FULL VIDEO- TUNDU LISU AMUITA RAIS MAGUFULI DIKTETA UCHWALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • MBUNGE WA SINGIDA KWA TIKETI CHADEMA,MWASHERIA MKUU WA CHADEMA NA RAIS WA TLS TUNDU LISU AMESEMA RAIS MAGUFULI ANAENDA NCHI KWA MISINGI YA UPENDELEO WA KIFAMILIA,KIKABILA NA KIKANDA
    HAYO AMEYAZUNGUMZA LEO MAKAO MAKUU YA CHAMA HICHO KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM KWENYE MKUTANO WAKE NA WAANDISHI WA HABARI

ความคิดเห็น • 680

  • @silandasilanda964
    @silandasilanda964 7 ปีที่แล้ว +24

    Asante Lissu, wewe ni MTU Wa kipekee kwa wakati sahihi. Mungu akuweke salama.

    • @juliuskatemi6816
      @juliuskatemi6816 7 ปีที่แล้ว

      Silanda Silanda ..kama huoni mema anayofanya magufuli.. Naomba MUNGU akupige ukipofu WA macho Usije ona chochote maishani mwako

    • @silandasilanda964
      @silandasilanda964 7 ปีที่แล้ว +2

      julius katemi nitajie unayoona yamefanyika niyasifie,

    • @happymghamba2099
      @happymghamba2099 7 ปีที่แล้ว

      +julius katemi hahaaa mbavu zangu mie kwel apigwe upofu

    • @biottowilliam8731
      @biottowilliam8731 6 ปีที่แล้ว +1

      Silanda Silanda big up lisu

    • @deusandrew4175
      @deusandrew4175 4 ปีที่แล้ว

      Wabongo kwa unafk..... Ndo zetu
      Oooooh kung'ata pole
      Hat mwan pharsa alixema mtu vuguvugu ni hatar

  • @juliasmollel5176
    @juliasmollel5176 4 ปีที่แล้ว +9

    mungu akubariki lissu akupe usalama kila uendapo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @edwarddaniel5683
    @edwarddaniel5683 7 ปีที่แล้ว +7

    JPM anaweza kuwa the best in this country ila anapaswa kufata misingi ya katiba
    Lissu anachokisema au kukipigania ni kufatwa kwa katiba hii kitu kuna watu hawajamwelewa kwakua wameweka ushabiki ila ipo siku tutakuja kumwelewa.
    Issue ya Escrow ulileta ushabiki namna hii angalia sasa yaliyoibuka
    hivi kuna ugumu gani kufata sheria na katiba inavyosema?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @topotachilemba9196
    @topotachilemba9196 4 ปีที่แล้ว +11

    Kuwe na debate ya wagombes waone muziki was Lissu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @longopaedward4621
    @longopaedward4621 7 ปีที่แล้ว +6

    tundu mungu anakuona wanaokubeza Leo kesho wataelewa unamanisha nini tatizo ninalo liona wengi wao wako kishabiki kama si kuonyesha nidhamu ya woga wanajalibu kuupindisha ukweli ili uonekane ni uongo au uchochezi iko siku utakumbukwa daima siku zote wenye mawazo mgando au hasi hawataki kukosolewa hata kama wanakosea jipe moyo lisu wengi tupo nyuma yako.

    • @brightdeogratias6664
      @brightdeogratias6664 4 ปีที่แล้ว

      Maisha yake hatokaa aje kuwa rais! Labda awe rais wa familia yake!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @sistajeremiakalinga5436
      @sistajeremiakalinga5436 4 ปีที่แล้ว

      Ww hapo unajifanya kumwelewa lisu mwelewe ww ss wengine tunahangaika na Alie tusaidia Corona huyo mbelighiji

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 ปีที่แล้ว +17

    Ndo maana watesi wako wako walishindwa kutoa uhai wako!!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว +2

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @rajabuhussein453
    @rajabuhussein453 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali kamanda wangu mbele mbele yao

