mwenyezi mungu amesema kabla hujatoa aibu ya mwenzako hadharani utoe yako kwanza.pili mwenyezi mungu anasema ukimstiri aibu ya mja mwenzako Allah atakustiri siku ya kiama.mashekhe wetu mbao pigana vijembe mmeyasahau haya?
Wamesimamia haki ipi, wakati wametoa hukumu yakuvunja ndoa bila kumuita docta mwaka???? Pili , wana midomo michafu, et wajanja wanakula mzigo , wanaburudika. HAWA NDIO VIONGOZI WENU WADINI ???? KAULI ZA KIHUNI KUTOKA KWA VIONGOZI NI AIBU KWA DINI
@@danielshauri6390 ameitwa mara ngapi na hajaenda?! Mwaka mzima ajapata nafasi ya kwenda kusikiliza shauri lake ?! acha ujinga ww ulitaka dada wawatu aendelee kuteseka kisa tu mtu anaringia jina alilo nalo yani muda wa kwenda bakwata hajapata ila wa kwenda ulaya kula bata anao shenzi kabisa
Sasa kwa nini hamuwasiliani wenyewe kwa wenyewe kabla kuja kwenye media? Yani hapa utiifu hamna, kila mtu anajiona msomi wakati elimu ndogo. Daah kazi kweli kweli. Ndo maana maswahaba walikuwa wakali sana.
Kiukweli nilikua upande wa hawa masheh Ila kusikia kauli zao hizi kauli zao za Leo kweli haya ni wahuni Tena wahuni kweli (eti watu amechukua mzigo wanakula) aiseee hii dini inapokwenda mungu atuhirumie aiseee
Hao mashekhe wanaomtetea Dr mwaka njaa inawasumbuwa saana wanatakiwa watimiliwe wote bakwata,wasifanye dini ni tamthilia dini ina sheria zake nazo ni Qur-an na Sunnah hakuna kingine
Yani 😆😆😆😆 Mwezi wa kwanza umekua mrefu Sana, ukigeuka huku Kimaro ukijikuna Haji manara ukijipapasa Dr Mwaka Mweeeeeh Mwaka utaisha tukuwa tumechoka hoi 🤣🤣🤣🤣
@@kassimali2273 kwa nini huyo dr mwaka alikua haendi kila anapoitwa dada wa watu kila mara anaenda anapigwa tarehe we vipi huyo dr mwaka anahonga vi hela tulieni bora mambo yalivokuja uku kafanya vizuri sana
@@kassimali2273 ulitaka apeleke wapi ikiwa mwaka mzima anafuatilia talaka na hapewi talaka wala matunzo ya familia ?! Mnapenda sana kuona wanawake wanaonewa na kuteseka,, Safi sana bakwata mtu anaitwa mwaka mzima anasema hapati muda ila wa kwenda ulaya kula bata anao
Shekhe mwaipopo nimekupenda sana kuna neno umeongea mwanaume anakuwa jeuri siku mambo yamemuelemea na a ajua eti kuna ndugu ni atoe talaka asijifanye haelewi
kwanza wanandoa kama hamjafanya tendo la ndoa ndani ya miezi 3 kama hakuna sababu za msingi kama kusafir,kuumwa nk. hapo hakuna ndoa. isitoshe mmoja wa wanandoa mapenzi yanapoisha juu ya mwenzie hapo hakuna ndoa tena. ni wazi Queen hana tena mapenzi na Mwaka sasa sijui uhalali wa ndoa hio unatoka wapi. Masheikh wetu kwani mna shida gani ?
Kigenge cha wahuni tu. Hamna shekhe hapa, yaani mlivyoongea ndio tumepata picha halisi ukiachilia hizo kanzu na ndevu hamna zaidi ya wasanii tu hapo wanaona raha kutumia nyadhifa kupata umaarufu wao wa dakika 20. Mna dhima kubwa sana mbele ya mungu endeleeni kuipaka mavi dini ya Allah.
Mimi ni mkristo ila ,kitendo cha mwaka kuwakejeli viongozi wa dini sijakipenda , ila angeweza kujishusha na kuwaendea viongozi wake wa kidini ili kulimaliza.
