TIMBWILI KALI BUNGENI, MZOZO WA KUTISHA/ MBUNGE WA PASSPORT KUINGIA ZANZIBAR AKATAA SIO MTANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 645

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 4 หลายเดือนก่อน +30

    ILA JAMANI WATANGANYIĶA TUNATAWALIWA KIENYEJI SANA JAMANI.WANANCHI TUAMKE KUTETEA UTAIFA WETU VINGINEVYO NCHI INAUZWA JAMANÌ na NCHI INA HALIMBAYA KIUCHUMI,, KISIASA na KIJAMII "

    • @MohdSuleiman-k1o
      @MohdSuleiman-k1o 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ww mvutu kweli itauzwa na Nan?

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 4 หลายเดือนก่อน +2

      inauzwa na CCM Wenzio Wasiolitakia mema Taifa Letu Rushwa na Ufisadi Huoni Vimetapakaa kila kona au ??"

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 4 หลายเดือนก่อน

      Suala hili mlaumuni julius nyerere alieikataa Tanganyika kuwa na serikali yake​@@JacksonFrances

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@JacksonFrances KWANI HAO MAFISADI NI CCM PEKE YAO??? WEWE UKIPATA UPENYO WA KUIBA UTAIBA NA RUSHWA UTAPOKEA USIJIFANYE MALAIKA.

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 4 หลายเดือนก่อน +3

      @@salimmalaka256 Acha Kuchukulia Kwamba Watu Wote Wana tabia Za Kishenzi Pasipokuwajua,
      CCM Wametufikisha Pabaya Sana Haijawahi kutokea Kwahiyo Ni Wakati Wao Kuachia Na Kukaa Pembeni Kabla Mabaya Hayajatokea "

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 4 หลายเดือนก่อน +19

    Lisu ni mkweli sana

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 4 หลายเดือนก่อน +36

    Kumbe TUNDU LISU yuko sahihi kabisa kusema kuwa Wazanzibar sio Watanzania.

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 4 หลายเดือนก่อน +5

      Kumbe tukisema kwamba Watanganyika wengi wamefanywa wajinga kuhusu kujua ukweli wa muungano huwa hatubahatishi.
      Hivi unaweza ukatutajia kirefu cha Tanzania, na ilikuwaje jina la Tanzania likapatikana?
      Jibu swali bwege we.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna mahali alinukuliwa Lissu akidai wazanzibari siyo watanzania, sijui hayo uliyapata wapi? Wazanzibari hawataki kuficha uasili wao, wanajivunia na kujitambulisha kwa uasili wao. Hawataki kuwa mbumbumbu walioisalimisha na kuifuta historia yao. Badala ya kuwabeza wanastahili kuigwa na kupongezwa!

    • @HappySilvano
      @HappySilvano 4 หลายเดือนก่อน +2

      Elezea wanzibari ni watanzania ila watanzania si wanzanzibar

    • @talibsaid8096
      @talibsaid8096 4 หลายเดือนก่อน

      Si kweli wazanzibari ni watamzania lakini wwabara huwa mnafanya ishu kutibagua

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 หลายเดือนก่อน

      @@omaryjumas6327 Wa Zanzibari sio Wa Tanganyika kwani kabla ya 1964 kulikua nchi inaitwa Tanzania?

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mtu wa Bara haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar! Ila Wazanzibar wanamiliki ardhi Bara! Mbona huo ni ubaguzi wa wazi tu!?

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 4 หลายเดือนก่อน

      Siyo kitu cha ajabu mwanza kabla wewe hukuzaliwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiingia Dar es salam kwa passport. Na yuko alokuwa mshenzi mmoja wa Zanzibar ndio alosema wa Bara waingie Zanzibar bila ya passport na wengi walikuwa hawajataka jambo hilo.

    • @huriyaomar3313
      @huriyaomar3313 4 หลายเดือนก่อน

      UNAJUA KUWA ZANZIBAR INAINGIA KWA TZ BARA MARA NGAPI? INAMEZWA NA BARA ZAIDI YA MARA LAKI TATU !! NA TANZANIA YOTE BARA NA VISIWANI HUMILIKI ARDHI KAMA YAKO ILA UNAPEWA LIZI NA HIYO LIZI INATEGEMEA NI MIAKA MINGAPI AIDHA 33 ,66, AU 99 LAKINI ARDHI SIO YAKO LAU KWENYE HIYO ARDHI KWAPATIKANA MAFUTA BASI SERIKALI WANACHUKUA WENYEWE, LAKINI NCHI ZA WENZETU ARDHI MALI YAKO KIKIPATIKANA CHOCHOTE MALI YAKO!!!!

