AFISA ELIMU ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSIMAMISHWA KAZI RC MWANRI "KUZIMIA SIO ISHU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 772

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 ปีที่แล้ว +277

    Eng usiniangalie kwa huruma ,dirisha umekunywa km umesikia hiyo gonga like

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama unamkubali mwanri mpeni likes zake

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 5 ปีที่แล้ว +3

    Safii sana kuu wa mkoa na upo vizuri ,nahuwa nakufatiria taarifa zako zote nakutatakia kazi njema

  • @japhetmasunga9980
    @japhetmasunga9980 5 ปีที่แล้ว +333

    😆😆😆😆😆😆Engineer ww usiniangalie kwa huruma dah kama unamkubali mkuu wa mkoa wa tabora gonga like apa twende saw

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 5 ปีที่แล้ว +2

    Amezimia akianguka sawa tu huyu jamaaa ni hatarii gonga like

  • @maulidkabogota5922
    @maulidkabogota5922 5 ปีที่แล้ว +1

    Nitafurahi sana Mh Mwanri akipanda cheo kuwa Waziri.Anatufaa sana katika kujenga nchi yetu,hakuna masihara hapa nyoosha tu watu.Safi sana Eeeh.

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 5 ปีที่แล้ว +45

    Kwa waliosoma ipuli sec Tabora kama umemuona sir sichone gonga like

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaha kama. Umesikia. Ety. Ili jengo kuisha mpka. YESU aludi yen gonga like twende

  • @anthonynhongokemalekela7707
    @anthonynhongokemalekela7707 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu kwa kumuona mkuu wangu wa sekondari 2015 ziba sekondari pendo ndaki naombeni like zenu jamani

  • @elizakileo9125
    @elizakileo9125 5 ปีที่แล้ว +63

    Kuzimia lazima 😁😁😁😁na ukizinduka ukaskia tena sauti ya Mwanri unazimia ..

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 5 ปีที่แล้ว +10

    Kama umesikia mtu akianguka akizimia mie sijali gonga like hapa😂😂😂

  • @chibedechemical2111
    @chibedechemical2111 5 ปีที่แล้ว

    Kama umeskia apsa elim gonga like tujuane

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 5 ปีที่แล้ว

    Mh.Salute
    Hio nafasi sio staili yako unatakiwa mh.Rais akupandishe cheo zaidi Hili kuwatete watanzania wote .
    Nilicho kipenda hapo huchunguzi hufanyike hasie na kosa ataenderea na majukumu yake kama kawaida bila kumuonea mtu.
    Halafu hawa wanao taka kula kwa nini wanataka kula wenyewe bila kukushirikisha?
    Wakumbushe kazi haendi hivyo hata wewe unaitaji kula.

  • @efelimwambije708
    @efelimwambije708 5 ปีที่แล้ว +8

    njoo mbeya mheshimiwa, nimekubali kazi yako tena mungu akubariki.

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 ปีที่แล้ว +13

    Safi sana huu ndiyo mpango bora kuondoa wavunja sheria sehemu zote

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 ปีที่แล้ว +44

    Waliomchukua na kumkimbiza kituo Cha afya wamefanya kitu Cha maana, na watu hawa wana akiri sana.

    • @danielluka6353
      @danielluka6353 5 ปีที่แล้ว

      m'bunge wangu kageuka mbogo njoo uku siha mkuu waache hao hawakujui

  • @jamesndinda4270
    @jamesndinda4270 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza tangu nianze kuona krip zake sijaona anamuonea mtu ila anafuata sheria Mungu amsaidie mpaka aje kuwa raisi wa Tanzania

  • @halfanrashid4977
    @halfanrashid4977 5 ปีที่แล้ว

    waliosikia neno hiki ni kioja gonga like hapa

  • @barakastephano6144
    @barakastephano6144 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mtu hunifurahisha sana, yaani huwatetemesha watumishi kama mzee magufuli tu. Big up kwako mh. Mwanri

  • @ngaksthegreat732
    @ngaksthegreat732 5 ปีที่แล้ว +15

    Engineer:🙄😌
    Mwanri: usinitazame kwa jicho LA huruma hapa..!!
    ......................😂😂😂

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 ปีที่แล้ว +31

    HUYU JAMAA AHAMISHIWE MTWARA AKAPAMBANAE NA KOROSHOW.. Maana Huyu ni Master

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว +1

      Abed nego watuachie mwanry wetu ainyooshe Tabora watoto sasa wanasoma

  • @msofelighitrider5748
    @msofelighitrider5748 5 ปีที่แล้ว +121

    Kwakweli nimshukuru mungu sipo serekalini mana ninavyo jijua ningesukumwa ndani 😂😂😂

    • @mudhakirudauda7933
      @mudhakirudauda7933 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaani mie ningemskizaaaaaa kisha namuuliza umemaliza muheshimiwa?halafu namwambia nihivi baba mkundu wako wewe naaliokuleta hapa nyaga nyie yaani nitaongea haraka maana najua watanivamia

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongela umegunduwa udhaifu wako.

