MFARANSA AKUTWA HOI KALALA USWAHILINI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 136

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuu hiyo kweli Zanzibar Yan Wala hajaguswa , hongera sana mwandishi wetu usie nawas ,Allah akujalia ujasir za was kutupatia habar

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani wenzetu sio kama sisi.
    Huyu hata kama hakulewa kulala nje ni kitu cha kawaida.
    Huyu ni gangwe wa kizungu haya ni maisha yao.
    Niliwahi kukutana nae mmoja Mwangapwani anajitayarisha kulala ufukweni.
    Usafiri wake ilikuwa ni baskeli.
    Alotoka nayo mjini.

  • @mtungujarajab6865
    @mtungujarajab6865 5 ปีที่แล้ว +2

    Pombe si chai

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว

    Baraste Kipande. Mtaa jjrani na nyumbani. I miss you Zanzibar.

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +3

    Duh! Msaidieni apate kurudi alikotoka

  • @abdifatah222
    @abdifatah222 5 ปีที่แล้ว +2

    Unga

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂😂😂😂Mzungu pombe sio chai pole Mzungu kwayalio kukuta uwe unanusa kwaza ukihisi harufu ya chai kunywa ukihisi yapombe kataa kunywa

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว

      Wecheka tu bahati hawajakugeuza mke mana

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      Alivyoona light pengine alifikiri green tea huyo😂😂😂😂

    • @msakaella354
      @msakaella354 5 ปีที่แล้ว

      akuna cha pombe sio kila mzungu maisha mazuri njaa zaidi ya sisi

    • @msakaella354
      @msakaella354 5 ปีที่แล้ว

      babu tuko pamoja uku njaa kali wengi pia mateja langi ndio inayo wafanya wathaminike angekutwa nswahili kalala apo angeitwa mwanga au mwizi kanasa na tego aka uwawa

    • @rashadbakar1763
      @rashadbakar1763 5 ปีที่แล้ว

      Hhh

  • @bajomba2010
    @bajomba2010 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani eeehhh...huyo kanywa urojo kupita dizi yakeeeee....

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 5 ปีที่แล้ว

    Hongeraa mashalwah ila nahisi pesa wamekula kama ulikuww nazo

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 22 วันที่ผ่านมา

    Hya si alilia wembe 😂😂😂😂😂 mpe tukiwambia pombe.sio supu hawasikii

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wazungu wanaogaragara na kuishi maisha ya kiswahili ndio wanaotuletea ufuska hawa! Wangekua wakikamatwa wanaangaliwa kwanza visa zao km ishamaliza warejeshwe walikotoka! Lkn tatizo letu tunawapembejea sana wazungu na lugha haipo!

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +2

      @@abumohd1046 , sikushangai tangu uwe mtunwa wa wazungu. Unaniuliza kiringo? Kwani kiringo ndio wa kwanza kubaka? Wazungu wangapi wanafanya uharibifu sio leo tangu zamani halafu wanakimbia. Au nyinyi ndio mabwana zenu wanaokugaieni vidola mkawafichia maovu yao? Angalia kiwengwa nani aliyeanza kuiharibu? Kiringo? Na hzo shamba zote zilojaa wazungu hapo zamani kiringo pia? Si ndio nyie mnaopembejea waovu na machafu kwa kutaka ati kutolewa kimaisha? Uharibifu wam zanzibar haufikii hata robo ya uharibifu wa mizungu isiyojielewa?

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@abumohd1046, na wazungu ndio walioleta uchafu wote znz (drugs, uzinzi, pubs, matendo machafu ya jinsia moja na kila uchafu unaoujua ww km hujui uliza ufahamishwe. Si umefumbua macho unawaona kina kiringo tu wanaoendeleza

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@abumohd1046, wazungu walikuja na ufuska na wkapokelewa na jamaa zetu wapenda pesa. Mchezo ushawakoleeni sasa mnalaumiana nyinyi kwa nyinyi, pale mlipokua mnajifunza mkipewa vidola mlikua mnaona raha sasa bure imekua karaha? Km hufaham wazungu hiyo michezo ya nyuma na yakubaka watoto ndio laana zao makwao! Tena wakishabaka wanaua na kufukia kabisa! Km huelewi njoo kwao ujue tabia zao! Sio unamuona Afrika anacheka unamuona wa mana japo kua kwao anatafutwa na passport kwa bahati isha expire kaingia mitini anajua wajinga wa rangi ndio waliwao!

