HAYA NDIO MATUKIO YA ALHAD MUSSA KABLA AJATUMBULIWA AKIGOMBONA NA SHEIKH MOHAMMED IDDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 110

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน +1

    Al marhum sheikh Muhammad bin Ayyub ambaye keshakufa ana baraka gani tena za kukunufaisha wewe uliyehai?

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 ปีที่แล้ว +6

    Ila Alhad inabidi afanye toba sana bado kijana mungu atamsamehe vinginevyo ni msiba mkubwa kwake

  • @adrianorichard1709
    @adrianorichard1709 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni jina kubwa lipitalo majina yotee, Amen

    • @elizabethswai7777
      @elizabethswai7777 ปีที่แล้ว +1

      Ndio maana akaitwa Jehova El gibbon,Nisi,Shama,El Olam n k Majina yote maxuri ni ya Yesu💯👍🥰

    • @wanyooshetv9987
      @wanyooshetv9987 ปีที่แล้ว

      Makafiri mna utindio wa ubongo jina yesu lenyewe ni feki

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kweli ni HASIDI anapenda kuitafuta shari subhanna Allah

  • @JabirJuma
    @JabirJuma ปีที่แล้ว

    Sheikh kakosea Sana anauchezea uisilam

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 ปีที่แล้ว

    Waislam wenyewe kwa wenyewe hawaelewan
    Wakristo nao hvo hvo hawaelewan kimaro kasimamishwa ... hz nyakati tulizo nazo hz tuombe Mungu sana

  • @omaryiddi7454
    @omaryiddi7454 ปีที่แล้ว

    SWADAKTA SWADAKTA SHEIKH

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Sheikh akiritadi siwezi kushanga maana naona nyenendo zake zina hasira Ya kuondolewa ktk cheo. Ila kwa kweli japo sina elimu kubwa ila hatuna utamaduni wakutumia duwa kwa jina la kiumbe yoyote zaidi Ya Allah.

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      Kama Yesu ni kiumbe,Kwanini mpaka Leo hajafa yupo hai???

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +1

      @@davidmnyela2459
      Kwani wapi umesikiya nikisema ni mnyama?

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      @@sonnyr1899 kwani mnyama si kiumbe???

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว

      @@davidmnyela2459
      Wote sisi ni viumbe wake Mola, binaadam, minyama, miti, mbingu na ardhi, mabahari na maziwa vyote vilivyomo duniani ni viumbe vya Mungu kwani wewe unasemaje? Minyama imeumbwa na nani?

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      @@sonnyr1899 Kama Yesu ni kiumbe kwanini alikuwepo kabla ya Muhammad kuwepo na bado yupo mpaka Leo huko mbinguni??? Na manabii wote kabla ya mohammad walishakufa,kwanini Yesu yupo hai mpaka Leo???

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว

    Sh Mohd Iddi hapa upo sawa. Lakini kuwatetea MASHIA umeharibu sana

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว +5

    Eee Allah ajaalie ha wa masheke kumaliza hizi to fauti zao hee hii kila siku Ina zidi yajana tutafika wapi yailahi tusimamie waja wako

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 ปีที่แล้ว

    Huyu sheikh alikuwa anautia aibu sana Uislam duniani.

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว +1

    Ila musa salim umezid Sisi waislam tulikuwa tunachukizwa namambo yako mpaka tulijua labda Umeungana na wakiristo mara kwenye mwezi hata kama umeandama unawafuraisha watu flani tu unatangaza siku utikayo Nimefurahi sana kuondolewa Nafasi yako Wallah.

  • @davidmnyela2459
    @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

    Waislamu wanaogopa sana jina la Yesu na hapo bado qiyama hajarudi kuhukumu ulimwengu

    • @allycomm1553
      @allycomm1553 ปีที่แล้ว

      ACHA ukafir ww kipind bado unaneema ya uhai

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      @@allycomm1553 kafiri(mpingaji)ni mimi au wewe ambaye hutaki kutumia jina la Yesu???

    • @allycomm1553
      @allycomm1553 ปีที่แล้ว

      @@davidmnyela2459 Utakuja kuelew sku ukifa mm sina meng

    • @allycomm1553
      @allycomm1553 ปีที่แล้ว

      Kw sbb anaemuongoz mja ktk njia yahaqi n ALLAH pekee

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      @@allycomm1553 ukishakufa na lako halipo Hesabu ni hapa hapa duniani ili uijue njia ya Mungu muumbaji,nini maana ya jina YESU??? Na nini maana ya jina ALLAH???

