MAMA AMTABIRIA MAKONDA KUWA RAIS AJAYE ''AKITOKA MAMA SAMIA UNAFUATA WEWE''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #ikulumawasiliano #ikulu #ikulutanzania #ikuluzanzibar #wizarayamadini #wizarayakilimo #wizarayahabari #ahmedally #alikamwe #yanga #yanganasimba #kariakooderby #youngafricans #simbasc #mwalimuyanga #hajimanara

ความคิดเห็น • 69

  • @dottocharles-rw7mi
    @dottocharles-rw7mi 6 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda Mungu akulinde daima ukupe maisha marefu zaidi,
    Ukweli kutoka moyoni nakukubali sana💯✅

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 3 หลายเดือนก่อน +22

    Hakuna ubishi rais 2030
    Tunakuommba
    Mama samia muandae huyu jamaa

    • @HamisLuhomwa
      @HamisLuhomwa 28 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO 26 วันที่ผ่านมา

      Kabisa

    • @user13375
      @user13375 12 วันที่ผ่านมา

      Aondoke

  • @ivomalenge1452
    @ivomalenge1452 6 วันที่ผ่านมา

    Hongera comredi mkuu wa mkoa arusha , endelea kutetea wanyonge mkuu, ndiyo silaha pekee ya kuikomboa nchi hii,

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wapo vijana wengi wanafanya vzr akiwemo makonda, kuna aweso aweso, jerry slaa, ally happy,

  • @msalice4451
    @msalice4451 27 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤❤❤ILA mm dada yako NAKUPENDA SANA kutoka moyoni MUNGU AKUTUNZE KIPENZI CHA watu❤❤❤❤❤❤

  • @gilbertkyomo6011
    @gilbertkyomo6011 22 วันที่ผ่านมา +2

    Nakupenda makonda wangu Mungu akujalie mema

  • @NgunoSangano-j2q
    @NgunoSangano-j2q 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hata me nakutabiria makubwa hakika tunajivunia kuwa na kiongoz mkwer na muwaz mungu akusaidie

  • @ivomalenge1452
    @ivomalenge1452 6 วันที่ผ่านมา

    Napenda sana unavyotatua migogoro mbalimbali, popote uendapo mkuu unafiti chapa kazi kaka tunakuombea kwa mungu akuepushe na wahuni kama waleeee???????

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss 12 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi namuombea hivo makonda kwa sababu tuna kupenda sana afilika nzima wanaokuchukia kazi wanayo❤

  • @mohdsaid8744
    @mohdsaid8744 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kiongozi ni Mzuri sana Kiongozi anaejali wanyonge si rahisi kuwapata viongozi kama hawa si rahisi kuwapata

  • @HarunaGardenGoa
    @HarunaGardenGoa 29 วันที่ผ่านมา +2

    Kura yangu naitunza kwa ajili Yako ila Kwa uadilifu wako na juhudi za kutetea wonyonge mafisadi hawatakupenda watakutafia zengwe au kukuroga in Jesus name hawataweza

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 26 วันที่ผ่านมา +1

    Amina amina my dear i❤u much

  • @BuludaSuyi
    @BuludaSuyi 23 วันที่ผ่านมา +3

    Makonda unaupiga mwigi❤

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 25 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂 kesi hadi mahusiano waoo makonda
    MUNGU nitunzie makonda😅😅😅

  • @FloraNyamakababi
    @FloraNyamakababi 15 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani ccm mteueni makonda awe rais nchi itanyooka,mama mwachie makonda awe rsis we jipumzikir zako tu mama hii nvhi inawatu vichwa ngumu

  • @mikaelfredy1536
    @mikaelfredy1536 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu asante sana kwa kumpigania mpendwa wetu.amina❤❤❤❤

  • @ErickMpoma
    @ErickMpoma หลายเดือนก่อน +1

    Bro mungu akupe Maisha marefu na afya njema uwe raisi wa watanzania 2030 hakika mungu ni mwema

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 3 หลายเดือนก่อน +5

    Manyangau yalio ndani ya ccm hawawezi kumchagua makonda kuwa raisi wa tanzania wanajuwa ana ki umaghufuri watu watapata haki yao wengi nawao hawapendi hilo

  • @nellychamba1507
    @nellychamba1507 หลายเดือนก่อน +2

    Brother makonda ❤

  • @dannypeter4951
    @dannypeter4951 26 วันที่ผ่านมา +1

    This is our next president kubali ukatae

  • @jeremiahlukas700
    @jeremiahlukas700 หลายเดือนก่อน +1

    Shujaa Mungu alitangulia na kukuepusha na mikono ya maadui

  • @MussaSoine-c9c
    @MussaSoine-c9c 29 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda mimi nakukubali sana nakuombea kwamungu upate uraisi

  • @suzanafromomani2973
    @suzanafromomani2973 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ntalia kwa furaha mimi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🌹🌹🌹

  • @MaduaDeusi-d9u
    @MaduaDeusi-d9u 27 วันที่ผ่านมา +1

    Sema baba 😅😅😅😅😅

  • @BuludaSuyi
    @BuludaSuyi 23 วันที่ผ่านมา +2

    Anastahili kuwa rais wajamhuri yamuungano watanzania

  • @AlphaAkyo
    @AlphaAkyo 29 วันที่ผ่านมา +1

    Anafaa sana

  • @ThobiasMsechu
    @ThobiasMsechu หลายเดือนก่อน +2

    Sote tunakuombea uje uwe Rais hakika nchi hii itakuwa imempata kiongozi Bora kwa mara pili

