KISA CHA KUSIKITISHA MREMBO ALIYEPONZWA NA TATOO UARABUNI,INASIKITISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 322

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 10 หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana kama inawezekana kazifute my hujapendeza kbs

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 9 หลายเดือนก่อน +16

    😂😂😂sasa hapo tukusaidieje mnamuasi mungu kwa starehe zenu afu mwajiliza mtandaoni

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 9 หลายเดือนก่อน +1

      Muhurumie tu si kwa ubaya😄😄😄

    • @mamakenajma3257
      @mamakenajma3257 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂Anipe number ya huyo kaka mm nponpo tu

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 9 หลายเดือนก่อน

      Aje nimsaidie kutowa uwo uchafu nimchome na ps bc

  • @AshouHumaid
    @AshouHumaid 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hana dini huyo mzinifu acha ujinga umependa tu kujionyesha bora umuogope Allah kuliko kiumbe mwizinzio adhabu ya Allah ni kubwa rejea kwake bila kujitoa mitandaoni.

  • @allysudi4429
    @allysudi4429 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo ni utaratibu wa jamii yetu. Mpende Mungu ogopa makatazo yake jifunze kujistiri bas na mungu atakuonyesha maisha mazur ya furaha. Hakuna dhambi kwa Allah kwenye toba ya kweli. Unaweza ukawa na ngeu kwa ajar watu wakakuona mwizi. Nchi ina vichaa wengi wa akil so kama unahisi umefanya makosa ludi kwa mungu wako fanya toba ya kweli na utasahau kuhusu challenge za izo tatooo

  • @happymau2809
    @happymau2809 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuta mwanaume aliechora tattoo dada akuoe mbona wapo wengi Ila hawana pesa😅😅😅😅 km uyooo aliekuwa na malengo na ww

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 9 หลายเดือนก่อน +14

    Uwezo mdogo wa kufikiri, tatoo haina mausiano na changamoto na maisha ya mtu. Tafuta hela wangapi wapo mitaani na maisha magumu na hawana tatoo

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 9 หลายเดือนก่อน

      Iyo ilimu yako

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 9 หลายเดือนก่อน +2

      Weeeee tatoh huwa Zina maan mbay kwa wanaume wanajua wew ni kahab ni Kam kuvaa kikuu tu

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@gressjoseph5615true

    • @FainaJaffari
      @FainaJaffari 7 หลายเดือนก่อน

      @@gressjoseph5615true

  • @consolatamakonjo3271
    @consolatamakonjo3271 9 หลายเดือนก่อน +6

    Digital imepoteza wengi it's a big lesson let's learn.

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba mwyz Mungu usinijalie kutobowa tobowa mwili wng au kuchora. Matatoo.

  • @HosianaJanstini
    @HosianaJanstini 9 หลายเดือนก่อน +4

    Daaaah Yan weee mdad Umenifanya Nicheke sana Et Watu Wananiona Kama Mwiz,Wadad tunajisahau sana tunaiga Maisha Ya Wasanii Haippendez Kwel Mwanmke Kujichora Chora Unaonaekana Kwel Kama Muhun Ndyo Tafsir Hyo Sas Acha Kujiliza Coz Wakat Unalala uchorwe izo tatoo ulipenda Mwenyewe kwa hayo Inayopitia Kwasas Itakua N funzo Kweny Maisha Yako

  • @omanmct135
    @omanmct135 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mimisipendi tatu nazichukiya sana tatu mbaya sana

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 9 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa kma mtu mzuri nae asingetaka kuzini ustadhi hazini shoga

    • @atislady3400
      @atislady3400 9 หลายเดือนก่อน

      Kuna rafiki yangu alichora tattoo mzungu alivokuja kuona tattoo mkononi alimwacha pale pale akasema afagilii uchafu

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tattoo tuu na kuvaa nguo za uchi inawapoteza hawa wasichana, kisha wanalalamika na maisha ya Dunia

  • @kombokichwa815
    @kombokichwa815 9 หลายเดือนก่อน +2

    mtu wa dini hazini uyo si mtu wa dini theni ukitaka ubadilike zaidi tubu kwa mola wako ujistiri vizur apo ulipo ungejistiri vizur kwanza ndio ukahojiwa lakini sio ivo ulivo apo badilika dada angu jast ushaur

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 9 หลายเดือนก่อน +5

    Allah hapendi tatuu nawa Islam wote hawaruhusiwi

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

    Ww dada jifunze kuvaa vrz muogope mungu mtu huna aibu hapo upo uchi

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wwe Alokwambia tatu niurembo Nani wwe Hiyo kitu. AllAh amekataza. Namesema mwenye kufa akiwa nahizo zitu basi atakuwa nadabu