Ila mimi sishangai mana Hao Hao ndo wanao watetea wanao watukana Maswahaba wa mtume, mimi ninacho kiona ni laana Allah iko anawapiga kutokana na bidaa ya maulidi na kupindisha dini kisa Tamaa ya tumbo zao
Sheikh shariff na kamati yako hiyo,, asanteni sana,, kwa kusimamia haki, ya pande zote, simameni imara ili sisi maamuma, tupate watetezi, hakika sheikh salum hajatendewa haki
Innalillah wainnaillah Rajoun Mashekhe mnapata dhambi kwa kutoa hii misimamo yenu haliyakuwa mnatumia feelings na sio busara..mnakosa hekima kabisa, maneno mnayoyatumia kwa jazba bila kutumia busara..mnakosea, kama ni suala la dini basi tumieni busara..swali la mwaka lilikuwa rahisi sana..swala la kuvunja ndoa ya mwaka why itamkwe kwenye press, pia busara ya kumuita mwanamke mzigo imetoka wapi, na kusema watu wanajilia mzigo, je hapa shekhe alikuwa anamaanisha nini.. (Sentensi chafu kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wa dini)
Yaani hapo shekhe wa mkoa hana makosa ila mwaka anaona haya na aibu hayo ni malipo ya mungu kama anaugomvi na shekhe alimtukana sana mwaka ana matatizo mpaka mkewe kamueka lockup loo hiyo ni ishara tu kama ni mkorofi yaani mueleweni shekhe vizuri sana.
Wallah bila waislam kukaa na msimamo na mashekhe kuwa na msimamo itabakia kudharauliwa uislam na mashekhe wetu inauma sana viongoz wetu wa dini kuitwa wahuni nn anajiamini huyo mwaka mashee mukitetereka nyie na ss tunao wafata vp tutakuwa wap tutaelekea Allah wasimamishe na haki juu ya dini yetu na awasimamishe imara juu ya uongoz wenu
Asalam aleykum warahmmatullah taalla wabarakatu waishimiwa mashekhe na wafuasi wao hili la mambo ya ndani yandowa nipaka kue nasibabu maalim ndio hukumu inapaswa kutolewa lkn mbali naivyo kwakweli hamuezi jua makosa nnini pengine uwenda mamaetu ambae nimke wake Dr Mwaka akawa mkweli ama Dr Mwaka mwenyewe akawa mkweli sio ivi ivi tu yauliziwe kihakika Kuna Nini chazaidi Asalam aleykum
Ni wazi Kuna swala la dhulma linaendelea lakini, Viongozi wenye hofu ya Mwenyezi Mungu watasimamia Kwa yeyote mwenye haki katika hili Kwa kufuata hukum zilizopo katika Quran na Sunnah, na sio hukumu za matakwa ya nafsi. Mwenyezi Mungu awaongoze katika hili inshallah lisije likawa mwanya wa kuonea yoyote yule mwenye haki. Amin
Mnageuza mambo ya Mungu kuwa mambo ya kisisa , haya ni mambo ya ndani hayafai kuwekwa kwenye vyombo vya habali , huwezi kukuta haya mambo kwenye ukrito , hapa wacristo tumewaacha mbali sana , huwezi ukakuta mambo ya ndoa mitandaoni
Huyu Dr.mwaka akili hana na pia linaonekana linaroho mbaya maana kama mwanamke humuhudumii utalazimishaje kuwa bado ni mkeo? Mwaka anatumia hela zake kuwatumia baadhi ya watu wenye njaa.
Ndoa za kiislam!hazina thamani,unaolewa asubuhi jioni imevunjwa bila kujali familia ataathirikaje! Viongozi mnajidhalilisha sana,mnaitana walarushwa wenyewe. Mungu saidia watu wako.
@@sarahtaste2876 Never do that If to say the truth by being respected I Don't need that,,, Wanawake wamekuwa changamoto sana siku hizi kabla nilikuwa kama wewe na nilivyoachia akili angu siwezi kuendana na Dunia.... The Bible opened me But if The Bible is not true am lost, en if is true You will testified😭
@@bibliakitabukitamu6015 then haina ulazima wa ww kujibu comment yangu darling pita tu we can't all be the same mentally sihitaji makasiriko sikujui kwanza so back off my comment
Wanawake wengi tuna yanyasika na kudhulumika pamoja na watoto wetu kwenye ndowa na ukidai talaka unapewa wewe na watoto wako yeye inakuwa sio babatena hili lazima mulikemee viongozi wetu wa kidini vilio vyetu muvisikie jamani kesho kwa Allah mtakuja kujibu
Umaat Muhammad unahitaj kuangalia elimu na vigezo ila kupunguza mihemko ya Hawa ndg zetu ktk Iman, maana sikuwah kuona masheikhe wakiita press kuwatetea waislam wenzao WALIO na makesi ya kusadikika, ALLAH atunusuru ktk hili.
