Wajnaaaa Allah akufanyie wapes my dear nipo tanga nataman siku moja nikuone nami nikusaport kwanilichokuwa nacho muhim sana na natamani sana nikuone wallah mi pia naitwa Zuwena kwahiyo mimi na wewe ni mtu na somo yake❤❤❤❤❤
Pole sana haukopokeyako mpakamastar wetu baadhi Yao unaowajua wengi wao wameathirika mpenzi Sema kwavile wewe ni mdogo lakini muombe mungu tuu naundelee kunywa hizo dawa na usirudi kule tena love you❤❤❤❤
Damn hii ni hatari sana , serikali yetu inabidi iwe makini maana vidonge sikuhizi viko vya madawa ya kulevya, yani watu wengi wanakuja kutoka nje kuja kuharibu maisha ya watanzania wenzetu especially vijana wadogo.
Mungu akutie nguvu huu ugonjwa ni mzunguko mtu kama katembea na watu zaidi ya mia na wengine ni waume za watu uwiiiii je wanawake kwenye ndoa watasalimina ni kumuomba Mungu tu atunusuru na huu ugonjwa pole saana Bado mzuri na ni dada mrembo
Allah atakusinamie uiogope kuchekwa wala kusemwa kikubwa kunywa Dawa zako kwa mpangilio ukimwi sio mwisho wa Life,usiigope kwa kuvunjwa nguvu,ila ushauri wangu usirud kulala na wanaume utaona maendeleo ya afya yako 🙏
Uyo mdada anajielewa haijalishi anapitia changamoto gan lkn akiwezeshwa anafanya vzr.maisha ya kujiuza Yana hatari sana ,kwa vile kesha amua kutoka bac tumchangie weken no yenu kusudi chochote mwenye nacho bac amsaidie
Huyu dada atafanikiwa sana kwny maisha kwsbb .anajielewa sana.na akubariana na mabadiriko,ni watu wachache sana wenye hiyo akiri,including umri wake,tunaiomba serikali iwaangalie watu kama hawa kwa maslahi mapana ya ustawi wa nchi.umri wake bado mdogo
Huyu Dogo anajitambua, shida na ziki zimemfikisha hapo alipofika. Mtangazaji mlitakiwa hapo muweke lipa namba mumfungulie ili mwenyekuweza kumumtumia amtumie isiwe namba yake ya simu. Inshalaah Mungu amfanyie wepesi. Ogopa sana umasikini🙏
zuwena anajiamini na huyu kwajinsi anavyojiamin huyu demu anakitu kikubwa zaidi ya ichi watu wanachokiona kwenye macho ya kawaida....hata nyinyi wenye hii channel inabidi mdili nae sana huyu dogo mnamsaidia lkn atawasaidia pia
Mzoea kunyonga Hivi wewe mtu awe na kitu aingize 50000 kwa siku afu hawezi kufungua hata genge la nyanya watu wenye kitu wanapiga kazi huko mwisho wa Fikra zake ni kuuza mwili na ogopa mazoea
Kiukweli inachekesha sana story yenu inabidi mkae chini kama miezi 3 au 2 mpange vizuri Ili Watu wajue ni true story kumbe ni ujanja ujanja maana hapo inaonesha kabisa ni mipango ivi ukimwi unaujua wewe
Mimi bado sjaamini kama wanaigiza,,nawadhania mema,,huyu mtoto namuombea kwa Allah awe na maisha mazuri,apate kipato kikubwa cha halali na awe mcha Mungu.
Nyie mnaohisi wanatunga story hamjaona interview ya kwanza, hebu angalieni interview ya kwanza hapo ndomtajua ni ukweli au niuongo, huyo binti alikutwa eneo tatanishi kabisa, wale wanaopangwa kama nyinyi mnavohisi huwa interview zao zinaanzia chumbani na zinaishia chumbani.
