Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2024
  • Akihutubia wananchi wa jijini Dodoma Leo Aprili 29,2024, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemjibu Mwanasheria Fatma Karume aliyekosoa kauli za Tundu Lissu dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni za kibaguzi wakati akihutubia wananchi wa Babati siku ya Ijumaa, Aprili 26, 2024 ikiwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru.

ความคิดเห็น • 892

  • @ernestkaji9640
    @ernestkaji9640 22 วันที่ผ่านมา +12

    Kwa mara ya kwanza toka nianze kumsikiliza huyu jamaa,Leo nimemuelewa sana

    • @rolencevedasto1009
      @rolencevedasto1009 20 วันที่ผ่านมา

      Nakichwa kizito sana Leo tu

    • @albertmbise2670
      @albertmbise2670 6 วันที่ผ่านมา

      Umechelewa sana kumuelewa

    • @pascaladloph4719
      @pascaladloph4719 4 วันที่ผ่านมา

      Yaani tangu aanze hukuwahi kumwelewa? Basi kijani walikuwa wamekulevya sana

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 23 วันที่ผ่านมา +37

    Lissu huwa unatwambia mambo ambayo yamejificha heko nyingi kwako

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 23 วันที่ผ่านมา +45

    Ndugu Lissu nakuombea sana Mungu akulinde

  • @josaphatkessy530
    @josaphatkessy530 23 วันที่ผ่านมา +55

    Tundu lissu wewe ni zawadi Mungu katupa Watanzania Mungu azidi kumlinda GENIUS

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 22 วันที่ผ่านมา +2

      Hapo amehusisha Tanganyika so zawad ya Tanganyika iyo

    • @user-us4tk2tk3c
      @user-us4tk2tk3c 22 วันที่ผ่านมา +1

      Mwehu tuu huyu. Hana jipya.

    • @user-us4tk2tk3c
      @user-us4tk2tk3c 22 วันที่ผ่านมา +1

      Hakika wewe ni Mbaguzi na siasa zako hazina nia njema kwa Watanzania.

    • @mkude
      @mkude 22 วันที่ผ่านมา +1

      Hahaha huyo lissi bado sanaa mtamkubali wachache kama nyinyi mnataka kugawa watu ili mfaidike kisiasa.

    • @user-dq7gi3li9q
      @user-dq7gi3li9q 22 วันที่ผ่านมา

      Na yule mbunge wa za

  • @user-hu4sd7bg8n
    @user-hu4sd7bg8n 23 วันที่ผ่านมา +49

    Mimi ni mazanzibar lkn hizi nchi ni mbili wasituchanganye hawa. Ccm waweke wazi hizi nchi mbili. Serikali ziwe tatu

    • @Soon815
      @Soon815 22 วันที่ผ่านมา +2

      Huna akili

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 22 วันที่ผ่านมา

      Una miaka mingapi..? maana tusije kupoteza nguvu kumjibu mtoto kwa hoja. Nikupe home work. Nenda katafute, muungano wowote wa nchi mbili wenye serikali tatu. ukiupata utuambie

    • @Skomi-0nedayyes
      @Skomi-0nedayyes 22 วันที่ผ่านมา +1

      Lamuhimu hapo kila mmoja ashike 50 zake atuoni umuhimu wowote wa muungano pia upande wa Tanganyika kwa sasa unaathirika zaidi asa wananchi wake na tangia mzanzibar alipo kaimu kiti cha Marehem Rais Magufuli hoja alizo ongea Lissu zina mashiko makubwa Rai yangu 2025 tusifanye makosa watanganyika tuakikishe raisi ajae ni Mtanganyika acha neni na wapemba ao wanayo Nchi yao jamani watupishe 2025 Tanganyika kwanza

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 22 วันที่ผ่านมา +5

      Mzanzibar lakini una mashamba morogoro Pumbavu. Huu muungano hauna mantiki yoyote kwa watanganyika.

