Sheikh Kipozeo apongeza uamuzi wa Mufti, agusia sakata la Dk Mwaka "Alifanya makosa ya makusudi"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Siku mbili baada ya Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kutengua uteuzi wa Alhad Mussa Salum kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Hilali Makarani maarufu Kipoozeo amesema alichokifanya Mufti anastahili kupongezwa.
    Taarifa ya kung'olewa kwa Alhad zilitangazwa juzi na Katibu wa Baraza hilo, Hassan Chizenga akieleza kuwa uwamuzi huo umefanyika baada ya kikao cha Baraza la Ulamaa kilichofanyika kwa siku mbili chini ya Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir.
    Hata hivyo Baraza hilo limteua Sheikh Walid Alhad Omar kukaimu nafasi ya Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
    Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi Februari 4, 2023, Sheikh Kipoozeo amesema alichokifanya Mufti kumuweka pembeni Sheikh wa Mkoa anastahili kupongezwa kwani Alhad alikuwa na makosa mengi.

ความคิดเห็น • 173

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda sana kipoozea mungu akulinde

  • @fatumakasimu6349
    @fatumakasimu6349 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amsimamie Mufti kumsimamisha mkwewe maamuzi magumu na ndio inavyotakiwa

  • @jumasalim6130
    @jumasalim6130 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Kipozeo Mwenyezi .Mungu Akuzidishie Hekima na Maarifa katika Taaluma yako..MaaShaa A. LLAH

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh kma wajua haki lazima itekelezwe mbona waipinga haki hii ilotolewa kwa talaka kupeanwa sababu waambiwa mke ukimuacha miezi mitatu tu ndoa hamna huyo doctor kamuacha mwaka nakitu ushahidi upo mlitaka azini huyo mtoto wakike mbona hiyo hamuongelei .?????

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kipozeo kawa mnafiki sana siku hizi bakwata wote hawafai na mufti wao wote maslahi mbele

  • @thabitbatenga1775
    @thabitbatenga1775 ปีที่แล้ว +8

    Alhad hana tena sifa ya uongozi

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +2

    Muombee dua tu sio kumsema hovyo mwenzako

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw ปีที่แล้ว +1

    Waambie nakina mwaipopo wasome dini wasikurupuke huu no uislaam sio ukristo wakae wasome kwanza

  • @ramadhanimussahramadhani4868
    @ramadhanimussahramadhani4868 ปีที่แล้ว +6

    Chizenga anamzaakabisa alhadi alhadi anazarau sana

    • @suleabdullah2247
      @suleabdullah2247 ปีที่แล้ว

      Alhad Musa alijijengea kibri majivuno nakauli za kebehi bilakujali anasema nanani,kifupi alijisahau acha endejifunza kwamba kuna Mungu juu ya vyoote

  • @issabakarissa9377
    @issabakarissa9377 ปีที่แล้ว +7

    Fanyenyi mambo kwakutafuta radhi ya Allah ikiwa shekh mussa kakosea mstirini huyo nimwislam

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    Inamaana iko KULINDANA katika DHAMANA za dini

  • @salimuahmedi6948
    @salimuahmedi6948 ปีที่แล้ว +4

    ki ukweli sheikh alikua kama mfalme kumbukeni kuna wkt alikua na bifu na sheikh muhamedi idiy

  • @ramadhanimussahramadhani4868
    @ramadhanimussahramadhani4868 ปีที่แล้ว +3

    Binafsi toka ateuliwe sijawahi kumuelewa nazani cheokikubwa kuliko umri kwanza hana heshima

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +12

    Ayo Makosa Kwanini Amkuyasema Uko Nyuma Zisitilini Ndimi Zenu Kwasababu Ukiona Msikitini Kuna Hazana Ya Kuita Waumini Na Waumini Wanajua Muda Wa Ibada Ujue Binadamu Sio Mungu Ukiona Kanisa Liko Na Kengele Na Waumini Wanajua Siku Na Muda Ujue Binadamu C Mungu Alipokosea Nawe Kuna Ulipokosea Kama Ni Ndoa Toeni Ufafanuzi Kuhusu Ile Ndoa Kwanini Iwe Sehemu Ya Yeye Kutoka Kwani Akuna Maonyo