Hivyo vidonge vinaitwa pep vinazuia maambukizi ya ukimwi yani kama hayajapita maasaa 72 na uli sex na mtu mwenye vvu au kujeruhiwa na mtu mwenye vvu vinakukinga usipate maambukizi ndani ya masaa 72
Inabidi selekali iangalie vipindi kama hivi ila wajaribu kusaidia watoto wetu , ku create kazi ndogo ndogo za kusaidia hawa watoto ,la sivyo ukimwi utakuja kuwa mwingi sana ,mwisho wa siku itakua vigumu kuuzuia 😢 .
mungu atakusaidia mdogo wangu maisha ni kujituma usipo jituma utatumwa kama unamuamini mungu yupo gonga like zako hapaa🫧🫧🫧👌🏼🙏
Wajnaaaa Allah akufanyie wapes my dear nipo tanga nataman siku moja nikuone nami nikusaport kwanilichokuwa nacho muhim sana na natamani sana nikuone wallah mi pia naitwa Zuwena kwahiyo mimi na wewe ni mtu na somo yake❤❤❤❤❤
Saw mumy
Very impressive smile...Mungu akutangulie mpendwa.
nashida na nambaa ya simu....... Pole sana,, Mungu aendelee kukuepusha na kukusimamia
Watu wanao smile muda wote wanapitiaga magumu sana maishani 😢
Wallah ni kweli
Kweli ata kwa wanaume ivyo ivyo.
@@josephemmanuel388 pole mungu afanye wepesi kwenye magumu yako
🫂
Mwenyezi mungu atakubadilisha mpendwa
Mimi nimependa sana huyu dada awemkewangu kama ataweza kutoka kenya
Allah akujaalie kila lenye kheir na akuepushe na huo uovu uendelee kufnya kaz yenye kumpendeza Mungu
Pole sana haukopokeyako mpakamastar wetu baadhi Yao unaowajua wengi wao wameathirika mpenzi Sema kwavile wewe ni mdogo lakini muombe mungu tuu naundelee kunywa hizo dawa na usirudi kule tena love you❤❤❤❤
Damn hii ni hatari sana , serikali yetu inabidi iwe makini maana vidonge sikuhizi viko vya madawa ya kulevya, yani watu wengi wanakuja kutoka nje kuja kuharibu maisha ya watanzania wenzetu especially vijana wadogo.
Nakuombea sana mdogo wangu, brilliant girl
Mwenyezi Mungu akutie nguvu dear pole saana
❤❤❤❤ honger san zuwena Allah akusaindie
Mungu akufnyie wepesi mdgo wangu n maisha tu kama ulivyosema hpo mwanzo❤❤❤
MUNGU akiamua kumtoa mwanae haangalii alipotoka….MUNGU aendlee kumtengenez pia apate watu wa kumsupport 🤲
Aamiin yaa rabbi
Mungu hana mtoto , hajazaa wala hajazaliwa
@@allyabdallah7080 pole kwa kukosa maarifa 🤣🤣🤣 anza kusoma vitabu vya dini vyema
Mungu akutie nguvu huu ugonjwa ni mzunguko mtu kama katembea na watu zaidi ya mia na wengine ni waume za watu uwiiiii je wanawake kwenye ndoa watasalimina ni kumuomba Mungu tu atunusuru na huu ugonjwa pole saana Bado mzuri na ni dada mrembo
hana Huo ugonjwa amesema watu wa media wameongeza chumvi
Anaakili sana huyu mtoto...Mungu amsimamie tu
Allah atakusinamie uiogope kuchekwa wala kusemwa kikubwa kunywa Dawa zako kwa mpangilio ukimwi sio mwisho wa Life,usiigope kwa kuvunjwa nguvu,ila ushauri wangu usirud kulala na wanaume utaona maendeleo ya afya yako 🙏
Hana virus
Umsikiliza au umejiandikia tu
MashaAllah ❤❤zuena
Uyo mdada anajielewa haijalishi anapitia changamoto gan lkn akiwezeshwa anafanya vzr.maisha ya kujiuza Yana hatari sana ,kwa vile kesha amua kutoka bac tumchangie weken no yenu kusudi chochote mwenye nacho bac amsaidie
Mungu akuinue
Masha Allah she has a good smile Allah guides who he loves
She’s so pretty