Dini haikupeleki mbinguni hiyo ya ukiristo mana wametunga wahuni walokutungia ukimwi na korona lkn uisilam ni dini ya haq na haikutungwa na wahuni bali ni muongozo kutoka kwa Mungu wa haq kwa kila kiumbe atakae.
Jamani hapo hata kwa macho hakuna ndoa. Huyu jamaa alizoea kujisifu kwenye mitandao na wake zake akqjiona yeye kidume, sasa anaona aibu ataanzaje kutudanganya kwasababu alijifanya yeye ni mshauri wa ndoa zingine. Amejisahau kwamba alikuwa anajianika kwenye mitandao na hao wake zake. Halafu leo anaona press ya viongozi ni makosa. Atuache na uislamu wetu
Ndiyo tunayo katiba yetu ambayo ni quran Lkn serikali hatuna ipo seriksli ya JMT inayoongozwa na Jemedari SSH hatuna tatizo na serilali na serikali haina tatizo na waislamu
Dah subhanallah Masheikh Media mkiziendekeza mtatupotosha pia Masuala ya Ndoa ni Baina ya watu wawili hiileo wakielewana nyusozenu mtaziweka wapi? Tuache kulishadadia jambohili Mungu MWENYEWE anaichukia pili MNAMAGOMVIYENU BINAFSI NA MWAKA Si mwaka ni Malaika laahasha ila MASUALA mengine yakumaliza kimyakimya
Mnatutia sana aibu. Hebu kutaneni huko mkayaongee mambo yenu. Mnageuza nafasi zenu na dini kutuletea mipasho kila uchao, kila mtu anaita waandishi na kuongea. Vurugu hizi sasa.
Kumbe kazi ayupo kikatiba yanchi alafu kwanini mpeane mipasho na mtambue bakwata sio chombo cha uislam bakwata aipokwenye kitabu kitukufu cha mwenyezi Mungu
Umeongea point, Mungu akubariki,tunataka watu kama hawa,safiii sana
Safi sana hongereni tumewaelewa sana, maana Dr mwaka usitukane viongozi wetu.
Kbs atoe talaka tu
Mash'allah Mimi ni Mkongomani 🇨🇩 napenda sheikh mwaipopo akiongea na burudika sana wallahi
Kwa sabb ww ni jaahil ndo maana anakukosha
mwenyezi mungu amesema kabla hujatoa aibu ya mwenzako hadharani utoe yako kwanza.pili mwenyezi mungu anasema ukimstiri aibu ya mja mwenzako Allah atakustiri siku ya kiama.mashekhe wetu mbao pigana vijembe mmeyasahau haya?
Ma Shaa ALLAH. Hongereni sana Masheikh wetu kwa kusimamia haki. Tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA awatangulie kwa kila hatua, Allahuma Aamiin.🤲🏽
Duu kumbe katiba
BUSARA NI NN?
Kiongozi wenu- “wajanja wamechukua mzigo(mke wa Dr. Mwaka ule wanaburudika nao(Kauli gani hizi).”
Wamesimamia haki ipi, wakati wametoa hukumu yakuvunja ndoa bila kumuita docta mwaka???? Pili , wana midomo michafu, et wajanja wanakula mzigo , wanaburudika. HAWA NDIO VIONGOZI WENU WADINI ???? KAULI ZA KIHUNI KUTOKA KWA VIONGOZI NI AIBU KWA DINI
@@danielshauri6390 ameitwa mara kibao hakwenda kwa hio lengo lake nini kama hamuhudumii mkewe mwaka mzima acha mihemko wewe
@@danielshauri6390 ameitwa mara ngapi na hajaenda?! Mwaka mzima ajapata nafasi ya kwenda kusikiliza shauri lake ?! acha ujinga ww ulitaka dada wawatu aendelee kuteseka kisa tu mtu anaringia jina alilo nalo yani muda wa kwenda bakwata hajapata ila wa kwenda ulaya kula bata anao shenzi kabisa
12:04 eee wee uki Beepu sisi tuna.......... HABARI ndo hiyo
Kitendo cha kuwaita masheikh WAHUNI yan amenikera huyu mjinga mwaka
Ni wahuni kweli
@@princechriss3654 na wew pia
Huu ni mtihani WA media. Allah atunusuru.