    • @joankunambi9992
      @joankunambi9992 5 ปีที่แล้ว

      Msofe Lighitrider hahahaaa

    • @kuchenavhe0028
      @kuchenavhe0028 5 ปีที่แล้ว

      Haaahaaa

  • @athanaserazaro6517
    @athanaserazaro6517 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku wakikuhamishia mwanza nitafrahi sn mzee nakukubali sn ujanja ujanja hakuna na kazi iendeleee

  • @abelsabibi6192
    @abelsabibi6192 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana mzee Mwanri,unamsaidia vzr mh.Rais ili taifa letu lisonge mbele,hawa watu wameaminiwa na kupewa dhamana lakini hawatekelezi ipasavyo as a result wananch wanaichukia serikali yao.

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 2 ปีที่แล้ว

    Kila la kheri muheshimiwa InshaaAllah

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 5 ปีที่แล้ว

    Mh mwary anachekesha sana kwa maneno yake.na anapiga kazi baraa.MIMI mtu akianguka its okey,mzee njoo hapa hii haihitaji elimu ya chuo kikuuu.Usiniangalie kwa huruma dirisha umekunywa

  • @wakavengaog9016
    @wakavengaog9016 5 ปีที่แล้ว +8

    Huyu Km Ni Babaako Aseeeeee............Utajuta Kuzaliwa Nae🤣

  • @fratebongole1827
    @fratebongole1827 5 ปีที่แล้ว

    Mungu amlinde jaman rc mwanri ni jembe

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +5

    Duuh Hongera sana Mkuu Maana huruma zaregesha nyuma,Poleni sana.

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 ปีที่แล้ว +3

    😂🤣😂😂😂yaani huyu baba ananifurahisha sura yake tu hapo hajatumbua 🤣🤣wakomeshe wamezoea kuchakachua kila kitu wamesahau ni uzao wa magu upo kazini.magu hoyeeeeeeee💪💪👊

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว +12

    Naomba CV ya Aggrey Mwanri

    • @marthapius5361
      @marthapius5361 5 ปีที่แล้ว

      Robert Junior LUGE alikataa kuangalia CV

  • @godlistentv9576
    @godlistentv9576 5 ปีที่แล้ว

    Mim mtu akianguka akidondoka hahaha Kma umeisikia hyo gonga like

  • @BoscoMaboga-s7s
    @BoscoMaboga-s7s 3 หลายเดือนก่อน

    2:00 dah nimecheka sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

    NAKUPENDA SANA *RC MWANRY*

  • @derricdeuc3628
    @derricdeuc3628 5 ปีที่แล้ว +94

    Hilo dirisha amekunywaa 😂😂

    • @denismrutu9655
      @denismrutu9655 5 ปีที่แล้ว

      Derric Deuc 😂😂😂😂😂

    • @mboga7
      @mboga7 4 ปีที่แล้ว

      Nimekubali iyo

  • @eliamwalukisa4173
    @eliamwalukisa4173 5 ปีที่แล้ว +2

    Tukimpa nchi Huyu mzee tumekwishaaaa aisee

  • @wisemankitwana213
    @wisemankitwana213 5 ปีที่แล้ว

    Mwanri Mungu anakuona kwakweli

  • @frankmosses1004
    @frankmosses1004 5 ปีที่แล้ว

    Mimi kuzimia is not an issue hahahaha kazi nzuri

  • @simonringo4701
    @simonringo4701 5 ปีที่แล้ว +5

    Super Mwanry! Tofauti sana na hao vijana wanaoongoza kwa mihemko badala ya kutumia busara!

  • @faridaothman
    @faridaothman 5 ปีที่แล้ว +2

    JAMANI ILA HIZI KAZI HIZI BINAFSI NAOGOPA KUAJIRIWA NAEZA KUFA KWA PRESHA JAMAN NIKIMUONA BOSS TUMBO LINAUMAGA GHAFLA😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @iamtimothyjackson5338
    @iamtimothyjackson5338 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah engineer ww ucnianglie kwa huruma apa

  • @edisonkayaman8851
    @edisonkayaman8851 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali piga kaz mungu atakuongoza

  • @histonezekiel8054
    @histonezekiel8054 5 ปีที่แล้ว +9

    Hizi kazi bora niangaike mwenyewe au mnasemaje wadau

    • @rosemshanga746
      @rosemshanga746 5 ปีที่แล้ว

      Histon Ezekiel umeonaee

    • @histonezekiel8054
      @histonezekiel8054 5 ปีที่แล้ว +1

      @@rosemshanga746 nimeona maana sasa utakufa bure na visivyo kuusu unaweza ukawa aujui chchct lkn likawa upande wako

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 5 ปีที่แล้ว +1

      Histon Ezekiel apo lazima niangahike mitahani kwamaneno ayo na kwahizi asira ninazo bora niangaike

  • @eunicemishel2562
    @eunicemishel2562 5 ปีที่แล้ว +3

    Eti Yesu atakaporudi.Hivi unajua siku atakayo rudi

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +31

    Hapo kusimamishwa ni uongo, ndo kishaota nyasi hivo! Kama matani vile kumbe kweli!!