    • @mzarendo.com9624
      @mzarendo.com9624 21 วันที่ผ่านมา

      Hatuutaki muungano sie Watanganyika labda uwe wa serikali tatu.

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 23 วันที่ผ่านมา +19

    Kumbe tuna miaka ya uhuru na tanganyika na miaka 60 ya mungano

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 22 วันที่ผ่านมา

      Uhuru wa Tanganyika ikifika 9 Desemba 2024 na Muungano ilipofika 26 Aprili 2024 ulitimiza miaka 60.

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 23 วันที่ผ่านมา +12

    Mungu akubariki Mr tundu na akuongezeee miaka mingi ya kuishi ktk uso wa dunia

  • @Pemba680
    @Pemba680 21 วันที่ผ่านมา +1

    Najivunia kuwa MZANZIBARI❤❤❤

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hizo ni nchi mbili tofauti, hata kama.jimbo moja kwa kura moja.
    Tundu Lissu.ameona abadilishe gia angani.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa haya namuunga mkono Tundu Lissu. Mtanganyika hawezi kununuwa aridhi Zanzibar, lakini muzanzibari anaweza kununuwa aridhi popote Tanganika

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 23 วันที่ผ่านมา +16

    Kwa hili Tundu lisu umeongea ukweli 100%

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 23 วันที่ผ่านมา +29

    SAHIHI KABISA LISSU UNAYOYASEMA.

  • @user-el1eh6xn6w
    @user-el1eh6xn6w 23 วันที่ผ่านมา +23

    Shida uelewa hasa hawa mabumunda wa ccm Lissu yuko sahihi

  • @user-tw9qc6oe9b
    @user-tw9qc6oe9b 23 วันที่ผ่านมา +7

    Daah lisu nakuelewa ila kwa hili sipo na ww unakosea sana. Piganieni katiba, tumehuru ya uchaguzi nk vikipatikana hivi hayo ya ubaguzi yatakaa kando

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ukitulia na kuichambua kauli zake utamuelewa tu

    • @festussostenes4189
      @festussostenes4189 10 วันที่ผ่านมา +1

      Ungekuwa umemuelewa usingeandika hayo mengine mbele

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 23 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli mfamaji haichi kutapapata. Bado ni mjinga Sana Lissu. Mbona husemi Kama. Mnasema muungano wa nchi mbili Wabunge wawe sawa bungeni. Nyie mko wengi. ?

    • @user-zj4ii6uf7t
      @user-zj4ii6uf7t 22 วันที่ผ่านมา

      Lissu siyo njinga,na siyo mpubavu na siyo mbaguzi,na anacho kisema yuko sahihi kabisa,ila ninyi Viongozi wa roho wa madaraka mliokalia madaraka ndo mnaoziharibu baina za hizi nchi mbili?maana mnamuona Lissu km mwiba kwenu,wakati anawambia ukweli viongozi,na wtz kwa ujumla!!!!mnamuona Lissu km hayuko sahihi maana anawatomaso,lkn mjue kuwa haki haipotei ila inacheleweshwa tu,Kuna siku itakuja kutimilika tu,asanteni,ila viongozi kumbukeni kuwa Mungu yupo,na mbeba maono hafi mpaka yatimiye asanten

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 23 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu nakupenda sana kutoka moyoni hasa maana mungu kakujalia baraka zote. Nawaomba Watanganyika wote tuungane maana lissu katuamsha. Ney wa mitego nae alisha tuamsha kupitia wimbo wake wa Amkeni Wake up TANGANYIKA

  • @mohammedrajab6514
    @mohammedrajab6514 4 วันที่ผ่านมา

    Nilipokuwa TZ 1994 i was told mtu kutoka TZ bara you wanted a visa to visit Zanziber.
    I really wanted to visit zanzibar for holiday niliposikia hivo and me us a foreigner nilidhani ni Country moja so i refused to Travel to zanzibar.
    Nilikuwa nataka ku Travel na my friend from TZ bara.

  • @kendry_rix1899
    @kendry_rix1899 23 วันที่ผ่านมา +37

    Wanataka kuhamisha mjadala. Asiyemuelewa Lissu sio mzima.