    • @dannygroening3547
      @dannygroening3547 5 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 wewe huna akili uliwaona wakati walizileta

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@dannygroening3547, bila shaka ww ndio usonaakili. Mana hata akili yako inaonekana wazi kua imejaa funza! Unakataa jambo ambalo hata mtoto mdogo mwenye akili timam anafaham kuwa wazungu ndio waharibifu. Walikuja na wanaendelea kuja na mpaka mapicha yao machafu wanakusambazieni aibu na imani zikutokeni. Na ndio mana akili zenu zinashindwa kuchangamanua mambo!

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว +1

    Cpati picha kama angedondoka kwenye lile jiji ila watu wasiomjua Muhammad wala Allah, cjui ingekuwaje?

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 ปีที่แล้ว

    K TV mitaaa yenu kabisa iyo..

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 5 ปีที่แล้ว

    Na hao friends zake kwanini wasimsaidie wakampeleka hotel Kuala??au hata eatleast wasingemuwacha hapo..hao sio good friends kabisa! wamemuona mwenzao kaanguka wakamkimbia!dunia usiamini hata hao friends ukipatikana na kitu mbele yao wanakukimbia!🤔😢💔

  • @carenmihayo1152
    @carenmihayo1152 5 ปีที่แล้ว +3

    Sijaona kosa hapo la kumkamata huyo mzungu yaan wazanzibar siju uwa wanaakili ya chooni sasa kafanya nini hapo kikubwa cha kumuhitia polisi?

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 5 ปีที่แล้ว

      Km. Wazanibar. Tuna. Akili. Za chooni. Basis. We. Una. Akili. Za. Matako. Ya. Mama. Ako. Akitembea. Mpk. Atikisike. Pumbu. Za. Babaako

  • @fainnamvungi4364
    @fainnamvungi4364 5 ปีที่แล้ว +10

    Vip wandugu wazenj huyu kanywa pombe Bara kaamkia zenji 😂😂maana kila kiovu na uchafu viko bara😂😂😂itakuwa kanywa supu ya pweza eeeh chuz likamlevya😂😂😂...

    • @khasamsmail7671
      @khasamsmail7671 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni wa ulaya c wa zenji

    • @khasamsmail7671
      @khasamsmail7671 5 ปีที่แล้ว +1

      Kanywa kwao zenj kajakuanguka tuuuu

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 5 ปีที่แล้ว +2

      Nimecheka wallah

    • @fainnamvungi4364
      @fainnamvungi4364 5 ปีที่แล้ว

      @@khasamsmail7671 hata mi naona hakuna pombe Z ziko bara na kwao😂😂😂

    • @fainnamvungi4364
      @fainnamvungi4364 5 ปีที่แล้ว

      @@subrynerysegerow1323 Usicheke mamy tuwaonee huruma wenzetu wanaoshikilia uovu wanapelekewa😎😎😎

  • @yousufharthy6876
    @yousufharthy6876 5 ปีที่แล้ว +12

    Sasa ikiwa kalewa Kwani kuna sharia mtu kulewa ni makosa.
    Ikiwa haendeshi gari wala kufanya fujo sioni sababu ya kukamatwa . Ikiwa kulala nje watu wingi tu walalia njiani Kila siku Basi wakamatwe wote.

