RC WA "FYEKELEA MBALI: "NYOOSHA MKONO JIFANYE UNAJIKUNA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 2K

  • @cevo9920
    @cevo9920 5 หลายเดือนก่อน +55

    Kuna sisi mpka 2024 tunaangaliaga tuu nipe like zangu

  • @SIRNDIZO
    @SIRNDIZO 2 ปีที่แล้ว +104

    Km unaangalia had leo 2022 gonga like za kufa mtu kwa mwamba Agrey Mwanri

  • @mohamedykabwanga1647
    @mohamedykabwanga1647 3 ปีที่แล้ว +158

    Kama unaangalia Hadi Leo date 2021 gonga like yako hapa

  • @mwinjilistiboniphacealfred6035
    @mwinjilistiboniphacealfred6035 3 ปีที่แล้ว +84

    NANI YUPO HAPA BAADA YA KUMPOTEZA RAIS WETU MPENDWA.NA UNGETAMANI AWE MAKAMU WA RAIS

  • @mkula2023
    @mkula2023 5 ปีที่แล้ว +65

    Mzee anapiga kazi so mchezo kwa kweli ,gonga like kama unaona kazi anayoifanya Mkuu huyu.

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว

      Wenye akili timamu hatugongi like kwenye utumbo kama huu na ndiyo maana COVID ikawa inauwa watu halafu hawahawa wanasema haipo hadi ikawatoa duniani waajiri wa hawa wapuuzi sijui siku hizi wanafokea nani na unampongeza nani maana Mungu aliona wangendelea kuwepo kazi zote wangeribu na maendeleo sawia

  • @abasmwakifwamba6776
    @abasmwakifwamba6776 5 ปีที่แล้ว +94

    kama unaangalia mpaka saiz like hyooooooooo

  • @yohanakananika3586
    @yohanakananika3586 3 ปีที่แล้ว +44

    Kila siku naangalia hii clip, we miss you our dad

  • @vincentm.1960
    @vincentm.1960 5 ปีที่แล้ว +39

    This is the type of leadership.... Hands on leadership! We need in Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi and SouthSudan (E. A. C) otherwise such absent engineers will see us driven into death trap buildings. Huyo Mheshimiwa aungwe mkono kwa dhati, I SALUTE HIM!!

  • @rajmkonje7149
    @rajmkonje7149 5 ปีที่แล้ว +1230

    Huyu mtu msimcheke anafaa kuwa RAIS ajae kama unamkubali kuwa rais gonga like za kutosha

    • @chombotv1865
      @chombotv1865 5 ปีที่แล้ว +24

      RAJ MKONJE Lohh Ukimpa Urahisi Tutalala Saa 11 Jioni Kama Kuku

    • @innocentnkya5916
      @innocentnkya5916 5 ปีที่แล้ว +4

      Chombo Tv hahaaaa! 😂😂

    • @dianamadege1703
      @dianamadege1703 5 ปีที่แล้ว +4

      Kazi nzur sana

    • @st99ngeni35
      @st99ngeni35 5 ปีที่แล้ว +3

      Yuko vzr

    • @isaackchambo2642
      @isaackchambo2642 5 ปีที่แล้ว +9

      Kwakuwa mmezoea marais komediani kweli huyo anafaa aibuuuuuu.

  • @Specialonejr
    @Specialonejr 5 ปีที่แล้ว +701

    Kama unamuona huruma engineer .like hap

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 5 ปีที่แล้ว +3

      Habari za mawio Updated engineer yupo vizuri yupo mobile

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @emmyshya-year9600
      @emmyshya-year9600 5 ปีที่แล้ว

      Ahahahahaaa ni shida

    • @latifamhando736
      @latifamhando736 5 ปีที่แล้ว

      Habari za mawio Updated engineer elimu ya vyeti tuuh application very poor

    • @clavinarobert6077
      @clavinarobert6077 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha

  • @Chekibob
    @Chekibob 5 ปีที่แล้ว +231

    Kama huyu RC unamuelewa gonga like twende sawa, hahaha

  • @PesaMadafu
    @PesaMadafu ปีที่แล้ว +9

    Leadership like him we need in Burundi 🇧🇮

  • @emmanuelkiptoo3567
    @emmanuelkiptoo3567 2 ปีที่แล้ว +18

    I wish Kenya could have leaders like this mweshimiwa he is my roll model

  • @yusuphmohammad1385
    @yusuphmohammad1385 5 ปีที่แล้ว +190

    Wananchi wa siha watajilaumu saana kwa kufanya makosa mhe mm namfahamu vizuri ni mtu wa mungu kila tukifika tabora lazima twende kwake kumpa heshim yake .hongereni tabora mmempata kiongozi mzuri kuliko

    • @mohammedsalim6398
      @mohammedsalim6398 5 ปีที่แล้ว +1

      yusuph mohammad Hamna kitu ni muigizaji tu?anataka amuonyeshe bosi wake anafanya kazi, BILA KIKI U RC NA UWAZIRI HUKAI

    • @barakamwangama3453
      @barakamwangama3453 5 ปีที่แล้ว +1

      Wazee Wa hivi public ally very cruel ila ukiwakuta nyumbani kwake politeness huwez Amin yuko kazini

    • @yusuphmohammad1385
      @yusuphmohammad1385 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mohammedsalim6398 ngoja niaambie huyu mzee yuko hivyo hivyo unavyomuona mmesahau aliibeba wizara ya tamiseMi enzi za mkwere

    • @nicholeonard1001
      @nicholeonard1001 5 ปีที่แล้ว

      anastahili pongezi., Mwenyezi Mungu amlindee

    • @timothyibrahim7825
      @timothyibrahim7825 5 ปีที่แล้ว

      yusuph mohammad mrudisheni ndugu yetu na kiongoz Wetu wa siha

  • @venancemangale2860
    @venancemangale2860 ปีที่แล้ว +4

    Anybody listening to this video in 2050...This Man was a Legend

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 4 ปีที่แล้ว +36

    Narudia mara ya3 leo kumuangalia huyu mzee soma iyooo 2020

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 5 ปีที่แล้ว +33

    Jamani hawa viongozi walikuwaga WAP?tungekuwa mbali sana.hongera Mh Magufuli.asante Mungu kutupatia viongozi wazuri.Mungu ibariki Tanzania

  • @emmanuelhamis8853
    @emmanuelhamis8853 5 ปีที่แล้ว +589

    Kama unapenda kuangalia hii Mara nying like hapo chini

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 5 ปีที่แล้ว +5

    Dah huyu anafaa kuongoza tanzania nzima km umeona anaweza kuwa rais wa Tz nipe like yako hapa

  • @johndavid8303
    @johndavid8303 5 ปีที่แล้ว +12

    Raha sana kufanya kazi na mtu kama huyu...So charming!!!

  • @gaspermlay6963
    @gaspermlay6963 5 ปีที่แล้ว +11

    Hakika nchi bora inajengwa na viongozi imara na wanaojituma. Mungu akutanguliye mkuu wa mkoa

  • @newyambazi4653
    @newyambazi4653 3 ปีที่แล้ว +27

    2021 still love uncle Mwandri

  • @selestinemnegelwa2572
    @selestinemnegelwa2572 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mkuu wa mkoa wa Tabora camooon!!!!!!!!! meeeeeen!!!!!!!!.Njombe nako uje Baba.

    • @aishampeta8070
      @aishampeta8070 5 ปีที่แล้ว

      anafanya vizur xn awakomexh nawengine

  • @paulwilliam6053
    @paulwilliam6053 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kama bado unaangalia hii 2023 gonga like

  • @richardsonmanjira7315
    @richardsonmanjira7315 5 ปีที่แล้ว +78

    Kweli nimeipenda kazi ya uyu baba mwanri

  • @braytintz3563
    @braytintz3563 5 ปีที่แล้ว +68

    INJINIA NDIO TUNAEGOMBANA NAEE ANGALIA ATAKUINGIZA MKENGEEE HEEEEEE 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌fyekeleeaaaa ndaniiiiii

    • @jacksonsaini2230
      @jacksonsaini2230 5 ปีที่แล้ว

      Braytin Tz

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 ปีที่แล้ว

      Injinia wa kuingiza watu mkenge watafute taaluma ingine mpya!! 😂😂😂😂

  • @kidishithegreat8144
    @kidishithegreat8144 5 ปีที่แล้ว +58

    huyuu jamaa anaeza akaipeleka nchi pazuri sana ...kama unasapoti emb like hapooo kwa chinii..

