Lema: Wenje Hafai Kuwa Mwanachama wa CHADEMA, 'Katufikisha Hapa Leo' Awatetea Diaspora

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 83

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Lema siku zote unateteaga haki tunafahamu mungu akutangulie siku zote

  • @abdul-azizmuawiya3734
    @abdul-azizmuawiya3734 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Leo ndio siku nimekuelewa, umekua muwazi, umeelimisha ndivyo kiongozi anatakiwa awe. 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @elisiajohn7287
    @elisiajohn7287 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    NIMEFARIJIKA SANA KUONA VIONGOZI WA JUU CHADEMA WANATAKA MBOWE APUMZIKE, ASANTE LEMA IKIWEZEKANA WENJE MTIMUENI AKALAMBE ASALI VZR

  • @fanuelkitembe7404
    @fanuelkitembe7404 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    SIASA HAINA UADUI WA KUDUMU,MBOWE UMEFANYA MENGI CHADEMA,BRO ,TIME HAS COME FOR YOU.BRO PUMZIKA,

  • @amosnjiaapostle
    @amosnjiaapostle 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Brother your a true legend i appreciate on you,

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Salute broo umeongea sanah leo

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    LEMA mungu akusaidie tunamini Lisu nichaguo lasasa

  • @georgemahenge
    @georgemahenge 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mawazo ya LEMA.yaheshimiwe

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Tunataka lissu na heche nimefurahi sana kusikia unasapoti lissu.

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    I salute you Mr. Lema

  • @JacobMavika
    @JacobMavika 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Basi nimeamini maneno ya Dr slaa kuna mawasiliano kati ya Mwamba na mama

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Leo umekua muwazi Tena humunguji maneno hongera

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Umeongea vzr kaka 🔥🔥🔥

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mawazo makubwa sana

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lema kuwa karibu mkuu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sawasawa Wenje Ndumila kuwili

  • @georgemahenge
    @georgemahenge 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    WENJE.hana sifa yakuwa makam

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mtumishi wa BWANA nakutabiria siku moja gombea nafasi ya urais, itapendeza

  • @EricMbise-k4j
    @EricMbise-k4j 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    uyu jama sasa ivi nimemuelewa anauwezo mkubwa sana na ana utulivu wa akili wala hana ukabila wala ukanda

  • @SalmonNyalusi
    @SalmonNyalusi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Lema wewe ni mwamba sana
    Nimeanza kukuelewa🎉🎉🎉🎉

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Uyu ndo lema katibu mkuu mpya

  • @giftmgogo8979
    @giftmgogo8979 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko vizuri broo

  • @EbraniaKivamba
    @EbraniaKivamba 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Katibu mkuu mpya hoyeeeeeeee

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo Umeongea pointi mno pia umekuwa muwazi Godbless Lema kuliko siku zote nilizowahi kukusikiliza

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamaa muelewa anajuwa kusoma nyakati na hali ya kisiasa nchini

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kweli yako Lema

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante nabii unapointi kwelikweli

  • @herrymardaimallya2966
    @herrymardaimallya2966 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ichi kichwa kinaakili

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    safi sana na mm nilitegemea heche achukue fom

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Dah kwahiyo kumbe Soka amekufa jamani😢😢😢😢

    • @natupe123
      @natupe123 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nimeshangaa sn nahisi kakosea jina😢😢😢

  • @DanfordJoseph-y6x
    @DanfordJoseph-y6x 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wenje hafai kabisa na kama utakuwa katibu mkuu ulifanyie kazi Hilo

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Slaa niadui wa chadema ndio maana alianzisha chama cha saut ya uma alipoona chama hakiendi na mwambukusi wakaanza kujipendekeza upya chadema lkn slaa nijanja alipokuwa balozi alikuwa kimya,alipoona samia hajamuongezea ibinge anamsema vibaya samia

  • @EbraniaKivamba
    @EbraniaKivamba 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sawasawa kaka nikweli kabisa

  • @PMD717
    @PMD717 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vizuri hugombea next. Hufai tena

  • @40kstore
    @40kstore 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Una akili sana bro

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbowe alizungukwa na wahuni

  • @ScholasticaJuma-w8h
    @ScholasticaJuma-w8h 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lema mungu akulinde siku zote

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lema hanaga unafiki kumbukeni akiwa mbunge.