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 4 หลายเดือนก่อน +14

    Zanzibar tukipata wabunge kama hawa kumi tu bungeni muungano ungevunjika 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ShukuraniNdimbo
      @ShukuraniNdimbo 4 หลายเดือนก่อน +1

      Watafuteni 😂😂😂

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanini msijitenge tuu,mnangoja nini.

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@venancemwanya4212Watanganyika mumetuganda

  • @julianamwalongo6047
    @julianamwalongo6047 4 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani Umeenda kwa wananchi kusikiliza shida zao, na wamekutuma, wamekuchagua uwawakilishe hoja zenyewe Ndio Kama hizo ,hata mpangilio wa kuongea huna ,hii nchi ni ngumu Sana.

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 4 หลายเดือนก่อน +18

    Wabunge wakishiba posho zetu wanaanza kuongea wanachojickia na sisi tunaendelea kuwatafutia kwa jasho ...

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona likija swala la muungano

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 4 หลายเดือนก่อน +25

    Mimi mzazibar, kiukweli Wazanzibar wabaguzi sana! Mungu awahifadhi, wanachuki na watu wa bara for no reason!

    • @ibrahimame9805
      @ibrahimame9805 4 หลายเดือนก่อน +4

      Hatuna Imani na wanyamwezi

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u 4 หลายเดือนก่อน +2

      Reason no kuwa wazanzibari wanahujumiwa na watanganyika na watanganyika wamepora haki za wazanzibari na haki ya nchi yao.

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 หลายเดือนก่อน +1

      Muuongo wewe Si mzanzibari Chuki yetu tunataka nchi yetu kwani mtu kudai chake ndio hua Chuki

    • @alihaji215
      @alihaji215 4 หลายเดือนก่อน

      Muongo wewe si mzanzibar wewe mbongo nyoso unaechangia kutunyang'anya haki zetu pumbavu yako

    • @AdamMbwana-p6n
      @AdamMbwana-p6n 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mzanzibar gan weye

  • @abdultour1647
    @abdultour1647 4 หลายเดือนก่อน +2

    Zanazibar, Tanzania , Tanganyika iko wapi apo hatutaki muongano imetosha apo bc kila mtu achukue ubao wake ishaAllah vunjika shetani muongano toka na uwende Zako

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน +16

    Wazanzibari wabaguzi sana

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ulikuja Zanzibar ukabaguliwa

    • @kassim1262
      @kassim1262 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nyinyi wtnganyika munongoza kwakubaguliwa duniani 😂😂😂wzungu wbguzi wkenya wbguzi wznzbar wbguzi ondokeni duniani bc

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 หลายเดือนก่อน +3

      SAFI SANA, KILA MMOJA ASHIKE NJIA YAKE. UKOLONI UMESHAPITWA NA WAKATI. TWATAKA NCHI YETU

    • @bellalygeomecky1145
      @bellalygeomecky1145 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hata tukiwa wabaguzi.......ni heri kwetu na nyie bakini na utanzania wenu

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli Wabaguzi kwa ajili ya Nchi yetu si Mukaungane na Machogo wezenu Kenya Uganda Congo Burundi nyie Wa Tanganyika sisi Wa Zanzibari na Timu yetu ya Taifa Zanzibar Heroes

  • @celestinaregi
    @celestinaregi 4 หลายเดือนก่อน +11

    Ubaguzi mnao. Kweli wazanzibari. Leo umefanyiwa wewe unaona uchungu. Mnayotufanyia huku hamuoni kama ubaguzi. Shilingi Ina pande mbili mweshimiwa. Leo shilingi imekugeukia umeumia😂😂

  • @khanifamussa2554
    @khanifamussa2554 4 หลายเดือนก่อน +1

    Achen ujinga nyiee hii nchi ina amani kulko nchi nyngne yyote ndio kitu tunachotkiwa kujivunia iv mushafkiria kuh vitukuu vyenu hao wabunge wengne wavurugaji tu..ss n wamoja❤Ilove u Tanzania

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nanikamchagua huyorais?mtanganyika gani kawarais Zanzibar?alekwetu mulekwetu tusilekwenu,

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 4 หลายเดือนก่อน +14

    Hakika lisu na mbowe naona wako sahihi kabisa na ss watanganyika tudai uhuru wetu

    • @faridmohammad3801
      @faridmohammad3801 4 หลายเดือนก่อน

      Yani ww ndio mwenye akili nyingi ktk watu 100 niliowasikiliza ni kweli coz u haven't government so struggle ur cntry.. am srry umoja ni nguvu..

