Nape amvaa Tundu Lissu Bungeni kuhusu kumwita Rais Samia Mzanzibari

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amemvaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kwa kukosoa baadhi ya mambo akkisema kkwamba mambo hayo yamefanywa na Rais Samia kwasababu ni Mzanzibari.
    Waziri Nape ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ambapo ameeleza kuwa alitegemea chama chake kimkemee.
    Akizungumza Mkoani Manyara siku chache zilizopita Tundu Lissu alisema kama kusingekuwa na muungano Rais Samia Suluhu Hassan asingekuwa Rais wa Tanzania.
    "Bila miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Samia Suluhu Hassan asingekuwa anafukuza Wamasai, anafukuza sababu ya kuwa na muungano" ameongeza

ความคิดเห็น • 501

  • @rashiditembo1574
    @rashiditembo1574 4 หลายเดือนก่อน +33

    Jamani watanzania wanauelewa,tukubari katiba ya Zanzibar inamapungufu,lisu amefafanua katiba ya Zanzibar,Mheshimiwa Nape Msikilize lisu vizuri,Ukishindwa kumuelewa basi

    • @joezeno8
      @joezeno8 4 หลายเดือนก่อน +4

      Nape ni Chawa wa Samia

    • @VeronicaMwakimbingi
      @VeronicaMwakimbingi 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ameni na ndivyo ilivyo ukweri ni mchungu

    • @oscarmsigala6548
      @oscarmsigala6548 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu Jamaa huwa anakurupukaga na KUPAYAUKA PAYUKA tu,CCM imemkemea yule aliyesema TUKIWAPOTEZA Police msiwatafute ? Yule aliyewaripoti Mawaziri kuwa wanalipa Watu kumtukana Rais Chama chake kimekemea ? Atuambbie kwanza hatua ambazo Chama chake kimechukua.Kuandamana na kufanya Mikutano ni Haki ya Vyama vya Siasa iliyposainiwa na vyama vyote siyo CCM peke yake.Kama anadhani Lisu amekosea AENDE MHAKAMANI KUMSHTAKI AONE atakavyopigwa KUMBO ya mita milion 10.Hana Hoja ya Msingi.

    • @kisasichona7065
      @kisasichona7065 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅​@@joezeno8

    • @richimuniko3578
      @richimuniko3578 4 หลายเดือนก่อน +3

      Nape Wewe ni shida ktk taifa letu unaweza kusikilizwa na wapuuzi wasiokua na akili. Goli la mkono.

  • @GidisonMarco
    @GidisonMarco 4 หลายเดือนก่อน +20

    Sasa tundu lisu kakosea wapi mbona wazir ana paniki 🤪🤪🤪

    • @oscarmsigala6548
      @oscarmsigala6548 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anabweka kwelikweli anajua hana uwezo wa kumchallenge Lisu,na hilo ndilo linamuuma kwelikweli,sasa amebaki kupiga MAYOWE tu hata wenzie wanamuna huyu jamaa vipi ?

    • @polloz77
      @polloz77 4 หลายเดือนก่อน

      Kitaja huyu ni mzanzibar at least angesema Raisi Samia suluhu au Raisi wa Tanzania not mzanzibar next time hataleta ukabila

    • @Fred-Ma
      @Fred-Ma 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@polloz77mama anajitambulisha hivyo mwenyewe... Kaangalie TH-cam channel ya SK Media umsikie mama akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar

  • @Darian2550
    @Darian2550 4 หลายเดือนก่อน +30

    Alietaka twende Zanzibar kwa passport siyo mbaguzi?

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 4 หลายเดือนก่อน +2

      Zanzibar ina passpot yake muungano tu ndio umeiondosha sio jambo geni

    • @Darian2550
      @Darian2550 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@TwoBrother-tc2cu tumeshaungana, sasa passport ya nini ndg? Kurudisha passport ni kuvunja muungano.(japo muungano wenyewe siupendi kbx)

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@Darian2550 kuungana sio sababu yakutokuwepo passport ,ikiwa ni nchi mbili basi kila moja ibaki na utambulisho wake na utaifa wake ikiwepo na hiyo serikali shirikishi kama zilivyo nchi nyengine zilivyoungana

    • @rockyvlogs2214
      @rockyvlogs2214 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@Darian2550kaka Acha tu
      Mimi
      Siupendi Kabisa Muungano hawa wazanzibar kuna namna niwabaguzi sana bana

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@TwoBrother-tc2cuMuungano una faida kwenu Wazanzibari

  • @WinfridaCreitus-bf3zn
    @WinfridaCreitus-bf3zn 4 หลายเดือนก่อน +16

    Nape bana, naona unapiga kelele tu, Mbona Lissu ameongea point sana. Tunakulaani wewe natutakutenga wewe si Lissu. Eti kwa uungwana!

