MSWAHILI: ATENGENEZA GARI KWA KUTUMIA INJINI YA PIKIPIKI / INAKIMBIA SPEED 120 KWA SAA / WATU WAWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • MSWAHILI: ATENGENEZA GARI KWA KUTUMIA INJINI YA PIKIPIKI / INAKIMBIA SPEED km 120 KWA SAA / WATU WAWILI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 628

  • @ruthwatson3057
    @ruthwatson3057 2 ปีที่แล้ว +21

    Mungu amjalie kaka yetu kwa kujitahindi. Milango yake ya bahati ifunguke na aweze kuendelea na sifa mzuri na mafanikio ya nduniani isimpite hata kidogo. Hongera sana mdogo wetu🙏🙏

  • @trio12gito
    @trio12gito 2 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri kijana. Serikali iwasaidie vijana kama hawa katika kujiendeleza katika ubunifu.

  • @ayshaaisha7630
    @ayshaaisha7630 2 ปีที่แล้ว +5

    Maishallaha mtaji wamasikini ninguvu yake mwenyewe allah azidi kuwatia nguvu papanene tutafika

  • @djddjd2726
    @djddjd2726 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow that's nice keep it Mungu azidi kukuongezea hicho kibali

  • @mahmoudmeja2469
    @mahmoudmeja2469 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana kwake hivi ndo vitu tunavyovitaka Tanzania…. Investors muiangalie hii kwa hicho pana saaaanaa jamaa anajua kinachotakiwa hapo ni support sasa….

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 2 ปีที่แล้ว +5

    Duh safi sana n hongera sana kijana wa kiafrika kufanya ubunifu mkubwa namna hii🇹🇿😘

  • @saidathuman2998
    @saidathuman2998 2 ปีที่แล้ว +12

    Safi sana mzee kwa ubunifu mkubwa. Big Up

  • @mnyampaamnyampaa5780
    @mnyampaamnyampaa5780 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana mzee Zembwela. Nadhani hii clip ingewafikia viongozi

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah, hongera sana mdogo wangu kwa kazi nzuri

  • @officialmadylove4418
    @officialmadylove4418 2 ปีที่แล้ว +17

    Safi sana kwa ubunifu

  • @joelchomete2372
    @joelchomete2372 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu alinde African huu mtanzania ni Bora na miongoni mwa wakwanza ktk greatest artist

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 2 ปีที่แล้ว +2

    Namufurahikiya saaana mashaaallah mungu amubariki

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 2 ปีที่แล้ว +22

    Ongera Sana kwa ubunifu, endelea na fuata mawazo ili ufanye Jambo kubwa zaidi ya hilo

  • @azizally5283
    @azizally5283 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kijana mwenzetu ushauri uliopewa ufanyie kazi tengeneza kikubwa zaidi

  • @laurentjoseph5646
    @laurentjoseph5646 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa Sana hiyo gari, Wa TZ oyeeeeeee! Kumbe tunaweza bana nakubali wazee

  • @Khadija-qr4cr
    @Khadija-qr4cr 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana mmejitahidi sana na nzuri sana

  • @matimati7013
    @matimati7013 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji fala Sana Ana choyo Sana na kuhusudu na kudharau.
    Hafai hata kuwepo kwenye screen mjinga. Aende akadome.
    Mpe moyo, msifu mpe matumaini.
    Kaka Safi Sana jitahidi kuwa creative mungu akuongoze ufanye makubwa.

  • @benedictkihombo348
    @benedictkihombo348 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sana jamani Vijana kwa ubunifu wenu mzuri,,, Serikali iwaangalie kwa jicho la tatu iwawezeshe.