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj 4 หลายเดือนก่อน +1

      Bora mudai uwo Uhuru wenu wazanzibar angalau tunywe maji hatuna Raha kwA nyie nahaya yote kayataka karume kuitoa nchi kw warabu kuipeleka kw wanyAmwez

    • @Pemba680
      @Pemba680 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂endeleeni tu kujiita Watanzania

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@SalumJuma-iz2gjmmejazana bara

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj 3 หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa sindio tuna watajirisha

  • @jumasaid2792
    @jumasaid2792 4 หลายเดือนก่อน +6

    Tatizo lipo ila wanapotezea kwa kuwa wanapenda sana pesa kuliko ubinaadamu wa binaadamu.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu asikilizwe vizuri huenda ana hoja za msingi kama tunaingia Zanzibar Kwa passport basi lije suala la vibali Kazi, kila upande uombe vibali vyote vya makazi na Kazi, na si ruhusa kumiliki ardhi upande wowote hadi Uwe mzawa

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi tukisema kila watu warudi kwao; Zanzibar patatosha?

  • @Mweya-87
    @Mweya-87 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi kumbe wa Zanzibar ndiyo wanachangia hivi?

  • @JadiliMasambo
    @JadiliMasambo 2 หลายเดือนก่อน

    hufai wew,unazungumzia uzanzibar ,tokaaaaaà

  • @bikoolaizer2737
    @bikoolaizer2737 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo Zanzibar ni mkoa?????

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndio demokrasia ya kweli na Uhuru wa maoni

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 3 หลายเดือนก่อน

    " Abrave and honest hounerable member of parliament representing the interests of this romantic, beautiful island! Hata Mombasa na Pwani ya Kenya has the same problem! Kuna ukabila, ubaguzi, ufisadi wa kila aina! Serikali zinaongozwa ni watu kutoka bara zinabagua wenyeji wa pwani na kisha sisi ndio tunautajiri/ Uchumi mzuri! Nahisi siku moja kenya itagawanyika kwani tuliunganishwa ni wakoloni na hatukutaka kamwe kuwa na ushirika na Nairobi! Isitoshe, tuliunganishwa kwa miaka 50 na mkataba ukaisha 2013!! Love from Mombasa!!

    • @blessn3262
      @blessn3262 3 หลายเดือนก่อน

      Amka ukojoe bana

  • @Pemba680
    @Pemba680 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mh mohd issa yupo sawa

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa presha yako iko juu sana fanya mazoezi broo.

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน

      Kalewa posho

  • @nabilasaidkhalfan4401
    @nabilasaidkhalfan4401 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana , naunga mkono wazanzibar tunataka passport yetu , hatutaki kuwa na machogo

    • @JIWE-G-UNIT
      @JIWE-G-UNIT 4 หลายเดือนก่อน

      Nadhani ni vizuri sana tukitengana coz Tanganyika tuna kila kitù sioni maana ya kuungana, wazanzibar wakae na zanzibar Yao na Tanganyika tukae Tanganyika yetu ltakuwa poa sana

    • @BennyJumah-hd8yf
      @BennyJumah-hd8yf 4 หลายเดือนก่อน

      Akili hunaa

  • @JohnDeus-v3e
    @JohnDeus-v3e 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa nn serikari 3 inakigugumizi??

    • @melkizedekiizengo5075
      @melkizedekiizengo5075 4 หลายเดือนก่อน

      Mwanzo mbn umekubali kuwa ni mzanzibari mbn unajikataa

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 4 หลายเดือนก่อน +3

    Juzi nolimsikia Mh Warioba. Nilimuelewa sana. Ukweli kuna changamoto za Muungano ambazo kila upande unalalamika. Ila Tanganyika ndo imeonewa zaidi. Kwa vitu vingi tu. Inafaa kukaa chini na kuziondoa changamoto hizi.