  • @nassibdoma5408
    @nassibdoma5408 ปีที่แล้ว

    Alihadi ni shekhe wamchongo anapenda sifa nawatu wa siasa

  • @abrahamanalliy2115
    @abrahamanalliy2115 ปีที่แล้ว

    MFITI UMEFANYA JAMBO KUBWA SANAA KUTOLEA MZIGO HUO. ALISHALEWA MADARAKA AKAACHA DINI

  • @ramadhanibundala580
    @ramadhanibundala580 ปีที่แล้ว

    Alhad sio mwislam kafili alieiva na hataki kukosolewa

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja na kwamba Sheikh Mohammed Idi ni mtu wa hovyo lakini hapa yupo sahihi sana tena sana.

    • @elizabethswai7777
      @elizabethswai7777 ปีที่แล้ว

      Uso wake waonyesha majini makali mno🤣

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Wewe Eliza ni kaafir Allah akuongoze kuijua haki na kuufuata uislamu

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว

      @@hassanmfaume4522 kaka maneno ya kumkaribisha mtu kwenye Uislam yanatakiwa yawe laini.

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 ปีที่แล้ว

    KIONGOZI KUTUKANWA SIAIBU ,BALI KIONGOZI KURUDISHA MATUSI NI KOSA KUBWA SAAANA NA NI AIBU KUBWA KABISA, KIONGOZI NI WA WOTE WAZURI NA WABAYA LAZIMA AWE MSTAHAMILIVU SANA.

  • @jumbemkilla9556
    @jumbemkilla9556 ปีที่แล้ว

    Sheikh Alhadi badala ya kujibu hoja yeye anamshambulia Sheikh Idd Mohamed Idd naona bado anazidi kuchafua tu.
    Suala sio kumshambulia suala ni kujibu HOJA.

  • @charlesmbaga6115
    @charlesmbaga6115 ปีที่แล้ว

    JE kama angesema Kwa jina la Isla jee ingeswihi

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 ปีที่แล้ว

      Haiswii pia.

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 ปีที่แล้ว

      Anza kila kitu kwa jina la MUNGU NA SIO KWAJINA MWINGINE, ukisoma biblia inasema Mvbariki vitu kwa jina la BWANA.

  • @swabahasaidi8590
    @swabahasaidi8590 ปีที่แล้ว +2

    Asalamu Alekum Shekh lakini Nikitambo anaonesha kwa Upande wa Mashia iko wazi takumbele shekh

  • @ameokichaka9456
    @ameokichaka9456 ปีที่แล้ว

    Duuu

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว +1

    kwanza unamhneno machafu kupitiliza Unatukana ma sheykh wenzako huna lolote tulikuchoka wallah kama Allah katuskia Tunavo lalamika .

  • @HusseinMustafaParmar
    @HusseinMustafaParmar ปีที่แล้ว

    Sheikh Alhadi Musa had argument with Sheikh Mohammed Iddy, and they refuted each other in separate media and not being together and Sheikh Alhadi Musa called Sheikh Mohammed Iddy a hypocrite and a person of bringing conflict, but all are Shafi Sunni Muslims but they differed in views, and all are hired by the Government in the preachers in the Bakwata the preachers appointed by the Government, but they did not hit each other as Nigerians or South Africans or others or Pakistanis or Indians stabbing each other, but then they reconciled but even if they did not still they can meet each other and greet each other.

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 ปีที่แล้ว +1

    Mnapenda uchonganishi nyinyi wabongo kwenye channel zenyu,haya mambo yalikwisha zamani.

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 ปีที่แล้ว

    Ninachompendea Mungu sote tutakufa. Na mbere ndipo tutajua ila hapa duniani.

  • @nero7941
    @nero7941 ปีที่แล้ว

    WAISLAM ACHENI UNAFIKI ULITAKIWA USEME SIKUILEILE KUWA AMEKOSEA huo ni unafiki

  • @mustafapandu5189
    @mustafapandu5189 ปีที่แล้ว

    mna matatizo sana nyote hamueleweki nyote mumekuwa masheikh dili kila mmoja anatetea unafiki wake kwa vikundi vyake

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 ปีที่แล้ว +1

    Nabila kuanfalia au kusubilia ametenguliwa au ametolewa ktk wadhifa alionao ndio kumkosowa mtu.anatakiwa kukosolewa pindi tu anapokosea.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 ปีที่แล้ว +2

    Ubinafsi tu ndio unaowasumbua kwani kutaja jina la Yesu kuna shida gani? Mbona michango ya watu wa hao wa dini nyingine mnaipokea na misikiti wanawajengea na mnaswali sasa tabu iko wapi jamani Afrika hii hatuna dini hivi ni vitu vya kuletewa tu visitutenganishe .

