Rais Magufuli naomba kama unaskia sauti hii ya maandishi naomba uitishe mkutano wa ma RC wote halafu huyo RC awape maarifa ma RC wengne ya ufanyaji kazi maana wengne wamekaa kama miti afadhari hata mm wanaokubaliana na mm wagonge like
Ila mkuu wa mkoa unaipendelea sana hiyo wilaya ,mbn sikuoni ukienda kuangalia na wilaya Kama urambo,kaliuwa na skonge huko kote zipo changamoto nyingi sana mkuu wetu jaribu kuzitembelea hizo wilaya.
Asee ni kweli hapo hela zilipigwa xana Nondo nyembamba ivo Wanaweka darajani,, Inabidi kweli atafutwe mhusika ajenge upya kwa garama zake, Huo ni urudishaji wa Maendeleo ya Nchi.
Mwanri ni kiongozi mzuri mwenye kujiamini katika kazi zake hababaishwi yupo macho na anaipenda kazi yake sanna tena anaweza kuongoza mkoa wowote ule kwa ujasiri wake,
Yaani wangekuwa wakuu kama hawa watano tu yaani baba rais ungelaka usingizi yaani huyu baba anauchungu wa nchi pesa za kodi muongezea zaidi wasaidizi maana amelemewa na watu ubarikiwe
Rais Magufuli naomba kama unaskia sauti hii ya maandishi naomba uitishe mkutano wa ma RC wote halafu huo awape maarifa ya ufanyaji kazi maana wengne wamekaa kama miti afadhari hata mm
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae Dah jaman wajenzi wetu mbona hamuoni ata aibu unalipwa hela kisha unafanya kazi mbovu hivyo maana yake nini? Inasikitisha Sana'a
Kama unakubaliana na RC kuwa watu wamepiga hela bac gonga like apo
Wenye kutamani huyu angeamia mkoa wa dar anipe like
Rais Magufuli naomba kama unaskia sauti hii ya maandishi naomba uitishe mkutano wa ma RC wote halafu huyo RC awape maarifa ma RC wengne ya ufanyaji kazi maana wengne wamekaa kama miti afadhari hata mm wanaokubaliana na mm wagonge like
Hauja kosea kaka upo sahoo tunataka kiongoz wa namna hii
Tungepewa mwanza
Sio kama miti kama bikoni mti maana mti ukivuma upepo unatikisika ila bikoni labda mafuriko ndio ihame hahaha
huyu rc anapiga kazi sana japo wengine wanaona kama maigizo kidole kinene kuliko chuma asantee rc
kama umeona mkokoten wa ng'ombe na ukamiss nyumban gafra gonga like
mm nimemiss sana tanzania nikiw huk oman
@@aminasaleh6134 mi pia
Hahahahaha ata mm nimemiss
Kama unaona huyu mkuu ni murithi wa magufuli gonga like apa
Napenda huyu mzee kwa kazi nzuri twataka viongozi kama huyu
Rc umeniacha hoi eti tutakwenda kuulizana huko mbinguni kuwa huyu alitufanyia fujo huko😂😂😂 kama umemuelewa mkuu gonga like nyingi hapa
Nice one
Mh. Huyu tabora kaiweka vizuri kwasasa ombi langu Sasa aje singida jamani maana tunaona Kama kunatatizo gonga like Kama wazo hili liko sawa
Hongera sana na kazi Mh Mwanri.
Namkubali mwanri,educated Man
MUNGU wangu huyu mzee anafaa sana kuwa kiongozi ila ndo tanzania wana chaguliwa wasio na vigezo kuwa viongozi ARUDISHWE
Mm namkubari sana rc mwanri kwa kazi zake
Ila mkuu wa mkoa unaipendelea sana hiyo wilaya ,mbn sikuoni ukienda kuangalia na wilaya Kama urambo,kaliuwa na skonge huko kote zipo changamoto nyingi sana mkuu wetu jaribu kuzitembelea hizo wilaya.
Asee ni kweli hapo hela zilipigwa xana Nondo nyembamba ivo Wanaweka darajani,, Inabidi kweli atafutwe mhusika ajenge upya kwa garama zake, Huo ni urudishaji wa Maendeleo ya Nchi.
Big Yes kwa huyu dingi
Bora Mwanri angepelekwa Dar,ingenoga zaid
To the best of your knowledge
Hii Ndo inafnya Hata mainjinia wenye uwezo kutopewa kazi kutokana na uzembe wa baadhi ya engineers
Nchi hii siasa nyingi sana kwenye miradi. Ndo maana hata wakandarasi wetu wengi hawapewi miradi mambo kama haya
Ma Engineer achen Mapuuza !!!!
hapo ni kazi tu
Hahahaha I wish huyu Baba angekuwa kwetu Congo he's so funny and serious ati hawezi piga kaburi 😂😂😂😂😂😅
mmmmh congo mnapenda makuta
Namkubali sana
Njoo mbeya mkuu
Ubadhirifu wa hali ya juu....Zamani walikuwa wanapeta tu.! Siyo Awamu hii. Watanyooka tu.!
hacha mkuu wamkoa aseme kabisa. Kwenye hali Africa itaendeleya kweli?😭😭😭
Safi sana mkuu
Endelea mzee na kazi kitaeleweka
This man should come in Kigoma plz as Reginal Commissioner.
