DADA ANAE TAFUTA MUME MAKUBWA YAMKUTA/KUPIGWA NA MUME WA ZAMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 599

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว +8

    Nakuombea dua sna upate mwanaume sahihi. Usijali ya walimwengu unayoitafta ni kher..

  • @tumsalim8640
    @tumsalim8640 3 ปีที่แล้ว +7

    uko sawa bora uwe wataka wandoa mueke mungu mbele utapata my

  • @dorcaskwizera6353
    @dorcaskwizera6353 3 ปีที่แล้ว

    Hello, napenda saana ulicokifanya dada yangu maana kuliko kukata tamaa katika maisha sivizuli nawakati uko hayi pia hata mimi hapa nilipo naitaji wakuniowa ndoa yangu pekee ila sijapata, pia sijakataa tama mungu yupo tuu pia nakuombea mibaraka mingi kutoka kwa mungu asante

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว +3

    Yuko serious au anazingua.... Mm ninataka mke kweli and she is beautuful

  • @zainabzz7241
    @zainabzz7241 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akufanyie wepesi katika jambo la kheli mungu akufanyie wepesi upate mume mwema 🙏🙏🤝🤝🤝💞💞💞

  • @rosemarykilonzo3119
    @rosemarykilonzo3119 3 ปีที่แล้ว +15

    Wewe ni dada mkakamavu. Nakutakia kila la heri

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli huyu dada Amefanya Anachokipenda vizuri sana.ILA DADA MIMI NAKUSHAULI SANA SUGUA GOTI MUNGU ATAKUPA MUME KUWA SEROUS KUOMBA KMA ULIVYOVAA NGUO ZA HARUSII NA BANGO PIA FUNGA MUNGU ATAKUPAA TUU.

  • @hono1232
    @hono1232 3 ปีที่แล้ว +5

    Dada huko vizuri japo kunawanataka kutokukuelewa.una ujasiri mkubwa.huko sahihi kabisa.

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว +14

    Mtangazaji una sauti nzuri mashallah your are beautiful

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 3 ปีที่แล้ว +6

    Afu kumbe dishi liko Sawa kbs.... Ndo kashakuwa 🌟 😝

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha! ! ! ulijua dishi limeyumba 😆😆😆

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji nimekupenda uko vzr

  • @zimammtiga5448
    @zimammtiga5448 3 ปีที่แล้ว +2

    Akipatikana wa ziada mlete na hukuu,🤣🤣🤣

    • @najmsogwa4236
      @najmsogwa4236 3 ปีที่แล้ว

      Mumee au ataa mpnz best

    • @zimammtiga5448
      @zimammtiga5448 3 ปีที่แล้ว

      @@najmsogwa4236 nataniaa😜😜😜

  • @LeonardAthanas-cp2xz
    @LeonardAthanas-cp2xz 5 หลายเดือนก่อน

    Nipo hapa naitwa Leonard Barnaba Nina miaka22 nasoma chuo nipo dar es salaam

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 3 ปีที่แล้ว +4

    Wahehe waaminifu sana, ila ukiwakera ohooooo

    • @arestinachanda48
      @arestinachanda48 3 ปีที่แล้ว

      @@bakoramusa7129 kabisa ndimhehe mbifile

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaa sasa si ulisema upo bikra wew awo watot ten vip

  • @robinhomesuza9263
    @robinhomesuza9263 3 ปีที่แล้ว +2

    Ayo ndio alikuwa anayataka akuna cha ndoa wala ndoro hapo kiki tu😂

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 3 ปีที่แล้ว

    Hatari na Nusu

  • @jayman7865
    @jayman7865 3 ปีที่แล้ว

    Marayaaa aliyechoka maishaaa huyo sasa wanaume 30,haaaa hapo jua 30mara 2=60 ndo wanaume aliyo lala nao

