Uislam ni mzuri sana alhamdulillah tumejaaliwa kuwa waislam umma wa Muhammad weka like hapa twmpenda sana Allah na mtume wake Muhammad hakuna wakutubadili Wala kutuambia mtatuua ktk uislam ni dini salama na nzur sana hivi nivijivita vya ibilis malun hatutishiki uislam mbele kwa mbele inshaallah
Hata mim unishikie panga sijui nipate mke mzuri muislam siwezi ingia huko Kila mtu abaki na Imani yake na Kila mmoja aone yake ni Bora ila usidharau Iman za wengine
Pole Mwaipopo kwa malamiko yako,pleasure imekupanda sana! Uisilamu unaenda kufa,waislamu watazidi kulitadi makundi makundi.Hakuna binadamu atakuwa radhi kuwa kwa dini moja na majini😢
Na wewe Mwaipopo tunasema huyu bwana akifa wewe ndo utahusika, kama sivyo twambie aliyoyasema huyu bwana ni uwongo? Kwani hakuna kwenye Quran mahali pameandikwa waislamu mnapulizwa matakoni mnaposwali? Pinga kwa hoja bwana wacha kubwabwaja wewe, ona unavyolia Lia hapo na kununuliwa tv wakristo hapo wakristo wawili tu wananunua tv na wanagekukabidhi uanze kupinga hizo hoja zako,halafu umekiri mwenye kuwa waislamu mna roho mbaya mbaya mbaya kupita shetani
Yesu alisema yeye ni njia ya kweli na uzima mtu awezi kwenda kwa Baba (Mbinguni) bila kupitia kwa yeye. Wakati muhamed alisema yeye hajui anaenda wapi na wala hajui wafuasi wake wanaenda wapi ila anawaonya tu. Sasa kama una ufahamu mzuri na una nia ya kwenda Mbinguni utamfuata nani hapo?
Mm ni niliweza kuslimu miaka nne imepita kutokea kanisa la jeshi la wokovu.Ukristo wa sasa naulinganisha na makampuni kubwa sana duniani.Ukipata shida,bora tu ukona uwezo wa kuongelesha watu kama watano na elimu yako ndogo ya bibilia.Walai utakuwa tajiri.Valia suit yako na kiatu ya rangi na ubebe bibilia na uingie barabarani katu huwezi lala njaa.#Uislamu dini yangu hadi umauti unipate.
Kuacha uisilam hakuhitaji elim kufata yesu kunahitaji tu imani pekee, niwambie tu mimi nimeijua kweli nikaokoka nanina amini kubwa sana, huwezi kutukuza marehem ukawa na amani, hapana, nimpongeze sana huyu mwisilam alieokoka, nimpe pole sana mwisilam ambae hana shauku au fukuto ya kutookoka, barkiwa sana mwaipopo.
Nakupenda sana sheikh wangu nakutumia ela ukamjibu uyo yohana tapeli. Inshallah nifolo ukisema auna ela ya kula au shida yayote kama nina uwezo nita kupatia bila kuchelewa ata kidogo
Mwaipopo,hongera kwa jitihada zako za kurekebisha tabia za watu --- hilo linafanywa na wengi tu,zikiwemo hata TAASISI mbali mbali --- nataka nikuongezee kitu kuhusu Yesu,yeye sio kwamba anarekebisha watu tu " yeye anatoa na uzima wa milele " jambo ambalo hakuna mtume wala Nabii anayeweza kufanya hilo ---- wewe unatukana wakristo kwamba ni makafir,wewe mwenyewe ulikuwa mkristo,ukaenda kwenye uislam,tusemeje ulienda huko kufuata chakula " Yesu ni nuru " umetoka nuruni umekwenda ..." Math 6:23 " " ile Nuru iliyomo ndani yako ikiwa ni giza, si Giza hilo ! ... " Pole sana --- iko siku utakuja kujutia maamuzi yako milele.
Yesu ni njia ya kweli na uzima, Mungu aliupenda ulimwengu, nae akamtoa mwanae wa pekee ili kila mtu amuaminie asipotee bali awe na uzima wa milele. Yohana 3:16
@@chihoma-m4f hunijui so, huwezi jua nini nimetengeneza ila ukweli utabakia palepale acheni kutengeneza mabomu mjilipue tengenezeni vitu vya maana viwasaidie
Alhamdulillah, Nimemsikiliza vizuri mhubiri nimegundua yafuatayo 1. Ana uchache wa Elimu ya Dini Uislam 2. Hana chochote anachojua kwenye uislam hajui hata kuisoma Qur an wala hicho kiarabu anachosema kinauhifadhi uislam 3. Anasumbuliwa na njaa ya Tumbo na kichwa Ushauri : Aelimishwe yeye na Watu wake waujue uislam na kwa Kadari zake ALLAH waweze kuwa Waislam Safi
Mwaipopo Acha kunitisha brother! Jibu Hoja zangu 1. Mgogoro Msikiti wa Manyema, Masheikh wanapiga Hela, inasekana na Bakwata wanapiga Hela! 2. Magaidi watumia Qurani kuuwa watu wasiokuwa na hatia kwa kudai watenda peponi 😂😂😂dini Iyo! 3. Wataliban wana nyanyasa Wanawake kwa kudai wanafuata mafundisho ya Quran na Muhammad! 4.Sasa hivi Afghanistan Wanawake ni kosa kuongea hadharani na Wanafungiwa kusoma CHUO! 5. Muhammad alidai kwenda Mbinguni na Kurudi, Waislamu wote wanakubali! 6. Muhammad alidai kwenda kwenye Msikiti wa al-Masjid al-Aqṣā kwa Siku Moja na kurudi siku ileile, Waislamu wanaamini ni kweli😂😂
Mwaipopo hata wew ulikua mkiristo ulibadilisha dini nakua muislamu hakuna alie kulazimisha kila mtu ana uhuru wa kuamua kufuata dini ili sawa machoni pake.kumbuka hata wew baada ya kusilimu uliuponda ukristo hakuna alie kutukana chakufanya wew jibu hoja sio kulalamika alizosema yohana Omar nakuombea kwa Mungu urudi nyumbani kwasababu bado wew ni rafiki yetu
Huyu akiachwa atazua bala na chuki kati ya watu na imani zao tusifikie huko mungu atuepushe huyo amechoshwa na amani tulionayo sisi wote ni ndugu jamii moja na kila mmoja anaheshimu imani ya mwenzie sasa huyo anatakiwa adhibitiwe haraka ikiwezekana apelekwe mirembe akatibiwe.

Mbona kuna wale waliokuwa wanaichambua na kuikosoa bible na walikuwa wanaweka mihadhala au mikutano usiku kucha kuusema vby ukristu, hivi bado wapo au siku hizi wamethibitiwa?
Jama huyo na kumbuka 2006 Burundi alikuwa na kundilake wote wamesoma quoran sijuwi hata wamekwenda wapi kitambo kweli ila Alhamndullillah walikutanaga wa Burundi wamejipanga hadi wakakimbia. Waongo sana tena wajanja sana hao.
HAKIKA UZURI WA QUR'AN HUWEZI KUIBADIRI BALI ITAKUBADILI SO KAMA WAKIONA KITENDO CHAKUWAFUNDISHA QURAN WATOTO WAO WA KIKRISTO IT'S OK NA AMINI MIAKA IJAYO INSHALLAH TANZANIA TUTAKUWA WAISLAM WENGI , NAAMINI WATAKAO ISOMA QURAN HAWATAKUWA NA MOYO WA KUENDELEA KUKAA KWENYE DINI YA KIKRISTO NEVER I PROMISE WAISLAMU TUSIPANIKI KWA HAKIKA HII DINI YA ALLAH NA YUKO MAKINI.