Safi sana,mpeni Queen haki yake,yule si mume kwa kweli
💯
Shehe kafafanua vizur
Sasa kwa nini hamuwasiliani wenyewe kwa wenyewe kabla kuja kwenye media? Yani hapa utiifu hamna, kila mtu anajiona msomi wakati elimu ndogo. Daah kazi kweli kweli. Ndo maana maswahaba walikuwa wakali sana.
Mashallah mashallah mashallah mko vzr viongoz wetu na tunaomba msimamieni uyu dada
Dokta mwaka nimbabaifu Mbona hata Mimi ndoa yangu ilikuvunjwa nabakwata miaka ya 2004
Kiukweli nilikua upande wa hawa masheh Ila kusikia kauli zao hizi kauli zao za Leo kweli haya ni wahuni Tena wahuni kweli (eti watu amechukua mzigo wanakula) aiseee hii dini inapokwenda mungu atuhirumie aiseee
Hao mashekhe wanaomtetea Dr mwaka njaa inawasumbuwa saana wanatakiwa watimiliwe wote bakwata,wasifanye dini ni tamthilia dini ina sheria zake nazo ni Qur-an na Sunnah hakuna kingine
Shetani oyeee umewateka viongozi wa dini mara mchungaji kimaro mara bakwata picha Bado linaendelea
Yani 😆😆😆😆 Mwezi wa kwanza umekua mrefu Sana, ukigeuka huku Kimaro ukijikuna Haji manara ukijipapasa Dr Mwaka Mweeeeeh Mwaka utaisha tukuwa tumechoka hoi 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Na watu tunaofatilia hiphop Dizasta Vina na Rapcha tena wakakiwasha january
😆😆🙌🙌 Nimechek Kwa kubana sauti ili nisiskik
Haki huu mwaka tutaumaliza tukiwa Hoi kma January ndo hii 🙉🙉🙊
Awa mashekh nimewapenda Sana wako vizuri na wanaonekana ni watu wa mungu🙏🙏🙏 inshallah.
Ndio mie sioni kama hapo Pako ndoa Tena 🤔
Hasa kaka yangu mwaipopo
Mh!Allah atupe Elim ili tufanye maamuzi sahihi ktk harakati zetu!
Nawashauri wote Mumwamini Bwana Yesu kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yenu mbatizwe kwa jina lake nanyi mtaokoka .
Mashekhe hakuna hapa kila mtu asimame ktk msimamo wake wa kumuamini ALLHA.
Ass aleyk Mashehe mmenifurahisha sana mungu atawalinda kwa kila baya huyo dk Mwaka ni mpumbavu na ametahayari
Subhannallah mungu akufanyie wepes dada queen maana dr mwaka kachafua hali ya hewa
Alochafua ni uyo Queen kuleta jambo la ndoa kwenye public ao mashekh wote hawana mamlaka ya kutoa talaka
@@kassimali2273 kwa nini huyo dr mwaka alikua haendi kila anapoitwa dada wa watu kila mara anaenda anapigwa tarehe we vipi huyo dr mwaka anahonga vi hela tulieni bora mambo yalivokuja uku kafanya vizuri sana
@@sifatiiman haya
@@kassimali2273 ulitaka apeleke wapi ikiwa mwaka mzima anafuatilia talaka na hapewi talaka wala matunzo ya familia ?! Mnapenda sana kuona wanawake wanaonewa na kuteseka,, Safi sana bakwata mtu anaitwa mwaka mzima anasema hapati muda ila wa kwenda ulaya kula bata anao
@@kassimali2273 mwaka ndio alioanza ziweka ndowa zake public so wafrica mue na akili yakujua kuchuja jambo
Shekhe mwaipopo nimekupenda sana kuna neno umeongea mwanaume anakuwa jeuri siku mambo yamemuelemea na a ajua eti kuna ndugu ni atoe talaka asijifanye haelewi
Hii kweli tamthilia,hivi tupo episode ya ngapi vile??😂😂
Ya4 leo
3
Picha linaendelea, bingwa kulala na wanawake wawili kitanda kimoja @ dr.mwaka, analeta mkoroganyo kwenye dini.🤔
Hahaha 🤣🤣 yan hawa watu wanapenda ushindani😂
Wallah 😆 unachek hayajakufika hujaamini kama Dunia ni adaa
Mnasema mnafuata quran na sunnah,je nyinyi mtuambia quran mmehifuata au ndo mmefuata katiba ya bakwata.
