Sh Alhad Mussa Aliyekuwa Sh Wa Mkoa DSM Akikabidhi Ofisi Kwa Sh Walid Alhad ||| QIBLATEIN ONLINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • • Sh Alhad Mussa Aliyeku...
    Sheikh wa mkoa wa dar es salaam sheikh alhad mussa salumu akifanya makabidhiano ya ofisi na sheikh ambaye atakaimu nafasi hiyo sheikh walid alhad katika ofisi za bakwata zilizopo mnazi mmoja jijini dar es salaam
    #qiblateinonlinetv #sheikhalhadmussa #sheikhwalid
    • Sh Alhad Mussa Aliyeku...

ความคิดเห็น • 249

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 ปีที่แล้ว +6

    Maskini namuonea huruma sheikh Alhadi Mussa lkn Allah ndio mjuzi zaid anakupa kile alichokukadiria pengine ndio kheir yake na kwa umma pia.a
    All in all nampenda sheikh Walid pia ni sheikh mwenye hekma na busara Allah amfanyie wepec katika jukumu/cheo kipya.Ameen yarabbal alameen 🤲🤲🤲

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Allah awalipe kheri kwa tabia njema mliyoonesha. Nina imani na shekh Walid ataleta mabadiliko makubwa ndani ya baraza kwa kupitia uongozi wake wa Shekh wa mkoa, anao uwezo, mbunifu, ana imani ya kweli, utu, weledi, na taqwa. Kama alivyoweza kusimamia msikiti wa kichangani na kusimamia madrasa kubwa ya mfano naamini ataweza kuleta mafanikio makubwa katika baraza. Allah akusimamie katika kazi yako mpya.

  • @muyajuma6278
    @muyajuma6278 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah , alhamdulillah,,, nimefurah sana ,Allah ni mjuzi zaidi

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว +20

    ndugu zangu kitika imani na viongozi wetu.mie napita tu ila ujumbe wangu tufate sheria na taratibu alizo tuwachia mtume wetu mmohammad s.a.w.kila kitu kitaenda sawa.hakuta kuwa na chuki misuguano mifarakano haitakuwepo tuwe wanyenyekevu insha allah mwenyezmungu atupe mwisho mwema insha allah.

    • @sharifaabdala1565
      @sharifaabdala1565 ปีที่แล้ว

      Amiin insha allah

    • @magomakabanja480
      @magomakabanja480 ปีที่แล้ว

      Hawawezi

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 ปีที่แล้ว

      @@magomakabanja480 Inawezekana na Muda utafika In Sha Allah

    • @rasulhamadi657
      @rasulhamadi657 ปีที่แล้ว

      Khakika itakuwa kheri na manfaa kwa duniani na Akhera Amina ya Rabbii Amina

    • @taturashid4167
      @taturashid4167 ปีที่แล้ว

      Nabii Mohamad kaelekeza mengi na qur aan haijaacha kitu,tuifuate mengi tutayaepuka,inshaalah

  • @fadhilichombo3433
    @fadhilichombo3433 ปีที่แล้ว +7

    I'm very happy for this important event.
    All in all ALLAH ni mjuzi zaid

  • @issakatoba74
    @issakatoba74 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe subra sheikh Alhad MUSSA,Na ALLAH akuongoze al ulamaa Sheikh Walid ALHAD OMARY

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว +8

    ♥️♥️♥️♥️nawapenda wote kwajili ya Allah.

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 ปีที่แล้ว +10

    Kupitia macho tungeweza kuuhusisha macho na maneno yanayotoka moyoni ila miwani imeficha ilo

  • @khelefomary4486
    @khelefomary4486 ปีที่แล้ว +9

    Nimefurahi kukabidhiana waislam tusigombane wala tusifarikiane ALLAH atatusaidia

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 ปีที่แล้ว +1

    BARAKALLAHU FIK... Sheikh Walid

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว +2

    ALLAHU AKBAR. ALLAH awahifadhi masheikh wetu vipenz..