Umeongea sawa lakini hapa kwa sadaka mbone kunakiwango cha pesa(2000+).kuna wenyenasadaka ya imani,kwaleo sina lakini nikipona mungu atanisaidia nikurudishie shukran kwa alieniombea.sadaka niyamungu .huezi kuwa unaongea mambo ya mungu na uko na paybill.wakora
Ni kweli tunampongeza Sana Yohana omari kwa kuutambua ukweli na kufahamu kuwa Yesu kiristo ndiye Mungu wa kweli, tunakungoja na wewe Mwaipopo umrudie Bwana Yesu , usiporudia ndugu yangu , jehanamu inakungoja, Yesu huyo ndiye mmiliki wa siku ya malipo anataka umwamini na kuzishika Amri zake, lakini wewe ulimfamu Mungu wa Ibrahimu ukamfamu na mwanae wa pekee Yesu, kisha ukamwacha na kuigeukia Mungu mingine, Rudi umeshakuwa kama Yule mwana mpotevu Rudi kwa baba yako.
YOTE yaliyowapata mitume ya MUNGU akiwemo Yesu ni mafundisho kwa wafuasi umma hizi SIO kama ni adhabu au ndio kutokua mitume umesahau au unafanya makusudi Yesu aliingiwa na pepo shetani akachanganyikiwa? Mpaka kufunga siku 40 inamaana hakua na nguvu? Kwa mtazamo wako? Ebu acha kufanya dini kama siasa SOMA FANYA UTAFITI UJUE DINI YA KWELI NI IPI SIO KUWA SHABIKI WA KISIASA TAZAMA DUNIA WASOMI WAKUBWA MAPROFESA WANAINGIA KWENYE UISLAM BAADA YA KUJUA UKWELI WENGINE NI MAASKOFU KAMA MWAIPOPO MPAKA PAPA BENEDICT WA 16 ALIGUNDUA UKWELI KUWA UISLAM NDIO DINI YA KWELI ALIPOWASHAURI WAKRISTO WAKAE NA WAISLAM WAZUNGUMZE WAKAMTIMUA NA KUMPOTEZA KABISA KWENYE ULIMWENGU HAWAMZUNGUMZII TENA HATUJUI MPAKA SASA KAMA YUPO AU WAMESHAMUUA , ANAGALIA MIKE TYSON , RONALDO, JANET JACKSON NA WENG MAARUFU WAMEINGIA KWENYE UISLAM MPAKA MTOTO WA MALKIA WA UINGEREZA PRINCESS DAYANA ALIPOTAKA KUSILIMU NA KUOLEWA NA MWARABU WAKAMUUA KWA AJALI YA NDEGE YAKUTENGENEZA E.T.C
@@kassimrajabu7805 Sahih Muslim 1270 b Imepokewa kutoka kwa Ibn Umar (Radhiya Allaahu anhu) kwamba Umar (radhi za Allah ziwe juu yake) alilibusu Jiwe na akasema: Mimi nakubusu, hali najua kuwa wewe ni jiwe, lakini nilimuona Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akikubusu (ndio maana nakubusu). Ash-Shama'il Al-Muhammadiyah 308 Aisha akasema: "'Ashura' ilikuwa ni siku ambayo Waquraishi walikuwa wakifunga katika zama za kikafiri [al-jahiliyya], na Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani zimshukie) alikuwa akiihifadhi pia. Hivyo, alipofika Madina. akashika saumu yake na akaamrisha kufunga Ramadhani, [Saumu] ya Ramadhani ikawa ni wajibu wa kidini, na ‘Ashura’ ikaachwa, hivyo mtu ana uhuru wa kufunga siku hii au kutofunga. Kafiri nyamaza, unabudu jiwe dini yako ni nakala chafu
@@ramadhanhassan5285 shida yenu waislam hamuenendi kiroho ndo maana Kila wakati mwamuangalia Yesu kama binadam na cc kama wakristo twamuangalia kama macho ya Kiroho ndo mtaendelea kubishana mpka siku ya kiama...Sasa kama Muhammad mwenyewe anasema yeye pia anangojea siku ya kurudi Kwa Yesu yeye pia ahukumiwe Sasa mbona nimfuate mtu mwenye atahukumiwa badala ya kumfuata mwenye atahukumu ..ULE mto mtapata siku ya kiama mtajua hamjui
@@hamisijuma3276watu wanakimbia uislamu kwasababu uislamu unaruhusu kufuga majini na ushirikina ndomana leo kila sheikh anauza madawa ya kienyeji ambayo hayajathibitushwa kitaalam
Yani huyu jamaa hata sielewi anajua nini. Hizo aya unazigeuza ili uonekane unaelewa. Mzee muhamad hajui chochote na ndivyo ilivyo. Hakuwa na uhakika na maisha yake. Yesu alijua ayateseka mana aliwaambia wanafunzi. Mwaipopo unajipata pabaya mno kaka. Hata sijui unatetea nini mana hata mud akifufuka atakucheka. Umekuwa chawa wa mud
Hamna Mungu muuaji na hayupo Mungu wa kutetewa kama unavyofanya. Ni kama kumdhalilisha huyo Mungu wako, yaani wamfanya kama yeye haoni, hasikii,hajui. Hutaki matusi na watukana mwenyewe...!
Kabithiana na hoja sio kulalamika. Vipi mumuombee Muhammad kila siku wakati ataenda peponi. Muhammad ataenda motoni na ndio maana munaomba mungu amurehemu sehemu yupo
kumswalia Mtume ni kumsifu,mtume sio kama unamuombea yeye ni kipenzi cha Cha M/Mungu na kutokana na kazi kubwa alioifanya ya kutangaza Uislamu,M/Mungu amemuahidi Mtume kuwa atatajwa na kusifiwa ,na ana malipo yasiokatika ,lakini licha ya ivo bado alikua anafanya ibada mpka miguu inavimba.
Hata kama alisoma uisilamu lkn ana mapungufu ya hali ya juu na dini haijui. Mtume Muhammad (s.a.w) hakuna anaemuombea ila tunamswalia kwa daraja na utukufu alionao, hakuna anaemuombea mbona yy hana dhambi yyte M'mungu alimuahidi hivyo kitambo. Kwa sasa mdomo mali yako lkn asubiri siku atakapokufa na kuiaga dunia kuelekea Ahera atayaona uliyokua kisema .
Tumemsikia hoja zake ni za kweli kabisa alichokisema ni kweli kwa sababu alichokisema amekisoma hajatowa kichwani mwake,so haina haja ya kumkathirikia Amina.
Muislamu anaporitadi na kuwa mkristo waislamu husema siku zote kwamba huyo kafuata kula huko ina maana kwa waislamu hakuna chakula? Na je wakristo wanaosilimu nao wanafuata nini huko?
Maamuma Mwaipopo, Acha ngojera na porojo kwa kuziongezea aya za Qur'an na maneno yako!! Muhammad anangoja adhabu ndiyo maana kawaamrisha mumswalie kwani ana kosa gani?😂😂😂😂😂😂😂
😂 ndiyo kila saa wanamswalia mtume,, ili apone , aokoke na moto😂😂,,,huyu mwaipo anawadanganya wenzie,,, mtu kasema hajui atakacho fanyiwa halafu unamfuata ,, potea wewe
Samia lais mzuli sana tuache wivu japo kweli ya mungu hatukubaliani na utekaji ila Kila mwanasiasa Kila mtu aheshimu katiba laisi hajajiweka yeye Kila jambo na wakati tumwache afanye kaz yake katiba Mambo ya kuandamana kuzomea sio sawa hayakubaliki Wala hakuna haja ya kushambuliana
Alafu nimefuatilia mijadala mingi ya kiimani nimeona hainatija kwasababu hawasomi Quran wala Biblia kwa vizuri. Wote wanasoma kijanja janja kuvutia upande wake. Huwa nasikiliza na inaniuma maana hafanyi ukweli kuokoa watu ni ujanja ujanja tu. Mwenyezi Mungu Anatuona
Mnaposema kutafuta kula tu ukristo kwann mnasema hivyo wakati nasisi tunafuata ya Yesu Kristo na Mitume wengine waliopita ata mafundisho ya Mtume Muhammad sema wanavyopingana vinatichanganya sisi kwa maswali kwann Allah Mmoja Awatume Mitume wawili ambao wanatofautiana. Wakristo na Waislam wote wanaabudu Mwenyezi Mungu Mmoja tu ila mafundisho yetu sijui yana nn nasijui binadamu tumeweka nn katika hili maana naamini Sio la Mwenyezi Mungu. Ila ni sisi wanadamu tu
Mwaipopo jitahidi kuwa na elemu kubwa angalau kama dr sule au mazinge maana wale saiv wapo kwenye levo za kimataifa hawapo kwenye chuki za kidini kama wew tatizo lako unadhan unaweza kumtetea Mung,mungu anajitetea mwenyewe
Waislamu ni jazba tu na matusi hoja hawezi kujibu. Mambo ya Mungu ndugu zangu si ya kutukanana ata kama amukubaliani. Alaf hawa mashe wehu huwa hawa jibu hoja ni maneno mengi tu ya bure.
