Mh lisu mungu azidi kukupa maisha malefu ili wabaya wako woote wazidi kuumbuka ukiwa hai na maana mungu alikuacha kwa makusudi yake bila wewe hii tz wengi hatukuwa tunaijua haki yetu .mungu azidi tu kukuwekea urinzi na kukupa masha malefu ili wanaya wako wajulikane wooote
BILA KUPENDA MARIDHIANO UNGEONGEA? LEO HAPO? KUSEMA TU MANGAPI YAMASEMWA USIMHUKUM MTU KWA HISIA ALIHUSIKA KUMBE HAKUHUSIKA MIMI NAMUONA NI MPENDA HAKI KULIKO HATA WEWE LISU
Pole sana mweshimiwaa .niwakumbushe tu maisha tunaishi maramoja .tanzania ni yetu sotee tupendane . Maisha ni nini maisha ni story haijalishi mali ngapi nyazifa wala cheo.
Watu wa ccm wanamatatizo Sana mtu hanakuja ohoooo kibaraka wa wazungu mala ohoooo mambo ya ushoga ngoja niwambie kitu Wana ccm musipojifunza kwa mujiza haliotuonyenya mungu kupitia kwa tundu lissu hakaki binadamu muna miyoyo migumu Sana kapigwa risasi 16 mpaka leo yupo hi tena mwenye Afya njema kabisa halafu linakuja jitu hapa linaongea ujinga ujinga ngoja niwambie mungu bado hanampenda Sana lissu ndio maana yupo mpaka leo yule aliekuwa hanajifanya mbabe yupo wapi ? Tuendelee kushukuru mungu kwa mujiza huu haliotuonyesha. Amena
Risasi kumi nasita ww hujui wala mm sijui kasema yeye na kama ni kuwawa kwa watu ni serikali zote Duniani zinauwaga na hata huyo marekani anauwa maelfu na mamia kila mwaka tena ndani ya nchi yake na nje ya nchi yake lisu anakuwa kama anataka apakatwe yey kashapona amwambie mungu asant apige kazi
@@InnocentBakedCustard-zp7ib unaushahidi wa serikali kuuwa watu wake??? Na je hayo matendo ni ya kushabikia kama yakitokea??? Je yakimpata ndugu yako au ww utafurahi!! Usifurahi binadamu mwenzako akitendewa usichopenda kutendewa ww ....
@@kilianjulius9882 Wanao shabikiya ujinga ni wewe kitu gani waliombwa wakanyima? 1.Mlalamika oooo tumifenguwa mikutano Haya mama kawafunguliya. 2. Maandamano oooo tumeziwiwa kuandamana sasa ruksa mmeandana na police mkapewa wa kuwalinda. 3. Huyo Lissu wako ooooh nikija Tanzania nitakamatwa sasa mama kamfuata mwenyewe kamwambia njooo na hapo anatukana akiwa katika ardhi Ya tznia. 4. Oooooh posho nimekatwa serekali imeamuru apewe posho zake. 5. Mama amekuja hadi kwenye kongamano la Chadema na video zipo mitandaoni. Yani hadi hamueleweki mnataka nini sasa? Kama ni kuongoza uongozi hauji kwa huruma bali ni jitahada na kuonesha mfano. Ndani Ya Chadema kwenyewe demokrasia niya maandishi tu vitendo 0
kwenda zako uko ww makonda kazuiliwa kwenda marekani kwasabab ya kuakamata mashoga naww mwenyewe mshenzi2 ww ulikua raisi wa TLS mbona.mikataba ilikua inasainiawa ya hovyo kbx ulishindwa kutoa hata ushauli unauza maisha ya watu kwasabab pkapu kwenda
@@makobamasawemangu4122 kweli bro ,,NA MATOKEO YAKE VILE VICHWA VYOTE VINAVYOSEMA UKWELI UCHAGUZI WA 2020 WALIPORWA KWA NGUVU NA SASA MIBUNGE YA CCM YAKO PEKE YAO WANAENDELEA KUIUZA NCHI KWA MIKATABA MIBOVU
MWANAHALISI CHANNEL MUNATUBOA WEKENI MAHOJIANO YOTE MWANZO MPAKA MWISHO HIVI MUNAKATA VIPANDE VIPANDE HAILETI PICHA NZURI ,,JITAHIDINI KUWAIGA WENZENU KAMA JAMBO TV AU MWANZO TV...lissu unatowa madini mazito hakika lissu ni mkombozi na mzalendo wa kweli hongera sana ,,towa madini kamanda wetu
Ipo siku mungu atamuinua mtumishi wake na tuta okolewa wana wa izrael walipitishwa kwenye mateso makari lakini wakati wa mungu ulipo fika falao na kiburi chake alinyosha mkono sisi watanzania machozi haya mungu atamuinua mtumishi wake atupereke kanani
Ivi unajuwa aliye pingwa risas alikuwa simba au tembo au ingekuwa ni wewe unge saau au usinge zungumziya angaliya wewe nibinadam tena unaishi chini yajuwa ujuwi siku Wala sawa naamishaya yamekuwa mangumu na ccm ndowanao kula pesa zetu.
Muheshimiwa Lisu,sisi tunafahamu vyema kuwa makonda alipigwa marufuku kuingia. Marekani baada ya kuzuia ushoga usifanyike ndani ya jiji la Dar es salaam,wapenda ushoga Duniani wakasema amekiuka haki za binaadamu,je wa naume kwa wanaume kugongana Ni haki ya binaadamu au ya Shetani?
@@jesaminzo acha kusema ivyo hata yesu alisema atakuja lakini mpka Leo ajaja sasa nimwambie tuu huo wakat hautakukuta ww ukiwapo utakuja wakat ambao ccm itaangisha VYAMA vyote na kuendesha nchi miaka yote kama hamtoanza kurekebisha chama chenu kwa kuweka misng na kuwa na democrasia halisi na syo hii ya udanganyifu
Mtasema mengi, bado hamjasema! mambo anayofanya Makonda yanawapa shida na ni mwanzo tu(season 1,mpaka ifike seaso 5)na hawaachi mpaka mjifunze siasa muache ya kusikia na kuambiwa!