  • @azizamvungi6203
    @azizamvungi6203 3 ปีที่แล้ว

    Upon vizuri,Dada bora wewe unayetafuta mume kuliko kudanga

  • @frankmsigwa153
    @frankmsigwa153 3 ปีที่แล้ว +1

    Aende Mkoani anapata safi tu

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 3 ปีที่แล้ว

    KUMBE UNAJUA MPAKA STORI YA ESTA .BASI SALI KWA NGUVU MAANA ESTA ALIFUNGA NA MAOMBI NA WANAWAIZLAELI NA WEW FUNGA NA WANAMAOMBI

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasubiri namba ya simu!! Huyu ni wangu

  • @SaidiMwero
    @SaidiMwero 4 วันที่ผ่านมา

    Lete namba inbox kama kweli

  • @Elias-gy8qu
    @Elias-gy8qu 4 หลายเดือนก่อน

    Na je ukija kupata kama uyo ulie achana nae maan wanaume tunafana

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 ปีที่แล้ว

    Ila km, zako zimeenda! Mtoto uliezaa ana miaka 12! Duuuuhhhh! Unatisha! Unaonekana umeshakutana na makubwa mengi!

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 ปีที่แล้ว

    Kazi kwelili😅😅

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 ปีที่แล้ว

    Hivi k mziwanda ni me au ke ?

  • @ngoshazedon4085
    @ngoshazedon4085 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unanifurahisha sana ila tu tukienda kule kwa watan wa jadi huwa unaniudhiiiiiii😂

  • @stevemzumbwe4059
    @stevemzumbwe4059 3 ปีที่แล้ว

    We limama una miaka mingap

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 3 ปีที่แล้ว +2

    We dada nomaaa

  • @husseinkassimu2984
    @husseinkassimu2984 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama upo tayari kuwa mke wa pili njoo inbox

  • @semenimwaselela5885
    @semenimwaselela5885 3 ปีที่แล้ว

    Mwaambie Kama unacho Cha kusalti kukupa kitu kimoja nisikie kama anayenipenda Sana sawa bila kukosa kusimamia upendo mkubwa

  • @vanisavani1055
    @vanisavani1055 3 ปีที่แล้ว

    Nikawaida ata Uganda wanaeda kwegne tv kutafuta mum

  • @sosbmlulu2221
    @sosbmlulu2221 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nko tayari

  • @kavuirejacob5860
    @kavuirejacob5860 11 หลายเดือนก่อน

    Maamuziyako ni maturité nakutaki umupate même anaekufaa

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 ปีที่แล้ว +1

    Alikua ana taka kujuli kana kumbe ana salun

    • @suzanamkate4676
      @suzanamkate4676 3 ปีที่แล้ว

      Jamani kiama kimefika.huyu dada karogwa

  • @yohanandalu2022
    @yohanandalu2022 3 ปีที่แล้ว

    Mama huyo so mkweli alisema yeye ni bkira hao watoto afafanue aliwazaaje?

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 3 ปีที่แล้ว

    Unazingua sana we mdada

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu sana hizo ni kiki za mitandaoni wanaume hawawezi kukupenda unasema kama kasuku

  • @fortinatuswangubo981
    @fortinatuswangubo981 3 ปีที่แล้ว

    Mama Mimi nitakuoa naomba namba zako umri wangu miaka 50

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dada dishi limeyumba kila mahojiano anasema tofaut
    Aliwai kusema hujawai kuwa na mwanaume
    Akasema ana mtoto mmoja
    Leo tena ana watoto 2

    • @estermunisi9413
      @estermunisi9413 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa aeleweki mara sijawai kua namausiano mara Leo anawatoto wawili anatafuta kiki tu

    • @ummutaswaufi3980
      @ummutaswaufi3980 3 ปีที่แล้ว

      @@estermunisi9413 hajui wajumbe tu tupo makin kila kitu tunaandika 🤣

    • @estermunisi9413
      @estermunisi9413 3 ปีที่แล้ว

      @@ummutaswaufi3980 tuko makini wajumbe

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 3 ปีที่แล้ว

      Ndio maana ndoa zinamshinda kwa ajili ya uongo

    • @qilil7
      @qilil7 3 ปีที่แล้ว

      Mara bikra

  • @prospermsele5912
    @prospermsele5912 3 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥nimemkubali Sana huyo binti