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 5 ปีที่แล้ว +1

      @Omary Hamisi
      Ndio nikauliza Kwani kuna sharia za nchi zazuiya kulewa ? Sijazungumza kidini sababu nchi haiendeshwi kwa na dini us kiislamu.
      Nawanaruhusu kuuza ulevi visiwani kote ma baa Kila kona maanake nini

  • @poschasbae9511
    @poschasbae9511 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania bana mzungu mtu mwenye thamani sana kuliko mswahili 😀😀😀😀😀zenji bwana ukienda Beach wanashobokewa wazungu vibaya sana je angekuwa mswahili mngeshughurika hivyo
    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 5 ปีที่แล้ว +2

    teja tu uyo

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว

    Ah!! mie nilizani labda kaibiwa hivi kumbe mlevi kudadadeki zake liachieniii

  • @TradingPHD
    @TradingPHD 5 ปีที่แล้ว

    Eti Mtoto... AhahahWaaFrika baaana🤣🤣🤣

    • @yuzarsfsharf4838
      @yuzarsfsharf4838 4 ปีที่แล้ว

      mtoto kwa wazaz wake uelewe kichwa maji ww

  • @kabaisamtotowamama5226
    @kabaisamtotowamama5226 5 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 eti pana mzungu kanguka jaman luha nyengine noma kweli

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 ปีที่แล้ว

    Daaa

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 5 ปีที่แล้ว +2

    Uyo sheha hana kazi tum Asa kuna jambo la kuja sheha hapo na ashaamka😂😂😂

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 ปีที่แล้ว

    Duh hatar sana kwa Kweli.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +3

    Baba mtu mzima huyo pengine hao wazee wake hawajaonana zaidi ya miaka 5. Mzungu si muafrika km ati wazee wake hawajui hata alipo!😁😁😁Wao waliowengi wakifika 17, 18 wanakata kamba hao. Tena huku nyuma hata asikie umekufa haji au anakueka kwenye friji mpaka amalize yake. Na mda mwengine anaagiza tu kanisa au hospitali mchomeni, yamemaliza!

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +2

    Oyaa sio wa Tanzania ni zanzibar

    • @hassankihonde1275
      @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwani kuna mzungu wa Zanzibar na Tz bara! Mbona unaleta uboya?

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 5 ปีที่แล้ว +1

    Ilikuwa ni fursa kwenu waislamu kumpiga daawa aache hayo na aingie katika uislamu na sio kuanza kubabaika

    • @rwabu
      @rwabu 5 ปีที่แล้ว

      Abdulaziz Harthy unajuaje dini yake?

    • @abdulazizharthy5627
      @abdulazizharthy5627 5 ปีที่แล้ว

      Kwa sababu dini ya ki-islamu hukataza watu kulewa na huyu kalewa lazima atakuwa sio muislamu kama wewe Wilbroad ni dini gani labda mkiristo

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 5 ปีที่แล้ว +1

    Ss we mzee huko police mnampeleka kufanya nn.wakt hajaua wala hajazulika

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 8 หลายเดือนก่อน

    Ungekuwa Arusha ww watoto wambwa wangekuvua Hadi suruali😅😅

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว +1

    Unga uwo

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kachanganyikiwa unga na bangi

  • @ramadhaniamour4834
    @ramadhaniamour4834 5 ปีที่แล้ว

    mmmh kalale bongo uwone yani watasaula kila kitu unaachiwa boxs tu ili ustilike na sehemu za Siri

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 5 ปีที่แล้ว +1

    engekwenda huko tanzania akalala kama kariakoo mwanyamala nk.
    engeona engevuliwa mpaka chupi wengemuobia.
    baada yakusema znz anasema tz.
    ndio wale wadach waliokuja kwa kusaidia znz. wakas3ma znz ni mkoa wa tz

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว

    Dear Gambe hawezi kumuacha mtu salama alishasema Killer, napia huyu jamaa mchafu kinyama yaani mivuzi ya kwapa inapepea, ila nawaomba wanajopo hii issue isihusishwe na sehemu yoyote sw huyu jamaa amekutwa Zanzibar ila sio mzanzibari napia hao wauzaji wa pombe wengi wao kama sio ni wabongo

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 5 ปีที่แล้ว

    mamae zenji tena??? ashapakuliwa mzungu hasemi ukwl tu....