  • @abdallahmzee4335
    @abdallahmzee4335 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana umeifanya ila ushauri uliopewa na mzee mbwela n mzuri sana kiongeze kiwe na space ya kutosha kitakuwa kitam sana

  • @evelyneproduction7343
    @evelyneproduction7343 2 ปีที่แล้ว +2

    So talented, Mungu akusaidie sana ufika viwango vya juu

  • @juliusmayala5770
    @juliusmayala5770 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapo vizuri tatizo mtaji

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 ปีที่แล้ว +34

    Ubunifu wa hali ya juu sana 🙌🇶🇦

  • @ommythebestotb4383
    @ommythebestotb4383 2 ปีที่แล้ว +1

    Shida turiyonayo katika taifa letu_hatutakikabisa kuwapa_sapota VIJANA wabunifu. Kijana hongera!!! Mm nikushauri ukomae zaid acha kutegemea saaaana serikal. Hongera sana

  • @irenejoseph5925
    @irenejoseph5925 2 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana

  • @edwardmyinga3030
    @edwardmyinga3030 2 ปีที่แล้ว +16

    Hongera sana Godfrey,ww nimekuvulia kofia,maana nifundi mzuri sana wa magari, now umeunda chako,Hongera sana

    • @kayalaonlinetv
      @kayalaonlinetv 2 ปีที่แล้ว

      Yuko sehemu gani uyu mwamba

    • @godifrey5268
      @godifrey5268 2 ปีที่แล้ว +1

      Asante

    • @j.a.c.o.4429
      @j.a.c.o.4429 2 ปีที่แล้ว

      @@godifrey5268 mwanang saanaa unapatikana wapiii naomba namba yako

  • @PelnesWilbard
    @PelnesWilbard ปีที่แล้ว +1

    Yes vizuri sana

  • @jomba6514
    @jomba6514 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awasimamie mfike mbali ila mtangazaji kweli mswahili khaaa

  • @gladwelltailor
    @gladwelltailor 2 ปีที่แล้ว +19

    Well done Tz for Africa keep going with engineering 🇰🇪🇬🇧✍🏽📖🙏🏽

    • @sabunitv2121
      @sabunitv2121 2 ปีที่แล้ว +1

      Saf San shida hawatamuona dah

    • @gladwelltailor
      @gladwelltailor 2 ปีที่แล้ว

      @@sabunitv2121 write to samba suruhu might be a solutioin to exposing tz to the world 📖🛐🙏🏽

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda.hongera sana fundi.pia bwana zebwera umenifurahisha sana umempaisha Jamaal mtanzania.nipe tano

  • @stewartomary8922
    @stewartomary8922 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ww kabali Yao babu,chuma big up brother 🙌 umetisha sana hapo kwenye gearbox mzee

  • @hendrykessy2007
    @hendrykessy2007 2 ปีที่แล้ว +5

    Ubunifu mkubwa sana kijana mwenzangu Mungu ajalie upate watu wakukuwezadha upige atua kubwa zaidi dunia ikutambue kwa ubunifu wako

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwake kazi nzuri sana

  • @charleswaraka821
    @charleswaraka821 2 ปีที่แล้ว +4

    Acha ufala we mtangazaji sasa unawakosoa hao jamaa unajikuta fundi kumbe msenge acha dharau, Hongera sana hao jamaa

  • @cyprianerick5980
    @cyprianerick5980 2 ปีที่แล้ว +12

    Jaman awezeshwe anaweza naomba serikali imuendeleze ndo mambo yanavyo anza mapa kufikia kitengeneza magar yetu

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 ปีที่แล้ว +8

    Nimeipenda San hiyo ni kitu kikubwa San hiko watu kam hawa wangetusaidia kutengeneza nagari yetu wenyewe wapo wengi sana kama hawa

  • @fredkakamilion5497
    @fredkakamilion5497 2 ปีที่แล้ว +9

    Very talented, congratulations brother

  • @jonajimify
    @jonajimify 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana ndugu yangu. Omba kibali kwa serikali uweze kuunda magari kama hayo na kuuza....👍

  • @mamaprince5420
    @mamaprince5420 2 ปีที่แล้ว +11

    Wabongo 2nakuwa wajuaji saaana kuliko mwenye kitu

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 2 ปีที่แล้ว +31

    Sasa hapo zitajitokeza mamlaka za ukaguzi kama mia na zitaleta Giza kwenye Nuru kama yule wa bajaji

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 2 ปีที่แล้ว +11

    Safi Sana,zembwela huyo anaweza kufanya Zaid ya hapo tatizo mfukoni

  • @hojabinafsi1471
    @hojabinafsi1471 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndugu yangu unahoji kuhusu chombo au unaenda kutoa ushauri kwenye chombo cha watu, uliza next model itakuwaje

  • @TheNdaki
    @TheNdaki 2 ปีที่แล้ว +3

    Respect Sana Kaka!