    • @richimuniko3578
      @richimuniko3578 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nape Mungu akuzime Wewe nakizazi chako chote mchonganishi wa kwanza ktk taifa letu ni Wewe . Sasa msikie msomi alivyo kujibu unahisi hukwenda shule umejibiwa kisayansi Domo limekushuka mchonganishi mkubwa goli la mkono tumekuchoka nape

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 4 หลายเดือนก่อน +16

    Tundu lisu tunampenda chadema tunaipenda wewe piga kelele CCM tumeichoka bandari yetu iko wapi😊

    • @hafidhsaid2011
      @hafidhsaid2011 4 หลายเดือนก่อน

      Ipo magogoni...inaonesha wewe hata Dar huijui. Hebu panda basi ufike DAR kidogo ndio uulize masuali ya kama mlevi

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 4 หลายเดือนก่อน +28

    Lissu you are right!!!!!!!

  • @laurencematitah7046
    @laurencematitah7046 4 หลายเดือนก่อน +36

    Ni mzanzibari ndio kwani uongo? Watanganyika, tunanufaika vipi na huo muungano? Mbona ukinunua bidhaa Zanzibar kuleta Tanganyika unatozwa kodi? 2. mbona mtanganyika hawezi kununua ardhi Zanzibar? 3. mbona hakuna Mtanganyika aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar? TUNATAKA KATIBA MPYA msituchanganye

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nape Nnauye anatetea Tumbo lake Kubwa hakuna lingine Tundu Lissu anatetea nchi na Tanganyika yetu inayouzwa huku tukiangalia kwa mcho kwa kisngizio cha jinamizi la muungano.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 4 หลายเดือนก่อน +2

      Homa za kipumbavu kabisa.
      Nyerere hajasema kama alivyosema Lissu ambae ni kilema mkimbizi.
      Wazanzibar hawakutaka kuiondoa nchi yao ndani ya muungano huu tofauti na Nyerere aliyekubali kuiua Tanganyika.
      Sasa unamuungaje mkono Nyerere ambae ndie chanzo cha kuididimiza Tanganyika??

    • @VeronicaMwakimbingi
      @VeronicaMwakimbingi 4 หลายเดือนก่อน

      Jamani watanganyika tudai katiba yetu km sisi watanganyika,na katiba ya muungano wetu wa kati wa hizi nchi mbili Tanganyika na Zanzibar hapo haki itakuwa imetendeka

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli yeye ni Mzanzibari,lkn pia ana nafasi ya Utanzania pia, sasa je tuambie huo Utanganyika uko wapi?

    • @KaroliMushi
      @KaroliMushi 4 หลายเดือนก่อน +1

      Aiseee tumbo linaangamiza taifa hili hii takataka hata hijawahi kuchaguliwa kuwa mbunge ilpoka kwa nguvu inaongea utumbo huu unaouma hivi jamani ndo kilichompeleka bungeni? Bora ile bastola ingefetuka afe kuliko kuwa lichawa kiasi hiki

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 หลายเดือนก่อน +26

    Wazanzibari hawautaki Muungano, huu sio Muungano ni Tanganyika kuitawala Zanzibar kwa mabavu.

    • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
      @CharafimalisalimoAli-qw3hk 4 หลายเดือนก่อน +1

      insha ALLAH utafika mwisho. tatizo waislamu ni wengi wengekua wachache kama sudani saizi umekwisha na usingekuwepo.

    • @Frankgamanuel
      @Frankgamanuel 4 หลายเดือนก่อน +1

      We mbona unataka kuweka hudini wakati wenzio wanataka maliziano ya kueshimuana
      Hacha huo hupumbavu wa hudini

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu nape tatizo ni elimu ndogo maana ndiyo shida ya kuteuliwa kwa kazi usiyoijua, anasema mtu kaitwa mzanzibari kwani siyo mzanzibari, nchi hii tuombeane sana maana karibu yote wanayosema chadema ni kweli na upande wa pili wantetea uovu hii ni mbaya sana, haki huinua taifa.