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @jacklinembogella9357
    @jacklinembogella9357 6 ปีที่แล้ว +26

    Kuna siku watakuja kukuelewa Lisu,unachoongea wachache bado hawakuelewi

  • @kahugentobi2715
    @kahugentobi2715 6 ปีที่แล้ว +16

    Ninakukubal lissu 👏👏👏👏👏

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimekumic sana lissu nikaona nirudi kucheki hii clip rudi bwana kunakitu tunakitunakosa

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 11 หลายเดือนก่อน

    HUYU MWAMBA HAJAWAHI KUMUNG'UNYA MANENO ❤❤ WALA YEYE SIO KAMA KINYONGA HAJAWAHI KUYUMBA KWA MISIMAMO YAKE YA KUSIMÀMIA HAKI NAMPENDA SANA HUYU MWANAUME.❤

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  11 หลายเดือนก่อน

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @chamlilemhando7478
    @chamlilemhando7478 หลายเดือนก่อน

    My favorite african politician.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  หลายเดือนก่อน

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @amanimwalembe8375
    @amanimwalembe8375 7 ปีที่แล้ว +3

    Nyerere alipinga sana ukabila but raisi wetu sasa anaturudisha huko so hongera sana lisu kufumbua macho ya wasio jua, Bali watu wa ndio mzee wata kutusi but mungu awe nawe

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh! Kunakipindi kabla cjakufuatilia nilikua ckuelewi kabisa ila sasa nakuelewa vibaya mno

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @prospermiraji8473
    @prospermiraji8473 3 ปีที่แล้ว +1

    Great mind discuss future!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @derickdamace8615
    @derickdamace8615 5 ปีที่แล้ว +5

    big up men

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @peterotaru4958
    @peterotaru4958 4 ปีที่แล้ว +10

    nilikua sijasikiliza hii.Lakini kama this is true aisee its time watanzania tuwe wazalendo na sio kuwa waoga tena.

  • @ditrickkidagayo2030
    @ditrickkidagayo2030 5 ปีที่แล้ว +7

    Big up lissu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @lisacocobanks9698
    @lisacocobanks9698 7 ปีที่แล้ว

    we don't want to be lead by dictatorship kind of leadership end of the day blood will shed if not of the president himself it'll be of the people by the people (chama kwa chama) sure am telling you,GOD BLESS TSNZANIA tungejua mapema tungeipiga chini ccm tukaipa kijiti chadema

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @londonsecondary9481
    @londonsecondary9481 7 ปีที่แล้ว +7

    big up

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @mariamariam9239
    @mariamariam9239 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sna nakuombea kwa mungu upone

  • @esauenock2642
    @esauenock2642 4 ปีที่แล้ว +5

    Lissu takatak mkubwa wew

  • @hopekacheranga2065
    @hopekacheranga2065 5 ปีที่แล้ว +3

    I can understand Kwanini ulitakiwaufe. You are important to the nation.siyokilamutuana take risk kamahiyo mzee

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana mungu akulinde Sana LISU

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 ปีที่แล้ว +4

    Lissu bwana!! Pona haraka bwana mambo yamellala huku!!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli kabisa, MH. Lussu sasa huku tunalia Vijana mitaani hakuna Ajira, Uchumi na Biashara ni Shida huku, Maendeleo yote ni Kanda ya ziwa

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @petrochaula410
      @petrochaula410 4 ปีที่แล้ว

      ukiwa mtu wachato utapewa ajira

  • @johnnikolas2937
    @johnnikolas2937 7 ปีที่แล้ว +12

    nakuku bali tundu atakae kataa hajielew

  • @sabuhorokaleb4286
    @sabuhorokaleb4286 7 ปีที่แล้ว +8

    Nguvu ya umma sauti ya Mungu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli na Serikali yake Oyee
    Samiah Suluhu Oyee
    Kassim Majaliwa Oyee
    WaTanzania Wazalendo Wakweli wenye kuteka Maendeleo Oyee

