JOKA KUBWA LAZUA BALAA KISAUNI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @aishanassor8130
    @aishanassor8130 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah , Allah atusalim salama. Jukumu lipo kwa jamii na serikali. Kwanza serekali itoe dawa ya kutoshaa kumwaga ktk msitu huo ya kuuwa wadudu hatar km hao. Thn wafuate wanajamii wa kijini hcho waungane kwa pmj na kufyeka msitu wte. Wanajamii wataweza kufyeka msitu pindi wakiamni usalama wa maisha yao utakuwepo baada ya dawa kumwaga ktk maeneo hyo.
    Me nasema hvi kwa sbb nipo nje na chuo nnachosoma kiko maeneo ya shamba kbsa ambpo kabla ya kufunguliwa hki chuo ilikua tu ni poriiii so wadudu wakubwa km hao ilikua ni weng sana sambamba na nyoka lkn kila baada ya muda wanamwaga dawa na Alhamdulillah mpk sasa na In sha Allah iendelee hvi hvi haijawah kutokea madhara yyte

  • @leylaaliy9852
    @leylaaliy9852 4 ปีที่แล้ว +11

    Mh mtihani kuishi kwa hofu na michatu hio Allah awahihifadhi

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว +5

    Panahitajika tahadhari sana.
    Na ufanywe mfumo wa kuwatafuta kitaalam.
    Anajulikana chatu anapenda mizoga. Wategwe kwa kutumia mizoga.
    Chatu anapenda kuzonga wanyama wadogo na watoto wadogo.
    Likitokea hilo kama hamna silaha.
    Kimbilieni kwenye mdomo wake vuteni chini na juu mlaini sana mara unachanika.
    Ingawa si rahisi kumpata sehemu ya kichwa huwa anajizonga.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 ปีที่แล้ว +1

    Kitowea Safi sana,we ngosha Acha ushamba

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana jamani kwa kweli ni mtihani Allah atatusaidia

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว

    Muwe na tahadhari kubwa sana hasa wakt wa uck wasijekuleta madhara na watoto pia musiwaachie kuzurura humo kwenye vichaka mungu atawahifadhi inshallah

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y หลายเดือนก่อน

    Analiwa huyoooo,, achinjwe agawanwe nyama😮😮😮😮😮

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 4 ปีที่แล้ว

    Mnge waita wachina wange mchukue na kwenda kutengeneza kitoweo safi sana 🥘! Tena nasikia wana sema ni mtamu sana kwa chai ☕️ 🐍 delicious 😋

  • @alihemed7721
    @alihemed7721 4 ปีที่แล้ว +5

    Mh mtihani ila kama pana mapango hapo na wanaonekana ni wakumbwa hivo bs hapo wapo tena wengi serekali na wanachi wajitolee ili kuwaondoa wadudu kama hao

  • @hanifasilima4816
    @hanifasilima4816 4 ปีที่แล้ว +3

    Hhhhh siyakucheka lln nimecheka 😂 uyo nyoka aloingia kwenye choo mt angekqenda jisaidia angetaman aridh icimame ashuke

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 4 ปีที่แล้ว

    Mnatakiwa mueke usafi

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Kwakua Nyoka Ni Adui Kwetu Binadamu Nisawa Kabisa Kumuua Hata Mungu Alitupa Ruusa Ya Kuwatwanga Nyoka Mpige Kichwani Isipokua Nawe Binadamu Atakung'ata Kisigino Chako Nyoka Sio Mdudu Mwema Kamwe

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 ปีที่แล้ว

    Mmmh
    Hio ni neema kubwa ya kitoweo ktk maeneo yenu
    Nasema mumebarikiwa

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 4 ปีที่แล้ว +2

    Toba mimi tena hapo ningekaa kwa hofu nahic km atapanda juu ya nyumba yngu au mvunguni maana inatisha hiyo sehemu

  • @issaali1321
    @issaali1321 4 ปีที่แล้ว +4

    Ni mtihani mkubwa lkn tujue kuwa hayo. Maeneo chatu wapo assilia. Sasa binaadamu wamevamia lazima tujue kuwa hii dinia sio yetu peke yetu tusheee na viumbe wengine. Miaka ya nyuma ndio ilikuwa makaazi yao jamaani.

