Aisee, wapeleke jeshini hawa wakafungiwe huko, wahudumiwe kila kitu mpaka familia zao. Wawezeshwe na kila kitu wanachokitaka. Miaka 20 mbele tutakuwa tunongelea level nyingine kabisa.
you all prolly dont care but does any of you know of a trick to log back into an Instagram account?? I stupidly lost my account password. I love any help you can give me
@Roman Zechariah thanks so much for your reply. I got to the site on google and Im in the hacking process now. Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
Vyema lakin ni vyema mngeanza na mapikpik, pump za maji na mambo mengine ya mwanzo.. Ivi vikubwa ni kama bongo movie lakin msikate tamaa. Nobody knows what's tomorrow brings
Huo sio Ubunifu mnaiga tu😂 ktu kilisha tengenezwa tial huo ni ubunifu gan umnao uzungumzia kubuni ni kuja na kitu kipya Dunian sio kuiga vyilivyo tengenezwa
Safi sana, keep it up. Hata walio endelea huko nchi za nnje walianza kwa hatua kama mnazozifanya
Hongera baba umeweza nimependa hiyo
mnaweza mablo
Naomba msaada namba yao
Millard mawasiliano yako naomba
Mara nyingi wataalam tunaishia kuwaona hivi tu.. ukihitaji contact zao huzipati.. why.!?
Ongela sana
Africa inainuka,waafricka wanaamka,hongera kwa wabunifu,hongera COSTECH kwa kuwatia moyo na kuwatambua wabunifu!
Serikali ikupeleke jeshini hao jamaa Wana akili ndio wazungu walivyo wainua watu wao lakini wahusika wapo kuvaa koti za bei basi lakini akili ipo hapo
Mi naumia sana kwa ubunifu milio nao.maana nikiuweka hazarani lazima watanifunga.
Gt engine ya ndege inatumia fuel.mbona hapo umeiweka mtungi wa ges?
Nipo pale sijui
Aisee, wapeleke jeshini hawa wakafungiwe huko, wahudumiwe kila kitu mpaka familia zao. Wawezeshwe na kila kitu wanachokitaka. Miaka 20 mbele tutakuwa tunongelea level nyingine kabisa.
Serekali ikiwawezesha mtaweza na serekali itafaidika na ujuuzi wenu na nyie mtafaidika kupitia serikali
you all prolly dont care but does any of you know of a trick to log back into an Instagram account??
I stupidly lost my account password. I love any help you can give me
@Eden Jordy instablaster ;)
@Roman Zechariah thanks so much for your reply. I got to the site on google and Im in the hacking process now.
Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@Roman Zechariah it worked and I now got access to my account again. Im so happy!
Thank you so much, you really help me out :D
@Eden Jordy no problem :D
Hongera
Ow mchongo upelekeni jeshi mapema mno
😅😅 nawaza kwa jins inavyopga kerere si itakua kama ile concod iliopgwa marufuku
hata wazungu walianza hivi hivi gadi kufika hapo walipo na waafrica tunaakili sana
Kwanni msiweke na shule
Mimi Rashid kilindi
Naishi Dar es salaam nauliza engine ya ndege Ina piston?😅
Shida n kwamba hawachelewi kuchukuliwa na wazungu na hatuwez kuwa na kibali cha kutengeneza ndege
Vyema lakin ni vyema mngeanza na mapikpik, pump za maji na mambo mengine ya mwanzo.. Ivi vikubwa ni kama bongo movie lakin msikate tamaa. Nobody knows what's tomorrow brings
Mmmmmmmmh
Acheni utani nyie 😂😂😂😂😂
Sikuzote serikari ijitaidi kuwaongezea zaidi uwezoili badae natanzania iwezekuwanawataramu apandani
Aaaaaaah hawa watu ni madin
Huo sio Ubunifu mnaiga tu😂 ktu kilisha tengenezwa tial huo ni ubunifu gan umnao uzungumzia kubuni ni kuja na kitu kipya Dunian sio kuiga vyilivyo tengenezwa
Buni ubunifu wa injini ya pikipiki mnataka kutembea kukaa hamuwezi
Engine ya ndege sio kitu rahisi kutengeneza kama mnavyosema semeni toi ya engine 😂😂😂
Acha makasiriko wewe
usioweza kufanya chote kaa pembeni koma wewe
Ingekuwa mnamiaka kumi kumi sawa ila 40+😢
Haina shida watawarisisha wenye umri mdogo
Tuache utani hizi engine zinauzwa mitandaoni sasa kutuambia ni wabunifu ni uongo angetuonyesha asembl na alitumia nini kutengeneze turbine
Muwaachie waliokamilika ninyi mnaiga tu ,mtaua abiria wengi ,kwasababu anayetazamia majibu kwenye mtihani daima ni mtahiniwa hewa !😂😂
Hao waliokamilika mbona bado waunaua!?
Amka ndugu ubunifu huwa hivyo yale unayoyaona ni maboresho ya ubunifu.
nyie haya tengezeni io ndege sasa iruke muone kama hamjaua watu 😅 ukweli sisi watanzania kazi yetu kucheza ngoma
Ach ujing ww
Looking good follow back done God bless you ❤🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷👀💪