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 3 ปีที่แล้ว

    Msidanganyike anatafuta hela hapa inaingia

  • @Elias-gy8qu
    @Elias-gy8qu 4 หลายเดือนก่อน

    We dada uko wap unaishi wap

  • @barakamedutekiii7287
    @barakamedutekiii7287 3 ปีที่แล้ว

    Good san

  • @semenimwaselela5885
    @semenimwaselela5885 3 ปีที่แล้ว

    Huyo fake Love atakujiuwa haya

  • @CR-tq5fq
    @CR-tq5fq 3 ปีที่แล้ว +2

    Legendary 'subaru' voice

  • @imanueliatanazi6639
    @imanueliatanazi6639 3 ปีที่แล้ว

    Nakutakia kila la kheli namungu akutangulie kwakutafuta hakiyako

  • @josephngasa9421
    @josephngasa9421 3 ปีที่แล้ว

    Maraya wa buza hatarii

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว

    Eh ashakuwa star

  • @levinamwanakulya9379
    @levinamwanakulya9379 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe wa buza ndo sababu

  • @saiwamama7172
    @saiwamama7172 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndo huyu MISS BUZA😳

  • @simangodaniel9375
    @simangodaniel9375 3 ปีที่แล้ว

    Namba za cm

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 3 ปีที่แล้ว

    Si alisema bkra

  • @sharaabdi8872
    @sharaabdi8872 3 ปีที่แล้ว +1

    nipo nakutaka nikuowe

  • @Ann-vr7ti
    @Ann-vr7ti 3 ปีที่แล้ว

    Ata nifike 50yrs sitatafuta mume na pango, bora niingie kwa mitandao kutafuta huko

  • @mummymulla7570
    @mummymulla7570 3 ปีที่แล้ว

    Tafuta mume dada mungu atakupa mwena, ww pamoja na mm inshallah

  • @omarnadi9437
    @omarnadi9437 3 ปีที่แล้ว

    Kweli walimwegu balaa katika karne hizi na ukweli ndio nguzo ya ukweli je kauli za fanana na mwanzo? Na msema kweli ni mpenzi wa mungu ,je muongo ni mpenzi wa nani?

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว

      Msema uongo ni mpenzi wa shetani.

  • @allanbanda7934
    @allanbanda7934 3 ปีที่แล้ว

    Huyo dada nnamutafuta san

  • @irakozealexis351
    @irakozealexis351 3 ปีที่แล้ว

    Mke mia nakupnd sn duuh

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 ปีที่แล้ว +17

    Nakutakia kila la kheri Mwenyezi Mungu akusaidie akutawale akuongose akupikanie akushindie akuweseshe vyema kwa yote katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @shehdon847
      @shehdon847 3 ปีที่แล้ว

      ❤ BONYEZA HAPA TAFADHARI 👇
      th-cam.com/video/9SmkT5aoUug/w-d-xo.html

    • @paulmmbando1194
      @paulmmbando1194 3 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yake please

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +1

      @@paulmmbando1194 nenda ofisini kwake buza kanisani

    • @evawingaeli-hr6mx
      @evawingaeli-hr6mx 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba nisipate mwanaume mlevi au muslamu ktk maisha yangu,

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 3 ปีที่แล้ว +21

    Sekibiki mhehe mwenzangu umetoa Kali ya mwaka.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว +11

    Jmn wanaume mpo waapiii mm ningekua mwanaume ningechukua jiko jmn

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว

      😄😄

    • @paulmasansi1815
      @paulmasansi1815 3 ปีที่แล้ว

      Ogopa San Wanawake wa dizaini hii

    • @reginaldhhayuma6907
      @reginaldhhayuma6907 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahah

    • @yaseermnjalo9906
      @yaseermnjalo9906 3 ปีที่แล้ว

      Kwa mashart hayo atasubiri sanaaa

    • @chiristinazacharia8436
      @chiristinazacharia8436 3 ปีที่แล้ว

      Duh!!! Uyu dada hanatuzaririsha jamani, na hawezi kuorewa kwa sitairi hiyo maaana nimuongo Sana Mara kasema anausichana na reo anasema nimama was watoto wawiri duh!!! wamwangarie uchizi ndo unaanzaga hivyo

  • @alijuma139
    @alijuma139 3 ปีที่แล้ว +2

    Naitwa Ally kibwana natokea, kondoa.mim ni mrangi.naitaji nimuoe uyo dada.ila mimi mahali sina nitamletea mbwa ndo itakuwa mahali yangu.

