ALIETENGENEZA HELIKOPTA YAKE, AMEBUNI GEREJI INAYOTEMBEA NCHI MBILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @begaca
    @begaca 5 ปีที่แล้ว +18

    Kama Unawakubali WATANZANIA KWA MAAJABU GONGA LIKE KWA SANA

  • @charlesowuor7939
    @charlesowuor7939 5 ปีที่แล้ว +10

    Serikali serikali jamani huyu jamaa afunguliwe Chuo azalishe mainjinia huyu jamaa ni mtaji mkubwa kama serikali watamsimamia aise wonderful

  • @furahiakamwela8136
    @furahiakamwela8136 5 ปีที่แล้ว +4

    umetixha mzee kiujumla nakukubali kinyama Furahia boy pande za Tunduma boda

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 5 ปีที่แล้ว +1

    Kawaida kwa kijana mpambanaji kama wewe lazma maneno yakijinga hayakosekani lkn ushauri wangu mimi pia kama kijana kwanza hongera na pia endelea kuwa mbunifu Mungu akuongoze ufanye makubwa zaidi ushauru mzuri kamaunauwezo nao ufanyie kazi majungu fanya kama umeambiwa na katoto kamiaka 4 ntakupiga yani puuza mana kkupiga hwezi fanya yamaana mpaka wakose lakusema God is good all the best broo!

    • @immanmapumba5461
      @immanmapumba5461 3 ปีที่แล้ว

      Watanzania tunaweza tutiane moyo vipaji vipo singer one gong like bas

  • @richardphilipo312
    @richardphilipo312 5 ปีที่แล้ว +1

    #bora uwe kivyakovyako tu...... kuitegemea serikali utakufa masikini.... weka lk hpo

  • @zephaniahkinuno7473
    @zephaniahkinuno7473 5 ปีที่แล้ว +1

    Wataalam wa mambo ya anga hawakutenda haki kwa huyu jamaa, huwezi fanikiwa bila majaribio, wabunifu afrika wapo but kubanwa ni kwingi sana, kwa style hii bongo tutabaki kushabikia technology ya wazungu huku ya kwetu tukiiua wenyewe!!

  • @mansakan9719
    @mansakan9719 11 หลายเดือนก่อน

    Big up Engineer 👏👏

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 8 หลายเดือนก่อน

    TANZANIA YA KIMENDE SANA HII, MI NAWEZA KUTENGENEZA PENSELI LAKN SITAK NITAAMBIWA HAINA UBORA

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 ปีที่แล้ว +5

    Jamaaa konki konki konki FUNDIIII

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow 😮 big up bro

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +1

    kiukweli jamaa anaiwezo awezeshwe tu maana serilkali hii inaangaliaga tu makosa ya wa2 lakin vipaj hawavionagi😭

  • @saimonmgeta5239
    @saimonmgeta5239 5 ปีที่แล้ว

    Du! kaka Mimi pia ni fundi magari motor vehicle machanic kumbe tunaweza kuunda hata bombardier
    Hebu nipe mawasiliano yako ili tufanye jambo

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

    Maashallah maashallah kaka

  • @hellenamasinjisa5448
    @hellenamasinjisa5448 3 ปีที่แล้ว

    Du nimefrahi Sana Tanzania tunaweza ndio maana wanatupiga Vita watu weupe

  • @hashimumtamike3607
    @hashimumtamike3607 5 ปีที่แล้ว

    Dah mkuu umetisha Sana hongela Sana

  • @kuryan_tv5726
    @kuryan_tv5726 5 ปีที่แล้ว

    mobile garage genius idea

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 5 ปีที่แล้ว

    ukiskia pambana na hali yako ndio hiyo usitegemee at maisha bora hapana

  • @2003silla
    @2003silla 5 ปีที่แล้ว +1

    kwer huyu jamaaa ni engineer

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว

    Hongerasana pia serikali jamani imuone huyu baba ili vijana wengi wakajifunze wapate ajira

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @jaycee9067
    @jaycee9067 5 ปีที่แล้ว

    Genius.

  • @mafiatyty804
    @mafiatyty804 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa ametisha

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 ปีที่แล้ว

    sikuzote nchi masikini hua wanatokea wabunifu wazuri

  • @claudbony9672
    @claudbony9672 5 ปีที่แล้ว

    We ni noma

  • @amosimwiko6440
    @amosimwiko6440 5 ปีที่แล้ว

    hongera San mr

  • @raphaelsanga6523
    @raphaelsanga6523 5 ปีที่แล้ว

    Safi Adam garage inayotembea

  • @ramadhanseif4564
    @ramadhanseif4564 5 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana fundi

  • @edrickniwamanya439
    @edrickniwamanya439 5 ปีที่แล้ว

    Wanatufaha sana watu kama hawa

  • @kachawakikazi1217
    @kachawakikazi1217 5 ปีที่แล้ว

    uyu konk konk konk fundi sijafaamu ni kabila gani ila naamini kama angekua ni mchaga basi ange andaliwa tuzo yyt tu maana wachaga kwa kupenda tuzo ni bayaa😂😂😂😂😂😂

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

    Ubunifu mzuri!

  • @shindanopapaya2084
    @shindanopapaya2084 5 ปีที่แล้ว

    Hili jamaa jinga sana amka amka kaka hii ni awamu ya 5 nakushangaa sana yaani kama unaishi msituni tafuta number za viongozi wa juu kama vile JPM, Waziri mkuu Makamu wa rais mama samiya na hata wakuu wa mikoa achana na hao watu wa mitandao ya kijamii hawana mchango wa maana kwako au fanya juu chini uwasiliane na JWTZ hawatupagi vipaji kama hivyo lazima watakuendeleza zaidi.

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 5 ปีที่แล้ว +1

    Kawaida kwa kijana mpambanaji kama wewe lazma maneno yakijinga hayakosekani lkn ushauri wangu mimi pia kama kijana kwanza hongera na pia endelea kuwa mbunifu Mungu akuongoze ufanye makubwa zaidi ushauru mzuri kamaunauwezo nao ufanyie kazi majungu fanya kama umeambiwa na katoto kamiaka 4 ntakupiga yani puuza mana kkupiga hwezi fanya yamaana mpaka wakose lakusema God is good all the best broo!