Dr. Chris Mauki: Sababu Hizi Humfanya Mwanamke Kuchepuka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @jacklinejoseph1850
    @jacklinejoseph1850 10 หลายเดือนก่อน +6

    Yote uliyosema hata mm napitia docta, nasizani kama nitaacha, ndipo amani yng ilipokwasasa, baada ya kuumizwa

  • @estamichoromichoro5634
    @estamichoromichoro5634 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa sasa sitaki usikia kitu mapenzi, niliumizwa sana😢, nawaza kutimiza ndoto zangu, Mungu akubaliki sana Dr, mauki

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mmh sijui kwann mapenz yaliletwa, Usha mwambia nini unakosa kakipunguza au afanyi tena nabado atak badilika apo ndo unaaangalia upande wapil washiling

    • @HappynessObed
      @HappynessObed 10 หลายเดือนก่อน

      Umenigusa sana dokta,ninamme lakini ninaishi kama single mama,miaka 10 kwenye ndoa sijawahi kuishi pamoja na mme wangu,natamani kutoka kwenye hii ndoa😭😭😭😭nae anachukulia poa anachojali ni matumizi tuu😭😭😭

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@HappynessObed Daah nilijua nipo peke yangu mwaka wa Tisa huu akiulizwa anasema anatuma matumiz hata mkionana hakuna mawasiliano n upweke yupo busy na cmu na ndugu zake nipo tu had nimechoka

  • @evekamwela2442
    @evekamwela2442 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea point sana Dr.Godbless you

  • @Dasoor-tt3vf4dj8i
    @Dasoor-tt3vf4dj8i 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kisasi ndiyo chanzo kikubwa

  • @adijashaban4793
    @adijashaban4793 10 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you my brother 🙏 Mungu akubariki

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 10 หลายเดือนก่อน +5

    😢vyote ulivyoongea ndio ninavyopitia mm

    • @mj.tv.forpeople992
      @mj.tv.forpeople992 10 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo unachepuka

    • @mwanakheri169
      @mwanakheri169 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mj.tv.forpeople992😂😂😂😂😂😂

    • @fatumakamwendo7894
      @fatumakamwendo7894 10 หลายเดือนก่อน

      @@mj.tv.forpeople992 🤣

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio nachepuka

    • @mj.tv.forpeople992
      @mj.tv.forpeople992 10 หลายเดือนก่อน

      Pole ila siyi jibu bado, itabidi umusaidie

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli yàani kisasi no muhimu wanaume wabaya Sana Wana penda kujeruhi moyo wa wanawake

  • @isaacsakalatz
    @isaacsakalatz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @idrisanassor7744
    @idrisanassor7744 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeraa snaaa

  • @Leah-oz8us
    @Leah-oz8us 10 หลายเดือนก่อน

    Mapenz/ndoa hapana Nina miaka9kwa ndoa, nmepoteza mda sana kwasasa najiangalia mimi

    • @angelabaraka7896
      @angelabaraka7896 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa wewe unasema miaka 9 umepoteza muda, mi njna miaka 12 na watoto wa4 ungefanyaje? Kilichobaki ni kujipenda kujijali kujipa furaha, ikitokea jamaa inakujali pita nayo🙈