RC MAKONDA ALILIWA NA WANANCHI WA ARUSHA | AWAPA MAOMBI MATAKATIFU LIVE | KILA MTU ATAPATA HAKI YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @user-kx2qy4oc4l
    @user-kx2qy4oc4l 4 หลายเดือนก่อน +19

    One love from Kenya,,makonda oyeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-gv8yn9lg1i
    @user-gv8yn9lg1i หลายเดือนก่อน +2

    Kaka yangu MAKONDA una kipaji cha uongozi, mungu akulinde sana ❤❤❤

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 2 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda you are really leader, you deserve the congratulations

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 4 หลายเดือนก่อน +9

    Natamani kutuma voice lkn haiwezekani. Hongera sana Rais Samia kwa kutuletea Mh Makonda Mungu awalinde makonda oyeeee

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu umuone makonda huko aliko nyosha mkono wako, mpe afya NJEMA, damu yako kuu isimame juu yake KUANZIA kichwani Hadi kiguuni.Amen

  • @kingelieshabani7235
    @kingelieshabani7235 15 วันที่ผ่านมา +1

    Simamia haki Paul Makonda pamoja na Mungu uliye mwamini.na fatilia maneno yako sanaaa na una kuwa ukini bakiri sanaaaa mahali na patikana.na omba Mungu akusimae katika yote mm ni mkongo ila naku kubali sanaaaa PAUL MAKONDA tenda kazi,tenda haki,na MUNGU ATAKU LINDA.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EmanuelStart-jd1vr
    @EmanuelStart-jd1vr 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi naona tukupe nchi ,ili wananchi wote wapate haki zao salute❤

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 4 หลายเดือนก่อน +4

    ❤️ ALHAMDULILLAH❤️ mollah akupe afya njema kamanda makonda Inshallah

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 3 หลายเดือนก่อน +2

    The best speech ever since independence in Tanzania

  • @user-sc1gx5zi8i
    @user-sc1gx5zi8i 4 หลายเดือนก่อน +5

    Dah mh. Sina mengi.
    Mungu akulinde na akuongoze.
    Leo wanaalusha wamepata NURU.

  • @khamisjuma1278
    @khamisjuma1278 3 หลายเดือนก่อน +3

    I can see now how you fit in magufuli's shoes now please follow his foot steps. God bless you

  • @MelauMkela
    @MelauMkela 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki kiongozi shupavu hakika unafuata nyayo za magu kila jambo unamtangiliza mungu hata name nikiangalia hii video machozi yananidondoka tunakuombea uwndelee kusimama vzr

  • @kwadumikomaenterprises1131
    @kwadumikomaenterprises1131 4 หลายเดือนก่อน +3

    makonda wewe ni mzalendo kweri na sio mnafiki ni msema ukweri makonda wewe unaonekana na wewe umepitia katika maisha magumu na ndo maana unahuruma sana mungu akuongoze ni kweri kuna baadhi ya watu walio pewa mamlaka wanajisahau sana wakipewa hayo mamlaka mdogo wangu makonda pambana mungu atakulinda na sisi wananchi tunakuombea sana na kwa haya unayo yafanya akuna atakae fanya lolote baya kwako mungu atakulinda mda wote tupo pamoja na wewe tupo nyuma yako makonda

  • @user-dp6wg8fs6x
    @user-dp6wg8fs6x 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika ni kazi zuri Mungu akuongoze daima makonda

  • @HAPPYSULE
    @HAPPYSULE 4 หลายเดือนก่อน +12

    Niombe hutuba hii rais ahutubie hiivohivo siku moja, hii hutuba imeungana na hutuba bora kabisa toka uhuru mwalim baba taifa mwinyi mkapa kikwete kamanda magufuli na mama sasa, amina mkuu wa mkoa makonda barikiwa sana, haki ndio kila kitu pasipo haki upendo hakuna na bila upendo kazi bureee, Yesu tupiganie watanzania.

  • @GeofreyMollel-jl8qd
    @GeofreyMollel-jl8qd 4 หลายเดือนก่อน +7

    Makonda mdogoangu umetisha chadema chaliie piga kazi shemejiangu

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda mkombozi wa wanyonge, Mungu akubariki sana.