Huyu dada atafanikiwa sana kwny maisha kwsbb .anajielewa sana.na akubariana na mabadiriko,ni watu wachache sana wenye hiyo akiri,including umri wake,tunaiomba serikali iwaangalie watu kama hawa kwa maslahi mapana ya ustawi wa nchi.umri wake bado mdogo
Shishi food ajaye🎉
Anza taratibu dear biashara huwa inakua taratibu mdogo wangu
Super proud of you petite ❤❤
Mola akufanyie wepesi mdogo angu
Nimekupenda sana mungu akulinde sana
Pole dada allah akufanyie wepesi inshallah
Nakukubali sana unavyojiamin mdogo wangu tangu nianze kukufatilia
😂😂😂😂😂mi bado nko na wanangu wa kucheka😂😂🎉🎉🎉🎉nahc mmenielewa😂😂
Anatakiwa apewe daawa ili allah amzinduwe zaidi ayò aliyokuwa anayafa niushetani wahali yajuu
Leo ana ongea kistarabuu sanaa😊
Very intelligent girl. Mwenyezi Mungu ata ku sahidiya Dada yangu mdogo
Pole sana mdogoangu mungu yupo pamoja nawe
Allah akutie wepesi mdgwang inshallah
Maashallha kumbe nimzuri ila shida tuu ndio ilio mbadilisha
Mungu atakusaidia zuena
Asanty mungu kwakumtoa huko anllah akufanyie wesi
Allah tunakuomb nusra ako
Alafu mbona kuna dada mwingine mlimuhoji akasema ndg zake wamemuona na wamekuja kumchukua😢
Yule aliona mwenzie atapata msaada Sasa kaona wivu
Jaman mrembo sana❤
Mungu akusaidie daa
Najikuta nakupenda bure❤
Huyu Dogo anajitambua, shida na ziki zimemfikisha hapo alipofika. Mtangazaji mlitakiwa hapo muweke lipa namba mumfungulie ili mwenyekuweza kumumtumia amtumie isiwe namba yake ya simu. Inshalaah Mungu amfanyie wepesi. Ogopa sana umasikini🙏
Kwakucheka mashalah
WANAWAKE SHIDA NI TAMAA NA WANAINGIZANA KWENYE TABIA ZA KUUZA MWILI ,MWISHOWE WANAUNGUA .
Inshallah utatoboa kwasababu ni jasiri😊
Sasa kama Ana virusi vya ukimwi mbona Ana uzaa mwili kuuwa wengine achaa umaraya mtoto mdogo Ana uza kababu😅😅😅😅
Nimekupenda bure
Daah atimaye mungu amekutoa kwenye ile kazi ya haramu😔🦅
Atafutiwe na mchumba vinginevyo atarudi. 😂😂kuna hela za haraka
mm nishajitokeza nimuoe
😢😢
Umefanya uamuzi mzuri. Hongera sana kwa kuamua kuacha tabia chafu. Hongera Zuwena.
vipi kuhusu huyo mama kwa interview yengine anae fanya kazi ya kujiuza ina endelea vipi naye
Namba ya simu naeza kusapoti kiasi
zuwena anajiamini na huyu kwajinsi anavyojiamin huyu demu anakitu kikubwa zaidi ya ichi watu wanachokiona kwenye macho ya kawaida....hata nyinyi wenye hii channel inabidi mdili nae sana huyu dogo mnamsaidia lkn atawasaidia pia
Mzoea kunyonga
Hivi wewe mtu awe na kitu aingize 50000 kwa siku afu hawezi kufungua hata genge la nyanya watu wenye kitu wanapiga kazi huko mwisho wa Fikra zake ni kuuza mwili na ogopa mazoea
Hay mliopiga peku saiv huko mliko parapanda inalia masikionk
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 Qmmmmk
😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kaa mazuri ila watu mna maneno
Uongo mtupu hakuna cha ukweli kabisa hapo inaonekana kabisa ni story ya kupanga😂
Pangeni na nyie km rahis😏
Atengeneze story ili iweje ucpojifunza usijifunze si lzm
😂😂😂😂
Kiukweli inachekesha sana story yenu inabidi mkae chini kama miezi 3 au 2 mpange vizuri Ili Watu wajue ni true story kumbe ni ujanja ujanja maana hapo inaonesha kabisa ni mipango ivi ukimwi unaujua wewe
@@ABUU961kabisa kapangwa
Na ni karembo mnoo!