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 5 ปีที่แล้ว +4

    😀😀😀😀dirisha Hilo INJINIA amekunywa 😀😀😀 Mkuu

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 5 ปีที่แล้ว

    Super nwanry ww ni zawadi Kwa wanatabora.piga kazi nakuelewa Sana mkuu

  • @peterkyese4516
    @peterkyese4516 5 ปีที่แล้ว

    Eng usimwangalie mkuu wa mkoa kwa huruma kweli weee baba just love you from mbeya city

  • @abou2607
    @abou2607 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa tuletewe Dar as salaaam ... Bashite apumzishe majukumu yake kupisha uchunguzi 😂🤣🤣

  • @salumseif5838
    @salumseif5838 5 ปีที่แล้ว +6

    Wabheeja sana bhabha..bhagololage kooi

  • @JOSHUAERASTO-ch8ky
    @JOSHUAERASTO-ch8ky 2 หลายเดือนก่อน

    Kuzimia sio ishuu🤣🤣🤣nimecheka sanaa an

  • @annachuma247
    @annachuma247 5 ปีที่แล้ว +7

    Pole patricia

  • @fabianjulius5274
    @fabianjulius5274 5 ปีที่แล้ว

    Very smart ...

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri mzee

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah ,pesa fitina

  • @jovinemnzava5972
    @jovinemnzava5972 5 ปีที่แล้ว

    Ninavyopenda dili ningefungwa mm

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 5 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣😅😅😅😂😂 daaah!!!...mkuu hatari sana,anamchukua ustaadhi na swaumu njoo usigope haya mambo hayahitaji chuo kikuu

  • @ezekiellugali305
    @ezekiellugali305 5 ปีที่แล้ว

    Uko sawa mzeee

  • @barakamarmo8104
    @barakamarmo8104 5 ปีที่แล้ว +1

    Maafisa Elimu ni wababe sana wanapokuwa maofisini,hawana huruma na walimu utadhani wao hawakuwahii kuwa walimu!!!sukuma ndani wote!!!

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 ปีที่แล้ว

    pole sn mama ndo majukumu ya kazi

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa uko vizuri mno baba

  • @iddysilumba2807
    @iddysilumba2807 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂naangalia mpka Leo tareh 04 ,09, 2024

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 5 ปีที่แล้ว

    Wanaofanya vizuri"umemsahau mwingine wa mbeya

  • @kajjd40
    @kajjd40 5 ปีที่แล้ว

    Mkuwamkoa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏😀😀😀😀😀😀

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali kwa kuwa u muwazi japo majuzi hapa uliboronga kwa kumtaka Mungu amshukuru Magufuli ila tulikusamehe kwa kuwa tulijua kutokana na mtu akizidisha umaridadi au mgema anaposifiwa💪💉

  • @mussahamissimba6889
    @mussahamissimba6889 5 ปีที่แล้ว +1

    Maamuz mugumu siku zote yana positive impact

  • @razaloedward8608
    @razaloedward8608 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha poleni sana namkubali sana huyu mwamr

  • @princekassim4089
    @princekassim4089 5 ปีที่แล้ว

    Engineer bwana 😂😂
    Gonga like 🔙

  • @tambajordan5595
    @tambajordan5595 2 ปีที่แล้ว

    Jamaaa nikuwa namkubali sanaa

  • @mmbandomacky2117
    @mmbandomacky2117 5 ปีที่แล้ว +7

    Kuzimia kwangu is not an issue......hhahahhahhhahah

  • @kyambarungwe4453
    @kyambarungwe4453 5 ปีที่แล้ว

    njoo mbeya mzee wa kazi maana humu hakuna kitu wamerara tuu

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 ปีที่แล้ว

    Financial freedom is only hope...