    • @meek5338
      @meek5338 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 3 ปีที่แล้ว +11

    Weye ulisema kuwa ni bikra kube unawatoto nanyiye wanaume munataka bure mutatolewa vikowa wanawake saivi hawaaminiki imani zimewatoka kwapesa pengine kaabiwa amtowe mumewe maboyake yatakuwa super

    • @josephhaule9123
      @josephhaule9123 3 ปีที่แล้ว

      Nilimsikia akisema hajawahi kuwa na mwanaume wala hajawahi duu

  • @shaomymusic4510
    @shaomymusic4510 3 ปีที่แล้ว +5

    Dada mume hptkan mtandaoni ww piga goti kwa Mungu yy ndo anajua lakin sasa wataokuja hawatakua real Mungu akusaidie tu Mungu atakutendea

    • @renildevenerand9473
      @renildevenerand9473 3 ปีที่แล้ว

      Hivi nyie hamuoni kama ninjia yake ya kutoboa. Kunakutafuta mume hapo?

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 3 ปีที่แล้ว +8

    Kasha kuja mjini haya mwende saloon kwake mkamungishe

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ameshafika mjini mwambie atulize hicho kitumbua wanaume watamfuata tu asituabishe kama kwamba wanaume ni adimu au😏😏😏

    • @tuduboynakubal9191
      @tuduboynakubal9191 3 ปีที่แล้ว

      We Kama unaenae hongera. Ila tambua ukikataaacho moyon mwenzako kinamyima usingz Ivo shikilia nafas io 🙏

    • @happinesshudson9849
      @happinesshudson9849 3 ปีที่แล้ว

      @@tuduboynakubal9191 kizur kina jiuza kibaya chajitembeza

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu alisha ishi na mume akaachika hivyo anao uzoefu wa kuishi na mume sema wanao jitokeza ni wanao jipigia na kuondoka anataka wakuishi nae.

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana binam amina nakupenda sana K mziwanda mungu akubariki❤️❤️😘😘🙏

  • @kennedyjohn8900
    @kennedyjohn8900 23 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo hao wote miambili nazaidi bado hujaona mume au unataka shetaniiiiiiii

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu alisema hajawahi kuwa na mahusiano,Leo anasema ana watoto,acha Kiki wewe.

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 3 ปีที่แล้ว

    MNAAMBIWA MUOLEWE MKE WA TATU mnajifanya wajanja aya ww umejitokeza ivi unazani wanawake wangapi hawana mume oleweni uke wenza maana wanawake ni wengi mara nne ya wanaume

  • @ukwajumedia6809
    @ukwajumedia6809 3 ปีที่แล้ว

    We nae. Kiki tu unatafuta. Video yakwanza ulisema upo bikra. Leo unasema unao watoto wawili 😂😂😂

  • @ajuayengulo9800
    @ajuayengulo9800 3 ปีที่แล้ว

    Wanaume 20-30 ...... Kaaaaaah!!? Ulikuwa unajiuza kumbe. Ila unajiamini hatari

  • @jayman7865
    @jayman7865 3 ปีที่แล้ว

    Heheeee piter msechuuuu, Hahaaaa Mara mweupe peee sitaki Mara mzungu saf, sasa ww mbona huelewekiiiiii

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว

    Dada huoni tabu wewe kujitangaza mm siwezi hata kujitangaza kwa koment za kutaka mume sihitaji bora nikae hivi hivi tu lakini sijitangazi

  • @EmileKilozo
    @EmileKilozo 2 หลายเดือนก่อน

    Unasema uwongo.hautaki.mume.unayaka watuwakujuwe.tu

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 3 ปีที่แล้ว

    Huna dhambi kwa hilo bali ni ujasiri, mtihani ni maadili, mhh hapo kimbembe, unataka mume wa kukuoa au kumuoa?