    • @neemakaluwa536
      @neemakaluwa536 ปีที่แล้ว +3

      Wanafiki sana hawa, vigeu geu kama vinyonga, bendera fata upepo, watu kama hawafai hata kuitwa mashehe

    • @idrissaomba8803
      @idrissaomba8803 ปีที่แล้ว +1

      sababu hawakua wanaulizwa, kwa sasa kila sheikh anaulizwa maoni yake na sio kwamba makosa alkua hayaonekani

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว +1

      @@idrissaomba8803 mbona hawakusema Masheikh Wanafki hawa

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 ปีที่แล้ว

      @@idrissaomba8803 Daraja ya unafiki ni mbaya sana kaka usiwaite watu hivyo

    • @yusufmohamed8874
      @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว

      Alikuwa na nguvu sana ange wapoteza kusiko julikana.

  • @saidisalumu103
    @saidisalumu103 ปีที่แล้ว +3

    Safi

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 ปีที่แล้ว +1

    Duh kumbe alhadi alikuwa na maadui wengi Bila yeye kujuwa mashekhe acheni unafiki hata wewe kipoze🤔 sikutegemea

  • @kosovonaiiem782
    @kosovonaiiem782 ปีที่แล้ว +2

    Hatumtaki arudi sio mtu mzuri

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +5

    alhad Ana kiburi

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 ปีที่แล้ว

      Tena saaanaa!!!

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@twahambowe440 mtihani kweli kiongozi wa dini kama yeye kujipeleka live Kwenye mambo ya Dunia Eti. magu 5 tena , inahusu nini? kawa mwana siasa

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 ปีที่แล้ว

      Aende kwa Mashia Sasa

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@machintangachibwena5922 hahaha

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l 6 หลายเดือนก่อน

    NYIE MASHEHE WA SEREKALINI NDOMNAYOO IYUMBISHA DINI UKWELI MNAUFICHA

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +11

    Mimi binafsi sijaona kosa Lake, amefuata katiba.

    • @fazeelshomary2704
      @fazeelshomary2704 ปีที่แล้ว +2

      Kumwita kiongozi wa serikali ni zaidi ya Mtume na Nabii Issa na kuwa pia ni zaidi ya Mungu kwako ni sawa au sio?

    • @jumannemussa8281
      @jumannemussa8281 ปีที่แล้ว

      Katiba ya nn? Au din inaongozwa na katiba kaka said

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@jumannemussa8281 Kwahiyo BAKWATA haina katiba?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@fazeelshomary2704 katika clip ile watu wanayakuza Tu Mambo kwasababu zao binafsi, sheikh Alhad alifafanua vizuri Tu nini alimaanisha, na ni sahihi Kwa kweli!!

    • @kiri5807
      @kiri5807 ปีที่แล้ว +1

      Katiba gani hapo ? na dini ya kiislamu watakiwa ufate quran na hadithi za mitume . km ni sheria za kuachisha Allah hakuacha kitu ni mufti / kadhi anaachisha na sio sheikh wa mkoa .

  • @babrashabanu7073
    @babrashabanu7073 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hapo nimeelewa kumbe shehe wa mkoa alipinga kauli ya muft

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +6

    Mlikuwa wapi kuyasema hayo kabla? Unaafiq mbaya sana,,,,,,,mnafeli sana masheikh wetu!! Namheshimu sana kipoozeo lakini katika haya ninayoyaona wacha nisitafune maneno

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 ปีที่แล้ว

      Unafiki gani mtu kamuombea na dua ulitaka aseme mda gani kwenye kusema tu sio kila mda unatakiwa useme

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 ปีที่แล้ว

      Ni maoni tu anatoa mzee wangu…kila mtu akiwa anasema unafukiri mji utakuaje kaka

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulabdulathumani5992 kama alikuwa anaona Alhad alikuwa anakosea, kwanini hakuyasema hayo mwanzo , aje aseme Leo hii? ,,,,

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@abdulabdulathumani5992 dini si ndio inafundisha ukiona Jambo Baya ulikataze/uliseme?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulabdulathumani5992 tatizo kubwa la waislam ni unaafiq,,,kubali, usikubali!!