Duh hii kweli dunia ya mwisho ndowa inavunjwa asubuhi ikabatilishwa jioni mtihani huu masheikhe na maulamaa unatupeleka wapi
🤣🤣🤣🤣
Ujumbe nzr niuwelewa. Muposawa
Nyinyi mashekh gani hata sura zenu nuru hakuna nyinyi sio watu wazuri
Hio Nuru ukishakuwa nayo wewe tu inatoshaaaaaaa kifirigiso mmoja wewe
@@azizaaziza7996 pumbavu
Hee we bwege nini mumbavunu unamjuwa wewe hebu tia mkono humo ndani ya boxsa utakae mkuta ndie pumbavu mwezio fala mmoja wewe nyokoooooo
@@azizaaziza7996 Aziza mbona unanitukana
Jamani jamani wewe sio uloanza kunitukana ume niita pumbavu 😂😂😂😂😂 Mimi nilo maliza ndio mkosa
Sio muislam ila nimemuelewa sana sheikh Nimeelewa sana dr mwaka anajiharibia brand haya mambo yalitakiwa yaishe chini kwa chini
kwanza wanandoa kama hamjafanya tendo la ndoa ndani ya miezi 3 kama hakuna sababu za msingi kama kusafir,kuumwa nk. hapo hakuna ndoa.
isitoshe mmoja wa wanandoa mapenzi yanapoisha juu ya mwenzie hapo hakuna ndoa tena.
ni wazi Queen hana tena mapenzi na Mwaka sasa sijui uhalali wa ndoa hio unatoka wapi.
Masheikh wetu kwani mna shida gani ?
Ni kweli kabisa
Nandio maafundisho ya mtume sasa uhalali wa ndoa ya d mwaka uko wapi? Mtu yuko mbali na mkewe mwaka mzima halafu ety bado anayo ndoa mmhhh!!
@@ramadhanirama7970 nashangaa ndoa imekua siasa mimi sioni uhalali wa hio ndoa mpaka muda huu
Kigenge cha wahuni tu. Hamna shekhe hapa, yaani mlivyoongea ndio tumepata picha halisi ukiachilia hizo kanzu na ndevu hamna zaidi ya wasanii tu hapo wanaona raha kutumia nyadhifa kupata umaarufu wao wa dakika 20. Mna dhima kubwa sana mbele ya mungu endeleeni kuipaka mavi dini ya Allah.
Shehe umeongea cha maana sana hongera sana mungu akubariki sana amina
Sio vizuri kujibizana mitandaoni.
Hata watoto wanafuatilia.
Jambo limechukua muda mrefu bila sababu .
Hawa jamaa ukisikiliza maneno yao tu kweli ni wahuni hata lugha wanatumia ni mbovu mwamke wana muita mzigo Eti ndo viongoz wa dini
wew huna unacho kijuwa Allah akuhiji
A doctor by professional, Mwaka should accept and move, Earlier he had more than two wifes why can't he let Queen be.
Huyu ana ujinga Sana Mwaka
Mwaipopo big up
Mimi ni mkristo ila ,kitendo cha mwaka kuwakejeli viongozi wa dini sijakipenda , ila angeweza kujishusha na kuwaendea viongozi wake wa kidini ili kulimaliza.
Ila mimi sishangai mana Hao Hao ndo wanao watetea wanao watukana Maswahaba wa mtume, mimi ninacho kiona ni laana Allah iko anawapiga kutokana na bidaa ya maulidi na kupindisha dini kisa Tamaa ya tumbo zao
😂😂😂😂😂😂hii nchi jamani alafu mnatufulaisha sisi wambea yani mnatutoa mawazo jamani
Mashehe wamchongo hao njaa zinawasumbua
Wahuni watupu
@@alliancendabarushimana4570 na mimi nimewashtukia
Sheikh shariff na kamati yako hiyo,, asanteni sana,, kwa kusimamia haki, ya pande zote, simameni imara ili sisi maamuma, tupate watetezi, hakika sheikh salum hajatendewa haki
Uki Dipu sisi tunapiga 😀😀🤣🤣
Innalillah wainnaillah Rajoun
Mashekhe mnapata dhambi kwa kutoa hii misimamo yenu haliyakuwa mnatumia feelings na sio busara..mnakosa hekima kabisa, maneno mnayoyatumia kwa jazba bila kutumia busara..mnakosea, kama ni suala la dini basi tumieni busara..swali la mwaka lilikuwa rahisi sana..swala la kuvunja ndoa ya mwaka why itamkwe kwenye press, pia busara ya kumuita mwanamke mzigo imetoka wapi, na kusema watu wanajilia mzigo, je hapa shekhe alikuwa anamaanisha nini.. (Sentensi chafu kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wa dini)
Jamani mbona kila siku tubavutana wenyewe kwa wenyewe
Yaani hapo shekhe wa mkoa hana makosa ila mwaka anaona haya na aibu hayo ni malipo ya mungu kama anaugomvi na shekhe alimtukana sana mwaka ana matatizo mpaka mkewe kamueka lockup loo hiyo ni ishara tu kama ni mkorofi yaani mueleweni shekhe vizuri sana.