  • @LogiruSaitabau-pm8gf
    @LogiruSaitabau-pm8gf หลายเดือนก่อน +1

    Rais ajae ngoja MAMA amalizie ataefuata ni arc makonda 💯

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 11 วันที่ผ่านมา

    Hahaha kaz ipo

  • @JosephBaltazar-m7d
    @JosephBaltazar-m7d หลายเดือนก่อน +1

    huyu jamaa namkubali sana muandae tu awe kiongozi wetu

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn หลายเดือนก่อน +1

    Namuomba MUNGU kilasiku uwe rais wetu

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 25 วันที่ผ่านมา +1

    Sipigi kura kwa wakati huu nakunzia wewe makonda😢😢😢 kuna mtu mwingine akipata nafasi anasahau kuwa katoka familia ya kimaskini ila wewe nafasi yako inawatoa watu wachozi ya furaha 🎉🎉🎉🎉maua yako mtumishi wa MUNGU

  • @selekiwande3386
    @selekiwande3386 19 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda amewakanyagia wote huyu ndio kiongoz mwanafunz aliekuwa darasan kipnd cha magufur aliefauru nakuyafanyia kaz maelekezo kwa vitendo

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 21 วันที่ผ่านมา +1

    Huo ndo ukweli asee

  • @JoshuaMeshackmelayeck-jm8jg
    @JoshuaMeshackmelayeck-jm8jg 16 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu uchaguzi usifanyikee aingiee tu

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 29 วันที่ผ่านมา +2

    Unastaili kuwa rais wengine wanafosi tu

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 11 วันที่ผ่านมา

    Mkonda tunakuombea uwe Raisi wa Tanzania 🇹🇿 Tunataka Raisi mwenye huruma na wanyonge inshallah utakuwa Raisi wetu tuh

  • @floramsacky3929
    @floramsacky3929 29 วันที่ผ่านมา +2

    Wale walio watoto wapekee kama makonda tujuane hapa

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 8 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 7 วันที่ผ่านมา

    Mwanaume ni kama roho mtakatifu Huwa hakai paspo na amani kama urikuwa humheshimu mumeo wanakuchuria wenzio

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ikwezekana agombee mwakani 2025

  • @MwambaMoses-y3z
    @MwambaMoses-y3z หลายเดือนก่อน +1

    Makonda bola uindeshe Tanzania mama akae kwanza pembeni ccm itakua pazuri

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 29 วันที่ผ่านมา

    🎉shauri yako

  • @SamweliMwazembe
    @SamweliMwazembe 6 วันที่ผ่านมา

    Hata Mimi namtabiria mazuri makonda ni mfano wa magu maneno yake yanaonesha ukweli

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kupitia CHAMA gani?

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 13 วันที่ผ่านมา

    Who passing away between my interview 😂😂😂 ihate you😂

  • @MussaNzunda-wf7qn
    @MussaNzunda-wf7qn 26 วันที่ผ่านมา +1

    💯%

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 22 วันที่ผ่านมา

    Makonda ni mchapazi mzuri,Ila Kuna shida kwenye Demokrasia na utawala Bora ni shida,Nakumbuka ya le mapambano ya Madawa ya kulevya,Akufata katiba ya nchi

  • @DaricedaniaDavina
    @DaricedaniaDavina 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka unafaaa kua raisi kabisa

  • @EsterChalale-uq4jh
    @EsterChalale-uq4jh หลายเดือนก่อน +1

    Alipo kufa magufuli nilipata taabu sababu sikua namtu wakunisaidia ninge pata namba yako ningeonana nawewe hata unipe ushauritu

  • @reganpaul8542
    @reganpaul8542 12 วันที่ผ่านมา

    MUNGU AKUTUNZE

  • @SalimaOman-hz1mi
    @SalimaOman-hz1mi หลายเดือนก่อน +1

    Ata mimi namuamini huyu makonda ata sasa ivi akiomba hulaisi tunamuamini sanasana anajua watu wamasikini napia wanyonge mimi nampa asilimia 99

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 22 วันที่ผ่านมา

    Na uchaguzi wa Ukonga alitumia polisi kuipatia ushindi CCM

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 27 วันที่ผ่านมา

    Wapo watoto wa wakubwa nao wanawania.hiyo nafasi , jee atawakwepaje hao watu mpaka afike kileleni na kuweza kugombea uraisi?.

  • @MandaiBrown
    @MandaiBrown หลายเดือนก่อน

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris หลายเดือนก่อน

    Mimi siwezi hata kuongea

  • @UssiMaulidi
    @UssiMaulidi 26 วันที่ผ่านมา

    Rais wa nyokoooo hapati Wala hatapewa

    • @bahatigewa4163
      @bahatigewa4163 22 วันที่ผ่านมา

      Makonda pekee ndio mwenye kivuli cha watanzania masikini, huyu mwamba acha tu awe Rais aisee

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 14 วันที่ผ่านมา

    Shule ya kuungaunga

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 11 วันที่ผ่านมา

      Wew meny shule ilio nyook ata kuki uwez kuwaongoz,uongoz n karama sio makaratas ya kullil darasn

  • @user-og4ox5jb4v
    @user-og4ox5jb4v หลายเดือนก่อน

    Mama pisha njia 2025 tupate magufuri mpya makonda

  • @ErickMpoma
    @ErickMpoma หลายเดือนก่อน

    6:07

  • @JoramSimion
    @JoramSimion 25 วันที่ผ่านมา

    Chukua urais makonda

  • @FILIJonasi
    @FILIJonasi 3 หลายเดือนก่อน

    27 5 202004

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naam haki usitawisha taifa na kufanya watu kuwa wenye furaha amani upendo na ushirika kwenye shughuli mbalimbali. Fanya kazi makonda hilo ndo kusudi La uwepo wako duniani uwahudumie watu
    #make Tanzania to be better place#