    • @liliankapia451
      @liliankapia451 3 ปีที่แล้ว

      Mh magufuli akukosea kuchagua

  • @victormpandula3247
    @victormpandula3247 2 ปีที่แล้ว +7

    Hakika ulikuwa uongozi wa kuigwa tangu na kabla ya kupata uhuru.Hongeta mzee wa Toronto,pumzikana furahia maisha huko ulipo

  • @mahamoudmasoud3924
    @mahamoudmasoud3924 5 ปีที่แล้ว +202

    aggrey mwanri namkubali gonga like kama unamkubali

    • @leoniabeda2711
      @leoniabeda2711 5 ปีที่แล้ว +2

      Nakukubali mzee Mwanry tuko pamoja Mungu akulinde

    • @juliuslukas1528
      @juliuslukas1528 5 ปีที่แล้ว +1

      Mahamoud Masoud yuko PW sana

    • @maulidijuma3668
      @maulidijuma3668 5 ปีที่แล้ว +1

      japo spo mkoan kwangu Ila nakukubar vilivyo pambana tabora ipendeze

    • @francisjonathan977
      @francisjonathan977 4 ปีที่แล้ว

      Mahamoud Masoud g

  • @barakamangia2209
    @barakamangia2209 5 ปีที่แล้ว +12

    Nimemuelewa mzee safi sana.. Mungu amlinde asimame kwa nia njema kwa taifa

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว

      Siku hizi hawana hata mbwa wa kufokea sijui wamepotelea wapl? 2025 hutawaona kabisa watakuwa wametokomea na matusi hakuna kwa watumshi

  • @thardeusouko6017
    @thardeusouko6017 5 ปีที่แล้ว +3

    The rightful procedure.... Likes ziingie

  • @dogod673
    @dogod673 4 ปีที่แล้ว +7

    Mkuu anafanya kazi vizuri Sana nainapendeza angeletwa afanye kazi mkoa wa mara

  • @musshonest1378
    @musshonest1378 5 ปีที่แล้ว +509

    Heeeeeee? Camoon meen 😁😁😁😁kama umemkubal gonga like twende sawa

    • @charlesojode4137
      @charlesojode4137 5 ปีที่แล้ว +6

      Fyekelea mbali , wasilete mucheso awamu hii wakae macho wakishindwa wavue miwani

    • @saidkulwa1251
      @saidkulwa1251 5 ปีที่แล้ว +2

      Mussh Onest haahaha

    • @adrianokubila8374
      @adrianokubila8374 5 ปีที่แล้ว +2

      Mzee jua na huyo jamaa ana familia kalipia onya lakini pia uwe na huruma kama mzazi

    • @nilamsiraji800
      @nilamsiraji800 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @davidimgashi3232
      @davidimgashi3232 5 ปีที่แล้ว

      anatisga

  • @chilingalasikalwanda7861
    @chilingalasikalwanda7861 5 ปีที่แล้ว +8

    nimekuelewa Sana kiongozi wangu wamkoa,asante Allah akuongoze.

  • @user-nt9ex8tx2z
    @user-nt9ex8tx2z 5 ปีที่แล้ว +124

    Ngapi uko soma iyo wewe injinia km umesikia mkuu akisema nipe like 10 znatosha sjawai kupata like km zote iv

  • @salvatoryjeremia3382
    @salvatoryjeremia3382 5 ปีที่แล้ว +21

    Co pw nchi kweli imepata wajibikaji wanaojitolea. Kama umeelewa piga like zako

  • @godhelpkimaro6742
    @godhelpkimaro6742 5 ปีที่แล้ว +28

    Mh! Hakika unastahili pongezi unapiga kazi kisawasawa! Mungu akubariki Unafaa UPEWE mkoa zaidi ya mmoja una uwezo upo kikazi!