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 ปีที่แล้ว

      HUJUI

    • @RastaSuma
      @RastaSuma 3 หลายเดือนก่อน

      Wakristo wanamwiita yesu kama mungu au mwana wa mungu na waislam wanamjua kama mtume wa mwenyenzi mungu kama manabii wengine waliopita na pia hii ndo tofauti kati ya wagalatia na waislam .

  • @omarikibao9427
    @omarikibao9427 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio Dunia na waja Wake Mimi nashauri Tusameheane tu

  • @fatumamisinga6211
    @fatumamisinga6211 ปีที่แล้ว +1

    Mbona umetetea mashiha

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 ปีที่แล้ว

    Uwiiiiiiiiiiii kimeumana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Muacheniiii shekh Musa,hanaga ubaguxi wa dini.Wivuuuu

  • @soloboysolo8872
    @soloboysolo8872 ปีที่แล้ว

    Watanzania washamba sana

  • @salehmkandala1170
    @salehmkandala1170 ปีที่แล้ว +1

    Unatakiwa kujibu hoja nasiyo kumshambulia mtoa hoja hii haipendezi

  • @mwanaishakatuli5707
    @mwanaishakatuli5707 ปีที่แล้ว +1

    Alafu hajibu hoja sasa njaa ataijua

  • @hidayahassan7473
    @hidayahassan7473 ปีที่แล้ว

    Kujisifu kujikweza sio sifa ya muisilam zaidi kiomgozi!!!!

    • @hidayahassan7473
      @hidayahassan7473 ปีที่แล้ว

      Wote mna shiida na ufahari jitathmini. Mnaaibisha uisilam viongozi wenye elimu ya kutosha lakini mnachezea dini. Jiulizeni kuwa muongozo wa mtume wetu ndivyo ulivyo??

  • @sharifuhusseinally542
    @sharifuhusseinally542 ปีที่แล้ว

    Yani umemuomba mungu akufanyie dahili ulimi wako uweze kuongea maneno fasaha yenye kueleweka je maneno yenyewe ndo hayo?

  • @anawa4326
    @anawa4326 ปีที่แล้ว +1

    Really sad indeed 😢😢😢

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

    hii ni.ya zamani tu msimlaumu shekh Muhammad, huyu mwenye media ndio.ameamua kuiweka tena ni.ya zamani tangu.alhad hajatumbuliwa

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 ปีที่แล้ว

    Media acheni unafiki nyie ndio wafitinishaji wa dini namba moja

  • @ayabukingshashu8018
    @ayabukingshashu8018 ปีที่แล้ว

    Kweli hafai huyoo

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 5 หลายเดือนก่อน

      Huyo alihadi ni kafiri

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 ปีที่แล้ว +1

    kajamaa kameanza kero muda mrefu..elimu

  • @zuwenahumoudy3198
    @zuwenahumoudy3198 ปีที่แล้ว

    Jamani basi Tena jamani kwani nyie hamna makosa jamani mbona hivyo

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 ปีที่แล้ว +1

    mbona apo mwanzo ulishindwa kumkosoa umesbr alipofukuzwa ndo unamrudi.

    • @hassanlikwenangu8471
      @hassanlikwenangu8471 ปีที่แล้ว +2

      Alimkosoa miaka mingi,wakagombana na wakapatanishwa..Hii sio ya leo

    • @djaffarsabiti4925
      @djaffarsabiti4925 ปีที่แล้ว

      Amelifanya hili tangu week hio hio. Labda wewe haukufuata tu.

    • @alhamdulillahalhamdulillah7529
      @alhamdulillahalhamdulillah7529 ปีที่แล้ว

      Yalikwisha pita kitambo ni. Biashara tu kupitia mitandao yetu

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mohammed Idd. Umesema ukweli sasa viongozi wa Uislam nchini upo? Je unafanya nini? Je muda wote mtu anafanya kazi anakosea WANAMUOGOPA HUYO

  • @mwanaishakatuli5707
    @mwanaishakatuli5707 ปีที่แล้ว

    Hii cilp ya mwaka juzi ila imewekwa tena ili huyu shekhe alhadi ajitathmin kuwa yeye alijiona amefika

  • @saidsalim4524
    @saidsalim4524 ปีที่แล้ว

    Kibiri kimekuponza tafuta buyu ukunee ulijisahau Sanaa ukaniona wewe Kama mungu mtu haya Sasa ushatumbukiwa Dr mwaka hachezewi mbwa wewee maneno yavusara hunaaa

  • @mohamedsaid1804
    @mohamedsaid1804 ปีที่แล้ว

    Kimsingi mashekhe wengi wana maradhi ya BT

  • @yaizfamily6615
    @yaizfamily6615 ปีที่แล้ว

    Hii ni clip ya zamani chunguzeni kabla ya kuanza kutukana watu wenye elimu.