  • @SimbaNaali-fw3zz
    @SimbaNaali-fw3zz 4 หลายเดือนก่อน +26

    Yupo sahihi tundu lissu hata baba wa taifa aliyasema

    • @polloz77
      @polloz77 4 หลายเดือนก่อน

      Hayupo sahihi kabisa kosa lake ni kutaja huyu mzanzibar ni ubaguzi kabisa.Mana Samia ni president wa Tanzania kiwa na heshima

    • @Fred-Ma
      @Fred-Ma 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@polloz77Nataka nikutumie Video Mama akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 4 หลายเดือนก่อน +25

    Mwizi akiibiwa anakuwa mkali kwelikweli

  • @vicentdaud2632
    @vicentdaud2632 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nape naona anabwabwaja tu badala ya kwenda kwenye hoja ya msingi....acha uchawa mzee...infact mzee lisu yupo sawa

  • @masoudsalum
    @masoudsalum 4 หลายเดือนก่อน +17

    Lissu amenukuu katiba ww unapiga domo tu hilo ndio tatizo la ccm hata mstaafu Devid msuya amewamaliza chadema ni wazuri kwa hoja

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 หลายเดือนก่อน +16

    Nape msijifanye mnawapenda wazanzibari mbona kwenye uchaguzi karume anasema mnaiba kura na ccm haijawahi kushinda.Tendeni haki acheni unafiki.Samia ni mtanzania na ni rais wetu.

  • @felixmluge3211
    @felixmluge3211 4 หลายเดือนก่อน +9

    Nape suti ya bure tu.....chujio lako la kusikiliza na kuelewa bado ni tatizo....Nina wasi wasi na na ww kwenye eneo la kusikiliza na kumuelewa mtu kama Lissu...😇

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hatimae Ccm wameanza kulia,hapo kwa nape sijaona hoja Bali kelele tu.alafu ningependa wote wanao mshambulia Lisu waseme Lisu ni muongo na watupe ukweli wao

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 4 หลายเดือนก่อน +5

    Tujiulize watz raisi wa kutoka bara ana uwezo wa kutoa hata kiwanja cha 20 kwa 20 pale zanzibar sasa huo muungano ni upi yaani bara ni cha wote znz ni changu ni changu

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 4 หลายเดือนก่อน +16

    Ukweli unauma
    Hamtaki kukosolewa
    Unachotetea ni tumbo lako tuu
    Acha kutudanganya chawa wewe

  • @alexmahenge9408
    @alexmahenge9408 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema wanawekeza sana kwenye elimu. Yaani utagundua tofauti kubwa sana katika hoja za pande tofauti😊

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 4 หลายเดือนก่อน +10

    Lisu oyee
    Wape vidonge vyao, hawapendi kukosolewa, ukiwakosoa umewatukana😅

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 4 หลายเดือนก่อน +7

    Uzuli tundulisu atakujibu nawewe we endelea kubwatuka unafikili sisi mazezeta hoja ya tundulisu itajibiwa na sisiemu yote mmezoea kula bule bule tundulisu nakupenda sana mungu akubaliki kiongozi wangu tundulisu

    • @Aida-qh3jq
      @Aida-qh3jq 4 หลายเดือนก่อน

      Tundu lisu igekuwa madaraka yapo na uwepesi ugekuwa rais lakini tambua maneno yako ndo sumu kwa taifa mwenyez mungu anasema hapendi mtu asipenda kushukuru ndo lisu kama hutaki mzanzibari mbona wewe umeshindwa kuiogoza nchi tok nipate akili naambiwa Kuna chadema mpka leo hii hakijafanikiwa kupata uongozi na hautaumpata abadani

    • @Aida-qh3jq
      @Aida-qh3jq 4 หลายเดือนก่อน

      Fanya duniani ukapate maisha bora akhera kaka angu duniani Kuna maisha mafupi sana kaka

  • @joezeno8
    @joezeno8 4 หลายเดือนก่อน +13

    Nape ni Chawa wa Samia

    • @omanbarka1588
      @omanbarka1588 4 หลายเดือนก่อน

      Yawezekana nappe ni chawa 😂

  • @shukurukwake7447
    @shukurukwake7447 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Nape Anamatatizo ya Akili kati yako na Lissu Nani Mpuuzi wa Kupuuzwa 😅😅😅

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 4 หลายเดือนก่อน +11

    Nyinyi mnagongantu meza utekelezaji hakuna ukweli unauma lisu anasema ukweli99%

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Zanzibar inaishi, Tanganyika ilikufaje?