Nyie chadema mpo kama kichefuchefu katiba mpya mmrikimbia bungeni mikutano ya hadhara mmeikimbia maandamano mmeyaacha sasa sahv mpo na makonda mbna vichwa venu havpo sawa nyie chadema
Ndyo anasema uongo yy kama mwanasheria nguli kwanin asiende kumstaki Yan yy mwenyewe anamaadui weng mpka ajui ni nan maan hata ndani ya chama chake kunamaadui zake na tunawajua
Ccm ndo kichefuchefu kwa watanzania maana magumu yote tunayopitia watanzania Ni kutokana na chama cha ccm,hiki chama kimeuza nchi watanzania waliowengi wapo kwenye wakati mgumu Sana,mtu yoyote anae ishabikia ccm huyo ni muuaji kabisa.maisha magumu wakati hii nchi ina kila kitu mungu kaipendelea nchi yetu ila Ni wachache wanaoharibu hii nchi,ipo siku itafika mungu atawapa pigo baya Sana kwa yoyote yule anaeshabikia huu utawara wa ccm.
Yyt anaetetea uovu wa ccm huyo ni kiti moto kabisa,na shetani mkubwa,yaani kila wakati wa uchaguzi mnageuzwa Kama chapati munakubali tu,na yote wanayoyafanya mara sgr,barabara za rami wanafanya kwa mihemko ya chadema tu bila kuboostiwa na nguvu ya uma yote hayo wangefanya?wapinzani wapo sawa.yanga asingelikuwa bora bila kuwa na Simba Bora,mungu msimamie mh lisu na chama chake na viongozi wote pia uzidi kuwaumbua wabaya wote wa lisu waje wafwe kifo kibaya na ca mateso,maana walitaka kujiamulia wao kuzurumu uhai wa mtumishi wako asiye na hatia,mungu ibariki Tanzania na wafuasi wote waokipe da chama cha chadema wape maisha malefu I wane wafurahie uongozi wa chadema ameen...
nyie matahira amkeni wakat wa ujinga ulishapita hao wanasiasa chafu wasiwafanye msione mema ya viongozi wema kisa porojo za uongo kwanza alitakiwa ashitak baada ya kupata nafuu na dereva wake alitakiwa awe chini ya ulinzi sababu risasi zilitokea upende wa dereva kwanini yeye hakupatwa hata na mchubuko tu wa risasi ila lisu alikataa kumtoa dereva aje ahojiwe sasa mlitaka wamsaidieje wakat shahid wa kwanza niyule aliekua nae 2 anawasifia wazungu ili wazidi ivuruga tanzania kama ilivo vurugika sasa maji shida umeme shida chakula juu pesa zinaenda ulaya mauwaji kilasiku moto kila sku kazi hazipatikani umeme shida biashara za watu wa chini zinaoza tu ogopa sana kiumbe anae kashifu ndugu zake kisa jirani huyo muuwaji sasa wamerakan walimzuiya makonda kisa kakataza ushoga mkoa wake vipi anasingizia mengine jamani hemu mbadilike bwana
Huyu lisu ni mshenzi tu acha aendelee kupanua domo lake akisema Magufuli alituma auawe ili iweje. Mtu anaweza kupigwa risasi zote hizo akapona???? Kwanini aliambiwa atoe ushirikiano amlete yule dreva wake hakutaka kabisa hii ilikuwa mipango yao na watu wake. Tena afunge domo lake kumtaja raisi wetu Magufuli. Mungu amlaze pema peponi.
This a hear Say YOU don't have NO any Invidence ATALL >> OOOOOOHMEN >>POLITICTS IS A DIRTY GAME >> Niriwambiwa Niriwambiwa>> really??? BUT THIS IS A DIRTY GAME!!!
Sionaona ww mwenyewe aujui ata unacho kisema, umeanza kusema makonda ni kama magufuli sasa sinajionyesha kua iyo ni wifu . Lakin maneno yako ata ayatakua na maana na ushindwe kwa jina lake baba mwenyezi mungu muumba wa kila jambo apa duniani
Mzee siyo kweli kuhusu Paul makonda marekani haikumruhusu kwa sababu ya haki za mashoga ni kwa sababu mr makonda alipigana vita ya mashoga kutaka haki zao wakati wanajua mila za wantanzania haziendani na mila za kiafrica hiyo ndio ukweli . Makonda hajahusika na matatizo yaliyokutokea mzee.😊
Pole sana MH. Tundu Lisu. Hata sasa mkono wa Mungu umekushika. Siku imepigwa risasi nililia sana, nilichanganyikiwa sana. Niliumia sana nikama kaka yangu ndo kapigwa risasi. Nilikuomba sana Mungu atende muujiza usife. Namshukuru sana Mungu kua hujafa na sasa nakusikiliza.
Mungu yupi? Muuaji mkubwa wewe. Mbona hukutoa pole kwa watu wa Rufiji? Ulituma watu kuchukua silaha Sitaki shari. Hivi mjinga wewe Merekani ni mama yako? Ameua Irak Libya Afghanistan, Arab spring hivi una akili wewe.!!!! Kapumuliwe hukoooo.
@@winifridarugayana7312 wewe ndo utumie akili. Kwanini ategemee ya kuambiwa wakati Vyombo vya Uchunguzi vipo? Anapotumia ya kuambiwa hadharani maana yake ameshatoa hukumu. Kukaa hospitali siyo kisingizio. Ana muda gani tangu atoke huko? Nadhani wewe umetoa WEAK DEFENCE!!!
