binafsi huwa nakaa chini nazichambua hoja zako, nakuelewa xnaaa lisu na nakuunga mkono myb kwa sababu ya uwingi au uchache wa akili yang...!! ur right man.
Mungu yuko pamoja naww lisu kama serekari ya tanzania 🇹🇿 ya awam ya 5 kama aitaki hak kwako mungu ana waona apa dunian tuna pita kama awatak hak apa tulipo bc kwa mungu haki ipo______p1 xana mheshimiwa lissu uzma wa milele kwako mpenda haki
napenda sana mh. tundu lisu aje kua rais wa tanzania mwaka 2020ntafurahi sana sana tena sana hakika mwenyewe mungu ni mwema ipo siku utajua rais mwaka 2020
nakukubali sana tundu lisu unatutetea Zungumza, ss tunazuiwa kuongea tunaelewa yote yanayoendelea kaza buti hipo siku mungu atasikiliza vilio vyetu,hata Wana wa Israel waliteseka utumwa Misri kwa muda wa miaka 400 lakini ilifika kipindi mungu aliwatoa utumwani Misri.
Your Excellency.my president. You working hard and proving that you are pracatising DEMOCRACY and this is the reason. Why you have been appointed the SADC Chairperson.tell the police to bring up a report on who attempted to kill t honourable tundulissu.because arresting him will paint a bad picture on you .ccm andopposition parties after he is just coming frm the hospital
yaani we lisu mungu hajakuumba kwa bahati mbaya. yaan unastahili na Tanzania wakiwepo hata watano wa type yako tungekuwa mbali ila kamanda ucjali 2020 kama kawa
Nawakumbusha tu wanaomchukia Lissu na kumbeza kwa minaajili ya uccm, au maslahi binafsi wanayoyapata kutoka ccm naomba mjue tu kuwa mnashindana na ile KWELI ambayo mungu katuletea watanzania, ili umwelewe Lissu, weka uccm kando kwa dakika 2 tu umsikilize ukiwa mtanzania asiye na chama cha kisiasa
Rais nampenda anafanya vizur sana. pia namuunga mkono Lisu kwa kuwa watu kama hawa wana faida kubwa kwa kuwa wanawafanya viongozi wasijisahau na kupitiliza
Harold Ukason Kelele zake zitamfanya raisi azidi kuwatumikia wananchi ili asiteleze. Watu kama huyu ni wa muhimu ili serikali isijisahau. Si vema sana kumsifu rais kwa sasa. Tumkosoe pale anapokosea, tusimsifu kwa mazuri maana hayo ndiyo yanayotegemewa na kila mtu, rais hakutuahidi kututendea mabaya bali mazuri, akitenda hatuna haja ya kukaa tukisifu. Kwa Hulka zetu mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Upo wakati ambapo tutamsifu...ni pale amemaliza vema kazi yake. Hata mwenyewe sijawahi kumsikia akiwaomba wananchi wamsifu, anaomba wamwombee. Nadhani hilo ndo la kufanya
Halafu anatokea mtu anajiita yeye ndio mzalendo na lissu msaliti. ACHENI KUMUNGUNYA MANENO . TUNDU ANTIPAS LISSU NDIE MZALENDO NA KWA MADHILA ALIYOFANYIWA YEYE NDIE ANAESTAHILI KUWA RAISI 2015.
SIYO WAPINZANI WOTE NI NYINYI WACHACHE AND YOU ARE NOT ABOVE THE LAW.WAIT AND SEE JUSTICE IS NOT ONLY DONE BUT IT MUST BE SEEN TO BE DONE.TAKE YOU WILL GET TIRED OF FIGHTING THE GVT IN POWER.BE ASURED YOU ARE CONFUSED BE CAREFUL.
Ukome mkamateni anatuletea habari za wapi msomi asiyejua usomi wake kamata ashike adabu kwanza ajue hii nchi imefikia wapi na inaenda wapi cyo kuropoka kuanza kuchonganisha wananchi
lisu wewe unaongelea udiktekta hivi unajua maana yake mimi nilikuwa natamani sana nchi ishikiliwe na jeshi nione hizo pumba zako utamuelezea nani usiwe mdomodomo sana fanya kazi yako pita kushoto duniani mapito tu hapa
Lisu Mungu anakuenda umalize kz yko ndio akuite kk kiukweli an vr goog my brother
Mungu mjalie lisu
binafsi huwa nakaa chini nazichambua hoja zako, nakuelewa xnaaa lisu na nakuunga mkono myb kwa sababu ya uwingi au uchache wa akili yang...!! ur right man.
nakielewa sana hiki kichwa kimebarikiwa sana
I love you Brother.
