Nimerudi kwenye hii video kutoa ushuhuda , ninamiaka 20 na nina mwaka mmoja kwenye ndoa , nimeolewa nikiwa na umri mdogo kwahio kwangu ndoa ilikua ngumu sana , sikua na ninalo jua , kila siku nilikua mtu wa kulia na kuona kama nateseka , ila since nmeanza kufuatilia video za dr cris mauki ni kama akili yangu inapanuka zaidi , sasa ninayatizama maisha katika jicho la tofauti sana na nimeanza kupata amani , ubarikiwe dr cris mauki
Bora wewe Mimi niliolewa Nikiwa na miaka 17 nilikua nalia kila siku ila namshukuru mungu sasaivi Mimi ni mwalimu wa mambo haya ndoa ni uvumilivu upendo heshima na mambo mengine mengi uliweza haya utapenda
Njia Gani umemueleza huo ukweli na ukweli anaujua mwenyewe sio wewe wanawake wengi wanajifanya wanatuambia ukweli ikiwa kwa mwanaume anaona sio ukweli ndio ugomvi unaanza kama mtu hataki kuambiwa ukweli kwanini umuambie sasa ikiwa ni ukweli muache na ukweli wake na wewe Baki na ukweli wako na wanawake ni viherehere sanaa ndio maana wanaume wanamichepuko mtaani huko
Asante San Nimeelewa kwasababu mim nilikuwa na mahusiano na mpz wangu nikawa mtu wa lawama San mbona hujanifanyia iki mbona vile ivi Sasa anamwanamke mwingine kumbe matatizo ninayo Mimi kuanzia Leo nitajilekebisha kabic
Uwanja huu wa Dr chris unanipa kujifunza mnoo,,,hivi Dr mwaume hata ufanye jambo gani zuri hawezi kuonyesha wala kusema anaapshet nilichofanya Hili linaniumiza saana!!
Hii dunia wanayo ishi wanadamu au binadamu ni ngumu sana, Cha msingi kwenye mahusiano ya ndoa nikushukuru kuwa kuepuka magonjwa yalrtwayo na binadamu, Dunia ya mwanadamu ni ngumu sana
Mimi ni mwanafunzi wa chuo udsm "course ya PHILOSOPHY & ETHICS". Nmependezwa na hii mada maana uzoefu wa uhalisia wa maarifa yoyote huanzia kutiririka kwenye fikra yakinifu...maadili ya kujisimamia kimawanda yangepewa vyeo Ndani ya kila mwanandoa basi hili tatizo la ndoa za kupimiana ladha zilipwewa lisingekuepo.
acha utoto wewe Toka dunian ianze wewe ndio wakwanza kusalitiwa unatakiwa kujua mwanaume yoyote yule hatosheki na mwanamke mmoja usipo mruhusu aongeze wake kadri anavyohitaji ujue michepuko ni lazima sasa wewe ukiumia haisaidii kitu mwenzio anamichepuko yake huko kubali kisaikolojia kuwa mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja akirudi kwako shukuru mungu
Sijisifu ila namshukuru MUNGU sijawai ona wala kunidharau kwa mume wangu ni anatamani kila muda awe na mimi nimpatie haki yake na nikimpa anafurahi kuliko kawaida kifupi naeza sema hajawai nisaliti wala kuchepuka au kufanya mapenzi nje n mimi
Ni miaka 9 kwa sasa sijaona dharau wala chitiii yeyote ile na kila akiingia akitoka furaha inatawala na amani na sijawai peleka kesi kanisani wala kwa wazazi namshukuru MUNGU kwa hili
Mm nashinndwa dokta nipo kawaida ni mama nyumbani napenda san kujishugulisha lkn ilifika mahali mme wangu akatembea na wasichana wa kazi na ndo nimejua hili limeniumiza sana
Plz naomba msaada wako me nnampenzi wangu miyaka 2 sasa ila hapo awali alikuwa anampenzi mwingine me nilikuwa sijui baada kugundua kanambia nimvuliye amuwache ila habari na me sababu nampenda na yeye anajijali je hapo kuna ukweli plz help me
Dr. Mi nilikua namtu wang tulikua tunapendana sana na tulikua namaleng lakin rafiki angu ambae nilimuamin akaenda kwamganga nakumpeperusha mtu wang ili aniache na ampnde yeye nisaidie nifanyej
Mimi miaka ya nyuma wanaume nilio kua nao walikua hawanielewi ata nifanye nini lakini mwaka uu nimepata mwanaume ambae ananielewa namuelewa na kila mmoja anamfulahia mwenzake kiukweli yani siitaji mwingine nayeye haitaji kua namwingine yani sijawai kua na mwanaume mnyenyekevu uyu ndio wakwanza
Dr. Inakuwaje unamheshim mwanaume unamfanyia kila kitu lakini akija anakufokea bila sababu alafu mkiwa faragha anasema amechoka mnalala hadi asubui akiamka anakwambia atachelewa kazini hapa shida ni nn?