  • @saadnahoda707
    @saadnahoda707 4 ปีที่แล้ว

    Mtihani mkubwa sana

  • @dr.ajeyfemed5895
    @dr.ajeyfemed5895 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwann watu wa mali asili na wizara husika wasifanye animal control kuwataftia sehem wakawapelela kuliko kuwauwa kuna visiwa havikai watu zanzibar wapelekwe huko
    Tunawahitaji hao wanyama

    • @mashaali2409
      @mashaali2409 4 ปีที่แล้ว +3

      Jinsi Naogapa nyoka mfano hao chatu tunawahifadhi kwa matumizi gani kivutio cha utalii au?

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 4 ปีที่แล้ว +1

      Dokta anakuhusu mungu si majina aliesema viumbe hatar viuliwe vipo viumbe hairuhusiwi ila huyu hapana

    • @issasuleimain2924
      @issasuleimain2924 4 ปีที่แล้ว

      @@mashaali2409 hao wanaweza kutunzwa sehemu na watu wakalipia kwenda kuwaangalia na serekali ikaingiza kipato na tukapata wataalamu zaidi wa kuwakamata na kuwafuga kusomeshwa tu namna ya kuwatunza

  • @khamisame5561
    @khamisame5561 4 ปีที่แล้ว +1

    Subuhan Allah yani hatar zaid

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtihan allah a2nusur n majang hay

  • @suleimanmazrui6942
    @suleimanmazrui6942 4 ปีที่แล้ว +1

    Hao nyoka nirafiki sana Bora muwaogope CCM.

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah

  • @stonetown578
    @stonetown578 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwitu mkubwa sana fyekeni kabla athari haikuzidi.

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 ปีที่แล้ว +2

    Basi hapo watalaumiwa CCM

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 4 ปีที่แล้ว

      Asa we Ulitaka alaumiwe nani

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 4 ปีที่แล้ว

      Ushagonjwa ww

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 ปีที่แล้ว

      Italaumiwa serikali , na ukilaumu serikali maana yake unalaumu chama tawala

  • @Qadar-vx4gj
    @Qadar-vx4gj 4 ปีที่แล้ว

    Toba... Mara Mamba Mara Chatu

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 4 ปีที่แล้ว

    aiseee nilivyo muoga ningehama huko siku hiyo hiyo uwiiih

  • @harounali485
    @harounali485 4 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri wangu ni tumieni mbwa wa usasi au wa police kuwa tafuta makaazi yao.
    Mbwa wana uwezo wa kunusa na ku gunduwa walipo.

  • @zuberinyenzi1982
    @zuberinyenzi1982 4 ปีที่แล้ว +2

    Ngosha 😆😆

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 4 ปีที่แล้ว

    Duh hili sio la lishapea mtihn huu anwenza kula mtu jmn tuwe makini

  • @alimaftah7640
    @alimaftah7640 4 ปีที่แล้ว +1

    Umekiona choo cha Ngosha😂😂😂😂😂🤣

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 3 ปีที่แล้ว

    Mtt wa nyoka uyoo

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 4 ปีที่แล้ว

    wapo kwenye makaazi yao.sisi binadam ndo tunawafuata kwenye mazingira ya kwa kisingizio cha kujenga

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว

    Na ndio maana nilisema wangeitwa wataalamu kwa ajili ya kuwahifadhi. Chatu hana mwendo wa kasi kama nyoka. Binaadamu tuna akili zaidi ya chatu kwahio sio rahisi kutoroka kama wamehifadhiwa vizuri.

  • @rahmahakim6285
    @rahmahakim6285 4 ปีที่แล้ว

    Inatisha kwel

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh Mimi naogopa jamn😫 anaeogopa km mm subscribe kwenye youtube channel yng

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa Ngosha untuangusha kwa nini usiwaite wa China watawatawavuna wote

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 4 ปีที่แล้ว

    Huu mwaka kiboko January jamaa kasema hajui mwezgani

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 4 ปีที่แล้ว +1

    Nihatari safisheni mazigirayenu

  • @MahmoudAli-uk8ci
    @MahmoudAli-uk8ci 4 ปีที่แล้ว

    Pelekeni china biashara hio pesa nnje nje

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 4 ปีที่แล้ว

    kwa vichaka hivyo lazima wawe wengi jipangen mpunguze hayo majani na mamiti yasiyo na msingi

  • @sabrinaislam4200
    @sabrinaislam4200 4 ปีที่แล้ว

    Mdhirikiane wenyewe sio kila kitu serekali

  • @muhammedabdalla5496
    @muhammedabdalla5496 4 ปีที่แล้ว

    Ni nyumban huko nasikitika kusikia ivyoo nawaombea kwa mungu awanusuru na wadudu wabaya km hao jp saiv sipo visiwan kwetu ila kisauni ni nyumban skuli yake ndio nilio soma toka la kwanza mkimbia kwao mtumwa