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf ปีที่แล้ว

    Wa Tanzania tunamshkuru Mwenyezi Mungu kwa rehma zake kutujaalia kupata Shaikh mkuu mpya wa jiji la Dar yule alotenguliwa hakuwa Muislam na muadilifu alimkufuru Mwenyezi Mungu na mtume wetu Muhammad Sallallah wallaihim wasallam. Asipakanyage tena hapo sababu waislam tulisha tokwa na imani na (Bakwata) kuja kwake hapo ataendelea kutuletea mauchafu yake katika taasisi ya Bakwata.

  • @shamsaalsalamy5159
    @shamsaalsalamy5159 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Allah azidi kuwapa hiqma sababu malumbaano ya kidini tanavunja hadhi yenu mashekh na kuutia dosari uislam. Mnawapa nafasi ya wale wasioutakia uislam ufike dunia nzima.

  • @fatmasaid9074
    @fatmasaid9074 ปีที่แล้ว +1

    nampenda sana shekhe alhadi mungu atakupe kheri yko iyo so Yako Tena baba ,😘

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 ปีที่แล้ว +8

    Bakwata inaisaidia serekali na sio kuusaidia uislam na waislam

  • @abdillahabdillah7850
    @abdillahabdillah7850 ปีที่แล้ว +2

    Tafadhali sana Muheshimiwa Mufti angalia na mikoa mingine

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 ปีที่แล้ว +1

    Mashalah mungu akuongozeni muishi vzr jmni hayo yte tutayaacha duniani

  • @franklinmsamila1347
    @franklinmsamila1347 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh walid amekiri huo ni utaratibu wa kawaida kwao waislamu katika namna yao ya yongozi niwapongeze sana kwa hilo, na kipekee namkubali Sheikh huyu aliyeondoka ni kijana mwenye upto mkubwa kiakili( mentally fit). Still bado ni Mwenyekiti wetu wa kamati ya amanita ya Mkoa. Kazi njema sheikh walid katika majukumu yako mapya. Hongera pia sheikh Alhad kwa ukomavu mkubwa uliouonyesha wakati unahandover kwa Walid smoothly.

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว +1

      Lugha yetu ya Kiswahili inajitosheleza haikuwa lazima ukope maneno ya Kiingereza kukamilisha uliyoyaandika kwani si wote wanaoelewa maneno hayo uliyokopa

    • @alakhy9448
      @alakhy9448 ปีที่แล้ว

      Alhadi licha ya mapungufu watu wanayomsema ila ni mtu anajifahamu

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 ปีที่แล้ว

      Ataondoka pia, hafai kabisa kutokana na yaliopita kwake

    • @hamidashaban1203
      @hamidashaban1203 ปีที่แล้ว

      Wacheni maneno mengi amani imetawala kazi iendelee

  • @rezicky
    @rezicky ปีที่แล้ว

    MA SHAA ALLAH ALLAH AWAONGOZE WAISLAM WOTE NINDUGU

  • @hussainmaulatz6758
    @hussainmaulatz6758 ปีที่แล้ว

    Nimemjua shekhe walidi nikiwa mdogo sana nasoma kwa shekhe Ramia bagamoyo zaidi ya miaka 17 iliopita yeye na familia yake ni watu ambao humsikiliza kila mtu na elmu haiwafanyi kua na kibri kwa wasiokua nayo bali wao huwasaidia kuwafundisha ALLHA AMREHEMU MZEE ALHAD OMAR NA MWANAE OMAR ALHAD HAKIKA WAMETUACHIA MWANGA KTK UISLAMU.

