MAOVU YA SHEIKH WA MKOA ALHADI MUSSA YAWEKWA HADHARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 112

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 ปีที่แล้ว +8

    Haya maneno ya kumsihi mgemwambia yeye mwenyewe. Hakihusu kumuaimbisha mitandaoni Allah kasema ukimsitiri mwenzio na wewe Allah atakustiri. Kuzozana waislam kwa waislam. Subhanallah. Lahaula walakuwata illah billah.

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 ปีที่แล้ว +6

    MWIJAKU NA BABA LEVO.

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      Hujakoseya 😂😂😂😂😂😂😂

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 ปีที่แล้ว

    Mwaipopo ulishajiishwa na hiyo Sharif kuunga mkono mtu aliyetenda uovu,Allah akuhifadhi 🤲

  • @khaliddaud-wu9hg
    @khaliddaud-wu9hg ปีที่แล้ว

    Ktk mambo uliyoyafanya sheikh mwaipopo ni hili jambo la kumpa vidogo huyo aliyekuwa sheikh wa mkoa wa dares salaam, salute nyingi endelea kusema ukweli,

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +4

    Subuhanallah leohi hawawamemgeuka amakwwri usimuamini binaadam tena wanamtolea haibu zake siyovizuri muitenipembeni mumwambi bas yaishe atamlejea mopa wake msimtoleehaibu yake. Jueni nanyi mtatolewazenu hamtaamini lnshaallah

    • @nurasalimu2403
      @nurasalimu2403 ปีที่แล้ว +1

      Ndo maana mtume akatufundisha kwamba mpende unaempenda weka nafasi ipo siku atakujakuwa adui yako mchukiye unae mchukiya ipo siku atakuja kuwa rafiki yako

    • @mabrozacpmstancesa1207
      @mabrozacpmstancesa1207 ปีที่แล้ว

      Jaman shekhe mazinge bendela fata upepo Kila siku anakazi ya kuwachafua mashekhe juzi alikua anamchamba shekhe wa mwanza🤭

    • @mabrozacpmstancesa1207
      @mabrozacpmstancesa1207 ปีที่แล้ว

      Sorry shekhe mwaipopo sio mazinge

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 ปีที่แล้ว +3

    Hapa hamna shekh .
    Hawa wote ni watafutaji kiki tu

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 ปีที่แล้ว

    Bila kufundishwa na mtume,hakuna sababu ya kumdhalilisha Shehe mkuu.
    Ninachokiona hapo kwa mtazamo wangu ni UCHU wa madaraka,na pia tatizo la kuchanganya mada.🙏🙏

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +5

    Hivi Amuoni Aibu kwayote mnayoyasema. Jueni Allah atawalipa woote kila neno

  • @jumamabunduki7179
    @jumamabunduki7179 ปีที่แล้ว +5

    Dalili za siku ya Qiyama ni kuondolewa kwa elimu. Maana yake ni kuwa; Hekima itapotea katika ulimwengu, na hekima ndio moyo wa elimu. Leo anaetenda haki anaonekana mbaya na kuhukumiwa na wazu wenye elimu ya kibri. LAU MNGEKUWA NA HEKIMA KAMA DINI INAVYOHITAJI, WALA MSINGEFANYA HAYO MNAYOFANYA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, NA WALA TUSINGESTAHIKI KUJUA YOTE HAYO MAANA MTUME(S.A.W) AMESEMA" MWENYE KUMSITIRI MUISLAMU MWENZAKE, ALLAH ATAMSITIRI MTU HUYO SIKU YA QIYAMA". Leo viongozi wetu tunaowaamini wamekosa elmu yenye hekima badala yake wamekuwa wanasiasa.

  • @farajisanga343
    @farajisanga343 ปีที่แล้ว +3

    kazi ipo ayaaa sasa

  • @piusmdoe3200
    @piusmdoe3200 ปีที่แล้ว +3

    Juzivingine,leo vingine.Hamuaminiki.