Wanyonge kuwapatia pakuongerea wewe unaonekana ujapenda.kama ungengua unafatilia vizuri matatizo ya yanayoonekana kwaeanyonge ungeweza kusaport hili walau watu waponeshe vidonda,mnyonge akiyake apewe atakwamapungufu yote uliyoyataja ungeonyesha ata mazur yanayofanyika ktk mikutano yake ungekua mchambuzi mzuri,ila unaonekana unatafuta ubaya tu ila kila mwenye ubaya akosi uzuri wake
MAKONDA NI MUHALIFU HATA KUTEKWA KWA ROMA MKATOLIKI NA KUTEKWA KWA MO DEWJI HUYU MAKONDA ALIHUSIKA WAZIWAZI ILA NCHI HII INA ONGOZWA NA CC WENYE AKILI ZA SAMAKI
ulikua unaheshimika sana lakini sahz hauna jipya brother huez kushindana na Makonda huna akili kumbe hata kidogo rudi tu huko kwa wazungu toka kabisa huna jipya
Tatizo ni moja tu Tanzania ni kubwa sn na wenye matatizo ni wengi Sana, kwaiyo namna ya kutatua matatizo ya watu ni kuweka miongozo mizuri Yan katiba. Unasaidi mtu kwenye kwenye kijiji cha watu 3000 wenye matatizo uko nikusaidia au kufanya maigizo. Watanzania inatakiwa tuache ubinafsi kwamfano hii nchi niliyopo mkate ukipanda bei kwa sh1bila maelezo ya kutosha watu wanaandamana nahao wanao andamana wengi awashindwi kuongeza iyo sh1kununua mkate ila wanawapigania wale wachache ambao awana uwezo wa kununua mkate.
Kwa mujibu wa sheria za nchi: MHALIFU NI MTUHUMIWA ALIYEFIKISHWA MAHAKAMANI, MCHAKATO WA KIMAHAKAMA UKAFANYIKA NA MTUHUMIWA AKAHUKUMIWA KWA KOSA ALILOFANYA.Sijui hii inayoongelewa kama ni SHERIA, SIASA AU TUHUMA.
Makonda kakuzidi kete Lissu. Kila kitu uliambiwa. Mara Magufuli Magufuli hebu mwache baba yetu alale kwa amani. Kwanza Driver wako yuko wapi? Makonda alipigwa marufuku kwenda America kwa kuzuia ushoda Dar Es Salaam. Hebu mwogope Mungu Lissu.
Simwelewi Rais Samia, Kumteua Anayetuhumiwa Na Uchinjachinja Kuwa Katibu Mwenezi wa Chama, Anachofanya Ni 1) Kumpa Signal Kuwa Yeye Ni Invisible, Kuwa Yuko Juu ya Sheria, Kuwa anazawadiwa 2) Ni Kumjenga na Kumwanalia Nafasi za Kuumiza Maisha ya Wengi Siku Zijazo.
Makonda anawapa wakati Mgumu sana kwa sababu Lissu ni mchumia tumbo.Makonda siasa zake zinawaweka sawa ccm wewe unamuongelea wakati anakijenga chama wewe unamchafua makonda.Wakati unamchafua wanyonge na wenye shida ndo wanazidi kumuelewa zaidi. Kama uliitwa uende kufuatilia habari yakupigwa kwako ulienda kuulizia gari yako ikoje hiyo Lissu
Issue ya makonda kupigwa marufuku kuingia marekani siyo hayo mnayodai, ukweli mnaufahamu lakini mnaogopa kasema. Alizuiwa kwa sababu ya vita yake na wauza dawa za kulevya . Katika harakati hizo alikwenda hatua moja zaidi akakanyaga line ya wakubwa. Wala siyo upuuzi mnaousema.
Wewe kila cku story n hizo hizo....yan kama makonda alifanya ivo kwa sasa hana dhambi tena😂😂😂😂😂 bado hujasema na utasema yaaan mpaka useeeme yan hapo baadoooo
Mungu mwema alikuacha Kwa makusud
Sioni jipya kila siku kila sehemu kilio ndo hicho hicho kama ana ushahidi afungue mashitaka tumeshachoka kusikia same story kila siku.
@@danielmarwa5122we kuma nini asa akafungue kesi na wakati nchi anaongoza ccm
@@danielmarwa5122bila shaka wewe ni mmojawapo wa members wa lile kundi la kigaidi la wasiojulikana, ipo siku yenu itakuja tu.
MUNGU hujikipizia kisasi kwa wanaoonewa @@danielmarwa5122
Hivi wewe kibaraka wa ulaya utaacha maneno yako ya kipuuzi, lengo lako ni upuuzi mtupu.
Mambo ya Magufuli cc ndio tunayataka sasa
Point
Mh lisu mungu azidi kukupa maisha malefu ili wabaya wako woote wazidi kuumbuka ukiwa hai na maana mungu alikuacha kwa makusudi yake bila wewe hii tz wengi hatukuwa tunaijua haki yetu .mungu azidi tu kukuwekea urinzi na kukupa masha malefu ili wanaya wako wajulikane wooote
BILA KUPENDA MARIDHIANO UNGEONGEA? LEO HAPO? KUSEMA TU MANGAPI YAMASEMWA USIMHUKUM MTU KWA HISIA ALIHUSIKA KUMBE HAKUHUSIKA MIMI NAMUONA NI MPENDA HAKI KULIKO HATA WEWE LISU
MUNGU amlinde shogauyo
Tunakupenda sana mungu mkubwa kila wakati tunakupenda sana tunakuombea
Pole sana mweshimiwaa .niwakumbushe tu maisha tunaishi maramoja .tanzania ni yetu sotee tupendane . Maisha ni nini maisha ni story haijalishi mali ngapi nyazifa wala cheo.