    • @adammsangi3736
      @adammsangi3736 5 ปีที่แล้ว +1

      Serikali.inayo.kusanya.kodi.kuliko.serikali.yote.duniani.serikali.inajaliwanyonge.kuliko.serikali.yote.duniani.usione.watanzania.wamenyamaza.sio.waji ga.kama.wewe

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @charleslucasnyakyoma7312
    @charleslucasnyakyoma7312 4 ปีที่แล้ว +5

    Lisu ww ni Kama shetan tu ww umefanyann jimbon kwako

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @selemaniahmadi8501
      @selemaniahmadi8501 4 ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka afanye nini wewe jimboni kwake usha wahi kufika

    • @sarahwalles2607
      @sarahwalles2607 3 ปีที่แล้ว +1

      @@selemaniahmadi8501 Hajielewi uyo analopoka kipindi chake ayo mageti mageti aliyapiga stop ili wananchi wasipate tabu

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 3 ปีที่แล้ว

      Dikteta uchwara ameshakufa sasa mama iongoze nchi kwa kufuata katiba

  • @bernardoartist8770
    @bernardoartist8770 7 ปีที่แล้ว +6

    Hakika wanaompinga Lissu wametumwa na wanamaslahi yao ktk comments zao mitandaoni!!! Hata ukweli huu mnaupinga!!?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @emanueldagharo919
    @emanueldagharo919 7 ปีที่แล้ว +19

    M4C mbele daima

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @sarahwalles2607
      @sarahwalles2607 3 ปีที่แล้ว

      Daima hata km wakae bila mikutano sera zao zinagusa wananchi kweli

    • @victorjoffrey1679
      @victorjoffrey1679 3 ปีที่แล้ว

      Kamwambie mama yako

  • @ndikumanakalenzo2440
    @ndikumanakalenzo2440 7 ปีที่แล้ว +1

    Pale mkuu wa kaya anapokuwa mfalme Juha..., Kila Kitu ni hovyo Tuu, watanzania wengi ubongo zao zina Kutu,wanahitaji kufanyiwa service ya kutosha ili waelewe...., Aluta continua Lissu..... ninakuelewa sana mkuu...... Hata kama Hii nchi ni kubwa isiwe sababu ya Mfalme Juha kujiamulia Tuu, kiholela

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @yarikoabel5826
    @yarikoabel5826 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akurinde, mwanzo hawakukuelewa, Leo hii wanakuelewa

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkweli wa dhati!! Mungu akulinde!!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 7 ปีที่แล้ว +3

    Tundu Lisu kalogwa. yupo kwa ajali ya kupinga.... anasapotiwa na aliologwa nao wenzie.. hata siku Moja Hatari msaada wowote kwa hii nchi.. majungu, uhasama, na wivu ndo yake tundu lisu.. ninge kuwa rais mimi ningemfunga kifungo cha Maisha jela.huyo lisu

    • @dietrickedward2294
      @dietrickedward2294 5 ปีที่แล้ว

      TATIZO BADO UNAISHI KWA MAMA NA BABA NDO MAANA HUELEWI NN ANAONGEA.....JARIBU KUJITEGEMEA NA KULIPA KODI UTAELEWA MAMA ANGU

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @fredrickjandwa3112
    @fredrickjandwa3112 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @emmanuelkibula6926
    @emmanuelkibula6926 7 ปีที่แล้ว +1

    lieu uko vizuri kaka wasio elewa watabaki na ujinga tu maana wanadhani woga ni sifa

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @mawazomwonga4306
    @mawazomwonga4306 5 ปีที่แล้ว +3

    Wewe ndio uzomewe na uchu wako wa madaraka Magufuri yuko juu kimataifa na kitaifa tunampenda hata akitawala miaka 30 anachofanya kinaonekana kwa vitendo sio maneno tena ndio Rais tulie muomba kwa mungu na dio tunayemtaka Tz