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 4 หลายเดือนก่อน

    Lisu unatufaa sana sana mungu akupe maisha marefu

  • @salimualmasi7944
    @salimualmasi7944 4 หลายเดือนก่อน +9

    We Nape Kwani Kwani CC Kuna Mzanzbari na Mtanzani Mpemba Mmakonde Tunamakabila Kibao Kumuita Raisi Wetu Ni Mzanzibari liko Wapi kosa?

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 4 หลายเดือนก่อน

      Hapana tafakari kwa mapana mm ni mzaram,ila kwa mfano raisi mchaga halafu mm nisimame kwa sababu raisi ni mchaga sio WA pwani ndio maana amefanya hili,hapa Kuna tafakuri Pana msichukulie kishabiki kwa mwenye akili Pana Hana maana sehem aliyotoka tuu Kuna mpaka udini na ukanda lkn amelidhihirisha kwa kificho

  • @SuleimanGhaduwe
    @SuleimanGhaduwe 4 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana na alicjokizungumza nape kuhusu lisu sio sawa kabisaa lisu kuzungumza hayo wakati yeye amerudi na kulipwa kwa uongoz wa mama

  • @olelaizer2012
    @olelaizer2012 4 หลายเดือนก่อน +7

    Sioni hoja ila kelele,mjibuni Lissu kwa hoja sio kwa votiso na dharau.uwezo wake wa kuelezea jambo ni wa juu sana na ameongelea swala hilo kwa mifano hai

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza cc tunaitaka Tanganyika yetuuuuu, mbona unakuwa mkaliii . 😂

  • @AbdulqadirChamakope
    @AbdulqadirChamakope 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo Tundu Lisu, inafaa Akamatwe !

  • @polloz77
    @polloz77 4 หลายเดือนก่อน

    Humekosea Bro hapo hahupo sawa kabisa we need Africa united siyo utengano
    Tanzania ni mfano kwa Africa
    Next time utasema mbona viongozi wengi ni Wachagga?
    Neno la kusema ni mzanzibari ni wrong at least useme Raisi wa Tanzania kafanya hivi na hivi siyo kisema ni mzanziba wewe ni kiongozi
    We love mama yetu Samia suluhu
    Love my country Tanzania

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli unauma Lissu umepigaje hapo 👍

  • @user-ut2fo1hi9i
    @user-ut2fo1hi9i 4 หลายเดือนก่อน +7

    Wew huna hoja kwanin Samia siyo mzanzibar, unasiasa za kizamani, huwezi kuwa na mapya

  • @RehemaPanga-x6z
    @RehemaPanga-x6z 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mi ntatumia nguvu zangu kumpongeza bwana lissu,,, lissue ongeza sauti wakusikie vzr

  • @ThomasLeyan-r2t
    @ThomasLeyan-r2t 4 หลายเดือนก่อน +5

    Lisu you are right

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nape sisi watanzania tunaakili ww huwez kutuongopea ukweli unauma eeee 😂😂

  • @teddysanga1840
    @teddysanga1840 4 หลายเดือนก่อน +16

    mnafiki mkubwa wewe huna lolote alikunyosha mjomba magu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 หลายเดือนก่อน +12

    Muungano ni wa Nyerere na Karume, Wazanzibari hawajashikishwa katika kuunda Muungano.

    • @VeronicaMwakimbingi
      @VeronicaMwakimbingi 4 หลายเดือนก่อน

      Ktk hizi nchi mbili muungano wetu utaendelea hauwezi kufa, maana uliasisiwa na viongozi wetu waliotangulia mbele za HAKI Mungu wa mbinguni ibriki Tanganyika yetu,Mungu ibariki Zanzibar yao,Mungu ubariki muungano wetu ambayo ni Tanzania yetu sote, viongozi Tendeni haki msiwe kupe au chawa.

