Bora kujaribu ukashindwa kuliko kutojaribu kabisa. Mwanzo wake unaelekea kushindwa. Ametumia njia ndefu sana. Akijitahid atafikia lengo lake. Inshaallah.
Nimependa uthubutu wa kijana wetu ila kuna kitu watu tunakikosa hasa tunapofikilia kutengeneza ndege. Tunapo ongelea ndege tunaongelea kuweza kucontrol mawimbi pamoja na uzito wa chombo chenyewe kuelea angani yani law of axis. Hizi ndizo principal zinazo govern ndege kuruka. Kutengeneza umbo LA ndege LA nje sio mafanikio kutengeneza ndege, tukiwekeza nguvu kwenye kutengeneza ndege inaho fuata law of axis tutakuwa tumefanikiwa sana.
kinacho endelea mioyoni mwa watu wengi ni ukimya;tena ukimya wa uzuni.hamu ya kutaka kusikia japo neno moja hamu ya kua nawe japo siku moja;hamu ya kuona japo tabasamu moja na hamu ya uwepo wako japo mara moja;hakika hatuna jibu ni kwanini umeiacha hii dunia mapema hivi,tena kwa wakati ambao wengi hawakujiandaa kukuambia na kukuaga kwa neno kwaheri;lakini taratibu tena kwa hakika tunaanza kukumbuka si habari ya kifo chako tuu;bali pia habari ya maisha uliyoyaishi.Na kizuri zaidi,stori za maisha yako hutupatia kumbukumbu nzuuuri ambazo hakika si rahisi kuzisahau.MZEE MENGI PUMZIKA AMANI.
Hongera sana kijana umethibitisha ule usemi wa Elimu sio cheti bali ni Uwezo! lkn pia pole sana maana Tanzania hakuna utaratibu wa kuendeleza vipaji ila ikatokea umefanikiwa/umetoboa utawaona watawala wakiminika eapoti na maua kukupokea, na utasifiwa kwa maneno lukuki!...............................hivi yule kijana mbunifu wa Songwe aliishia wapi?.
Hongera kwa kipaji lakini usijidanganye wala kudanganya wengine kurusha ndege ni sayansi lazima usome ili ufanye kitu cha uhakika coz ni usafiri hatari hauhitaji kubahatisha Unastshili support kwa sababu unapenda na umejaribu
Alikiba in blood anataka injini ya pikipiki yenye plopera tena cckubwa kwa iman yangu inawezekana maana mimi mwenyewe ni mtaaram ya ayo mambo kingine chakuongezea iyo panga ya juu ni nyepesi sana inaweza kichomoka kama ikiwezekan kuruka ivyoo tu
Anaruka kaka itategemeana na mtengenezaji ametengenezaje hapo tu ndio shida, maana wapo wanaofauru kudizin bodi la nje lakini matekeo ya utendaji kazi wake wanakwama.
yn uyu angekuwa ulaya daah kwanza angethaminika nakuendelea kupewa kipaumbele ila kwakiwa ni tz bx atapuudhia na kudharaulika na ndomana tz inaweza tokea mtu anakipaji lakini kipaji kikapotea ivi,ivi
Usi cheze na Tz kuna vijana wenye uwezo lakin utawala una pewa madaraka katika inch ya tz una tuzingua vijana na shaur wana siasa .waache sifa za kusifia chama vijana tuna wajibika alafu wazee wa vyama wana tunyonya wana tupa ujira mdogo Sana kwenye ajira zao serikalin ......kila siku ni misifa tu.
Hili haliwezi likapaa maana hajaelewa misingi ya aeronautics. Panga sio panga tu, sharti liwe na shepu fulani liweze kuti pressure tofauti juu na chini. Vijana kama hawa wanafaa wachukuliwe kwenye shule za taaluma za ufundi maana wana interest na bidii ya mchwa.
shafti inayozungusha propera ya helcopter lazima iwe ni chuma iliyochanganywa na almasi ,bila hiyo itaruka lakini haitahimili its lets Atari, chungulia kwenye u tube andika hivi how helcopter fly utajionea mwenyewe
Hv kwanini watu kama hawajawawezeshwi tunakalia kusoma physics theory na kufanya mitihani kwa vitu vilivyopita ma huku kuna watu wenye vipaji kama hawa
I would love to get an update on this guy’s progress. What a BRILLIANT MIND. I’d love to get in touch.