  • @leolaswai5784
    @leolaswai5784 5 ปีที่แล้ว +13

    The Best Rc in Tz now, Hands down,, these are the People we need. hongera Sana Mkuu wa mkoa kwa kusimamia kazi Vizuri ,ukweli utabaki kua kwamba wewe ni bora! bless from everywhere!

  • @brownjaffaly1172
    @brownjaffaly1172 5 ปีที่แล้ว +65

    wee mwangalie huyo enginer ndio huyu tunagombana nae apa atakuingiza mkenge kama umecheka hapo gonga like 😂😂😂

    • @ndebilemathias7115
      @ndebilemathias7115 5 ปีที่แล้ว +1

      hahaha!!

    • @ndumeabdallah5105
      @ndumeabdallah5105 5 ปีที่แล้ว +1

      Usipo fanya kazi kama inavyo takiwa utafanyishwa kazi
      Wenzetu wakienda tofauti wako tayari kujiuzulu
      Sasa sisi mpaka tusimamiwe na wengine tunasema hoo kaaibishwa apana!sio kuaibishwa kazima lazima iendane na wakati na vigezo na masharti lazima vizingatiwe

    • @amircatalog2082
      @amircatalog2082 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @emmanuelpolisi1343
      @emmanuelpolisi1343 5 ปีที่แล้ว +2

      Ninamuomba rais amuamishie mbeya maana dah Yuko vzr mnoo,

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 Kweli kabisa!!

  • @swalehmvuoni8863
    @swalehmvuoni8863 3 หลายเดือนก่อน

    Father alikuwa serious aisee watu kama hawa ni wachache Tanzania Hii Mungu Ampe maisha Marefu❤🙏

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 5 ปีที่แล้ว +163

    Mungu akupe umri uendelee kutumikia taifa lako nakupenda buree 😂😂😂😂😂😂

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard7443 5 ปีที่แล้ว +7

    Aisee kwa style hii Tanzania itasongaaaa👏👏👏👏

  • @samweljohn8521
    @samweljohn8521 ปีที่แล้ว +2

    Kama unaangalia 2023 gonga like soma kwenye ramani😂😂

  • @cosmasmpwage2576
    @cosmasmpwage2576 3 ปีที่แล้ว +23

    Baada ya Magufuli kututoka nimerudia kuiangalia hii 😭😭

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo umetusaidiaje na hiyo nyampala wako?

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 5 ปีที่แล้ว +6

    Nafikiri baadhi ya watumishi wa uma hawajaelewa or wamechelewa kumuelewa ni nn mh rais JPM anataka,hawa ndo viongozi tunaowataka. safi xana RC wa Tabora Mungu akubaliki.

  • @mfalmegideon3987
    @mfalmegideon3987 5 ปีที่แล้ว +300

    Kama kuna Siku ambayo Engineer Hata Isahau
    Ni Hii Ya Leo 😂😂
    Akatoe sadaka Kanisani kama Kabaki Salama 😂😂

  • @kevinjammy3589
    @kevinjammy3589 3 ปีที่แล้ว +4

    This should be Magufuli successer. Hongera mzee

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 7 หลายเดือนก่อน +3

    2024 bado iko 🔥 fire ,,
    unamkumbuka?nini maoni yako kwa kiongozi kama huyu?

  • @bibukaelias9900
    @bibukaelias9900 5 ปีที่แล้ว +14

    Kama wanachama wote wangalikuwa hivi nadhan kusingalikuwa na haja ya upinzani@May God bless you Aggry Mwanryi

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah, huyu mzee kweli alikuwa kazini.!

  • @senetornkwarz5714
    @senetornkwarz5714 5 ปีที่แล้ว +6

    ujenzi uvu sawa sawa...wakandarasi wa china..awaibi ata mia hawali pesa jmn....mana pesa ni za wananchi nchi..mkuu wa mkoa endelea.kusaidia watu jaman..Mungu anakuona🙏

  • @jacksonjanet9846
    @jacksonjanet9846 3 ปีที่แล้ว +1

    Whaoo am impressed, this are the leaders we want in Africa.He should be appointed as a minister

  • @suzanampanda9767
    @suzanampanda9767 5 ปีที่แล้ว +89

    😂😂😂😂 nyoosha mkono jifanye unajikuna.

