MTANZANIA:UBAGUZI OMANI NIMEFANYISHWA MAPENZI NA VICHAA WATOTO WA BOSS WANGU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • MTANZANIA:UBAGUZI OMANI NIMEFANYISHWA MAPENZI NA VICHAA WATOTO WA BOSS WANGU.

ความคิดเห็น • 575

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hivi unapataje ujasir wa kujidhalikisha kwa kutumikishwa na wanaume 2 tena vichaa na unaongea tu bila hata kutoa chozi.Ingekuwa kweli hata uongeaji ungeendana na hisia za kunubujikwa na machozi.Unapata dhambi kuongea kitu kisichokuwa na uhalisia.

    • @Wiittole
      @Wiittole 3 หลายเดือนก่อน

      Aya tupe wewe cha ukweli

  • @AnathSalum
    @AnathSalum 3 หลายเดือนก่อน +5

    Duh muogopen mungu uku kuna mauza uza lakin cyo kiivyo jaman warabu wanashida zao lakin mnawasingizia hafu hakuwa warabu wenye roho nzur kidogo km waoman njoo dubai au saudia ndio utajua ujui lakin awana ubaya wa kiivyo bhn ubaya wao ni ufanye kaz zao ukiwa mvivu kwel utaona hawa watu wabaya

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 หลายเดือนก่อน +4

    Km yule alipata utajiri kwa nyoka na kuponza watu wakamatwe basi na ww muandishi tutakukamatisha uhojiwe vizuri na vichanel vyenu mchwara vifungiwe mnaboa sana

  • @premlloydkarlen4375
    @premlloydkarlen4375 3 หลายเดือนก่อน +3

    How true is this story? My wife is Oman and she's very happy and working hard

  • @MondyMondy-z2c
    @MondyMondy-z2c 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa hiyo paspoti kuitafuta lini

  • @KhairatElmy
    @KhairatElmy 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ndegege ipi bila viza asituletee ndoto alizo it's hapa

  • @serahomwoyo8012
    @serahomwoyo8012 2 หลายเดือนก่อน +3

    Cooked story yaani mwarabu akuache three days ukipumzika 😂😂uongo uongo

    • @AdamShaban-z8o
      @AdamShaban-z8o หลายเดือนก่อน

      Huu. Niukweli ubaguzi huu upo Sana omani

  • @manomunmun511
    @manomunmun511 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo sio ndege daladala ndege yanani unapanda bila Viza bila boking

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sisi tuko Oman hamna usenge kma huo

  • @SaidAli-ti1lm
    @SaidAli-ti1lm 3 หลายเดือนก่อน +15

    Mama samia tunakuomba watu km hawa na waandishi wa habar wasio na kazi na akili km za hao wanao wahoji wawe wanakamatwa wanatuchafulia nchi yetu oman tumechoka kusikia vitu vya uongo kila cku oman oman

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ingekuwa uongo angejificha uso tafadhalini acheni kuficha machafu na ukiwa umepata mahali pazuri unashi vizuri shukuru mungu kina wengine tuna teseka sana bila kukusudia tafadhali tafadhali acha kulaumu ni vitu viko hawa wayahudi wana tabia mbaya sana na roho chafu asingetaja wala kuonekena mgesikiatu sauti acheni hizo we kama wafurai kina wenzio wana lia

    • @M.karaniJoseph
      @M.karaniJoseph 3 หลายเดือนก่อน +1

      Siyo Uongo wewe SAID ALI yaani wa Africa wengi sana sana wanawake Wana shuhudia ubaya wa Waarabu wamoja wanauliwa wengine wakigonjeka hawapati matibabu yaani Waarabu siyo wazuri

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa mama Samia anahusika vipi au unashida kichwani? Ulikuwepo wakati nae kwenye hiyo nyumba alokuwa akiishi kwenda zako

    • @darknight-yq3zw
      @darknight-yq3zw 2 หลายเดือนก่อน

      Siyo uongo amesema kweli , warabu wanatabiya chafu sana mimi kuna rafiki yangu umoja ametoka katika familiya ya kitajiri basi amepata mwanaume wakiyarabu hapa hapa kwetu alikuwa akimsabiliya nyama kwenye safuriya kila siku mpaka rafiki yangu alikimbiya ndoa iyo ju ya uroho wa mume wake rafiki yangu hakuvumiliya kwenye iyo ndoa kwa maana kwao na mtoto mwanamke walikuwa na maisha nazuri wala hakuna tabiya ya kusabiliyana nyama kwenye vufuriya lo

    • @darknight-yq3zw
      @darknight-yq3zw 2 หลายเดือนก่อน

      Ndomaana wanakwa mbiya mzungu ni mzungu tu usimpimanishe na muwarabu mfanyiy mzungu kazi utafurahi , mimi siwezi kumfanyiya muwarabu kazi siwezi hawana tabiya zuri / hata ulaya warabu wenyei wanaishi hapa wanaiba watu kwenye maduka wazungu wameshaga wajuwe sana ,ulaya wanajifanyiya kazi zandani wenyewe na jikoni alafu uku warabu wanapelekeshwa Na majeuri yao yote tunakutania sisi wote kwenye makazi ya kusafisha wazungu akiwa ni murabu mweupe wala muwarabu aliye omba tunakutaniya hapa na kuwa saidiya waze wakizungu

  • @sans9646
    @sans9646 29 วันที่ผ่านมา

    Dada huyu anatafuta kutrend halafu alivyo kuwa mbaya yuko kama volkswagen

  • @manomunmun511
    @manomunmun511 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watoto wagonjwa wakiume wanawafanyakazi wanaume hawawekei wanawake

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kwahali hii bora muzuiliwe kuja oman mutafute nchi za kwenda kwenye salama kwenu mumezidi kila siku mivideo kuisema oman mufungiwe tu mara nyingine

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 3 หลายเดือนก่อน

      Munatesa watu showww

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 26 วันที่ผ่านมา

    Nimeshamsaidia mdada wa aina hii.PASSPORT wananyang'anywa mishahara hawalipwi hivyo kutoroka ni ngumu. Walafanyishwa mapenzi siyo tu na familia nzima wakati mwengine na mbwa,kuwanyonya vibabu. Alivamia treni toka Antwep hadi Brussel wakaguzi aliwaeleza wkamleta hadi Ubalozini.