  • @user-xz4gp6mw6w
    @user-xz4gp6mw6w 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akulinde pande zote mkuu ❤

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 4 หลายเดือนก่อน +33

    Hivi makonda akigombea 2030 utampa kura yako? Nijibu kwa like

  • @EliwadaKikoti
    @EliwadaKikoti 27 วันที่ผ่านมา +1

    Nko tayar hata aitwe Leo rais nampenda sana mungu nipe mume wa kisukuma nawapenda kwakwer

  • @AmosiLazaro-i5i
    @AmosiLazaro-i5i 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mhe rc makonda nakukubali sana

  • @fredykephacy5166
    @fredykephacy5166 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mh makonda kuna siku atakuja kuwa waziri mkuu by Mr Kephacy tz namtabiria

  • @salumrashid5329
    @salumrashid5329 4 หลายเดือนก่อน +6

    Great son of GpM

  • @user-cg3px3fc2q
    @user-cg3px3fc2q 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aliyekurudisha kati yetu akulinde mchana na usiku makonda simamia haki za Wana arusha

  • @ChachaNyabare
    @ChachaNyabare 4 หลายเดือนก่อน +6

    Daah makonda nakupenda mpka basi

  • @christinastephen8492
    @christinastephen8492 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakutukuza Yesu❤

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akuongoze makonda kwa kazi nzuri

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde mheshimiwa

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akuinue zaidi na zaidi mheshimiwa

  • @VictorEmmanuel-e9f
    @VictorEmmanuel-e9f 21 วันที่ผ่านมา +1

    Vile Makonda ni mchungaji? Ubarikiwe kaka yetu

  • @Ede184
    @Ede184 3 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa Ndgu makonda Mimi Siyo Mu Tz Rakini wa Africa wanao penda haki, tuko pamoja nawewe tutakuombea uzidi kusonga mbere bira vikwazo vyovyote.

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nampa

  • @SesiliaCheyo-t6w
    @SesiliaCheyo-t6w 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubari kaka angu

  • @sholeMasaka-eo5yf
    @sholeMasaka-eo5yf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz iedelee makonda

  • @elimenson3150
    @elimenson3150 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hi,serikali inawatetezi wawili tu wawananchi ambao ni makonda silaa,kwisha

  • @EmanuelStart-jd1vr
    @EmanuelStart-jd1vr 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa mkuu salute you ❤❤❤❤

  • @TheKaswahili
    @TheKaswahili 15 วันที่ผ่านมา

    Hongrra sana RC.Mskonda

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tupate wapitu Mtu km huyu mwenye Roho Wa Mungu????

  • @nabiigsevenmwasomola
    @nabiigsevenmwasomola 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutunze zaidi kwa hili

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz หลายเดือนก่อน

    Naomba mkuu unitete ,.nimeishi kwenye eneo miaka 33 lakini bado Sina haki ya kumiliki nikiitaka kujenga nazuiwa Naomba naomba Naomba hati miliki kwa Jina la Yesu.

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi MUNGU akupe afya na uzima. Uwasaidie maskini wanaoteseka kwa haki. Lipo jambo kubwa linakuja mbele yako Makona.

  • @imanimwandosya370
    @imanimwandosya370 4 หลายเดือนก่อน +4

    Unaongea mpaka watu wanalia, ujumbe mzito

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu akulinde hakika wewe. Umetumwa na mungu kutetea wanyonge

  • @bensonharrison544
    @bensonharrison544 หลายเดือนก่อน

    Kwa kuwa inaonekana kabisa intention zako ni real.. basi Mungu akulinde na akupeleke mbali zaidi katika maisha yako ya uongozi…✍🏿

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sijuti kabisa kwa Bando hili kwa Hutuba hii fupi ya Makonda Mungu amlinde naamtunze maana Huyu Makonda Ni Tanzanait inayo paswa kutunzwa sana Maana ikipotea tutakua tumepoteza sana

  • @immangosi5002
    @immangosi5002 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sawa mwaba nimekuelewa

  • @EniathMtweve-lg4bp
    @EniathMtweve-lg4bp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia tunakuomba umuongezee nguvu mheshimiwa makonda

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda ww ni chaguo la mungu

  • @user-tm3dx2ey7j
    @user-tm3dx2ey7j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Utatufikiaje watanzania wote makonda dah Arusha mungu amewaona

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 หลายเดือนก่อน

    Mungu angalia watu wanavyolia juu ya haki zao lkn hakuna mtetez wao je mwanao makonda Yuko kazin lkn kwasasa hatumuoni Mungu simama juu yake. Binafs tetesi zilizopo sijazipenda, naamini hakuna anawexa zaidi yako Mungu, Muponye Muponye Muponye eee Mungu Wa mhinguni

  • @saulocharles9306
    @saulocharles9306 4 หลายเดือนก่อน +4

    Manenoyako yamenitoa machozi kabisa. Hakika MUNGU aendelee kukulinda

    • @user-xd9kw6nt8w
      @user-xd9kw6nt8w 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi we unataka awe rais apite hivi mapema kama kamanda magu?