Malafyale Mwaipopo, kwenye mijadala ya kidini usiwe mkali kuwa mpole tu. Ni eneo tunaelimishana bila kutoa povu. Fuatilia mijadala ya kiislamu inavyowasema wakristo vibaya lakini sisi wakristo tunamwamini na kumtegemea zaidi Mungu wetu na hatuna hofu naye ndio maana hatushuhuliki na anayetakana tunajua Mungu mwenyewe atashuhulika naye
Mwaipopo, Unanitusi kwamba “Kichwa changu hakina vizuri, niende nikapimwe” Sheikh Mwaipopo, mimi Sina Chuki na wewe, mimi kuwa natoa maoni yangu,kuChallenge au Kujibu HOJA zako! Utafikiri Wao ndio wanamiliki Moto na pepo ya Mwenyezi Mungu!
Huwezi kuwa na majibu sahihi katika dini yoyote tofauti na dini ya Uislamu labda kama unataka kufundishwa kuhusu Uislamu inakubidi uwe mpole na ukaulize maswali yanayokukeleketa ujibiwe na Walimu wetu, lakini husije ukajidanganya kwamba dini hizo zilizoundwa na akili za kibinadamu kwamba zitakupa majibu sahihi juu ya dini iliyo sahihi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo ni Uislamu:hakuna kitu kama hicho, kitu chochote alichokiumba Mungu mwanadamu hawezi kutengeneza kitu kama hicho kwa mfano Allah kaumba dunia;je kuna mwanadamu anaweza kutengeneza dunia kama hii?kwahiyo hata hizo dini zenu hazina hoja juu ya Uislamu!
Wala usijali ndugu yangu, wakianzisha unamalizia! Eti mkristu hataenda mbinguni wewe ni nani useme hivyo, pumbavu kabisa! Hubiri amani kama uko kiongozi was Dini, mambo ya hukumu mwachie Mungu pekee yake.
@@NancyPatrick-il8zj Ni kweli hakuna dini inayohitwa Ukristo Peponi wa dini zingine tofauti na Uislamu na huu ndiyo ukweli kwa sababu hata Yesu munayempakazia kuwa Mkristo hakuna ayah hata moja isemayo kwamba Yesu aliwahi kuingia kanisani, hakuna na dini hii ya Uislamu haikuletwa na Mtume wetu Mohammad (S.A.W) bali Mtume huyu alipewa kitabu Quran kilichobeba ujumbe ule ule ulikuwa ukibebwa na Mitume wengi waliomtangulia katika Vitabu vya Waislamu ambavyo ni Taurat,Injili,Sufii na Zaburi sasa na Quran ni miongoni mwa muendelezo huo huo katika vitabu vya Allah wala hapa husije ukaingiza habari za Bibilia hapa Bibilia sio kitabu kutoka kwa Mungu, Soma LUKA1:1-2hapa wenye Bibilia zao wanawaeleza lakini hamzingatii ubishi tu umewajaa vichwani Mwenu,Uislamu ni dini aliyokuja nayo Mtume wa kwanza Adamu,sasa jitathimini Wewe Mkristo unaponea wapi hapa?Hakuna ayah hata moja isemayo kuwa Bibibilia ni kitabu kitakatifu kutoka kwa Mwenyezi Mungu,pili hakuna ayah hata moja ya Bibilia isemayo Ukristo ni dini kutoka kwa Mungu,tatu hakuna ayah hata moja isemayo kwamba Mitume wote wa Mwenyezi Mungu walikuwa ni yao ilikuwa Ukristo haipo,Nne tuonyeshe Mtume Mussa alisali katika Kanisa gani?Mtume Ibrahim alisali katika Kanisa gani?Yesu alisali katika kanisa gani?Mama yake Yesu alisali katika Kanisa gani?Ayubu alisali katika Kanisa gani?Adam alikuwa Mkristo katika Kanisa gani?Toa ushaidi wa ayah husimtukane Mwaipopo toa hoja kwa ayah za Bibilia na Nyie Wakristo muache matusi kwa sababu dini ya Mungu inatakiwa ijitete yenyewe kwa ayah zake, Sisi dini yetu ya Uislamu inajitetea yenyewe Quran3:85,Wewe Ukristo umezaliwa umeukuta na Bibilia zake badala ulete majibu kwa hoja unatokwa matusi hujui kama unazidi kujiongezea madhambi kwa matusi yako?
Mkuki kwa Nguruwe, kwa Binadamu Mchungu. Mwanafiale, Nyani halioni kundule huliona la wenzi wake. Wewe ni mmoja wa Makanjanja, Ulijipachika uchungaji Wakati ufahamu wako ktk ukristu ni mdogo sana. Ikawa kiki ya kuingia na kupokelewa kwa shangwe ktk uislamu, kwa bahati mbaya ulivyoendelea kubwabwaja waislamu nao wakakushitukia. Mambo ya imani ni utamaduni , msicheze nayo yanagusa nafsi za jamii yote. Leo umeguswa wewe, lakini unawaalika waislamu wote , eti kwa umoja wenu mumchukulie hatua. Amani ya nchi yetu inahatarishwa na ndumila kuwili kama wewe. Hujielewi mwanafiale pole.
Muhammad sio mtume wa Mungu Acha kutudanganya pia Yule malaika jibril wa waislamu sio Yule Gabriel wa wakristo. Malaika jibril aliwahi kumdanganya mtume Muhammad kwamba waende kwa Mungu mbinguni, wakanda kipando buraq Yule mnyama mfano wa punda wakanda mpaka mbingu ya Saba mahala panaitwa situlatimuntaha kisha jibril akashuka kwenye kipando akamwelekeza Muhammad aende pekeyake kwa Mungu yeye anaogopa kumpeleka akasema akionana na Mungu itakuwa balaa kwa jibril. Sasa swali linakuja hivi jibril ni malaika wa Mungu yupi mbona anadanganya watu? Jumbe za jibril ni za uongo mtupu.😢
Huyu ci yohana omary ni wasiku nyng hajuagi hata kutetea hoja mara zote maswal anayoulizwaga hajib kbsa na pia lazma akimbie kama ni mchumia tumbo maana kwenye uislam hamna mtu kuabudiwa wala sadaka wala miujiza lazma akimbilie huko huko ongera sana shekh mwaipopo
Narudia tena mwaipopo hiyo ni mikwala tu unapiga humu kutishia watu, huwezi mshitaki mtu yeyote humu sana sana utapigwa faini wewe kama unabisha jaribu uone sheria ilivyo upanga 😂, wewe unaongea kwa mihemuko tu ila ukijaribu kushitaki mtu utafurahi 😂, acha mikwala
Kumbe Mwaipopo ni mpuuzi kiasi hiki. Nyinyi mukishuhudiya ETI mlikuwa mapsta munajiona wenye akili kuko wengine. Mwaipopo anastahili kukamatwa kwa sababu yeye ndiye anataka kuamsha jazba za watu
Pili, nimekuwa nikiuliza maswali yangu kama matatu hivi lakini hawayajibu. Naomba wewe sasa unijibu. Kwanza soma 2;97-98 pili 19:69-72, kisha 22:52. Naomba ufafanuzi wa haya hizi.