Hongera sana kijana Mungu akutangulie sana ufanikiwe zaidi na marengo yako yatimiee 🙏🏾🙏🏾🙏🏾💕😍💕🥰
Bora kujaribu ukashindwa kuliko kutojaribu kabisa. Mwanzo wake unaelekea kushindwa. Ametumia njia ndefu sana. Akijitahid atafikia lengo lake. Inshaallah.
Nimependa uthubutu wa kijana wetu ila kuna kitu watu tunakikosa hasa tunapofikilia kutengeneza ndege. Tunapo ongelea ndege tunaongelea kuweza kucontrol mawimbi pamoja na uzito wa chombo chenyewe kuelea angani yani law of axis. Hizi ndizo principal zinazo govern ndege kuruka. Kutengeneza umbo LA ndege LA nje sio mafanikio kutengeneza ndege, tukiwekeza nguvu kwenye kutengeneza ndege inaho fuata law of axis tutakuwa tumefanikiwa sana.
Vipaji kama hivi vinapatikana katika taifa maskini kifikra. Siasa chafu. Daaah God bless
kinacho endelea mioyoni mwa watu wengi ni ukimya;tena ukimya wa uzuni.hamu ya kutaka kusikia japo neno moja hamu ya kua nawe japo siku moja;hamu ya kuona japo tabasamu moja na hamu ya uwepo wako japo mara moja;hakika hatuna jibu ni kwanini umeiacha hii dunia mapema hivi,tena kwa wakati ambao wengi hawakujiandaa kukuambia na kukuaga kwa neno kwaheri;lakini taratibu tena kwa hakika tunaanza kukumbuka si habari ya kifo chako tuu;bali pia habari ya maisha uliyoyaishi.Na kizuri zaidi,stori za maisha yako hutupatia kumbukumbu nzuuuri ambazo hakika si rahisi kuzisahau.MZEE MENGI PUMZIKA AMANI.
Woooow!! Mtu mwenye kipaji kama hicho ndio wana hitaji msaada sio mnatuletea habari za wasenge tu wapelekeni jela waka wasaidie wafungwa
Kama Umemuona madenge mtukutu...... gonga like hpo chin
Hapo kweli umenena
Hatari Sana angekua ulayau bc angepata bonge ya shavu yani wangemwendeleza na sisi tungekua na kiwanda cha kutengeza ndege👏👏👏
kasida
Mashallah, uyu kijana anakipaji sana.
Mungu azidi kukupa ufahamu tz Sasa inakuja juu yapasa serikali uchukue vijana kama kuwaendeleza sio mpka kitu kitoke Kwa mzungu wtz tunaweza
Hongera sana muone waziri Majaliwa ataweza kukupa sapoti
Good yummy
Safi sana rais msaidia hivi ndio viwanda vyetu
Watanzania na waafrika kwa ujumla tusidharau shule. Huyu kijana asomeshwe kwanza ili kipaji chake kizae matunda. Shule kwanza !
Huyu kijana serikali ikimsaidia kumsomesha na kumuendeleza kipaji chake kuwa engineer wa Ndege tutakuwa tumepata hazina nzuri kwenye nchi yetu.
Kutengeneza ndege sio kazi kazi ni kuiwezesha ipae juu
Jmn wenye uwezo ambao mungu kawajalia heb wasaidien ao vjana daaah ninge kuwa na uwezo wa kifedha ningewatafuta watu kama awa
Mungu amuongoze kajitahidi sanaa
Hongera sana mungu atakuinua inshaallah
Mwenyez MUNGU amzidishie ubunifu mkubwa zaidi
How can I did?
Hongera sana kijana umethibitisha ule usemi wa Elimu sio cheti bali ni Uwezo! lkn pia pole sana maana Tanzania hakuna utaratibu wa kuendeleza vipaji ila ikatokea umefanikiwa/umetoboa utawaona watawala wakiminika eapoti na maua kukupokea, na utasifiwa kwa maneno lukuki!...............................hivi yule kijana mbunifu wa Songwe aliishia wapi?.