  • @user-xx2ex2nj8f
    @user-xx2ex2nj8f 23 วันที่ผ่านมา +20

    I'm from Somalia, if you are complaining that the people of the islands are exploiting them, why are you on the mainland forcing the union. I say this because I follow the politics of East Africa a lot.

    • @fredrickchenga
      @fredrickchenga 22 วันที่ผ่านมา +7

      How did you know that is a complaint? This means you know the language. if that is the case, contribute to Swahili for the betterment of the viewers.

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 22 วันที่ผ่านมา

      Because they are Muslims-99%. They can't let them go. Some of their political -Christian leaders talked about it publicly.

    • @rockyvlogs2214
      @rockyvlogs2214 22 วันที่ผ่านมา

      @@fredrickchenga😂😂

    • @phillipmbuligwe6033
      @phillipmbuligwe6033 21 วันที่ผ่านมา +1

      Accept the fact my friend. Don't be unnecesarily defensive ​@@fredrickchenga

    • @johnsonkiwia6577
      @johnsonkiwia6577 20 วันที่ผ่านมา

      @@fredrickchenga😂😂😂

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 23 วันที่ผ่านมา +13

    TUNDU ANTIPAS LISU MMMH🙌🙌🙌 UKIONGEA NA HIKI KICHWA JIPANGE SN. NI ZAWADI KUTOKA KWA. MUNGU TUNAOMBA MLINDE UNATUFAFANULIA VITU VILIVYOJIFICHA

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe n zawad kutoka Kwa shetan

  • @robertsulus7947
    @robertsulus7947 21 วันที่ผ่านมา

    Tundu Lissu is a school of its own.
    Halafu kuna hao washua wanaitikia in the background...wanafurahisha sana plus wanaonyesha elimu inawaingia haswaa.

  • @yustobitalio3597
    @yustobitalio3597 22 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa ni BRIGHT sana

  • @tanzanitetv
    @tanzanitetv 23 วันที่ผ่านมา +46

    Lisu Hatari sana kwa hoja ,unapotaka kupambana naye ni kujiandaa sana

    • @unclepumpuu5920
      @unclepumpuu5920 20 วันที่ผ่านมา

      Hana hoja yyote ni mbaguzi

    • @mzeejumbe900
      @mzeejumbe900 13 วันที่ผ่านมา

      Tatizo la tudu lissu huwa anadhania kuwa hao anaoongea nao hapo na penginepo kuwa wanamfahamu asilimia kubwa ya watanzania wenye maono wanamfahamu kuwa ni mtu wa propaganda na mwenye kueneza chuki na sintofahamu baina ya watanzania na pande mbili za muungano ni mtu asiye na uzalendo na taifa kwani ameelekeza chuk zaidi sana kwa kiongozi wa nchi huku akisahau kuwa raisi aliyepo madarakani yupo hapo kikatiba.
      Tundu huna jipya nenda zako ukatumwe na wazungu hilo ndilo lililobakia kwako kwani huna sifa ya kuwa kiongozi kwa watanzania.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 23 วันที่ผ่านมา +24

    Tundu Lissu Mungu ana sababu ya kukulinda na yote waliyo panga Mungu azidi kukulinda. Mungu hashindwi na lolote lile. Kama Mungu akuweka jicho lake nani atakuwa kinyume cha Mungu? Mungu anaona yote wanayofany maovu ya kutuibia watanganyika. Mungu hapendi dhuruma!