  • @brytondaniel4900
    @brytondaniel4900 3 ปีที่แล้ว +13

    I can't stop watching this video again and again

  • @jumannerajabu6324
    @jumannerajabu6324 2 ปีที่แล้ว +2

    jamani nangaria marudio peke yangu au tupo weng kama mpo ebu gonga like kama zote

  • @LionOfWar
    @LionOfWar 2 หลายเดือนก่อน

    Kama unaangalia mpaka leo 2024 gonga like hapa

  • @Cheetah837
    @Cheetah837 5 ปีที่แล้ว +95

    we mzee ukistaafu anza Comedy wallah Utakimbizaaaaa 😂

    • @issaomary9494
      @issaomary9494 5 ปีที่แล้ว

      Aki tuna mrithi wa king majutoh!

    • @mariastivin3995
      @mariastivin3995 5 ปีที่แล้ว +1

      Duh! Angekua mwalim Wa shule ya msingi kikifika kipindi chake unahisi mkojo unagonga ukuta km unaamini jifanye km unanyosha mkono......gonga leyki

    • @sufianabdallah5764
      @sufianabdallah5764 5 ปีที่แล้ว

      .

    • @kingkachila2351
      @kingkachila2351 5 ปีที่แล้ว

      Napita tu

  • @musalucas1192
    @musalucas1192 4 ปีที่แล้ว +3

    anayetaman mzee angurume bungen weka like

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 ปีที่แล้ว

      Huyu akiingia bungen mabundi hayaingii nakwambia mm napendelea huyu angekua makam wa rais jmn

  • @kimjey0012
    @kimjey0012 5 ปีที่แล้ว +1

    Atakuingiza mkenge aliye sikia hiyo fanya kama wagonga like twende sawa.
    #Hapa kazi ipo engineer pole Baba.

    • @aishampeta8070
      @aishampeta8070 5 ปีที่แล้ว

      hana anacho jua huyo ingenea

  • @ommykitengo_jr
    @ommykitengo_jr ปีที่แล้ว +1

    Kama unaangalia hadi leo 2023 gonga like

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 ปีที่แล้ว +131

    Duh magufuli umemuona mkuu wa mkoa wako. Moto unawaka tabora.

  • @eliuskivuyo6521
    @eliuskivuyo6521 5 ปีที่แล้ว +12

    mh mwanri nakukubali sana,big up kiongoz wangu

  • @denisdezidely9279
    @denisdezidely9279 ปีที่แล้ว +1

    Kama unaangalia mpaka leo 2023 gonga like

  • @rommydeevan8543
    @rommydeevan8543 ปีที่แล้ว +1

    Heeeeeeey come on meeen 😅😅😅😅ebana kazi nzuri RC mwari mpk leo hii 2023 bado nafatilia hiz clip

  • @rajabulipongo4114
    @rajabulipongo4114 5 ปีที่แล้ว +4

    wamkuu wamikoa woote Tanzania mnafaa kuwa kama huyu kiongozi kwenye miradi inayoendelea vijijin safi sana mkuu gonga like kama umemkubali

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 5 ปีที่แล้ว +8

    Yaani one of my best clip in 2018 The Engineer and Magufuli Twin brother 😆

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 ปีที่แล้ว

    Kama unaangalia hadi leo 2023 gonga like nyingi tu

  • @kaaweemwenyewe2872
    @kaaweemwenyewe2872 5 ปีที่แล้ว +9

    Duh nomaaaaaaaa Moto huo Wa kuotea mbali cjui ingekuwaje angekuwa Presdent walakhiiiiii tungepangiwa kwa wiki kulala na mkeo mara mbili... ukizidi kazi unayo😂😂😂😂👆

    • @masanjapitta2573
      @masanjapitta2573 5 ปีที่แล้ว

      Somaaaaa hioooooo

    • @bakarichina4164
      @bakarichina4164 4 ปีที่แล้ว +1

      Daah,kwann mzee kastahafu bhana minaomba mweshimiwa president ampekazi ingine uyu mzee mina mkubari sana,mbona bado yuko fiti kbs,