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio mnapendaga maisha ya bure

  • @SalimuKimaro
    @SalimuKimaro หลายเดือนก่อน

    Huyo dada muongo huwezi kwenda urabuni kienyeji halafu huna haibu unajidhalilisha.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 3 หลายเดือนก่อน +1

    HUYO MWAJUMA ANA NDUGU ZAKE KIBAO MASKINI AWAACHE HAO AKUTAFUTE WEWE MULIEACHANA TANGU SHULE PRIMARY DANGANYA WENGINE

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uliingiaje bila mkataba wala huna habari yyte kuhusu mkataba

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muandishi jua kubalance story wenzenu tunasomesha watoto kupitia kz Oman tunajenga kila kitu pesa ya Oman sasa mnapozusha uongo wenu waarabu waswahili wanaona mnatuchafulia jama hamkuitwa huku mmekuja wenyewe sasa nn kuongea uongo jaman Astaghafilullah

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 หลายเดือนก่อน

    Tuambie mahali ukipokuwa unafanya kazi
    2… oman huingii kama hujafanya checkup unakotoka
    Na ukifika haku oua unafanyiwa checkup

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada nimuongo sana tena nimafki sana hakuna mfanyakazi wandani analipwa kwa wiki hatammoja nahapa oman hakuna mambo yakijinga kamahayo anayosema

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Muongo huyooooooooo omani vichaaa wako hospital ya Ibn sina wacheni uongo jamani watazania sio hivyo mnavyo fanya . Angalia inchi za wenzenu jamani heeeeeeeeeeeeeee

  • @mushtaqakram9843
    @mushtaqakram9843 3 หลายเดือนก่อน +12

    Acheni kuwachafua watu kwa izo story za kutunga kwanza uyo dada anavyoongea tu unajua ni story za kutunga

    • @vailetjulius4782
      @vailetjulius4782 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 หลายเดือนก่อน

      Muongo kwanza yeye ndio mwanzo kuja oman mazungumzi yake kw wiki laki tano msengr huyu dada mkome mamae zenu tumejengwa sababu ya omani sasa kama lugha hajui alijuaje kamankaambiwa wape wanachotak😂😂😂

  • @aminahusseinhilaliaminahussein
    @aminahusseinhilaliaminahussein 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wewe dada acha uwongo
    Tuambie ulikuwa wilaya ipi apa aman

  • @salimsaid6149
    @salimsaid6149 3 หลายเดือนก่อน +10

    Macho yake tu linaonekana lina ongea uongo

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan mama Gwajima angewafungia hawa binaadam
    Maana kwa mtu mwenye akili timamu anajua kabisa kama huyu dada anadanganya.Serikal imeruhusu watu kwenda Oman tena kihalali leo wanakuja wapuuzi na kuleta habar za uongo! Mnapowahoji waambieni waseme sehemu wanayokaa copy zao pass port ili iwe ushahidi hata kwa serikali kujua kinachoendelea kwa watu wanaosafiri kwa mgongo wao.Lakini si kufanya uhuni kama huu.

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 หลายเดือนก่อน +14

    Hawqlipi kwa week mshenzi tu uyo dada

  • @jamyabdul4321
    @jamyabdul4321 3 หลายเดือนก่อน +3

    Lazima uwe abnormal kwa uliyoyapitia.. mimi nimekuelewa ila passport ulipata wapi? Maana huwa wanazificha au na yenyewe uliiba alivyoondoka.

  • @ismailyaru679
    @ismailyaru679 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hayana ukweli wowote 2 oman hamna walizi wa nyuba 3 wafanyakazi wakutoka.nje ya oman wana vibari na mrgent wanafatiliwa kisheria huyu ni muongo 4uwezi kwenda Airpoti upata ndege kama bus la kwenda morogoro uwongo zahili

    • @AnastaziaKisiri
      @AnastaziaKisiri 15 วันที่ผ่านมา

      Usitetee ujinga hata cc tunandugu zetu yaliwafika makubwa huko huko

  • @FredMhango-zj7gz
    @FredMhango-zj7gz 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kinachowapeleka huko ni nini kila siku mnasikia matukio lkn hamkomi pambana na hali yako

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 3 หลายเดือนก่อน +20

    Na passport ulikuwa nayo na ticket nani kakupa nawewe unauomoji huoni Kama maneno yoote niongo

    • @ZainabLol-wx7xf
      @ZainabLol-wx7xf 3 หลายเดือนก่อน

      @@Maryam-vj1rb Yaani huyo kama Anaonekana Alipewa Kuma Na Mkundu ili amuhoji amsikilize

    • @maryamally8532
      @maryamally8532 หลายเดือนก่อน

      Wanatumalizia tuu bando Ulongo mtupu

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Dada body language yako unaoneha unaongea uongo mtupu