  • @reysonbihali6776
    @reysonbihali6776 4 วันที่ผ่านมา

    Itoshe tu kusema Zanzibar ni nchi jilan

  • @elisantenyange8751
    @elisantenyange8751 23 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera mheshimiwa Lisu

  • @jacksonaloyce9920
    @jacksonaloyce9920 วันที่ผ่านมา

    😂😂 Kuna mzee anaskika miyeyusho kichizi KASEMA "Lahaullah tumeliwa mbona anakula na uku" 😂😂

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 23 วันที่ผ่านมา +13

    Piga kazi Lisu, sisi tunakuelewa sana

  • @abassyakoub1464
    @abassyakoub1464 23 วันที่ผ่านมา

    Mh. Kumbe chama cha CHADEMA kina Mazuzu eti. Mwanzo nilijua wanajielewa kumbe siasa zao ni Chiki na Ubaguzi tu kama hizi. Bora niendelee tu kuipambania CCM chama la wana. CCM hatumbagui mtu yyte si kwa Utaifa, jinsia, wala rangi. Kwetu ss ni Umoja, usawa na Utaifa mbele. ccm oyeeeeee🔥🔥🔥💚💚💛💛

  • @assayusuph3295
    @assayusuph3295 23 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana❤

  • @georgeexavier5921
    @georgeexavier5921 11 วันที่ผ่านมา +1

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 23 วันที่ผ่านมา +10

    Haya mambo yataisha tukishavunja muungano

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 20 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa, mimi siutaki huu muungano wa mchongo

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 17 วันที่ผ่านมา +2

    Zamani nilikua nakuona wa maana lkn saiv unapotea

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi1964 23 วันที่ผ่านมา +5

    Big brain brilliant intellectual treasure of Tanzania next president of Tanzania republic excellently president honorable Tundu Antipas Mugwahi Lissu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 23 วันที่ผ่านมา

      Ni raisi wako nani anamtaka huyu tahira kwanza ni mbeligiji si mtanzania shenzi huyu

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 21 วันที่ผ่านมา

      Never

  • @juliusmihayo6396
    @juliusmihayo6396 7 วันที่ผ่านมา

    Hii ilitoka sana ungekuwa hivi tangu zamani tungekuchagua

  • @khamisbaghdellah6783
    @khamisbaghdellah6783 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu A. Lissu, acha kupotosha UMMA, ongea ukweli

  • @francobebeto9195
    @francobebeto9195 21 วันที่ผ่านมา

    isn't crime to fight what is ours...Lets go Tundu lissu

  • @patrickkalimoja5478
    @patrickkalimoja5478 22 วันที่ผ่านมา

    Tundu Lissu ni level nyingine sana usimvamie kichwa kichwa utaangukia pua.

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 13 วันที่ผ่านมา

    Nampenda sana tundu lisu ni mwana siasa asiye yumbishwa kwa kile anacho kiamini, huyu ni legendary

  • @rajababrahman4365
    @rajababrahman4365 23 วันที่ผ่านมา +3

    Kichwa kina niuma

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 Kwani lazima huu Muungano???? iwe Tanganyika na Zanzibar kama Zamani Nchi mbili majirani wazuri kama zamani.

  • @OmarMjakaMshindo
    @OmarMjakaMshindo 5 วันที่ผ่านมา

    jibu swali la msingi inamaana siasa za CHADEMA haziruhusu raisi wa Jamuhuri aweze kutokea Zanzibar?
    Acha kufunika watu macho ww jibu swali.

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 23 วันที่ผ่านมา +9

    Kwakweli ukweli unauma kamanda nakupenda sana wewe ndo kila kitu tunashukulu Kwa kutuelimisha watanganyika mungu aendele kukutunza

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 22 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda lisu akielinisha juu ya tanganyika ili watanganyika wajieliwe tupate tanganyika huru na Zanzibar huru

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 23 วันที่ผ่านมา +9

    Huu muungano ujadiliwe upya ikiwamunataka ubaki

  • @danielkanso
    @danielkanso 22 วันที่ผ่านมา

    Kumbe bwana Lisu tumwiteje yaani sijui tumwitu fungua fungua be blessed et Lisu mbaguzi kumbe wabaguzi hawatakikujiita wabaguzi kwa sababu ni jina baya basi tumeshajua siri hizo ushauri wangu kwa viongozi rekebisheni mahali penye tatizo msifanye kazi ya kufunga vinywa vya watu