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 5 ปีที่แล้ว

    Kabla cjaskiliza habari nliposkia Baraste kipande nikajua Maunga tu hamna jengne na vijana kulala nje hapo ni kawaida ila wanamshangaa huyo mzungu tu

  • @abdulwahidmsellem1998
    @abdulwahidmsellem1998 5 ปีที่แล้ว +2

    Utaliwa we mzungu

  • @mahmoudsalum9294
    @mahmoudsalum9294 5 ปีที่แล้ว

    Njoo ulale kwetu tandale

  • @ashminhaabdullah4963
    @ashminhaabdullah4963 5 ปีที่แล้ว

    Pesa hana nini maana baraste kipande wangemuacha salama huyo mzungu mmmmh

  • @cynthyazubery5986
    @cynthyazubery5986 5 ปีที่แล้ว

    Unabahati upo Zanzibar ingekua dar nahic mateja wangekuvua nguo wakauze 😂😂😂😂😂😂

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 5 ปีที่แล้ว

    Zanzibar kuna Mbege au Banana? Akija Arusha ataamkia jalalani na kifua waz hata huo msinglend wanabeba na hio kapero pia

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 ปีที่แล้ว

    Njoo u reply tena

  • @Emil-yd1ge
    @Emil-yd1ge 5 ปีที่แล้ว

    nimecheka sana 😂

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 5 ปีที่แล้ว +2

    Lkni sjaona kosa lolote aliofanya uyo mzungu, sasa kwa nn wamemshika? Na kama ni kulala nje watu wengi wanalala hasa wale omba omba waliokosa sehem yakuishi wanalala hata vibaraza vya nyumba za watu na hawashikwi, mm nafkiri lengo lao takua ni pesa tu, ivo anaenda kulipishwa dhamana ndio awachwe c wameona ngozi nyeupe bc wanajua hela zipo.

  • @zamzamrashid9534
    @zamzamrashid9534 5 ปีที่แล้ว

    Ah mdhunguuuuuuu jamaa wamekuacha salamakweli Mh

  • @familylove5417
    @familylove5417 5 ปีที่แล้ว

    Mbona kma mtejaa huyooo

  • @abdillahiabdallah4882
    @abdillahiabdallah4882 5 ปีที่แล้ว

    kanywa gongo uyo imempindua hahhhaha

  • @ABEST_HYDOR
    @ABEST_HYDOR 4 ปีที่แล้ว

    Kapimwa uyo

  • @shukranahsante2395
    @shukranahsante2395 5 ปีที่แล้ว

    Hso madheha bure kabisa mambo ya maana hawafatilii

  • @suleimankhalfan8856
    @suleimankhalfan8856 5 ปีที่แล้ว

    Mzungu kalala nje

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว

    Huyo mzungu Km kachoka ivi

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 ปีที่แล้ว

    Serekali muwe na kuangalia wakuwaweka masheha sauti hamna

  • @spaice995
    @spaice995 5 ปีที่แล้ว +2

    Ungelala daressalaam story ingekuwa nyingine

    • @hassankihonde1275
      @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว

      Kwa Dar hata icngekuwa story coz kulewa ndio kazi yenu?

    • @spaice995
      @spaice995 5 ปีที่แล้ว

      @@hassankihonde1275 sijui weye

  • @zenj1986
    @zenj1986 5 ปีที่แล้ว

    Anajibabaisha tu.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 5 ปีที่แล้ว

    kalewa kifala huyo...

  • @galayagalaya48
    @galayagalaya48 5 ปีที่แล้ว

    Duh msungu ww hawajakulamba

  • @fannysubila1519
    @fannysubila1519 5 ปีที่แล้ว

    Huo kawekwea kilevi kwenye pombe ili aibiwe 2 sema hapendi aseme ukweli kwa kuofia yeye si mwenyeji.