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @jephuterc.masasila7365
    @jephuterc.masasila7365 7 ปีที่แล้ว +9

    hahahaaa povu..povu..povu.. pole bro naona umevurugwa, nafasi Iko wazi gombea nawe 2020

    • @jimmysalm3954
      @jimmysalm3954 7 ปีที่แล้ว

      Utamuelewa tuu Lissu yuko 100% sahihi

    • @jimmysalm3954
      @jimmysalm3954 7 ปีที่แล้ว

      hunalolote wewe wizi wa kura na ubabe ndo unawabakisha madarakani.Refaree Jecha baada yakuona timu yake inashindwa akachukuwa mpira akafuta ushindi watimu asiteshabikia

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 ปีที่แล้ว

      @@jimmysalm3954 umefeli kwa ilo msijidanganye

  • @mariamariam9239
    @mariamariam9239 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sna baba

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @nkudwanabakejohn7505
    @nkudwanabakejohn7505 7 ปีที่แล้ว +19

    Wenye akili tunakuelewa sana,

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  5 ปีที่แล้ว

      ASANTENI KWA KUTUFUATILIA

    • @sindatomoshi5471
      @sindatomoshi5471 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akulinde akutie nguvu uweze kutuelemishe wengi bado hawajaelewa

    • @yusuphnzawila1984
      @yusuphnzawila1984 4 ปีที่แล้ว

      Wewe huna akili kabisaaa hivi nyinyi huwa mnatoka hats kwenda mikowani kweri Nazi kupongeza utumbo wa huyu mbwa kama we we eti watakuelewa sisi tunataka mtendaji kazi tu hatutaki polojo eti tumpe ulaisi huyu tumelogwa ukinijibu tu mm bwana wako ukikaa kimya unaniogopa kenge wewe

  • @justinnoderosa9
    @justinnoderosa9 7 ปีที่แล้ว +3

    mmmmmmhh......kuna mengi nilikua sijui lakini sasa nimejua yaani mpaka nimetetemeka.....

  • @jchuwatv1890
    @jchuwatv1890 5 ปีที่แล้ว +4

    Shikamoo Tundu Lissu

    • @saimonmangi5828
      @saimonmangi5828 5 ปีที่แล้ว

      JChuwa Tv ok mungu akungose baba

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @thomastarimo
    @thomastarimo ปีที่แล้ว

    Mungu alikupiginia kwa garama zote nchi ilikua inaongonzwa kifamilia na akuna aliyekua ana oji wala kuhuliza ata hayo magugu yaliyokua yanatumwa kuja kukuoji eti ni mchochezi yalikua yameka kmy ila yupo mungu asiye lala

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @christianshoki3691
    @christianshoki3691 7 ปีที่แล้ว +11

    ipo siku watu kaka watakuelewa natuko kuona mungu shahidi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @frankdegang8245
    @frankdegang8245 7 ปีที่แล้ว +20

    IPO cku watakuelewa lissu!! unatufumbua mengi!! wacha wengine waendelee kushabikia tu pasipo kuangalia nyuma ya pazia kuna nn!

    • @abmeleckjuma8014
      @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +1

      katufumbua nn kwa mfano

    • @zuhuramunguakujariesabra7000
      @zuhuramunguakujariesabra7000 7 ปีที่แล้ว

      Frank de gang kweri bradha

    • @superrama84
      @superrama84 7 ปีที่แล้ว

      Frank de gang tatizo sio kumuelewa, tunauhakika gani anazungumza ukweli?

    • @superrama84
      @superrama84 7 ปีที่แล้ว +1

      Alishahi kutuaminisha Lowasa mwizi, kifika uchaguzi akampitisha na kumpigia kampeni mwizi ili aje atuibie. Alitoa kauli kama hizi kwa Lowasa na wenzie leo anawatetea. So La Choo sio mtu wa kumuamini kabisa. Ni mtu wa kiki tu. Anatakiwa apige kazi jimboni kwake. Na asisahau waliomba wenyewe wapate dikteta leo wanajuta . Wanataka tumpige. Kwendaaaaaaa.