  • @Oman12Phone-f5i
    @Oman12Phone-f5i 3 หลายเดือนก่อน +12

    Muongo mukubwa wew acheni kudhalilisha watu kwa uongo msiwachafue wenzenu wew hujawai kwenda lkn mmeamua kutungu uongo wenu wew pamoja na huyo mwandishi wako acheni hayo mambo msichana mnafiki wew ipo siku utakutia huo ungo wako siku roho yako ikitolewa fala wew mi mwenyew nisha fanyana kazi huko huwezi nidanganya hata ambae hajawai kwenda omani huwezi mdangaya huo ushetani wako😊

    • @NardhisMhagama-sy3eq
      @NardhisMhagama-sy3eq 3 หลายเดือนก่อน

      Nenda kafanye wewe Kwa warangi waarabu roho mbaya

    • @yussufally8668
      @yussufally8668 3 หลายเดือนก่อน

      Ww kama hayajakukuta shukuru Mungu mm sishangai kusema hv na wala siwez kumuamin ila haya mambo yapo sana uarabuni

    • @Reema12-v5j
      @Reema12-v5j 3 หลายเดือนก่อน

      Wamkamate huyu mimi nipo oman akamatwee domo zito la nazi coconut milk mfyuuuu

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Reema12-v5jtulia wewe kama hayajakukuta kaa kimya kama unaishi vizuri shukuru Mungu haukuwa nae hivyo kaa kimya

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 หลายเดือนก่อน

      Ww ni miinga kino bado una mentel slave ya waraabu na kujipendekeza wameenda madada wengi huko wamefanyiwa unyama wa kutosha waraabu ni wasenge kinoma

  • @AsiaSiraji-ud9ju
    @AsiaSiraji-ud9ju 3 หลายเดือนก่อน +8

    Yaan naitamani nikupige makofi we dada umenda Oman bila passports umerudi umepitaje Airport yàan ww na mtangàzaji wako yote ni mataila😂😂😂😂😂😂😂

    • @sadabahla7120
      @sadabahla7120 2 หลายเดือนก่อน

      😄😄😄Linakera kweli

  • @Naw89
    @Naw89 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yani laki 5 kwa wiki hapo ndio umebug sep
    Huko kote naweza kuelewa lakin kwenye laki 5 hapo hunishawish

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Hata kama ungekuwa wewe kwa kitengo kile ungeambiwa chini ya hela hiyo ungekubali kukaa na yale mazombie.
      Msipende kuhukumu wenzenu kwa vile wewe hayajakufika.

  • @hashilalkharusi4680
    @hashilalkharusi4680 3 หลายเดือนก่อน +17

    jamani muogopeni Mungu ninamiaka 30 0mani sijawahi mkichaa au mwendawazimu

    • @salamalsawaqi1206
      @salamalsawaqi1206 3 หลายเดือนก่อน +5

      Si wanakosaga uongo wa kuzua

    • @kdeghtnzanea7187
      @kdeghtnzanea7187 3 หลายเดือนก่อน

      Nakutafuta wewe nitumie no y whsp yko,, nina jambo

    • @samsunggalax8258
      @samsunggalax8258 3 หลายเดือนก่อน +5

      Subhanallah wandawazimu wote wapo ibnisina ndoo mana family yetu tuna wafanyakazi wa hindi na wa Filipino

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe dada weeee acha unafik utawahar8bia wenzio walio tulia sema wewe umeshindwa kazi naumetoroka kwa boss wako mnak8mbilia mageto yakisha wafika mkikamatwa na kurudishwa bongo kwa aibu ndio mnabaki kuzua wewe acha uongo umefika sikumoja ukajuaje kama wanapesa kwanza wagonjwa kama hao hupelekwa hospital halafu hakuna kulipwa kwa wiki kizabizabina weh muongo na wewe mtangazaji usimsikilize anazua kashindwa kazi umalaya tu ulikua unamsumbua heee we dada mungu anakuona sim mnaachiwa usizue nakujiliza kinafik

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +7

      Miaka 30 unafanya kaz am umehamia huku ndug yangu mie nina miaka 6 tuy narud nimetimiza malengo yangu huyu ni mjinga tuy hajitambui nipo oman sai sijawah teswa hata kidog

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +6

    Yani huyu sizan kam alikuja kweli et kulipwa kwa wiki kaz za ndan mungu wangu am kalew subukhan llah jaman achen uongo

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Kama wewe hayajakufika shukuru Mungu ila usimuite mwezio aliepitia magumu muongo.
      Haya Sasa kama ni muongo mbona ameelezea hatua zote za safari hadi huko Oman kwenyewe !
      1. Suala la kufirwa au kuingiliwa kinyume cha maumbile mbona tushayasikia sana
      2. Suala la kupigwa sana tena kinyama mbona wameshatendewa sana.
      3. Suala la kunyimwa chakula tushasikia sana.
      4. Suala la kutakwa au kutoka kimapenzi na mabosi wenu wa kiume mbona tushasikia sana
      5. Suala la kutakwa au kutoka kimapenzi na watoto wa mabosi wenu tushasikia sana
      6. Suala la kuchukua waume wa maadamu wenu tushasikia sana
      7. Suala la kudhalilishwa utu wenu tushasikia sana
      8. Suala la kubaguliwa tushasikia sana !!
      9. Suala la kufanyishwa kazi kama wanyama bila kumpumzika na bila kuzingatia masharti ya mkataba tushasikia sana.
      10. Suala la kukataliwa siku yako ya mapumziko tushayasikia sana.
      N.B
      So hamna uwongo wowote alioueleza hapo huyo dada hiyo ni experience yake you got it to respect it !!
      Na isitoshe kila mtu ana pitia mapito yake ktk kutafuta maisha yake.
      Na haya wezi kuwa sawa na yako

