Usituchokoze waislamu,kabla haujamuita Rais Samia mdini tazama hizi Takwimu - Sheikh Mziwanda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2023

ความคิดเห็น • 458

  • @soudia9084
    @soudia9084 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh Ilunga.mmMwenyezi Mungu amrahamu

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 ปีที่แล้ว +6

    Shukran sheikh, ALLAH akuhifadhi, huyo mzee warioba naona fyuzi zinakatika mara kwa mara

  • @alwymohammad5336
    @alwymohammad5336 ปีที่แล้ว +5

    Asante Shekhe. Ukweli ni mafuta yaelea. Allah atawavunja miguu mahasidi wasiweze kusimama.

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 ปีที่แล้ว +9

    Shukran Sheikh hukupindisha maneno na data unayo hao wanaomsema mama wanataka fitna.Mama anajitahidi kuonyesha upendo kwa wananchi wote na kwa muda mfupi ameonyesha mabadiliko.Kwani hijabu ndio inayoongoza nchi au hikma.Allah akubariki Shekhe.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

      Tunahitaji amani tu udini hatutaki waislamu na wakristu tunazaliana

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh mziwanda ❤ Allah akupe mwingi

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 ปีที่แล้ว +21

    Wanashindwa kustahmili wenzetu, kikubwa dua ziwe nyingi ndg za waislam tumuombee huyu Rais wetu Mola amlinde,

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 ปีที่แล้ว +1

      Tena waislam ndo wanaoongoza kumpinga mama na hasa wanawake,.
      Mimi ni mkristo lkn namkubali sana rais Samia.

    • @zubedabunto1296
      @zubedabunto1296 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli subira hawana na hawana kumbukumbu. Allah tulindie mama yetu na umpe hekima ya nabii Suleiman.
      David Simbeye nmekuelewa na nimekukubali, Allah akuongoe uijue haki

    • @zubedabunto1296
      @zubedabunto1296 ปีที่แล้ว

      hawa majirani zetu kwa kweli!!!

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว

      Tatizo wakristo, akitawala mwislam roho inawauma sana. Wanavo Amini wakristo kwamba Tz ni yao. Hata zanzibar wanajenga makanisa ili kuimeza iwe ya wakristo. Hapo ndio mmekosea. Makanisa ya Znz yote yana majini Cheketu.

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว +4

    ukweli waislam ndio kauli zenu maashallah shekhe 🤲hao wa upande wa pili wafe vinywa wazi inshaallah kwa ubaguzi wanapenda 😭😭 yarab mpe nguvu na subra samia wet❤😭😭😭😭

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 ปีที่แล้ว +9

    Huyu sheikhe Huwa namkubali saana yaani Allah akutangulie katika ukweli wako

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 ปีที่แล้ว

    Usipojua maana huambiwi maana,
    Usipojua kinachokupasa kufanya utababaika mpaka mwisho wa maisha yako. Ubabaifu tu ukweli tunauficha. Hongera sana Sheikh kwa neno hili ""msituchokozeee""

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 ปีที่แล้ว

    Tunajivuni kuwa waisilamu sababu mwisilam maishani kwetu tunapenda salama alhamdulilah rabillamin mwenyezi mungu atupe uvumilivu wajuu ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hamisiramadhani3538
    @hamisiramadhani3538 ปีที่แล้ว +6

    Allah akuongoze sheikh

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 ปีที่แล้ว +8

    Jamani hawa wazee waliostaafu tusiwape nafasi ktk vyombo vya habari, wanaongea hovyo.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 ปีที่แล้ว

      Hivi unajua kuwa waanzilishi ni waarabu wenye dini yenu??😂😅

  • @HadaikaNgabona
    @HadaikaNgabona 2 หลายเดือนก่อน

    Tusije tukakupoteza Kama sheikh Ilunga❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa, sheikh. Mwl. Nyerere alishirikiana bega kwa bega na Waislamu wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika.
    Waislamu na Wakristo wote ni Watanzania. Kamwe tusiendekeze udini hapa Nchini.
    Wote tu wamoja.