  • @galantsoldier9258
    @galantsoldier9258 2 ปีที่แล้ว +2

    perfect timing to me, thanks bro.

  • @hamicbrighton4746
    @hamicbrighton4746 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe mswahili unasumbua sana
    Yeye katengeneza ya kuendesha mwenyewe halaf una4ce ikufae wewe

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 2 ปีที่แล้ว +14

    Ingekuwa video chafu wangeomba connection but kwa ubunifu huu hawaongei🤭🤭🤭

  • @herielinassary3645
    @herielinassary3645 2 ปีที่แล้ว

    Broo nakupenda sana toka ukiwa East Africa redio wee uko nakipaji toka kwa Allah aki unachekesha sana ataukiwa unabonga

  • @sicac33
    @sicac33 2 ปีที่แล้ว

    Amejitahidi sana! Wange mpa msaada zika zalishwa in mass production then hata wakaanzisha michezo ya hii kama kuleta awareness

  • @januaryskale6130
    @januaryskale6130 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana ongeza bidii maana kipaji unacho

  • @tajirimubishiwaukweli2993
    @tajirimubishiwaukweli2993 2 ปีที่แล้ว

    Big up sana kwa kazi

  • @kozzomix120
    @kozzomix120 2 ปีที่แล้ว +1

    Akakakitu noma sana big up from BURUNDI 🇧🇮

  • @gaspargboy8893
    @gaspargboy8893 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mswahili

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji mjinga sana akuna lamana apo ety simama vizuri
    Angekuwa mimi unsinge nioji ningeondoka zangu

  • @NourdnNourdn-v9q
    @NourdnNourdn-v9q 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaj far kweli siungetengenez wew yaan unamfundish mweny kipaj chak watangazaji wengine siuach kaz iyo bol uwe polisi

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa ametisha sana🇹🇿🔥🔥🔥

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +6

    Ni kama anajikuna upeeleee 😅😅😅
    Lkn ame tisha sana awezeshwe 2
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bakariabdul8377
    @bakariabdul8377 2 ปีที่แล้ว

    Nice job African boy...
    Good one...bei gan kama ukiamua kuuza au kama mtu akitaka umuundie..?
    Saafi sana mwanasimba...Simba wa Tanzania...
    Nchi ikushike mkono baana...

  • @edwinwaluye2161
    @edwinwaluye2161 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kijana anahitaji sana kushangiliwa na kupewa msaada ili akuze kipaji. Inafaa akapeleka ubunifu wake Kitengo cha Ubunifu UDSM - R&D kwani huko anaweza kupata wanataaluma wakaboresha zaidi hapo alipofika.

  • @agnesmpiluka7929
    @agnesmpiluka7929 2 ปีที่แล้ว +3

    Amejitahidi sana serekar imuone kwa jicho la pili

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri bro

  • @salimsaid8757
    @salimsaid8757 2 ปีที่แล้ว +1

    Mswahili ukosawa Kwa upekuzi 👍

  • @emanuelcrispin5721
    @emanuelcrispin5721 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa Yuko vizuri amebuni

  • @damiantz9828
    @damiantz9828 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka unajua

  • @starlightstudios0
    @starlightstudios0 ปีที่แล้ว

    safi sana hii, ubunifu wetu Mtaani

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nampa hongera uyo kijana kwa uvumilivu wa kumsikiliza uyo zembwela maana anaboa ningekua mimi ningemtimua so poa kumvunja moyo badala ya kumtia moyo