  • @abdulibatenga7281
    @abdulibatenga7281 5 ปีที่แล้ว

    amekuja kwenye tamasha la sauti za busara uyo

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 5 ปีที่แล้ว

    Zanzibar kazi mnayo mnakoelekeya siko haya huyo mzungu amefany nin angekuwa amekiuka seliya hapo sawa mmemkut kalal tu mwenyew hakufany kosa lolote het mmeend kumuitia polic niwangap wanafany maovu het kisa kajilaz nje ndoo kosa polen yetu mwaka wenu zenji

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 5 ปีที่แล้ว

      Lengo lao ni hela tu, wala huyo mzungu sioni kama kafanya kosa wamemshika kusudi ili wamlipishe dhamana kwa kua wanajua anapeaa yan wakiona ngozi izo bx ndio ishakua dili kwao yakupata mitaji😎

    • @zaiiomary8970
      @zaiiomary8970 5 ปีที่แล้ว

      @@nafisamohamad3182 wanapat zambi ndoo mana matatizo hayawaishi huko zenji

    • @ktvtzonline
      @ktvtzonline  5 ปีที่แล้ว

      @@nafisamohamad3182 waliendaa kureport police sababu walikua wanahofia kama bado ni mzima au la.

  • @bonzenjmanoriginal6309
    @bonzenjmanoriginal6309 5 ปีที่แล้ว +1

    Kajiangusha makusudi uyo maana kasikia Zanzibar ukilewa ikianguka watu wanakula mdondo.

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 ปีที่แล้ว

    Anoijua mitaa ya baraste hashangai na atajua mzungu nn kakifata baraste

  • @rashadbakar1763
    @rashadbakar1763 5 ปีที่แล้ว

    Kapewa mbegee hhhhhh

  • @ramadhanisururamadhanisuru3215
    @ramadhanisururamadhanisuru3215 5 ปีที่แล้ว

    Ahahahahaaaa nikwere na Zanzibar wanapenda ambaruti

    • @mwanaeidizenji8264
      @mwanaeidizenji8264 5 ปีที่แล้ว

      Hii kali

    • @ronaldo-fl3mk
      @ronaldo-fl3mk 5 ปีที่แล้ว +6

      Kuwa na kauli za busara kwan huyo umber rutty nimzenj???nyny mmefanya siri mkaona haitosh mkatuma kwny media ili 2jue mchezo wenu mlonao saiv

    • @dazuuhmd819
      @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว +2

      Ramadhani kuwa ninadhabu tena jitambuwe usifananishe watu na uchafu wenu

    • @dazuuhmd819
      @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

      Ramadhani kuwa ninadhabu tena jitambuwe usifananishe watu na uchafu wenu

    • @utaani1
      @utaani1 5 ปีที่แล้ว +1

      @@dazuuhmd819 umeona? Sijui nikwambie ukachukuwe soda popote nitalipa Mimi maana umemjibu sawa sawa na upumbavu wake

  • @maryakinyi6672
    @maryakinyi6672 5 ปีที่แล้ว

    So sorry buddy next time seek for ur God not alcohol very sorry from me

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 ปีที่แล้ว +1

    TUONESHENI KAMA ALIFIKA HOTELINI

  • @burhanisaidi9811
    @burhanisaidi9811 5 ปีที่แล้ว

    Teja la unga iloo!!

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +1

      Anaonekana kabisa! Waznz wanaotumia unga hukamatwa wakafika kuekwa mpaka ndani wengine wakibainika wanatumia. Lkn mzungu utamkuta ati mtu anamshangaa kwa nn kapelekwa polisi? Nawaje waone makwao huku ukija kutembea halafu ukavunja sheria za nchi unafanywa nn? Ama kweli kutokutembea akili hujaa mchanga!

  • @mustaphambwana7944
    @mustaphambwana7944 5 ปีที่แล้ว

    Kwanza apimwe malinda yako sawa zenji kina watu wanapendaga kufumua malinda ya wezao KTV fatilieni ilo mtuleteage udaku hahaaaaa

    • @khasamsmail7671
      @khasamsmail7671 5 ปีที่แล้ว

      Marinda yako freshly, hawakuwa jamaa...kufumua

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 ปีที่แล้ว

    Uswazi baba apo watakuramba nywele izo

  • @dm9299
    @dm9299 5 ปีที่แล้ว

    Chizi

  • @alihamad6046
    @alihamad6046 5 ปีที่แล้ว

    Ngada so mchezo

  • @iddirashid8038
    @iddirashid8038 5 ปีที่แล้ว +1

    drug eeeee