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 ปีที่แล้ว

    Basi shekh Mungu azidi kukupa hekima katka kuelekeza mema ktk jamii ya tz tuishi kwa amani,

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa Maqafiri Tusipowakemea kwa Ukali hawatotuheshim na kutuhofia na ALLAH Amesema Maqafiri Wanawaogopeni Sana Kwa Itikadi zenu Kuliko Mimi Nilie Waumba
    Sasa Tumewavumilia Maqafiri tumechoka Sasa Tunaenda Nao Kama Wanavyotaka

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว +7

    Masheikh wengi wakifuga ndevu na kupunguza suruali wameuliwa wakiitwa magaid

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว +2

    SEMA SHEIKH MZIWANDA, HUWA NAKUPENDA KWA KUSEMA UKWELI NA KUTOOGOPA MAZIMWI MA MASOKWE

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 ปีที่แล้ว +9

    Mimi Kwa mawazo yangu ni kwenye uongozi tuangalie uwezo na sio dinin ya mtu

    • @rugetehassan5942
      @rugetehassan5942 ปีที่แล้ว

      In position Integrity is first thing

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 ปีที่แล้ว

      Tatizo Wakristo wengi wameshalishwa sumu na wazungu ili wauchukie Uislam ili iwe vyepesi kupitisha sheria za mila za Wazungu zenye kwenda kinyume na maandiko. Ndipo Leo unaona ushoga umeshamiri.
      Lkn Wazungu wanawajua vyema Waislam kwqmba asilimia kubwa wameshika maandiko hivyo ni vigumu kuwashawishi kupitisha mila zao za kishenzi.
      Wakristo na Waislam tushikamane na tuijue hii mitego ya Wazungu mapema.

  • @omaryomaryally7420
    @omaryomaryally7420 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuifadhi shekhe

  • @abubakarmustwafa-lg8fe
    @abubakarmustwafa-lg8fe ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuhifadhi mwamba!!Sheikh Zubeir aliyasema haya,yakatokea mengine,ila liwalo acha liwe

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว +10

    Raisi Samia kawekwa na MUNGU, na MUNGU ndie atakae mlinda .

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +10

    Sheikh wangu unaupiga mwingi

  • @hamoudabdullah5497
    @hamoudabdullah5497 ปีที่แล้ว +14

    Mzee Warioba amekosea Sanaa. Kimsingi maneno yake si sahihi kwa Amani ya nchi yanaweza yakachochea mivutano na MIGOGORO ya kidini hususan kwa wakuwa Takwimu zinaonesha wazi kuwa Raisi anapokuwa Mkiristo Waislamu wachache ndio wanaingizwa Serikali na wala hawapigi kelele. Lakini Raisi anapokuwa muislamu na akatenda haki kwa dini zote, Basi wenzetu wanaona hivyo si sahihi kwasababu wamezowea kupendelewa.
    Wanapenda kutaja neno udini kwasababu wanakusudia kutisha. Lakini wakati wa kuogopa umeondoka na Sasa tutaenda kitakwimu kwa kueleza ukweli.
    TUVUMILIANE ILI TUENDELEZE AMANI NA UPENDO WA NCHI.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +4

      Mmmh! Inaweza kuwa kweli lakini katika maraisi wote wakristu JPM aliweka waislaam wengi, sio tu mawaziri hata wakuu WA mikoa na wilaya, aliwachanganya sana.
      Alikuwa na ukanda lakini sio udini.
      Mungu atusaidie Kwa kweli.

    • @hamadimatano4503
      @hamadimatano4503 ปีที่แล้ว

      @@MsAggie5 apo ni kupigwa mtu tu uwo uvumilivu ndio matongea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 ปีที่แล้ว +1

      Mzee Walioba amezeeka vibaya mno! 🤦‍♂️😃😃

    • @hamoudabdullah5497
      @hamoudabdullah5497 ปีที่แล้ว +1

      @@MsAggie5 Takwimu zinaonesha kuwa MAGUFULI ndie alieongoza kwa kupunguza Waislamu katika Serikali. Ni asilimia 20 ya nafasi zake za uteuzi ndio alizowapa Waislamu.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +2

      @@hamoudabdullah5497 sio kweli! Fanya utafiti tena. Mkapa na Kikwete walikuwa na udini lakini Magufuli nakataa na wengi wao walikuwa wala hawajulikani. Ukinambia ukanda siwezi bisha alikuwa nao lakini sio udini

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 ปีที่แล้ว +3

    Ni tabiayao hiyo sisi.mnyezi.mungu ametukataza.kubagua watu.lakini.kaziyao.kubagua.waislam.nashangaa dinigani inabagua watu.dini ya mungu watu hawabaguliwi

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว +3

    Waislam mnatakiwa muamke sasahv mnachafuliwa kwa ajir Samia ni muislam mnapandikizwa chuki mumchukie muislam mwenzenu mama Samia amkeni mumuunge mkono

  • @charleslugemalila1168
    @charleslugemalila1168 ปีที่แล้ว +6

    Hizi si hoja za msingi kwa sasa sote watanzania mzee wetu sijamsikia lakini kama kasema hivyo kateleza au kakosea. Kweli kabisa hizi kelele ningeweza kuanza awamu iliyopita maana teuzi tuliziona

    • @lulachahayeshi93
      @lulachahayeshi93 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu Charles asante kwa maoni yako mazuri, natumai yangekuwa mazuri sana iwapo ungeyatafuta maneno yanayodaiwa kusemwa na huyo kiongozi mstaafu hadi kumfanya Sheikh Mziwanda atoe hotuba hii. Tuipende nchi yetu kuliko kitu chochote kwani hata uhuru wa kuabudu tunaupata na kuutumia vilivyo kwasababu tunayo nchi yenye amani, uimara na ustahmilivu baina ya watu wake ambao wana imani na dini tofauti.