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 ปีที่แล้ว +5

    Tusimthalilishe sana kwa kuwa kuwa tume fudiswa na Mtume wetu MOHAMMAD (S.A.W) tusi tagaze mabaya ya mwislamu mwezetu ila tumlinganiye kwa kuwa uwenda ikwa kunae msema ni mzuri mbele ya ALLAH kutushinda sisi. tusidhalilishane Wala

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

      Ila mabaya ya asiye mwislamu mmefundishwa kuyatangaza

    • @jimjam4148
      @jimjam4148 ปีที่แล้ว

      Apana namaanisha Kwa tukiyo sai

    • @nurasalimu2403
      @nurasalimu2403 ปีที่แล้ว

      @@mwassamwassa7264 Al islam nadhifu fatanadhwafu uwiislam ni usafi haujaacha kitu mtu yoyote asetaangaziwe mabaya yake

    • @mohdmohd2550
      @mohdmohd2550 ปีที่แล้ว +1

      Bendera, c mlikua mnamtetea Alhadi nyie!!?

  • @hassaniidrissa5916
    @hassaniidrissa5916 ปีที่แล้ว +6

    Mwaipopo mnachokifanya ni makosa kabisa, kama ana makosa simumuite muongee nae, usitoe aibu za mwenzako

  • @hamadasaa9509
    @hamadasaa9509 ปีที่แล้ว

    Da mtian sana imekuwa mtian sana atakama shehe ana makosa hai a haja ya kumdhalilisha kwenye mitandao wallah imekuwa mtian na aibu juu ya viongoz wa dini yetu migongano kama hiii

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 ปีที่แล้ว +3

    Hapa naona ni mwijaku na baba levo
    Hovyo sana nyini
    Alhad ananafuu zaid yenu wapuuz wakubwa ninyi

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 ปีที่แล้ว

    Jazzakallah, shekh mwaipopo , wewe Huna kibri kabisa umeomba msamaha hapa kwa mtandao, wewe ni muislam wa kweli Allah azidi kukupa moyo wakusema Hakki na kukubali makosa wakanti unapokosea.

  • @anawa4326
    @anawa4326 ปีที่แล้ว +2

    Umma umepotea yaaniiii hayo ni mambo ya kuekwa mitandaoniiiii 😢😢😢😢😢

  • @christiankiponda4639
    @christiankiponda4639 ปีที่แล้ว

    Hebu Sisi Kama Waislam, Hatupaswi kuanikana Hadharani makosa yetu, Lazima kusitiri Mabaya yetu, Hakuna Mtu Mtakatifu tuna makosa Ni kulingana.

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 ปีที่แล้ว

    Subhanallah, mnajiita ma sheikh alafu mnamshambuliya sheikh mwenzenu ?mnafundisha nini siye mamuma ?njaa nyingi na kuwa mnavamiya kujibu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Vipi mashekh wa Arusha bado wapo gerezani

  • @mayangeramadhani8497
    @mayangeramadhani8497 ปีที่แล้ว +1

    Kumnasihi mtumbele za watu Ni kumdhalilisha....

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 ปีที่แล้ว +1

    Hawa nao ukiwafatiliya ni wanafiq maana mwanzo hawa walimshambuliya shekhe chizenga wakampongeza shekhe alhad musa salim leo hii wanamponda shekhe alhad musa salim wanampongeza shekhe chizenga km siyo unafiki na ufisadi ni nn tukiwaambiyeni waislam achaneni na bakwata hamsikii washekhe walana wao kwa wao

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

    Wanaharakat dunia mzima ndio watu wanaoharibu dini hawataki kusoma wao wanapenda kuropoka hawa wako wengi wengine ni wale wazee wa maandamano wanaharakati wako sura tofaut wote hawana elim ni wazee wa mihemko.