Uislam ni mzuri sana alhamdulillah tumejaaliwa kuwa waislam umma wa Muhammad weka like hapa twmpenda sana Allah na mtume wake Muhammad hakuna wakutubadili Wala kutuambia mtatuua ktk uislam ni dini salama na nzur sana hivi nivijivita vya ibilis malun hatutishiki uislam mbele kwa mbele inshaallah
Amina lab Amina
Aamin
Hata mim unishikie panga sijui nipate mke mzuri muislam siwezi ingia huko Kila mtu abaki na Imani yake na Kila mmoja aone yake ni Bora ila usidharau Iman za wengine
Uislamu ni uchawi na ukafiri, waganga wote wanatumia koran kuloga na kuagua,
Sisi ni waislam na uislam ni wetu na tutakufa katika uislam inshaallah
Barikiwa mtumishi...Yesu akuongoze siku zote
Amen yesu akupiganie kwa kumkili yey kuwa ndiye njia ya kweli na uzima.
Pole Mwaipopo kwa malamiko yako,pleasure imekupanda sana!
Uisilamu unaenda kufa,waislamu watazidi kulitadi makundi makundi.Hakuna binadamu atakuwa radhi kuwa kwa dini moja na majini😢
Aminaaa
Subhanallah! Namuomba Allah anijaalie mwisho mwema na kauli yangu iwe laaila hailAllah Muhammadan rasulullah. Alhamdulillah ☝️🕌🙏🙏🙏
Mwisho mwema ni kuongozwa na na YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA
@@paulmushi2428yesu nimwana au mungu
Inshaallah AMINA mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema jamani tubaki kwenye haki na njia ya Allah
Hassan japhari mwisho mwema ni kumkili yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai na si dini nyingine
Hata wew yusu anakupenda sana
Asante mwaipopo umenifungua macho kumbe maisha yako kwa Yesu
Yesu ndiyo kila kitu
Kila goti litapigwa na ulimi Uto confess kama YESU ni BWANA
Na wewe Mwaipopo tunasema huyu bwana akifa wewe ndo utahusika, kama sivyo twambie aliyoyasema huyu bwana ni uwongo? Kwani hakuna kwenye Quran mahali pameandikwa waislamu mnapulizwa matakoni mnaposwali? Pinga kwa hoja bwana wacha kubwabwaja wewe, ona unavyolia Lia hapo na kununuliwa tv wakristo hapo wakristo wawili tu wananunua tv na wanagekukabidhi uanze kupinga hizo hoja zako,halafu umekiri mwenye kuwa waislamu mna roho mbaya mbaya mbaya kupita shetani
Siyo vizuri kutukana dini yoyote kama imetoka basi ENDELEA na dini unayoona ndio inafaa
@@StellaKaluwa hajatukana
Hongera sana mtumishi kwa kumuacha Muhammad na kumfuata Yesu Kristo
Amefunguliwa ufahamu sasa yupo na Yesu na Safari yake ya kwenda Mbinguni imeanza
Yesu alisema yeye ni njia ya kweli na uzima mtu awezi kwenda kwa Baba (Mbinguni) bila kupitia kwa yeye.
Wakati muhamed alisema yeye hajui anaenda wapi na wala hajui wafuasi wake wanaenda wapi ila anawaonya tu.
Sasa kama una ufahamu mzuri na una nia ya kwenda Mbinguni utamfuata nani hapo?
@@AGM19697 Bora ungeweka na vifungu kwa ushahidi sio kuongea kama Mlevi Mr.
Umepaniki be an nal
Yesu hajui kama kuna dini inaitwa ukristo wala kwa bibilia hakuna dini inayoitwa ukristo
Wewe uliyeokoka hongera sana YESU KRISTO ni jibu.
Nashukuru sana kuzaliwa MKRISTO!!
Pole kwa kuzaliwa kwenye giza na ipo siku utakuja kujuta mana ukiristo sio dini bali ni jina la mtu tuu
Mungu nifishe nikiwa bado muslam na kauli yangu iwe ni LAILA HAILA LLAH MUHAMADI RASULU LLAH siku ya kuondoka dunian
pole sn ila mkristo mitapeli tu ww tukana fanya vyovyote ila ukisto nn kwn ckikudi cha zozo tu huku kwenye makanisa yenu
Mm ni niliweza kuslimu miaka nne imepita kutokea kanisa la jeshi la wokovu.Ukristo wa sasa naulinganisha na makampuni kubwa sana duniani.Ukipata shida,bora tu ukona uwezo wa kuongelesha watu kama watano na elimu yako ndogo ya bibilia.Walai utakuwa tajiri.Valia suit yako na kiatu ya rangi na ubebe bibilia na uingie barabarani katu huwezi lala njaa.#Uislamu dini yangu hadi umauti unipate.
Kuacha uisilam hakuhitaji elim kufata yesu kunahitaji tu imani pekee, niwambie tu mimi nimeijua kweli nikaokoka nanina amini kubwa sana, huwezi kutukuza marehem ukawa na amani, hapana, nimpongeze sana huyu mwisilam alieokoka, nimpe pole sana mwisilam ambae hana shauku au fukuto ya kutookoka, barkiwa sana mwaipopo.
Nakupenda sana sheikh wangu nakutumia ela ukamjibu uyo yohana tapeli. Inshallah nifolo ukisema auna ela ya kula au shida yayote kama nina uwezo nita kupatia bila kuchelewa ata kidogo
Uislam ni msiba mkubwa ni mapadre na mohamad wamewapoteza watu.. Watu
Namshukuru Mungu wangu kuwa Nimezaliwa Muislamu na Sala tano na sio sala moja tu kwa wiki na Inshallah nitakufa Muislamu. Allah Akbar
Kwani wakristo tunaomba mara moja kwa wiki??😂😂😂😂😂😂😂
Tunaenda kwa ibada mara moja kwa wiki ila tunaomba zaidi ya mara saba kwa kila siku
Kwani bado upo... nilidhani kwamba tayari umekufa 😮😮 fanya haraka basi.
Sifa kubwa kwa wahubiri wa kikristo ni kupinda au kutokutoa tafsiri sahihi ya muongozo wa kiislam .
Allah akuwafikishe
Usipoteze muda ndugu, Wahi kwa Yesu, yeye ndiye njia ya kweli na uzima
Shekh Allah akuzidishie kazinzuriiyo na akupe umri na baraka
Allah atufanyie wepes kwa rehma zake inshaallah
Mwaipopo,hongera kwa jitihada zako za kurekebisha tabia za watu --- hilo linafanywa na wengi tu,zikiwemo hata TAASISI mbali mbali --- nataka nikuongezee kitu kuhusu Yesu,yeye sio kwamba anarekebisha watu tu " yeye anatoa na uzima wa milele " jambo ambalo hakuna mtume wala Nabii anayeweza kufanya hilo ---- wewe unatukana wakristo kwamba ni makafir,wewe mwenyewe ulikuwa mkristo,ukaenda kwenye uislam,tusemeje ulienda huko kufuata chakula " Yesu ni nuru " umetoka nuruni umekwenda ..." Math 6:23 " " ile Nuru iliyomo ndani yako ikiwa ni giza, si Giza hilo ! ... " Pole sana --- iko siku utakuja kujutia maamuzi yako milele.
😂😂😂😂
Hongera sana sheikh kwa kujua ukweli YESU KRISTO NDIO NJIA YA KWELI
Mkondoo bwana!!!! Tabu kwelikweli
Muongo
Wengi Sana hao hadi waarabu humu TH-cam wako wengi
ndio tupo wengi ila ukiristo kikundi cha wahuni tu
@@chihoma-m4f makondoo wa warabu mko wengi au siyo? 😂😂😂
Yesu ni njia ya kweli na uzima, Mungu aliupenda ulimwengu, nae akamtoa mwanae wa pekee ili kila mtu amuaminie asipotee bali awe na uzima wa milele. Yohana 3:16
Alihamdulilah Allah nijaalir nife hal ya kuw muislam
Sheikh, Ninakuelewa sanaaa. Allah akuongezee umri uweze kulingania dini tukufu ya Allah.