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 4 หลายเดือนก่อน

      Nenda Kaombe kumiliki Ardh Zanzibar tuone

  • @munongomeshili7612
    @munongomeshili7612 4 หลายเดือนก่อน +7

    Je kuwafukusa wamaasai ngorongoro ndiyo Rais wa Tanganyika!!!

  • @bakarikombo6279
    @bakarikombo6279 4 หลายเดือนก่อน

    Safi waziri Nape

  • @PendoMakundi-xv6nh
    @PendoMakundi-xv6nh 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi nape kamsikiliza vizuri tundu kweliii mmmmhhh

    • @VeronicaMwakimbingi
      @VeronicaMwakimbingi 4 หลายเดือนก่อน

      Watanzania uchawa na ubinafsi wa kuwa Mimi ni Mimi,tuache hiyo tabia,tutangulize masirahi ya wananchi wetu mbele,

    • @antonyibrahim5949
      @antonyibrahim5949 4 หลายเดือนก่อน

      hanaga muda wa kutafuta ukweli,ukitaka umjue mwambie Kuna udalali wa jambo furani ata kutafuta ila sio kujua matatizo tunayopata watanganyika

  • @fifii1985
    @fifii1985 4 หลายเดือนก่อน

    Lissu tupeni Samia wetu mchukue jizi lenu li Mwinyi limpogoro linaiba sana ardhi ya wanzanzibar

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 4 หลายเดือนก่อน +8

    Viva tundulisu ✌✌

  • @kingj9606
    @kingj9606 4 หลายเดือนก่อน +8

    Lissu kasema ukweli lakini. Na kuandamana sio uungwana wa rais, ni haki ya kila Mtanzania.

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sindano ya Lissu imeanza kufanya kazi.

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 4 หลายเดือนก่อน

    Chadema na lisu wao wapuuzi for sure,

  • @SilaKayagwa
    @SilaKayagwa 4 หลายเดือนก่อน

    Toka wew nape hatukutak kabisa fisad

  • @NasibuMajidiAthumani
    @NasibuMajidiAthumani 4 หลายเดือนก่อน

    Mungano huo ni Mungano wa viongozi wa CCM ndy wananufaika wananchi twaumia tubadilike hata miaka kadhaa tu✌️✌️✌️✌️✌️👊

  • @Erickkweka05
    @Erickkweka05 2 หลายเดือนก่อน

    Namuona halima mdee katulia.. ofcourse this is how the politics are...but what i know that with mandate will always be there since all we see are due to its presence📌

  • @abbymwessamachumu8626
    @abbymwessamachumu8626 4 หลายเดือนก่อน

    Mmeshiwa kabisa CCM, mwisho wetu wa kuvimba hayo matumbo

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน

    Hamna kugawa taifa hapo, zanzibar mna identity yenu kama Wazanzibari na alichosema tundu ni sawasawa tu. Kama hautaki uzanzibari waondoe katiba ya zanzibar na wasijiudentify kama Wazanzibari. Lissu yupo sawa.
    NAPE ACHA UNAFIKO

  • @emmanuelmzungu7232
    @emmanuelmzungu7232 4 หลายเดือนก่อน

    That was a reckless statement from Tundu Lissu. Ask as Kenyans...tribalism is the worst thing in a country.

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wasomi wote watanganyika.wanajuwa kwamna wazanzibar hawautaki,muungano hu sio muungano bali ni ukoloni mmoja kumtawala mwengine,hili taifa bado kuvunjika2 kilamtu na nchi yake

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 4 หลายเดือนก่อน +15

    Nape usifikiri unaongea na wajinga!!!

  • @ramamjema8391
    @ramamjema8391 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kwamba wanaompinga lisu sio wote ambao hawajui ukweli,Lisu amesema ukweli bali kuna watu wamezoea uongo na wanaufanya ukweli.

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nape hajui lolote ni chawa tu, mungano haujavunja utamadumi Wala makabila sidhambi kumwita mtu mzanzibari au mtanganyika Kwa sababu ndiyo chimbuko la mtanzania
    Halafu aelewe kuwa Tanzania Ina watanganyika wale wote waliozaliwa kabla ya mungano ni watanganyika hata Baba Nape ni mtanganyika

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwan Tundu lissu aliruhusiwa na nani kuongea? Kwani siyo haki kuongea? Sisi mnatuambia tukitenge chama! C mtuulize kwanza nini Maoni yetu? Lissu tumemuelewa sana