  • @latifakikoti9808
    @latifakikoti9808 19 วันที่ผ่านมา

    mungu wetu niwewe bwana tunaomba umlinde makonda na familia yake

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 4 หลายเดือนก่อน

    Ukimuona Binadamu wa haina yakiume analia ujue anapitia magumu ambayo teal yanafungua machozi Hongera mama Samia Hongera Makonda Inaumiza sana

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 4 หลายเดือนก่อน +2

    Rushwa nchi hii ndo inasababisha watu kukosa haki

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 2 หลายเดือนก่อน +1

    ,wakuu wa mikoa wote wamuige makonda wanyonge wapate haki zao

  • @SliviajohnsimbaMarium
    @SliviajohnsimbaMarium 21 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Rais po makonda tunakupenda sana Baba Unahofu ya munqu.Munqu Akupe Maisha marefu.

  • @HassanKabelwa
    @HassanKabelwa 20 วันที่ผ่านมา

    Tanzania sasa tulivu baada ya watanzania kuhakikisha makonda yupo maneno ya mitandaoni yalileta taharuki miongoni mwa watanzania mungu ibariki tanzania

  • @imranhassan9994
    @imranhassan9994 4 หลายเดือนก่อน +4

    🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    👉Jamani huku kwetu kenya mbona hakuna neema hizi...
    🇹🇿 Maana Tanzania kuna MAKONDA WA HAKI...
    🇰🇪 Kenya yetu nayo MAKONDA NI WA MAANDAMANO...
    🇹🇿 MAKONDA WA TANZANIA Kavalia Hekima Kichwani...
    🇰🇪 MAKONDA WA KENYA Kavalia Sufuria la mtori Kichwani...
    😒😡😡 Afadhali nikawachunge tu mbuzi wangu wasile mahindi...

  • @ChachaNyabare
    @ChachaNyabare 4 หลายเดือนก่อน +3

    Rais tunaomba umpe wizara makonda mkoa ni mdogo sana enywey

  • @DaudiJumaShauritangaMsisi
    @DaudiJumaShauritangaMsisi 19 วันที่ผ่านมา

    Amani na utulivu vitawale Ili Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania na Amani ya kweli vipatikane,Keri zitatuliwe Mh,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Mh,mkuu wa mkoa wa Arusha hoye!.

  • @CalysterMbonde
    @CalysterMbonde 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ukitaka kumuona unampataje jmn uyu kiongozi Wapendwa?

  • @DaudiJumaShauritangaMsisi
    @DaudiJumaShauritangaMsisi 19 วันที่ผ่านมา

    Pamoja na kazi nyingine,Wakuu wa mikoa wasikilize Keri za wananiletea Ili Haji zipatikane za migogoro mbali mbali.kwani wananchi wa Kila mkoa Wana Keri zao.

  • @MOHAMMEDABDI-lb7yp
    @MOHAMMEDABDI-lb7yp 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mweshimiwa mungu Yuko na wewe

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 18 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤ Amen

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 3 หลายเดือนก่อน +1

    @jak 2030 Mimi nampa kura zangu

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubal xan kaka paulo

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rais wa Alusha oyeeeeeeeeeee

  • @ProsistaTarimo
    @ProsistaTarimo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wa heri wale wanaopigania haki maana ufalme wa mungu ni wao

  • @ShaphyJamaly
    @ShaphyJamaly 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ great one

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 4 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani kuandika lkn naishia😢😢

  • @ImaniNyondo-uu2fi
    @ImaniNyondo-uu2fi 4 หลายเดือนก่อน

    Oyaah we umetisha sana bro

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni wazi kuna dhulma nyingi watu hadi wanalia

  • @user-ru1yk6tc7w
    @user-ru1yk6tc7w 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa kaka

  • @NGUSSAPAULO-ll6gm
    @NGUSSAPAULO-ll6gm 4 หลายเดือนก่อน

    mungu akulinde kwalolote

  • @DaudiJumaShauritangaMsisi
    @DaudiJumaShauritangaMsisi 19 วันที่ผ่านมา

    Amani na utulivu vitawale Ili Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania na Amani ya kweli vipatikane,Keri zitatuliwe Mh,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Mh,mkuu wa mkoa wa Arusha hotel!

  • @benardpeter3562
    @benardpeter3562 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mkuu

  • @noelkisonga5534
    @noelkisonga5534 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi tunakuona una kitu na utatufaa

  • @user-zk6hl8fe1s
    @user-zk6hl8fe1s 29 วันที่ผ่านมา

    Ok jaman

  • @ProsistaTarimo
    @ProsistaTarimo 4 หลายเดือนก่อน

    Haki huinua taifa. Mungu akutangulie kaka.