Hakika Makafiri wataingia motoni.
Kafiri ni nani?
@@paulmushi2428Kafiri ni yule anaekwenda kinyume na Amri za M'mungu. Kama utafungua kurasa za bibilia utaliona neno hilo na lina maana moja.
Makafiri ni wale wasio na dini ya haki na ya kweli ambayo ni uislam
@@mwawekomiuda9779 Sawa kafiri
@@jafarinauma6798 Uislamu ni Dini ya Haki Kwa Waarabu Maqureishi Wa Pagani wa Makka wanaosujudia Al hajar Al aswad lililoko kwenye Kaaba
Uislam majanga
Tunajua kwamba hata wewe ulipekekwa na njaa😂😂😂😂😂😂
Majangaukirsto
Wawe na taaluma kama zipi? Kutengeneza mabomu na kujiripua? Magali, ndege zote zimezinduliwa na wakristu
ety ndege na mabomu ww mkristo ww umetegeza hata kalamu mbichwawako
@@chihoma-m4f hunijui so, huwezi jua nini nimetengeneza ila ukweli utabakia palepale acheni kutengeneza mabomu mjilipue tengenezeni vitu vya maana viwasaidie
Masha Allah sheikh ❤❤❤❤❤❤ from🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Alhamdulillah, Nimemsikiliza vizuri mhubiri nimegundua yafuatayo
1. Ana uchache wa Elimu ya Dini Uislam
2. Hana chochote anachojua kwenye uislam hajui hata kuisoma Qur an wala hicho kiarabu anachosema kinauhifadhi uislam
3. Anasumbuliwa na njaa ya Tumbo na kichwa
Ushauri : Aelimishwe yeye na Watu wake waujue uislam na kwa Kadari zake ALLAH waweze kuwa Waislam Safi
Anaelewa kuliko wewe, ndo maana kaacha
Sasa wewe twambie maana ya kumsalia mtume
Wislam ninema kwakweli ukifa uko muislam umefaulu Alhamdulillah
Mwaipopo Acha kunitisha brother! Jibu Hoja zangu
1. Mgogoro Msikiti wa Manyema, Masheikh wanapiga Hela, inasekana na Bakwata wanapiga Hela!
2. Magaidi watumia Qurani kuuwa watu wasiokuwa na hatia kwa kudai watenda peponi 😂😂😂dini Iyo!
3. Wataliban wana nyanyasa Wanawake kwa kudai wanafuata mafundisho ya Quran na Muhammad!
4.Sasa hivi Afghanistan Wanawake ni kosa kuongea hadharani na Wanafungiwa kusoma CHUO!
5. Muhammad alidai kwenda Mbinguni na Kurudi, Waislamu wote wanakubali!
6. Muhammad alidai kwenda kwenye Msikiti wa al-Masjid al-Aqṣā kwa Siku Moja na kurudi siku ileile, Waislamu wanaamini ni kweli😂😂
Achana na mapepo hao, hawajielewi!
Wakujibu kumbe nihilo kwani nimatusi hayo mwaipopo.
Mbona wewe ulipo silim uliongea vibaya kuhusu ukristo aii acha ufitina😂😂😂
mashaallah mungu akuongoe zaid na zaid
MaashaAllah mkomeshe uyo juhaa
Mwaipopo hata wew ulikua mkiristo ulibadilisha dini nakua muislamu hakuna alie kulazimisha kila mtu ana uhuru wa kuamua kufuata dini ili sawa machoni pake.kumbuka hata wew baada ya kusilimu uliuponda ukristo hakuna alie kutukana chakufanya wew jibu hoja sio kulalamika alizosema yohana Omar nakuombea kwa Mungu urudi nyumbani kwasababu bado wew ni rafiki yetu
Huyo njaa inamsumbua tu maskini wa roho. Ni kama mshabiki wa mpira tu na akifungua madrasa wataslimu wengi sana.
Huyu akiachwa atazua bala na chuki kati ya watu na imani zao tusifikie huko mungu atuepushe huyo amechoshwa na amani tulionayo sisi wote ni ndugu jamii moja na kila mmoja anaheshimu imani ya mwenzie sasa huyo anatakiwa adhibitiwe haraka ikiwezekana apelekwe mirembe akatibiwe.
Huyu akiachwa atazua bala na chuki kati ya watu na imani zao tusifikie huko mungu atuepushe huyo amechoshwa na amani tulionayo sisi wote ni ndugu jamii moja na kila mmoja anaheshimu imani ya mwenzie sasa huyo anatakiwa adhibitiwe haraka ikiwezekana apelekwe mirembe akatibiwe.
Huyo hakuwa muislam alipandikizwa hata maelezo hayana mashiko
Mbona kuna wale waliokuwa wanaichambua na kuikosoa bible na walikuwa wanaweka mihadhala au mikutano usiku kucha kuusema vby ukristu, hivi bado wapo au siku hizi wamethibitiwa?
Hongera sana Mwaipopo kwa kusaidia kumtangaza Bwana Yesu Mwokozi wa ulimwengu wote kwa ndugu zako waislam
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima bila Yesu hakuna mbigu
Mungu akupiganie baba
DEREVA BAJAJI KWADIWANI KIPUNGUNI UKONGA INSHALLAH ALLAH ATAKULIPA NIKWELI TUPO WENGI TUTAPOTESHWA AMBAO HATUJUI KITU
Kweli kaijua kweli badowewe mwaipopo
Jama huyo na kumbuka 2006 Burundi alikuwa na kundilake wote wamesoma quoran sijuwi hata wamekwenda wapi kitambo kweli ila Alhamndullillah walikutanaga wa Burundi wamejipanga hadi wakakimbia. Waongo sana tena wajanja sana hao.
Mipango ya Allah nimikubwa kuliko hila zao
HAKIKA UZURI WA QUR'AN HUWEZI KUIBADIRI BALI ITAKUBADILI SO KAMA WAKIONA KITENDO CHAKUWAFUNDISHA QURAN WATOTO WAO WA KIKRISTO IT'S OK NA AMINI MIAKA IJAYO INSHALLAH TANZANIA TUTAKUWA WAISLAM WENGI , NAAMINI WATAKAO ISOMA QURAN HAWATAKUWA NA MOYO WA KUENDELEA KUKAA KWENYE DINI YA KIKRISTO NEVER I PROMISE WAISLAMU TUSIPANIKI KWA HAKIKA HII DINI YA ALLAH NA YUKO MAKINI.
Ni kweli wanasema "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA WEWE ZAKO TIA MAJI?'
Aaaakumbe mganga wakienyejdiii 😂😂😂😂kumbe wew kenge tuuuu
Umeongea sawa lakini hapa kwa sadaka mbone kunakiwango cha pesa(2000+).kuna wenyenasadaka ya imani,kwaleo sina lakini nikipona mungu atanisaidia nikurudishie shukran kwa alieniombea.sadaka niyamungu .huezi kuwa unaongea mambo ya mungu na uko na paybill.wakora
Allah akulipe kheli nyingi
Mungu akutie nguvu maadui washingwe..
Thanks lord Jesus christ
Huyu Mchungaji ni mjinga Yesu alisema"Laiti mngelijuwa,nahitaji Rehema na wala si sadaka" hayo maneno hakuna mchungaji anaeweza kuyafafanua😂😂😂😂
Ni kweli tunampongeza Sana Yohana omari kwa kuutambua ukweli na kufahamu kuwa Yesu kiristo ndiye Mungu wa kweli, tunakungoja na wewe Mwaipopo umrudie Bwana Yesu , usiporudia ndugu yangu , jehanamu inakungoja, Yesu huyo ndiye mmiliki wa siku ya malipo anataka umwamini na kuzishika Amri zake, lakini wewe ulimfamu Mungu wa Ibrahimu ukamfamu na mwanae wa pekee Yesu, kisha ukamwacha na kuigeukia Mungu mingine, Rudi umeshakuwa kama Yule mwana mpotevu Rudi kwa baba yako.