  • @johnopondoh9092
    @johnopondoh9092 4 ปีที่แล้ว +9

    I love this guy

  • @gundoanimal6750
    @gundoanimal6750 4 ปีที่แล้ว +5

    16.10.2019..naingalia tena an..kama naw umekuja chungulia tena..gonga like

  • @dr.hamiduibrahim1307
    @dr.hamiduibrahim1307 5 ปีที่แล้ว +9

    Mkoa wa Kagera angepatikana RC kama huyu, nadhani hata mkoa ungekuwa na stand ya mabasi.
    Big up Tabora aiseee.
    Sijua nani aliroga mkoa wa Kagera jamaniiii?.

  • @paulumbu7236
    @paulumbu7236 5 ปีที่แล้ว +5

    nipeni like zenu kama mnamkubali mzee wa sukama ndani wote

  • @myfelcomtv9687
    @myfelcomtv9687 4 ปีที่แล้ว +8

    Et engineer somaaa hiyooooo 😂 😂 😂 .......
    Soma kwenye karatasiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣 likes zangu jameniii

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 ปีที่แล้ว +6

    Ambae hataki kunipa like ajifanye anajikuna

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 11 หลายเดือนก่อน

    Kama unaangalia Hadi Leo 2023 na umeiludia teena gonga likee

  • @rukiamohamed8028
    @rukiamohamed8028 4 ปีที่แล้ว +1

    Engi yuko sawa ila kelele nyingi vipimo vyote viko safi tofali nondo kasema bila kutumia makalatasi vipimo vya ukuta big up engi

  • @tausiyusuph7282
    @tausiyusuph7282 5 ปีที่แล้ว +29

    Kama unatizamaa kila wakati gonga like hapa 🤣🤣❤❤

  • @eliakazana7252
    @eliakazana7252 3 ปีที่แล้ว +24

    Naiona roho ya magufuli ikiwa ndani ya mzee wetu huyu!

  • @Radiumflexx
    @Radiumflexx ปีที่แล้ว

    Kama unaangalia hadi leo 2023 ginga like

  • @christmhema9500
    @christmhema9500 5 ปีที่แล้ว +2

    Huu 🔥 mhhhhh lazima ukae Kama unaogopa ajira gonga like.. .....chris*tz

  • @allymohamed4764
    @allymohamed4764 5 ปีที่แล้ว +126

    kamtafuta kwenye tofali kamkosa vipimo kamkosa kamdaka kwenye nondo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 5 ปีที่แล้ว

      Kwenye nondo na kisanii kitabu😂😂😂

    • @popigagia7183
      @popigagia7183 5 ปีที่แล้ว

      Ally Mohamed 😂😂😂😂😂😂😂

    • @francischiko3752
      @francischiko3752 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😃😃😃😃injinia atachomoka kweli???

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 5 ปีที่แล้ว

      Ally Mohamed ha ha ha ha nimeshafuka dar mm km engineer

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 5 ปีที่แล้ว

      Ally Mohamed hahahaha

  • @abdulkadirissamahmoud4236
    @abdulkadirissamahmoud4236 5 ปีที่แล้ว +13

    ata kuingiza mkenge like kama umeipenda hii kauli

  • @aderickanatorypesha4004
    @aderickanatorypesha4004 ปีที่แล้ว +1

    Baba mzuri ,Mungu akubariki . Natamani ungekuwa waziri wa viwanda na ujenzi .

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 4 ปีที่แล้ว +6

    Tanzania kwa awamu hii tuna viongozi wengi makini na wazalendo. Wale ambao hawawezi kufuata kasi hii watupishe tusonge mbele, hakuna kurudi nyuma hapa.

  • @user-pn9ii9iz8f
    @user-pn9ii9iz8f 5 ปีที่แล้ว +16

    The best Government in Africa I proud to be a Tanzania

  • @officialchum7769
    @officialchum7769 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa style hiii kutakuwa hakna majengo yanayodondoka goood job Mh Allah andelee kukusimamia

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 ปีที่แล้ว

    mara yangu ya kumi leo tar.8/july/2021 namtazama mchapakazi Mh.Aggrey Mwanri ..natamani Mama Samia Amrudishe madarakani🙌..japokua kastaafu.