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 4 หลายเดือนก่อน

    Lisu yuko sahii,maana wazanzibari wanapata fursa ya kununua arthi Tanganyika ila sisi watanganyika wao hawana haki ya kumiliki arthi zanzibari

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muungano una faida kubwa kwa Wazanzibari na sio watanganyika

    • @AdamMbwana-p6n
      @AdamMbwana-p6n 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa asilimia kubwa ya wazanzibr hawataki muungano

  • @AmissiBitariho
    @AmissiBitariho 4 หลายเดือนก่อน +8

    Tulia wakufundishe teteya tumbo baba Ila tundulisu atakufundisha katiba

  • @Ndotaboymusic
    @Ndotaboymusic 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman nape ivi umemwelewa lisu? Lisu kanukuu katiba katiba ndo inasema na siyo lisu.mtanganyika hawezi kumiliki mali za zanzibar

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar wala hatutaki Muungano ila hawa CCM jamani kwann munatulazimisha duh 😢
    Wazanzibari tunataka nchi yetu ❤

  • @PoshSolomon
    @PoshSolomon 3 หลายเดือนก่อน

    Ila Muh Lisu Kusema Hivyo Ni Kuwaonyesha Watanzania Kua Lisu Ni Mbaguzi Na Kua Na Kauli Za Kibaguzi Inamaana Hata Ukipewa Kuongoza Nchi Utaleta Mmomonyoko Nadhani Kwa Watanzania Hawatopenda, Samahani Kiongozi Chunga Kauli Zako,

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi viongozi wetu hamwezi kujibu hoja kwa uelewa mnapiga porojo tu Nilitegemea level ya Waziri angeweza kujibu vitu kwa uelewa Hivi Nape ulimsikiliza Lissu vizuri kweli Katoa na ushahidi wa Katiba ww unajibu porojo Kwani hakuna mzanzibari kweli nchi hii Bora niiache tu CCCM toka 1977 kunapoelekea sioni mwanga Ni ubabw tu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan Samiya siyo Mzanzibar

  • @ZedekChamagogo
    @ZedekChamagogo 4 หลายเดือนก่อน

    Rais samia alimurudisha lisu kwa hela zake sio kodi za wananch

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 4 หลายเดือนก่อน +8

    Ndiyo..huyu ni Mzanzibari. Kwani siyo kweli???
    Ni mzanzibari.
    Wapuuzi ndiyo watamlaani Tundu na chama na chake chake...kama wewe

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 หลายเดือนก่อน

      Sawa Samia ni Mzanzibari sasa wewe tuambie ni Nani?

  • @JumanneRamadhan-pg8qm
    @JumanneRamadhan-pg8qm 4 หลายเดือนก่อน +5

    Dose zake za kila siku zimemlewesha

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lissu yupo sahih kwan rais ni Mzanzibar au Mtanganyika? Katiba ibadilishwe raia wa kawaida wafaidi muungano na syo watawala pekee

  • @nestor384
    @nestor384 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi jamii ya leo yaweza hadaliwa na akili ndogo kama hii!!??
    Lissu is very very right, Katiba ya Zanzibar aliiacha Mwl Nyerere kama ilivyo sasa?!
    Je, aliacha majimbo haya ya kipumbavu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww huna uwelewa wa Nnchi hii kumzid Lissu

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahy Nape anataka kusema unapofadhiriwa na mkuu wa nchi cheo huwez kumkosoa ht kama kuna makosa huo sio utaratibu km kuna makosa lazima yazungumzwe ninyi ndio wale tunawaita wachumia tumbo

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jinga la mwanaume lenye halina shukran

  • @nicolousmadele8056
    @nicolousmadele8056 4 หลายเดือนก่อน

    Hajasema taifa ligawe amezungumzia jambo la kutokuwa na usawa kimuungano😮

  • @bobochieng8026
    @bobochieng8026 4 หลายเดือนก่อน

    Tundu Lissu, stop the nonsense. Not good for Tanzania. Thank God for the great country you have.

  • @mvuvikinda
    @mvuvikinda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amesema ukweli katiba mpya

  • @thomassenguo3851
    @thomassenguo3851 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaiyona Zanzibar inavyo endelea kainch kadogo lakini tunagawana pesa za misaada sawa na pesa zinazoka t bala ni akili hiyo mali zetu zinauzwa zao haziuzwi niakili hiyo mtu akisema mbaguzi pumbavu hawa tumesha wachoka mwisho wao ndio huu

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi kama mnaheshimu katiba mngeuza bandari kwa lazima?