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      Ametaja watu 7 wote wakristo hapakua na Muslim ht mmoja lkn kulikuwa kimya,uteuzi wa muislam mmoja Wakristo tena viongozi wa juu kelele nyiingiii,,,,,hapo katumia namba so please tumia namba kukanusha, Shekh kaweka 7

    • @simbillamachiyya
      @simbillamachiyya ปีที่แล้ว

      Mzee Warioba akujibu mwenyewe, yeye aeleze maana ya udini! Watanazania wengine, hatuelewi Nini maana udini? Hebu iweke hiyo clip tumsikie mzee Warioba anasema habari za udini!!!

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      @@simbillamachiyya pengine peke yako ndio habari hii umeikutia hapa mwishoni,,,andika tu 'ripoti ya Warioba' kisha njoo tubishane hapa

    • @simbillamachiyya
      @simbillamachiyya ปีที่แล้ว

      @@adammj6258 suala so kubishana, suala ni kufanya suluhu baina ya khitilafu Kati ya wanaokhitilafiana, Haki huwa haisemwi popote na vyovyote hii ndio Sera ya uisilam.

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym ปีที่แล้ว

    ALLAH AKULIPE KHAIR NA NGUVU KUISIMAMIA DINI KWA NAFASI YAKO INSHALLAH.

  • @fastanzania
    @fastanzania ปีที่แล้ว

    Mashallah ♥️ maalmu mziwanda

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว +3

    Na ndio maana warioba alipigwa mtama na Makonda hadi Chali, wakati anazindua Katiba ya Warioba.

  • @cafejohn3582
    @cafejohn3582 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu ni wa wote mungu ibariki Tanzania wabariki wakirito wote na waisilam wote sis ni wamoja na pia hizi niyakati za mwisho tubuni kwa maana ufarumu wa mbinguni umekaribia

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว +5

    Watanzania wanaozungumzia kuwa mama ni mdini ,mpango wao sio dini ,mpango wao ni kutaka madaraka ndio maana wanawashwa na viherehere ,Sasa sisi tunaishi mitaani waislamu na wakristo mbona tuko poa ,hao wanaoongea sisi hatuwataki watuache na NCHI yetu bhana

    • @SAM_163
      @SAM_163 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli bro

    • @SAM_163
      @SAM_163 ปีที่แล้ว +1

      Hawa ni watu Hatari sana kwenye nchi

    • @Kiyonga2014
      @Kiyonga2014 ปีที่แล้ว

      Wapagani mbona wananyimwa haki zao!! Au hawana haki ya kuwa viongozi?

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 ปีที่แล้ว +8

    NDUGU WATANZANIA MUWE MACHO SANA MUMEANZA KUCHOCHEWA KIDINI WATU WAWAIBIYE RASILI MALI ZENU VIZURI KUWENI IMARA ALIYATABIRI HAYATI MAGHUFULI SHIKAMANENI KITU KIMOJA

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว +5

    Kuna Askofu yeyote au Kiongozi yeyote wa Kikristu alietoa tamko Hilo au watu ambao ni Wakristu?. Maana kama Suala Hilo halikutamkwa na Askofu au Kiongozi mkubwa wa Kikristu lilipswa kutafutiwa namna ya kuliongea badala ya kuwachanganya Wakristu wote. Ukristu ni mpana sio Kila anaetamka kitu eti Kwa Kwa vile mkristu basi ni Suala la Wakristu wote

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo maana ya kuonywa warioba kwa ujinga wake wa uzeeni.