Serikali yetu aiangalii vipaji hata sisi tungekuwa mbali kimaendeleo 😢😢
Inchi za wenzetu kipaj kingeendelezwa lakin kwetu tz ni siasa za ovyo mpaka misibani
Hongera kwa kipaji lakini usijidanganye wala kudanganya wengine kurusha ndege ni sayansi lazima usome ili ufanye kitu cha uhakika coz ni usafiri hatari hauhitaji kubahatisha
Unastshili support kwa sababu unapenda na umejaribu
Hongera fahari yet kijana
kaza mwana ipo siku utatusua Mungu sio Asuman
Hawa kwenye vipaji wakusanywe watengewe sehem marum
Hivi viongozi wa sanaa wako wapiii hawaonii au
Atakamatwa na kuswekwa ndani huyo! Sheria zetu nazijua mwenyewe😅😅
Kiroboto nzuusi hahahaaa
Safi sana domi piga kaza
Hongera kijana
MTU kam huyu angekuwa ulay angekuwa mtu mmoj mzul
Tatizo serikali haiwapi support kuendeleza ubunifu wao
imesemwa kuwa ukifanya kitu kwa kutumia kipaji chako utatengeneza pesa nyingi zaidi ya kufanya kile unachosoma
I like the innovation
Hyo ndege haiwez kupaa
msifanye masihara na injini ya ndege jaman huwez tumia vifaa vya pikipiki na magari kuunda ndege na ukategemea iruke
Alikiba in blood anataka injini ya pikipiki yenye plopera tena cckubwa
kwa iman yangu inawezekana maana mimi mwenyewe ni
mtaaram ya ayo mambo kingine chakuongezea iyo panga ya juu ni nyepesi sana inaweza kichomoka kama ikiwezekan kuruka ivyoo tu
Anaruka kaka itategemeana na mtengenezaji ametengenezaje hapo tu ndio shida,
maana wapo wanaofauru kudizin bodi la nje lakini matekeo ya utendaji kazi wake wanakwama.
safi sana tunakimbilia siasa jamani
daaaah good idea
Hiii bungu kibiti iraa safiii Sana kijana
Mtu muhm kama huyu hapewi promo. ..eti promo anapewa piere tena kwaajil ya ulevi wake. .loooh. ..ndo maana makonda alimaind ile cku.....
chars samwel kila mtu Ana nafasi yake ya kufanikiwa acha wivu Kaka. We unamsikiliza zero brain
chars samwel msikariri maisha na formula ya kufanikiwa ww na huyo makonda wako maboya wote
Hongera
Hongera sana kijana,serikali nadhani wamekuona
Serikali inawekeza kwa wasomi, wanaishia kutuibia tu wananchi na kutoka vitambi..! Ebu tubadilike Wa Afrika
noma sana kijan
mungu akubariki kaka
Ongera Sana mungu akuongoze
not for this country, watakupoteza mda c mrefu
HAHAHA
Haya tena wenye mapikipiki makubwa mmesikia huyo kijana basi chungeni mapikipiki yenu jamaa anataka injini huyo
anazungua ilo niumbo la ndege suo ndeg
Big up sana dogo wangu
usijali kaka Bongo wakizinguwa siku hizi maskolaship kibao ulichokifanya tuhapo tosha ila ndo hawachelewi kukubadilisha uraiya
woooooh nice jamani pia hongera
Talented boy
duuh saaf saana
watu wajuzi wapo lakin promo anapewa mtu kama pierre mlevi duh Tz bado sana
Silver Richard tulia ww kama unaweza na ww toka ki vyako acha wivu
Duuuuuuh safi sana
uyo dalasa la saba kwel mbaba huyo sema safi 2
Yani kaishia la saba
Elewa kiswahili sio anasoma darasa la saba ila ameishia darasa LA saba
Huyu mpelekeni hata ufundi body wa ndege tu..pelekeni Jkt
waafrica tuacheni huu ujinga jameni. shule kwanza !!hapa hamna helicopter tusidanganyane !!!!