    • @lisacocobanks9698
      @lisacocobanks9698 7 ปีที่แล้ว +1

      Rama Khatibu :huoni mambo yanavoenda??kweli tunapopelekwa ni kwenye udicteta trust me

  • @lv-w-di692
    @lv-w-di692 6 ปีที่แล้ว

    Hi
    I'm from India and its nice to see so similar name (lisu) as my tribe name is Lisu too but I belong to the Mongolian tribe . what an coincidence .

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 7 ปีที่แล้ว +9

    tumeibiwa Mno..toka enzi za a babu zetu wazungu wanatuibia tu. Leo hii tumepata mtu Anaye pinga wizi Naye eti hatumtaki.. lisu uraniwe we mwana haramu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  5 ปีที่แล้ว

      ASANTENI KWA KUTUFUATILIA

    • @omarmjombo1351
      @omarmjombo1351 4 ปีที่แล้ว

      ndugu unakosea

  • @dullahshaaban9050
    @dullahshaaban9050 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ukikaa kiumakin ukamfatia anacho ongea utajionea maajabu mengi ya hii nchi maana utafunguka kiakili mungu azidi kumbariki huyu mtu hakika wahenga wanasema thamani ya mtu huonekana pale akifa ndipo watu watasema hakika mtu huyu halikuwa mwema kwa Yale haliyo kuwa akiyazungumza watanzania yatubidi kuhamka zaidi tuchukue madini ya dhahabu kwa huyu mtu Tena ya bure🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @shukurumatando236
    @shukurumatando236 4 ปีที่แล้ว +2

    Kikwete mlimtukana hadharani tena bungeni akanyamaza. Sasa sjui unataka Babu yako ndo aje kuwa rais ndo unyamaze umuunge mkono? Au ndege zilizonuniliwa ni za kwake?? Kwakweli ulistahili kuu..

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @esterbaraka1099
      @esterbaraka1099 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent3448 7 ปีที่แล้ว +1

    ndugu zanguni ebu tujielewe uyu lisu alikua wazir miaka mingapi!!!!!na nikipi kizur alichokifanya kipindi akiwa wazir,lkn maguful alifanya mazuri kipindi akiwa wazir tunayajua nimengi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent3448 7 ปีที่แล้ว +4

    tunajua unatafuta kiki lkn wapuuzi wenzako ndo utawadanganya kama co kuwatapel!!!!!ulikua wazir miaka mingapi na ulifanya nn!!!!huna wakumlaghai,jimbo lAko kuna kila shida.

    • @jimmysalm3954
      @jimmysalm3954 7 ปีที่แล้ว

      Lissu fokasi innocent yukosahihi 100%

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli sisi waTz Raia kama Raia kupata maendeleo yetu binafsi ni ngumu sana mana leo hapa kuna lijitu Linatamani lisu angeuwawa hata baada ya kutolewa ile report ya CAG na TAKUKURU Juzi bado hajayaona haya alokuwa akiongia Lisu - Shit

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @Butondo
    @Butondo 7 ปีที่แล้ว +2

    Lisu ongea mambo yenye maana. Huo ubaguzi umeuona Leo?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @gizakazeno1688
    @gizakazeno1688 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamsomi historia! Manyumbu, tunasoma!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 7 ปีที่แล้ว +6

    Wewe ndo dicteta,umewatelekeza Ikungi kwenu,unawatetea wazungu wezi!!

    • @dmaik673
      @dmaik673 4 ปีที่แล้ว

      Akilizako Hazina ufaham ndo maana umeandika comment bila kutumia akili ume kurupuka tu hujui kwani alikuwepo tanzania c alikuwa akuugulia uko miaka mingi tu tumia akili ndugu acha ushabiki wa .......

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 3 ปีที่แล้ว

    Mshenzi tu we Lisu,katu hakuna askari hata mmoja atakayekupigia saluti kama unaota kuwa rais wa Tanzania naoto ambayo haitatimia kamwe kwako. Fyooooo...