  • @mariamhamza3673
    @mariamhamza3673 ปีที่แล้ว

    Wacha ubishi kijana

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    Mliwahi kukwazana MSAMEHE

  • @saidishalako
    @saidishalako ปีที่แล้ว

    Abuu Idd vs Al Hadi nani zaidi kiufahamu(SI kielmu). Naona shida pande zote Mimi ila Abuu Idd Kiitakadi ana afadhali.

  • @alphansamwi4158
    @alphansamwi4158 ปีที่แล้ว

    Walozungumza na wewe kwa adabu ni wanafiki ka wewe tu huna lolote wewe pia dar sio yako chunga ulimi ww,

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    Mnatuchanganya.MSAHAFU MNAUFUATA au mnajumuia nyengi ne ?!!!!Bora mnyamaze

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 ปีที่แล้ว

    Mbona hukusena wakati yupo madarakani Leo hayupo ndio unayona unafiki .huo

    • @nevermind4789
      @nevermind4789 ปีที่แล้ว

      Hii ni video ya zamani Alhad akiwa madarakan

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

    Nawe pia unayako hatunajinsitu hatukuitaji. Niwote bakwata hatuwataki mnachaguanatu wenyewekwa wenyewe

    • @mbut3437
      @mbut3437 ปีที่แล้ว

      Acha zako wewe

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +1

    Acha ujinga viongozi wetu wadini hatutaki kuwakashfu hatakama wanamapungufu hayo yalishapita wewe afrika shwahili acha uchonganishi sisi tunajua aliteleza

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 ปีที่แล้ว +1

      Tulieni nyie wafata upepo dawa iwaingie.

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    HII DINI HAIKOPWI KARIBUNI MTAFAHAM subirieni !!!!

  • @nully123
    @nully123 ปีที่แล้ว

    Sheikh al had Mussa tokea nilivooba alivonsema Buu idd namna hii alishuka daraja kwangu..Hata kama amekukosea mtu kidini sidhani kama unaambiwa umchambe mtu hivi..wewe ylikuwa sheikh wa mkoa kama kuonge ujuwe vha kuongea alikuwa anaongea kama mvuta bangi maneno hayafai kama sheikh wa mkoa kuongea yaani alikuwa mtu hajiheshimu hana hekma kabisa...yeye anahangaika kujibu kusuta watu utasema ana undugu na khadija kopa...Kama abu Idd kakosea basi yeye kama sheikh wa mkoa angetumia hikma na changua maneno ya kuongea sio hivii mdomo umepinda hujakoma wewe hasidi basi hii taarab

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 ปีที่แล้ว

    Makusudio yenu wewe na nani. Kuomba kwa jina la yesu??Usituchefue

  • @fatumamisinga6211
    @fatumamisinga6211 ปีที่แล้ว

    Hueleweki nuzi tu umemtetea leo unamruka 🤣

  • @ayoubbilal3319
    @ayoubbilal3319 ปีที่แล้ว

    Mtalaka wa bakwata anatoa vijembe tu hajibu hoja 😆😆

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 ปีที่แล้ว

    Makusudio yenu wewe na nani?

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 ปีที่แล้ว

    Nimekaona kachawa kake kapo nyuma,kumbe kameanza muda mrefu.

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    Hakuna mkamilifu mbona wengine huwasemi ?

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ndio wa kwanza shekher kutokuwa na busara kwanini yote haya hukuyasema wakati shekher yupo madarakani?mpaka unasubilia mpaka mtu atumbuliwe au atolewe madarakani?huoni kama wewe ni mpuuzi wa kwanza shekher wangu?

    • @yaizfamily6615
      @yaizfamily6615 ปีที่แล้ว

      Hii ni clip ya zamani sio ya sasa muislam mwenzangu.

    • @minnahhers7437
      @minnahhers7437 ปีที่แล้ว

      Hii ya zamani jamani

    • @minnahhers7437
      @minnahhers7437 ปีที่แล้ว

      Ni ya kitambo hii si ya sasa enyi waja wa Allaah