Miwani ya zamani!🤣🤣🤣🤣😁😁. Nimecheka mpaka watu wamekereka. Huyu mzee nikipata bahati ya kumuona one day, nitafurahi mpaka ataniona chizi. Mzee on point, safi sana
Mkuu upo vizuri, chapa kazi! Lakini wasomi Watanzania hovyoo sana, ndo utendaji gani wa kazi huo! Mungu atusaidie tunahitaji wataalamu wenye uzalendo na nchi yao!
Inakuwaje wanajua unakuja mkuu halafi hawana makaratasi ya angalizo, wamevaa miwani ya zamani hao mkuu, kwa nini wanarudiarudia lakini? Wanaleta dharau na serikali, nani kawatuma🤔
Mkuu mwanri kawaida ya watu wanawochukua tender ndogo za caravat na vidaraja vidogo huwa wana bid alafu wanauza kazi kwa mafundi ambao hawana qualification ya uinjinia engeeering, mafundi ambao hawajasoma darasa lakini no mafundi wazuri tu lkn huwa wanapewa hela ndogo chini ya 50% , sasa fundi aliyenunua kazi amebanwa na budget ,anashindwa kufanya kazi standard . sasa mafundi wapo was engineering waliyefunza kwa apprenticeship kwa nadharia ila makaratasi hawana na wanaweza kufanya kazi , waukuwe hawo ndio utaikua sekta ya ujenzi . sijui nimeeleweka
Kwako MH. Raisi, tunaomba miaka mitano ijayo baada ya uchaguzi MPE MH. mwanri nafas ya u waziri mkuu kabisaaaa ili asimamie miradi yoteee ya maendeleo nchi mzima. kwa muda huo mfupi nazani mkuuu kwa kumtumia huyu ataweza kuimaliza miradi yote mapema.
Jamn huyu mzee anatumia cheo chake kunyanyasa wengine. Mtu akikosea hatak kumrekebisha ni kustopisha kazi tuu kingine hajuw akumbuke duniani tunapita tuu😥
Barabara za Tabora mjini nazo zikiwa zinajengwa hasa zinazosimamiwa na manispaa zinachukuaga muda mreeefu mno na kufungafungabarabara hovyo. Na mbaya zaidi hawaruhusu hatabaiskel kupita, la sivyo inatolewa upepo. Hivi hao ni wakandarasi wa wapi?
Akiongea kama masiala masiala hivi komedi nyingi kumbe uku anakulalua kabisa, Safi sana mkuu wa mkoa wa TABORA, tunawataka kama ninyi muwe mikoa karibia yote
Endeleeni kufanya tu kazi kwa mazoea Tbr na kwingineko, sijui kwanini hamsomi majira na nyakati za kubadilika jamani!! Hata wanaowasimamia mnawapa hasira wenyewe mliopo chini yao kwakutokutii maelekezo na kubadilika, maendeleo hatuwafanyii wazungu ni ss waTz nchi yetu ibadilike, heii kiruuuuuu!!!
Lazima wajifunze maendeleo hawezi waache wenyewe uvivu umewajaa wazembe wewe ungekuwa rais nchi ingenyooka dk 5 tu hata makufuli kweli mpole wanamuonea safi sana tena huko vijiji watu wazembe sana ndio maana wote wanamia mijini kwa sababu hakuna maendeleo nikija nitakununu wine wezi wote ndani hakuna mchezo mchezo
Kaz nzuri sana RC unajitoa kwaajili ya watu unatimiza wajibu wako mungu atakunyooshea katika mambo yako mkuu
Watanzania tubadilike jmn mnampigisha kelele mzee kila siku jmn hivi wanatabora hamjamuelewa bado tuu. Pole mzee Mwanri
We need more Leaders like this, he only wants Numbers, documents and Facts. Thats how it should be.
gonga like kama unataman mzee wa toronto ahamie dar
Miwani ya zamani!🤣🤣🤣🤣😁😁. Nimecheka mpaka watu wamekereka. Huyu mzee nikipata bahati ya kumuona one day, nitafurahi mpaka ataniona chizi. Mzee on point, safi sana
😂😂😂 nikatamani niione hiyo miwani ya zamani lkn sikuiona
Huyu mzee nampendaga saanaa yupo moja kwa moja😃😃😃😆😆
@@dinnocelestin1894 Haha, angalia angalia utaiona, imepitishwa fastaaaa, kuna watu wanayo hapo🤣
@@petermwamanda6754 Ya, naona sikuhizi wanampotezea, wakati anatuongezea sana siku za kuishi kwa actions zake.
Kiukweli huwa nafurahi saanaa.sion Tena clip zake huyu mkuu sijui vipi🤣🤣🤣
The best RC in Tanzania .Nampenda Sana huyu mzee
Anafaa sana kuwa waziri wackos ujenzi"big up.sana mwanry
Hapo mwisho amemalizia vizuri sana, "sukuma ndani"😂😂
Kazi nzuri Mheshimiwa, endelea kupiga kazi kwa manufaa ya mkoa wa Tabora na Taifa kwa ujumla.