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 ปีที่แล้ว +3

    Shehe nakupendaga bule

  • @umbaliche
    @umbaliche ปีที่แล้ว

    Pamoja na mambo yote Kipozeo kwa mawazo yangu hakupaswa kulizungumzia hili.
    Mufti ameshafanya maamuzi ilitosha kukaa kimya badala ya kuanza kumdhalikisha mtu kwenye makosa aliyofanya.

  • @thabitbatenga1775
    @thabitbatenga1775 ปีที่แล้ว +6

    Nafasi zote za uongozi angeziachia ili kuweka hali ya hewa kuwa safi.kidini

  • @islandinsuranceagency8008
    @islandinsuranceagency8008 ปีที่แล้ว +1

    Unafki mbaya sana nliwahi kuona clip Hawa jamaa wakimsema dokta wakati ana ugomvi na shekh Leo wanasema anamakosa

  • @issabakarissa9377
    @issabakarissa9377 ปีที่แล้ว +1

    Unaharibu maalim

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Kabisa!!

    • @muhammadalibhaz1390
      @muhammadalibhaz1390 ปีที่แล้ว

      wewe sheikh wakati makosa yanafanyika ulikuwa wapi? unaanza kulaumu Leo wakati alhad kishavuliwa cheo ? mbwa wakati anapokuwa na meno hungata lakini wakati akiwa kibogoyo hangati wewe ulikuwa wapi wakati jamaa aliposema "wewe ni zaidi ya yesu /mungu ulikaa kimya isipokuwa sheikh Muhammad idd ndio pekee alikaripia Sasa ndio unaanza kuropoka

  • @fatumakingi9753
    @fatumakingi9753 ปีที่แล้ว +2

    Amna jipya wenu ni unafiki

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Unasema ukweli. Waumini wa kweli TUKO wengi na mawazo mbali mbali .Dini ni kitu mhimu sana katika maisha yetu. IMANI. KA M A IKITOWEKA NI BALAA. AHSANTE KWA KUMUWEKA PEMBENI.MTU KUVUNJA NDOA NA KUMUACHA MAMA ANAHANGAIKA BILA MPANGO NI BALAA. JE WATOTO WATAISHIJE MBELENI.VUNJA VUNJA NDOA BILA MPANGILIO KWA MAMA NA WATOTO NI BALAA

  • @fatmaamin3848
    @fatmaamin3848 ปีที่แล้ว +2

    Masheikh twaelekea wapi

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 ปีที่แล้ว

    Mm naskitika wakati wahaki waislam hatufatilii usawa Wa haqi maneno ya Allah hayapingiki kwa hii hali hakuna vile wawili hawa watakua sawa hapo masheikh mumebeba mzigo sababu ndoa haipo sawa kma mwasema talaka haikupita mjue mtayabeba nyinyi msichukulie rahisi mkae mfikirie

  • @tubeminamiwa
    @tubeminamiwa ปีที่แล้ว

    huyu hakusema kwa kuwa aliheshimu nafasi ya sheikh wa mkoa na mamlaka yake ya uteuzi

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 ปีที่แล้ว +2

    Mashehe wengi ni wanafik tu njaa tu inawasumbuwa

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 ปีที่แล้ว +3

    Hii dini Kila mtu ni msemaji?
    Yaani Kila mtu anaitisha press conference. Kwenye ukatoliki hakuna kitu Cha namna hiyo.

    • @seiflugendo7141
      @seiflugendo7141 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mpuuzi aliotoa tamko ni mtu mmoja wengine ni wachangiaji fahamu maana ya mzungumzaji na msemaji acha kukurupuka sisi hatufati ukatoliki tunafata muongozo wa dini yetu na sisi sio wakatoliki.