Amen kubwa
Shekhe mungu akuhifadhi
Uislamu ni ukafir na shukuru mungu kwa kuniondoa katika hiyo dini. Mtume hajui atakavyofanywa 🤔🤔🤔🤔. Mtume wakwanza kurogwa
YOTE yaliyowapata mitume ya MUNGU akiwemo Yesu ni mafundisho kwa wafuasi umma hizi SIO kama ni adhabu au ndio kutokua mitume umesahau au unafanya makusudi Yesu aliingiwa na pepo shetani akachanganyikiwa? Mpaka kufunga siku 40 inamaana hakua na nguvu? Kwa mtazamo wako? Ebu acha kufanya dini kama siasa SOMA FANYA UTAFITI UJUE DINI YA KWELI NI IPI SIO KUWA SHABIKI WA KISIASA TAZAMA DUNIA WASOMI WAKUBWA MAPROFESA WANAINGIA KWENYE UISLAM BAADA YA KUJUA UKWELI WENGINE NI MAASKOFU KAMA MWAIPOPO MPAKA PAPA BENEDICT WA 16 ALIGUNDUA UKWELI KUWA UISLAM NDIO DINI YA KWELI ALIPOWASHAURI WAKRISTO WAKAE NA WAISLAM WAZUNGUMZE WAKAMTIMUA NA KUMPOTEZA KABISA KWENYE ULIMWENGU HAWAMZUNGUMZII TENA HATUJUI MPAKA SASA KAMA YUPO AU WAMESHAMUUA , ANAGALIA MIKE TYSON , RONALDO, JANET JACKSON NA WENG MAARUFU WAMEINGIA KWENYE UISLAM MPAKA MTOTO WA MALKIA WA UINGEREZA PRINCESS DAYANA ALIPOTAKA KUSILIMU NA KUOLEWA NA MWARABU WAKAMUUA KWA AJALI YA NDEGE YAKUTENGENEZA E.T.C
Maskini weeee!!!pole sana kwakupotea ndugu
Ona kafiri huyu,eti uislam ni ukafiri??daaah!!
@@kassimrajabu7805 Sahih Muslim 1270 b Imepokewa kutoka kwa Ibn Umar (Radhiya Allaahu anhu) kwamba Umar (radhi za Allah ziwe juu yake) alilibusu Jiwe na akasema: Mimi nakubusu, hali najua kuwa wewe ni jiwe, lakini nilimuona Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akikubusu (ndio maana nakubusu).
Ash-Shama'il Al-Muhammadiyah 308 Aisha akasema: "'Ashura' ilikuwa ni siku ambayo Waquraishi walikuwa wakifunga katika zama za kikafiri [al-jahiliyya], na Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani zimshukie) alikuwa akiihifadhi pia. Hivyo, alipofika Madina. akashika saumu yake na akaamrisha kufunga Ramadhani, [Saumu] ya Ramadhani ikawa ni wajibu wa kidini, na ‘Ashura’ ikaachwa, hivyo mtu ana uhuru wa kufunga siku hii au kutofunga.
Kafiri nyamaza, unabudu jiwe dini yako ni nakala chafu
@@kassimrajabu7805mtume alilogwa au hakulogwa?
Uislam sio dini ya mwenyezi Mungu ni kikundi Cha mtume Muhammad..
Kamawewekikundichayesu
Toa neno moja kwenye bibilia wapi ukiristo ni dini?nakama yesu ni mungu je mungu anatairiwa?
@@ramadhanhassan5285 shida yenu waislam hamuenendi kiroho ndo maana Kila wakati mwamuangalia Yesu kama binadam na cc kama wakristo twamuangalia kama macho ya Kiroho ndo mtaendelea kubishana mpka siku ya kiama...Sasa kama Muhammad mwenyewe anasema yeye pia anangojea siku ya kurudi Kwa Yesu yeye pia ahukumiwe Sasa mbona nimfuate mtu mwenye atahukumiwa badala ya kumfuata mwenye atahukumu ..ULE mto mtapata siku ya kiama mtajua hamjui
Yani ukifundisha Yesu si Mungu. N'a Paulo si mtume mbona unajiona uko Salama.
Mtaumia Sana 😂
Wewe ulinikimbia wewe whstsapp ktk hoja
Sasa vipi utaamin aliezaliwa kwa tupu ya mwanamke ni mungu
@@faridfrefre35ndiyo
Hawa ndugu waliuacha uislamu kwà nn??
th-cam.com/video/qz4KFAbZ8-I/w-d-xo.htmlsi=h5Jqk2xJa-gcWswc
th-cam.com/video/DR7_YQ53lfI/w-d-xo.htmlsi=94DbhtBsCsjWsUZ_
Aliyekukimbia haujui uislamu.Wewe VP uamini jini lililomleta Muhammad kuwa mungu?Kwa hiyo ni bora kuamini majini kuliko aliyezaliwa?
@@hamisijuma3276watu wanakimbia uislamu kwasababu uislamu unaruhusu kufuga majini na ushirikina ndomana leo kila sheikh anauza madawa ya kienyeji ambayo hayajathibitushwa kitaalam
Nakuonea huruma sana kwakukosa neema yauislam
Najivunia sana kuwa mkisto manasisi hatulipi kisasi kisasi ni kazi ya mungu wala hatuukumu kama wewe mwaipopo kaa kimya
Mbonainapotokaukritowanavamianchizawatu
Safi sn mtumishi
Jamani hawa waislamu wana hofu sana mpaka wamesha paniki kwahy mwe nao makini sana
Mbona wako wengi Sana TH-cam tena waarabu mpaka WA Iran kibao
Muda mrefu sana wamekuwa kwenye dini yao kwa kulazimishwa na kubanwa wasitoke, sasa wakiuona mwanga wa Yesu furaha yao inapitiliza mpaka raha
Yani huyu jamaa hata sielewi anajua nini. Hizo aya unazigeuza ili uonekane unaelewa. Mzee muhamad hajui chochote na ndivyo ilivyo. Hakuwa na uhakika na maisha yake. Yesu alijua ayateseka mana aliwaambia wanafunzi. Mwaipopo unajipata pabaya mno kaka. Hata sijui unatetea nini mana hata mud akifufuka atakucheka. Umekuwa chawa wa mud
Hamna Mungu muuaji na hayupo Mungu wa kutetewa kama unavyofanya. Ni kama kumdhalilisha huyo Mungu wako, yaani wamfanya kama yeye haoni, hasikii,hajui. Hutaki matusi na watukana mwenyewe...!
Kabithiana na hoja sio kulalamika. Vipi mumuombee Muhammad kila siku wakati ataenda peponi. Muhammad ataenda motoni na ndio maana munaomba mungu amurehemu sehemu yupo
Tuliza akili yako na Acha ujinga
kumswalia Mtume ni kumsifu,mtume sio kama unamuombea yeye ni kipenzi cha Cha M/Mungu na kutokana na kazi kubwa alioifanya ya kutangaza Uislamu,M/Mungu amemuahidi Mtume kuwa atatajwa na kusifiwa ,na ana malipo yasiokatika ,lakini licha ya ivo bado alikua anafanya ibada mpka miguu inavimba.
Kwa iyo kusema kuwa Muhammad yupo katika moto hiyo ndoto ya alinacha .
Huyu sio shehe wala hajasomesha Quran haijui amejifunza baadhi ya aya tu ili kuikàshifu dini
@@salehothman6144 Acha upotoshaji wa maneno kumswalia na kumtakia rehema Muhammad je hayo ni maneno ya kumsifu? Mbona unakuwa mwongo?
Kwani si anasoma Quran na kuitafsiri kosa lake ni lipi
Wala hajatukana, kosa lake ni kutoboa siri mbele za wasiojua!!!