  • @adamapollo9859
    @adamapollo9859 ปีที่แล้ว

    Mwenyezimungu kasema mfichiye aibu mwenziye wewe hiyo tabiya yakumsema mwenziye umepata wapi siyo uisilamu

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ume pendeza sheikh mwaipopo

    • @hamidsalum430
      @hamidsalum430 ปีที่แล้ว

      Inna lilahi wanna ilahi rarjiuun huu ni msiba mkubwa sio vizur mnavyofanya nyie mashekh

  • @aly_asgar
    @aly_asgar ปีที่แล้ว

    Sometimes watu siwaelewi alivotolewa mnalia utasema kaonewa mkionyeshwa kwanini katolewa ili kuepusha uhasama mnasema hamna hekma ivo kweli? Nyie watu mnaolalamika hamuna hekma mnataka kila kitu mhukumu mpaka mashehe wanakwama ki fikra

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 ปีที่แล้ว

    Hakuna mkamalifu hapa Dunia kila mja ana mabaya yake na munajua kabisa mungu hapendi kumdhalilisha binadam mwenzio na pia kutoa aibu zake wakati hata wewe una zako mungu amekustri acheni kumuhuku alhad Musa anaekuhukum ni Allah kumbuka alhad sio malaika na anapungufu yake

  • @aulathabdallah4678
    @aulathabdallah4678 ปีที่แล้ว

    Sio sahihi kumsema mtu mbele ya vyombo vya habari

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mkristo niliyeokoka. Kwa hakika hawa jamaa ni wanafiki wakubwa. Huyu Mwaipopo nilikuwa napenda kumsikiliza hotuba zake. Najuta kumbe ni mtu wa hovyo. Lugha ya picha inaonesha wazi hawa wawili wanatumika kama 'machawa' na ni wadai na wapokea rushwa hawa.

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      Baba Levo na Mwijaku

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio shida ya kukosa HIKMA

    • @jimmyjamal5981
      @jimmyjamal5981 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana na wewe wajina wangu, Hikma hamna hapo, unamsema mtu kufanya kosa kumtaja Dk Mwaka mtandaoni na ww unawasema wote mitandaoni tena😂😂

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed ปีที่แล้ว

    Kila mwanadamu ni mkosa mkamilifu ni allah pekee kama kakosea kwanini kuanika aibu zake hadharani tumeambiwa ukimstiri mwenzio ALLAH naye atakustiri hivyo mfanyavyo siyo vzr tena kwenye vyombo vya habari duniani kote mumemdhalilisha duh ndivyo tulivyofundiswa na MTUME WETU MUHAMMAD s.a.w hivyoooo

  • @farajisanga343
    @farajisanga343 ปีที่แล้ว

    kazi ipo iendeleeee

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Mmei ngiliwa na nini mashehee u wabwa akina kishki kimya wanacheka tu mimi ndo mananiko na mwalimu wangu hapendi unafiki

  • @laila9458
    @laila9458 ปีที่แล้ว

    Hii dini kwa namna hii ni ya michongo kama Muhammad rasulullah angekuepo angekata hivi vichwa

  • @suhaylaabdullah4261
    @suhaylaabdullah4261 ปีที่แล้ว

    Sifahamu hawa mashekhe wetu wapo dini gani maana dini ya kiislamu tumekatazwa kudhalilishana na kukashifiana sasa nyinyi mnafanya nini muogopeni Allah kutumia kivuli cha dini

    • @Ndesaproducts
      @Ndesaproducts ปีที่แล้ว

      Hawa ni masheikh kwa kiarabu ila sio masheikh kwa daraja la ilmu. Wafuatilie vizuri utanielewa

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว +1

    Sjui unapata wapi ujasiri wa kujiita shekh mtu mjinga kama ww ma huyo mwenzio.

  • @fadhilakisuli9761
    @fadhilakisuli9761 ปีที่แล้ว

    LAKN KWELI ANA MAKOSA YANINI KUMUONYA MTANDAONI.KWA NN MSIMFATE ,UISLAMU NI KUSTIRIANA

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 ปีที่แล้ว

    Unafk hautoisha kamwe 😁 dah jamaa kageukwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamadasaa9509
    @hamadasaa9509 ปีที่แล้ว

    Ww una usafi Gani acha mambo Yako ww kuwa na heshima inauma sana acha kumdhalilisha shee muislam mwenzetu ww vp

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed ปีที่แล้ว

    Shekhe unaomba msamaha na hapo hapo unakosa ndoujue hakuna mkamilifu kwa waja au nyiye hamjui kuwa mwenyezi amekataza kudhalilishana