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuondolee chuki Kama za mtangulizi wako eti " msifikirie hiz ndevu za answar suna" chuki tu hajui hata alisemalo

  • @saidmaulid4469
    @saidmaulid4469 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Alhad Allah akupe taufiq

  • @comredmuslimmputa2275
    @comredmuslimmputa2275 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Sheikh langu Walid kila la kheri
    Namuona Sheikha Abdallah mwanafunzi wako na mwalim wetu nyumba yako Alhamdulillah

    • @SalimSalim-rs8cb
      @SalimSalim-rs8cb ปีที่แล้ว

      Oh! Shekhe wako au Shekhe wawaisilam sote maan apa tulipo kikia kila mtu ana Shekhe wake ndio maan tunaharbikia dini tumegaw km vama vakisias kilamtu anampend MTU kwa masilah yake2 cyo kwaajil ya allah

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 ปีที่แล้ว

    SHEIKH ALHADY MUSA SHUKRAN KWAUUSHIRIANO ALLAH ATAKUPA KILA LA KHERI INN SHA ALLAH

  • @josephsijaona4510
    @josephsijaona4510 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi MUNGU Huwa hadhihakiwi tokea Dunia iundwe na malipo Huwa ni hapa hapa duniani

  • @salmasalim3525
    @salmasalim3525 ปีที่แล้ว

    Shekh Walid Allah akuhifadhi na fitna za bakwata Akujaalie kheri duniani na akhera

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 ปีที่แล้ว

    MaaShaAllah shekh Alhad Mussa Nmekukubali kw kuonesha ukomavu mkubwa na wa hekima

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 ปีที่แล้ว

      Ukomavu upi uliuona wewe?

    • @issarashid7707
      @issarashid7707 ปีที่แล้ว

      @@omaryramdhani9823 ktk kukabidhi ofis hakuonesha kitu chochote chenye kukwaza

  • @awadhgahtan9643
    @awadhgahtan9643 ปีที่แล้ว

    Shekhe walidi Allah akuongoze usiwe mlopokaji mlopokaji wa maneno ya hovyo

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 ปีที่แล้ว

    Kabidhi office inshallah usirudi tena hapo alhamdulillah AllahuAkbar tutampa ushirikiano East Africa nzima BILA wewe mtoto wa Baraza

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 ปีที่แล้ว +3

    Shehe Al-hadi ana class sana

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 ปีที่แล้ว

      Wewe nadhani ulikusudiwa kuitwa Taahira na sio tahira ana class gani huyo taahira ww

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว

      @@jitukorofi9517 haina haja ya kumtukana! Tustiriane kaka Mungi atatustiri pia

    • @tahiraabdul1701
      @tahiraabdul1701 ปีที่แล้ว

      @@jitukorofi9517 Debe tupu korofi

  • @daud405
    @daud405 ปีที่แล้ว

    hivi Allah anatambua bakwata . sababu kwa uelewa wangu hiki chombo iliundwa na Nyerere kaajili ya ccm

  • @hudheifaomar2370
    @hudheifaomar2370 ปีที่แล้ว

    Nampenda saana shekh waliid shekh ahaadi kwakitendo ulichofanya nikikubwa na Allah atakulipa mazuri nimemmpenda saana shekh alhaady kwa alichofanya..waliid Allah awe nawe

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว +4

    Awali ya kusema yote nipende kusema kuwa itifaki imezingatiwa 👏🙏🙏🙏😄😄

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 ปีที่แล้ว

    Leongo ni moja kufanya kazi ya ALLAH ilo elekezwa na Mtume Mohamed tupendane

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 ปีที่แล้ว +1

    Kabidhi ofisi shekh acha kumtisha shekh kila mmoja na mwendo wake ..mambo ya baraza linavitimbi ya nini kusema muache aingie mwenyewe insha Allah kwa uwezo wake Allah ataiweza.

  • @sylviakyesi8699
    @sylviakyesi8699 ปีที่แล้ว

    Nawatakia kila la kheri. Allah ndiye anayekuja ndani ya kila mtu. Namuomba Mhe. Mufti awe makini sana na wapambe wengine.

  • @rasulyjumaa8150
    @rasulyjumaa8150 ปีที่แล้ว

    Allah awajaalie hekima na busara viongoz wetu

  • @frankngajilo7137
    @frankngajilo7137 ปีที่แล้ว

    Someni hii comment muikariri mscreenshot alhad atakuja inuliwa sana kwa kutii amri ya mufti,kujitoa ubinafsi na zaid kumuogopa Allah na uislamu .