  • @azorheradius8681
    @azorheradius8681 22 วันที่ผ่านมา

    Lissu unaelewa vizuri unachokisema,
    Kiuhalisia muungano huu unaihitaji kufanyiwa marekebisho muhimu yatakayoweka usawa kwa pande zote mbili

  • @LanguMiliariMollel
    @LanguMiliariMollel 23 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu akutunze mtetezi wa wanyonge wa Tanzania 👏👏

  • @alinassor391
    @alinassor391 23 วันที่ผ่านมา +17

    Nyinyi wa Tanganyika tusaidieni sisi wa zanzibar kuuvunja huu muungano feki usio na tija kwetu ili munufaike na tanganyika yenu

    • @bilalkhamis_
      @bilalkhamis_ 23 วันที่ผ่านมา +3

      Na mm natamani uvunjwe... mana hawa wabongo asaa 😢

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 23 วันที่ผ่านมา +3

      Lakin lissu kasema ukweli ,sema CCM wako kimasilahi zaidi,Nanyie wanzanzibar muwe wakwanza kuukataa huu udhalimu,muungano feki

    • @philipombwambo1980
      @philipombwambo1980 22 วันที่ผ่านมา

      Huu hauvunjiki kamwe labda mhame Zanzibar nyinyi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 21 วันที่ผ่านมา

      Rais wa sasa anatoka kwenu mwambieni avunje muungano mtaona maisha yenu yatakavyo kuwa magumu

    • @jumaseifjuma4185
      @jumaseifjuma4185 21 วันที่ผ่านมา

      Kwani huu muungano ndo Mungu hata maisha yetu yawe magumu. Fahamu kwamba mambo ni kutegemeana hapa. Naona mmejaa tele hapa kutafuta maisha.​@@FridayMwassa

  • @mahirmauly3664
    @mahirmauly3664 23 วันที่ผ่านมา

    Mm mzenji nimeipenda hii ni njia moja ya kujikwamua mwenye huu muungano batili

  • @josephpusingare4256
    @josephpusingare4256 23 วันที่ผ่านมา +2

    The only a living miracle! God have blessed us this human right defender and Democracy fighter.
    Mungu akulinde sana kamanda Mhe Tundu Lissu

  • @BegaMakenge
    @BegaMakenge วันที่ผ่านมา

    Waambie ukweli

  • @GilbertNdagiwe-sz1xv
    @GilbertNdagiwe-sz1xv 20 วันที่ผ่านมา +1

    Aisee wewe ni mwalimu, una akili sanaa, wala hoja zako haziwez kujibiwa na hawa CCC hata kidogo. Tunakuelewa sanaa

  • @user-cz9zu7ur1h
    @user-cz9zu7ur1h 22 วันที่ผ่านมา

    Wazanzibar wakomakini nauzanibari wao

  • @amonmfuruki939
    @amonmfuruki939 21 วันที่ผ่านมา

    Nadhani Lissu asikilizwe ana Hoja nzito yenye manufaa kwa taifa

  • @pascaladloph4719
    @pascaladloph4719 4 วันที่ผ่านมา

    Alooooooo. Umepiga hapo hatariiii

  • @TanzaniaSTv
    @TanzaniaSTv 22 วันที่ผ่านมา

    Umeongea sana ila hujajibu swali la wakili msomi fatma Karume

  • @abrashyhamed5116
    @abrashyhamed5116 11 วันที่ผ่านมา

    Lissu nakukubali sana ila hizi kauli zako hutamuathiri samia tu bali utatufanya tuanze kubaguana wananchi
    Wewe ni kiongozi mkubwa hupaswi kuongea haya kwa njia hii, na kama ni kwa sbbu ya kura si kura yetu tunakupa wewe tunakukubali lakini usitufanye tukajenga chuki kwako kwa sbbu umoja wa raia una umuhimu zaid kuliko hata nyinyi viongozi 🙏

