jina Yesu alisema mtatoa pepo kwa jina langu na yyte atakaniamini atafanya kazi kama ninazifanya mm tena kwa zaidi ya hizi" unalijua Neno.ww unafuata tu mkumbo hapo amesema asante full.stop.lakin kwenye kuombea hatumiag jina la Yesu kama umekubali kudanganyika ni ww na upumbavu wako usitulazimishe kumuamini hata shetani ana miujiza bado sijaona cha ajabu anachokifanya!!!

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 4 ปีที่แล้ว

      Umewah kuona mtu amepagawa na pepo? Pepo husema nataka kumuua, nataka asifanikiwe..nataka asizae...lakin tunachosikia ni sauti ya mtu na tunaona mdomo wa mtu...,...kwahyo tunajifunza kuwa mtu akiwepo rohoni ata kama tunasikia saut ake na kuona mdomo wake ila anayeongea si yeye ni ile Roho, Roho mtakatifu ni Mungu, akiwepo ktk utendaj ni Mungu independently, So Mtu wa Mungu akishaingia rohoni Anachotamka yeye ni Roho mtakatifu ametamka, ukishaijua shule hiyo haitakupa tabu, Yesu mwenyewe alikiri ametumwa na Baba wa Mbinguni, pita kote ktk biblia saa aliyokuwa akiwafungua watu, saa aliyokuwa akiwasiliana na baba yake na kuliita jina la baba yake ni mliman ktk maomb, alipokuwa ktk huduma alikuwa anatamka tu na wayahud walipomsumbua kuwa anatoa pepo kwa belzebuli yeye aliwaambia waz nafanya haya kwa Roho mtakatifu. Mi nazan kama hutujaelewa level hii , tukubal kujifunza kwanza kabla ya kukosoa tusije kuwa kama wayahudi wakat wa Yesu, 7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
      Yohana 14:7
      8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
      Yohana 14:8
      9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
      Yohana 14:9
      10 Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
      Yohana 14:10
      11 Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.
      Yohana 14:11
      12 Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
      Yohana 14:12

    • @rachelkihaka9204
      @rachelkihaka9204 3 ปีที่แล้ว

      Jamani mi namfatilia Sana jina la Yesu na lisikia Sana tu

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda baba

  • @mamymanase2405
    @mamymanase2405 4 ปีที่แล้ว

    Amen baba

  • @saldakltl7611
    @saldakltl7611 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @maryinduti9994
    @maryinduti9994 4 ปีที่แล้ว

    You are great man.

  • @janewilson8620
    @janewilson8620 4 ปีที่แล้ว +1

    OMG I can't hold my tears

  • @emmanuelmagino6945
    @emmanuelmagino6945 4 ปีที่แล้ว

    God bless me Amen

  • @agnesssprian7651
    @agnesssprian7651 4 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @rachaelwehu3197
    @rachaelwehu3197 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuku inua baba

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 Amen

  • @kamikazijesca7708
    @kamikazijesca7708 2 ปีที่แล้ว

    Nakuomba baba Na Mimi Unisaidiye Niko mbali Lakini na wafata kira mala

  • @tabbyngugu8045
    @tabbyngugu8045 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @longututitajiri1426
    @longututitajiri1426 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏿🙏🏾

  • @mathewlive1372
    @mathewlive1372 4 ปีที่แล้ว

    I connect

  • @mungaikimani3328
    @mungaikimani3328 4 ปีที่แล้ว

    the day is come when GOD himself will raise servants who will not exalt themselves but will exalt the son and the father alone'

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 4 ปีที่แล้ว

      Hapo panaitaji uelewa mkubwa sana Mungai Kimani. Kumbuka kazi zote hufanywa na Roho mtakatifu, Roho mtakatifu ni Mungu, akiwepo katika utendaj wake anafanya kazi zake independently kwa Kuwa ni Mungu. Hebu chukua mfano mtu aliyepagawa na pepo alafu tunamsikia anasema , mimi ntamuua huyu, nataka kumuua.....Swal? Je anayeongea ni yule muhusika au ni pepo lililomo ndan yake, ikiwa kwa mfano huo mdogo, je mtu wa Mungu akiwa katika Roho akatamka NAKUFUNGUA, ni yeye au ni Roho aliyepo ndani yake? 7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
      Yohana 14:7
      8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
      Yohana 14:8
      9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
      Yohana 14:9
      10 Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
      Yohana 14:10
      11 Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.
      Yohana 14:11
      12 Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
      Yohana 14:12

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 4 ปีที่แล้ว

      7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
      Yohana 14:7
      8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
      Yohana 14:8
      9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
      Yohana 14:9
      10 Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
      Yohana 14:10
      11 Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.
      Yohana 14:11
      12 Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
      Yohana 14:12

    • @mwana3887
      @mwana3887 3 ปีที่แล้ว

      @Kaka Nicodemus BRILIANT💪💪👍👍👍👏👏👏 ANSWERS WATAELEWA TUU NI SUALA LA MUDA KWA SABABU WATU WAMEKAA SANA KWENYE MAKANISA HAYA AMBAYO MANABII HAWAPO KWA HIYO WATAJIFUNZA TARATIBU MPAKA WATAUJUA UKWELI KAMA WANA NIA YA KWELI NA NJEMA YA KUMJUA MUNGU

  • @saldakltl7611
    @saldakltl7611 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏👏👏👏

  • @sebastiankikoko4779
    @sebastiankikoko4779 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaj md