Wallah bila waislam kukaa na msimamo na mashekhe kuwa na msimamo itabakia kudharauliwa uislam na mashekhe wetu inauma sana viongoz wetu wa dini kuitwa wahuni nn anajiamini huyo mwaka mashee mukitetereka nyie na ss tunao wafata vp tutakuwa wap tutaelekea Allah wasimamishe na haki juu ya dini yetu na awasimamishe imara juu ya uongoz wenu
Asante sana viongozi wa dini wanawake wananyanyasika sana
😀😀😀Sheikh anasema eti iyo ni Song Song ya Bongisa daah kweli hatari
halafu akiitwa muhuni ana mind😂😂😂
Awaeleze nyie ni akina nani,semeni mmetumwa na huyo shekh wenu acheni mambo ya kihuni,nyie ndio mnaharibu dini
Hapo sijaona msomi hat mmoja
wewe ndo msomi nenda wewe
Jamani haya ni sawa kweli kwetu viongozi wetu haya hayakupaswa tuyasikie huku yangeishia huko huko kudhalilishana hivi imani yetu inadhalilishwa
👏👏Mashekhe oyee👍
njaa zinawasumbuwa mashkh njaa mashkh wa bara ni Kama mlevi wa znz wachen kuchezea dini ya ALLAH
Sasa haya mambo jmn nikama yanauchawa Sana wallah
Allah ndo anayejua haki ipo wapi ila kwa kweli masheikh wetu mnatuchanganya sana
Doctor mwaka analeta mambo meusi huyu jama ache kuleta ujinga
Asalam aleykum warahmmatullah taalla wabarakatu waishimiwa mashekhe na wafuasi wao hili la mambo ya ndani yandowa nipaka kue nasibabu maalim ndio hukumu inapaswa kutolewa lkn mbali naivyo kwakweli hamuezi jua makosa nnini pengine uwenda mamaetu ambae nimke wake Dr Mwaka akawa mkweli ama Dr Mwaka mwenyewe akawa mkweli sio ivi ivi tu yauliziwe kihakika Kuna Nini chazaidi Asalam aleykum
Wenyewe kwa wenyewe tunazongana sasa,jamanii,so sad.
Ni wazi Kuna swala la dhulma linaendelea lakini, Viongozi wenye hofu ya Mwenyezi Mungu watasimamia Kwa yeyote mwenye haki katika hili Kwa kufuata hukum zilizopo katika Quran na Sunnah, na sio hukumu za matakwa ya nafsi. Mwenyezi Mungu awaongoze katika hili inshallah lisije likawa mwanya wa kuonea yoyote yule mwenye haki. Amin
Eti mzigo ushachukuliwa na kuna watu wanaburudika nao 😆😆😆😆
Af mtu akiitwa mhuni anakataaaa!!!
Hahaaaa
Mnageuza mambo ya Mungu kuwa mambo ya kisisa , haya ni mambo ya ndani hayafai kuwekwa kwenye vyombo vya habali , huwezi kukuta haya mambo kwenye ukrito , hapa wacristo tumewaacha mbali sana , huwezi ukakuta mambo ya ndoa mitandaoni
Njaa mbaya sana.
Watu Wamepewa Mpunga Uko🙆🏿♂Ukidipu sisi Tunapiga.🙆🏿♂
Huyu Dr.mwaka akili hana na pia linaonekana linaroho mbaya maana kama mwanamke humuhudumii utalazimishaje kuwa bado ni mkeo? Mwaka anatumia hela zake kuwatumia baadhi ya watu wenye njaa.