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu zangu katika imani, musitoleane maovu mtu aliyonayo hadharani mkawapa faida makafiri. Kosoaneni kwa siri

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 ปีที่แล้ว +1

    Assallam aleikum sheikh kwenye vipindi vyako lazima ujipendekeze kwa rais una penda sana kumtaja

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 ปีที่แล้ว

      Uwezi kuwa rais bila ya mungu kupanga kutaja rais siyo kosa kabisa kwani akimtaja raisi wetu ww inakuuma nn

  • @afsaiddy5648
    @afsaiddy5648 ปีที่แล้ว

    Yaaani nyinyi sijawaelewa kabisa juzi mlikuwa upande wake leo mmeamia Tena upande wapili viherehre vsana mlivyo mponda chizenga machizi kweli

  • @Said32613
    @Said32613 ปีที่แล้ว

    Mashehe wa mchongoo😅😅😅😅

  • @almamsuryyadheedkhan173
    @almamsuryyadheedkhan173 ปีที่แล้ว +1

    Nina mashaka na hyu shehe mwaipopo kwann mambo ya kuelekezan kwa siri anayaweka dhahir jmn waislamu hii sio hekma kabisa

  • @saidalhabsi6485
    @saidalhabsi6485 ปีที่แล้ว

    Mnafanya makosa kudhalilisha ni bora na ingependeza mgemfata na kumuambia huko

  • @swalehmkembe7783
    @swalehmkembe7783 ปีที่แล้ว

    Aliye anzisha Jambo la kutoleana aibu mitandaoni daaaaa atafute funguo afunge lakini anadhimaa

  • @dstaroficial
    @dstaroficial ปีที่แล้ว

    Jaman maovu nisiri kila mtu anayake mbona mnafeli nyinyi hii dini gan

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 ปีที่แล้ว

    Ndomana munaitwa wahuni kwasababu hamna misimamo

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 ปีที่แล้ว +1

    Lkn na nyie m akosea kwanni mnamdhalilisha kutaka kumtia hofu na maradhi akifa Leo mjue mme e a jukumu mana mnasema vibaya hadharani kwanini msimuite

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Ayibu naona mimi niko pekee yangu kakini naona ayibu dokta mwaka umesali rakaa ngapi za haja

  • @joezeno8
    @joezeno8 ปีที่แล้ว

    Naamini Tanzania ni Nchi inaongoza kwa WANAFKI Duniani😂😂😂😂
    Sheikh Mwaipopo na Sharif Majini Kweli, Nyie Masheikh mumejizalilisha, ni bora mungekaa kimya 😂😂😂😂

  • @abdalamzelela4278
    @abdalamzelela4278 ปีที่แล้ว

    Na nyinyi sio wakweli kwa nini msimshauri mapema pia haya ni kwanini msikae nae mnatoka kwenye midia

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 ปีที่แล้ว

    Sawatumekuwelewa sasa yeye kafanya nini na wewe unafanya nini jeee wewe hujayatangaza mabaya ya mwezio ikiwa unaifuata hadithi yamtume au ndo mnafanya biashara kwenye vyombo vya habari mashekhe watanzania jaribuni kutaja aibu zenu Kwanza sawa

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 ปีที่แล้ว

    Mwaipopo na mwenzio hovyo sana mashekhe ubwabwa nyie muone anavyolamba lamba ulimi km kinyonga aliyekosa nzi....yaan mnatia haibu sana wapuuz nyie

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 ปีที่แล้ว

    hawa jamaa tuweni nao makini sana manake ukipigwa chini wamekugeuka wao wanaangaliya mtonyo tuuu

  • @rashiditibangayukaa9711
    @rashiditibangayukaa9711 ปีที่แล้ว

    i mashehe acha ngonjera hubiri na mtuon goze achana na mitandao

  • @afsaiddy5648
    @afsaiddy5648 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo na nyie mpewa rushwa mnaropoka Sana njaa nyinyi machawa tu