    • @balqeessalum1081
      @balqeessalum1081 ปีที่แล้ว

      Sahihi ulichosema

    • @amriomar3398
      @amriomar3398 ปีที่แล้ว

      Sawa lakin yy hyo kajibi kutokan na walioba alivyongelea udin kwaiyo yy anawek saw udin gani ambao mama samia anaufany ingaw mm cpendwez na uongoz wa mam samia lakin kweny hli namtetea 😊

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 10 หลายเดือนก่อน +1

    Watakaoleta vita nchi hiii ni WAKIRISTO

  • @shd12m55
    @shd12m55 ปีที่แล้ว +1

    Inaumiza Sana aisee😢

  • @martedimohamed6327
    @martedimohamed6327 ปีที่แล้ว +4

    Tumesoma na kz hatupat walivyokuw wabaguz

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa kwa NINI muingilie dini,KWA KUWA KIONGOZI NI MUISLAM,DINI HII INATETEA KILA MTU NA HAKI ZA WATU,SIO MAASI

  • @angelomalimi2444
    @angelomalimi2444 ปีที่แล้ว

    Ni kweli ni serikali la udini

  • @cosmasparkire1837
    @cosmasparkire1837 ปีที่แล้ว +13

    Mimi ni m kristo lakini nawakubali sana kwa msimamo wenu kuhusu Hali hii ya kupinga hili la ushoga

    • @rahimgwotta68
      @rahimgwotta68 ปีที่แล้ว +1

      MASHAALLAH
      Karibu kwenye UISLAMU Dini ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 ปีที่แล้ว

      ​@@rahimgwotta68 dini ya mohamed ya mtume alie abuse mtoto wa miaka 6 aisha

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 ปีที่แล้ว

      ​@@rahimgwotta68 😂😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      Mbona mashoga wengi ni hao hao? Kitchen parties au ukienda Zanzibar wamejaa,well sio kama hakuna mashoga WA dini nyingine ila ushoga ni janga la taifa.

    • @annaniasbyarugaba5788
      @annaniasbyarugaba5788 ปีที่แล้ว +1

      Ushoga umejaa Zanzibar

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 ปีที่แล้ว

    Tushachokozwa sana waislamu lakini hatuna ishu tumejaa unafip mtupu,tuachane na siasa feki ,siasa orig ni laa ilaaha illallah muhammadu rasulullah basi.

  • @kennedyngusa8890
    @kennedyngusa8890 11 หลายเดือนก่อน

    Mmm mbona waklisto hawaongelei Mambo haya nyie. Vip?

  • @rajabsumba7786
    @rajabsumba7786 ปีที่แล้ว

    Tanzania ni majirani wazuri na uhusiano kati ya watanzania wenyewe kwa wenyewe ni mzuri pia baina yao na majirani zao hauna kasoro, lakin uchochezi wowote haufai.
    Uchochezi ndio unao sababisha maafa.
    Tunamuombea Rais Samia Suluhu nusra ya Allah.

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 ปีที่แล้ว +1

    The big question is, Magufuli chose Samia as his vice president. Ana makosa Gani?

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 ปีที่แล้ว +2

    Maneno mazima Akhii

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 ปีที่แล้ว +1

    Wao wakiwa madarakan wanafanya watakavyo nakuweka watu wao sie hatusemi ila wariomba anamdomo sana ndio maana alipigwa kumbe alikuwa anasitahili tulimuonea huruma sana

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 ปีที่แล้ว +7

    Allah atawaangusha muda si mrefu hao makafir

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +1

      Qafir mama yako na baba yako walio kukunya we nyoko

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmahongole9293 matusi ya nini Ramadhan

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

      @@Yu-jr9uf muulize "gessan abuu "anaewatykana wakiristo eti ni makafiri huku yeye anajiona si kafiri wakati sisi wakiristo tunawaona waislamu ndio makafiri

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmahongole9293 Kwani tafsiri ya KAFIRI ni ipi hasa? Nawe ukiwa ndio mkristo, mtoto wa Paulo aliyewezaa katika kristo.
      Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

      @@Sheba4651 kafiri ni yule mtu ambae anaepinga dini ya Mungu wa kweli Jehova ya ukiristo huyo ndio anatakiwa kuitwa kafiri

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว +2

    Loves to ALLAAH (S.W) with all prophets and fellow Muslims. Watapata tabu sanaaaaaaaa

  • @youssouphsalum786
    @youssouphsalum786 ปีที่แล้ว

    Wauwawee tu wasituangamize wadhalim haoooo

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 9 หลายเดือนก่อน

    Musipotoshe tatizo linalolikabili taifa.hili hakuna wakupindisha taifa linaelekeakuzimu labudakamanawewe.ulitupiwa.minazi ukaotakutokachini ukasahau hata dhsmbi ikoje...

  • @mayaniphilipo9256
    @mayaniphilipo9256 ปีที่แล้ว +1

    Hv Kwann Rais Akiwa Muislam Lazima Chokochoko Ziwe Nyingi!?