    • @YFM-rq9td
      @YFM-rq9td 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli ametumia Lugha za Kejeli sana🤔🤔 yaani

  • @matthewanatory8077
    @matthewanatory8077 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuuh Aise Huyu Jamaa nihatari Sana Nashauli Apewe ulinzi maana wadhung wanatabia mbaya kwa watu wetu Kama Hawa. Fantastic 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️

  • @augustinomsuya5585
    @augustinomsuya5585 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa kipaji ulichonacho

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu mtangazaji msenge sanaaaa

  • @vigorous9112
    @vigorous9112 2 ปีที่แล้ว

    Respect Sana'a kijana

  • @mamarazaki8975
    @mamarazaki8975 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana 💯 kwa ubunifu

  • @shadrackfidel809
    @shadrackfidel809 2 ปีที่แล้ว +6

    Idea ya mbunifu wetu ninzuri sana, ila mtangangazaji wetu dah kidogo kajisahau bana mimi nikihojiwa hivo naweza kujikuta napanic tu

    • @abdul-rahmanahmed2791
      @abdul-rahmanahmed2791 2 ปีที่แล้ว

      Sio mbaya ni muamko wa kumfanya atengeneze kitu Bora zaid

    • @rehemaamry4585
      @rehemaamry4585 2 ปีที่แล้ว

      Badala ya kuonyesha tukio...nae anashangaa

  • @mosesmusopole7032
    @mosesmusopole7032 2 ปีที่แล้ว +19

    Malalamiko mengiiiiii,, sikiliza Kwanza mwenzako ndo Mwanzo wa ubunifu

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 2 ปีที่แล้ว

      Kbs

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 2 ปีที่แล้ว

      Hafai huyo mzee hajui kumtia moyo mtu

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 ปีที่แล้ว

      Mpaka anatia kichefuchefu na huyo jamaa ana moyo sana, me ningemfukuza sababu amejawa na kebei

  • @bittostar3524
    @bittostar3524 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa wafungue kiwanda,wanaweza sana

  • @changanikisesa7021
    @changanikisesa7021 2 ปีที่แล้ว +3

    Wawoo well done brother very creative.

  • @binthatv2794
    @binthatv2794 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana félicitations ila jalibu ukapanue kidogo ili kisha uweke kiyo cambele ili upunguze mupepeyo wambele kaza Kaka umepatiya kabisa🇧🇮 😍

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 ปีที่แล้ว +4

    Honger sana kwa ubunifu broo!👊👊

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 ปีที่แล้ว

    Waswahili baraaaa

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 2 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji ovyoo sanaaa afaih hata kidogo

  • @daboy_255
    @daboy_255 2 ปีที่แล้ว +6

    Sisi tuna ma genius sana sema wazungu wako na wivu sana hawapendi tunachokifanya

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @SheeeMundoo
    @SheeeMundoo 2 หลายเดือนก่อน

    Look so good idea

  • @obrigadoofficial1506
    @obrigadoofficial1506 2 ปีที่แล้ว

    Ni vizuri tuka support vipaji like this 🔥🔥

  • @ikeallaround794
    @ikeallaround794 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni concept ya kile kigari cha lodilofa...wahenga mtakuwa mnanisoma.

  • @vuva_vuvaofficial6209
    @vuva_vuvaofficial6209 2 ปีที่แล้ว

    Kazi safi

  • @eliakimhomanje2719
    @eliakimhomanje2719 5 หลายเดือนก่อน

    Kijana hongela sana ila muandishi wahabari sijampenda mjuaji.