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว

    Mchizi Safi uo wapelekeeni wachina

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 4 ปีที่แล้ว

    Nani kaleta hao

  • @mabrouksaleh2472
    @mabrouksaleh2472 4 ปีที่แล้ว

    Ngosha haogopiiiii

  • @ramazanikitenge895
    @ramazanikitenge895 4 ปีที่แล้ว

    Hiyi ni hatari Kabisa

  • @faahusali4689
    @faahusali4689 4 ปีที่แล้ว

    Uyo bado kinda mamayo yupo apo

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว

    Kitoweo hicho

  • @saidismailhamad3229
    @saidismailhamad3229 4 ปีที่แล้ว

    Pumbavu serekali iache kazi ije kuua nyoka so si ata kwa bakoratu unauaa kila ktu eti serikali Kuna Mambo yakuita serikali Ila sio nyoka pekeangu naua ata afike futi 30

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว

    Msiwauwe maliyasili wako karibun nanyie

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +1

    Ilikuwa ni muhimu kuwaita wataalam kwasababu ni muhimu kwa makumbusho na kwa hifadhi ya hao chatu kwa sote watalii na kizazi kijacho. Chatu hana sumu ila kula kwao kwa kipindi kitaalam huitwa “hibernation”. Maana yake mlo wao mmoja huchukua miezi mingi kabla hawajawa na njaa tena. Ni adimu kumbaka mwanadamu sana sana hupenda panya, paa na wanyama wa rahisi kupatikana.

    • @ahmedmarjeb4270
      @ahmedmarjeb4270 4 ปีที่แล้ว

      mtamu hyo upate wa kukanga

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Amour Mtungo kabisa naunga mkono ushauri wako

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Mtamu huyo chatu duh😞

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว

      Kwa Znz uzembe ulivyojaa mkiwapata waueni hukoo, hakuna mali asili wala mpya. Mjitie kuwaita waje wawachukue baada ya mda ishazidi kupea itoroke........

    • @ahmedmarjeb4270
      @ahmedmarjeb4270 4 ปีที่แล้ว

      @@IlhaamMarshed sana akikangwa huwez kumkosa akitokea kapatikana sehemu nishtue nnkupe namba yangu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว

    Kateni misitu hayo

  • @osmanha6915
    @osmanha6915 4 ปีที่แล้ว

    Sinunui tena kiwanja huko kaeni na machatu yenu

  • @salehhamadi6070
    @salehhamadi6070 4 ปีที่แล้ว

    Protini nzur iyo

  • @dr.ajeyfemed5895
    @dr.ajeyfemed5895 4 ปีที่แล้ว +1

    Ishu ni animal control ilisimsmievwaondoshwe sio kuwapiga silaha waende wahamishwe maeneo mengine

    • @nasseryahya2919
      @nasseryahya2919 4 ปีที่แล้ว

      Hv ww una imani gani na viumbe hatari wauliwe 2

  • @raiye5621
    @raiye5621 4 ปีที่แล้ว +4

    Kila ki2 serekali kateni mamit yaso na umuhimu serekali itafanya mangapi

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo ujenzi mbovu wakiholela holela kila sehemu inajengwa ni mtihani kwakweli

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 ปีที่แล้ว

    Kila kt serikali kwani wananchi wa eneo hilo hawawezi kushirikiana na kufanya usafi na kuwauwa au kupelekwa sehemu husika. Mambo mengine mepec si lazima serikali jamani.

  • @maikosaga3632
    @maikosaga3632 4 ปีที่แล้ว

    He watu wazima munaogopa chatu

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว

    Mji umezungukwa na vichaka mno fyeken vichaka hivyo kukiwa hakuna hivyo vichaka hamta ona mdudu yoyote wa Aina hiyo daah mji utafikiri hawakai watu sa serikal iwasaidie nn Zaid ya nyie kujiongeza polen pia daah nimeogopa

    • @askkongl6821
      @askkongl6821 4 ปีที่แล้ว

      RUKIA Mohammed usiogope

    • @askkongl6821
      @askkongl6821 4 ปีที่แล้ว

      RUKIA Mohammed usiogope

    • @rukiamohammed5031
      @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว

      Mm na wadudu daah tofaut kbs yn

    • @professorzola7742
      @professorzola7742 4 ปีที่แล้ว

      Muhimu ni usafi kateni majani yasiyo na maana.

  • @aby21111
    @aby21111 หลายเดือนก่อน

    Fumigate.