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 17 วันที่ผ่านมา

    Una akili sana ww rafiki yangu your the president

  • @LeonardSiame
    @LeonardSiame 22 วันที่ผ่านมา

    Lisu mungu akupe heri maana watanzania elimu wamepewa kwamgongo. Wa chupa

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 15 วันที่ผ่านมา

    Mimi nilikuwa sijui Leo ndio nimejua

  • @boscomfundo7953
    @boscomfundo7953 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki Mheshimiwa Lissu

  • @SanduKisinza
    @SanduKisinza 20 วันที่ผ่านมา

    Wataelea 2

  • @fikirikiwike4909
    @fikirikiwike4909 22 วันที่ผ่านมา

    Ukweli siku zote unauma

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 18 วันที่ผ่านมา

    Ipo shida sana ya kuishughulikia

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 23 วันที่ผ่านมา +2

    ✌️✌️✌️🙏🙏🙏

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 22 วันที่ผ่านมา

    Tundu Lisu Acha kuzunguka Zunguka Hapo jibu hoja Kwani Katiba ya Chadema inasema Haitaongozwa na Mzanzibar ????

  • @zulekhasaeed6046
    @zulekhasaeed6046 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo tundulisu nifitina sana nilikuwa nampenda lakini nimemjuwa nimtu fitinasana nimakufuli alimpiga risasi nimejuwa kwsnini makufuli alimpiga

  • @AliOchu-km1bq
    @AliOchu-km1bq 19 วันที่ผ่านมา

    Nasematena , mheshiwa Rais Alihasan mwinyi alitawala Zanzibar musiseme mtanganyika hajatawala Zanzibar, acheni ubaguzi

  • @user-sc2zn5hj4c
    @user-sc2zn5hj4c 12 วันที่ผ่านมา

    kabisa ata mm leo umeongea hapo hakuna haki kabisa kitu munafaa ungange pamoja watu wote waupizani ukiungana kama vile kenya walifanya 2002 umoja ni nguvu

  • @PaulFaustinemisaraba-bp8md
    @PaulFaustinemisaraba-bp8md 23 วันที่ผ่านมา +20

    Kama we Ni mtu wa bara na ulishagaenda Zanzibar ndo utamuelewa lisu anachosema

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 23 วันที่ผ่านมา

      Mumejaa kama taka huku Zanzibar kazi yenu wizi na Ujambazi muekezaji anauza sumu ya panya na mifuko nitafutie mzanzibari mmoja tu anauza sumu ya panya Bara au karanga Mukitaka Musitake Sisi tuko juu tutakutumeni tu

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 22 วันที่ผ่านมา +2

      Haeleweki.
      Zanzibar ardhi yake ni ndogo.sasa wageni milioni 50 kutoka Bara wakiamua kumiliki ardhi.Zanzibar. Jee! Wazanzibari Wenyewe wataishi wapi?
      Au mnataka mzanzibari akizaliwa tu akatafute makaazi nje ya nchi yake?
      Tambuweni kwamba Zanzibar ni nchi Tangu enzi na enzi, Muungano usiwe sababu ya Zanzibar kupoteza hadhi yake ya kuwa nchi.
      Tuliungana kwa kushirikiana baadhi ya mambo hatukuungana kwa kuuwa nchi.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 22 วันที่ผ่านมา +3

      We paulo kama kweli hicho unachosema Mwinyi anatoka wapi?! Zanzibar au Tanganyika?! ametoka Mkuranga Tanganyika mbona anatawala kule?! Wazanzibari na watanzania wote hatupo hivyo kaka, hizo no chuki tu mnazopandikiziwa na wanasiasa ili muivuruge amani ya taifa lenu!! Kuna mabwana zao nje huko wanaowatuma.

    • @PaulFaustinemisaraba-bp8md
      @PaulFaustinemisaraba-bp8md 22 วันที่ผ่านมา

      @@omaryjumas6327 na kwann raia wa Zanzibar anaweza kutawala bara Ila raia wa bara kutawala Zanzibar Ni changamoto

    • @festussostenes4189
      @festussostenes4189 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@omaryjumas6327'nchi yake' ipi tena? Sisi si ni nchi moja?