  • @yussuphsaleh2165
    @yussuphsaleh2165 ปีที่แล้ว

    Namkumbuka kwa mada ile ya aleluya pale aliposena ni sawa kutamka lailaha ila lla ,,,akapata upinzani mkali kwa waislamu wote na akaingia mitini baada ya kushindwa kielimu na sheikh Muhammad bachu ,,hakuweza kutetea hoja yake

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 ปีที่แล้ว +2

    Bado mnakulana. Baraza halina madili ya kisilamu. Bwakwata iliundwa nanani. Chimbuko la bakwata nigumu.

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 ปีที่แล้ว

      Maadili hamna kabisa huyo mufti ndio dhaifu

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 หลายเดือนก่อน

    alafu ilo swala la mtume sijui kukata watu halipo. embu ona haya kumchafua bwana mkubwa kama huyo. mtume wetu alikua laini na msamehevu sio katili .

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว +1

    Jitahidi kaka, Walid kakaimishwa tu unaweza kuukwaa Ushekh wa Mkoa

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      Kukaimishwa ni utaratibu badae huidhunishwa hata huyo alhad alikaimishwa then badae akaidhinishwa

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 ปีที่แล้ว +1

      Namuomba ALLAH, shekh WALID asikaimu tu,bali awe shekh wa mkoa wa Dar es salaam kamili,tuseme aamiin "maana ni shekh anaejitambua. Allah amuhifadhi Mufti Abubakar bin Zuberi amuongezee jicho la uoni shekh Walid awe ndo shekh wa mkoa wa Dar es salaam. Aamiin allaahumma Aamiin.

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว

      @@fahadfaraj6474 unaweza kukaimishwa au kuteuliwa mwingine

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      @@jamalsalum8726 kwa historia ya bakwata haijapata tokea labda hii iwe ya mwanzo

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 ปีที่แล้ว +2

    HII YOTE NI KUFUNIKA SAKATA LA MSHIA. MFUTI AONGEE KUHUSU MASHIA UMA UJUWE TUELEKEE WAPI. MASHIA MFUTI ONGEA NA UMAA TUNAKUSUBIRI MFUTI.

  • @rajabvuaimussa7049
    @rajabvuaimussa7049 ปีที่แล้ว

    Kwaio Alhad amefanya kosa la kutengua ndoa ya watu sasa Jee talaka iliyo tolewa na sheikh Alhad ime sihihi au ?

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l 6 หลายเดือนก่อน

    MNAKOSEA NYOTE MPAKA MUFTI PYAA ANAKOSEA MNALETEWA TARIFA YA KUONEKANA MWEZI HAMUTANGAZI NYOTE WANAFI NYIE MMEZIBITIWA SANA NA SEREKALI

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu ปีที่แล้ว +2

    mh ! pepo ngumu sana walahi

  • @abdallahmwasiho1521
    @abdallahmwasiho1521 ปีที่แล้ว

    Kwenye Dini Kwa Shekh hakuna kustahimili anaikosea dini mpk na waislamu ilikuwa ni dharau sana

  • @neemakaluwa536
    @neemakaluwa536 ปีที่แล้ว +2

    Loo mpaka mashehe wanaoneana wivu na chuki

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 ปีที่แล้ว

      Allah atustiri tu hakuna mkamilifu

    • @neemakaluwa536
      @neemakaluwa536 ปีที่แล้ว

      @@jaffjeff6912 kabisa wallah

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 หลายเดือนก่อน

    we kipozoe mnafki sana mbwa wwe. si ulijifanya kutoa pua yako kumkingia kifua uyo mchafu mwenzio.
    washenzi wakubwa mnanukaa puuuuuh

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +4

    Kwani Katiba ya Bakwata inasemaje kuhusu ndoa. Ndoa imevunjwa kwa kufuata katiba.. Dr. Mwaka aliwaita Mashekh wahuni tu. Amechukuliwa hatua gani?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Yaani katika hili BAKWATA wamejidhalilisha,,,

    • @abubakariyahaya99
      @abubakariyahaya99 ปีที่แล้ว

      Km ulikuwa unafatilia mwenendo wa sheikh Alhad na majibu alosema juz utajua kuw alistahil kutolewa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@abubakariyahaya99 kwahiyo Yule aliyewaita viongozi wa dini wahuni amefanya Sawa?