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni muongo kwanza tangu lini watu Kilimanjaro wakaja kufanya kazi huku afu eti kafikia hoteri muongo huyu

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 8 วันที่ผ่านมา

      Msikilize vizuri aliambiwa na shogaake alomtafutia kazi Ila kufika huko Ndo anajua mpaka habari za mkataba

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน +1

    Angalia domo lake zito kaa uch wa mfyele muongo mkubwa ww et tulipofika oman tukafikia hotelin na wakat ukufika tu oman anaekuja kukupokea ni boss au agent muongo tena passport/ vipimo ulifanya lini ukiwa tz na ht simalizii kuckiliza muongo mkubwa hebu tuache sie tumalizie kujenga nyumba zetu 😂oman ndio kila kitu kwetu

  • @fatumamisinga6211
    @fatumamisinga6211 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muongo mkubwa oman hakuna mlinzi nahuyo mtanzania ulimpata wapi na kule hawatembei kwa mguu umetunga stori hujauliza wenyeji wa oman unajidhalilisha unalipwa sh. Ngapi?

    • @MonnaPonda
      @MonnaPonda หลายเดือนก่อน

      Wanatembea sana

  • @MbanoMrage
    @MbanoMrage 3 หลายเดือนก่อน +21

    Mnatumalizia bando achen kutengeneza stor. Hakuna ukweli apo

    • @kisutabora5914
      @kisutabora5914 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mara Sophia mara Monica anachanganya mastory. Kama kweli angetaja agent na bosi ni nani

    • @manomunmun511
      @manomunmun511 3 หลายเดือนก่อน +2

      Msimuamini huyo mungo hamna mfanyakazi anateswa hapa polis wapo imara

    • @manomunmun511
      @manomunmun511 3 หลายเดือนก่อน +1

      Msimuamini huyo mungo hamna mfanyakazi anateswa hapa polis wapo imara

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 3 หลายเดือนก่อน

      ​@manomunmun511 ww shka adabu yako wapo wengitu .mtu analetwa kufanya nyumba moja anakuja kufanyishwa nyumba mbili .kama waishi vizuri basi usikoment kitu usicho kijua kaa kmya.kuna m babu alikuwa ana m baka msichana wake wa kazi kila siku na ushahidi umelekodiwa.tulicho mshauri ww toloka nenda ubalozi wakusafirishe tu.mungu kamsaidia ss karudi Tanzanian .yupo arusha.kwa sasa .akisema aende vyombo vya habari itakuwa ni aibu sanaaaa kwa kuwa ushahidi anao wa video.tumemuomba amstir huyo babu. Ni kama babu yake.katuelewa tuna mshukulu huyo bint wengine.tunaipenda sanaaa omani .tumejenga.tume zaa .natuna somesha.kwa jili ya omani.kwa hyo mkiona mtukama huyo anajambo ni kumshauri tu ache kuongea katka vyombo vya habari.hata Tanzanian wanaroho mbaya sanaaa .binadam wote hatupo sawa.

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 3 หลายเดือนก่อน

      Hawa wassenge kweli

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 3 หลายเดือนก่อน +10

    😂😂😂 omani hakuna walinzi kweli story

    • @FatumaChande-ht5zw
      @FatumaChande-ht5zw 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa uongo akuna mlinzi uku Oman

    • @crastoelicee
      @crastoelicee 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@FatumaChande-ht5zwkaz kututisha tunaotak

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 3 หลายเดือนก่อน +4

    Subirini mufungiwe kuingia oman endeleeni tu Mulipofungiwa siku zanyuma kutwa kelele mufunguliwe

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂
      Kuzuiwa kwenda kutolewa MALINDA 🤣🤣🤣
      Mtoto wa watu kaamua kujirudia zake home sweet home hajauwa

    • @ايتيتووينويو
      @ايتيتووينويو 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani huko Tz malinda hamutolewi mmxxxxx aliporudi huko kwao angekaa kimyaa sasa hapo kwenye midia anatafuta kuomba kijanja hatuna ela yakuchezeaa

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 3 หลายเดือนก่อน

      @@ايتيتووينويوkwa hiyo kuongea ukweli ni kosa

  • @aminahusseinhilaliaminahussein
    @aminahusseinhilaliaminahussein 3 หลายเดือนก่อน +22

    Nyoooo sura kavuuu uwongo eti laki tano

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂.maana inabidi nicheke

  • @mummytt1516
    @mummytt1516 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kabla yakutowa izo habari za uongo hakikisheni kwanza

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Uongo wake nini ? Mbona maelezo yake yamenyooka kuanzia safari inavoanza mpk mtu anapofika huko Oman hivyo hivyo.
      Halafu Wewe una uhakika gani kuwa ni uongo. Au wewe ndio ulie mpokea huko.
      Mapito uliopitia wewe hayawezi kuwa sawa na mapito yake yeye.
      Na isitoshe hizi habari sio yeye wa KWANZA
      Tumezisikia miaka na miakaka !!
      Asante teknolojia ya mitandao ya kijamii maana wengine tunazo clips na audio za uchafu wenu mnaofanyiwa na kufanyiana huko ijapokuwa miongoni mwenu kama wewe unataka kufanya confidential !!
      Kwanini hamtaki watu wafumbuliwe macho , Braza hizi zama hauwezi ukaficha jambo lolote lisijulikane, huwezi kuficha anything

    • @TatuTatu-f1v
      @TatuTatu-f1v 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi namshanga sana sisi tupo