  • @emakisota8583
    @emakisota8583 3 ปีที่แล้ว +12

    Hongera Sana dada maana yake unachotafuta ni haki yako

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Mhh nna wasi wasi sana huyu dada yupo kazini ili kuzuga jambo flani lipite watu wasitege sikio sehem flan tu

  • @mellenondieki6329
    @mellenondieki6329 3 ปีที่แล้ว

    Kama si kiki l gave you my number l have never get an answer.,lam girl like you,answer me...I IN USA.

  • @SuleimanSele-h1l
    @SuleimanSele-h1l หลายเดือนก่อน

    Nitafutemimidada sinamakubwa nadhanitutaenda,

  • @muyazakhmuhammed9232
    @muyazakhmuhammed9232 3 ปีที่แล้ว +1

    Na Huku ZANZIMBAR njoo wateja tupo lkn uta vaa baibui na hijabu. 😁😁😁

  • @Elias-gy8qu
    @Elias-gy8qu 4 หลายเดือนก่อน

    We rudiana na uyo jamaa ila kama autaki tutafutane muda wowote dada

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว +6

    Anasema ukweli wake jamani dah Tanzania tupo huru😄

  • @RehamAlmamari
    @RehamAlmamari 5 หลายเดือนก่อน

    bikra mchezo😂😂 m2mzima ovyoo na cc vijan 2cemej😂

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 ปีที่แล้ว +1

    Hofu ya mungu na maongea yako ni shida ...ati nakupenda kishenzi. Kuna details unaficha wewe Amina. Madhara ya Chanjo

  • @johnwambua2661
    @johnwambua2661 3 ปีที่แล้ว +1

    sasa wataka mwanaume starting from 20 and you look older than twenty year si ugesema tu as from 25yrs and above

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu muongo anatafuta kujulikana ,,hii Ni njia ya kutokea haingii akilini ,,Halafu ukiwa muongo uwe na kumbukumbu ,sema unatangaza biashara zake,,Mara useme we bikra,Mara we Ni mama una mtoto mmoja,,Sasa Leo una watoto 2 acha kutuchanganya dada Kama Kiki umeshapata inatosha

  • @johnkahise
    @johnkahise ปีที่แล้ว

    Semsigala unatutia aibu wahehe wenzio looooo!!!!!!

  • @josephngasa9421
    @josephngasa9421 3 ปีที่แล้ว

    Yanii nimepeda binamu yangu Siku nyingi sikupati uko pade zpi nikupose

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji naomba namba yako SAUTI imenifanya nikupende bure.

  • @ashabarongo1435
    @ashabarongo1435 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani wew sindo ulisema bikra duuh hao watoto umepataje wallah kwel bongo nyoso

  • @kadoluxclassic7476
    @kadoluxclassic7476 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamani uyu mtuu anatuzungusha kuna interview aliyo fanya na kaka umoja akasema yeye ni bikra nabado anatunz ubikra wake leo ten ni maman Ivi kweli upoo serious na ndoa ama ni zile drama zenu wabongo hamuishi drama nyie adi munakera 😂😂

    • @sirfabiano767
      @sirfabiano767 3 ปีที่แล้ว +2

      Wale East Africa ndo walimhoji akasema hivyo

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว +1

    Ungejulikana saa ngapi Bora umefanya hivyo na biashara ametangaza

  • @hamisiselemanishekhmtupawa3176
    @hamisiselemanishekhmtupawa3176 3 ปีที่แล้ว

    Sivibaya kutangaza ila sio hivyo kama utanilea fresh

  • @claranewaho1251
    @claranewaho1251 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona huy Dada sifa anazotaka zote Njombe wapo jaribu Dada Mungu atakusaidia

  • @Maalim_Samatta
    @Maalim_Samatta 3 ปีที่แล้ว

    Ila K Mziwanda upo vzr kwa maswali ,,,🤣🤣🤣

  • @godfreymtove4896
    @godfreymtove4896 3 ปีที่แล้ว

    Jamani eehh nipeni hiyo connection,vigezo ninavyo nipo dar