    • @fathiyaali6171
      @fathiyaali6171 ปีที่แล้ว +1

      Mwenye pesa siku zote yupo juu ya sheria,hafanywi chochote.

    • @kiri5807
      @kiri5807 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 Lakini Dr Mwaka kuwaita wahunni simlaumu . Hawa masheikh wa Bakwata wanajali matumbo yao tu . mwezi unaendema wakiambiwa wanakataa kutangaza si uhuni ni nini ?

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว +1

    Alikuwa akikosea zaidi kwa sababu wewe ni miongoni mwa chawa wake mliyempoteza,kila siku mkimtetea ktk makosa leo ndio unasema.Hii ni alama ya unafik

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 ปีที่แล้ว +1

    kaka unakwama wapi

  • @zuhurayusuph4826
    @zuhurayusuph4826 ปีที่แล้ว

    Unafki huo

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    NDO UKWELI,,SHEIKH ALHAD ALIKUWA HAKUBALIKI HATA NA MASHEKHE WENZAKE,,WATU WALIHOFIA KWAKUWA ALIKUWA MADARAKANI,,SASA TUTASKIA MENGI TU TOKA KWA MASHEIKH

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว

    sheikh Alhadi alimwambia Makonda kayakoroga sasa na yeye pia kayakoroga, tunapaswa kuchunga kauli zetu.

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiye aliyesema "KIMFAACHO MTU CHAAKEEE🙄🙄🙄

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 ปีที่แล้ว +4

    Baraza ni dhaifu kwa kweli yule mganga kaita mashekhe wahuni hakuonywa lolote. Ila alhadi kusimamishwa mmefurahia dah inahuzunisha

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

      Muwe mnasikiliza kwa makini dokta mwaka huwa mnamzushia sana huwa sielewi mnasikilizaga au ni vichwa vya habari hata kipindi kile mlimzushia kusema amesema mashehe na mapadri ni wazinifu kumbe alisema kuna baadhi yamashehe ni wazinzi elewa kuna baadhi kwa hiyo kama wewe ni shehe huna uzinzi ujue kuna baadhi yao hata hapa kwa wahuni hujamsikiliza vizuri na kuhusu ndoa ya mwaka alhadi alikosea achilia mbali alikuwa na makosa sana tena ya waziwazi akienda makanisani ikiwa wana misa je inafaa kuwa kiongozi wa kiislam kwa hilo mimi sio bakwata ila nimefurah alhadi kutimuliwa wallah kwenye koment niliuliza kabla hajatimuliwa kusema yarabi huyu utamtoa lini ktk uongozi hakika wewe ni shahidi anapindisha dini hazijapita siku 3 akatimuliwa namchukia kwa ajili ya allah

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 ปีที่แล้ว

      @@maryamtanzania9743 inamaana masikio yako yana afya, kuliko yawatu wote walosikia. Haki iongelewi japo uchungu.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Kabisa!

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 ปีที่แล้ว

      Alhad kasimamishwa kwakuwa ndiye aliesababisha baraza na mashekh kutukanwa.

  • @ibunmurshid3885
    @ibunmurshid3885 ปีที่แล้ว

    Baraza la ulamaa kuna Sharifu majini??! Yule si muhuni tu

    • @petermunanka3827
      @petermunanka3827 ปีที่แล้ว

      Shaliff majini ni mganga kilinge chake Kiko mabibolelini niliwahi kumpeleka mtoto wandugu yangu kuombewa Dua niliyoyakuta ckuombewa Dua asilimia90ya watejawake ni akina mama malipo ni shilingi50000 elfu hamsini Kuna chumba mgonjwa anaingizwa kufukizwa nyungu lipo lijisufulia kubwa linatokota mgonjwa ukimuingiza anakaa katika kiti like sufulia limezungukwa na viti mgonjwa anapewa kiti anakaa Kisha anafunikwa shuka anaatamia ulemoshi makali Sana. mgonjwa anatokajasho jingisana baada ya hapo anaambiwa aje siku nyingine