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ubunifu mzuri

  • @benjaminabisemba5331
    @benjaminabisemba5331 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kabisa

  • @ismailkinyoz1617
    @ismailkinyoz1617 2 ปีที่แล้ว

    Ujuaji mwingi zembwela .....unasahau jamaa kajitengenezea yy na vipimo aliweka kwa ajili yake sasa unalazimisha kiwe unavotaka wew.....All in All muhamasishe jmaa mana kajitahidi then weka oda yako akutengeezee unayotaka wew

  • @Movic5806
    @Movic5806 2 ปีที่แล้ว

    Idea nzuri

  • @mughairy6314
    @mughairy6314 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana 🙌🏻 ila uyu mtangazaji nahisi kapiga tungi, ovyo kabisa👎🏼

  • @mussagmasembo2447
    @mussagmasembo2447 2 ปีที่แล้ว

    Keep moving

  • @ramadhanimussa3961
    @ramadhanimussa3961 2 ปีที่แล้ว

    hongera mwana tz mwenzangu yani roho imeniuma sana viongozi wenye dhamana mkoap wanatuzalau sana wenye vpaji mtaani kipaji chenye kuangariwa ni mpiratu jamani huo niutajiri veta mkoapi sido mkoapi kusanyeni vujana kma hao wengi wanaishia mtaanitu mnataka nani ajetusaidie r.i.p jpm ungekuepo saaizi nadhani tusikika sauti zetu

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 ปีที่แล้ว

    Muhusika ya hii Briefing ana uelewa mdogo sn wa kutofautisha maana halisi ya gari na pikipiki na ndiomaana kaweza kuongea kwamba "mtu katengeneza gari kwa kutumia engine ya pikipiki,hiyo siyo gari bado ni pikipiki sababu engine yake ni pikipiki,najua akil yake inajua kwamba kila chombo cha moto chochote kilicho na mataili manne bc ni gari lkn si kweli,mfano trekta siyo gari bali ni machine operate,yale yote makatapila siyo magari ni mashine operete,hivyo tofaut ya gari pikipiki ndege na kadharka ni Engine na siyo kingine

  • @salimaanna6898
    @salimaanna6898 2 ปีที่แล้ว +25

    I love Africa! Total Freedom! No licensing to drive! Thank you God!

    • @ruthwatson3057
      @ruthwatson3057 2 ปีที่แล้ว +9

      What r u talking about no licence to drive in africa? Not from our current africa plus this guy just said he is a driver. Where n how do u think he learned about how a manual transmission works? Vyeti viko mkononi. Of cause there is freedom but that does not mean no licences. Usipoteze watu kwa uongo.

    • @mixinfo6202
      @mixinfo6202 2 ปีที่แล้ว +2

      That's not true.

    • @brownchuze4441
      @brownchuze4441 2 ปีที่แล้ว +2

      Nice one

    • @Bongoviking
      @Bongoviking 2 ปีที่แล้ว +3

      Hahahah lol unazani sisi wanyama?

    • @salimaanna6898
      @salimaanna6898 2 ปีที่แล้ว

      @@ruthwatson3057 You are right, but maybe you didn’t understand my point. Does the driver have a license to drive that invented vehicle? If yes, when will it expire? In the USA that vehicle cannot be on the road. There are procedures to let it be on the road.
      I understand we are on the same page.
      You tell me. Is it true that if you hold a class c driver’s license, you are “legally” allowed to ride a motorcycle or other types of vehicle in Tanzania?
      I LIKE OUR (AFRICAN) LIFE STYLE.
      Elsewhere you must be licensed for different types of vehicles.
      I LOVE MY CONTINENT (Africa)!

  • @francismiho226
    @francismiho226 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda na mm naitaji km hii

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 2 ปีที่แล้ว

    hongereni wamba

  • @chuxdanieldnl9076
    @chuxdanieldnl9076 2 ปีที่แล้ว +5

    Duhhhh uyo jamaa noma Sana najivunia kuwa mswahili

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 6 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @iguchiparkdaacha6882
    @iguchiparkdaacha6882 2 ปีที่แล้ว +2

    High level

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +17

    Sema shida ya waafria hawawekagi maarifa yao anajua thaman ya alivyovitumia t lakin mzungu cost m6 ataweka na maarifa yake M3 wewe unatumia m2 halaf unauza M3.2

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda iyo ya kwanza kumbe tunaweza kutengeneza ferari bongo