Napendezwa na mchungaji.huyu. sana.napenda kuambia watu ukweli wa Mambo lakini wanaumwa.injili lazima iende sawasawa.maadili yatunzwe.wape dizi baba.ubarikiwe.
You all probably dont give a damn but does someone know a way to get back into an Instagram account?? I was dumb lost my password. I appreciate any tips you can give me.
Nabarikiwa sana nafundisho yako mchungaji
Ameeeen amenn baba unanifunza mengi sana na pia unasema ukweli wa maisha halisi mungu akutunze na akulinde
Akika muchugaji mungu anakutumia sana ubarikiwe sana kwa ujumbe
Napendezwa na mchungaji.huyu. sana.napenda kuambia watu ukweli wa Mambo lakini wanaumwa.injili lazima iende sawasawa.maadili yatunzwe.wape dizi baba.ubarikiwe.
Nakukubali mchumgaji mgogo
Mungu akubarilki kwa huduma kama hii ulio pewa
Nabarikiwa .....Navuka....Najifunza Upya kwa Huyu Baba...Naongeza na siku za Kuishi kwa kucheka hukohuko😂😂😂😂😂
aaaaaaaaamen....yani mimi sio mkristo lakini kwa mahubiri yako mimi ningekuwa karibu na kanisa lako ningehudhuria...real life i say!!!!!!!
Jamaa anafundisha vitu muhimu sana aisee
Karibu
Amin mtuishi uko vizur
Asante mchungaji maneno yako mengi mazuri yanafundisha
Natamani kwenye harusi yangu
Usikose Mungu akipenda
Nyundo imetua kwa msumari sawasawa ubarkiwe sana
Japo sio mkristo, lakini kwa jinsi ninavyofatilia mafundisho ya huyu mchungaji...
Natamani siku moja nionane nae japo nimpe hongera!!!
Mchungaji mungu akubariki unaongea vitu ambavyo vipo wazi
Natamani kwenye halusi yng uwepo mchungajiii
Asante sana Mchunganji #Daniel #Mgogo kwa kutuletea ujumbe huu wa maana sana.
barikiwa
Asante mchungaji nimekubali mahubiry yako ubarikiwe
Mapaji yarohomtakatifu yanakuhusu... Aminaaa.
Mungu akubariki mchungaji mpaka natamani kuja kanisani kwako
Sana maan haya maubirii hayachagui dinii waallah ukweli kabisa
Mume Wangu njoo usikilizee duh
Mafunzo mazuri mchungaji
Hakika...umeturekebisha... Be blessed
Nimefurahi sana na mungu aendelee kukufunika kwa uweza wake
Mungu akubaliki sana mtumishi tumabalikiwa sana
Nmefundishika Barikiwa sana pastor
Ameni mchungaji! Wanaume wengi hawajui hilo asanteeee.
Amen pastor napenda sana mahubiri yako God bless your ministry
barikiwa mchungaji.mie ninakukubari
Amen
Amen barikiwa sana mchungaji
barikiwa mtumishi wa mungu
Amen God bless you man of God
Nimebarikiwa sana mchungaji
Jamani mungu akubariki baba
Nipenda mafundisho yako,Siku moja nitakualika Kenya ufundishe kanisani
Amen aje kenya kweli atufunze pia
Apo kwenyewe yupo kenya
unatisha mchungaji
Nimafundisho yamaana mungu uwe nami
Amen Amen
Amen mtumishi
asante sana mchungaji maneno mazuri sana
haleluhya hallelujah hallelujah mungu akubariki sana my bro
Mungu akubariki Baba Mchungaji.
Kupitia haya mahubiri nimejiambia mwenyewe “I wish ningekuwa nimeoa ningefuatilia huu ujumbe pamoja na mke wangu"
shika sana ulicho pewa na mungu
Asante mchungaji mungu akubaliki sana
Keep up with the same spirit man of God from Zambia
he is from Tanzania not zambia
Mungu akubariki sana Mchungaji
mwanga72 wat are you talking about u
@@mwanga723 we vp mbona kichwa kigumu
Kitabu gani kimeandika ivyo
Tupe mxee wa doze tupone baba kibali unacho!!
Sisi masikini jeuri, nyota yake ndio imekung'arisha tuwache kiburi
Chales check
Am blessed
Big up the man of God
Be blessed more mchungaji 🙏 truth about life
Wanatusahau sana hawa wa baba tena wanapo staafu wanatukatia mawasiliano wanasomesha vibinti ,wanatudharau wanakuwa wa kali ili usimuulize chochote.
Wewe ni mchungaji unae jitambuwa sana tu
Sanaaaaaa
Heheeee...kweli
Waa mafunzo mazuri sana
Kama ulikuwepo baba semaaaaa
Nena baba, tupone
Asante baba
chales chake
Ameen
Akishao tu amekua mlemavuuuu
Amina sna dr love mgogo
Ahsante mchungaji
Goood...
Amen pasi ktoka kenya
No huyu nimtanzania
God bless
Fyuzi zimekata, hahahaha
Mimi mume wa mtu, nafuatlia kimya kimya.
ubarikiwe
Truth will set you free.
Oooh Yes well said
Apo sawa
Mchugaji MGOGO APO SAWA
Mung azidi kukubaliki
Amen be blessed pastor
You all probably dont give a damn but does someone know a way to get back into an Instagram account??
I was dumb lost my password. I appreciate any tips you can give me.
@Cristian Jeremy instablaster :)
Akisha OA anakuwa kiwete,, hahaha
The full sermon or which book was the pastor reading
Kweli kabisa
God bless you pastor
Nice teaching
Ameeen
good
Kwa wanaume wa dar wakusema ivo washakufa ukute yupo chimbo
Open teaching bila chenga
Amina
Mungu akubariki mtumushi
Seeeemaaa seemaa baba watu waponee😂😂😂
TUPONE
Lucy Zakaria amina
Good
Nikweli
Kweli
Maarifa ni mtani
Haaa haaaaaaaaa ameniiiii
Hahahahahaaaaa....!
ahahahahah. nakupenda bureeeeee Mtumishi Mungu akubariki sana
Wambie tupone hao wanaume
😀😀😀😀😀😀😀
Safiii sanaaaa
Hahahaaaaaaaa
Amen toboa
Mafundizo matamu dadi
Unakuja lin mwanza jmn
Eliyona kimario