Huna ushahidi wowote na unasema wapo watu walio kwambia na WA uhakika kwanini usiwaseme hao na ndio wawe mashahidi?
kwann police hawwjafuata huo ushaihid kwann hao police wako hawajachunguza hlo tukio
@@kapingageorge7635Polisi hawafanyikazi hivyo. Mwenye ushahidi apeleke. Dereva yupo wapi?
@@hajihassan5433 eti Dereva
Halafu magaidi wote wa like kundi la wasiojulikana majina yenu ni 'User'😅
Marekani nao hawana ushaidi
Mungu mlinde Makonda
Fisi
Mzeee mzeee muogope Mungu
Mmmmh' nashindwa nicoment nini''' Tanzania yetu jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu akulinde makonda wetu
Kuna siku atakuja kujibia mbele za mungu
Na bado lazima unyamazishwe kwani dawa ya kichaa ni sindano ya simu
Kama ni simu utanyweshwa wewe mjinga mmoja
Kwel kabisaa
Utazimishwa mwenyewe na Mungu.
Chizi wewe
Pepo wa makaburini we, subirini ipo siku yenu
Watu wa ccm wanamatatizo Sana mtu hanakuja ohoooo kibaraka wa wazungu mala ohoooo mambo ya ushoga ngoja niwambie kitu Wana ccm musipojifunza kwa mujiza haliotuonyenya mungu kupitia kwa tundu lissu hakaki binadamu muna miyoyo migumu Sana kapigwa risasi 16 mpaka leo yupo hi tena mwenye Afya njema kabisa halafu linakuja jitu hapa linaongea ujinga ujinga ngoja niwambie mungu bado hanampenda Sana lissu ndio maana yupo mpaka leo yule aliekuwa hanajifanya mbabe yupo wapi ? Tuendelee kushukuru mungu kwa mujiza huu haliotuonyesha. Amena
Risasi kumi nasita ww hujui wala mm sijui kasema yeye na kama ni kuwawa kwa watu ni serikali zote Duniani zinauwaga na hata huyo marekani anauwa maelfu na mamia kila mwaka tena ndani ya nchi yake na nje ya nchi yake lisu anakuwa kama anataka apakatwe yey kashapona amwambie mungu asant apige kazi
Hamna watu wakulalamika kama hili genge.
Hamna nchi yenye uhuru kwa hawa watu kama tzn.
Fanya kwa Mze Kagame uone.
@@sonnyr1899 acha kushabikia ujinga ww muombe mungu akupe hekima na busara na akijaze roho ya ubinadamu na utu lasivyo jehanamu inakungoja
@@InnocentBakedCustard-zp7ib unaushahidi wa serikali kuuwa watu wake??? Na je hayo matendo ni ya kushabikia kama yakitokea??? Je yakimpata ndugu yako au ww utafurahi!! Usifurahi binadamu mwenzako akitendewa usichopenda kutendewa ww ....
@@kilianjulius9882
Wanao shabikiya ujinga ni wewe kitu gani waliombwa wakanyima?
1.Mlalamika oooo tumifenguwa mikutano Haya mama kawafunguliya.
2. Maandamano oooo tumeziwiwa kuandamana sasa ruksa mmeandana na police mkapewa wa kuwalinda.
3. Huyo Lissu wako ooooh nikija Tanzania nitakamatwa sasa mama kamfuata mwenyewe kamwambia njooo na hapo anatukana akiwa katika ardhi Ya tznia.
4. Oooooh posho nimekatwa serekali imeamuru apewe posho zake.
5. Mama amekuja hadi kwenye kongamano la Chadema na video zipo mitandaoni.
Yani hadi hamueleweki mnataka nini sasa?
Kama ni kuongoza uongozi hauji kwa huruma bali ni jitahada na kuonesha mfano.
Ndani Ya Chadema kwenyewe demokrasia niya maandishi tu vitendo 0
Mungu anakuona usipende kuhukumu tupo duniani unaheshimika sana punguza ukali wa maneno
Anapaswa kusema kweli daima
Ila kwa GSM NI KWERI KABISA KAAPA MAKONDA ALIZUNGUA SANA KWAKWERRRR SEEEEE MAKONDA KWAIL LIZINGUA LA GSM MPKA LEO GSM ANA UMIA MOYO
Pole zake
Usitaje Wamerekani. Hawana Moral Authority.
Duu pole sana mtu wa Mungu Tundu lisu ila hujafa kwa sababu hujalimaliza kusudi la Mungu lililokuleta Duniani
Well said. Kusudi la Mungu Baba hakuna wa kuzuia.
Wèll ßaid. Kusudi la Mungu Baba kwa Lissu hawezi hakuna atakayezuia
Shogauyu anautugani wa MUNGU
kwenda zako uko ww makonda kazuiliwa kwenda marekani kwasabab ya kuakamata mashoga naww mwenyewe mshenzi2 ww ulikua raisi wa TLS mbona.mikataba ilikua inasainiawa ya hovyo kbx ulishindwa kutoa hata ushauli unauza maisha ya watu kwasabab pkapu kwenda
Tundulisu aliongea sana Kwa habari ya mikataba mibovu😊
Kwenda zako mwenyewe usijitambua
Wew ni kichwa cha mwendawezim kwani wew ulikuwa humuoni Lissu jinsi alivyopambana na mamikataba mabovu toka bungeni au ni chuki za kijinga tu
@@makobamasawemangu4122 kweli bro ,,NA MATOKEO YAKE VILE VICHWA VYOTE VINAVYOSEMA UKWELI UCHAGUZI WA 2020 WALIPORWA KWA NGUVU NA SASA MIBUNGE YA CCM YAKO PEKE YAO WANAENDELEA KUIUZA NCHI KWA MIKATABA MIBOVU
Tuko wengi tunao muona Ivo izo kauli za shombo zote tamaa yamadalaka naizo kaulizake zakinafki ndozanazo mnyima madalaka ajielewi
Mungu mponye Makonda
Ukiuuwa Kwa upanga nawe utauliwa Kwa upanga,
Vilaza wote hawawez kukuelewa mh.lissu.