  • @nicolausmaige7452
    @nicolausmaige7452 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lema

  • @AdamuKobelo-z9g
    @AdamuKobelo-z9g 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe chadwma kuna marushwa ya hatari leo mnajizihirisha

  • @georgesteven5185
    @georgesteven5185 11 นาทีที่ผ่านมา

    Kichwa hiki hapa

  • @bongosebelo9291
    @bongosebelo9291 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman Wenje anashida gan mbona sielewi

  • @Ibrahimkitela
    @Ibrahimkitela 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ww unafaaa sasa? Ww ni tapeli kama matapeli, hufai hata kidogo, ww ndo umewafikisha hapo, kwani umekuwa mtu usiyeaminika , unawafukuza wanachama bila kufuata katiba na kikao eti utashi wako? Peleka huko uongo na polojo zako, siasa za sasa zinaitaji hekima siyo projo zako hizo

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hekima ipi?? Na hekima ni nini?? Kweli rushwa hupofusha macho ya wenye haki

  • @MasumbukoAlexander
    @MasumbukoAlexander 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huu mda kusikiliza kwa makin sana maana wapambe wanaanza kuchanganya watu wagombea watakuja kukosa mwelekeo huu ndo mda ccm

  • @Jal210
    @Jal210 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa ndiyo aliyeyasema Mwalimu Nyerere kuwa ni viongozi Malaya malaya

    • @JulianaJohn-g7z
      @JulianaJohn-g7z 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kama hujaelewa na Unamuita Malaya BAs wewe kwa hekima yangu ni kahaba

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    On my sense wenje will call conference answer gobbles lema comment about wenje but wenje lost popularity into chadema political wing

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Chama mtabaki vichaa watupu

    • @Jal210
      @Jal210 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na kweli vichaa

    • @muhsinikoki4060
      @muhsinikoki4060 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      hubadiliki fala wewe

    • @SabinagodfreyGregory
      @SabinagodfreyGregory 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wabaki wakina yeriko

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie hamuelewani,mtawezaje kung'oa CCM? 😂😂😂

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Siunasikia wa lema na lema walikuwa wanafanya mikutano nje ya nnchi kuihujumu nchi yao yaan tanzania nawazungu lema na lisu niwasaliti sana wa Tanzania

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaaani we jamaa ajira ina mwisho..usiombe Mungu uje utupwe kama nyanya mbovu

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wew kwenu ukinyimwa chakula c unaend kula Kwa jirani

  • @erickbayona-v7j
    @erickbayona-v7j 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Weweeeeeee Lema ndumila kuwili kweli

  • @HeriKilatu
    @HeriKilatu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amemaliza kaka mkuu

  • @mhande1219
    @mhande1219 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kufanya maandamo USA ni kujidharirisha tu,

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona sielewi anasemaje Soka kafa? Lini kafa?

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 Sasa mnasema nini mambo yako wazi ni Mboye Masawe au Simba

  • @KamalKamal-m3r
    @KamalKamal-m3r 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ikiwa mbowe atashinda je watakubali hawa?

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lema asipo muunga mkono Lisu atafukuzwa canada.wazungu amabao waku nyuma ya lisu ndio wanaomfadhili lema ndio maana walikimbilia kwao

    • @JulianaJohn-g7z
      @JulianaJohn-g7z 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ningekuwa na mamlaka ya kujifanya kiziwi na babu ningekufanya hivyo.
      Nchi imeoza hii tunaish Kama kuzimu bado unaongea mambo yako yamatakoni.

    • @kelvincrasious2500
      @kelvincrasious2500 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unae hoja za kimiemko usilazimishe uo upeo wako tuutumie kuukumu

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie meingia kwenye mfomo wa ccm

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hela Awacanada zinaongea hapo

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We mlowe ndio akili yako ilipokufikisha

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Lema hueleweki, mbona husemi Mbowe alifanya nini kwa Lisu. Be fair mbunge wangu mstaafu.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fanya ufuatiliaji wa kihistoria kupitia vyanzo vingine.

    • @fredymwakikono1575
      @fredymwakikono1575 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Utakuwa na matatizo mkuu ,yote yaliyoongelewa haujadaka hat moja?

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe inaonekana hata walimu wako walipata shida

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Peleka risale mtapatana na kaka yako.

  • @BITOCHENGUX
    @BITOCHENGUX 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe mtombe Lissu

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe 😂😂😂

  • @godfreymjuni3420
    @godfreymjuni3420 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi Lema

  • @erickbayona-v7j
    @erickbayona-v7j 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama wenje haifai kuwa chadema hata wewe haufai Lema wewe umekuwa bendela fuata upepo hauna jibya

  • @henryludath3139
    @henryludath3139 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hhahhahahah lema

  • @liberatusbeatus8775
    @liberatusbeatus8775 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lema umehongeka sasa mboye ana shinda mchana kweupe rudi kanada

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    I salute you Mr. Lema

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    I salute you Mr. Lema