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว +87

    Watanzania hamtoendelea sababu hakuna kitu machukulia serious!! Interests zenu ni kuhusu maisha ya watu na udaku udaku tu ingekuwa video hii mkuu wa mkoa kafumaniwa guest ingekuwa na views na comments million3 lkn masuala muhimu yabmaendeleo tunachukulia mzaha!!! Muheshimiwa anachapa kazi lkn watu wanachukulia utani hata tittles za millard ayo youtube nyingi za kipuuzi puuzi tu! Makonda kaanza vita hakuna support yoyote mliyompa zaidi ya kumkosoa tu na kupost video za mashoga ili muingize pesa mie naona vita ingeazia kwenye uhuru wa media ....hapa nchini media inahitaji kuelimishwa kuhusu kukosoa na kuandika mambo ya maana sio kupost upumbavu daily

    • @nasrimchopa678
      @nasrimchopa678 5 ปีที่แล้ว

      Kweli unachokisema tunapenda mambo kijinga sana

    • @winniemlay8883
      @winniemlay8883 5 ปีที่แล้ว

      Point

    • @salehemkomwa8063
      @salehemkomwa8063 5 ปีที่แล้ว

      umesema ukweli ndugu WA tz tunapenda dhbikia ujinga hata magu anakaza kwenye kusmamia Mali zetu wasiibe wajinga wanaongea pumba hela hakuna na wamekaa kijiweni

    • @muhibujuma3550
      @muhibujuma3550 5 ปีที่แล้ว

      Jifanye km huna Jikuna

    • @fanuelburra6903
      @fanuelburra6903 5 ปีที่แล้ว

      gd comment

  • @Christianjack
    @Christianjack 5 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂 Daaaah kwaujunguzi uhu watu wataisoma number ma engineer kazi ipo gonga like

  • @netchmantengia7752
    @netchmantengia7752 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unatamani kuona Rc akivaa barakoa anafananaje gonga like hapa ili avae tumwone

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 5 ปีที่แล้ว +7

    Hahaaha asante mungu sijabatika kuwa mtumishi wa serikali kwaninavo jijua ninge sukumwa ndani mie

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukizembea kazini ama huwe Injinia hewa, mla rushwa, Injinia wa makenge.
      Mwanri yuaja, utasukumwa ndani!! 😂😂😂😂

    • @maxmaizer4631
      @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kiptookomen4127 haaaa mzee wa wacha iyo habari

  • @kituladigala4880
    @kituladigala4880 5 ปีที่แล้ว +64

    Huyu ndo kiongz bora bigapu mkuu

  • @tausmohammed3531
    @tausmohammed3531 5 ปีที่แล้ว +3

    😃😃😃 mtu wa mkoa anasumbua jmn duh big up dady kazi mzuri

  • @abiudifrank4550
    @abiudifrank4550 10 หลายเดือนก่อน

    Kama bado unaichek mzee wa fanya kama unajikuna gonga like 😂😂

  • @TwalbuYusuph-nr8zl
    @TwalbuYusuph-nr8zl ปีที่แล้ว

    Kama unaangalia 2023 Gong like

  • @fredyjohn8548
    @fredyjohn8548 5 ปีที่แล้ว +66

    Nimeipenda hii kazi safi sio kukaa ofisini tu na kunywa kahawa

  • @silviapumzikenikwaamanidam8436
    @silviapumzikenikwaamanidam8436 5 ปีที่แล้ว +73

    😀😀😀😀😀 wana Tabora tunakupenda mpaka baasi,
    Tabora oyeeeeèe!

  • @fauziachomola4538
    @fauziachomola4538 5 ปีที่แล้ว +1

    akigombea urais huyu kura utampa au hapana? kama utampa kura yako gnga like hapa

  • @mwinjilistiboniphacealfred6035
    @mwinjilistiboniphacealfred6035 3 ปีที่แล้ว +2

    NAPENDEKEZA AWE MAKUMU WA RAIS

  • @stephenntinginya1062
    @stephenntinginya1062 5 ปีที่แล้ว +4

    Salute Mkuu.