  • @hassanshunda3159
    @hassanshunda3159 4 ปีที่แล้ว +2

    Usituletee ukabila muheshimiwa , tunaitaji kiongozi mzalendo..na pia sisi tunaangalia maendeleo tu ndio kiu ya watanzania wote ,, Afrika yote inamtamani magufuli so wanakushangaa sana na hayo maneno yako

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +5

    wafadhili wasitoe msaada ili wananchi tusipate msaada huu ndo ujuha kabisa kabisa onaombea matatizo yatupate wananchi ndo siasa gani hizi

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +6

    wewe ndo hufai kabisa, utuambie hafai kwaajili ya nn huna issue
    hv wananchi wa singida mashariki wakikosa huduma bora utawaambia wewe ndo ulizuia
    hizo ndege si ndio faida za nchi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  5 ปีที่แล้ว

      ASANTENI KWA KUTUFUATILIA

  • @gordfreysangawe7535
    @gordfreysangawe7535 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi jimboni kwako kuna maendeo kweli unajua sharia ambazo hazikusaidi wew wala wananchi walio kuchagu.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @saidzww
    @saidzww 7 ปีที่แล้ว +3

    mm naona kama unapoteza muda wako atakusikiliza nani ww tangu umeanza kumkosoa rais nawafuas nakuelekeza unavyo taka ww kuna mtu au kiongozi aliye wahi kusimama nakuuwambia umma kuwa lisu ameongea au kuelekeza kitu kizuli ss huon apo kama unatwanga maji kwenye kinu pumzk unaumia bila faida

    • @modestuskibwana8996
      @modestuskibwana8996 7 ปีที่แล้ว +1

      POVU POVU POVU LISU UTATOKA POVU HADI KAMASI WEWE ACHA UJINGA UMESOMA WAPI WEWE MAANA UNALOPOKA TU, ACHA KUTUCHANGANYA SIYE NGOJA TUFANYE KAZI NA RAIS WETU WEEEE POVU LINAKUTOKA UNAKOSA SERA MAANA JPM ANAFANYA YOTE, HONGERA JPM WETU

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @dolumwamuyenu2245
    @dolumwamuyenu2245 4 ปีที่แล้ว +2

    Extremely intelligent man

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @maomkuhuranye470
    @maomkuhuranye470 7 ปีที่แล้ว +1

    huo ni ............i, hiyo sheria inasema hivyo? but ndo elimu ye2 ya bongo watu wana matured kwenye inshu zisizo na..........

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Rudi kutoka huko ulaya uone cha moto tumechoka matusi yako sisi wanyonge tulimpenda sana mwenyezi mungu amlaze mahali pema hayati Rais magufuli

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 3 ปีที่แล้ว +1

      Toa ujinga wako mnyonge ni wewe

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +6

    braza mtu anateuliwa kwa uwezo wake na sio sehem anaotokea wala rangi yake
    hata kwa kikwete pia mlisema anaweka ndugu zake

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @jumamlelwa819
    @jumamlelwa819 7 ปีที่แล้ว +2

    hahhahahhhahhhaha siasa bwana ujinga tyuuuuuu km nchi inaenda acha iende

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @sumambishi1302
    @sumambishi1302 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe kuma acha kumdisi laisi wangu wekuma nn

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @adillimassoi2909
    @adillimassoi2909 7 ปีที่แล้ว +1

    mungu akupe maisha marefu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +3

    kwa style hiyo hamuwezi kupambana na JPM maana anafanya kazi kwa maslahi ya umma

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @starfourbed8341
    @starfourbed8341 ปีที่แล้ว

    Hotubayako nzuri.ila ukweli magufuri ni moto wakuotea mbali.hakuna mtanzania ataeweza kuvaa viatuvyake.natamani afufuke ataleo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @hermanmassawe1907
    @hermanmassawe1907 7 ปีที่แล้ว +1