Siri zinazidi kufichuka na ndio wasichopenda hicho
Uislamu uko wazi Qur'an Iko wazi yeye ndio anasiri
Hata kama alisoma uisilamu lkn ana mapungufu ya hali ya juu na dini haijui. Mtume Muhammad (s.a.w) hakuna anaemuombea ila tunamswalia kwa daraja na utukufu alionao, hakuna anaemuombea mbona yy hana dhambi yyte M'mungu alimuahidi hivyo kitambo. Kwa sasa mdomo mali yako lkn asubiri siku atakapokufa na kuiaga dunia kuelekea Ahera atayaona uliyokua kisema .
Yaani wewe kuomba na kusalia hujui pole wewe utakuwa na shetani wa kijini
Wadanganyeni hao hao wasioelewa, kweli uislam bila uongo ungekufa aise dah 😂
Tumemsikia hoja zake ni za kweli kabisa alichokisema ni kweli kwa sababu alichokisema amekisoma hajatowa kichwani mwake,so haina haja ya kumkathirikia Amina.
Hahahahshahaaa... eti Muhammad hana dhambi yoyote! Ya kweli hayo? Ndio vitabu vya waislamu Kur'ani na Hadithi vinavyosema? Waislamu semeni ukweli...
Muislamu anaporitadi na kuwa mkristo waislamu husema siku zote kwamba huyo kafuata kula huko ina maana kwa waislamu hakuna chakula? Na je wakristo wanaosilimu nao wanafuata nini huko?
Maamuma Mwaipopo, Acha ngojera na porojo kwa kuziongezea aya za Qur'an na maneno yako!! Muhammad anangoja adhabu ndiyo maana kawaamrisha mumswalie kwani ana kosa gani?😂😂😂😂😂😂😂
😂 ndiyo kila saa wanamswalia mtume,, ili apone , aokoke na moto😂😂,,,huyu mwaipo anawadanganya wenzie,,, mtu kasema hajui atakacho fanyiwa halafu unamfuata ,, potea wewe
Unamsifuyesukwafaida
Kwafaidayanani
Yohana omar kakosa taufiq ya allah allah ampe taufiq pamoja na wengne
POLENI SANA
Yesu anakupenda mwaipopo na waisram okoken jmn
Samia lais mzuli sana tuache wivu japo kweli ya mungu hatukubaliani na utekaji ila Kila mwanasiasa Kila mtu aheshimu katiba laisi hajajiweka yeye Kila jambo na wakati tumwache afanye kaz yake katiba Mambo ya kuandamana kuzomea sio sawa hayakubaliki Wala hakuna haja ya kushambuliana
Alafu nimefuatilia mijadala mingi ya kiimani nimeona hainatija kwasababu hawasomi Quran wala Biblia kwa vizuri. Wote wanasoma kijanja janja kuvutia upande wake. Huwa nasikiliza na inaniuma maana hafanyi ukweli kuokoa watu ni ujanja ujanja tu. Mwenyezi Mungu Anatuona
POLENI SANA NDUGU ZANGU WAISLAM MSIOELEWA UKWELI NDO HUO MTUME MUHAMMAD ANASUBIRI UJIO WA YESU KRISTO SIKU YA MWISHO
Mnaposema kutafuta kula tu ukristo kwann mnasema hivyo wakati nasisi tunafuata ya Yesu Kristo na Mitume wengine waliopita ata mafundisho ya Mtume Muhammad sema wanavyopingana vinatichanganya sisi kwa maswali kwann Allah Mmoja Awatume Mitume wawili ambao wanatofautiana. Wakristo na Waislam wote wanaabudu Mwenyezi Mungu Mmoja tu ila mafundisho yetu sijui yana nn nasijui binadamu tumeweka nn katika hili maana naamini Sio la Mwenyezi Mungu. Ila ni sisi wanadamu tu
Nakupa pole sana kwakupotea kuingia dini isiyo ya haki
Mwaipopo jitahidi kuwa na elemu kubwa angalau kama dr sule au mazinge maana wale saiv wapo kwenye levo za kimataifa hawapo kwenye chuki za kidini kama wew tatizo lako unadhan unaweza kumtetea Mung,mungu anajitetea mwenyewe
Uelewa mdogo
Hapo napo inategemea ni Mungu yupi.
Anayejitetea ni Yule mwenye nguvu na mamlaka yote Jehova Mungu wa milele
PROUD TO BE CATHOLIC,,,, FAITH
Uhuru wa kuabudu hatari sna. Subhana LLAH.
Ulitaka kuwe na lazima 😅😅
Mbwa we
Waislamu ni jazba tu na matusi hoja hawezi kujibu. Mambo ya Mungu ndugu zangu si ya kutukanana ata kama amukubaliani. Alaf hawa mashe wehu huwa hawa jibu hoja ni maneno mengi tu ya bure.
Malafyale Mwaipopo, kwenye mijadala ya kidini usiwe mkali kuwa mpole tu. Ni eneo tunaelimishana bila kutoa povu.
Fuatilia mijadala ya kiislamu inavyowasema wakristo vibaya lakini sisi wakristo tunamwamini na kumtegemea zaidi Mungu wetu na hatuna hofu naye ndio maana hatushuhuliki na anayetakana tunajua Mungu mwenyewe atashuhulika naye
Mwaipopo hongera hata wewe Fanya uamuzi mbora urudi Kwa YESU uendelee kujua ukweli kama Omar
Uislam ni msiba sio Din ya mungu ni ya Mohamad na mapadre
Mwaipopo umewafungua macho,
Kichaa huyo achana naye kiongozi wetu Mwaipopo heshima yako ni kubwa sana
Mwaipopo. Huna elimu. Kama. HUYO. Yohana
Pamoja na Elimu, Yohana amefunguliwa ufahamu wake pia
Asalam alaykum
Yesu ndo njia yakweri na uzima akuna mtu ataenda kwa mungu bila kupita kwa yesu
Mwaipopo, Unanitusi kwamba “Kichwa changu hakina vizuri, niende nikapimwe”
Sheikh Mwaipopo, mimi Sina Chuki na wewe, mimi kuwa natoa maoni yangu,kuChallenge au Kujibu HOJA zako! Utafikiri Wao ndio wanamiliki Moto na pepo ya Mwenyezi Mungu!
Huwezi kuwa na majibu sahihi katika dini yoyote tofauti na dini ya Uislamu labda kama unataka kufundishwa kuhusu Uislamu inakubidi uwe mpole na ukaulize maswali yanayokukeleketa ujibiwe na Walimu wetu, lakini husije ukajidanganya kwamba dini hizo zilizoundwa na akili za kibinadamu kwamba zitakupa majibu sahihi juu ya dini iliyo sahihi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo ni Uislamu:hakuna kitu kama hicho, kitu chochote alichokiumba Mungu mwanadamu hawezi kutengeneza kitu kama hicho kwa mfano Allah kaumba dunia;je kuna mwanadamu anaweza kutengeneza dunia kama hii?kwahiyo hata hizo dini zenu hazina hoja juu ya Uislamu!
@@ramadhanwilbard8196 ya kigaidi au
Wala usijali ndugu yangu, wakianzisha unamalizia! Eti mkristu hataenda mbinguni wewe ni nani useme hivyo, pumbavu kabisa! Hubiri amani kama uko kiongozi was Dini, mambo ya hukumu mwachie Mungu pekee yake.