I think the next president
Mzee nakwelewa sana baba kazi njema
..safi kabisa!ndo hiyo inayotamba huku mjini,haifanyi kazi,..mijizi..piga chini!..weka watu wa kweli!
Mtashushwa kwenye mtarona miwan yenu ya Zaman
Hardworking.follow suit with raid na motto yake HAPA NIKA Tu Hatutaki wanaokwamisha miradi ya raising Congrates MKUU wako mkoaTABORA mhe MWANRI
Gonga like kama unatamani Huyu mkuu wa mkoa ahamie mkoani kwako.
Yani huyu mkuu wa mkoa wa tabora yuko vizuri na kazi yake♥️
😂😂😂😂😂wallah huyu mzeee ananitoa stress kwa kweliiiii nampendaaa hatrariiiii
Vua Miwani mzee watie.kwenye Mitaroo😂😂😂Sukuma Ndani🔥🔥
Hahaha mzee salute kwako yani napenda sana unavyofanya kazi
MKUU WA MKOA UNASTAHILI CHEO HICHO KWA FAIDA NA HESHMA YA NCHI YETU
Kiongozi nimpendaye 👍.
mimi ndo wa kwanza jamani af nipo single
Unataka mme au??
@@nestorymsacky6838 hahaha atakuwa anataka ukandaras
Jembe hilo Kazikazi love Mwanri
Waziri wa ujenzi na miundo mbinu itakufaa sector hiyo
Mzee kingereza kinampenda sana hakijawahi kumsaliti😀😀😀😀
Sukuma ndani😂Asisubutu mtu kuongea😀 nakukubali sana mkuu chapa kazi.
Pp
vaaa soksi vua miwan ya zaman..simamisha kazi rubish
Kwa kweli MKUU WA MKOA,Hongera kwa usimamizi MZURI...PIA angalia USAFI TABORA...HAO SUKUMA NDANI..
This why we Call TORONTO 😁👍🏽
Chapa kazi Mh Mkuu wa Mkowa
Sisi tunakupenda Sana
Mkuu upo vizuri, chapa kazi!
Lakini wasomi Watanzania hovyoo sana, ndo utendaji gani wa kazi huo!
Mungu atusaidie tunahitaji wataalamu wenye uzalendo na nchi yao!
Barua Iandikwe Leo Leo SIMAMISHA KAAAZI
Tuna kuku bali mkuu wetu wamkowa mungu akupe afya njema
Nahisi wangepatikana kama kumi hata mikoa mingine wangeozewa waongoze mikoa miwili miwili.
Saafii Mkuu wangu
Baba hamia na mradi wa reliii, angalia vizuri
Huyu RC yuko makini sana angeifaaa Arusha uuni ungeisha
Mh napenda Sana kukusikilza ....HAKIKA unachapa kaz ..miwani ya zaman tupa chin sukuma ndan
Piga kazi baba uko vzr
Alieona taa ime ninginia gonga like
Uyu mzee shikamoo mh
Inakuwaje wanajua unakuja mkuu halafi hawana makaratasi ya angalizo, wamevaa miwani ya zamani hao mkuu, kwa nini wanarudiarudia lakini? Wanaleta dharau na serikali, nani kawatuma🤔
daaah mwanri mwamba kweli
Noma sana
Akumbukwe hasan 😂😂 aliyeona
Kazi ngumu sana kajitoa kadara huyu mzee kwakuwajali wana nchi wake
Yaani unasimamishwa kazi huku unafurahi...jamaa namkubali sana
Kazi imepata mwenyewe..Safi sana.Eti miwani ya zamani Haaaahaaaa
Huyu agombee ubunge apate uwaziri ashughulikie maji yani shida itakwisha kabisa
Kabisa yani
Ooooh washamkela uko
Yani safisana
Mkuu mwanri kawaida ya watu wanawochukua tender ndogo za caravat na vidaraja vidogo huwa wana bid alafu wanauza kazi kwa mafundi ambao hawana qualification ya uinjinia engeeering, mafundi ambao hawajasoma darasa lakini no mafundi wazuri tu lkn huwa wanapewa hela ndogo chini ya 50% , sasa fundi aliyenunua kazi amebanwa na budget ,anashindwa kufanya kazi standard . sasa mafundi wapo was engineering waliyefunza kwa apprenticeship kwa nadharia ila makaratasi hawana na wanaweza kufanya kazi , waukuwe hawo ndio utaikua sekta ya ujenzi . sijui nimeeleweka
Sukuma ndaniiii walizoea wizi wizi
Hii ni Tanzania mpyaaaa
Tsbora imenyoshwa sana
Kwako MH. Raisi, tunaomba miaka mitano ijayo baada ya uchaguzi MPE MH. mwanri nafas ya u waziri mkuu kabisaaaa ili asimamie miradi yoteee ya maendeleo nchi mzima. kwa muda huo mfupi nazani mkuuu kwa kumtumia huyu ataweza kuimaliza miradi yote mapema.
Peter Balilemwa majaliwa anatosha
Safi sana.
Safi sana lkn mnachelewa kukagua miradi. Mradi ukaguliwe kila phase.