  • @umranim5854
    @umranim5854 3 หลายเดือนก่อน +5

    Subhanallah yaani ni muongo namba moja kwanza sheria ya huku huwezi kusafiri bila sponsa wako pili kuna balozi wa Tanzania ana weza kwenda akasaidiwa na kusema kuwa kuna mlinzi huku hakuna cha mlinzi kwenye majumba ya watu labda serikalini nchi ina amani na kuna wafanyakazi huku wana miaka mingi sana na wamejenga majumba huko tena ni muongo hajafika hata kufika binaadam kageuka nyoka mara nyau angeweza muongo muongo muongo 😂😂😂😂

    • @marypflugngugi2164
      @marypflugngugi2164 3 หลายเดือนก่อน

      But boma ni tofauti. Haezi ndanganya

    • @umranim5854
      @umranim5854 3 หลายเดือนก่อน

      @@marypflugngugi2164 nimekua ana danganya huku sheria zao hawezi kusafiri bila kupelekwa air port na sponsor na idhini ya sponsor wake na kuna signaturi ya sponsor anadanganya mengi

    • @khadijasongoro9674
      @khadijasongoro9674 หลายเดือนก่อน

      Kwani hamuonagi wa Kenya wanarudi majeneza kila uchwao wanaoweka coment hapa ni wa Oman wenyewe waarabu wana roho mbaya watoto wangu wawili wamerudi wameshindwa hata miaka miwili hawajamaliza kwa kuwanyima chakula uwongo gani? Waarabu mababibui ya bure bora ufanye kazi kwa mzungu uchawi njenje

    • @umranim5854
      @umranim5854 หลายเดือนก่อน +1

      @@khadijasongoro9674 muongo wewe uwarabuni unyimwe chakula wakati chakula kina Mwangwa apo tu inaonekana muongo sana na usitufanye hatujui wazungu wanavo watesa na bora usiwapeleke huko labda walienda na mambo mengine sio kazi wako maelfu ya wafanyakazi na mpaka wamejenga majumba hovyooo wewe na watoto wako 😏

  • @IssaMsalama-k6x
    @IssaMsalama-k6x 11 วันที่ผ่านมา

    Embu acheni uzushi kama mnakwenda kujiuza semeni ukweli,mbona watu wapo uko omani wanafanya kazi. Vizuri,na mdogo wangu mwingine hadi leo anatimiza mwezi,ndugu yake hanatimiza mwaka na nusu,hayo mambo yenu msiuchafue mji wa omani,kama mnakwenda kwa hajiri ya kujiuza semeni ukweli?itawasaidia kuliko kudanganya,na waliopo huku kwao wanafanya maendereo vizuri tu,

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 3 หลายเดือนก่อน +12

    Uwongo mwingi 😂😂

  • @NoorNoor-ld8po
    @NoorNoor-ld8po 3 หลายเดือนก่อน +6

    Story nzuri mash'allah kwenda oman bila viza wala passport 😂😂😂😂😂😂😂uongo mtupu ajitahidi kutunga vizuri story iendane naukweli japo kwambaliiiiiiiiiiiii

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 nakwambia we umeshangaa kama mim yani wamekutana eaporti nakupenda ndege weeeeee imekua kituo Cha basi 😂😂😂😂😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน

      Yani huyu dada angekua kalibu yangu ningemkata Kodi

    • @NoorNoor-ld8po
      @NoorNoor-ld8po 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@kamarhelo 😂😂😂😂😂yani muongo adi anaongea kwaaibu arafu wakijiwa juu wanajifanya kuomba msamaha

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 หลายเดือนก่อน

      Nasikia zamani walikuwa hawaend na passport ila kuna barua walikuwa wakiandikiwa wanasafiri nazo😊

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 24 วันที่ผ่านมา

      Ulijuhaje kama pesa zinahingia za kutosha

  • @SaidHaarith
    @SaidHaarith 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo mdada nimuongo msipoteze mda

  • @zuwenashabani7100
    @zuwenashabani7100 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dada kaenda oman bila visa bila passport kha sikuingine jipangeni

  • @suleimanhemed9543
    @suleimanhemed9543 12 วันที่ผ่านมา

    Mshenzi mkubwa wewe dada umelipwa uwatukane waarabu, maisha yenu yote mtawachukia waarabu sijui mpaka lini chuki hii.

  • @AdomCenter
    @AdomCenter 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hajui ata kuongopa muongo iyo pas kapata wapi akasafir wakati simu tu kapokonywa nyumba za huku hamnainzi muna tafuta kiki

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona maelezo yake yamenyooka huyo !
      Mbona process alizoelezea ni sahihi, sasa kama uongo amewezaje kuelezea hatua nzima kuanzia Tz mpk huko Oman ?
      Mbona mna watetea wafiraji nyie
      Ingekuwa ndo wazungu wamemtendea hivyo mngesema ndiyo, hawo wafiraji hamtaki kabisa waguswe.