Mung yu pamoja naw mh lissu
nakulewa sana lisu
Tundu mungu akupe maisha marefu kaka yngu
unaongea mambo mapana sana kulko akil z baadhi y w Tz ...hatjui uhuru wetu 2nabak kutshwa kila leo
p
pole sana kamanda lissu
Dah. Baada yasiku hii, skuchache waka kupiga risas ... Pole Sana lisu.....
i real love you lissu. uko vzur sana. long live sir
Uhuru ni mdogo sana tz ndo kinachosumbua
pole sana lissu ni kweli unachokiongea nchi hii niya kidiktekta pole sana hakimu
kumbe unaongopaga mweu wee
ww hata kuandka hujui muache msomi
Hakuna msomi Tanzania. kama tungekuwa na wasomi tusingenunua maji ya drip Uganda.
Renox Tz unampa pole ya nn?
Renox Tz kumbe hata hujui tofauti ya wakili na hakumu ndio maana unamfurahia saaana tundulisu.
Unatisha kamanda lissu
Aiseeee wewe ni noma kuliko one love
kumbe unajua kama unakosea,toka nje wewe si jasiri, unaogopa nini?
Pole sn kk
huu kwa mahakam mtaishia kumkamat tu kisha mnamuachia kwa sabbu vifung vyote vya sheria anavijua
Wakati mwingine ukimfunga mtu mwanasiasa unampa ujiko zaidi,,,,,,
Mwamba wa Afrika Mungu akulinde na akutunze.
Mungu akusimamie
Nzur
Mungu yuko pamoja naww lisu kama serekari ya tanzania 🇹🇿 ya awam ya 5 kama aitaki hak kwako mungu ana waona apa dunian tuna pita kama awatak hak apa tulipo bc kwa mungu haki ipo______p1 xana mheshimiwa lissu uzma wa milele kwako mpenda haki
Fresh brain
Akiri zako ni pevu sana kaka lisu, songs mbele kwa maslahi ya Tanzania Yetu Mungu yupo Brother......!!!!
mungu yu pamoja nawe lissu
napenda sana mh. tundu lisu aje kua rais wa tanzania mwaka 2020ntafurahi sana sana tena sana hakika mwenyewe mungu ni mwema ipo siku utajua rais mwaka 2020
Anthermy Satriwhy Mwamasika ndoto hizoo za mchana labda awe kiranja Wa mirembe hospital lakini kuwa rais ndotoo
Anthermy Satriwhy Mwamasika upo sahihi. muosha vyombo hawez kukuelewa
awe rais kupitia wapi hafai kabisa hata huo ubuge bas2 hafai kuwa na cheo Chochote anaombea mabaya nchi ye2.
hata kwa tochi haupati
Anthermy Satriwhy Mwamasika hapati ht kwa kupanga bunduki na risasi kila kona ya barabara zote za kwenda mikoani
nakukubalisana risu daa endelea hivyohivyo usiache
Who else matching this 2020 niyeye
Nimeumia sana ila Sasa Hayo mambo hayapo tena Kiukweli ilkua msoto msoto
wakili msomi
Shikamoo Lissu
nakukubali sana tundu lisu unatutetea Zungumza, ss tunazuiwa kuongea tunaelewa yote yanayoendelea kaza buti hipo siku mungu atasikiliza vilio vyetu,hata Wana wa Israel waliteseka utumwa Misri kwa muda wa miaka 400 lakini ilifika kipindi mungu aliwatoa utumwani Misri.
Pole sana lisu
Big up RCO Wambura
Kiukweli kaongea point mno hadi machozi
Nakukubali sana lisu
toka wapo nnje
Your Excellency.my president. You working hard and proving that you are pracatising DEMOCRACY and this is the reason. Why you have been appointed the SADC Chairperson.tell the police to bring up a report on who attempted to kill t honourable tundulissu.because arresting him will paint a bad picture on you .ccm andopposition parties after he is just coming frm the hospital
lisu mungu akulinde saana sana
Kwanini kaka usiachana nahaya mambo ya kutafutwa mapolice tatizo nini
kichwa hiki jaman hebu kama unakielewa gonga like hapa
Dicho Da plaiza kumbe unaogopa kukamatwa. utakoma. kwanza we mwongo unajihami tu
lissu anajitambuwa ila wabongo elimu habule chitu
Dicho Da plaiza bora wewe unaejua kuandika jina langu
yani nakukubali hadi naumwa
Nakukubari sana Mzee Lissu. Hakika hoja zako zinaukweli mwingi ndani yake. Nakuombea kila LA kher kwa Mungu. Hoja zako zina mashiko Baba Lissu.