  • @mwalimuhatibu6607
    @mwalimuhatibu6607 ปีที่แล้ว

    Huu msiba kwahio walikurubuka siku ile

    • @mohamedjuma9517
      @mohamedjuma9517 ปีที่แล้ว

      Hicho mnachofanya sio dini hata kidogo kuwa na file la kila sheikh

  • @yusrtv2622
    @yusrtv2622 ปีที่แล้ว

    Mwaipopo na majini munacho kifanya sio sahihi hata kidogo je mme sahau kuwa mwenye kumstiri ndugu yake muslamu allah atamtiri siku ya kiyama nyinyi hamutaki stara hiyo kwa allah na je nyinyi mupo wasafi nyinyi hamna munapo kosea mnataka vyeo nyinyi kwa kuchafuwa heshima za watu muogopeni allah nyinyi watu nyinyi hii ni dunia tunapita na tutakwenda kuulizwa na allah nyinyi mbona nyjnyi munawaibia watu mnasema mnatibu watu kwa madawa ya uongo watu hawaponi munawaongopea watu na kuwaibia pesa zao washenzi wakubwa nyinyi alio wambia sheikh alihad anafanya vikao nani kama c unafiki munao leta nyinyi njaa tu zinawatesa nyinyi mabedui wakubwa

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว +1

    Kakudanganyeni kwavile wajinga hamkusoma ungesoma ungejua mwenye mamlaka ya juu ni nani kwa mujibu wa uislam

  • @kamilagwajuma8384
    @kamilagwajuma8384 ปีที่แล้ว +1

    Wana nchi ina tuhusu nini mambo ya kiufundi hayo

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 ปีที่แล้ว

    Hivi viongozi wa dini nani kawaloga mbona majungu Kila Leo ?????

  • @heritientuba6339
    @heritientuba6339 ปีที่แล้ว

    Unajipendekeza kwa raisi

  • @fatnasaidi3027
    @fatnasaidi3027 ปีที่แล้ว

    hawa mazuzu mwaipopo nae kawa tapeli tu wanatafuta kiki mmechemka tafuteni pesa kwA njia nyingine.

  • @heritientuba6339
    @heritientuba6339 ปีที่แล้ว

    Unamwelezea nani ili iweje kila kitu tunasoma natunaona wenyewe

  • @adblmajid109
    @adblmajid109 ปีที่แล้ว

    Umbeya mtupu

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

    Wew mwaipopo mwanaharakat ndio mjinga jiambie mwenyewe kwani wew hukujua kua swala hilo ni la Qadhwi wew jahili kaa kimya tena unazidi kuharibu naona mmetafuta njia mpya ya kusaka tonge

  • @oigenmwaya6018
    @oigenmwaya6018 ปีที่แล้ว +1

    Aah vigeugeu nyie haya Wacha picha iendelee tutayaona mengi

    • @zakirikatabwa
      @zakirikatabwa ปีที่แล้ว

      Wallah tutayaona mengi mwaka huu duh!!!!

  • @dicksoncosmas1368
    @dicksoncosmas1368 ปีที่แล้ว

    Ila nyie mashek waun

  • @timbulosaid63
    @timbulosaid63 ปีที่แล้ว

    Kwanin hamkufanya utafit kabla ya kumshambulia dk mwaka?ushaur zitumieni akili zenu vzur acheni ushabiki

  • @jimmyjamal5981
    @jimmyjamal5981 ปีที่แล้ว

    Mbona Kuna masheikh wakubwa kuliko ninyi na hawasemi kitu, hamjiulizi? Au ninyi ndo wasemaji wa Dini Tz, Hakuna ulichoomba Radhi hapo umekosea tena muhubiri

  • @fauaulit209
    @fauaulit209 ปีที่แล้ว

    Do.. nimechoka si mlisoma na katiba nyie... Ah... Allah atunusuru

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 hawa ni wachekeshaji

  • @soudyzidadu3996
    @soudyzidadu3996 ปีที่แล้ว

    Acheni una nyie wote ni wanafki njaa zitawauwa acheni njaa masheikh wa mchongo nyie

  • @andreanicholaus1696
    @andreanicholaus1696 ปีที่แล้ว

    Wewe mwaipopo umesilimu kwanjaa uisilamu unaujua wewe kusimanga mashehe wewe waisilamu vukuzeni huyu chawa awe hanadini kwamaana hata kanisani hatakiwi aunde dini yake sharifu majini amechotwatu na mwaipopo masikini hajui huyo chawa pigeni dawa yambu huyo

    • @huseinmpili9428
      @huseinmpili9428 ปีที่แล้ว

      Mwaipopo unawachefua waislam unatia aibu.