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh walid Allah akulinde

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ปีที่แล้ว +2

    InshaAllah iwe salaama kwetu soote

  • @ramadhanigholoji4787
    @ramadhanigholoji4787 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana hiii huo, ndio ubinadamu
    Mwenyemungu awajalie inshalha 🙏🙏🙏🤲🤲maana nyie ndio wazazi wetu tunao watizama kwa macho mawili

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 ปีที่แล้ว

    Amina Amina kama huna kinyongo na unapo achichwa kazi mungu kuna sehemu atakuweka. Maana ulilia Sana mpaka mufti nae. Kalia hongela kwa kukabithi offici

  • @bongo39
    @bongo39 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah waislam tuendelee hivyohivyo

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 ปีที่แล้ว +2

    Na wengine pia msimponde mwenzenu kwa madhaifu yake huenda kugundulika kwake mapema ndio sababu ya kupanda daraja zaidi
    Wewe je unajua kitu cha kukukumbusha aibu zako ili uache???

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 ปีที่แล้ว +1

    Usinune Alhad Mussa tabbasam kidg ndio dunia hakuna cha kudumu duniani

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi Yaa Sheykh Alhadi

    • @SalimSalim-rs8cb
      @SalimSalim-rs8cb ปีที่แล้ว

      Uyu Shekhe km hakuahidia kupewa nafac nyengn ambayo nikibwa zaid bisi hatunabudi waisilam wote kumuombea dua mungu amlinde na kibri hivo hivo ape subra kubwa kwa kwa makabiziano ya ridhaa alio yaonesha huwo ndio usilam tunakuomba usiwe wamdomoni2 uwe upo ndani ya moyo kila laher

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 ปีที่แล้ว +1

    Jioni kisilani katoka,ana mkabudhi ofisi jini utu 👍

    • @allykondo8406
      @allykondo8406 ปีที่แล้ว

      Ulimi ni silaha mbaya sana inaweza pandisha afya Yako kiroho na inaweza punguza afya Yako ya imani
      Mwenyenzi Mungu ambaye Hakuzaa Wala Hakuzaliwa na Afanani na kitu chochote
      Yeye ambaye Ndiyo Mwanzo na Mwisho
      Yeye Aliye Kufanya kuwa Pande la Manii lilodhalili mpaka Kuwa Roho
      Yeye Aliye kukuza mpaka ukafika apo ulipo kwa Umri na hadhi ya Dunia
      Hakika Allah (SW) Yu pamoja Nawe
      Amani iwe Nawe
      Mungu atupe Mwisho Mwema Mimi na wewe na mwingine Yoyote anayesoma tuseme Amini

  • @aliy3303
    @aliy3303 ปีที่แล้ว +1

    Mshkaji tena ...Dah acha maneno mengine sio sehemu sahihi ulipolisema ...jamii inakuangalia...

  • @selinatogolai3314
    @selinatogolai3314 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana musa salim mmungu inshaallah ampe subir a

    • @mikatejunior1362
      @mikatejunior1362 ปีที่แล้ว

      Mashaalah

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo lake huyo mtu wako alibeba vitu vingi kwa wakati mmoja matokeo yake akashindwa kuitumikia dini akawa mtumishi wa wanasiasa na maskofu ndani ya joho la ushehee.!! Sasa maji na mafuta havikai pamoja siku zoteee ndo hivi unavyoona sasa.!!

