Fahamu kwanini mwenye vvu hawezi kumwambukiza mwenza wake au mtoto anayezaliwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2023
  • Sayansi inaeleza kuwa dawa za kufubaza makali ya vvu yaani ARVs zinauwezo wa kushusha kwa kiasi kikubwa idadi ya virusi vya ukimwi mwilini na kumfanya mviu asiwe na uwezo wa kumwambukiza mtu mwingine.
    Tofauti na miaka ya zamani, hivi sasa wanandoa au wenza wanaweza kuishi pamoja lakini kati yao mmoja wapo akawa na maambukizi lakini asimwambukize mwenza wake

ความคิดเห็น • 4

  • @DorisiLukinja
    @DorisiLukinja 2 วันที่ผ่านมา

  • @lellovenance5702
    @lellovenance5702 2 หลายเดือนก่อน

    0:25 mimi nina mwenzangu alivyoenda kupima akakutwa lakin mm sina na siwezi kumuacha sababu ananipenda na mm nimependa Sana

  • @user-if4wo6mn8z
    @user-if4wo6mn8z 5 หลายเดือนก่อน

    Ku to kusafishwa Kidole wakat wa kupima kinaweza kukupa majib ya sio sahihi

    • @lellovenance5702
      @lellovenance5702 2 หลายเดือนก่อน

      Sijaelewa ebu nifafanulie nimekutwa sina mwenza wangu anavyo lakin namp nda na alipata wakat akipitia changamoto za maisha nimeelewa na nampenda kwelii