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m 20 วันที่ผ่านมา +1

    Pambana lisu hadi Tanganyika itoke kwasababu nyinyi mumeingia chakike 😂z,one mamlaka kamili❤ Tanganyika kanyaga😂

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu ana sababu Kwa nn uko hai!!?Mama Samia sio Mungu Rais sio Mungu pale anapokesea ajirekebishe nchi inaingia Kwa waarabu kila ki2 mwarabu kwani hii nchi ya kiislamu

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 16 วันที่ผ่านมา

    Ukweli unauma lakini lazima usemwe ili kujirekebisha panapostahili. Ukweli huu UNAUMIZA SANA.

  • @user-ti8fn1wn1w
    @user-ti8fn1wn1w 20 วันที่ผ่านมา

    Asante

  • @ramamjema8391
    @ramamjema8391 23 วันที่ผ่านมา +9

    Lisu wewe ni hazina kwa taifa letu,bali ugonjwa mkubwa unaotutafuna watanzania ni kutokubali ukweli na wavivu wa kusoma ili kuwa na uelewa mpana wa mambo na uwezo wa kuchambua mambo.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 22 วันที่ผ่านมา

    Fatma Karume pia ni Mzawa wa Zanzi b ar.Lakini wote sisi ni Watanganyika🎉

  • @user-ek6ic5li4k
    @user-ek6ic5li4k 19 วันที่ผ่านมา

    Nadhani hujui Maana ya Muungano. Wabunge WA Tanzania wanatakiwa wawe sawa kwa sawa Kati ya Zanzibar na Tanganyika. Bandaru ni sehemu ya Zanzibar AU umesahau mile 10

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 22 วันที่ผ่านมา

    Umenena vyema kwakweli tunashukuru kwa shule yako Mr Tundulis

  • @DshynerMcongo
    @DshynerMcongo 17 วันที่ผ่านมา

    Watanganyika tumefanywa mambumbumbu Kwa mda mrefu sanaaa. Yaan cc ni km koloni la Zanzibar. Haturuhisiwi kumilik ardhi Zanzibar lkn wao wanaruhusiwa. Wao wanakuja kuongoza mikoa ya huku kwetu na cc hatuendi kuongoza kwao.

  • @user-fj5hk5kp7p
    @user-fj5hk5kp7p 20 วันที่ผ่านมา

    Tundu lisu umechanganyikiwa fikiria tena vizur kwani zanzibar mkoa ata uifanishe na dodoma

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 20 วันที่ผ่านมา

    Sawa kabisa kamanda

  • @ramadhanimdillah67
    @ramadhanimdillah67 22 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaaa mbaguzi kweli kwani amewahamisha kuwapeleka zanzibar si humohumo hiyo Tanganyika yenu mnayodai kosa liko wapi?

    • @roidysimchimba7103
      @roidysimchimba7103 19 วันที่ผ่านมา

      Jamaa yuko sahihi kabsa msikilize vzr hana ubaguz ata kidgo na ukwel wazanzibar wengi ndy mnaasir hii na tanganyika hawana kabsa tabia ya kumbagua mzanzibar i

  • @silasponeka1773
    @silasponeka1773 22 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri tundu lissu anayekubeza mjinga sanaaaaaa

  • @lucaslyaruu8244
    @lucaslyaruu8244 22 วันที่ผ่านมา

    Watu kweli hufanana. Kidogo niseme Bashite Kawa "Bodyguard" wa Mh. Lissu.😂😂

  • @hajjseif5737
    @hajjseif5737 12 วันที่ผ่านมา

    haya matatizo mmeyataka wenyewe kwa kulazimisha muungano nnavyoelewa mm watu wa zanzibar hawana tatizo ila watawala wa tanganyika mpk leo ndio tatizo,zanzibar haina choyo na tanganyika ila watawala ccm ndio tatizo iondoeni ccm madarakani tuekane sawa au tubaki majirani wema