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 ปีที่แล้ว

      Nampenda sana Shekh al had hakika ni Mwanaume

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 ปีที่แล้ว

      Ya nini kwa uovu wa mkoa

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 ปีที่แล้ว

      @@saidkipalo4427 asilia mwanamume ni nani au ni huo UCHAWA

  • @husseinmanyanga1587
    @husseinmanyanga1587 ปีที่แล้ว

    Shekh wamkoa anatoa kaur kwamba hizondevu siyo answar anaonesha nikiasi gani anawachukia aswar suna. hakufaa kua shekh wa mkoa na allah kaliona hilo;

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 ปีที่แล้ว

    Mwl Nuhu from Alharamain Islamic college

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 ปีที่แล้ว +2

    Narudia sheikh alhadi una ilimu kubwa saaana ni dhimmah hiyo hivyo fungua darsa rasmi usomeshe ili uweze kukomaza nafasi yako nakukumbusha tu maneno ya imaam shafiy r. a
    وكن رجلا على الأهوال جلدا *** وشيمتك السماحة والوفاء
    *يغطي بالسماحة كل عيب *** وكم عيب يغطيه السخاء
    * ولا حزن يدوم ولا سرور *** ولا عسر عليك ولا رخاء
    * ولا تر قط للأعداء ذلا *** فإن شماتة الأعداء بلاء

  • @zawadiramadhan6181
    @zawadiramadhan6181 ปีที่แล้ว +4

    💥💥😂Kaka miwani kama Sokomoko!!!

    • @salumhashill2048
      @salumhashill2048 ปีที่แล้ว +2

      Inatakiwa uondolewe vyeo vyote hufai,

    • @zawadiramadhan6181
      @zawadiramadhan6181 ปีที่แล้ว +1

      @@salumhashill2048 ushaambiwa muft ni babamkwe wake! hapo kuna kubebana

  • @yussuphsaleh2165
    @yussuphsaleh2165 ปีที่แล้ว +1

    Miwani ya mbwembwe haitowi picha nzuri

  • @S.A_media1
    @S.A_media1 ปีที่แล้ว

    WALID amelet trust ya Baraza kuu la waislamu Tanzania 🇹🇿

  • @saidimtipa9
    @saidimtipa9 ปีที่แล้ว +3

    AMTAFUTE MAKONDA ILI WASALIANE KWA KARIBU MÀANA HAWA WALIMCHUKULIA MAKUFULI KUWA NI ZAIDI ,
    NENDA BABA NENDA.

  • @HanifSalah
    @HanifSalah ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah. Sasa sijui kama ndio hivo ,usipotee TH-cam nimezoea kupata darasa zako.

  • @abdallahabdulaziz3683
    @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +1

    Wakabidhi Kaka Hilo li ofisi Lao hao wanaojiita Baraza la maulamaa wanachuki zao binafsi dhidi yako mungu atakusaidia ipo siku na wao watatolewa kwenye hizo nafasi watarudi chini pia, hapo ndipo aibu itakapo wakuta.

    • @sayhdushabani4269
      @sayhdushabani4269 ปีที่แล้ว +1

      Upo mbali sn nahis upo dunia iliyopita

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว +3

      Mimi angekua ni babangu ningemuambia ajiepushe kabisa na mambo yanayo husu bakwata yaani wamemdhalilisha baba wwtu kisa Dr mwaka ?

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +1

      @@sayhdushabani4269 nimewezaje ku post Sasa kuja hadidunia ya Sasa?

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว

      @@madawamchuwa8253 kabisa hakuna kitendo kimeniudhi Kama hicho hata Kama walikuwa wanamtafutia sababu wangesubiri wakati mwingine na sio Sasa, wamemwaibisha saana jamani na hii ndio shida ya kufanyakazi na waswahili Kama hao Wana hasad na uroho wa madaraka na hii yote NI kuambiwa TU kuwa huyo chizenga sijui anautaka umufti ndio kalipiza ila makosa pia anayo mufti kwanini akubali kuidhinisha kuondolewa alhad? Baraza kinaweza kupotosha aondolewe ila mufti akikataa hawezi kutoka, Sasa kwanini aidhinishe? Shida iko hapo kwake,wangetafta wakati mwingine ndio wamtoe huu Sasa NI ushindi kwa mzinifu Dr.mwaka.