    Tusihudumu kwenye matusi. Tudadili kwa uungwana. Hiyo ndio democrasi. Usitukane. Jibu hoja kwa hoja

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @yusuphsafisanajpmjuma4576
    @yusuphsafisanajpmjuma4576 7 ปีที่แล้ว +4

    atuache na raisin wetu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @mbwanalau57
    @mbwanalau57 5 ปีที่แล้ว +1

    Upo sawa

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @abbassyhussein643
    @abbassyhussein643 7 ปีที่แล้ว +7

    sisi hatutaki kujua hilo tunahitaji kuona chadema ikifaa tu ....na ndio kunako endea huko

    • @adielmbise9811
      @adielmbise9811 7 ปีที่แล้ว

      msta mbise kilamwenye akilitimamu atakua anamwelewa tundulsu coz jamaa anamahamuz yacyo zingatia misingi yautawala bora kwaseem

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @hekimaabdalah3050
    @hekimaabdalah3050 7 ปีที่แล้ว

    Lissu yuko sawa kuna wengine wanapendelewa sana hatujamsahau bashite hivi ndiyo vinavyomharibia magufuli anafanya vizuri lakn ache haya ya upendeleo na yale ya kubana wengine kwasababu wafadhili hawajaleta fedha toka mwaka jana

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 5 ปีที่แล้ว +1

    ulipokuwa na miguu 2 ulikuwa na upungufu sana. leo una miguu 4 unapendeza sana 'baby' wa wazungu!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @lindarogasian7850
    @lindarogasian7850 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo bendera mmeifunga hiyo ngeuza ..kijani ndo huanza juu Sasa hiyo bluu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @bigdady7895
    @bigdady7895 7 ปีที่แล้ว +2

    lisu ni mpinzani mzuri,ila njisi anavyowakilisha ujumbe wake kwa jamii,sio poa,ni mbaya sana,na ukifutilia hutuba zake haziwatakii wananchi maisha mema na inaonekena lisu ni mfuasi wa watu fulani,lisu hana uchungu na watanzani ila anampango wa kuangamiza wtz,huyu si mtu mzuri,kwa alipofikia mmmm

  • @gordfreysangawe7535
    @gordfreysangawe7535 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi ya ukibaraka umeanza zamani sana huna hoja ya msingi kibara wewe

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @TheFinencialEdge
      @TheFinencialEdge 4 ปีที่แล้ว +1

      Apo kwa akili yako unaona hakuna hoja Ila utaelewa tyu vitu vinahitaji mda na ufikiliaji mi mwenyewe ccm lakini this lissu is an icon

  • @mathiasmichael3843
    @mathiasmichael3843 4 ปีที่แล้ว +1

    Hamna lolote!!!! Uchafu kwetu tupa kuleeee!!! Magufuri namba 1

  • @happymboya7697
    @happymboya7697 ปีที่แล้ว

    Hapa sikuungi mukono kwa kusema magufur hapo hapana mwacheni mwenda zake apuzike kwa amani diri na wasasa

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว +1

    Lisu sera iko wapi?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +3

    braza tunahitaji maendeleo sio porojo zako
    watumishi waserikali ni wengi sana

    • @jimmysalm3954
      @jimmysalm3954 7 ปีที่แล้ว

      Abmeleck Juma Huyo Lissu nawenzake siku zote wapo sahihi hawakurupuki

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @bonifasiemanuel9492
    @bonifasiemanuel9492 7 ปีที่แล้ว

    acha majungu huu rais tumepewa Mungu hata Yesu alianzia kwao

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @awesomebaitu4414
    @awesomebaitu4414 7 ปีที่แล้ว