Anapenda kula sana ndoomana anapenda mamantirie 😂
Umezidi kumjaj huyo dada we kaka vip
😂😂😂😂
Ulitaka afanyaje? Nyie ndio watenda dhambi fyuuu.
Na hii sura yako, mtoto wa Kigoma kabisa.
Pole mdogo wangu jee ukipata wa kukuoa utapenda😊
Mm nitumiye namba zako umo nikupatie chochote❤❤
Mbona umedanganya kwamba kaambukizwa wakati yuko Salama?
Nashidq na nambaa
Maswali ya kuuliza hana mtangazaji vp mbona unaferi mkuu
Playbill niko 254
Vidonge vinaitwa prep
Hongera sana Zuwena
Naomba namba zake pleaseee
😭😭😭😭😭😥😥😥🙏🙏🙏
Meza na frame ni pesa ngapi kwani
Mmmmh
mmmmh jmn zuwenaa wazile nyakat 😁😁😂😂
Sikilizeni mpaka mwisho
Kwani anaishi wapi
HII NCHI MUHIMU BANDO BASSS UTAONA MENGI SANA MADADA MARA KASAIDIWA KICK HIZIII 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nampenda alivo natabasamu muda wote. MUNGU amtimizie haja za moyo wake
Huyu ni mwizi kama wezi wengine! Achaneni naye afanye yake
Acha roho mbayaaa
biashara yake ipo wapi hapa mjini tukamsuport hata kunywa supu tu🤣
Mimi bado sjaamini kama wanaigiza,,nawadhania mema,,huyu mtoto namuombea kwa Allah awe na maisha mazuri,apate kipato kikubwa cha halali na awe mcha Mungu.
Aamiin yaa rabbi ❤
Aamiin yaa rabbi ❤
Aamiin yaa rabbi ❤
Aamiin yaa rabbi ❤
munizesh mm niko tayr kuoa uyo
Kafanana na Alikiba😮
Mmh makengeza😂😂
Zuwena unapatika wapi mdog angu
Nyie mnaohisi wanatunga story hamjaona interview ya kwanza, hebu angalieni interview ya kwanza hapo ndomtajua ni ukweli au niuongo, huyo binti alikutwa eneo tatanishi kabisa, wale wanaopangwa kama nyinyi mnavohisi huwa interview zao zinaanzia chumbani na zinaishia chumbani.
Nikweli 😢😢
Kweli
It's true
Wekeni namba yake
Niko kenya naweza wasiliana aje na zuena
Naomba namba Yako Mimi nimekupenda
Badili dini kwanza
Amepanga?
Zuena kanafulaisha adi laha
Naombeni namba ya huyo binti nimuoe Niko siliazi kabisa
Hivyo vidonge vinaitwa pep vinazuia maambukizi ya ukimwi yani kama hayajapita maasaa 72 na uli sex na mtu mwenye vvu au kujeruhiwa na mtu mwenye vvu vinakukinga usipate maambukizi ndani ya masaa 72
Inabidi selekali iangalie vipindi kama hivi ila wajaribu kusaidia watoto wetu , ku create kazi ndogo ndogo za kusaidia hawa watoto ,la sivyo ukimwi utakuja kuwa mwingi sana ,mwisho wa siku itakua vigumu kuuzuia 😢 .
Kama uko serious hebu toa namba ya baba Yako tutoe mahar kwenu
Naombeni namba zake
Pole sana zuwena mungu atakusaidia
Mungu akusaidie ueshim maamuzi yako
Toba yaarabi