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 ปีที่แล้ว

    Hawa wazee wanafiki na ndumilakuwil

  • @ramadhantahila9131
    @ramadhantahila9131 ปีที่แล้ว +2

    Astaghfirullah , Mimi sio sheikh lakin kwa hiki mnacho kifanya nyie sio sahihi . hakuna alie msafii duniahii, kwanini msimuite kimya kimya na kumuambia mnafkirii mumepata thawabu hapo. na kwamantiki hio nyinyi ndio mnao iharibu diniii .nilikua ninakufatilieni sanna ila kwa sasa fullstop . Mansatarallmuslimu satara llahu yaumalqiamaa. leo nyie mnamtolea aibu take wazii wazii mwenzenuu . mema Hana alio yatenda hapo bakwata ? au ana maovutuu tokea kua sheikh wamkoa. na mlipompa uo usheikh mlikua hamkujua kma ana maovuu. Huu ni mswibaa mzitoo. Allah atupe salama tu na Sheikh Alhad nakuomba usiwajibuu kaa kimya . Allah atawajibu . hakuna aliekamilika ispokua Allah. hivii leo anakufa Alhadi mussa nyienyie kesho mtatoa wasfa wake na kumliliaa . tuacheniebuuuu.

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 ปีที่แล้ว

      Mtihan sana

    • @salimakhamis
      @salimakhamis ปีที่แล้ว

      Hiv wew mwaipopo unaakili timamu?ama kweli wewe unaakili Kama za popo,kwani wew unamaovu mangapi?Kama kweli unafata dini mngemuita nikuambie makosa yake,na kabla hajatolewa mbona hamkumuambia,wanafiki wakubwa nyie huo ndo unafiki

    • @maryamsaid2649
      @maryamsaid2649 ปีที่แล้ว

      @@salimakhamis dada yangu huyo sijui popo amesha sema alhad anavuna alicho panda sababu yey alish zoea kuzalilisha watu kwa midia so hapo kinacho tendeka ni makali yanamrud na iwe fundisho na wengine kama hawa

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 ปีที่แล้ว

    Mnafiki ww

  • @tabibumtumbuka9503
    @tabibumtumbuka9503 ปีที่แล้ว

    wewe mwaipopo usijidanganye uyo unaemsema usizani masikin kamawewe nauyo akitaka mbwali .naiwe mbwali anaweza apo unaichokoza selikali aowote selikali uyomufti yupo kisilikali sio kidin nauyo alie ingia sasaivi nae mizali kapewa ushewamikoa basis dini kisha itenga

  • @suleimanmkongwa9950
    @suleimanmkongwa9950 ปีที่แล้ว

    Wahuni tu nyie hamna lolote

  • @mariammjema4901
    @mariammjema4901 ปีที่แล้ว

    Kaka we si ulimtukana docta mwaka leo unamtetea tena uko upande gani wewe acha mambo mengi muombe mungu akusamehe

    • @maryamsaid2649
      @maryamsaid2649 ปีที่แล้ว

      Wapi alipo mtetea mwaka kwahio alhad alikua sahihi kuvunja ndoa ya mtu kwenye baraza la maulamaa
      Acheni izo bana ndio mjue wale wote walio muataki mwaka sio levo zao alisema baadhi yoa wachafu walio kuja juu wote na kumkemea mwaka niwatendaji wa hayo mbo nandio kama hayo yaliofichwa

    • @fatnasaidi3027
      @fatnasaidi3027 ปีที่แล้ว

      najuz juz alikamatwa airpot kenya alitapel dada wawatu kujifanya waganga jaman

  • @Kalaharidesertstorm
    @Kalaharidesertstorm ปีที่แล้ว

    Ujinga hauna dawa