Sahihi
Ukiwa msomi wamakalatasi nirahis kuunga mkono makonda amekaa mda mrefu bila kumchukulia hatua kama hao watu waliujua ukweli kwanin walikaa kimya ,endeleeni naunafiki
Kwel broo
Umwelewe chiz Kama huyu nenda kashtak mwendawazimu hovyo kabisa ungekufa tu
@@SelijusiMalambo-q2ukilaza kweli wew
MWANAHALISI CHANNEL MUNATUBOA WEKENI MAHOJIANO YOTE MWANZO MPAKA MWISHO HIVI MUNAKATA VIPANDE VIPANDE HAILETI PICHA NZURI ,,JITAHIDINI KUWAIGA WENZENU KAMA JAMBO TV AU MWANZO TV...lissu unatowa madini mazito hakika lissu ni mkombozi na mzalendo wa kweli hongera sana ,,towa madini kamanda wetu
Angekuwa na ushahidi angefungua kesi
We kuma kweli fatilia acha ukuma
Kwan wanaosmamiakes nani
Uko na akili kweli
@@alimussa2655.umefirisika kiakiri wewe ni mwehu ndo maana mnashindwa kuchukua nchi mnaishia kutukana, tengenezeni hoja sio matusi
Ck itafika wote watamulikwa!!
Ipo siku mungu atamuinua mtumishi wake na tuta okolewa wana wa izrael walipitishwa kwenye mateso makari lakini wakati wa mungu ulipo fika falao na kiburi chake alinyosha mkono sisi watanzania machozi haya mungu atamuinua mtumishi wake atupereke kanani
Rais wagu lissu agaria ccm inakwanda kasi kuliko ss kila siku ss chadema ss tutaongea walinipiga risasi tuogea vt amavyo watu anataka kwasasa
Ivi unajuwa aliye pingwa risas alikuwa simba au tembo au ingekuwa ni wewe unge saau au usinge zungumziya angaliya wewe nibinadam tena unaishi chini yajuwa ujuwi siku Wala sawa naamishaya yamekuwa mangumu na ccm ndowanao kula pesa zetu.
Muheshimiwa Lisu,sisi tunafahamu vyema kuwa makonda alipigwa marufuku kuingia. Marekani baada ya kuzuia ushoga usifanyike ndani ya jiji la Dar es salaam,wapenda ushoga Duniani wakasema amekiuka haki za binaadamu,je wa naume kwa wanaume kugongana Ni haki ya binaadamu au ya Shetani?
Ndugu yangu kongole sana kwa kuwaelewesha Hawa mashoga wagawa mizigo
Ushoga ndiyo unazuia haki ya mtu kuishi? Ipo siku tu haijalishi muda gani unapita, yote yatakuwa wazi.
@@jesaminzo acha kusema ivyo hata yesu alisema atakuja lakini mpka Leo ajaja sasa nimwambie tuu huo wakat hautakukuta ww ukiwapo utakuja wakat ambao ccm itaangisha VYAMA vyote na kuendesha nchi miaka yote kama hamtoanza kurekebisha chama chenu kwa kuweka misng na kuwa na democrasia halisi na syo hii ya udanganyifu
Hawa mashoga wanatuharinia nchi sana
Mtasema mengi, bado hamjasema! mambo anayofanya Makonda yanawapa shida na ni mwanzo tu(season 1,mpaka ifike seaso 5)na hawaachi mpaka mjifunze siasa muache ya kusikia na kuambiwa!
Hamna jipy hawa wasenge wa wazunguuuu.
Hivi huyu ndy anaesapoti ushoga
Nyie chadema mpo kama kichefuchefu katiba mpya mmrikimbia bungeni mikutano ya hadhara mmeikimbia maandamano mmeyaacha sasa sahv mpo na makonda mbna vichwa venu havpo sawa nyie chadema
Ndyo anasema uongo yy kama mwanasheria nguli kwanin asiende kumstaki Yan yy mwenyewe anamaadui weng mpka ajui ni nan maan hata ndani ya chama chake kunamaadui zake na tunawajua
Acha upumbavu weee@@InnocentBakedCustard-zp7ib
hao mademu wanaakili sana ndio maana hawandamani
Ccm ndo kichefuchefu kwa watanzania maana magumu yote tunayopitia watanzania Ni kutokana na chama cha ccm,hiki chama kimeuza nchi watanzania waliowengi wapo kwenye wakati mgumu Sana,mtu yoyote anae ishabikia ccm huyo ni muuaji kabisa.maisha magumu wakati hii nchi ina kila kitu mungu kaipendelea nchi yetu ila Ni wachache wanaoharibu hii nchi,ipo siku itafika mungu atawapa pigo baya Sana kwa yoyote yule anaeshabikia huu utawara wa ccm.
Yyt anaetetea uovu wa ccm huyo ni kiti moto kabisa,na shetani mkubwa,yaani kila wakati wa uchaguzi mnageuzwa Kama chapati munakubali tu,na yote wanayoyafanya mara sgr,barabara za rami wanafanya kwa mihemko ya chadema tu bila kuboostiwa na nguvu ya uma yote hayo wangefanya?wapinzani wapo sawa.yanga asingelikuwa bora bila kuwa na Simba Bora,mungu msimamie mh lisu na chama chake na viongozi wote pia uzidi kuwaumbua wabaya wote wa lisu waje wafwe kifo kibaya na ca mateso,maana walitaka kujiamulia wao kuzurumu uhai wa mtumishi wako asiye na hatia,mungu ibariki Tanzania na wafuasi wote waokipe da chama cha chadema wape maisha malefu I wane wafurahie uongozi wa chadema ameen...
Nii kweli anachokisema. Lissu hajawai sema. Uongoo 7:41
WENYE AKILI TU NA UELEWA WA JUU NDO TUNAO KUELEWA MH. TUNDU LISSU.