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 22 วันที่ผ่านมา

    Huyo mlinzi wa Muheshimiwa Lissu ni ndg yake na mkuu wa mkoa wa Arusha? Maana kama wamefanana... Ngoja niangalie tena vizuri 🥺🥺🥺

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 22 วันที่ผ่านมา

    Lissu sisi kwakweli tunakuelewa sanaa endelea kupiga nyundo hapohapo mtu anaumia mtu kuitwa Mzanzibari ila haumizwi na kinachendelea kwenye ardhi za wamasai kama sio upumbavu ni nini na Juz tu Mbunge wa Zanzibar alisema Watanganyika tuingie Zanzibar kwa Passport na hapo hatukusikia wakipanua midomo kwamba ni ubaguzi ujinga kbsa

  • @kaundavyoseena6514
    @kaundavyoseena6514 15 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mtu wa Mungu TAL.

  • @ejmalady6923
    @ejmalady6923 6 วันที่ผ่านมา

    Tindu lisu,unatafuta Tanganyika babala ya kutafuta serikali ya Tanzania,tunatakiwa kizazi hiking kinataka Tanzania yenyewe serikali moja tu

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 17 วันที่ผ่านมา

    Timekwelewa bbaa Mungu akufunike haisee wameelewa kabisa

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 22 วันที่ผ่านมา

    Sio haki kbs kufukuza wazawa kwenye maeneo yao

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo7625 18 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Lisu uko sawa kabisa,mwungano haukuwekwa sawa , matokeo ya huu mwungano Nyerere hakuakisi sawa sawa na alifikiri viongozi wa nyakati zote watakuwa wacha Mungu kama yeye mwenyewe na watatenda haki,mwalimu hakudhani watanganyika watakujaendeshwa kihuni na kuhamishwa kwenye makao yao ya asili(wamasai) na mwanamke wa Zanzibar,angejua hilo kwa dhamiri yake mwalimi asingeukubali muungano huu,kwani alikuwa anagoma sana rushwa na mali za kuisaliti nchi yake,unatambua alikuwa na nafasi kubwa sana ya kuuza nchi na watu kuliko vibaka wa leo

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 19 วันที่ผ่านมา

    Bila katiba haki hakuna vat Tozo petroleum sukar matbab juu maisha magumu Allah atusaidie

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 22 วันที่ผ่านมา

    Iwelenja fredinand upo sawa na ndio maana tunataka katiba ifanyiwe minimum reform ili ujinga huu usijitokeze tena.

  • @111dudi
    @111dudi 22 วันที่ผ่านมา

    Listing anababaika,hana hoja yeyote ya maana, mara wamasai, mara lolyondo, mara raisi mzanzibari, mara waarabu. Huyu hajui kuangalia mambo ya serikali

  • @mahfoudhally2879
    @mahfoudhally2879 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wazanzibari hatutaki kelele nyingi nyinyi ndio mnaong'a
    Ng'ania muungano hebu vunjeni muone tutakavosheherekea then after 10 yrs muone maendeleo yetu .tushachoka na ukoloni wenu

    • @mussamussa8181
      @mussamussa8181 17 วันที่ผ่านมา

      Unazan rahis

    • @sheikhasalim1190
      @sheikhasalim1190 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@mussamussa8181kwani kabla ya muungano ilikuaje? ama hujawahi kusoma historia ya Zanzibar?

  • @user-td5ye9zb1l
    @user-td5ye9zb1l 23 วันที่ผ่านมา +11

    Nakuelewa Sana kiongozi

  • @boscokabulwa-uk9gh
    @boscokabulwa-uk9gh 22 วันที่ผ่านมา

    Mbona hiyo Iko wazi, Samia suluhu hasani ni mzanzibar pure, nae ndiye mbaguzi kwa kuwa anawafukuza watanyika kutoka maeneo yao ya asili na kuwauzia waarabu, na hii inafanyika upande wa bara peke yake

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 21 วันที่ผ่านมา

    😢 tunaibiwa sana

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu 12 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni mwana CCM damu, lakini hapa nakubaliana na Lisu.