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 4 หลายเดือนก่อน

    Nape nakuomba sana usifikiri ss watanzania hatuna Akali akpiga projo zako bungeni ukadhani tutampuuza mheshiniwa Tundulisu
    Ww jibu hoja zake, tundulisu kurudi Tanzania sio fadhila tundulisu ni mtanzania hapa nikwake, tuache na tundulisu wetu mausha yanatuvuruga na ww unaetembea na kiyoyozi tuache ss

  • @romaycer
    @romaycer 4 หลายเดือนก่อน

    LISSSU MWANAUME KWELI KWELI

  • @recenttechnologiestanzania2703
    @recenttechnologiestanzania2703 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hujui katiba wala sheria za nchi yetu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 หลายเดือนก่อน +11

    Huna mvuto

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu ni kilaza sana watanzania msameheni sana

    • @VeronicaMwakimbingi
      @VeronicaMwakimbingi 4 หลายเดือนก่อน

      Lissu siyo kilaza,labda wewe ndo kilaza unayetaka kutukanyaga watanganyika?lkn umechelewa watanganyika tumeisha amka,acheni uroho au uchawa wa madaraka kuweni wazarendo harali wa nchi yenu,ivi sisi watanganyika tumelogwa na nani?mbona tunapenda sn kutumika kwa masirahi binafsi?mbona wazanzi bar ni wamoja na lugha Yao ni moja?ila kwa sisi watanganyika ndo shida,maana tuna umana umana tu,lini tutaamka watanganyika tukawa wamoja?kwa haki lkn si kwa uchawa?

  • @LazarousMwalupaso
    @LazarousMwalupaso 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani ukweri ni kwamba watanika wananyanyaswa zambari

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu hata hoja hana daaah..!!😂😂😂

  • @MMm-zx3ww
    @MMm-zx3ww 4 หลายเดือนก่อน

    Nimemsikiliza lisu nikaona yuko sawa tu

  • @habinezaabubakar4200
    @habinezaabubakar4200 4 หลายเดือนก่อน

    Muungano hauna faida yoyote

  • @GodlistenElietha
    @GodlistenElietha 4 หลายเดือนก่อน

    Peoplessssss power🤛🏿

  • @sidachomela7871
    @sidachomela7871 4 หลายเดือนก่อน

    Nape Ongea ukweli

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 4 หลายเดือนก่อน

    Sio lissu tu hata mbowe anaongea upuuzi hivyo hivyo kuhusu wazanzibar

  • @NathanChuma-cz2vb
    @NathanChuma-cz2vb 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂Me nachekaga tu hii nchi bana dah😀😀

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 4 หลายเดือนก่อน +1

    mbona Lissu anaongea kwa hoja kwann nape nae asijibu kwa hoja?!bongo bna!

  • @AnordErio
    @AnordErio 4 หลายเดือนก่อน

    Hiii kwa raisi samia ni mmakonde

  • @LucasMarau
    @LucasMarau 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww amuna kitu unacho sema Bora ata uondolewe bungeni uache kelele sawa

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 4 หลายเดือนก่อน +7

    Yaani wewe ni chawa chawa chawa!
    Mnaheshimu katiba mbovu!!!
    Ni kweli hayo yanafanywa kwa kuwa ni Mzanzibari!!!

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 4 หลายเดือนก่อน +1

      huyu mbuzi wa kiafara huyu

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 4 หลายเดือนก่อน

    Katiba ya Tanzania na Katiba ya Zanzibar

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hunaaa akiliiiii weweee😅

  • @evancengoi5429
    @evancengoi5429 4 หลายเดือนก่อน +3

    MH Nape chama chake mbona nichama kama chama chako ambacho wanachama wenu wanasema wawapoteze wanachi wanao unga mkono upinzani mbona hujaliongelea hili mkuu? jambo jingine sio kuzika cha chaupinzani issue hapa ni je? Muungano unamanufaa pande zote mbili? jingine kwani Mama Samia sio mzanzibari? Mbona nimesikia Spika akitaja au wasidizi wakisema mbunge kutoka zanziba uliza swali la nyongeza?

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nape bwege kweli nani ana kwelewa na kelele zako