    • @FeymaarOfficially-uu4nr
      @FeymaarOfficially-uu4nr 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umeanza kuelewa ila endelea kufanya research ujue nani anaeonewa zaid zengo sisi tunaupenda muungano ila vitu vingi tunaumizwa sie leo imekua mtu wa Kenya akija na mzigo kutoka kwao kuingia tanga halipi we njo undue TV upitishe apo wanataka pesa ulipie ushuru

    • @LUBAINAMOHDRAJAB
      @LUBAINAMOHDRAJAB 4 หลายเดือนก่อน +1

      Muhimu Hata huu muungano hatuutaki tena sote kila upande iwe kivyake lakin ccm ndio wanalazimisha tufanane

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 หลายเดือนก่อน

      KWANINI TUNAUNGANA PARSPOT?. WANYAMWEZI MJE NA PARSPOT ZENU PEMBA😂😂😂

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 4 หลายเดือนก่อน

      Mi natamani hoja hii ifanyiwe kazi, wabara waridi bara ili wazanzibar viwanja vya kujenga wapate, and vice versa wazanzibari warudi kwao halafu tuone kama kile kisiwa kitawatosha. Lakini pia tutawauzia chakula kama tunavyowauzia Kenya na kwingineko nione kama hamtakula......yenu.

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 4 หลายเดือนก่อน

      ​@LUBAINAMOHDRAJAB kila watu wajitegemee, maana sisi tunaoumia hata hatusemi, ila wao wanaotunyonya kelele juu baada ya kushiba kiporo cha ugali wa mtama.😅😅😅

  • @hassanhass1721
    @hassanhass1721 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana muheshi tuko pamoja kaza kamba hataka wengine tuko Kenya but tuko wote hatutaki muungano tena wabaki na utanganyika wao tubaki na Zanzibar yetu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndiyo mtakao umia

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli sijui Nyerere alikua na nia Gani mpaka anatuajia bomu kubwa namna hii ambaye Leo tunafarakana

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 หลายเดือนก่อน

      KWASABABU NYERERE ALIKUWA MLAFI NA ULAFI WAKE ALIFIKIRI ATAIFANYA ZANZIBARI NI JIMBO LAKE NDIO MAANA BARA MKAINGIZWA MKENGE 😂😂😂. TAMAA MBAYA ZA MWALIMU WENU MJINGA NDIO WAZANZIBARI BARI TUNAPATA FURSA YA KUUZA BANDARI ZENU KWA WARABU WETU NA MBUGA ZENU ZA WANYAMA MPAKA TUMALIZE. HATA WABARA MKIPATA UHURU UJUE ZANZIBARI TUSHAWALA KISHUNDU 😂😂😂

  • @PasakaJamesNicholas
    @PasakaJamesNicholas 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunadai Tanganyika yeti! Wazanzibari wasitutanie

  • @AguliSimchimba-fq7ep
    @AguliSimchimba-fq7ep 3 หลายเดือนก่อน

    Mna nini ambacho mnajivunia huko zanzibar,mbaki pekeyenu baharini muone.Someni history ya zanzibar kiundani na location yake.Kama hamtavuliwa nguo

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muungano mnaungangania wa nini au mna manufaa gani kwa huo Muungano. Ipitishwe referrendum wakati wa uchaguzi mkuu, ili tujue kama Muungano uendelee au uvunjike

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 4 หลายเดือนก่อน +2

    Safii mbunge

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi mwenyewe siwapendi wa znz kwa kuuzaa bandari zetu bara mmeanza ubaguzi na mwanzirishi wa ubaguzi ni Mh samia na limote yake ya msoga tutamzomea samia wakati wa kampeni zake

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 3 หลายเดือนก่อน

    Munakataakatiba mpya kwasababu dhamirizenu zawashuhudia mumepewa ubunge wa mabavu,mupo Kwa ajili ya matumboyenu na familiazenu sio Kwaajiliyetu watanzania,mpina usiogope mungu atakulinda semaukwelimtupu,wakipitamitaani hawana hatamvuto,uheshimiwa gani mulionao Huku munauzanchiyetu?mwogopeni mungu