    Huyu Lissu hafai kama ningelikuwa mie basi ningeliwashawishi watanzania kumchukia rais. Lakini kutokana na kutokuwa na breki naye anahisi kila achokiongea yuko sahihi kumbe mengine anaongea utumbo tu tumpuuze kwa watu wanaofocas mbele. Huyu mtu hana uzalendo hata kidogo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwani Chato siyo Tanzania mbona mnaleta hizo mbona chama chenu ni kanda kaskazini hamuoni? Chato pia kuna watanzania hakai Rais tu kuna wananchi wengi tu je hao wananchi hawataki kupanda ndege? Mbona Singida kuna uwanja Wa ndege je ubomolewe? Acheni siasa ambazo hazina Faida kwetu tumewapa nafasi kwaajili ya kutuondolea matatizo yetu sio mtuletee matatizo ya kikabila kidini mwalimu nyerere aliyamaliza hayo mapema mnatuletea sasa tunahitaji maendeleo hatuhitaji chuki na maneno ambayo hayana tija kwetu hatutaki kama siasa zimewashinda tafuteni kazi nyengine za kufanya

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 ปีที่แล้ว

      Tunachotaka niutalatibu nausitaarabu wakufanyamabohayo!!!!

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว +4

    nyie endeleeni kutetea mafisadi na wanao kula mali za umma

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @ricma7236
    @ricma7236 7 ปีที่แล้ว +4

    HIVI UNAUJUA UDIKTETA???INGEKUA DICTETA UNGEONGEA HAYO?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @youssufrons6041
    @youssufrons6041 7 ปีที่แล้ว +3

    lissu u are really sick mentally plz huyu jama anafa kupimwa akili nahisi simzima hata kidogo.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kujua kuwa utafiti wa twaweza upo sahihi basi pitia hizi comments humu. Halafu jiulize wanawaza kwa kutumia kiungo gani hawa watu? Haya bhana, shkamoo Lissu.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @josephmsanga6751
    @josephmsanga6751 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti Dikteta Uchwara!, bora iwe hivyo Ndege ziwepo! Kabla havikuwepo! Ameona bora Ajaribu Nyumbani!; ili yote yafanyike!; Acha Uchochezi Tundu lisu!!:

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe kaa na Ushoga wako na Ukuwadi wa Mabeberu wewe fuata waume zako ukipata Mimba uje ujifungue Jimboni kwako hata Nyumba huna unalala Forest Lordge Shoga we

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @mussahuyya7775
      @mussahuyya7775 4 ปีที่แล้ว

      Huna hoja matusi tu

    • @mussahuyya7775
      @mussahuyya7775 4 ปีที่แล้ว

      LISSU ni msema kweli tunataka mdahalo wa wagombea uraisi 2020

    • @selemaniahmadi8501
      @selemaniahmadi8501 4 ปีที่แล้ว

      Acha kutukana wewe fala hana nyumba wewe ndo mkewe

    • @footballhighligts3973
      @footballhighligts3973 4 ปีที่แล้ว

      @@selemaniahmadi8501 Ahaa nawew unaejua ni mkewe au

  • @mayungamabinda9332
    @mayungamabinda9332 7 ปีที่แล้ว

    kwani kujenga uwanja wilayani ni kosa? Mbona Mpanda ulijengwa uwanja wa ndege wa lami ikiwa bado wilaya? Nenda kajipange tena, usituchonganishe watanzania. Usijikite kwenye madhaifu machache ukasahau mazuri mengi yanayofanywa. Hiyo nafasi ya jaji mkuu unataka akupe wewe? Njoo na solution zinazolenga kulipeleka mbele taifa na si kuleta ukinzani/friction.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +1

    We lisu atutaki maneno tunataka maendereo enderea kuchochea vurugu unachokitaka utakipata

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @leiyolaisanunwaki2975
    @leiyolaisanunwaki2975 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwel

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @peteryohana2737
    @peteryohana2737 6 ปีที่แล้ว +1

    Liongo hillooo toka hapo lissu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +4

    CCM Oyee

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu 7 ปีที่แล้ว +1

    Mwanasheria gani wewe. Toka na sheria yako ya shinyanga vijijini.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  4 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 2 ปีที่แล้ว

      Siyo chato vijijini?