  • @pendotitu7754
    @pendotitu7754 5 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁hata ukianguka ukazimia mm siangalii hicho

  • @medadimwendesha1788
    @medadimwendesha1788 5 ปีที่แล้ว

    Uko sawa mkuu

  • @matildamalinganya3284
    @matildamalinganya3284 5 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tuu 💪💪

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 5 ปีที่แล้ว +12

    😁😁😁😁😁 eti jambo halitaisha mpaka Yesu atakaporudi

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 5 ปีที่แล้ว

    😃😃😃etii hata mtu akizimia azimie😃😃

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว +51

    Bila hivi nchi haiendi

    • @aminasaleh6134
      @aminasaleh6134 5 ปีที่แล้ว

      huy mkuu wa mkowa angekuw rais wet wa zanzibar mwaka 2020 yaan zanzibar ingekuw nchi imara sana

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +3

    Kuzimia is not an issue 😂😂

  • @ezekielmbazi.8687
    @ezekielmbazi.8687 5 ปีที่แล้ว +22

    bora kujiajiri tuuu

  • @keneddyelly
    @keneddyelly 5 ปีที่แล้ว

    Mimi kuzimia is not an issue!
    Mimi mtu akianguka akizimia its okay
    😂😂😂

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 5 ปีที่แล้ว +83

    INJINIA USINIANGALIE KWA HURUMAA 😂😂😂

  • @2116-n
    @2116-n 5 ปีที่แล้ว +33

    Daaah Shule yangu kabsaaa huko Igunga, mliosomea Ziba sec. Niwafahamu

    • @mwanju3981
      @mwanju3981 5 ปีที่แล้ว

      mimi kongwa

    • @2116-n
      @2116-n 5 ปีที่แล้ว

      @@mwanju3981 Michael Kongwa!?

  • @dianafredrick3362
    @dianafredrick3362 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamaani huyu mbaba noooumaaaaaa sanaaaaa

  • @dunstanavit118
    @dunstanavit118 3 ปีที่แล้ว

    Engenear ucniangalie kwa huruma😂😂😂😂

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa MKUU wa mkoa Hapo viongoz piga chin hawajui kazi zao

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 ปีที่แล้ว +17

    Punda haeindi mpaka mijeredi. safi sana. mkoa wangu umepata mtu. sahihi.

  • @oningskimriz9011
    @oningskimriz9011 5 ปีที่แล้ว +1

    Uuizi lazima upungue tu wanazimishwa tu

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 5 ปีที่แล้ว

    😂😂ulitaka afe kabisa mzee baba..

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 5 ปีที่แล้ว

    Mama Afisa elimu kazingua unapoingia kazin unatakiwa uanze kazi immediately. Ndo JPM aliwambia kama huwez kwenda na kasi yangu jiuzulu. Miezi miwili hujaomba hata ramani ya shule

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ndipo utajua kwamba kuitendea haki kazi yako nimuhum au la!! Ambao bado wapo kwenye kiti waitumie nafasi yao vizuri maana mambo hayatabaki kuwa mazuri kilasiku, dah!! pole ako

  • @jamesmuha6828
    @jamesmuha6828 5 ปีที่แล้ว

    Nakubal agrey endelea kuwasukuma ndan

  • @boniphacenyamhanga9395
    @boniphacenyamhanga9395 5 ปีที่แล้ว +3

    Piga kazi baba wewe na Magufuri nawakubali sana kuliko viongozi wote nchini Tanzania Nyamhanga from Italian

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 5 ปีที่แล้ว +107

    Mwanri wewe jembe Rais akupe cheo cha juu ukuu wa mkoa haukutoshi wewe ndio unaendana na kasi ya Rais.

    • @ezekielevarest6254
      @ezekielevarest6254 5 ปีที่แล้ว +1

      Mkuuu anapiga sana kazi asee

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 5 ปีที่แล้ว +1

      JPM mwenyewe Hatumuwezi itakuwa Huyu.. Si ndo watu watalia kabisa

    • @adamchamoma5227
      @adamchamoma5227 5 ปีที่แล้ว

      Mzee hatar huyu.

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 5 ปีที่แล้ว +1

      Rashid Malilo Tusipate kumsifia mtu akiwa anafanya maamuzi ya paniki tujiongeze kidogo wa ndugu

    • @boniphacenyamhanga9395
      @boniphacenyamhanga9395 5 ปีที่แล้ว

      Piga kazi mwaniri , i like from Italian

  • @erickmbise7159
    @erickmbise7159 5 ปีที่แล้ว +2

    dirisha la pili amekunywa apa 😁😁😁😁😁😁

  • @alisela8826
    @alisela8826 5 ปีที่แล้ว

    Itabidi watupishe kwnz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jimisonpius8100
    @jimisonpius8100 5 ปีที่แล้ว

    Dha agombee u president Mimi kura yangu chukua baba

  • @solomonimkwere498
    @solomonimkwere498 5 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bule

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅mtu akidondoka is not issue akiamka kauli ni ile ile hahahaha

  • @eriethjustine8362
    @eriethjustine8362 5 ปีที่แล้ว +1

    Dirisha limenywewaaaaaaa