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +1

      Wamempa ushindi mtu wao wanae mtaka dr. Mwaka,inasikitisha Sana wakati walikuwa na UWEZO wa kumwambia dr.mwaka skate rufaa na wangempa ushindi huko Kama wanamtaka lakini so hivi walivyofanya.

  • @sophiashomary8542
    @sophiashomary8542 ปีที่แล้ว +1

    Shekh alhad mdomo wake kukaa ivo ndvyo walvyo family yao wote na sivyo mnavyo mtafsiri

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว +5

    mjomba yupo moto apo tamani mtu amguse ampe ngumi ndogile🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fhhfhj7719
    @fhhfhj7719 ปีที่แล้ว +2

    Allamdullah huundo uislam tunaoutaka tunajiviniya wallah tupendane jomon sssote nikitukimoja njiamoja tujivunzekupitiya nyinyi

    • @ramadhanswalehedahpolesana7102
      @ramadhanswalehedahpolesana7102 ปีที่แล้ว

      Usiwe na shaka SHEKH Wangu hakuna atakae kupokonya cheo cha kutangaza mwezi.sisi tuko nyuma yako SHEKH letu.

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 ปีที่แล้ว

    Umoja wenu nini wewe kwisha Toka hapo huna umoja huna nini jeuri na kibri wa aibisha Tanzania nzima usishirikiane naye utamharibia sheikh walid Toka hasbialllah WANEEMAL WAKEEL

  • @ashimuidrisa1002
    @ashimuidrisa1002 ปีที่แล้ว +1

    Hizo kamati za amani zitakupeleka motoni tu. Huishi majigambo Alhadi jamani. So unasema Mwenyekiti wa kamati ya Amani na katibu wa mwezi ndo tuogope au ?

  • @mtumwasharifa6220
    @mtumwasharifa6220 ปีที่แล้ว

    Aslamu aleykumu Warhamatullahi wabarakatu Huu ndio Udugu wa waislamu Umoja wetu Upendo wetu Alhamdulillahi Nashukuru kuwa Muislamu

  • @selinatogolai3314
    @selinatogolai3314 ปีที่แล้ว +2

    Kuachiana nafasi nika waida sana hao waki na mwaipopo ni hovy o tu wanayosema hay a wenzao wanakabidh iana ofisi kwa amani sasa hawaoni aibu m waipopo na mwenzie majini wanayofanya ni aibu wanyamaze

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Wale ni waasaka tongee si watu wa dini waleee

    • @saidiomary9070
      @saidiomary9070 ปีที่แล้ว

      Mbona Leo ajasema kwa jina la jesu

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 ปีที่แล้ว

    Kwa hafla hiyo ingekuwa hujavaa miwani tungeshuhudia jicho linavyotoka chozi na sura ilivyovimba Ila umeona ili kuondoa aibu ufiche macho kwa kuvaa miwani Ila hizo nafasi tunajua munakabidhiana masufi na sisi ahlul waljmaa hatuna haja na nafasi izo Allahulmustaan

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว +2

    Nawapongeza mashekhe wetu mshirikiane lengo ni kudumisha dini yenu na Amani ya nchi yetu

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว +1

    Wamemtoa kwavile kavunja heshima zao kamsema chizenga anataka umufti.
    lkn kipindi anavurunda mengine waliona madogo kipindi anatamka haleluya yeye kama kiongozi wa waislam waliona ni yakawaida leo kuwabomoa hakina chizenga kua anauota umufti kaonekana hana adabu ana mdomo mchafu.
    waislam heshima zetu hivi ni bora sana kuliko heshima ya dini ?
    ndio maana nasikia kuna watu kuwaambiwa Abu bakri alikua na uchu wa madaraka ndio maana hakumzika mtume kwa ajili ya kugombea uongozi wanaona ni dogo tu.
    cha ajabu kuambiwa wao limekua kubwa subhana llah !!! na mtu kan'goka kwenye cheo mnataka kuniambia nyinyi heshima zenu ni kubwa mno haziguswi kuliko za maswahaba ? waislam waleo tumefeli ujanja ujanja mwingi tunajidhuru wenyewe leo hii tumekua watu wa kulia lia tubadilike mashekhe ujanja unatuumiza dini kwanza kisha ndio sisi.