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 4 หลายเดือนก่อน

    Nikwli mbunge asnt mungu akulinde na watanganyika wanasema kwl

    • @ahangfaith1180
      @ahangfaith1180 4 หลายเดือนก่อน

      Ikiwezekana waufute tu muungano tmechoka wazanzibar kwa maneno ya watu wabara

  • @JumaSalim-bd1ff
    @JumaSalim-bd1ff 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sanaa mbungunge w konde

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa si nchi mbili mbona watu wa bara hawanunui ardhi zanzibar,, na wa zanzibar wamenunua huku bara😢😢😢wako tele ila watu wa wanaroho ngumu sana

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 4 หลายเดือนก่อน

      Co roho ngumu wazanzibar ni acri yao waarabu kwahyo wana roho mbaya hawa

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 4 หลายเดือนก่อน +2

    ZANZIBAR ipo na itaendelea kuwepo hofu Tanzania kuwepo miaka 60 ijayo coz Tanzania imeundwa ili kusudi kuidhibiti Zanzibar na wazanzibari wameamka sasa

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi sio Mzanzibar ila nakubali hili Muungano huu upo kwa ajiri ya kutawala Zanzibar

  • @emanuelnyab9872
    @emanuelnyab9872 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya Tanganyika Iko wapi?

  • @HappySilvano
    @HappySilvano 4 หลายเดือนก่อน +6

    Tanzania ina mazombi sio watu

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 4 หลายเดือนก่อน

      Kwanini

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kila mtu akae kwake! Kila mtu akae kwake! Nchi ndogo inataka kukaa kichwani mwa nchi kubwa?Huu muungano umefeli!

  • @bestkilimanjarohike
    @bestkilimanjarohike 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona mzanzibar anaweza miliki ardhi bara lakini mbara hawezi miliki zanzibar?

  • @IsidoreMakutu
    @IsidoreMakutu 4 หลายเดือนก่อน +5

    Viongozi walioko madarakani wanajifanya hawaoni tatizo kwa sababu ya maslahi binafsi.Halafu wanaanza kuwalaumu Akina Lissu kwa kivuli Cha ubaguzi...

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna jipya Roho za dhuruma zinawatafuna mnatapatapa kujadili mambo ya msingi hamna mumeuza bandali na ngorongoro mnajinenepesha ninyi wengine wafa njaa Mungu anawaona

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huna lote limekuganda hilo Passport ni lazima ipo zamani

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 4 หลายเดือนก่อน

      Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 4 หลายเดือนก่อน

      Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ni dharau na ni kejeli ya kiwango ati na yeye ana fikra ya kuja kututawala watanganyika. Aah halafu waheshimiwa wetu wa bara wanashangilia.aah sijui afya ya akili wanayo kweli.

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 4 หลายเดือนก่อน

      Kuna shida kubwa kwenye huu muungano, Kuna kesho na kesho hiyo Kuna watakaokaa na kuangalia maslahi ya muungano kwa pande zote mbili

  • @madoiedo_nalis
    @madoiedo_nalis 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nyie ndio mna tubagua sisi

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye anataka serikali 3, ya Muungano na serikali ya Zanzibar na Tanganyika. Pia anahangaika na Uzanzibari ambao hawezi kumsadidia.

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 หลายเดือนก่อน

      Sisi Muhimu kwetu ni Zanzibar yenye Mamlaka kamili sio Tanzania tunajua Tanzania ni Tanganyika ni kivuli tu cha kuikalilia Zanzibar

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wazanzibari man shida nyinyi na udini wenu mmh kazi kwelikweli

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      KWANI WEWE HUNA DINI???

    • @DeborahSichone-b9c
      @DeborahSichone-b9c 4 หลายเดือนก่อน

      @@salimmalaka256 ndio sina dini wala dhehebu ila mm ni kanisa halisi Nina muumba wa mema na mazuri chanzo halisi mithali 4:23 sikuumbwa na dini wala dhehebu wala nabii wala mchungujaji wala askofu namfahamu muumba wa mema na mazuri tu ameumba jua, mwezi,Bavaria,mito,na maziwa

    • @FeymaarOfficially-uu4nr
      @FeymaarOfficially-uu4nr 4 หลายเดือนก่อน

      Ata kuandika hujui em rudi shule 😂

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio Kama huna dini wewe kafiri Sisi tuna dini yetu