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 ปีที่แล้ว +5

    Mmeshaanza kelele Nchi hii haina Dini ila wananchi Ndio wenye Dini shehe Acha Uchochezi wewe ndio unataka kupeleka Dini serikalini Acha watu wachaguliwe kulingana na uwezo na utendaji KAZI wao

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 ปีที่แล้ว +2

      Kama hujui alieanza kuleta udini ni wazir mkuu mstaafu sheikh ndio anasema watu wasilete udini labda ww hujamuelewa tu

    • @ramyramso
      @ramyramso ปีที่แล้ว +1

      Rudi darasni ili ue muelewa sikiliza kwanza ndo uje ukoment so unkurupuka we vip

    • @shahakaisi1920
      @shahakaisi1920 ปีที่แล้ว +1

      Kwl ww ni mpummbavu mbona huyo aliyesema serikali inaendeshwa kidini , humsemi? Shekh anataka kujua huyo warioba alikuwa na maana gn anaposema serikali ya awamu 6 ni yakidn!

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 ปีที่แล้ว

      Umemuelewa lakini shekh au ndo slow learner

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 ปีที่แล้ว

      Michael kibiki Kwanza sikiliza Kisha ndio u comment sio kudandia train Kwa mbele

  • @edoedo4973
    @edoedo4973 ปีที่แล้ว

    LAANA KHUM MWENYEZIMUGU ANATUAMBIA MWANAMKE AFAI KUWA IMAMU WALA KIONGOZI MASHEKHE TANZANIA HII NILAANA NDANI NCHI YETU MNASHINDWA KUWONGEA UKWELI MASHEKHE MNAIBEBEA MBELEKO LAANA MNALIJUA HILO SEMA DUNI MMEIWEKA MBELE AYA ZA MWENYEZI MUNGU MMEZIWEKA MIFUKONI

  • @SAM_163
    @SAM_163 ปีที่แล้ว +1

    TUNACHAGUA UONGOZI KWA KUANGALIA UWEZO WA MTU SIO DINI.....
    PELEKENI WATOTO SHULE SIO MKO BUSY NA MADRASA AFU MNATAKA UONGOZI...

    • @omaar5693
      @omaar5693 ปีที่แล้ว

      Unachamba bila kuelewa kilichosemwa nani hajapeleka mtoto shule?

  • @juliusmshani6985
    @juliusmshani6985 ปีที่แล้ว +3

    Hivi warioba ni mwakilishi wa wakriso? Mtu akiongea jadili alichokiongea kutumia akili yake usiweke udini wakati sio mwakilishi wa dini

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 ปีที่แล้ว +1

      Ulikuwepo serikalini akiwa waziri mkuu, atueleze yeye alisimamiaje hakhi.

  • @popiya2368
    @popiya2368 ปีที่แล้ว

    Yaani wenzetu bwana akiongoza Muislam lazima walete maneno dha

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 ปีที่แล้ว

    Yuyo mzee gongo inamsumbua kichwani

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim ปีที่แล้ว +1

    Takbirrrrrrr

  • @DawsonKiwia-qt6zf
    @DawsonKiwia-qt6zf 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mfano wa kuigwa suluhisho la milele kuanzia leo sio kukaa kimya tena. Maridhiano ya kweli ni kukutanisha madhehebu yote na kukusanya mawazo, malalamiko n.k kisha kuundwa mfumo wa haki sawa kwa wote katika idara zote za serikali. (Kuondoa pia na ukabila ktk tass zote pia.

  • @hashimhassan4812
    @hashimhassan4812 ปีที่แล้ว

    Wasema kweli hawawezi kwisha duniani hata iwe iweje, walikufa wengi kama ilunga lkn bado

  • @user-xw9hg3zr4d
    @user-xw9hg3zr4d ปีที่แล้ว

    Swala liko kwenye hu mkataba tuache kupashana umbea ambao hauna maana na hao wanatoa maon yao kwenye mitandao ni watu kama watu wengine turud kwenye mkatab unafaa au aufai tushaur serekali. Sasa tukianza maswala y sijui tusichokozane sijui nini haina maana tena mimi naona kama nyie ndo mnachochea kabisa udini hakuna kiongozi wa kikristo ametoa kaul ya ya udini ni watu tu wakawaida tena watanzania

  • @user-xw9hg3zr4d
    @user-xw9hg3zr4d ปีที่แล้ว

    Dah sijaon pwent hum ni kama kupashana umbea tu, kiujumla kila mtu anajua mkataba ni mbovu au fai sasa kwanin nyinyi mnaunga mkono na unawambia waislam watulie maanake nini. Alaf naona nyie ndo mnachochea udin kwan kuna kiongoz w kikristo ameongelea swala la kislam je sisi wAkiristo wangekua wanasikiliz maon ya watu kwenye mitandao na kuja ju ingekuaje achen unafk

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza elimu mmeanza kusoma juzijuzi tu ,mlikua mnasema elimu ni za makafiri ,kwanza samia amewekwa na wakristo ,uislam hauruhusu mwanamke kua kiongozi,

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว

      kwa hiyo CCM ni wakristo?!