  • @CharlesKaboto-ne2xy
    @CharlesKaboto-ne2xy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii maombi ilikua sio mcheze sisi tuliokuwepo tuliona kimbunga chake

  • @user-vf5gs7ik7w
    @user-vf5gs7ik7w หลายเดือนก่อน

    Huyu yupo mzima wa Afya bali yupo ktk maombi yakufunga nakuomba

  • @mazikungusa
    @mazikungusa 3 หลายเดือนก่อน

    kweri huyu makonda ndo raisi wa wakuu wa mikoa yote Tanzania

  • @ramahawai3430
    @ramahawai3430 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu alindwe jamani. Mtetezi wa wanyonge…….salamu kutoka USA.
    Makonda nakukubali

  • @MelauMkela
    @MelauMkela 20 วันที่ผ่านมา

    Hata akigombea 2025 kura zote ni zako

  • @nyipindamlimited1629
    @nyipindamlimited1629 3 หลายเดือนก่อน

    Kikweli makonda ni kiongozi na anaweza kikamilifu kabisa

  • @GeofreyMollel-jl8qd
    @GeofreyMollel-jl8qd 4 หลายเดือนก่อน +2

    Piga kazi shemejiangu ww ni tingatinga

  • @christinamselle4490
    @christinamselle4490 18 วันที่ผ่านมา

    Ni yeye kweli, hizi siyo clip za siku zilizopita?! Makonda umerudi kweli???

  • @FranceMwanjala
    @FranceMwanjala 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @NGUSSAPAULO-ll6gm
    @NGUSSAPAULO-ll6gm 4 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏

  • @MudikaonekaKaoneka-cg9kh
    @MudikaonekaKaoneka-cg9kh 4 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏♥️♥️

  • @AmiriJuma-pp2xf
    @AmiriJuma-pp2xf 4 หลายเดือนก่อน

    makonda tunakuomba ugombee ulais tunakupa kula za kutosha fom tunakuchukulia sisiwenyewe wanainchi gombea ulais tunaimani na makondo

  • @KlaraUlomi
    @KlaraUlomi 4 หลายเดือนก่อน

    Ndyo

  • @juliethmoshi2923
    @juliethmoshi2923 4 หลายเดือนก่อน

    Pigania haki za wanyonge kaka yanguu

  • @MshauriMoyo
    @MshauriMoyo 20 วันที่ผ่านมา

    Mtu mwenyemakarama yake

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 4 หลายเดือนก่อน +1

    hizo ni siasa tu hatakama kweli watu watasaidika swali ni je watendaji waliopo ni wala rushwa kutoka sisisem

    • @nicolasaugustino8449
      @nicolasaugustino8449 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kwaio kama mambo ya siasa watu wasisaidiwe?

    • @simonmadiba2053
      @simonmadiba2053 4 หลายเดือนก่อน

      Dhulma haina chama

    • @maduhuelias9813
      @maduhuelias9813 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera ndugu unaonekana hujapitia changamoto ndio maan unasema hivyo

    • @maduhuelias9813
      @maduhuelias9813 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera ndugu unaonekana hujapitia changamoto ndio maan unasema hivyo

    • @user-fb6dh6sz2g
      @user-fb6dh6sz2g 4 หลายเดือนก่อน

      Jamani akili za watu wengine mmmh

  • @user-yc1tm4hp4n
    @user-yc1tm4hp4n 4 หลายเดือนก่อน

    Watumishi wa serikali ndio chimbukubwa la dhulma

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mapichapicha ya Masisiemu bwana!Mahakama hazina kazi tena?😂 👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

    • @nicolasaugustino8449
      @nicolasaugustino8449 4 หลายเดือนก่อน

      Kama binadam wameshindwa kufuata amri za Mungu ndani ya vitabu vyake, itakua hio katiba ya wanadamu?

    • @ikokijuma-zv7wd
      @ikokijuma-zv7wd 4 หลายเดือนก่อน

      Sio hazina kazi haztendi haki kwa wakat acha majungu fanya kaz

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda, sio kweli SSH hataki dhuluma. Kumbe kile kinachofanyika kwa wamaasai juu ya ardhi yao na mifugo yao, sio dhuluma? Ni haki, sio?
    Je utekaji na kupotea kwa watu, sio dhuluma?
    Je ni hajui? Mbona hakemei kama Rais?

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuinue zaidi na kukubariki zaidi na zaidi mheshimiwa