Sn huyu baba ana akili sn kupitiliza
nyie matahira amkeni wakat wa ujinga ulishapita hao wanasiasa chafu wasiwafanye msione mema ya viongozi wema kisa porojo za uongo kwanza alitakiwa ashitak baada ya kupata nafuu na dereva wake alitakiwa awe chini ya ulinzi sababu risasi zilitokea upende wa dereva kwanini yeye hakupatwa hata na mchubuko tu wa risasi ila lisu alikataa kumtoa dereva aje ahojiwe sasa mlitaka wamsaidieje wakat shahid wa kwanza niyule aliekua nae 2 anawasifia wazungu ili wazidi ivuruga tanzania kama ilivo vurugika sasa maji shida umeme shida chakula juu pesa zinaenda ulaya mauwaji kilasiku moto kila sku kazi hazipatikani umeme shida biashara za watu wa chini zinaoza tu ogopa sana kiumbe anae kashifu ndugu zake kisa jirani huyo muuwaji sasa wamerakan walimzuiya makonda kisa kakataza ushoga mkoa wake vipi anasingizia mengine jamani hemu mbadilike bwana
Huyu lisu ni mshenzi tu acha aendelee kupanua domo lake akisema Magufuli alituma auawe ili iweje. Mtu anaweza kupigwa risasi zote hizo akapona???? Kwanini aliambiwa atoe ushirikiano amlete yule dreva wake hakutaka kabisa hii ilikuwa mipango yao na watu wake. Tena afunge domo lake kumtaja raisi wetu Magufuli. Mungu amlaze pema peponi.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Tuhuma za Lisu kwa Makonda sizitilii maanani, ila tuhuma za Marekani kwa Makonda sizakupuuzwa inapaswa achunguzwe
Tatizo makonda alipiga marufuku ushoga ndo kosa lake lilikuwa hilo
Yeye mwenyewe shoga tu,,@@martinemaganga5253
@@martinemaganga5253 Wewe unalijuwa kosa la Makonda, aliwadhibiti kwa maovu yao.
wewe nikibaraka wa wazungu unajipya sasa unaenda kuzungumza ya watu.binafisi
Hicho Ni chombo cha habari fungua ubongo wako
Wazungu wakuhache ww hutakuws wapi
We akiri huna
Mijitu mingne bashite kweli humu,kama hili,,huwezi kumwelewa maana huna uelewa
Stupid
Mimi ninakushangaa.magufuli Alisha kufa bi
fu ya nini
Lisu hayo mambo umesema mara nyingi sana,kama una ukweli wape ushirikiano polisi ili jambo hilo liishe.
Ulianza vizuri, ila hapo kwenye magufuli ridax, niondolee utahira
Ndio maana na wambia huyu mzee ni chocoo wa wazunguuu
Magufuli kwani alikuwa Mungu jamani mbona maraisi wengine wote wakisemwa mpaka nyerere
Duuuh kila siku unalia na Makonda, HUCHOKI??sasa UNATAKAJE? Maana toka umeanza kulia nae hali ni ileile, nenda ICJ basi
This a hear Say YOU don't have NO any Invidence ATALL >> OOOOOOHMEN >>POLITICTS IS A DIRTY GAME >> Niriwambiwa Niriwambiwa>> really??? BUT THIS IS A DIRTY GAME!!!
Kwani marekani ni binguni. Kibaraka wewe
Mjinga wewe. Hutumii akili zako vyema
@@Thevineyard9889 CCM IKO IMARA KAMA SIMBA NA ITAONGOZA MIAKA MILLION 10 UPENDE USIPENDE
Makonda ATAKUA Rais kabla ya hiki kibaraka chako
@@Thevineyard9889🎉🎉🎉🎉🎉❤
@@soundbreezetv🎉🎉🎉🎉🎉❤
Rais wangu lisu umenigusa ,, damu ya mtu haiendi bure , kunasiku watawajibika 💪💪💪 neno la nguvu
2:46ok
Sionaona ww mwenyewe aujui ata unacho kisema, umeanza kusema makonda ni kama magufuli sasa sinajionyesha kua iyo ni wifu . Lakin maneno yako ata ayatakua na maana na ushindwe kwa jina lake baba mwenyezi mungu muumba wa kila jambo apa duniani
😢😢😢😢😢😢😢😢 kumbe uliambiwa
Pole sana wakati wako wakwenda mbinguni ilikuwa Bado ; pole mheshimiwa
Sasa Kama huna ushahid unaongea nn funga choo hichoo
Marekani wamempiga marufuku makonda kama unavyosema kwa kutaka kutoa uhai wewe je baiden anaishi wapi
Mzee siyo kweli kuhusu Paul makonda marekani haikumruhusu kwa sababu ya haki za mashoga ni kwa sababu mr makonda alipigana vita ya mashoga kutaka haki zao wakati wanajua mila za wantanzania haziendani na mila za kiafrica hiyo ndio ukweli . Makonda hajahusika na matatizo yaliyokutokea mzee.😊
Risu anapenda kiki uyu yy ndo anajiona mwema wengine niwaalifu ovyooo
Pole Sana mwachie mungu
Kweli, ni polisi ndio walitakiwa kuchunguza
Kama ana uchungu si akajifungue
Bashite mtu mbaya Sanna mungu atamzalilisha ipo siku inshallah
Pole sana MH. Tundu Lisu. Hata sasa mkono wa Mungu umekushika. Siku imepigwa risasi nililia sana, nilichanganyikiwa sana. Niliumia sana nikama kaka yangu ndo kapigwa risasi. Nilikuomba sana Mungu atende muujiza usife. Namshukuru sana Mungu kua hujafa na sasa nakusikiliza.
Mungu yupi? Muuaji mkubwa wewe. Mbona hukutoa pole kwa watu wa Rufiji? Ulituma watu kuchukua silaha Sitaki shari. Hivi mjinga wewe Merekani ni mama yako? Ameua Irak Libya Afghanistan, Arab spring hivi una akili wewe.!!!! Kapumuliwe hukoooo.