  • @esthermutinda2656
    @esthermutinda2656 4 ปีที่แล้ว

    Waumini nipeni direction nikamuone BABA

  • @arrfamush3285
    @arrfamush3285 3 ปีที่แล้ว

    Nafunguluwa na Mimi kwa jina layesu

  • @sullecom
    @sullecom 4 ปีที่แล้ว

    Saanteee baba

  • @jobjoseph9942
    @jobjoseph9942 4 ปีที่แล้ว

    Nabii huyu Wapi anapatikana

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว +2

    Muvi zinaendelelea

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว

      Siku ukikutana na huyu mtumishi usisau pia kusema ni movi yani unadhubtu kusema kazi ya Mungu ni move du

    • @mwana3887
      @mwana3887 3 ปีที่แล้ว

      Kama ni muvi pia wewe unaweza ukatengeneza muvi fanya muvi kama hizi kama 10 alafu ukifanikiwa kushawishi watu na kuwakusanya wafikie kama umati kama huu nami ntakuunga mkono kuwa kweli hii ni muvi

  • @rmmedia3288
    @rmmedia3288 4 ปีที่แล้ว

    Ili kupata maelekezo Juu ya Huduma Ya Ngurumo Ya Upako piga simu namba; +255784315191 au +255754315191 au +255715315191

  • @jasminramadhan8140
    @jasminramadhan8140 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba muwe mnaweka namba tuliombal tuweze kupata huduma na sisi😭😭

  • @sarahnashon9070
    @sarahnashon9070 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Baba

    • @anethalfred29
      @anethalfred29 4 ปีที่แล้ว +2

      Baba naumwa mguu,nisaidie,naniko mbali,napokea katika jina LA yesu

    • @bambuguyasamuel3107
      @bambuguyasamuel3107 4 ปีที่แล้ว

      Hakika ningemwona mtumishi wa MUNGU Geodavie

  • @agneshumry422
    @agneshumry422 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba maelekezo huduma zinapatika wapi naamini ntapona

    • @agneshumry422
      @agneshumry422 4 ปีที่แล้ว

      Arusha kisongo

    • @rmmedia3288
      @rmmedia3288 4 ปีที่แล้ว

      Ili kupata maelekezo Juu ya Huduma Ya Ngurumo Ya Upako piga simu namba; +255784315191 au +255754315191 au +255715315191

    • @alexzabron7541
      @alexzabron7541 3 ปีที่แล้ว

      @@rmmedia3288 hakuna mafuta ya upako hapo Kuna jambo

  • @veronicakioko7393
    @veronicakioko7393 4 ปีที่แล้ว

    Natamani nifike uko nipate mgurumo wa upako

  • @aminarumanyika628
    @aminarumanyika628 4 ปีที่แล้ว

    Kwani kwenyeili kanisa hakunaga yesu mbona sisikiagi kuomba kaz mnayo

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว

      Kma ww ujaskia akitaja me nmeskia

    • @salmagungurugwa6854
      @salmagungurugwa6854 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina Rumanyika mm ni muislam lkn nimemuelewa sana huyu baba hataji jina la yesu kwa sababu ni binadam km yy Na ndomaana anataja sana jina la mungu Na si yesu Na ndio maana tunaambiwa kila Jambo mtegemee mungu

    • @aminarumanyika628
      @aminarumanyika628 4 ปีที่แล้ว

      @@salmagungurugwa6854 YESU siyo mwanada atakidogo sima analiogopa kwasababu linatisha ukilitaja mapepo yanatoloka

    • @boniventuremarrirey6930
      @boniventuremarrirey6930 4 ปีที่แล้ว

      Rumanyika usiteseke tuachie huu mzigo but kama unaamini bible soma 14:12

  • @mwajejasson6995
    @mwajejasson6995 4 ปีที่แล้ว

    Natamani kufika hapo kasongo hemani

    • @n.y.uprayerline5775
      @n.y.uprayerline5775 4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana piga namba 0784315191/ 0754315191/0715315191 kwa maelezo zaidi

    • @evalinekageha1130
      @evalinekageha1130 4 ปีที่แล้ว

      Wanaongea vibaya juu yko mungu wa mbinguni awasamehe Nabii

    • @liberathalaurian8066
      @liberathalaurian8066 4 ปีที่แล้ว

      Nina shida ninaomba kuongea na nabii mkuu

  • @enockchaula6292
    @enockchaula6292 4 ปีที่แล้ว +3

    🙄🙄Mmh nataka nikufungue siyo yesu amfungue ,,,,,,,,,,,,,,aya bwana,

    • @joycemwaipaja4618
      @joycemwaipaja4618 4 ปีที่แล้ว +2

      Haaaa haaaa mpaka rucifer anaelewa mamlaka niliyonayo mmmmm

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว

      Petro alimwambia mtu unataka nikufanyie nin sio unataka yesu akufanyie nn,,hapo petro anatambua mamlaka yake kwa hyo mkosoe pia na petro

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @denismoshi3730
    @denismoshi3730 4 ปีที่แล้ว

    Amen daddy

  • @ushindieliya278
    @ushindieliya278 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @edithwaweru2022
    @edithwaweru2022 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @MariaMaria-gq4kd
    @MariaMaria-gq4kd 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @emmanuelmollely1538
    @emmanuelmollely1538 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @emilysamba4539
    @emilysamba4539 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @veronicakioko7393
    @veronicakioko7393 4 ปีที่แล้ว

    Amen