    • @khatibbakhresa7615
      @khatibbakhresa7615 ปีที่แล้ว

      Rekebisha kauli yako

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว

      Wewe yahudi acha ujnga Tanzania sio dola ya kiislamu hivyo mwanamke anaweza kuongoza acha ushamba

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว

      Wewe yahudi acha ujnga Tanzania sio dola ya kiislamu hivyo mwanamke anaweza kuongoza acha ushamba

    • @ignasmalema8354
      @ignasmalema8354 ปีที่แล้ว +1

      @@salehesalehe2967 hata kama tz sio dola ya kiislam bado anapaswa kuishi uislam ,basi ale nguluwe ,sasa kwa kua haishi nchi ya kiislam

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 ปีที่แล้ว

    Waislamu kwa uchochezi hamjambo. Kitu kidogo tiyari mshaanza kuandamana c mgemuuliza aliyesema awafafanulie kwanini anasema hivo? Ndo muyazungumze kwenye hadhara.!!??

  • @kaegemagafu7828
    @kaegemagafu7828 ปีที่แล้ว

    Ubinafsi na unafiki unalitafuna taifa hili . Katiba mpya itamaliza hili pale nafasi za uongozi zitakapo koma kuwa kuteuliwa na kubaki za kushindaniwa maana watu wanajadili kama walevi tu

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 ปีที่แล้ว +2

    Ndio ndio shekhe sawa sawa,

  • @Zamb90
    @Zamb90 ปีที่แล้ว +1

    Tusome

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 ปีที่แล้ว

    Ni suluhisho la udini ingawaje Samia unanadanganya wasio na ufahamu manake serikali ni watu watatu tu ikianzia Samia, majaliwa , tulia mwanzo mwisho ????? Na ndo maana Rais Samia hajawai kuulizwa matrilion anayotumia kusafiri kwenye nchi zinzo kubali ushoga ??? Na serikali ya CCM Kuna Siri kubwa kwenye kugawa madaraka waliapa

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 ปีที่แล้ว

    Let say kweli aliyasema either kwa kumaanisha au kwa kuteleza kwahiyo ww ndo umeyasikia peke yako ktk dini yako na ukaamua kutoa tamko au umetumwa?? Angalia ukosoaji wako usijekuwa ndo unatia chumvi zaidi maana tunayaona mengi ila tunanyamaza kmya, Afu elewa ukiongelea Ukristo unaongelea madhehebu mengi sana.

    • @andrewkissavah8272
      @andrewkissavah8272 ปีที่แล้ว

      Huyu shekhe kuna kitu nyuma yske anataka kuhamazisha vurugu nivizuri vyombo vya dora kumkataza kumnyamazisha shekhe huyu ,maana haoni aibu kusema ,mbona viongozi wote wa ngazi za juu wote Bara na visiwani wote ni waisilam lakini wakristo wamenyamaza kimya ,alafu tena mnaanza kumsumbua Mzee wetu warioba hebu kabula hamjaanza chokochoko mwe watu wa kutafakari

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 ปีที่แล้ว

    Haya yote yanasababishwa na kukopa kopa hovyo anae kurisha atakupangia mpaka mda WA kurara kwako JPM arikataaa haya ndo haya sasa

  • @antonymathias8219
    @antonymathias8219 ปีที่แล้ว

    Mama kwahilo usikubali kui ngiza neno dini hainamaana linapokuja utwala viongozi hawezi ridhisha kilamtu hizo nikelele Dada yangu watumikie wananzengo

  • @hamadimatano4503
    @hamadimatano4503 ปีที่แล้ว +3

    sisi waislam twawapenda hao makafir ila wao hawana haja na sisi hata kidogo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @joeldallas6491
      @joeldallas6491 ปีที่แล้ว +2

      Ujinga huo kumwta mtu kafili

    • @hamadimatano4503
      @hamadimatano4503 ปีที่แล้ว

      @@joeldallas6491 kwani usomi maandiko makafiri wako soma biblia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @joeldallas6491
      @joeldallas6491 ปีที่แล้ว