    • @DeborahSichone-b9c
      @DeborahSichone-b9c 4 หลายเดือนก่อน

      Ipo siku utanielewa ila ujue muumba hana dini wala dhehebu Bali Ana kanisa halisi ndio Mimi sasa hizi jazba na matusi sio ndio kweli ya kunifanya niwe mdogo au mbaya ni uelewa wako tu

  • @AliAmour-zy9en
    @AliAmour-zy9en 3 หลายเดือนก่อน

    Machogo masukule kwao tnyika😅😅😅

  • @milanozanzibar
    @milanozanzibar 4 หลายเดือนก่อน +2

    wazanzibari mnapaswa kuamka sasa hiki kisaka cha muungano kinatukosesha haki zetu nyingi lkn kubwa zaid kisiwa kidgo kinaelemewa na uhamiaji kutoka bara ambao baada ya miaka kadhaa pa kutia mguu itakuw hapana serekali haina udhibiti kuhusu jambo hili . hali itakuja kua ngumu zaid miaka ikizidi kusonga

    • @MosesEmanuel-fs3lc
      @MosesEmanuel-fs3lc 4 หลายเดือนก่อน

      Fala ww amnaakili

    • @milanozanzibar
      @milanozanzibar 4 หลายเดือนก่อน

      @@MosesEmanuel-fs3lc ukiwa nazo ww tu inatosha

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi sio mzanzibar ila nawaunga mkono WA Zanzibar mdai uhuru wenu mnatawaliwa

    • @MosesEmanuel-fs3lc
      @MosesEmanuel-fs3lc 4 หลายเดือนก่อน

      @@milanozanzibar ww nishoga tu maana unataka uhururu njoo Arusha tuwape

    • @milanozanzibar
      @milanozanzibar 4 หลายเดือนก่อน

      @@MosesEmanuel-fs3lc fumba choo chako chogo ww

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani huyu mbunge imekuaje anaongea lsfudhi ya kibara kamavile haja zaliwa na ku kukulia Pemba. Au ndio wale ambao makaazi yao yapo Bara ila jimbo liko Pemba 😅😅😅

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 หลายเดือนก่อน

      TUNATAKA WAJE PEMBA KWA PARSPOT HAWA WANYAMWEZI😂😂😂

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona taarifa zimekuwa nyingi, Why!

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wabunge wa Zanzibar wanajitambua sana, wabunge wa Tanzania bara hawajitambui kabisa, ni mazuzu tu na uchawa tu

  • @BenedictoSimon-fs6ok
    @BenedictoSimon-fs6ok 4 หลายเดือนก่อน

    Naomb kujua kushika shilingi anamaanisha nn?

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 4 หลายเดือนก่อน

    Dada umetisha sana juu ya passport

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 4 หลายเดือนก่อน

    Sijui watanganyika wana feli wapi mana km suala la passport sio watanganyika tu kuingia zanzibar ata wazanzibari tutaingia tanganyika kwa passport sasa hofu yenu iko wapi

  • @Wamisangi
    @Wamisangi 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi kikotoo kwa Wabunge kinasemaje?

  • @Jumacharlesmadale2958
    @Jumacharlesmadale2958 4 หลายเดือนก่อน +3

    mbona hana hoja anavioja

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo mwakilishi wa wananchi na hoja za hovyo

  • @Mmdttt6653
    @Mmdttt6653 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yote ni tanzani ni sawa nitakavotoka mwanza kwenda dar sa passport ya nni na nchi ni moja ye mwenyewe apo alipo hana paspoti afu yupo bara mpuuzi kwel,,, ukitaka urais gombea tukupe kura acha upuuzi

  • @amaniandrew534
    @amaniandrew534 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa wazanzibar wana ubaguzi sana,ukitaka kujua ubaguzi wao nenda kwao ndio utajua

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 4 หลายเดือนก่อน +10

    Ivi huu muungano nyie wabunge wa ccm mmeung'ang'ania wa nini
    Huyo mwenzenu kashasema yeye ni mzanzibar,
    Sasa kama pana mzanzibar kwenye bunge la muungano kwanini mbunge wa mtu wa bara hawezi kuwa mbunge wa zanzibar??..?..?????