Lissu ni habar ya town
Tundu is the Man of country 💯
Balaa
Aiseee
tuko pamoja mh lissu Na Mungu yuko pamoja nawe
Hii nimbaya sana
yaani we lisu mungu hajakuumba kwa bahati mbaya. yaan unastahili na Tanzania wakiwepo hata watano wa type yako tungekuwa mbali ila kamanda ucjali 2020 kama kawa
Lissu hakika ww ni mwanashiria mashuhuri na maridadi haswa!!! Big up xana kamanda!!!
Nicko Emanuel pmj kamanda
pengo ksdnali
upnzani ndio ynaishia jamanb
watu kama hawa wangekua kama 10 tz ingepiga hatua sana
nliwahi kuishi na mwasheria yaan kuishi na mwanashelia unaenjoy sana
Ivi unatambua mtu akipata madaraka hubadilika sana
yani tusinge pelekwa pelekwa kiivyo
yea..tru
oü ukamatwe tu kwani Unäsaidia nn ktk Taifa hili....!
Nchi ya kidikteta
True democracy expect opposition parties to console the government. Honourable tundulissu we are praying for your agent recovery. God see you thru
lisu namkubali sana......huu mwamba ni habari nyingine.....ila serikali punguzeni manyanyaso kwa wapinzani
pamoja sana
We kiaz2
Nawakumbusha tu wanaomchukia Lissu na kumbeza kwa minaajili ya uccm, au maslahi binafsi wanayoyapata kutoka ccm naomba mjue tu kuwa mnashindana na ile KWELI ambayo mungu katuletea watanzania, ili umwelewe Lissu, weka uccm kando kwa dakika 2 tu umsikilize ukiwa mtanzania asiye na chama cha kisiasa
Pamoja mkuu
Kuna haki ya kuzungumza ila hakuna haki baada ya kuzungumza ...KAMA UMEKUBALIANA NA MIMI PIGA LIKE
natamani xn nngekuwa kma Tundulisu
Kikubwa rafikiang lisu hujui kuongea, ila unajua kutukana na kuchochea, huna adabu kupitia kinywa,
Foolish comments
maguful sikumchagua nasita mchagua nakama ntamchagua naomba mungu nife hapo hapo
ww si jeuli toka njee uwone
Nyie ndo munazuwia ndege zetu wanafiki
Tanzania siyo nchi ya kidikteta usianze kuvuruga nchi wote msukumwe ndani
Rais nampenda anafanya vizur sana. pia namuunga mkono Lisu kwa kuwa watu kama hawa wana faida kubwa kwa kuwa wanawafanya viongozi wasijisahau na kupitiliza
Harold Ukason Kelele zake zitamfanya raisi azidi kuwatumikia wananchi ili asiteleze. Watu kama huyu ni wa muhimu ili serikali isijisahau. Si vema sana kumsifu rais kwa sasa. Tumkosoe pale anapokosea, tusimsifu kwa mazuri maana hayo ndiyo yanayotegemewa na kila mtu, rais hakutuahidi kututendea mabaya bali mazuri, akitenda hatuna haja ya kukaa tukisifu. Kwa Hulka zetu mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Upo wakati ambapo tutamsifu...ni pale amemaliza vema kazi yake. Hata mwenyewe sijawahi kumsikia akiwaomba wananchi wamsifu, anaomba wamwombee. Nadhani hilo ndo la kufanya
Acha nikae kimyaaa
kamanda ulianza vita kitambo na sasa ushindi unakaribia
Ila tz ya Leo mungu ndo anae jua ila najiuliza kuna MTU aliye juu ya sheria kweli nawaza tu kwa sauti
Nimekuelewa sana Lissu, Upo sahihi kabisa
Halafu anatokea mtu anajiita yeye ndio mzalendo na lissu msaliti. ACHENI KUMUNGUNYA MANENO . TUNDU ANTIPAS LISSU NDIE MZALENDO NA KWA MADHILA ALIYOFANYIWA YEYE NDIE ANAESTAHILI KUWA RAISI 2015.
hakuna kana Antipas
siasa bongos ukiongea ukweliii
Ebu MAGUFULI achana kufuatilia sana Wapinzani..!UNAJIARIBIA..!We piga kazi kama unavyosema,wananchi watakurudisha IKULU kama utatimiza uliyoahidi tu!