Sometimes Lissu akili yake inakuja na kupotea sio mzima msenge sana😡😡😡😡😡😡
Akili zako zinakutosha
Wamarekani ni wauza silaha tu
Oooooohmen Politicians wadanganyifu saana>> Kumbe uyu muzei naye nimucafu hivi!!!
Kinacho shangaza kumbe huwezi kuwa na urai inchi nyingine ukawa mwenyeki mbona unasema kuwa Mama Samia kaiuza inchi kwa waarabu kivipi?
It makes a lot of sense.
Hizi accusations zinamlemea Paul Makonda vibaya. Anapaswa achunguzwe na akajitetee mahakamani
Mahakama za Tanzania., sijui kama zinatenda haki!
"Nimeambiwa".
🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️
Wewe naye, mtu amepigwa risasi, amekaa ICU masiku kibao, angejuaje pasipo kuambiwa? Tuwe tunatumia akili hata Kama una ushabiki wa chama
@@winifridarugayana7312 wewe ndo utumie akili. Kwanini ategemee ya kuambiwa wakati Vyombo vya Uchunguzi vipo? Anapotumia ya kuambiwa hadharani maana yake ameshatoa hukumu. Kukaa hospitali siyo kisingizio. Ana muda gani tangu atoke huko? Nadhani wewe umetoa WEAK DEFENCE!!!
KAMA WALIKWAMBIA KWANNI WASINGE KWAMBIA KABLA ILI UJIHAMI ?
UMEME ULIKUWEPO, MAJI YALITOKA,MIRADI MIKUBWA ILIFANYIKA,HIVYO NDIVYO TUNAVYOKUMBUKA MH.LISSU
Hata makaburu walitoa hivyo vitu zaidi ya hapa,ila walipokanyaga haki za watu walichukiwa,walifurushwa madarakani.
Lisu ndo mtetezi wa watanzania ila kwa wasiojielewa hawawezi kuelewa ila ipo siku watamuelewa watakuwa wamechelewa
Wanyonge kuwapatia pakuongerea wewe unaonekana ujapenda.kama ungengua unafatilia vizuri matatizo ya yanayoonekana kwaeanyonge ungeweza kusaport hili walau watu waponeshe vidonda,mnyonge akiyake apewe atakwamapungufu yote uliyoyataja ungeonyesha ata mazur yanayofanyika ktk mikutano yake ungekua mchambuzi mzuri,ila unaonekana unatafuta ubaya tu ila kila mwenye ubaya akosi uzuri wake
Washamba tua asa uyu anaesema anataka urais ampe nani? Chizi
MAKONDA NI MUHALIFU HATA KUTEKWA KWA ROMA MKATOLIKI NA KUTEKWA KWA MO DEWJI HUYU MAKONDA ALIHUSIKA WAZIWAZI ILA NCHI HII INA ONGOZWA NA CC WENYE AKILI ZA SAMAKI
Ni kweli kabisa
ASANTE MTANGAZAJI KWA SWALI LAKO NZURI NA LENYE BUSARA. KABLA MAGUFULI HAJAFA,N ILIKUWA NI MAGUFULI, MAGUFULI, MAGUFULI. 😂😂😂 .
ulikua unaheshimika sana lakini sahz hauna jipya brother huez kushindana na Makonda huna akili kumbe hata kidogo rudi tu huko kwa wazungu toka kabisa huna jipya
Kama ni mzungu atarudi kwa wazungu anza wewe usiyejielewa
Ww tumia akili yaani jenga hoja watu wakuelewe
Hv angekuwa baba yako au ndugu yako amepigwa risasi kama risasi ungeweza kusema hayo!?
Just wait,
Inzi wakijani wanashida Sana yani wewe unaona anachofanya makonda kina saidia
Pamoja mkuu
Angalikufa jee inamana pia KC isingalichunguzwa jee hii ndio Sheria inavyosema ?
Wale wanao mtetea lissu ni wale ambao wanafata chama tu ila kama watu wangemjua huyu mzee 😅😅😅😅
Wewe acha siasa chafu huna jipya kabisa kama ni magufuli watu walio kosa haki zao na wanazipata tatizo Nini kwako
Tatizo ni moja tu Tanzania ni kubwa sn na wenye matatizo ni wengi Sana, kwaiyo namna ya kutatua matatizo ya watu ni kuweka miongozo mizuri Yan katiba. Unasaidi mtu kwenye kwenye kijiji cha watu 3000 wenye matatizo uko nikusaidia au kufanya maigizo. Watanzania inatakiwa tuache ubinafsi kwamfano hii nchi niliyopo mkate ukipanda bei kwa sh1bila maelezo ya kutosha watu wanaandamana nahao wanao andamana wengi awashindwi kuongeza iyo sh1kununua mkate ila wanawapigania wale wachache ambao awana uwezo wa kununua mkate.
Wewe jipya lako lipi au ujinga tu umekujaa kichwani
Kwa hiyo kuna usahihi wa uonezi wa haki kwenye utawala uliopita au ?
Leta jipya wewe tukusikie
Kwa mujibu wa sheria za nchi: MHALIFU NI MTUHUMIWA ALIYEFIKISHWA MAHAKAMANI, MCHAKATO WA KIMAHAKAMA UKAFANYIKA NA MTUHUMIWA AKAHUKUMIWA KWA KOSA ALILOFANYA.Sijui hii inayoongelewa kama ni SHERIA, SIASA AU TUHUMA.