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 4 หลายเดือนก่อน

      Watanganyika wanatung'ang'ania wazanzibar sijui kwanini

  • @omarmussa7654
    @omarmussa7654 4 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar wanatakiwa wapaze sauti kila siku kuogopa ogopa ifikie mwisho watazidi kutuburuza hawa Zanzibar inakitambulisho chake cha uzanzibar ety wee so mzanzibar wee ni mtanzania halafu mbona mnainga,ngania Zanzibar sana why's????

  • @KijahboyChita
    @KijahboyChita 4 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar ndo wabaguz Sana koo mm Zanzibar siipend kabisayan bora muungano uvunjike tu

    • @MohdSuleiman-k1o
      @MohdSuleiman-k1o 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu ninachokichukia ktk maisha yang km watanganyika mana ni matapel wezi washenz Wana Killa aina ya ushenz

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 หลายเดือนก่อน

    NAHAPO HAMGUNDUI CCM hamuoni Kama mnajipendekeza?

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 4 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi sina haja ya kuangalia au kwenda kubana movie, nasubiri kipindi cha bunge kikinipita nafungua TH-cam natafuta episode mpya ya Bunge.😂😂😂.

  • @EzzyEddy-il3ce
    @EzzyEddy-il3ce 4 หลายเดือนก่อน

    Kama ndo wabunge wazanzibar wote wapo kama huyu basi Amna wabunge Zanzibar

  • @tours15
    @tours15 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanini munachelewesha kuvunja?

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie wazanzibar ndio mnao sababisha ubaguzi kwanini nchi moja mwananchi akitaka kusafiri awe na passport?

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 4 หลายเดือนก่อน

    Sijuwi kama mnaelewa?

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyewe kasema yeye ni mzanzibar nyie mnamlazimisha awe mtanzania, kwakua nyie hajitambui kuukana utanganyika wenu,lisu hana mpinzani kwenye hoja yake,tumpe maua yake lisu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 4 หลายเดือนก่อน

    Mbunge huraaaa 💪👏👏👏

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo Mbunge kaka kwamba yeye sio Mtanzania,Sasa anatafuta Nini kwenye bunge letu?

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 4 หลายเดือนก่อน

    Watanganyika hatuupendi huu muungano mnaung'ang'ania wa nini?!

  • @philimonNyabu
    @philimonNyabu 4 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibari ni wabaguzi kwanini hata kipindi chauchaguzi ukiwa kitambulisho cha Zanzibar ila ukigundulika ni mtanganyika unawekwa ndani? Na kwanini asilimali zetu tunawakatia fungu ila wao hawajawai jaman mfikirie apo viongozi na mlitatue

  • @johnalto2619
    @johnalto2619 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dooooh hao wanaoishi visiwani hawataki muungano muungano uvunjwe tuu watanganyika tubaki kwetu na wao warudi kwao na walipr Kodi ya makazi kama wageni

  • @ValerianaKilumile
    @ValerianaKilumile 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ndoa ya muungano ni kubakana tu Wala siyo mapenzi msimlaumu mh Mbowe watanganyika tunaburuzwa tu

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona viti Bungeni viko wazi sanaaa.

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaguzi upo sana tena ukichukua kitu kutoka Mzanzibari kuingia nacho hapa kwetu ni taabu kweli bora uingie na dawa za kulevia

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asiyekuwa Mtanzania/anayekana Utanzania anafaa kuendelea kuwa mbunge?

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 4 หลายเดือนก่อน +1

      Rudisha wakanywe urojo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      KOMENI KUMDHARAU RAISI.

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 หลายเดือนก่อน

      @@salimmalaka256 amezungumxiwa huyu MBUNGE, sio RAIS, rais mbona hana kauli km hizo?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@Worldunite HUJANIFAHAMU YEYE ANACHO ONGELEA NI WATU KUTOWA KAULI CHAFU KWA RAISI HAJAUKATAA MUUNGANO UJUWE HILO.

  • @khafatitv513
    @khafatitv513 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani hii nchi alitupa nani?

  • @OmarAweis-of7ru
    @OmarAweis-of7ru 4 หลายเดือนก่อน +1

    sisi ni wazanzibar.
    Sio watanzania.
    Wala sio watanganyika.