Jamaaa ana roho mbaya kweli yule
Nashangsaa na wale wanaomshangilia na kuvurahia maovu yake,sbb wapo kama yeye tuu
Ndoa za kiislam!hazina thamani,unaolewa asubuhi jioni imevunjwa bila kujali familia ataathirikaje!
Viongozi mnajidhalilisha sana,mnaitana walarushwa wenyewe.
Mungu saidia watu wako.
Dr mwaka ndo mbabaifu kama alikua hataki haya kwann asitoe talaka embu kwenda uko unaudhi sana anajiona special sana
Mwanamke akikudai talaka umpe sijui yeye Dr Mwaka anaforce issue .
We unajibu jibu tu na hujui kitu wewe walivyopendana na walivyokubaliana ulikwepo
@@bibliakitabukitamu6015 ngoja nikujeshimu kwasababu ya username yako
@@sarahtaste2876 Never do that If to say the truth by being respected I Don't need that,,, Wanawake wamekuwa changamoto sana siku hizi kabla nilikuwa kama wewe na nilivyoachia akili angu siwezi kuendana na Dunia.... The Bible opened me But if The Bible is not true am lost, en if is true You will testified😭
@@bibliakitabukitamu6015 then haina ulazima wa ww kujibu comment yangu darling pita tu we can't all be the same mentally sihitaji makasiriko sikujui kwanza so back off my comment
Viongozi WA dini njaa mume weka njaa mbele
Nyinyi ni wahuni tu kama Alhadi
Hawa ndiyo masheikh ubwabwa! Kama wote ni wa Bakwata kwa nini masheikh wote msikutane kwenye vikao rasmi mkayajenga?
Wanawake wengi tuna yanyasika na kudhulumika pamoja na watoto wetu kwenye ndowa na ukidai talaka unapewa wewe na watoto wako yeye inakuwa sio babatena hili lazima mulikemee viongozi wetu wa kidini vilio vyetu muvisikie jamani kesho kwa Allah mtakuja kujibu
ulitaka iweje
Umaat Muhammad unahitaj kuangalia elimu na vigezo ila kupunguza mihemko ya Hawa ndg zetu ktk Iman, maana sikuwah kuona masheikhe wakiita press kuwatetea waislam wenzao WALIO na makesi ya kusadikika, ALLAH atunusuru ktk hili.
Wahuni si kidogo!Allah atupe mwisho mwema
Wanani wahuni??😳😳
Yeyote ambae anataka hili jambo liishie mtandaoni na kwa mabishano ni Muhuni,
Sio wahuni ila mke wake ndio hamtaki doctor mwaka yeye akubali kuachika alafu nilicho gundua doctor mwaka anaogopa mgawanyiko wa mali
@@pendo8082 siyo mgawanyiko wa mali,Mali ameshagawa yeye anataka ndoa iendelee ili abatilishe hati kisha waachane kwa amani
@@winfridapeter9455 yy anatakiwa akubali kuachwa sasa mwanamke hamtaki
Duh mzigo umeshachukuliwa watu wanaburudika nao.
Inalilah wainalikah rajiu. Makafiri wanagombana. Kilammoja anamuita mwenzake mhuni
Nyie wanne mnaongea Kwa hasira, alafu mnaaibsha uislamu nyie.. .. Dr Mwaka Yuko sahihi kabisa.
Bakwata nyie ni miyeyusho sana
Sanaa
Aibu saana waislam yaani hata bakwata hawajitambui kazi zao na nyie wengine wahuni tu
Mungu wasaidie wote wenye matatizo ili yaishe salama, amin
Amiin 🤲 ya Allah
Hivi sijaelewa au
Katiba inasema KUSIMAMIA NDOA
Maana ya kusimamia ndo sawa na KUVUNJA NDOA ni sawa
Kazi ipo hawa ndio mashekhe wetu ha ha ha ha
😳😳🤣🤣
Waislamu hapo ndipo huwa hawakopeshani hata kidogo
Dr. Mwaka kidume 😂😂😂😂
hana ukidume wowote
Mnasema. Ameshachukuliwa. Mzigo. Huo. Sasa. Sindio. Maneno. Y. Kihuni. Hayo
Kuna maneno yanaongewa ya hovyo sana humu
Allah awape umoja nanheshima viongozi na mashekhe wote wa waislam
Tokeni hapo badala mtafute suluhu mnatangaza madhaifu ya mtu laana hyo hamna maaana kbsa
Rushwa ni upofu
Hawa mashekh awataki solution ya kutatua migogolo ya ndoa ndio wakwanza kulazimisha uvunjifu wa ndoa
Tatizo ni shule ! Nimeishika iyo . nyingine viingizi mazuzu.