  • @shabanimzalla7108
    @shabanimzalla7108 ปีที่แล้ว +1

    Shehe wa mkoa hakuwa na majibu ya busara kwa waumini wake

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 ปีที่แล้ว +1

    Dah hawa masheikh kwa kweli wengi wao wa mchongo.ukiangalia wengi hawapendani

  • @ndeedahahmad
    @ndeedahahmad ปีที่แล้ว

    nyinyi ndo mnaharibu dini manuguu

    • @Queensagarika887
      @Queensagarika887 ปีที่แล้ว

      Ushawahi ona wapi mtu anahofu ya mungu anaenda kufanya intevw anachamba 🤓 fuatilia sana

  • @abu-hasheem6422
    @abu-hasheem6422 ปีที่แล้ว +2

    Mh....masheik wetu kwa unafik dah....

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว +2

    Ww nae muhun tuu mpenda kiki kama huyo al hadi.

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 ปีที่แล้ว +1

    Mmemtoa alihadi ili mfunike ishu ya mashia. Acheni hizo. Mnacheza na midia kutuchanganya. Tunataka mseme mashia msifunike kupitia alihadi sheikh wa mkoa. Kazi ubwabwa wa mshia. Na ww nimropokaji.

  • @estermamadee8021
    @estermamadee8021 ปีที่แล้ว

    Mzeee wa mizigo minene

  • @magufulitanzanian9941
    @magufulitanzanian9941 ปีที่แล้ว

    Mufti Yuko SAHIHI...!
    ALHAD MUSA Kwa Imani yangu ALIKUWA SAHIHI kwani aliniamini MKATALIWA MGANGA alileta DHARAU Kwa Sheikh Musa kama Mkuu ama RAIS wa Waislamu wote wa Dar es Salaam. Alhad MUSA Wala USIJUTE Mkuu. Allah Aufariji Moyo wako Mujaahid..!

  • @adelinibrahim9283
    @adelinibrahim9283 ปีที่แล้ว

    Hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa hafai kurudishwa

  • @abdallahkiduya3718
    @abdallahkiduya3718 ปีที่แล้ว +1

    Kipoozeo ukiongea tu WATU wanacheka

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว

    Kumbe Al Had kaoa Bint wa muft?

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว +1

    Mashehe bendera, ww si ndiye uliyekuwa mmoja wa chawa wake

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Yaani we Acha Tu, juzi Tu alikuwa anamtetea, Leo anamponda,,,,

    • @kiri5807
      @kiri5807 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 😅😅😅😅 Masheikh wa Tanganyika muna vituko .

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 nafikiri wewe ni katika wale wanaafiq,,,,,

  • @bakarizaharani142
    @bakarizaharani142 ปีที่แล้ว

    Sio sawa kipozeo ongea na mwenyewe usimuanike mitandao

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Wanafki ni wengi nilikushakutana na mbwa wanafki huo ni wivuu

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 ปีที่แล้ว

    Nafasi yake kwani yeye ndo alizaliwa nayo hebu mtupishe huko hatumtaki huyo Alhad wenu hatumtaki mpuuzi huyo

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣l

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 ปีที่แล้ว

    huyo shekhe kipozi ana tuchangaya mimi mtoto wa mdogo wangu kaomba talaka bakuwata kapewa mbona hayakutokea haya shkhe kipozeo tunawasiwasi na kudi fulani mashkhe wapewa mpunga na Dr waka pesa mbaya kutolewa talaka bakuwata nimaraya kwaza uwislam tanzania una aza kuzwa kwa pesa muhammad swalalau alei wasalam keshawahi kumtumuwa abubakar au omar au athumani au aliy

    • @hashimswaibu9827
      @hashimswaibu9827 ปีที่แล้ว

      Kwani dadayako kapewa talaka na alhadi Musa na presi ju full macamera ama kadhi ndio alie mpatalaka dadayako

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว +1

    Na wewe uache sasa mawaidha yako ya kihuni hasa ya kuzungumzia mizigo,wewe ni mtu mzimaa na ulamaa wa kuheshimika

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 ปีที่แล้ว

    HIV kipozeo havut bang au sigara??

    • @yahyagonga
      @yahyagonga ปีที่แล้ว

      Duh umewaza nn ndg