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndouwo ubaguzi tunao ambiwa

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi kumbe ndio mnae tengeneza ukabira😢

  • @FahmiAbdallah-x9w
    @FahmiAbdallah-x9w 4 หลายเดือนก่อน

    Sorry lkn,KM ANAKATAA UTANZANIA(HAFAI KUA KIONGOZI)AU KM ANAKATAA MFUMO WA UTANZANIA ULIVYO(HAJAKOSEA)INSHAA ALLA KHEIR

  • @EmaxiellEfazz
    @EmaxiellEfazz 4 หลายเดือนก่อน

    Me ni Mtanganyika kwanzia leo

  • @AliAmour-zy9en
    @AliAmour-zy9en 3 หลายเดือนก่อน

    Watanganyika mazombi

  • @NzoaSaid
    @NzoaSaid 4 หลายเดือนก่อน

    Siyo mtanganyika we

  • @HamisiMwalimu-pp9ci
    @HamisiMwalimu-pp9ci 4 หลายเดือนก่อน

    Huo ni ubaguzi mzee mwwnzangu wapemba acheni siasa musiikaange mbuyu mukaja walisha wengine

  • @RawsonNkini
    @RawsonNkini 3 หลายเดือนก่อน

    Mtaelewa tuu maana hamjui kitu mpaka msikie

  • @EarnestMwangombola-iv7hr
    @EarnestMwangombola-iv7hr 4 หลายเดือนก่อน

    Muungano utakapozingatia matakwa ya wananchi kama walivyojieleza katika rasimu zote za katiba, kwa kutaka serikali 3, ndio utakuwa mwisho wa mtifuano wa wabunge wazanzibari na watanganyika. Huo ni mwanzo tu wa muungano wa Lazima serikali 2.

  • @DAIMASHAIBU
    @DAIMASHAIBU 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo amezingua

  • @staningogo
    @staningogo 3 หลายเดือนก่อน

    hapo kweli wanzanzibari ndyo wanao zinguwa wanaubanguzi na zalau juu

  • @Nadraalimwalim
    @Nadraalimwalim 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli mnatubagua bidhaa zetu tu hamruhusu zifike dar why

  • @rahmaomar9137
    @rahmaomar9137 4 หลายเดือนก่อน

    Ni sahihi kabisa kuna Zanzibar na tanganyika imeunda Tanzania

  • @michaelmabula7444
    @michaelmabula7444 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini tuchague Wazanzibari ambao wanakataa utanzania?

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mheshimiwa speaker angekuwa makini jimbo analowakilisha mbunge huyu lingetangazwa JIMBO WAZI na mchakato wa uchaguzi ungeanza kesho asubuhi. Huwezi kuukana utaifa ukabaki na dhamana ya ubunge. Ana hasira, anatukana ovyo, hana kariba ya ulmi, hafai! Sasa sijui kama bunge letu ni kibogoyo au limeng'oka meno!

    • @ibrahimabdullah1887
      @ibrahimabdullah1887 4 หลายเดือนก่อน +1

      Jaribu muone ndio patachinbika zai

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน

      KOMENI KUMDHARAU RAISI WA NCHI.

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 4 หลายเดือนก่อน

    Uhuru niwenu Nyinyi qatanganyika

  • @MalandoJilala
    @MalandoJilala 3 หลายเดือนก่อน

    Tunduliss alisema Zanzibar hwjlizia muungano

  • @lameckkayanda3293
    @lameckkayanda3293 4 หลายเดือนก่อน

    wazanzibar wanajielewa sana.hata wabunge hawtaki kuitwa watanzania..lakini watanganyika wanapenda kuitwa watanzania na kusahau utanganyika wao.ndio maana za Tanganyika zinachezewa lakin za zanzibar zinalindwa kwa kiza kijacho.jamani wabunge tulio wachagua watanganyika wenzetu.ebu situken bac.punguzen uchawa angalien Tanganyika kwanza. mukizubaa mutakuja kustuls Kila kitu sio chetu tena.mutakiambia Nini kizaz kinacho kuja.

    • @kassim1262
      @kassim1262 4 หลายเดือนก่อน

      Uko wp huo utanganyika wenu kipi kinachokufanyeni nyinyi kujiita wtnganyika muliaminiahwa kwmba hkun mtnganyika wa mznzbar munaamini hivyo lkn cc wznzbar tunaamini hkuna Tnznia bli kuna mznzbar tu na hkuna mznzbar anaejiita yeye nimtnznia bli kuna wtu wliokua wtnganyika wnajiita wao niwtnzania 😂😂😂😂nakuikana nakuifuta tngnyika yao