      Nsome agano lakale mstali gan

    • @lightnesselirehema1464
      @lightnesselirehema1464 ปีที่แล้ว

      Kafiri ni nani labda

    • @hamadimatano4503
      @hamadimatano4503 ปีที่แล้ว

      @@lightnesselirehema1464 mtu asie na dini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 ปีที่แล้ว

    Warioba tuache we mzee ss waTanzania tunaishi kwaupendo bl kujali dini muislam rafikiyake mkewake mpz wake mkiristo. Namkristo. Mpz wake ndo hv hv. Hatujali dini kwenye .umoja wetu .warioba tuache .utakuja kujuta. sn.ww.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +3

    Tuvumiliane tutafika na tusameheane tu Maana

  • @mosesembughi4284
    @mosesembughi4284 ปีที่แล้ว

    Munapopata mtonyo lazima mtetee .nchi ya tz haitakuja kuwa na maendelee.sababu wengine wanania ya maisha yao.sio kusimamia maendelee ya nchi.mnazani tz hatuna macho.

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 ปีที่แล้ว +3

    Allah anasema hawatokubali mayahudi na na wakiristo mpka mufuwate mila zao kuyafanya haoakafri wana hatushangai wache tu waendelee kulikoroga iko siku watalinywa wenyewe

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 ปีที่แล้ว +5

    Wape ukwel wao hao wanezid ubinafs

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว +2

    Na Makamba aliyesema wazuri hawafi tuseme nini sisi wakatoliki.

    • @zariadunia6328
      @zariadunia6328 ปีที่แล้ว

      Mumlaani tu kwa ubwege wake shauri yake kama warioba tu

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi, kwahiyo wakatoliki wabaya.

  • @turojosephrukiko1622
    @turojosephrukiko1622 ปีที่แล้ว

    Huna maana hatupigan kuongoza Dunia waongoze watu kufanya mema ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu

    • @issakitundu617
      @issakitundu617 ปีที่แล้ว

      kwan kuwaeleza watu waache udini kwa njia iliyo sawa ili kuleta aman ya nchi ni makosa?

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 ปีที่แล้ว

    Mamfuti mbona hayaongei. Yanashiba tu. Mabwenyenye mamufuti.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว +1

    Tuwe na subra Allah Yuko na wanyonge.

  • @jumakapesa2940
    @jumakapesa2940 ปีที่แล้ว

    Maneno haya yanathibitisha usemi wa Jaji Waryoba. Khutba hii inaonyesha udini waziwazi. Kama wakristo nao watasimama kusema hayo tutaenda wapi jamani?
    Tukaeni pamoja katika nchi yetu tumuunge mkono Rais wetu ili afanye kazi yake vizuri. Huu udini ni hatari kwa Taifa sana.

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 ปีที่แล้ว

    Waislamu tulikuwa pembeni mwa serikali miaka mingi wenzetu wamezoea kuwa wao ndio wanaoatahili kuwa serikalini sasa wameshikwa na butwaaa kuona sisi kwanini tupo serikalini kwa sasa

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว +1

    Huyu sheikh ni nonsense! mambo haya na fikra hizi za kipumbavu usingeyasikia kipindi cha Mr Kazi Tu

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 ปีที่แล้ว

    Shekh....! Nakuelewa then sikuelewii...!

    • @khamisibrahim8570
      @khamisibrahim8570 ปีที่แล้ว

      Angalia mazur akuna Alie nyooka Moja Kwa moja

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 ปีที่แล้ว

    Wakati unataja asilimia unasahau kutaja asilimia ya waislamu na wakristo hapa nnchini? Haya mambo ya Dini msipende kuyakuza sana, ndo uchochezi mwenyew huu.
    Kwan aloongea haya mambo ya Udini ni askofu/kiongozi wa juu wa Dini?? Mbona povu sana hapa Kama sio kukuza Inshu na kutaka kuifanya hii iwe hoja?
    Kuna wakati mambo mengine inabd kunyamaza ili kuonekana una akili timamu badala ya kutumia majukwaa ili kupata umaarufu

  • @azzanalkhatry4625
    @azzanalkhatry4625 ปีที่แล้ว +2

    Warioba kachoka na akili pia

  • @yahayahassani7627
    @yahayahassani7627 ปีที่แล้ว +1

    huyu anaeitwa mdini ni yupiiiii..,

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 ปีที่แล้ว

      Warioba

    • @alizaharan1471
      @alizaharan1471 ปีที่แล้ว

      KWAHAKIKA
      NDIO MAANA WAISLAM .TUNAAMBIWA SUBRA TUNAYO NA MUNGU ATUPE SUBRA KWAKWELI
      NDIO MAANA MUNGU AMLEHEMU SHEKHE HASSANI IRUNGA ALIKUWA ANAONGEA SANA MUNGU AKAMPUMZISHA MUNGU ATULIPE WAISLAMA KWA SUBRA

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mzee anaongea sana maneno siyo mazuri wakati nayeye alikuwa serikalini mungu anakuona wewe mzee

    • @shahakaisi1920
      @shahakaisi1920 ปีที่แล้ว +1

      Ila hayo aliyoyaongea warioba ni mazuri sio?