    • @farijala1
      @farijala1 ปีที่แล้ว

      Kila jambo na wakati wake

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 ปีที่แล้ว +2

    MASHA ALLAH

  • @kitwanashem3272
    @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndevu siyo ansar sunna unaonyesha wazi una chuki na sunna lkn huna chuki na shia maana hata shia wanafuga ndevu

  • @rashidyussuf3429
    @rashidyussuf3429 ปีที่แล้ว

    Shekh mstaafu wa mkoa umeongea vizur

  • @MALENGWE
    @MALENGWE ปีที่แล้ว

    Inshallah ikawe khelli

  • @twahamachozi8018
    @twahamachozi8018 ปีที่แล้ว

    Kwamahitaji ya qaswida nzuri zenye kuelimisha kufundisha ingia you tube andika sheikh twaha machozi usisahau kusubscribe

  • @abuufawzan4289
    @abuufawzan4289 ปีที่แล้ว

    Doktoor imekaa sehemu isiyostahiki.

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    Mmmm msataafu anatamani kupasuka

  • @mbarakalwahebi4094
    @mbarakalwahebi4094 ปีที่แล้ว

    Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin yaaraab Amin alhaamdulilaah huyoo sawa na kafiri mkubwa anakufuru Tu nilisikia klipsi yake ya kiushenzi na nyingine ni kumkufuru mungu kufananishaa kiongozi sawa na mungu astaagfiriwaaa anaaalaanaa huyoo inaaonyeshaa LV

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว

      Unajuaje Kama alishatubu mwenyewe binafsi dhambi hiyo, we ndio mungu kwani wacha uwahabi huo.

    • @lusamhamanish5486
      @lusamhamanish5486 ปีที่แล้ว

      Acha kuropok ww kaa kmyaa

  • @albertkassim3286
    @albertkassim3286 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha kuleta siasa au kutaja viongozi wa kisiasa au serikali kwenye mambo ya DINI, inaonyesha nijinsi gani baadhi ya watu ndani ya Bakwata wanahitaji Nguvu ya dola, hebu tufanye kazi tunayo takiwa kufanya ili kusaidia watu wakuwe kiimani zaini ili kupunguza mabaya yanayo endelea na sio kuonyesha namna ya kujiambatanisha na Siasa.

  • @ZQTANZANIA
    @ZQTANZANIA ปีที่แล้ว

    Sema kiukweli shekhe alhadi cheo kilimpendeza, pia bado ana nyota kali sana

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว

      WE KWELI HUONI WATU WENGI WAMEFURAHI HUYO SHEKH WAKO KUTOLEWA OFISINI WE UNAMTIA UJINGA ETI ANANYOTA MSHAURI AKATUMIE HYO NYOTA KUVULIA DAGAA

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 ปีที่แล้ว +1

    Ni hekima Sana imeonekana kwa anaeondoka

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 ปีที่แล้ว

    Naona sheikh hayupo sw kiasi fulan

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว +3

    Huyu aliyekuwa shekh wa mkoa ni jembe umefanya mambo makubwa sana nchi hii Mungu akupe wepesi ila wasikubeze uongozi ni kazi hasta Kwa binadam

  • @karamamnene2073
    @karamamnene2073 ปีที่แล้ว +1

    achana kuongelea baraza ongolea maslahi ya waislam tanzania na duniani

  • @sihabahusseinmdee1102
    @sihabahusseinmdee1102 ปีที่แล้ว

    umeonyesha ukomavu wa dini ila kilichotokea mpaka sasa ni aibu sana kwa waislam wa tazanzani hii ni aibu kubwa sana yani mambo yaliotokea mpaka kufika hapa ni aibu sana