HAO WAGANGAA WANASHIDA KWELII WEE SHARIF MAJINII MGANGA TUU SIO SHEKHH
Mwaipopo noma🤣🤣
Inaonesha wazi kama wametumwa dini imekua kama haina sheria muogopeni mungu
Ndio maana dini hazitupeleki mbinguni, maana zimeundwa na wahuni na hii ndio matokeo yake.
Dini haikupeleki mbinguni hiyo ya ukiristo mana wametunga wahuni walokutungia ukimwi na korona lkn uisilam ni dini ya haq na haikutungwa na wahuni bali ni muongozo kutoka kwa Mungu wa haq kwa kila kiumbe atakae.
Jamani hapo hata kwa macho hakuna ndoa. Huyu jamaa alizoea kujisifu kwenye mitandao na wake zake akqjiona yeye kidume, sasa anaona aibu ataanzaje kutudanganya kwasababu alijifanya yeye ni mshauri wa ndoa zingine. Amejisahau kwamba alikuwa anajianika kwenye mitandao na hao wake zake. Halafu leo anaona press ya viongozi ni makosa. Atuache na uislamu wetu
waislamu wana selikali yao na katiba yao😂😂😂😂
Dini na dunia
Ndiyo tunayo katiba yetu ambayo ni quran
Lkn serikali hatuna ipo seriksli ya JMT inayoongozwa na Jemedari SSH hatuna tatizo na serilali na serikali haina tatizo na waislamu
sis atupo idunia 2 waislamu tupo kidini tumezaliwa kidin tunaishi kidini natutakufa kidin lazima tusimame katiba yadini yetu
@@mwasitihamisi2477 swadakta ukhti
@@mahmoudukusso4488 wapi kwenye quran pana sema shehe wa mkoa avunje ndoa za watu
Dah subhanallah Masheikh Media mkiziendekeza mtatupotosha pia Masuala ya Ndoa ni Baina ya watu wawili hiileo wakielewana nyusozenu mtaziweka wapi? Tuache kulishadadia jambohili Mungu MWENYEWE anaichukia pili MNAMAGOMVIYENU BINAFSI NA MWAKA Si mwaka ni Malaika laahasha ila MASUALA mengine yakumaliza kimyakimya
Wakristu tupo apa gonga like tujuane tunaofatilia hii tamthilia ya isidingo au ya tausi Ile ya kenya
Jiangalie wewe
Unapata faida Gani?
Mnatutia sana aibu. Hebu kutaneni huko mkayaongee mambo yenu. Mnageuza nafasi zenu na dini kutuletea mipasho kila uchao, kila mtu anaita waandishi na kuongea. Vurugu hizi sasa.
wahuni tuu mnavunjaje ndoa ya mtu?
Ndoa wameivunja wenyewe hapa kinachodaiwa ni uthibitisho tu .
Ndungu yangu hakuna aliyevunja ndoa ya mtu, kitu ambacho huja kielewa ni sheria za dini ya kiislamu kama huzijui bora unyamaze tuu.
@@kiri5807 ndoa ya mtu mnaivunjia redioni ili mmdhalilishe hizo nisheria za wapi hiyo sheria imesema mkivunja ndoa za watu muwatangaxe?
Dr. Mwaka yuko sahihi , bakwata ni wahuni tu. Hamna haki ya kuvunja ndoa ya watu, kenge nyinyi
Nyinyi watu wapumbavu sana
Wew kuma nin acha ugenke wew nimkiso usitukane watu ambao wanao sema vitu vyadini sio yako huna unacho kijuwa. kuma wew
Usiwatukane watu sio Vizuri.
Kumbe kazi ayupo kikatiba yanchi alafu kwanini mpeane mipasho na mtambue bakwata sio chombo cha uislam bakwata aipokwenye kitabu kitukufu cha mwenyezi Mungu
Mwaka huu utakuwa mrefu kweli
😂😂😂
Nyie ndio mnaichezea ruduni kwenye quruani na hadithi za mtume wet Muhammad s.w.l