    • @mohamedyahya1677
      @mohamedyahya1677 ปีที่แล้ว +1

      @@shahakaisi1920 hujamuelewa lay layl

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 ปีที่แล้ว

    Sasa sheikh kwani ww mgeni ktk maneno ya M'MUNGU ? Ni kwamba hakuna jipya ktk hizi Imani tofauti...hayo mambo twende nayo hivyo tukimtegemea Allah tabalakah

  • @abdulmajidkarama6469
    @abdulmajidkarama6469 ปีที่แล้ว +2

    huyu sheikh aitwaje? Mungu amzidishie hikma InshaAllah

  • @ansilakimwenyi2003
    @ansilakimwenyi2003 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuona kiongozi wa dini mjinga kama huyu mwendawazimu muda wote kimejaa chuki mpaka makalioni kinazungumza udini tu akili finyu sana

  • @jumasalimo6360
    @jumasalimo6360 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏👏👏

  • @ahmedmassoud8758
    @ahmedmassoud8758 ปีที่แล้ว

    Tatizo la hawa ndugu zetu mafriji yao hayagandishi

  • @deusmoris3036
    @deusmoris3036 ปีที่แล้ว

    kwani mzee walioba amesema nini mnijuze na mimi

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 ปีที่แล้ว

    MBONA MNAPENDA MIGOGOLO JAMANI,NENO GANI LINALOWAFANYA MTOKE MISHIPA YA SHINGO, KAMA MMEONEWA VILE, kuweni watu wakusamehe jambo,Sio kuwa chocheo la kutaka MIGOGOLO tu,

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 10 หลายเดือนก่อน

    Mnakuza nyie wapenda kiki mnaotaka kuonekana mitandaoni,sisi uraiani hatuoni huo udini kutoka Kwa mama,mnamuonea nyie mnaodadavua hata kama aliesema hakua na maana hiyo,mnayakuza nyie ni wachochozi,nahamtuhamasishi kubaguana Kwa udini

  • @stanleymollel9860
    @stanleymollel9860 ปีที่แล้ว +2

    Nashangaa hutuba hii ni hutuba au ni kampeni

    • @ramyramso
      @ramyramso ปีที่แล้ว +1

      We fala kweli hujui kinachoongelewa au acha ushamba

    • @shahakaisi1920
      @shahakaisi1920 ปีที่แล้ว

      Lazma ushangae lkn, kabla ya kushangaa, ungemshangaa huyo warioba alipoongea alidhani watu hawatamjibu?

  • @wakatinisasa
    @wakatinisasa ปีที่แล้ว +1

    Naona unaelekea Somalia utashugulikiwa halaka

    • @ramyramso
      @ramyramso ปีที่แล้ว

      Hamuwezi hata iweje na ajaribu mtu muone kaz

    • @wakatinisasa
      @wakatinisasa ปีที่แล้ว

      Hamuoni Zanzibar selekaliyote yamashe halafu Bala mnataka usawa acheni ujinga

    • @ramyramso
      @ramyramso ปีที่แล้ว

      @@wakatinisasa we ni mzima kweli ww sasa Zanzibar na tanganyika unaifananishaje dah akili zingine zikiingia mafuta ya taa bhna

    • @hassanhd6480
      @hassanhd6480 ปีที่แล้ว

      ​@@wakatinisasa asilimia 99 Zanzibar ni waislam

  • @sharomdguda
    @sharomdguda ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu hapo , wanatafuta kick 2 raisi samiah Hana ayo, sheikh huyu anatafuta chokochoko tu, hana chakuhubiri fitna tu, km kasema waryoba kwanini asimwambie mwenyewe kuliko kuleta collective kana kwamba ni wakristo wote. Hakuna kitu hapo ni fitna tuu

    • @israelmwasomola6155
      @israelmwasomola6155 ปีที่แล้ว

      Mungu atusimamie Sasa Tanzania tulizoeya kuishi kwa aman Ila tunako elekea maneno maneno mara na machukizo ya ushoga mala udini haya mambo nikukaribisha majanga ya asili na ya vita, shekhe waambie watu waliombe taifa la Tanzania ili MUNGU amuongoze rais wetu ateuwe viongoz Bora, ukiingiz maswal ya din unachochea vita