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@nuruworldinsight2957wafiraj wamejaa tz huko mbina hamsemi

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@nuruworldinsight2957sasa wazungu na waarab nani anae firana nakufira wenzao ? unajivuruga kweli wazungu ndio wanawafira wewe nahuyo anaeongopa hapo kwenye media wazungu ndio wanao lazimisha inchi zote ziwe na kufirana ila umengangania waarab tu kwa sababu unawachukia bila sababu acha liroho libaya hilo wewe kwanza hamna muoman akataka mwanae amlale mwafrica hata mtoto wake awe mzee hamna kitu kama hicho acha uongo utakutesa uongo wako huo mmekazana sana kuwachafua waoman na laana ninawapata nyie kwenye nchi yenu nabado mnawafata waoman kwenye dhiki zenu hemu fanyeni yenu waacheni waoman hawajawaita msiwasingizie laana zenu watanzania baadhi mnalaaana kama wewe nahuyo anaedanganya media eti oman madam amlazimishe alale na watoto wake kwanza wanavojali watoto zao hata awe na ugonjwa gani wazazi na serkal wanavowatunza watoto wao hata wewe babako hajawahi kutunza hivo muwakome waoman jamani pambaneni na laana za wafrica tu

  • @franklotta-w1v
    @franklotta-w1v 26 วันที่ผ่านมา

    Kama muongo mshtakini hii si mara ya kwanza Kuna kipindi baadhi ya mabinti wa Kenya walifanikiwa toroka nani asiyejua WAARBU Wana USIRI sanaaa mpaka mabaya na wazungu Wana demokrasia panaaa mpaka KUFUFU

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 หลายเดือนก่อน

    Mmh hakuna chi inayo sifika kama oman Kwa uzur na ukarimu acheni kuwachafua waonani japo wapo ila sio wote na vipi waenda omani bila passirpot?mmmh tumepigwa hapo acha usenge wee mjinga wa Kilimanjaro😏😏😏🤮

  • @KhoulaAlMahrazi
    @KhoulaAlMahrazi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ujuwi kurleza kwa sababu wewe ni muongo

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 หลายเดือนก่อน

    Dada Omani hakuna mtuu au shaghala anaelipwa. Kwa wiki wewe ni mbea. Acha kuwachafua OMANI ni njemaaa kisauti cha kinafiki😂😂😂😂😂😂😂😂.

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama unataka kujua nimuongo amesema amemwagiwa maji ya moto mbona hajatunesha sehemu alizoungua

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani Tanzania watu wote ni wakamilifu? Mbona kl cku tunaona matukio makubwa makubwa na watu hawayaongelei kl cku. Acheni kuchagua watu. Ili iwe njia ya kutafutia pesa. Kl cku waarabu wabaya. Bado mnakwenda kwao. C mtulie makwenu ili mcteswe???

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 7 วันที่ผ่านมา

    UHU MSENGE SANA SIONI HAJA YA KUENDELEA KUSIKILIZA HUU UPUUZI MWANDIAHI NA HUYU DADA WOTE WASENGE

  • @ismailyaru679
    @ismailyaru679 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe nahuyo mnaudanganya uma kuingia oman bila pamiti ya kazi bila Argent huruhusiwi Atueleze.Argent wake nani.vissa workparmity yake ninambangapi?

  • @FearlessAfrican
    @FearlessAfrican 17 วันที่ผ่านมา

    HAKUNA KAZI YA MWAFRIKA UARABUNI Ila Ni UTUMWA ! Watu Wajue hivyo.

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hizi media ni za uongo ,ssi tupo mbona hatujafanyiws hayo mambo ,mkamatwe msichafuwe nchi za watu

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa mtafanyiwa wote ? Hiyo ina wezekanaje ?
      Kila mtu na experience yake anayopitia. Nyie mlitaka akae kimya kama nyie wazoefu
      Yeye haja zoea huo mchezo

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@nuruworldinsight2957 uyu ni muongo hakuna madam ambae mfanyakaz wake atafika amlaze hotel nimuongo

    • @SadaKigwangala
      @SadaKigwangala 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo huku Oman tatizo binadamu tunapenda kukatishana tamaa😢😢😢😢😢😢😢

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 3 หลายเดือนก่อน

      @@SadaKigwangalakama hujafanyiwa niwewe kwasababu unaitwa Sada yeye ni Irene

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 3 หลายเดือนก่อน

      Niwewe tu kwasababu ni Muna Omar

  • @HappynessJose
    @HappynessJose 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muongo muongo tena tupo na. Miaka karibu 10 huku achen uongo

  • @SaudAlhabsi-fo9wm
    @SaudAlhabsi-fo9wm 3 หลายเดือนก่อน +1

    A ha uzushi hayo mabo huko hakuna igewezekana mgeniuganisha nahuyo mdada nigemuliza maswali kama matatu acheni majungu

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunapashwa kujua huyu mtengazaji mse he niwaredii gani

  • @sisterlbloodofjesus4084
    @sisterlbloodofjesus4084 หลายเดือนก่อน

    Uwongo mtupu uende Oman bila passport mkitunga uongo mjue tupo tunaojua safari za nje ya nchi zinaendwaje

  • @sisterlbloodofjesus4084
    @sisterlbloodofjesus4084 หลายเดือนก่อน

    Uwongo mtupu uende Oman bila passport mkitunga uongo mjue tupo tunaojua safari za nje ya nchi zinaendwaje

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 หลายเดือนก่อน

    Watangaji na nyinyi wa dada acheni umbea wenu msiwachafulue watu au waarabu wawatu wao kwanza wana tustir kutupa kazi na ruzki kama umeona Omani ni pabaya kaaa kinywa Tanzani acheni kuichafua OMAN ni nchi haifananishwi na nchi nyingine nchi. Yenye hekma na pametulia. Wewe dada. Ni mbea sana acha kuichawa OMAN ni nchi Tajiri. Kaa kwenu huko 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KhoulaAlMahrazi
    @KhoulaAlMahrazi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mdomo wako unaonyesha kuwa ni muongo

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 2 หลายเดือนก่อน

    KUMAYAKO MUONGO MKUBWA WW NYOO TIKET SIKUIYOIYO IMEKUA ABOOD BASI FALAWEE UZA MAKU SIE TUNAPIGA KAZI🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @faridaabdulla5069
    @faridaabdulla5069 21 วันที่ผ่านมา

    Pia mfanyakazi akisafisi mpaka apelekwe na boss wake akacensel viza . Na alipanda ndege gani yote engemuliza na oman hakuna mlinzi wa nyumba

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน

    Wenzenu wanachapa kazi. Na wanatimiza ndoto zao. Nyie mtaishia kusema uongo tu, kwenye mitandao. Acheni wenzenu waupige mwingi.

  • @fahmialbahri3954
    @fahmialbahri3954 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanza anasema kafikiya hotelini kuna mtu akenda kufanyakazi za ndani anafikiya hotelimi muogo muogo

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 3 หลายเดือนก่อน +2

      Umeona muongo anazua malaya huyu wallahi nakama unazua ishallah ukimaliza hapo upigwe na shelel ya huomdomo kwa uongo alitegemea akif8ka atatoroka akadange nyoo hakuna kitu kama hicho paka tena

  • @faridaabdulla5069
    @faridaabdulla5069 21 วันที่ผ่านมา

    Huyo mwandishi hajui jata kuuliza kama ni mwandishi kweli .ikiwa kakaa mwaka na nusu jee alikaa mji upi na mtaa upi . Kwanza passport huwa anakaa nazo boss sasa kaipataje .

  • @skeeteranderson375
    @skeeteranderson375 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani uingo mtupu eti tukaenda kupanda ndege ,how bila taratibu zozote?Airport hiwezi pita bila kibali cha boss wako lazma asaini all the documents

  • @ismailyaru679
    @ismailyaru679 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza huyo dada haruhusiwi kuingia oman Afiya yake mgogolo kuna wadada kutoka.india wapo vizuri wasafi na bei zao chep leber huyo dadako na uchafu huo Atafanya kazi kwa.nani

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 3 หลายเดือนก่อน +4

    Muongo mie nashangaa kuwa na ml😅nzi oman loh mnafikvmkubwa wew

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Ko wewe unataka kutuambia unaijua Oman kimkundu MKUNDU.

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani hizo habari za Watz kuingiliwa kinyume cha maumbile tumeanza kuzisikia kwake.
      Mbona hata kwenye magroup yenu ya WhatsApp hizo habari tuna zipata na zaidi ya uchafu huo tunao

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona tz mbabaka na kulawit kuuwa au hayo hamuyaon, achen kuchafua nchi za wenyewe

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 หลายเดือนก่อน

    Tufanye ile kitu kwenye hii account huwezi kuja kuogopesha watu washindwe kuruhusu watoto wao kuja nje ya nchi kufanya kazi huu ni uwongo anatengeza habari kupotosha jamii👎👎

  • @FauzyaHassan
    @FauzyaHassan 3 หลายเดือนก่อน

    Mjinga moja wewe hujui chochote kuusu nchinzakiarabu Fala wewe Acha kukatisha watu tamaa mm Niko huku na wengine wenginkwanzanoman hakunaga walinzi getin Yani ulinzi nkamerat na somtu dada tafuta chakufanya

  • @SuzyyungeSuzyyunge
    @SuzyyungeSuzyyunge 2 หลายเดือนก่อน

    Fara kweli huyo, wewe ni mwanamke iweje uhudumie wanaumee wakati kuna wanaume wamejaa huku wabangali na wapakstan na hayo yote kwa nini uogope kumwambia rafiki yako loooh dada mkavu huyuu kwa uwongo eti mlinzi 😂😂 daaah yani satori za kuza kutengeneza hizi daaah hatari kizabaaa😂😂😂

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 3 หลายเดือนก่อน

    Jamanii wadada Tafuteni kazi za kufanya njaa zita waponza kwenye hii mitandao Mdada mzima unakuja kujizalilisha na uwongo bla faida yoyote 😏😏😏😏

  • @moddysunshine6618
    @moddysunshine6618 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie Waandishi msiwe mnawapa airtime wajinga wajinga kama hawa. Analeta story za uongo. Muwe mnapata muda wa kuwahoji na mjiridhishe kabla hamjarusha hewani upuuzi kama huu

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 3 หลายเดือนก่อน +4

    HUYO MWENYEWE KICHAA EBU MUANGALIE ALIVO KAA

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Wamemuambikiza waliokua wanamuingilia kinyume cha maumbile !!!

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 3 หลายเดือนก่อน

      Ila hawo wavaa kanzu wenu hawo Mungu anawaona

    • @AaAa-vm8bb
      @AaAa-vm8bb 3 หลายเดือนก่อน

      Huku hakuna vichaa wee

  • @lwakainaza
    @lwakainaza 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ukimsikiliza vizuri ni muongo. Na inawezekana kashrikiana na huyo mtangazaji.

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa wewe umemuonaje yy mwenyewe sikichaa eti mlinzi jamani bila haya nakujiliza kinafik huyu karudishwa anauk8mwi

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 2 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la polosi tafadhali mfuatilieni huyu binti atoe taarifa zake ili ufuatiliwe ukweli huyu ni Muongo anachafua nchi ya watu et wanageuka mapaka wanageuka nyoka huo ni uongo. Atoe taarifa si ana namba zao

  • @norahtsakiris4355
    @norahtsakiris4355 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada passport alifanya saa ngapi na hizo taratibu alifanyiwa saa ngapi kama si uongo. Eti kafikia hoteli, uongo mtupu. Hamna hata anofikia hoteli mfanyakazi. Huyu anataka tu kusema hovyo

  • @sans9646
    @sans9646 29 วันที่ผ่านมา

    Jamani madda wa tanzania msidanganyike na watu oman hatuna haba na malaya hukum kunawanawake wazuri kuliko nyinyi 😂😂 na kama ni shida kwenu siukalime uwongo dio mzuri

  • @FaridaFarida4
    @FaridaFarida4 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kalipwa huyu sio ukweli nyumba za omani hazina walinzi

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 3 หลายเดือนก่อน +4

    Muongo mkubwa sana huyu. Eti mshahara laki 5 kwa wiki😅

  • @sans9646
    @sans9646 29 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli hata mulizaji nimjinga yani haoni kama ujinga wa kuuliza mjinga moja kama huyu hata uwongo hanji hata kuupanga ya liongo bamba moja kwanza omani hakuna tumba yenye mlinzi na hakuna nyumba inatoa mshahara kwa wiki

  • @MarthaLungwa-sr4er
    @MarthaLungwa-sr4er 2 หลายเดือนก่อน

    Eti hadi hyo Nchi nimeiogopa kila anaetoka oman kafanya mapenz na mbwa iv huko oman mbwa ni kwaajili ya wanawake wa kitanzania tuu?? Hakuna mbwa jike wafanyane na dume??? Ama ninin et???

  • @sylvestermitanda3502
    @sylvestermitanda3502 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanaojiita mawakala wa kutafutia watu kazi Uarabuni ni hatari na niwanyang,'anyi wa utu wa Dada zetu wa Kitanzani ,Tunaiomba Serikali kupitia Wizara ya usitawi wa jamii,Wizara Mambo ya ndani ,Wizara ya Kazi na Wizara ya Nje zinatakiwa kuwasaka na kukomesha tabia hii na kuwasaka hao mawakala wa Human Trafficing.

  • @Mariam-c6b3o
    @Mariam-c6b3o 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo dada ni muongo mbona ukuongelea kuusu paspot acheni kuwachafua walabu tabia za ivo awana sawa wewe mchenzi Acha uongo mjinga mkubwa wewe

  • @safiam5338
    @safiam5338 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa jaman kama kweli mnovosema kwanini hamuendi embassy mkashtaki ao mkakamata ushahidi ma sim yenu si yanama camera ?
    Aceni kucafuwa watu ujinga mtupu na wana khabari msojitambuwa upumbavu fanyeni kazi aceni upuuzi

  • @MonicaGombe-s5b
    @MonicaGombe-s5b 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimuongo kwasababu omani awana walinzi kwenye nyumba pili uku ukifika paspoti inakaa na boss tatu uyo aliye warudisha Tanzania alikata.tiketi saangapi mpaka siku iyoiyo muondoke wakati sio mtu wa ubalozini yaani kwa ambao awajaenda omani ndio.utawadanganya ila.sio wanao elewa maisha ya omani. Wacha kutishia watu wenye wanataka kwenda omani wewe nimuongo ungeniambia. Mlipelekwa ubalozini ndio wakawasafirisha sawa ila eti ulienda kutembea ukakutana na mtanzania akakupa namba ndio akawasaidia mpaka kuwarudisha wewe nimuongo mkubwa. Na unasema wakitoka ndio bos anaingiza pesa nyingi wewe unajuaje wacha kudanganya watu

  • @MarthaLungwa-sr4er
    @MarthaLungwa-sr4er 2 หลายเดือนก่อน

    Mnabowa kila siku mnafanyishwa mapenz na mbwa na mnaona watu wanavyohadithia bado mnaenda tuu macho hamna?? Ok na maskio jee mnakera sipend mimi baki nchi Yako

  • @rahilaabdulrazzak9951
    @rahilaabdulrazzak9951 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mtangazaji kwa kweli unahitajika ufanye uchunguzi wa kina ktk simulizi zako unazorusha. Utajikuta unaongea na wagonjwa wanaohitaji huduma za Hospitali ya MIREMBE!!!

  • @AishaAlrawahi-p4d
    @AishaAlrawahi-p4d 3 หลายเดือนก่อน

    Wakukamatwa ni hawa media Kwani wanaonyesha hawajui sheria ya kuchafua majina ya nchi za watu huyu mdada sijui hata kusafiri kirahisi rahisi kama vile kutokea nyumbani kwenda sokoni na story yooooote haiingii kichwani hata uso wake unajisuta na aliyejenga pia mshamba

  • @alhajrialhajri4026
    @alhajrialhajri4026 2 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ndio mnawakatia riziki wenzenu Kuja kufanya kazi apa oman mkifungiwa Kuja Omani mnaanza kulalamika watu kama Hawa wachukuliwe hatua wanao tunga story za uwongo

  • @Shadia544
    @Shadia544 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila tusimbeze sana kila mtu anachangamoto zake huku jamaniii kuna watu wanaishi vizuri na wengine wanaishi maisha tofauti kama umepata nyumba nzuri basi tulia na kama umepata nyumba mbaya inabidi ajeti wako lazima hawajibike ili kubadili nyumba ✌️✌️

    • @JamilaJey-gm9cb
      @JamilaJey-gm9cb 2 หลายเดือนก่อน

      Kiukweri sataim haya mambo yanatokea mm nilienda omani panaitwa ibuli nitoka tazania tare 14 tare 24 nikaludi uwezi kuamini mpka yakutokee ndio utajua ujuwi mm nilikuwa natupiwa chakula kinawekwa kwenye sahani mm nimefungiwa ndani unafunguliwa ule mlango kidogo kisha kinalushwa chakula kwe tariza ndio kinifuate na mm ndio niokote ile sahani hii nile kile chakula ayo mambo yapo sio masiala