  • @fatumamaro8726
    @fatumamaro8726 9 หลายเดือนก่อน +3

    Sura yake kidogo km marehemu haitham ata sauti

  • @Florah-x3s
    @Florah-x3s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole my dear

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn ata kama uyo jamaa alikuwa boya tu kwani tatu ndo nn

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 9 หลายเดือนก่อน +1

    nahaya toki hayo mauchafu ulio jichora na ukifa unazikwa nayo subhanna llah nimsiba huu

  • @agnesbagaluha6293
    @agnesbagaluha6293 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu dada Anapenda kiki sana mbona yy amesema ni bikira 😏🙄🤷‍♀️

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hakuna mtu wa dini anayefanya uzinifu.

    • @fatma1456
      @fatma1456 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @FatmaSaid-j9o
      @FatmaSaid-j9o 9 หลายเดือนก่อน

      🤔🤔🙄

    • @daimavlog
      @daimavlog 9 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo nyote ni washetani ee

  • @HajiraHamisi
    @HajiraHamisi 9 หลายเดือนก่อน +2

    acha kuiga jaman urembogan huo

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 9 หลายเดือนก่อน

    Asa c muhuni kujichora km gazeti kitu gan ndo ujifunze kuiga ujinga tuu badae majuto😢

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ukiwa me tatton hakuna mtu anaweza kuku.eshimu tattons kilasiku ni lebon wakishetani jamani .sitakiwatu we tattons pembeni yangu hata kidogo ...mwili wangu uliubwa na mungu sijaubwa na mi tattons..hazina orembo wowote ni staly za kiuni tu tenamashetani

    • @VenerandaKundi-ph4hg
      @VenerandaKundi-ph4hg 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu kasema tusijichole alama yoyote ktk miili yetu kwani ni Mali yake

  • @Luscious6826
    @Luscious6826 9 หลายเดือนก่อน +3

    Zinafutika lakini kazifute.

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana habibty, but Mambo ambayo hayana faida yeyote ktk maisha nawala sc yamuhimu kweli kabisa hatupaswi kuigaa, tusiwe wenye kufuata mkumbo

    • @helenwaceke242
      @helenwaceke242 9 หลายเดือนก่อน

      Wyvsyuhbnkpbddyotca attpyxa stitfacsdyerpyfvv cgoopyvc😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😢😂😢😢😂😢😢😂😢😢😢😂😢😂😢😢😂😢😢😢😂😢😂😢😂😢😂😢😂😢😢😂😢😂😢😂😢😂😢😢te fwd

  • @ChristopherBenedict-w6v
    @ChristopherBenedict-w6v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambie ajenimuowe❤

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 7 หลายเดือนก่อน +1

    ati mtu wa dini na wachukua mwanamke guest hii kali ila kila mmoka ana mapungufu yake ila laa ikra fii diin

  • @NassaBizzo
    @NassaBizzo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dadangu hayo ni yakupta kama umeamua kubadilika

  • @African511
    @African511 9 หลายเดือนก่อน +9

    Siku zote me huwa nasema,mwanamke akishaanza kuzeeka ndiyo akili inakuja,wadada jitunzeni,miili mliyonayo ni hekalu la Mungu.Badilikeni.

    • @khelefmatelephone9653
      @khelefmatelephone9653 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa mze hawa ndo waleeee muda ndio unaongea😊

    • @Kristina-fb4jq
      @Kristina-fb4jq 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa unaanzaje kuchanganua akili za watu na wewe huna? Kwasbb mtu mwenye akili timamu anafahamu ulichosema ni upumbavu

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 10 หลายเดือนก่อน +5

    Hizo nyinyi mnafanya bila kujua unaingia kwenye maagano pole !!

    • @jackonael8640
      @jackonael8640 9 หลายเดือนก่อน

      Wanawake wanateswa sana na shetani

  • @MohdSniper-v4e
    @MohdSniper-v4e 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi Niko tayari kindowa naomba namba yako

  • @hellenConstantine-gx7vy
    @hellenConstantine-gx7vy 9 หลายเดือนก่อน +1

    kazifute tu

  • @johaali9959
    @johaali9959 9 หลายเดือนก่อน

    Usijute siumependa mwenyew chora t mn munasif

  • @AbdurazakiKisoma
    @AbdurazakiKisoma 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Mtu Wa Dini Alafu Anazini😂😂😂

  • @MwajumaKasongo-x8o
    @MwajumaKasongo-x8o 8 หลายเดือนก่อน

    Shobo namahisha nimbaya 😅😅

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe muandishi piga debe hapo mbona unaweza .unajuwa siku zote ukienda kinyume na maamrisho ya Alaah lazima utapata madhara Alaah katataza kuongeza kitu katika muili hali hakukuumbanacho .na usizikwe nacho kama tatu lazima ichunwe sasa chuna kabla ya umauti kukufika .