Nmecheka kwa sauti #miwani ya zamani😂😂
Noma sana 😂😂😂😂
Jamn huyu mzee anatumia cheo chake kunyanyasa wengine. Mtu akikosea hatak kumrekebisha ni kustopisha kazi tuu kingine hajuw akumbuke duniani tunapita tuu😥
Dah Angekuja ZANZIBAR Ktk cku hz
Kuna mijitu ina vaa miwan ya zamani 😁😁😁 skuma ndaniiiii
mzee wetu magufuli atuletee mwanza hili jembe hata kwa mwezi mmoja tu atunyosheee watu
Hahaaha kwani mwanza kuna miwani tu za zamani na kofia za kizamani?
huhuhuhu #MIWANI YA ZAMANI vua eka pale
sukuma ndan hapa kaz tu search polo the boy now enjoy music
Ilikuwaga waziri was temisem
Hahahahah kama umesikia penguin gonga like please
Sukuma ndani mzeee😀😀😀
Miwani ya zamani sukuma ndani
Kiukweli huyu ndiye kioo cha jamii..hataki machezo kabisa.Niko Kenya lakini uaga ananipunga sana kwa mikakati yake ya utawala
Nataman nikutane na huyu baba maana nina shida sana naomben mawasiliano yake jaman
Mzee magu ilikua apate hawa jamaa japo watano tu ingekua poa sana
Nani alomkuta mwezKe watu walikuta balabala aua balabala ilikut watu
Haha rubbish completely rubbish hahah kazi nzuri naku rate asilimia 100 kutoka kenya
Amwendagi kwenye masaiti mameneja
simamisha kazi
muheshimiwa rais mpe cheo kikubwa ikiwezekana 2020 agombee ubung kisha awe wazr mkuu asimamie milad yot nchi nzima
😂😂😂😂😂😂😂 hiv mwalim dotto ni nani, mbona anahusika saana
Boycoin Micharazo mwalimu dotto kila sehemu anatajwa aiseee na mkuu 🤣🤣🤣
Barabara za Tabora mjini nazo zikiwa zinajengwa hasa zinazosimamiwa na manispaa zinachukuaga muda mreeefu mno na kufungafungabarabara hovyo. Na mbaya zaidi hawaruhusu hatabaiskel kupita, la sivyo inatolewa upepo. Hivi hao ni wakandarasi wa wapi?
noma sana asee
Sasa ni mwaka 2024 naangalia hii video. Rais alieko madarakani sasa anasema eti uongozi wa style ya mwanri haufai. Nashangaa sana
Chuma kinaongea🤓🤓🤓
Mikinanani imetupia miwani ya zamani 😂😂😂😂tuisukumie ndani
Good
Mzee akikisheni mnapata vijana wazalendo kwaajili yanchi ii MUNGU awabaliki
😀😀😀 yaan unaniacha hoi sukuma ndan
Huyu kiongozi du! Mtakoma
Huyu mkuu ange kuwa dar mapato ya selikali yangeongezeka mno sana sababu hakuna janja janja kwenye uongozi wake
Kunatofaut kubwa katiya ya siasa na uwongozi lazima tujue kutofautisha siasa na viongozi.
nakukubali mkuu tabora itakua toronto
uyu father anaongeaga kama anachekesha ila yuko makini vibaya mno na huwa haongei pumba katka mambo serious
🤣🤣nani alikuta mwenzake mimi nahisi binadamu alikuta barabara🤣🤣
Akiongea kama masiala masiala hivi komedi nyingi kumbe uku anakulalua kabisa, Safi sana mkuu wa mkoa wa TABORA, tunawataka kama ninyi muwe mikoa karibia yote
Mnawataman sana tarura waje tena halmashaur😂😂
Endeleeni kufanya tu kazi kwa mazoea Tbr na kwingineko, sijui kwanini hamsomi majira na nyakati za kubadilika jamani!! Hata wanaowasimamia mnawapa hasira wenyewe mliopo chini yao kwakutokutii maelekezo na kubadilika, maendeleo hatuwafanyii wazungu ni ss waTz nchi yetu ibadilike, heii kiruuuuuu!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌😂😂😂w mzeeeee usifee
Jamani huyo agombee umbunge apewe dhamana YA ujenzi huyu nie rais ajae Afu MZEE wakupeleke Mara uinyooshe ka miezi minne TU urud tabora😁😁😁😁😁
Nazani mmemuelewa mkuu😃😃😃
Sukuma ndani
soma hiyooooooooooo
Rong rabish completely😁😁😁
Lazima wajifunze maendeleo hawezi waache wenyewe uvivu umewajaa wazembe wewe ungekuwa rais nchi ingenyooka dk 5 tu hata makufuli kweli mpole wanamuonea safi sana tena huko vijiji watu wazembe sana ndio maana wote wanamia mijini kwa sababu hakuna maendeleo nikija nitakununu wine wezi wote ndani hakuna mchezo mchezo
Hahahahahhahaahaa. Umesikia hiyo, unakuwa na kichwa ngum hapaa?
Viongozi wote wamuige huyu mkuu nchi iwe kama toronto
Mzee safi