Aloyce Kiwia magufuli hajamfuatilia mtu sema lisu hata angetukanwa na Mke wake angesema ni njama za rais ila huku kwetu tushamzoea
+Sagini Aruna polesaaana wewe mtuganithujui hatakuandikajinalako
Sagini Aruna hukusikia Rais akimwagiza Spika kuwashughulikia bungeni na yeye atadili nao wakiwa nje?
Kichwa na akilii ya huyu jamaa computer haioni ndani.
This guy he's so annoying, naomba tu akamatwe na afungwe maisha.
Na nosivyompenda anavyobwata kam halim mdee mhh wakafie huko huko
HONGERA TUNDU LISSU kwa ujasiliwako laiti wangekuepo watu majasili kama lissu inchi ingepona
duh!
huyu jamaa ni jasiri.
aeroporto Nissan Angetoka kama kweli nijasiri mpuuzi huyu.
John s umenifuraisha sana kwa comment yako ya reply
aeroporto Nissan mwenye akili timamu hawezi mpuuza risu.
kwaiyo Jones hana akili timamu?
nikweli kabisa yani huyu jamaa acha kabisa
Mwamba tuvusheeee
Hahahaa,,,,, mwamba amepigwa chini!
mmmh!
Sijui alisomea wp uchochezi uyu baba
Wewe sijui umesomea wapi ujinga
Maana umefaulu ujinga kwa stashahada ya uzamivu ya ujinga
Walikua wanakuinda zamani hawa jamaa, Mungu Anakupenda, wana anza tena hao watch out kamanda madictor wapo bado hapo eehh!
kweli Lussu bongo bahati mbaya tu
toka nji boss
idad ya kukamatwa kinaendana na makosa
bro toka nje tuone, basi si hauna kosa??
sasa unagoma kutoka kwan hapo mahakamani ndiyo kwako nakama huna kosa mbona wasiwasi mwingi mzee baba
Simuelewi kabisa hajui Sheria ni porojo tu wakiki gani anamchukia mkuu wa nchi yake
wasomi gani wanakimbilia siasa?
Acha unafki mbwa weee
Br unatxh xnaaaaaa i like to be like you
SIYO WAPINZANI WOTE NI NYINYI WACHACHE AND YOU ARE NOT ABOVE THE LAW.WAIT AND SEE JUSTICE IS NOT ONLY DONE BUT IT MUST BE SEEN TO BE DONE.TAKE YOU WILL GET TIRED OF FIGHTING THE GVT IN POWER.BE ASURED YOU ARE CONFUSED BE CAREFUL.
penda sana wewe🤗🤗🤗🤗
mimi nasema nyinyi wote munao mtukana tundulisu pumbavu zenu tena munakula mav
ww na lisu machizi
Kama wanajua sheria kwa nini wanatumia bastora
yan wwe hnamaana hata kgdo pga klle ira utanyamaza tuu
Waliambiwa haupo nyumbani na ni Dar es Salaam?maana yake hauishi Singida kule jimboni kwako unatatuaje matatizo ya wananchi wako?
george massebu haihusiani kutokuwepo jimbon.kiongoz wa kitaifa huyu
Rukia R Swidu mmeshikiwa akili mpaka nakuhurumieni
george massebu jihurumie mwenyewe na kizaz chako.mpige LISSU kwa hoja.acha porojo.umesikia hoja zake na umezielewa?
Rukia R Swidu siwezi kua na sababu ya kubishana na wewe hata kidogo maana unajionyesha akili yako iko vipi.MUNGU akusaidie sana na uwe na siku njema
george massebu huyu pia ni rais wa mawakili tanzania kwa hyo ofisi zake ziko dar....
Duuuuuuuuu
Ukome mkamateni anatuletea habari za wapi msomi asiyejua usomi wake kamata ashike adabu kwanza ajue hii nchi imefikia wapi na inaenda wapi cyo kuropoka kuanza kuchonganisha wananchi
lisu wewe unaongelea udiktekta hivi unajua maana yake mimi nilikuwa natamani sana nchi ishikiliwe na jeshi nione hizo pumba zako utamuelezea nani usiwe mdomodomo sana fanya kazi yako pita kushoto duniani mapito tu hapa
Mbona unaongea kama umekatwa kichwa
ujui ulicho kifanya utakubali
wabongo
huyu
lisu
hajui
chochote
anaogopa
wazungu
mwanasheria
gani
hakika lissu ndiye mtanzania wa kweli. Mungu akuponye
lisu nishida kwa ccm lakini wanamuonea yuko sahii