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni muhuni kama si muhuni usingli weza kwenda hoteli

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu mke WA shein wamerudi kivyenqine hi ni tathiliya nyenqine yaanza

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana,ila naona nilana ya bibi.

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kichwa cha habari hakiendan na munachokiongea why?

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Nakushauri ukazitoe izo tatu

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر 9 หลายเดือนก่อน

    Pole aki

  • @kihekaRobert
    @kihekaRobert 9 หลายเดือนก่อน

    acha usitoe tatoo zinkupendeza muache huyo mgonjwa huyo

  • @emmanuelsichone7977
    @emmanuelsichone7977 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kitu chote kina alama kwenye mcholo hinyo ❤ hii ni upendo😂 hii kilio kwahio wenye micholo ya inge wanaashilia kua ndaniyao Kuna vitu kama hivyo tattoo ni ishala mcholo ni ishala ya kitu falani

  • @mantoumm4448
    @mantoumm4448 9 หลายเดือนก่อน

    Kiki nyingine hiii😂 tunaijua iyo

  • @oswardmsigwa5728
    @oswardmsigwa5728 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ucjal utampata mwenye tatu mwenzio dada

  • @roseraymond4954
    @roseraymond4954 9 หลายเดือนก่อน

    Uongo uooooooo😂😂😂

  • @MaulidiSalimu-w9o
    @MaulidiSalimu-w9o 9 หลายเดือนก่อน

    Muambien anitaft huy dada

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 9 หลายเดือนก่อน

    Mnaiga uhuni uhuni tu

  • @abediWakati
    @abediWakati 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada😢😢😢😢

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 9 หลายเดือนก่อน

    huyu ni mlaya aliekubuhu😅

  • @FatmaShaban-d4s
    @FatmaShaban-d4s 9 หลายเดือนก่อน

    Utavuna ulichopanda

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanini usichore piko?km unataka urembo?ww rudi kwa Allah utubu kikweli kweli

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 9 หลายเดือนก่อน

    Basi kama wewe sio muhuni mbona hyjistiri hizonguo ulizo vaa ninguo za kistara au ninguo za kujiuza muili wako mavazi yako yanaonesha picha mbaya

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Hana DINI na wewe huna DINI kwahyo wote mlikutana mashetani watupu wapuuzi tu kenge nyie

  • @alicedusabe7510
    @alicedusabe7510 9 หลายเดือนก่อน +1

    Munapenda byabule unajuaje kama ungebaki nae engekuwa nania nawewe angekwambia uzifute ok sasa usingizie tatu amekuona nimalaya tu enge subiri ndoa

  • @SalamaAkilimali-ly3bu
    @SalamaAkilimali-ly3bu 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mpuuzi wewe ujinga unaongea mtu WA dini angekupeleka gesti wachora tatuu wezako ndio mlienda huko vibanda umiza unaongea bila aibu

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 9 หลายเดือนก่อน +12

    Huyo ndo mwanaume sasa! mwanaume ni yule anaekutana na asicho kitegemea kwa mwanamke na kumwaacha kabisa, Hata kama ulikuwa umemvulia nguo na hamu inaisha! Hata ukifuta haitasaidia chochote, Ulisha haribika tangu mwanzo! kuchorwa kwenye paja na mwanaume ukiwa umevua nguo! Tunakuaminije?

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kama unajuta kwa uliolifanya ni vizur Allah atakusamehe lakini pia
    Kujiweka uchi kwenye mitandao mtoto wa kiislam ni haram mwili wako unathamani ufiche jistir badilika utapata mume usihadaike na ujana tubu na ukipata mchmba MUELEZE NA MUFUNGE NDOA BILA YA KUKUTANA

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 9 หลายเดือนก่อน +13

    Mwenye dini yakweli nahofu ya mungu hawezi kufanya zina hata cku moja kwasababu anajuwa anamkosea mungu wake nakwadin yake nimakosa pia

    • @MuniraKiwamba
      @MuniraKiwamba 8 หลายเดือนก่อน

      Muongo huyu dada looo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yan ww ndo mjinga san unapew pesa mpaka zinafika milion 4 na hukuw na akili zakufuta kwa pesa ulizo kuw unapew jinga san

  • @ShaniShemjawa
    @ShaniShemjawa 9 หลายเดือนก่อน +18

    Yaan usijutie kwa kukosa mwanaume tuu hata Allah hayupo pamoja nawewe

    • @ClementinaHabineza
      @ClementinaHabineza 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanini mungu Bado anampenda kbx

    • @CHRISTINAMAGASI
      @CHRISTINAMAGASI 8 หลายเดือนก่อน

      Hkn ambae Hana dhambi ,,, ila ATUBUYE HUSAMEHEWA

  • @jacksonbarnaba9088
    @jacksonbarnaba9088 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye vitabu vya dini zote, vime kataa kuchora tattoo. Hivyo msijidanganye na urembo. Hakuna urembo na tatoo

  • @sakinasadik3776
    @sakinasadik3776 9 หลายเดือนก่อน +1

    Muislamu kwann ufanye hivyo je ukifa utakuwaje urembo gani huo

  • @tawsi-yc3nk
    @tawsi-yc3nk 10 หลายเดือนก่อน +63

    Msiwe mnafanya vitu vya kuiga kwanin usichore piko ya kiislam upendez najua wengine tumejifunza kwa mimi sina ndoto hiyo yakuchora

    • @MTANGACOMEDYTZ
      @MTANGACOMEDYTZ 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa sijui wana matatizo gani hawa watoto wa kike

    • @rayaomar6299
      @rayaomar6299 10 หลายเดือนก่อน +1

      Halaf na tattoo zenyewe zilivyo mmbaya km kachorwa na mtt mdogo

    • @erickzephania1030
      @erickzephania1030 9 หลายเดือนก่อน +2

      Uwezi ukawa mweusi kma mkaa ukawa na ndoto ya kuchora tatoo

    • @halimahumplick1262
      @halimahumplick1262 9 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Basi shekhe kamsiri Allah bdie anajua zai​@@MTANGACOMEDYTZ

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@erickzephania1030😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umeona eh

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huna adabu huwezi kujieleza aibu yako unathani ni sifa hiyo kweli wewe hufai kabisa huyo baba alikuona kua wewe nimuhuni wakufa. Utachorwa na mwanaume mapajani tayari wewe nimuhuni

  • @zainabukivale9571
    @zainabukivale9571 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ksma ulipata mtu anagari kwa nini usifute Kwa yule wa Kwanza uje ubadilishe kwa shehehe mhhh

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio kuipenda dunia kuchora matatatuu Yanini mtoto wa kike Tena mpaka sehemu za Siri urembo ungechoro hinna mama acha kuiga ya watu

  • @arafatali2796
    @arafatali2796 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaio nayule mchumba wako alomuoa bibi kaenda wap yaaan watu kwa kiki nyie mh

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi watu mnavyosema kuzini nyie mmeoa au mmeolewa na ubikira?
    Watu kujifanya watakatifu vile. Kumbe wana mizambi kibao.

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 9 หลายเดือนก่อน +1

    yani ulianza uchetu na miaka 19 duh mh ndio mana mnakomaa mapema kumbe mnaanza kubandikwa mishedede na udogo ndio ukaona kwasababu umepewa pesa ukaona ukalipe ukatoe kitumbua chako kisicho kua na dhamani kila mtu anakichokoa muone kwanza

  • @BiubwaBeauty-henna
    @BiubwaBeauty-henna 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwambie huyokaka wamwanzo kuwa akusamehe utatowa naskia zinayayushwa namoto

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu mwenye dini hakai na mwanamke Ajnabi peke yake
    Kama mtu wa dini kabla ya kukugusa angekuoa kihalali kabla ya zinaa
    Rudi kwa Mungu wako
    Tubiya kwa mola wako
    Ulie ujutiye kikweli
    Unajivunjia mengi

  • @hamisijob5647
    @hamisijob5647 10 หลายเดือนก่อน +9

    Mtu wa dini halafu kampeleka hotel mpk kumfunua kamfunua 😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 8 หลายเดือนก่อน +1

    Et alie chorwa tatoo uarabun ujinga mtup uarabun kumeingiaje hap msiharibu jina sie tuko huku tunatafuta pesa za khalali na kuzur san

  • @fatma1456
    @fatma1456 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechola kama ulemboo nonsense

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 9 หลายเดือนก่อน +6

    Msichana mrembo michoro ya nini hii ..kuharibu tu mwili

  • @OmariJuma-t7u
    @OmariJuma-t7u 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pore san

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 10 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa mitatoo ya nini? Msichana kwani piko hamna ? Mie binafsi mitatoo siipendi kuhjiharibu mwili Tu sasa zina umuhimu gani? Hizo tattoo ,zinadaidia nini? Zinafaida gani? Haswa

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 8 หลายเดือนก่อน +2

    Usiuzunike dada huenda ukawa uliepushwa na mabaya ya huyo mume huenda alikua shetani they don't like tattoos but anyway you look fabulous amazing girl

  • @babaphildaus5861
    @babaphildaus5861 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nimejitolea kumfuta bule tattoo nipe namba zake

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 9 หลายเดือนก่อน +15

    It's so sad but it is a big lesson for everyone by Fosill from Nairobi Kenya 🇹🇿🇰🇪👏

    • @lelaabeid729
      @lelaabeid729 9 หลายเดือนก่อน

      Unaitwa fossil😮

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 10 หลายเดือนก่อน +4

    Washafanya kiki yao ile ya bibi wa miaka 60 na kijana wa miaka 27 sasa anakuja na kiki nyingine ili atrend wapuuzi nyie

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 9 หลายเดือนก่อน +2

    dada piko mbona unapendeza tu kwann utaenda jibu nn kwa allah siku hy ikifika

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini usijistili ilizisionekane mbele za watu

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu si. Yule dada ameigiza na bibi miaka 60 na kijana wa 27 miaka kweli. Anajua kuacting

  • @iamanoutstanding_creation
    @iamanoutstanding_creation 8 หลายเดือนก่อน +2

    Atafute Clinic Wanazitoa na Lasers

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 8 หลายเดือนก่อน +1

    "Ni mwislam anayependa wanawake"😳!
    Anyway, you can have those tattoos removed. Maybe not in Tanzania but Kenya, South Africa, Europe and US.

  • @bellahalexiz2610
    @bellahalexiz2610 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ina mafunzo Asantie kwa kutupa mafunzo

  • @OllerDesononline6333
    @OllerDesononline6333 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mtu wadini sana kakataa tatoo ila kakubali zinaa??????

  • @peterpascal1326
    @peterpascal1326 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeeh najua uchungu wa uyu dada anayopitia coz me ninazo ndogo tatu lakini naona kama ninazo mia jamni totouuu sio nzur 😢😢😢😢 kabisaaa eeeh mwenyezi mungu utusamee

  • @eliupendo3205
    @eliupendo3205 9 หลายเดือนก่อน +5

    Asa matatuu yote ayo Yann mwili mzm ayo wanachorag makahaba watu walioshondikan uo sio urembo ulizidisha mwili mzm hahahaha pole umepoteza bahat

  • @aishaathuman6445
    @aishaathuman6445 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ila uyu dada ni muongo wan kiki😂😂kila siku kutafuta umarufu kazi😅wazazi wake alisema wamekufa 😅

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 8 หลายเดือนก่อน

      Kwanza msikilize kwaumakini mara mwanaume akampatia 50 naakamwambia tutakutana siku nyingine,mara alinipa 50 kisha akasema unaona hi no iyone kama kituo chapolic usioige tena mh ngoja tuendelee kusikiliza zijazo

  • @HalimaMusa-e3k
    @HalimaMusa-e3k 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ikiwa anataka kubadilika ukweli oamba kwa Allah atakusamehe InshaAllah Allah ni mwingi wa kusamehe oamba sana sana

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hili ni funzo jamani sio wanaume wote wanapenda tattoo 😢😢

  • @SharifaDadi-o6u
    @SharifaDadi-o6u 10 หลายเดือนก่อน +4

    Allah karim lizki itakuja ingine kila likuepikalo linakhery nawewe haikuwa lizki yako mungu simjinga na tatuu zinagutima Sasa ivi utapata mume tu na maisha yataenda kwani ulikuwa ni toto tu kila lenyemwanzo linamwisho usijar mwanangu mungu yupo utapata mwenyekheir nawewe bila kujali tatoo

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ww umejiroga mwenyewe 😬 ulichoka fanya hukujua rud Kwa Allah atakupokea

  • @BiubwaBeauty-henna
    @BiubwaBeauty-henna 9 หลายเดือนก่อน +3

    Km anauislm😂 asingekuzin mpaka engekuowa kwanza