Yani wamarekani walikua dodoma ndio wanaushahidi. Kibaraka
Choco hili zeee choco la wazunguuu
@@awadhally1052 Mimi nasahangaa et na wamarekani wanushahidi ,wakati anapigwa risasi wamarekani walikua wamesimama umbali Gani natarifa walizipata kwamda Gani. Kama umekula Hera Yao akawalipe
Ndo maana Mungu alimukoa kutoka kwa wewe muuaji
"Kuna siku litafanyiwa KAZI" Nmeifunga kaul hii kwa AKBA ya wakat UJAO
Network ya lisu inasuasua pole baba, nenda nchini kwako ulikopata uraia.
ila mahojiano mengine daaah!!! Lisu samehe tu, Mungu mwema
Mungu anahusiana nin na upunguani wenu wa siasa zisizo za kizalendo mnaungana na na ushoga
Lisu hili halina kipingamizi tunajua na MUNGU aliweka wazi kikubwa tuendelee kumshukuru MUNGU na tuamini atajibu kwa wakati
Washitakiwe Ili iwefundisho Kwa kampuni nyingine
Makonda kakuzidi kete Lissu. Kila kitu uliambiwa. Mara Magufuli Magufuli hebu mwache baba yetu alale kwa amani.
Kwanza Driver wako yuko wapi?
Makonda alipigwa marufuku kwenda America kwa kuzuia ushoda Dar Es Salaam.
Hebu mwogope Mungu Lissu.
Wewe ni Mshenzi sana huna jipya mbwa
wewe ndo mshenzi
Hivi kweli Mungu upo
Mmmmh, uongo mkubwa uongo isipokuwa na mkia
Makonda mtetezi wa wanyonge
Mjane vipi
ni kwel kabisa mnyonge kama ww unatetewa na yeye ila Lissu anatetewa na MUNGU
@@kapingageorge7635 Dah sasa marekani kumbe ndio mungu wake jamani
@@soundbreezetv jibu kama m2 smart mweny utimamu kaka
@@kapingageorge7635 Also on your part try to use your medulla oblongata well
Kuambiwa ni jambo moja na kuona ni jambo jingine, lisu acha uongo
Mungu mkubwa hukufa bali unaishi
Ccm wanapambana kwa kila hali wabak madarakan ila siku wakitoka madarakan chamoto watakuona makonda na wenzake wote kunyongwa tu hakuna kingne
Marekani walimpiga marufuku makonda,baada ya kupiga marufuku ushoga na mashoga,,marekani wakadai amevunja haki za mashoga, acha zako,,,
Wewe wamarekani unawaonaje wamerican ni wapuuzi kama wapuuzi wengine
Lawama ulimpa magu ukamsifia mama Leo mama mbaya mda huu makonda muuovpe mungu we baba
We mwandishi una unalolifahamu kweli, Lisu angeonyesha ushirikiano vipi wakati yeye ndio alipigwa risasi na alikuwa mahututi.
Uko sahihi. Ilikuwa ni vigumu
Simwelewi Rais Samia, Kumteua Anayetuhumiwa Na Uchinjachinja Kuwa Katibu Mwenezi wa Chama, Anachofanya Ni 1) Kumpa Signal Kuwa Yeye Ni Invisible, Kuwa Yuko Juu ya Sheria, Kuwa anazawadiwa 2) Ni Kumjenga na Kumwanalia Nafasi za Kuumiza Maisha ya Wengi Siku Zijazo.
Lisu akitengeneza mchezo wakijitoboa cy alipigea
Makonda anawapa wakati Mgumu sana kwa sababu Lissu ni mchumia tumbo.Makonda siasa zake zinawaweka sawa ccm wewe unamuongelea wakati anakijenga chama wewe unamchafua makonda.Wakati unamchafua wanyonge na wenye shida ndo wanazidi kumuelewa zaidi.
Kama uliitwa uende kufuatilia habari yakupigwa kwako ulienda kuulizia gari yako ikoje hiyo Lissu
Issue ya makonda kupigwa marufuku kuingia marekani siyo hayo mnayodai, ukweli mnaufahamu lakini mnaogopa kasema. Alizuiwa kwa sababu ya vita yake na wauza dawa za kulevya . Katika harakati hizo alikwenda hatua moja zaidi akakanyaga line ya wakubwa. Wala siyo upuuzi mnaousema.
Ww ndio jinga kabisa
Na vita yake dhidi ya Ushoga.....
Kwa hyo lisi nado unautaka uraidi
Em tusiwe serious kidog.. app kuna mtu kajamba au ni kochi😅😅 dakika ya 8:18
Wewe kila cku story n hizo hizo....yan kama makonda alifanya ivo kwa sasa hana dhambi tena😂😂😂😂😂 bado hujasema na utasema yaaan mpaka useeeme yan hapo baadoooo
Hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo
Hahahahah😂
Hiyo habar ya urais achana nayo mzee, you will never eveeeer be ....
Are you the mighty god who knows everything? Keep your one vote secret.
izi nisiyasa za tanzania 😂😂😂 uyu jama kelele nyingi kila siku
Watoa coment wengine ni mabashite kweli humu..huyu mbunge anaeleza vtu na utu..lakin kwa chuki za mabashite nyie...
Ila ujingani mzigo ko unataka kila mtu accoment unavyopenda wewe?
Eee mwenyezi mungu nakuomba hawa wanao mnenea vibaya makonda yawarudie wenyewe.Umeambiwa hukumuona.Na kwanini unamsema makonda?!!😂yachunguzwe acha kumsingizia
Ila wwe huna unaongea mambo yakishwaini unafki mkubwa
Lissu mwanasheria mashuhuri fungua kesi ukiwa na vielelezo vya kutosha.Onyesha uwezo wako.sisi wananchi tutakuwa mashahidi.
Makonda ni mtu mbaya sana jamaa yule hafai kabisa hata kidogo. Tundu Lissu anasema ukweli kabisa. yeye na Sabaya wote walipaswa wawajibishwe
Kama ushaidi upo toa ushaidi hili mwende mbele ya Sheria ,Sheria haiitaji kupindisha
Lisu Mungu akutunze 🎉