  • @khatibkhatib2249
    @khatibkhatib2249 ปีที่แล้ว +1

    Al had mussa salum nadhani kuna jambo umejifunza saaanaa katika lile ambalo ulithubutu kulisimamia tunakutakia kheri katika majukumu yako mapya

  • @kessylukombe1811
    @kessylukombe1811 ปีที่แล้ว +1

    Nenda sasa ukawasifie Mashia huko mitaani ulijua utakaa hapo milele na kibri chako

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Hawa mashehe ubwabwa wananiudhi hawasemi bila kumtaja mama samia utafikiri ni mngu yani hebu jaribuni kumtsnguliza allah pekee kila kitu mnamshukuru mama samia majinga hayo matanzania nchi inaongozwa na mwanamke

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 ปีที่แล้ว

      Ata BABAAKO Anaongozwa na MAMAAKO.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว

      MHESHIMU KIONGOZI WA NCHI KWA SABABU HAPO KITINI KAWEKWA KWA IDHINI NA AMRI YA M'MUNGU KUWA NA ADABU NAE HAJAWA RAISI KWA AMRI YAKO WALA YA BINADAMU WAHISHIMU VIONGOZI WA SERIKALI NA SERIKALI.

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 ปีที่แล้ว

      Maryam.Hutaki wanawake tuwe viongozi?Bila uongozi wetu hata kwenye familia mambo yanakuwa hovyo. Acha mama aongoze. Na tumuheshimu dini zote zinasema tuheshimu mamlaka

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 ปีที่แล้ว +1

    Na miwani Tena?

  • @salummwanga8181
    @salummwanga8181 ปีที่แล้ว

    Walah naapa kwa jina la Allah hao wanaomzunguka ndani yke no mapenz kilingana na ulokuwa unayafanya, bas tu we ondoka apo.

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว

    Baba mkwe wangu mdogo muda umefika ss wajumbuzika pia nijambo jema kuona waislam wakishikana pamoja na mambo mengine yaendelee alhamdullha

  • @yusufbaraka7762
    @yusufbaraka7762 ปีที่แล้ว

    Hurumaaa kafundishe madrasat

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 ปีที่แล้ว

      Nayo pia ni kumtumikia Allah au ndio umeona umedharau kusema hivo

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 ปีที่แล้ว

    Aliluuu aliluuuuu 🙋‍♂️

  • @mullahtmo
    @mullahtmo ปีที่แล้ว +1

    Akuna amani apo uyo muuuni anaeacha office kanuna namiwaniyake kama kavalisha mti

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 ปีที่แล้ว

    Nawapenda kwaalijiliya allaah mungu awalinde in shaallaah

  • @kherikhamisi6381
    @kherikhamisi6381 ปีที่แล้ว

    Sasa ulikua katibu wa kamati ya mwezi kwa kupitia nafasi ulikua nayo inabidi nahiyo uachie na hiyo ya amani na maridhiano zote uachie

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi alhad amekomaa hana papara tulia hivyo hivyo Mungu ajua yote usijibu chochote wala kuwaza mtumishi

  • @azizchui7232
    @azizchui7232 ปีที่แล้ว

    Huyu shekhe ndomaana wamemtumbua sasa answer Sunna inahusiana Nini na makabidhiano acheni chokochoko kinachohitajika ni umoja wate ni waislamu

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 ปีที่แล้ว

    Mbona atako kuondoka Madarakani
    Akingaliki anajidayi uwongozi!!!

  • @abuubakary5794
    @abuubakary5794 ปีที่แล้ว

    Na hivyo vyeo ulivyokua navyo tulikupa kwa ajili ya Uongoz wa MKOA sas hiv unalazimika ubwage kila kitu chini ukalee familia yako na sijui kama Masaki kama upawez ten hela za Tende mwaka huu hamna

  • @farajially3660
    @farajially3660 ปีที่แล้ว

    Alhad jifunze kuheshimu wakubwa ukipewa nafasi ya kuonekana kwenye tv usidharau watu Tabia zako zilikuwa kama za makonda nenda mukakutane na makonda ulimdharau sana chizenga

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤🙏