MKASA WA BINTI ANAEJIUZA ELEMENT MASAKI,AFUNGUKA ''NATAMANI KUACHA HII KAZI ILA MAISHA MAGUMU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • FUATILIA KISA NA MKASA WA BINTI ANAEJIUZA MASAKI ATAMANI KUACHANA NA KAZI YA KUUZA MWILI LAKINI CHANGAMOTO NI UGUMU WA MAISHA.

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 7 หลายเดือนก่อน +85

    She's very open.. And i believe her smile will change her life

    • @1lakiisha
      @1lakiisha 7 หลายเดือนก่อน +2

      Yeah she very cute ☺️…. And seem very honest and open person ❤

    • @lumulyimage4826
      @lumulyimage4826 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/fQ4LU8JQrCQ/w-d-xo.htmlsi=gSu_fy8UdCIJnwlU

    • @MariamHassan-x8y
      @MariamHassan-x8y 28 วันที่ผ่านมา

      Mpaka nimehic kulia😢😢

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 7 หลายเดือนก่อน +130

    Nimepata uchungu sana nakumbuka kipindi naingia dar nilikuwa mdogo kuliko huyu alafu sikuwa na kazi ila nilipelekwa nikafanye kazi bar kwel nilipata kazi bar sikuwahi kujiuza ila nilikuwa napitia changamoto sana za matusi kwa wateja sikuwahi kuipenda hiyo kazi hata siku moja na mwenyezmungu aliliona hilo kuwa ni shida ndo zilinopeleka huko ila kiukwel sasa nimekuwa na nimeolewa na kaka mmoja wa kisukuma anayempenda mungu na aliyekubaliana na mim toka tulivyokutana hadi leo hii ni baba bora kwa wangu na nimume bora sana kwenye maisha yangu tulitoka dar tupo dodoma kwa sasa tumejenga kwetu na tunaishi kwa furaha sana hakika mungu atafungua milango ya huyu mtoto pia namuombea mungu amuonekanie katika kila hitaji lake na amfungulie milango yake ya baraka🙏

    • @IsmailiKhamis-i9u
      @IsmailiKhamis-i9u 7 หลายเดือนก่อน

      Ongela

    • @filbetdaud4597
      @filbetdaud4597 6 หลายเดือนก่อน +1

      hongera sana da rose

    • @tajirifundi
      @tajirifundi 6 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwesanna

    • @ShamsaFahad-n8v
      @ShamsaFahad-n8v 3 หลายเดือนก่อน

      Timiza malengo uache wewe Bado ni mdogo

    • @allykagawa
      @allykagawa 3 หลายเดือนก่อน

      👏👏@rosemary3017

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 7 หลายเดือนก่อน +46

    Pole Sana Dada na kweli Binti anajielewa Ila ni Maisha Tu Mungu atanisaidia

  • @liramindisland24
    @liramindisland24 7 หลายเดือนก่อน +32

    Behind that smile there is hidden bitterness…Mungu akusaidie binti

    • @uwezokinahi7870
      @uwezokinahi7870 6 หลายเดือนก่อน

      For sure..

    • @mbuvamedia195
      @mbuvamedia195 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna wenye maisha mazuri hawana hilo smile😮

  • @benardmbithi6341
    @benardmbithi6341 7 หลายเดือนก่อน +31

    She was very honest maaaan. I even cried,From Kenya🇰🇪
    May she live long

  • @IssaMbelenje-ly1fy
    @IssaMbelenje-ly1fy 6 หลายเดือนก่อน +10

    Daaah sio poa mdogo wangu pole sana M/MUNGU MKUBWA nakuombea upate kazi INSHALLAH 🙏

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 7 หลายเดือนก่อน +67

    Dogo anaongea kwa kujiamin sana na huyu anaonekana ana akili sana mwenye ana uwezo anamjua had mungu kiasi Gani naamin IPO siku mungu atambadilisha 🙏🙏😢😢😢

  • @Keyjop
    @Keyjop 7 หลายเดือนก่อน +19

    Pamoja na magumu anayo pitia lakini she still smiling ..😔 Mungu akuponye mi binafsi nakuelewa umaskini mbaya jmn 😭😭

    • @salomevenance9555
      @salomevenance9555 10 วันที่ผ่านมา +2

      Sanaa dear😢😢😢😢😢😢😢😢😢umaskini mbaya sana😢😢😢😢😢

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 7 หลายเดือนก่อน +22

    Hajui kama Kuna mtandao masikin et kaka hawez kujua Yani Bado mdogo sana nawaomben Alie guswa na anao uwezo amsaidie huyu bint eee mwenyez mungu mwangalie Kwa jicho la huruma huyu bint umuokoe ktk janga hili insha Allah

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nimepata huzuni sana nikimsikiliza huyu binti ..

    • @AndresBALYAKAIJUKA
      @AndresBALYAKAIJUKA 5 หลายเดือนก่อน +1

      ningejib ila ninyamaze

  • @RamadhanirMuyigi
    @RamadhanirMuyigi 6 หลายเดือนก่อน +5

    Dah inaumiza sana ,ukweli maisha ni magum ila tunahtaji subira na juhudu,pia mungu atunusuru sote kwan hakuna aijuae kesho yake

  • @MzunguTz-f2j
    @MzunguTz-f2j 7 หลายเดือนก่อน +21

    High Confidence nimependa one day yes mungu atomuacha bure

  • @samwanasarah9936
    @samwanasarah9936 7 หลายเดือนก่อน +7

    One thing we should not forget is that prostitution is not as a result of poverty but a spirit that enters one who is insensitive to spiritual matters, she needs counseling and deliverance before being given financial support, sometimes I usually ask myself " how much is enough"

    • @ritakahurananga9866
      @ritakahurananga9866 7 หลายเดือนก่อน

      Very true

    • @bawla90
      @bawla90 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

    • @Eleonora-ei6yx
      @Eleonora-ei6yx 7 หลายเดือนก่อน

      Very true

    • @winnieolipuu4207
      @winnieolipuu4207 7 หลายเดือนก่อน

      This is very true,the devil traces your life and blocks your paths later on he intrudes spirits in you

  • @jamalisebarua9594
    @jamalisebarua9594 7 หลายเดือนก่อน +14

    Namuonea huruma bado mdogo mwenyewe anaonesha mcheshi mpole sema tu maisha dah nimeumia 😭😭😭

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 12 วันที่ผ่านมา +1

    Dar es salaam ina change LYFE ya mtu kama ujitambuii😢

  • @renatharjames2186
    @renatharjames2186 7 หลายเดือนก่อน +10

    😭😭😭😭 mdgo wangu Zuh nimeumia kweli natamani nikusaidie Ila Sina nakuombea mungu akupe mtu atakae kusaidia ila nakuombea ukipata ata mtu wakukupa kazi ata zandani usikatae maisha nimagum ila iyo kazi Ina changamoto sana magonjwa mengi yanayotibika nayasio tibika😭😭

  • @sammycosta-j6d
    @sammycosta-j6d 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na vile mm natafta mwanamke bibi anayeweza kanizalishia watoto ata kama mmoja hv.jamni mola si unibarki na huyu dogo.Yuko smart Kimwili na kiakili.shida nazo ndiyo changamoto hapa dah kapotea huyu mpenzi.christian Bella kaimba kufanya kosa sio kosa Bali kukirudia ndiyo kosa.😍😍😍❤️❤️

    • @NiceWatson-y7e
      @NiceWatson-y7e 7 หลายเดือนก่อน

      Acha umalaya lea familia 😂😂😂😂😂😂

    • @HadiattHadiatt
      @HadiattHadiatt 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂​@@NiceWatson-y7e

    • @TaufikMohammed-dg2hs
      @TaufikMohammed-dg2hs หลายเดือนก่อน

      R​@@NiceWatson-y7e

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 7 หลายเดือนก่อน +2

    Masikini msichana mdogo pole sijui kimelewa chenyewe kinajiamini mungu ammpe mtu wakumsaidie aache izi kazi

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo babake kumbafu sana,Mimi binti yangu kama ana uwezo wa kuwaza kama huyu yaani nitahakikisha anaenda kwenye malengo yake.

  • @Jemamusa
    @Jemamusa 3 หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭😭😭😭😭shida ni mbaya sana ananikumbusha mbali sana mungu akusimamie zuena

  • @aishakahamba
    @aishakahamba หลายเดือนก่อน

    Dah!!? Pole sana unanikumbusha machungu, mungu akusridie Sanaa

  • @ayubzaka1598
    @ayubzaka1598 7 หลายเดือนก่อน +10

    Sad story my gal I wish I cld help u

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 7 หลายเดือนก่อน +4

    .Mungu akusaidie dada. 😢😢😢

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 7 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaaaa nina miaka 19 aaaaaa natokea kigoma aaaaa maisha magumu😂😂😂😂😂 Tanzania nchi yng ya uhuru na amani🙌

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 7 หลายเดือนก่อน

      Aaaaah kwa sababu ya life maisha kigoma jwmqn khaaaaa😂😂😂😂

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 5 วันที่ผ่านมา

    Astghafirullah Allah Atunusuru mie maisha magumu nilikujaOman nahadi leo nipo oman mwakaWa10nimerekebisha maishaYangu namshukuru mungu nimejenga nakusomesha mpkavyuo wanangu sithubutu hiikaz namuogopa Allah baAdhabu Zake

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu Amsahidihe.. Sana.. Msahidien kwa wale ambao wako karibu

  • @adamumshely
    @adamumshely 12 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba za zuwena tafadhali nina jambo nae nimemsikiliza nimemuelewa sana mpaka machozi yananitoka😢

  • @abdoulzainoubongoth2556
    @abdoulzainoubongoth2556 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amjalie kheri

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

    Unaonekana unamaumivu makali sana mpka kufikia hapo unahistoria yako moyoni Mungu atakusaidia tu jamani. 😭😭😭Naimani utapata furaha maishani hilo nalo litapita magonjwa yakupite mbali

  • @yasinramadhan7315
    @yasinramadhan7315 7 หลายเดือนก่อน +7

    Tunaelekea kubaya sana😭😭😭

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 7 หลายเดือนก่อน

      Amesema hakupenda na hapendi 2muombe tu yy na wengine

  • @RazakiMmalinda-rl3ej
    @RazakiMmalinda-rl3ej 7 หลายเดือนก่อน +1

    Duh pole xn mungu akujalie huondokane na magumu😮😮

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu atustry na vizazi viyetu yarabii tuhafidhi

  • @DavidSoka-b7h
    @DavidSoka-b7h 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo mfumo wa serikar zetu za kiafrika na usimamizi mzur akuna unakuta upo kiwandan unalipwa elfu 2000 kwa siku tunabanwa sana lawama kwa wazir wa biashara na viwanda

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 7 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa kama kiasi cha chini ni elfu50 na anasema ashaipata zaid y iyo kwnn asiichange iyo 50 mara kadhaa ili afanye iyo biashara 😢me nahis wanapend tu kujidhalilisha

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 7 หลายเดือนก่อน

      keshazoea

    • @zawadiwambura9188
      @zawadiwambura9188 7 หลายเดือนก่อน

      😊

    • @andrewkihweloofficial6589
      @andrewkihweloofficial6589 7 หลายเดือนก่อน

      Shetani ni mjinga sana akisha kuvuta kwake huwa anakuonyesha kwamba kiasi ulicho nacho bado ni kidogo kwa hiyo anaenelea kukushauri kwamba endelea kidogo ili upate hata milioni moja hivi .alafu ukipata hiyo milioni anakwambia hebu subiri upate angalau tatu hivi

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 8 หลายเดือนก่อน +4

    Astaghfirullah huna hata kimeme mtoto wakike roho ikichukuliwa uko ktk zinaa

    • @carenmihayo7991
      @carenmihayo7991 7 หลายเดือนก่อน +3

      Kwenda kule unahukumu mtu we umekuwa nani nyie waislam wachafu kila kona kazi kuhukumu wenzenu kila mala

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@carenmihayo7991 Kwa hivyo unafurahia kuuza samaki wake?

  • @mchambikisupi9204
    @mchambikisupi9204 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wacheni kumsapoti huyu mjinga kwanini asitafute hata kazi za ndani au ajent aende arabuni

  • @SallyZanzibar
    @SallyZanzibar หลายเดือนก่อน

    mm nahitaji kumuunganisha huyu dada kwenye kazi zangu zanzibar munaweza kuniunganisha nae guys

  • @EllybarikiMasisla
    @EllybarikiMasisla 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuja uchukue mtaji

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 หลายเดือนก่อน +2

    Binti mzur jamani naomba namba zake huenda tukamshauri kitu atakubali

    • @WilondjaDaudi
      @WilondjaDaudi 7 หลายเดือนก่อน

      Ndio watowe Namba

    • @NoellaOrdalie
      @NoellaOrdalie 7 หลายเดือนก่อน

      Pls Naomba namba zake Tena Niko serious tafazali😭😭😭Mimi nibinti jamani Naomba namba yake

  • @patricialucas7489
    @patricialucas7489 6 หลายเดือนก่อน

    Behind her smile kuna maumivu makubwa sana Mungu akutoe hukuu.

  • @EvelineAkoth-kp8zu
    @EvelineAkoth-kp8zu หลายเดือนก่อน

    Mungu atakukumbuka dada

  • @africanjeremy
    @africanjeremy 2 หลายเดือนก่อน

    Infact Dada umekuwa muwazi Sana mum plz weka no yako hapo mm ninataka Kenya unaeza saidaka dadangu

  • @BenjaminJames-t5n
    @BenjaminJames-t5n 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakujalia dada maana daaa watu tunapitia changamoto

  • @InnocentLeopard-vz4cf
    @InnocentLeopard-vz4cf 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mpaka buku ana lolote

  • @BillKarim
    @BillKarim 5 วันที่ผ่านมา

    habali ivi uyu dada alisha saidiwa au bado

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji ana maswali ya hovyo,

  • @eliudndadeba6193
    @eliudndadeba6193 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu ATUSAIDIE DUUUH WAHA TUMEISHA,TUMEFIKIA HUKU.

  • @KasidiBakari
    @KasidiBakari 3 หลายเดือนก่อน

    Inauma san kikwel ila wengn wataona km uyu mdada anapenda nimeumia san mahna nikama mdogo wangu kabisa

  • @Hansnziku
    @Hansnziku หลายเดือนก่อน

    Aah awa Dada zetu wasenge

  • @fabby1181
    @fabby1181 7 หลายเดือนก่อน

    Tuwaunge mkono wanaoandamana, maisha ni magumu, huyu Binti Yuko vzr kichwani angeweza Fanya vizuri kielimu, bahati mbaya tu, inasikitisha

  • @JohariMaliki
    @JohariMaliki 3 หลายเดือนก่อน

    Dah nimejikuta naumia kiukwwli jinsi anavyoongea yaan mm mwenyewe nilipitia huko huko ila sio kukaa Barabarani ila namshukuru mungu ameweza kunibadilisha kiakili lkn kimaisha bado Nina changamoto

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanamke asilaumiwe na m2 aombewe duwa tu hakupenda na hapendi kibaya ni kumsaidia

  • @evidencemaimu1883
    @evidencemaimu1883 7 หลายเดือนก่อน

    Hakujua anahojiwa????? Hakujua anapostiwa???
    Maana anasema watajuaje?!........
    So sad😢😢

  • @HafsaMohamed-x7g
    @HafsaMohamed-x7g 2 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha😢 ningeomba kupatiwa namba ya huyu binti ili tujue namna gny y kusaidiwa cha muhimu aendelezww n masomo

  • @PriscaKaweka-ih8jp
    @PriscaKaweka-ih8jp 3 หลายเดือนก่อน

    Acha hiyo kazi njoo kwa yesu

  • @SalumAbdallah-u3g
    @SalumAbdallah-u3g 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu malaya Kweli yaan hata atulii jaman

  • @elinazuberi2689
    @elinazuberi2689 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mungu atakusaidia

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 7 หลายเดือนก่อน

    Amechagua kazi mbaya hata kama ni ugumu wa maisha lakin huwezi kuchagua kifo kwa sababu ya ugumu wa maisha anahitaji mtu wa kumsaidia atoke huko. Ana furure kama akisaidiwa

  • @veronicapeter-m3x
    @veronicapeter-m3x 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢 mungu wangu kizazi cha nyoka hiki kikumbuke baba!!!

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 23 วันที่ผ่านมา

    Safi sana hata mm nakuja huko

  • @ShamiraMsoke
    @ShamiraMsoke 7 หลายเดือนก่อน

    Maskini BWANA YESU nakuomba umsaidie huyu binti 🙏🙏

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kwenye kuhoji watu wa aina hii, sura inatakiwa ufiche. Nje ya hapo maana yake unamfanyia promosheni. Muwe mnajifunza hata kwa wenzenu basi.

    • @maziku330
      @maziku330 22 วันที่ผ่านมา

      Yah kwel hz platform zrud shule

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 20 วันที่ผ่านมา

      @@maziku330 Wanazingua.

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 7 หลายเดือนก่อน +23

    Habari Jamii mko vizuri kwa kutafuta viewers mmefanya ubunifu mzuri, mmemtengeneza hadi katengenezeka😂😂😂

    • @samsonsoligi2420
      @samsonsoligi2420 4 หลายเดือนก่อน

      Ila nami nahisi hii content kabisa ÿa kutengeneza.

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 3 หลายเดือนก่อน

      Kama nakuelewa vile

  • @Diani_lifestyle-254.
    @Diani_lifestyle-254. 7 หลายเดือนก่อน +45

    She is so open...i really love her...Mungu akubariki utoke huku... truely shida hufanya mtu kufanya kitu asichokitaka

  • @godfreykitoki9639
    @godfreykitoki9639 7 หลายเดือนก่อน +31

    Mungu akusaidie mdogo wangu..maisha yanatoa tafsri nyingi za maisha

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde mwanangu, nakubariki kwa jina la YESU ili akubariki na uondokane na hii adha.Mwanangu,nakupenda,nakupenda Zuena,Zuena nakupenda, MUNGU akuponye mwanangu,nakutabiria ukutane na LAMATA VILLAGE. Lulu Elizabeth akuunganishe na sanaa ya uigizaji,utatoka kimaisha mwanangu.

    • @hawasalim-p8j
      @hawasalim-p8j 7 วันที่ผ่านมา

      nimeguswaa mnooo😢😢😢😢

  • @heriethsixbert475
    @heriethsixbert475 7 หลายเดือนก่อน +25

    Binti mzuri sana na ana akili Mungu amsaidie atoke huko

  • @ELISHAONLINETV
    @ELISHAONLINETV 6 หลายเดือนก่อน

    Yupo muwazi kabisa hafichi anakitu huyu asaidiwe

  • @JoycePeter-z6k
    @JoycePeter-z6k 7 หลายเดือนก่อน +40

    Naona watu Wana-comment confidence ya huyu dada na kumsifia 😂😂😂😂
    Hamjui tuu ni Hennessy inaongea hapo kichwani 😅

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 7 หลายเดือนก่อน +7

      She don’t look drunk 😢anaoneka anaongea from bottom of her heart

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hata kama ni Hennessy haijalishi..hiyo hennessy imempa confidence ya kuongea ya moyoni

    • @herirutta6974
      @herirutta6974 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @allybakari8558
      @allybakari8558 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅kwel kbc mzeee nilikua natafuta HII comment

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 23 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli umekalili aliyetungi au unga anaonekana.

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mama Samia... Mheshimiwa Rais, kama ikikupendeza naomba huyu dada achukuliwe hatua... Anafundisha mabinti wetu ulimbukeni... watoto wa kike ( inaonyesha anajielewa vizuri... Mbona Alli Haji, anauza mbizi na familia ya watoto 5.

    • @AmeirhajjRamadhan-e1h
      @AmeirhajjRamadhan-e1h 7 หลายเดือนก่อน

      tena al'haji ni mtoto wa miaka 10 kabisa

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 5 วันที่ผ่านมา

      Haswa huu wazimu syo uzima eti atajuaje huyo mume

  • @Hamad_303
    @Hamad_303 7 หลายเดือนก่อน +42

    Anatia huruma sana n'a bado mdogo...Mungu amsaidie inshaallah atoke kwenye hiyo biashara❤

  • @kandygraphicstanzania
    @kandygraphicstanzania 7 หลายเดือนก่อน +35

    Mimi ni Wakigoma, i wish nimsaidie, she is very smart

    • @ayshah.8123
      @ayshah.8123 6 หลายเดือนก่อน

      Very true

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 7 หลายเดือนก่อน +3

    Daaaah... It's so sensitive 😔
    Anatabasamu zuri anajiamini tumpatie mtaji atoke Huku Coz Mungu anamjua Pia...
    Ingawa wanasema 'Kunguru Hafugiki ' 😢

  • @andrewkihweloofficial6589
    @andrewkihweloofficial6589 7 หลายเดือนก่อน +156

    Samahani kama itawezekana naomba number za huyu dogo anahitaji kusaidiwa sana sana bado ni mdogo bado anaweza kusaidiwa na akafanya mambo ya haki na akafanikiwa na akatunza familia yake

    • @robertmzizima9621
      @robertmzizima9621 7 หลายเดือนก่อน +110

      Acha umalaya unataka kumtomba tuu huna lolote

    • @LovenessDaud
      @LovenessDaud 7 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂😂

    • @hananrichard9047
      @hananrichard9047 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂kal

    • @salhaayub1338
      @salhaayub1338 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@robertmzizima9621😂😂😂😂😂

    • @carolinetalam5832
      @carolinetalam5832 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 you're so funny ​@@robertmzizima9621

  • @bryanzeconfesor5476
    @bryanzeconfesor5476 7 หลายเดือนก่อน +44

    Wabongo wanafiki sana eti naomba namba zake asaidiwe😅😅😅 nendeni uwanja wa fisi mkawasaidie

    • @Zuu673
      @Zuu673 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @oswaldtemba2770
      @oswaldtemba2770 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 jamaa linamtaka

    • @Faridkhalid-z3p
      @Faridkhalid-z3p 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 mmeistukia mipumbavu hiyo eti nipe namba nimsaidie, inaacha kusaidia watu waliowazunguka yanaanza ohooo naomba namba nimsaidie mijinga ina nyege mizeee

    • @chedielimrutu6955
      @chedielimrutu6955 7 หลายเดือนก่อน +4

      Sio kila mtu anafikiria ujinga wengine tuko serious na inategemea mtu unayeona anajitambua. Tumesaidia wengi na hatuwajui sio kila mtu yuko km unavyofikiri. Wengine wana ushuhuda na sio lazima namba yake hata ya Mtangazaji watu wanaguswa mtoto huyu ana mguso wa aina yake utaona atasaidiwa tu ndugu yangu. Japo wapo wabaya lakini wema pia wapo

    • @Shebbytvs
      @Shebbytvs 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@chedielimrutu6955kwako ww ushajpata na ndugu zako wote au nyege tu znakusumbua??

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hapa ndio element😂😂😂😂ila kazi za kujiuza ziheshimiwe jaman kunanchi Malaya wanalipia ushuru..tanzania ndio maana haijapiga hatua hiki ni kipato cha taifa

  • @ItsNattybee
    @ItsNattybee 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ety mume wake atajuaje??amesahau once on internet lives for eternity😌

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 7 หลายเดือนก่อน +17

    Inauma sana huyu bint anaonyesha dhahiri hapend haya mambo kabisa.mungu atakusaidia bint

    • @gidemeritus9644
      @gidemeritus9644 7 หลายเดือนก่อน +1

      mmh hapana... ni kutokuridhika na ulichonacho. Yani mtu kaishia form 4 kaenda kujiuza kweli?

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 7 หลายเดือนก่อน

      ​@gidemeritus9644 Bora hata afanye kazi za ndani😢😢

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu hakusaidie utoke huko 😢😢😢kujiuza ni kuweka rehan afya na maisha kwa ujumla😢 pole

  • @dommyviva
    @dommyviva 7 หลายเดือนก่อน

    Media mshamharbia uyu dogo kumrusha. IV vtu vnaishi milele fikirieni fedheha ya watoto wake wajao.
    Kuna vtu kibao vya kurusha, nenden mkahoji wasafiri huko kawe kupandishiwa nauli SKU za weekend.!

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 7 หลายเดือนก่อน +12

    Yaani mambo mengine,toka ameanza kujiuza hajapata pesa ya mtaji akafanya biashara?

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 7 หลายเดือนก่อน

      We acha tu

    • @Zuu673
      @Zuu673 7 หลายเดือนก่อน

      Uyu kahaba

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani ujiuze upate mtaji na utoboe maisha hicho kitu hakipo hela zao ni kula kulipia kodi ya nyumba na kuvaa na kuwatumia wazazi ili kuwafurahisha wajue una kazi ya maana kumbe unajiuza

    • @theresiatemba3706
      @theresiatemba3706 7 หลายเดือนก่อน +2

      Anatabasamu vizuri Mungu akukumbuke mdogo wangu 😊

    • @winifridarugayana7312
      @winifridarugayana7312 7 หลายเดือนก่อน

      Anapenda angekuwa hapendi ndo angepambana kuachana nayo kwa pesa anazopata kuprani Nini afanye akili hana​@@agnesjohn9382

  • @KhadijaMpapai
    @KhadijaMpapai 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo muongo, hata umri aliotaja sio! 2014 mpk 2024 anamiaka 10.Jitu zima hilo, limekubuu kwenye ukahaba. Hiyo hela ni bora muwasaidie yatima!!

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 7 หลายเดือนก่อน +5

    Huwa wanatia huruma ivi ivi, ukute keshasaidiwa ila biashara halali inataka subira na hawa mara nyingi wanataka pesa ya haraka haraka hawana subira, umalaya ni addiction mbaya zaidi. Mungu kisaidie kizazi kinateketea

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 5 วันที่ผ่านมา

      AaminaYaarabi

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 5 วันที่ผ่านมา

      Elfu Amsini tiketi yaMoton Allah Atusitiri woote yaarabi tamaambaya yahn nikinunuliwaHataChips nasyo mmewangu naziogopa hatakuzila nahisi kama nakula uchafu

  • @medicalamon908
    @medicalamon908 6 หลายเดือนก่อน

    Biashara unayoifanya haifurahishi hata kidogo wewe uko na furaha kabisa.VERY SAD. Dada tafuta njia nyingine. HUKO mmh!

  • @mtudidaniel9585
    @mtudidaniel9585 7 หลายเดือนก่อน +12

    Nimependa confidence yake. Akisaidiwa naweza kuwa mtu mkubwa Sana.

    • @adammwakalonge3573
      @adammwakalonge3573 7 หลายเดือนก่อน

      sio confidence ni ujinga alionao kichwani hajui hata anachokiongea, hiyo ni tabia tuun angekuwa wa kuacha mtaji wa mama ntilie alikuwa kashaupata kwama kwa siki elfu hamsini

    • @winifridarugayana7312
      @winifridarugayana7312 7 หลายเดือนก่อน

      Yes ni ujinga angekuwa anajitambua angejifunika uso, na Kama anasema anapata sh elfu 50 kwa siku anshindwaje kupata mtaji Kama watu wanaanza na mtaji wa sh elfu 10?

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@winifridarugayana7312elfu 50 kwa siku na anasema ni hela ya kula hamna mafanikio yoyote

  • @jameskamau2496
    @jameskamau2496 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ripota,usilete maoni na mtazamo wako wa maisha kwa wengine. Be subjective .

  • @hawamaulidi787
    @hawamaulidi787 7 หลายเดือนก่อน +17

    Pole sana mdogo wangu tfuta kazi nyingine sna zakufanya

  • @jumanneshego3308
    @jumanneshego3308 7 หลายเดือนก่อน +22

    tamaa ndiyo inachokuponza siyo maisha chura uyu

  • @Tynamnyilis9824
    @Tynamnyilis9824 หลายเดือนก่อน

    Mwenye tabia yake hawez kuacha.....we mtu ameshazoea kichwa kimoja efu 50 jmn ata biashara ya kuingiza efu kumi ataiona ni ndogo hafai kbs kahaba hiliiii

  • @jescadeogratias5292
    @jescadeogratias5292 7 หลายเดือนก่อน +27

    Nímesikia uchungu.Hata ukimuangalia,usoni analazimisha furaha,lakin ndani ana maumivu makali.Mungu amuinulie mtu wa msaada

    • @araphahussein2739
      @araphahussein2739 7 หลายเดือนก่อน

      Kumbe na ww umeona jicho la tatu dear kuna watu wanamaisha magumu acha lakn mtu awez muelewa

    • @sarahkinyashi6213
      @sarahkinyashi6213 หลายเดือนก่อน

      Kweli aisee😭😭😭🙏🙏🙏🙏

    • @mwajabually5321
      @mwajabually5321 11 วันที่ผ่านมา

      sana anaonekana tu hapend kujiuza ila bas tu

  • @TatuHamidu-c2i
    @TatuHamidu-c2i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuu njoo kwangu ntakupa kazi ntakulipa elf 7000kwa siku utakula bure utalala bure

  • @luciajohn7985
    @luciajohn7985 3 หลายเดือนก่อน +7

    Aseee kwa kiasi furani nimesoma hisia zake, hilo tabasamu limeficha vitu vingi sana

  • @piusbaruhuwundi8987
    @piusbaruhuwundi8987 7 หลายเดือนก่อน

    Mpaka mnaweka mtandaoni content kama hii mmeomba ruhusa yake? Katika maelezo yake hataki kaka yake ajue kama anajiuza, hataka mume mtarajiwa aje ajue. Kwa kuweka content hii public mnadhani mnafanya haki na mnaruhusa ya kufanya hivyo??? Hata akipata wa msaada tayari mmeshamharibia future maana hii ni abuse kabisa

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 7 หลายเดือนก่อน +6

    Sio ya kuchekerea hi kaz jmn maradhi ni mengi uyu sawa na mtto wangu miaka yake ndio mtto wangu jmn allah awaongoze watto wetu na hatujarie mwisho mwema

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 6 หลายเดือนก่อน

      Hatari

  • @AllejayOmarysereman
    @AllejayOmarysereman 4 วันที่ผ่านมา +1

    Alle jay

  • @samwellempuruk
    @samwellempuruk 6 หลายเดือนก่อน +15

    Pole sana dada Mungu atakusaidia utoke Hapo from Kenya

  • @jamesmwanyika4326
    @jamesmwanyika4326 6 หลายเดือนก่อน

    Kama umefanya kazi miezi 6 na kichwa kimoja 50k na hujawahi kukosa kichwa leo tuh labda mida ya saa tisa utaokoa na huna hyo 1 m kwenye akiba zako. Huyu hata ukipewa mtaji ataweza kusave kweli?

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kitu pekee nilichopenda huyu dada ni mchangamfu halafu mkweli sana. Mungu amsaidie dah

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nimempenda kwa confidence na uwazi alionao huyu huko mbele atatoka na ataishi vizuri. Kwanza ni mzuri kiukweli.

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ukaona uchumi unao ngoja niendeviwanja acha hiyo sio kazi bola ubebe mboga uzee

  • @MickJulius-sk6qe
    @MickJulius-sk6qe 4 หลายเดือนก่อน

    Ila tuache unafiki comment nyingi za kutaka kumsaidia za uongo nyie wenyewe mnahitaji msaada na kama mnataka kusaidia nendeni msimbazi kuna walemavu wapo pale😂