Mwanri ni kiongozi mzuri mwenye kujiamini katika kazi zake hababaishwi yupo macho na anaipenda kazi yake sanna tena anaweza kuongoza mkoa wowote ule kwa ujasiri wake,
Nakuombea Raisi akupe uwaziri wa ujenzi
Mheshimiwa Rais tuletee huyu mtu daresalaam jaman
Walio kufa atawafata mbinguni😂😂😂huyu mzee kiboko
Eng. Silanga naona upo na big Boss
Mzee baba njoo dar
Tutakwenda kujuana huko mbinguni dah Mkuu wa mkoa
Mzee magu unafeli wapi kumpa uwazili mzee wa Toronto
Matokeo ya uchaguzi igunga
Jembe langu hilo Nchi nzima hakuna MKUU Wa mkoa kama huyo.
Yaani wangekuwa wakuu kama hawa watano tu yaani baba rais ungelaka usingizi yaani huyu baba anauchungu wa nchi pesa za kodi muongezea zaidi wasaidizi maana amelemewa na watu ubarikiwe
mzee rudi siha watu tunakukumbukaaa 😭😭😭😭😭
Spacing iko sawa mzee baba
Sema cementi ndio tatzo
Kumbe 2013 hiyo ni ile ya maisha bora kwa kila mtanzania du hatari sana
Sukuma ndani wotee
Sasa barabara ya vumbi harafu mnataka daraja la concrete. ...wapi na wapi...ndo maana wakajenga na daraja la vumbi pia....
Jamaa amesha kula na peshen anetulia
Uje Zanzibar wewe unatufaa R C
HUYU mkuu wa mko ni moto wa kuotea mbali..
Mkuu wale dada powa ndg zake MAKONDA walishaondoka Tabora na KWENDA kwao NDG YAO DAR.
Nan kaiona ti shirt ya VETA
Ingekuwa tunatafuta Mkuu wa mikoa ya Tanzania (uyu ningempigia kuka
Huyo mmama kihelehele
Hivi engineers wetu wanakosea wapi? Sasa hapo inahitaji hata sayansi kujua kama huo ni ubovu
Huyu mkuu wamkoa angekuwa dar ingekuwa poa sana
Huyu jamaa anafaa kuwa mkoa wa dar
!wanri hoyeee nyoosha Mzee mkubwa
That wasn't correct Mr RC... Sukuma ndani hao!
Attached makaburi????🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘😘
Kuja na uku arusha mweshimiwa
Hata vbk hawasogei mkoa wake wabadirishane aje Dr maana hata huku wapo mainjinia feki
Sukuma ndani
Hi
Daah huyu jamaa mkuu hatar sana
Watu washakula hela na mtu akasepa
Tutakwenda kuonana uko juu mbingungi
Huyu mzee anachapa kazi sio utani!
Na mainjinia wa bongo, ndo kazi gani sasa hiyo!
Wote wamehusika hapa hata wenye cheo pia wamekula pamoja pesa rushwa bado
Arudi siha tena Mweshimiwa
Huyu nikiongozi bora lakini kuwa Raid hafai coz Rais kila unachoongea ni sheria watu watapatashida sana kwasababu ana maneno mengi sana.
Nataka wewe injinia uniambie, in the best of your knowledge, is this correct??😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 wanyoosheeeeeee
Tutaonana juu mbinguni 😂😂😂😂
Lakini hizi barabara huaga zinaandikwa kibao uwezo wa tonnage mfano tani 10, lkn unaeza kuta gari za tani 15 na zaidi zinapita
Aise RC MWAIRI ni jembe kweli kweli anajua ufanisi wakazi yake
Rais Magufuli naomba kama unaskia sauti hii ya maandishi naomba uitishe mkutano wa ma RC wote halafu huo awape maarifa ya ufanyaji kazi maana wengne wamekaa kama miti afadhari hata mm
Tukipata 15 kama hawa tz itakuwa kama mjiii Fulani
Dubai
kwanini jamn amji tanga kutumbua majipu tanga jmn
Masikini Kuna muda anajaribu kuwa cool lakini inamshinda
Mtu kama huyu anafaa ama kuwa Raisi, ama Waziri mkuu
Daa yani hapo kama kajenga mtoto
Baada ya MAGUFULI unafuata mzee wa sukuma ndani
Mmenitaja
Ila jaman Tuache utani me ni mpinzani piwa lkn Huyu jamaa nataman rais angeweka maagizo wakuu WA mikoa wawe kama yeye... Ni Zaid Ya bashite
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae Dah jaman wajenzi wetu mbona hamuoni ata aibu unalipwa hela kisha unafanya kazi mbovu hivyo maana yake nini? Inasikitisha Sana'a
😁😁😁 hawa injinia wana hatarii zao
fundi maiko kahusika😁
Hao ndio wakandarasi wazawa ni kulipua kazi, wakipewa wachina kazi wanalalamika sasa hiyo kazi mbovu namna hiyo kwanini wachina wasipewe kazi.
Huyo anawezakuwa mkandalasi wa ndani.
Nitafutieni huyu engineer! Labda nimkute amekufa🤣🤣🤣
😂🤣😂😂😂😂😂
Siwez kuchapa kabuli
Pieree
Ayo tv ninahabar nataka niwape tafadhal naomba mawasiliano nipo tabora
Nicheck
@@malombeho8020 mawasiliano ntapataje!
👉👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍
Huyu kwanini asihamishiwe Mara?
😂😂😂😂😂😂😂.labda awe ameshakufa😅😅😅😅
KOMAA NAO MZEE WAPIGA DILI
Wacha pressure boss that was long time ago 2012?toa pesa watengeze upia
Uyumchaga bwana elaishapigwa ap
Dah Mwanri hataki ujinga kabisa.....vita vyake kuvikwepa labda uwe maiti...
Hili ndilo jembe ra Tabora Oyeeeeee
Uyo kweli kiongozi
Aje itakuwa poa