yn uyu angekuwa ulaya daah kwanza angethaminika nakuendelea kupewa kipaumbele ila kwakiwa ni tz bx atapuudhia na kudharaulika na ndomana tz inaweza tokea mtu anakipaji lakini kipaji kikapotea ivi,ivi
huyu jamaa ni nomaa sana
hapo uko vizuri
Haya wale wa kuunda helcopt kule chuo cha science vipi isharuk mwezenu std 7 tuu anakalibia kuirusha ya kwake na ishatolewa nje 😀😀😀🤣🤣🤣
Mashallah
tangu mmeanza kutengeneza haya mandege mbona hayarukiiiiiii, mimi huku ninalo trekta linavuna karanga lakini halitembei njooni
GOMBA TV
Duh hamna kitu hapo
Usi cheze na Tz kuna vijana wenye uwezo lakin utawala una pewa madaraka katika inch ya tz una tuzingua vijana na shaur wana siasa .waache sifa za kusifia chama vijana tuna wajibika alafu wazee wa vyama wana tunyonya wana tupa ujira mdogo Sana kwenye ajira zao serikalin ......kila siku ni misifa tu.
sawa ameunda, je atakaetoa kibali chakuirusha angani yupo? au niurembo tu.
Hapo sasa ndo shda inaanzia
Watu kama awa walikua wapangiwe fungu lao kwa aji ya maendeleo ya baadae Co fungu wanapangiwa kina ndugai kutibiwa India mamilion ya pesa Africa bhana
Hapo tatizo niku zariwa tanzania alafu ukawana kipaji
Aswaaaaaaa🙄🙄
Kijana yupo vizuri, swala lakuruka ni lingine acheni unafki na wivu bana, mshaanza mambo yenu, nyie hata hiyo mmeiwezaaaa
Angeenda bungeni badala ya piere liguid
Yani tayari Tutakua tuna ndege ngapi sasa
lnshallha utafikia tu
Hili haliwezi likapaa maana hajaelewa misingi ya aeronautics. Panga sio panga tu, sharti liwe na shepu fulani liweze kuti pressure tofauti juu na chini. Vijana kama hawa wanafaa wachukuliwe kwenye shule za taaluma za ufundi maana wana interest na bidii ya mchwa.
Hahhahaaha tz Hamna kituu,,wanaongea sanaa
Tanzania vipaji vingi ila serikali yatu sijuh haion haya yan huwa inatuumiza sana watu kama hawa wanakuja kupotea sababu ya poor management an
Mwambieni aionyeshe inapaa BP sio alete maneno anatamaa sana huyu
Yaani kuna watu wengine wapo kwa ajili ga kukatisha watu tamaa tu, tubadilike.
K
Nimecheka hadi baas yaaani hamna kitu hapa, msekule tuu
Sawa mzee baba
Dah!! Mungu akuongezee Akali ufike Mbali na kipaji chako hicho..
Huyu ni la 7 tuu lkn wanaojiita wasomi hata njiti za kiberit hawajui
ila wa tz mnakatisha tamaa sana juzi tu nimechimba bahari tukaifanya choo ila sijataka kuwambia make mnakejeri
Kwa Tanzania wangewaangalia awa vijana wana kitu ndani yake
shafti inayozungusha propera ya helcopter lazima iwe ni chuma iliyochanganywa na almasi ,bila hiyo itaruka lakini haitahimili its lets Atari, chungulia kwenye u tube andika hivi how helcopter fly utajionea mwenyewe
daaah huyu noma
Prince hance Sam
Apo ndipo unapojua umuhimu wa ulaya na afrika
mfadhili akasome FANI aipendayo
Hv kwanini watu kama hawajawawezeshwi tunakalia kusoma physics theory na kufanya mitihani kwa vitu vilivyopita ma huku kuna watu wenye vipaji kama hawa
ubarikiweeeeee sanaaaa kjanaaaaa
saruti babu mungu ata kusaidia
hongera
MUNGU BABA ndani ya taifa lake takatifu anaonekana na anazidi kufuta aibu ya umaskini na hatma tuliyokuwa tumepewa ya kuonekana tuko bara la giza
🤝🤝
Yupo vizur
Wew Dada fala maik uwa MTU unavyo muoj unampa sjielez vzl sasa ona mpaka unaboa
Alitaka aonekane
Nimegundua una dream kubwa lakini mazingiRa sio rafiki sema komaaa tu
inaruka kweli au nibox tu linalo fanana na ndege? maana nimekuwa nikisikia habari kama hizo
ukitaka iruke tengeneza yakwako bege wewe
@@abdullymussa6418 😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁
kwa Tz hata uya fanye mavi kua chakula hakuna kitu
Japhet Leonard hilo box wwet huwez kutengenezatu
Naomba mnisaidie mawasiliano ya huyu kijana naombeni plz
Tengezeni na mabomu hee