Creative, innovative, inventive, talented +critical thinker! Kuna jamaa anabisha kwenye comments tumeona! Kijana sifa zote anazo, la sivyo asingeweza! Wanaomvunja moyo wanafikri kila mtu anaweza! 💪💪🤙🏿hongera saaana, usirudi nyuma hata kidogo, tena ONGEZA!✍️✍️
Natamani hta kulia kwa sauti kubwa ila hakuna wakusikia kweli tanzania uchumi tumeukalia hlafu eti tuko uchumi wa kati kweli wakati wenye uwezo wakazi wamekaa nyumbani
ni mjinga tu anaweza kukomenti huu upuuzi yani wew unahisi hapo anafanya vitu vya kitoto huoni kuwa anakitu kikubwa cha kusaidiwa afike kutengeneza magari na pikipiki kwa haidia hizo alizonazo anaweza kutransiform na kuwa vitu vikubwa
Nakubali spirit yako unajiamini sana Zuberi "lazima ndege itapaa"
Creative, innovative, inventive, talented +critical thinker! Kuna jamaa anabisha kwenye comments tumeona! Kijana sifa zote anazo, la sivyo asingeweza! Wanaomvunja moyo wanafikri kila mtu anaweza! 💪💪🤙🏿hongera saaana, usirudi nyuma hata kidogo, tena ONGEZA!✍️✍️
True!
Go ahead young man!
Mashallah mashallah Allahubariq na akupe uwezo wa kufikia ndoto zako bwamdogo uko na kipaji
Saf sana mungu akubariki na utimize ndoto zako mashaallah nice
Je suis congolais, vraiment je suis très fière de votre créativité. Que Dieu t'offre les désirs de ton coeur.
Hapo kwenye ndege nakushauri nenda Shule kasome
Serkal msaidie uyu kijana.wazungu wakija kumchukua wala msijute iki ni kipaji na azina ktk nchi yetu.msaidieni jamani🙏🙏🙏🙏
Ata hivyo vitoi mdogo wangu unawexa ukatengeneza ukauza
Ulaya ungesomeshwa na ungetengeneza vitu vikibwa Sana tatizo nchi hii siasa Sana
Natamani hta kulia kwa sauti kubwa ila hakuna wakusikia kweli tanzania uchumi tumeukalia hlafu eti tuko uchumi wa kati kweli wakati wenye uwezo wakazi wamekaa nyumbani
Fata utaratibu ili utengeneze mabom tuache kutegemea wazungu na wachina asikutishe mtu kuwa hiyo ni mbaya
Kwan mchina anatutisha kipi badal ya kuwalaumu wamarecan unawalaum wattez😥😥🤔🤔
Safii Sana kijana
Hongera saana zuberi. Natamani siku moja nikuone umeunda kitukikubwa na kumuuzia hata yule anaekuvunja moyo
Kazi nzuri unazofanya lkn watu wasio Gus watakuponda sana et mana niona kwangu
Hongera sana dogo
hikikipaji serikali ingezingatia bc ingeleta faida hp nchin
Tuwape ujuzi zaidi wenda tukatengeza vitu vingi hapa nchini Serikali wapi???
More creative Broe
Serikali iangalie kwa jicho la tatu hawa vijana,huyu angekuwa kwa wenzetu huko ulaya asingekuwa hivyo alivyo
Huyu dogo noma sana.
Bg
Nitafute nikuelekeze itapaa
Huyu dogo n nouma sana
Duh
Level to level en highway
Jamaa mbona unakomaa na vitu vya kitoto
Kila alie juu razima mwanzo alionekana chizi naomba acha dharau
Iki ni kipaji usikichezee.
Vyako vyakikubwa vipo wapi
ni mjinga tu anaweza kukomenti huu upuuzi yani wew unahisi hapo anafanya vitu vya kitoto huoni kuwa anakitu kikubwa cha kusaidiwa afike kutengeneza magari na pikipiki kwa haidia hizo alizonazo anaweza kutransiform na kuwa vitu vikubwa
Yaani hata ingepaa basi!
Naomba nmba ya uyo dogo
DOGO ungana na Masoudi Kipanya,
Tukuze vipaji ivi
Duuuu
👍
Tengeneza basi ulete watoto wetu wachezee
Hhhhhhhhaaaaa 🙌🏻
Anahitaji gia kuzungusha propela kwa ukali zaidi ili iweze kuruka
Yakwako ikowapi
Ipo mkunduni mwako
@@Cheffhood huna hata haya
this man should be taken to military baracks so that he should make out own bombs and mizails
Kama haijapaa umefeli kjna
ndo maana anakwambia bado na anauwakika itapaa mbona upo kama jinga wew alafu majina ya kina mwamedi mnamatatizo gani
Dogo hao wanaosema hvyo wajinga cz,ww umeweza, hiko kidogo , je wao wauize waliwahi kuvifanya hata hvyo vitu vidogo❓