@@NancyPatrick-il8zj Ni kweli hakuna dini inayohitwa Ukristo Peponi wa dini zingine tofauti na Uislamu na huu ndiyo ukweli kwa sababu hata Yesu munayempakazia kuwa Mkristo hakuna ayah hata moja isemayo kwamba Yesu aliwahi kuingia kanisani, hakuna na dini hii ya Uislamu haikuletwa na Mtume wetu Mohammad (S.A.W) bali Mtume huyu alipewa kitabu Quran kilichobeba ujumbe ule ule ulikuwa ukibebwa na Mitume wengi waliomtangulia katika Vitabu vya Waislamu ambavyo ni Taurat,Injili,Sufii na Zaburi sasa na Quran ni miongoni mwa muendelezo huo huo katika vitabu vya Allah wala hapa husije ukaingiza habari za Bibilia hapa Bibilia sio kitabu kutoka kwa Mungu, Soma LUKA1:1-2hapa wenye Bibilia zao wanawaeleza lakini hamzingatii ubishi tu umewajaa vichwani Mwenu,Uislamu ni dini aliyokuja nayo Mtume wa kwanza Adamu,sasa jitathimini Wewe Mkristo unaponea wapi hapa?Hakuna ayah hata moja isemayo kuwa Bibibilia ni kitabu kitakatifu kutoka kwa Mwenyezi Mungu,pili hakuna ayah hata moja ya Bibilia isemayo Ukristo ni dini kutoka kwa Mungu,tatu hakuna ayah hata moja isemayo kwamba Mitume wote wa Mwenyezi Mungu walikuwa ni yao ilikuwa Ukristo haipo,Nne tuonyeshe Mtume Mussa alisali katika Kanisa gani?Mtume Ibrahim alisali katika Kanisa gani?Yesu alisali katika kanisa gani?Mama yake Yesu alisali katika Kanisa gani?Ayubu alisali katika Kanisa gani?Adam alikuwa Mkristo katika Kanisa gani?Toa ushaidi wa ayah husimtukane Mwaipopo toa hoja kwa ayah za Bibilia na Nyie Wakristo muache matusi kwa sababu dini ya Mungu inatakiwa ijitete yenyewe kwa ayah zake, Sisi dini yetu ya Uislamu inajitetea yenyewe Quran3:85,Wewe Ukristo umezaliwa umeukuta na Bibilia zake badala ulete majibu kwa hoja unatokwa matusi hujui kama unazidi kujiongezea madhambi kwa matusi yako?
@@NancyPatrick-il8zj✊🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿kweli kabisa Waislamu kuwa wanazinguwa saana, yaani hasiekuwa Muislamu anaenda motoni, hii zaidi ya Uchawi na Roho mbaya
Mkuki kwa Nguruwe, kwa Binadamu Mchungu. Mwanafiale, Nyani halioni kundule huliona la wenzi wake. Wewe ni mmoja wa Makanjanja, Ulijipachika uchungaji Wakati ufahamu wako ktk ukristu ni mdogo sana. Ikawa kiki ya kuingia na kupokelewa kwa shangwe ktk uislamu, kwa bahati mbaya ulivyoendelea kubwabwaja waislamu nao wakakushitukia. Mambo ya imani ni utamaduni , msicheze nayo yanagusa nafsi za jamii yote. Leo umeguswa wewe, lakini unawaalika waislamu wote , eti kwa umoja wenu mumchukulie hatua. Amani ya nchi yetu inahatarishwa na ndumila kuwili kama wewe. Hujielewi mwanafiale pole.
Kwahiyo apo naww unaona umeongea hoja nzito kwelikweli😂😂😂
Bola ukose mali upate akili
Jamni tubuni namumpokee yesu kama mwokozi wenu .maana very soon yesu anarudi 😢😢
utasubir sn
Karibuni kwa yesu ndie njia iliyo sahihi kwenda kwa mungu
Amen
Uyu alie Sema
Muhammad anasubiliwa
Kusulubiwa wa nandiyo maana
Kichwa kinasujudiwa chin
Kwan mtume wetu amefanya nin
ILA WAISLAMU!!!YANI NEEMA ZIMUENDEE MUHAMAD WAKATI ALISHA KUFA
Acha awafurahishe watu ila atakuja lia akiwa pekeke yake
Allah amuongoze atubie kabla umauti haujamfika
Ukweli umefika mara paaaaa
Yahaya omari aliujua ukweli akauacha uislam.
Amestukaa
Yohana ameifahamu kweli, ameamua kumfuata Yesu Kristo
Akili za kondoo kutembea kichwa chini
@@nassorsharifu9837dini gn ya mtume kuoa mtoto wa miaka tisa bhana wewe!!!,huo NI ushenzi tuu
Waislam njooni Yesu bado nafasi ipo kabla mlango haujafungwa
Tena wawahi kabisaa, dalili zinaonyesha Yesu yupo karibu kurudi kuchukua wzliomkubali
Uzuli waislam sis sio mambumbu
Mgekuwa siyo mbumbumbu msingemwamini huyo tapeli na muuwaji
Wasomi wote duniani wakristo na ndio wagunduzi wa kila jambo
Ingekuwa sio mbumbumbu ungeshastuka na kupokea Yesu mapeema kabla ujachekewa
Muhammad sio mtume wa Mungu Acha kutudanganya pia Yule malaika jibril wa waislamu sio Yule Gabriel wa wakristo. Malaika jibril aliwahi kumdanganya mtume Muhammad kwamba waende kwa Mungu mbinguni, wakanda kipando buraq Yule mnyama mfano wa punda wakanda mpaka mbingu ya Saba mahala panaitwa situlatimuntaha kisha jibril akashuka kwenye kipando akamwelekeza Muhammad aende pekeyake kwa Mungu yeye anaogopa kumpeleka akasema akionana na Mungu itakuwa balaa kwa jibril. Sasa swali linakuja hivi jibril ni malaika wa Mungu yupi mbona anadanganya watu? Jumbe za jibril ni za uongo mtupu.😢
Huyu ci yohana omary ni wasiku nyng hajuagi hata kutetea hoja mara zote maswal anayoulizwaga hajib kbsa na pia lazma akimbie kama ni mchumia tumbo maana kwenye uislam hamna mtu kuabudiwa wala sadaka wala miujiza lazma akimbilie huko huko ongera sana shekh mwaipopo
Ni kweli Allah wakbal ni kumuombea Mtume Mohamed? Na adhana ni UKIONA mwenzio ANANYOLEWA........
@Sheikh shafi, Professor Mazinge mmemuona uyu mjaa njaa
😂😂😂😂😂 Kwani Kwa akili yako unadhani hawamjui😂😂😂
Wanamjua sana kama katumwa akapewe sadaka na hana mudamrefu huyo kifo kinamyemelea
Shskhe Mwaipopo Shekhe Mazinge tunaomba mumjibu jamani mlevi huyu
Huyu sheikh ci mlevi bali amepata njia ya haki yesu tosha
Hapo hakuna la kujibu
Narudia tena mwaipopo hiyo ni mikwala tu unapiga humu kutishia watu, huwezi mshitaki mtu yeyote humu sana sana utapigwa faini wewe kama unabisha jaribu uone sheria ilivyo upanga 😂, wewe unaongea kwa mihemuko tu ila ukijaribu kushitaki mtu utafurahi 😂, acha mikwala
😂😂😂
Mwaipopo hoi nafasi yako ipo Yesu anakuhitaji usihofu wakezako njoonao tutakupokea.
Hawezi mipepo na majini ndo yamempeleka huko akirudi ataungua
Kumbe Mwaipopo ni mpuuzi kiasi hiki. Nyinyi mukishuhudiya ETI mlikuwa mapsta munajiona wenye akili kuko wengine. Mwaipopo anastahili kukamatwa kwa sababu yeye ndiye anataka kuamsha jazba za watu
😂😂😂😂 wewe Joshua ni mtu mdogo sana.wewe huwezi kumfanya chochote mwaipopo.lakini wewe hiyo njaa itakuletea balaa
@@AssumaniBavumiragiye ni udogo wa kiasi gani
Kwan Muhammad ameongea na Mungu? Ni vyema atajwe aliyezungumza na Muhammad ambaye Jibril ,, usimuweke Mungu mahalo pa Jibril.
Pili, nimekuwa nikiuliza maswali yangu kama matatu hivi lakini hawayajibu. Naomba wewe sasa unijibu. Kwanza soma 2;97-98 pili 19:69-72, kisha 22:52. Naomba ufafanuzi wa haya hizi.
Mpuuzi mkubwa mbwa
WAJINGA NYIE SOMA QURANI 3:55 WAKRISTO WOTE WATAKUWA JUU WOTE WANAOMFUATA YESU ILA WANAOMFUATA MUHAMADI WATAKUWA CHINI
Hhhha,tatizo lako ni uelewa mdogo