Nimerudi kwenye hii video kutoa ushuhuda , ninamiaka 20 na nina mwaka mmoja kwenye ndoa , nimeolewa nikiwa na umri mdogo kwahio kwangu ndoa ilikua ngumu sana , sikua na ninalo jua , kila siku nilikua mtu wa kulia na kuona kama nateseka , ila since nmeanza kufuatilia video za dr cris mauki ni kama akili yangu inapanuka zaidi , sasa ninayatizama maisha katika jicho la tofauti sana na nimeanza kupata amani , ubarikiwe dr cris mauki
Bora wewe Mimi niliolewa Nikiwa na miaka 17 nilikua nalia kila siku ila namshukuru mungu sasaivi Mimi ni mwalimu wa mambo haya ndoa ni uvumilivu upendo heshima na mambo mengine mengi uliweza haya utapenda
On point dr nashukuru mana huwa najifunza kutokana na ushaur wako, barikiwa sana 🤝
kiukweli kabisa wewe ni mtu muhim sana mungu akupe maisha marefu tueendelee kujifunza
Asante Sana mwenyezi mungu akubaliki kwa masomo yako mazuri asante tunajifunza mengi kutoka kwako🙏
Ahsante sana kaka uko sawa kabisa ubarikiwe uwezo wa kufikiri zaidi ameen
Dr uko sawa hapo kwenye kulalamika points nzuri sisi analalamika cha ajabu nje ukienda kutam kuliko ndani
Kama vya nje vitamu mbona huwa mnaenda vikiwapata mnarudi
somo hili limenifuza jambo tena limenigusa pakubwa....asante doctor
Asante kwa somo zur xn,Ila na wanaume nao ni kuntuuu,
Hakuna mwanaume kuntu ukimuheshimu na kumnyenyekea.
Nakukubali sana bro chris mauki bi gap
Chris mauki, your one of my mentor, thank you for your sessions!! ✌
Asante Sanaa MNGU akubarik
Pamoja dr nakufatilia sana hili somo limenilenga nina mwanamke wang kila siku ye ni malalamiko dharau no care
Doctor umeongea vitu vya kwel kabsa I appreciate it.
Nashukuru zana
Dr mauki masomo yako nayapenda sana maana yamenibadirisha sana, Asante kaka.
Nashukuru sana endelea kufaidika
Uko sahihi sana mwl Mauki.
Ahsante kwa somo zuri
This made my day.
I have learned something very important.
Asante sana na hongera sana
High ratty yet by guy is 7iiíj
Natumaini ume subscribe channel
Asante umenifndisha
Mungu akubariki mtumishi wa bwana
Ubarikiwe sana Mungu akupe mafuta zaidi ya NEEMA
Asante sana
Doctor asante nimejifunza .nilikuwa nahitaji ushauri nipo arusha
Shukrani sana kwa maono ya kweli mungu akujaalie upeo zaidi inshaa Allah
Asante sana. Je umesubscribe channel?
Asante Sana doc kwa ushauri Ila mi ningependa kujua inakuwaje kuwa Kuna baadhi ya wanaume ukimwambia ukweli anabadili maana ya ukweli huo?
Kwasababu wanaume ni viongozi so kukubali ukweli ataona kama umemuingilia kwenye cheo chake
Njia Gani umemueleza huo ukweli na ukweli anaujua mwenyewe sio wewe wanawake wengi wanajifanya wanatuambia ukweli ikiwa kwa mwanaume anaona sio ukweli ndio ugomvi unaanza kama mtu hataki kuambiwa ukweli kwanini umuambie sasa ikiwa ni ukweli muache na ukweli wake na wewe Baki na ukweli wako na wanawake ni viherehere sanaa ndio maana wanaume wanamichepuko mtaani huko
KWELI KABISA DR.
Shukran doctor mngu akubariki
Asante kwa somo dr.
Safi sana
Dokta kweli tupu Ila msilinganishe nje na ndani Kama wa ndani tunamajukum makubwa sana
Ubarikiwe sana asante
Kweli kabisa nimejifunza Sana ili Somo Mungu akubariki kaka 🙏
Amen asante sana
Amin
Safi sana unaona mbali mwl.❤
Nice lesson Dr be blessed
somo zuri daktari...santeee
Asante sana. Je umesubscribe channel?
Asante sanaaa dokt
Mungu akubariki kwa somo,
Amen asante sana
Ubarikiwe baba🙏
Fact nimekuelewa bro
Thx alots 4 Counseling
Asante San Nimeelewa kwasababu mim nilikuwa na mahusiano na mpz wangu nikawa mtu wa lawama San mbona hujanifanyia iki mbona vile ivi Sasa anamwanamke mwingine kumbe matatizo ninayo Mimi kuanzia Leo nitajilekebisha kabic
Uwanja huu wa Dr chris unanipa kujifunza mnoo,,,hivi Dr mwaume hata ufanye jambo gani zuri hawezi kuonyesha wala kusema anaapshet nilichofanya
Hili linaniumiza saana!!
kwenye hizi nne wangu anazo 3....na kwa aliponifika sahv Wallah am ready to say enough.
🤣🤣🤣
Pole sana
Santi doc,funzo nzuri Sana,,na yote Ni ukweli kabisa
Asante sana. Je umesubscribe channel?
Dr. Nakubali kwa hayo uliyo yasema wanawake wengi hawajui makosa yao, mwisho wa siku watu wanaachana
Asante sana
Naomba unipe maandiko katika bibilia
God bless you doctor.
Ubarikiwe dr Cris mauki 🙏🙏🙏🙏
Nashukuru kwa mchango kuhusu ndoa.
❤
Doctor mm ninatatizo LA kukosa hisia kabisa unaweza kunisaidia
Hii dunia wanayo ishi wanadamu au binadamu ni ngumu sana,
Cha msingi kwenye mahusiano ya ndoa nikushukuru kuwa kuepuka magonjwa yalrtwayo na binadamu,
Dunia ya mwanadamu ni ngumu sana
Barikiwa
Mimi ni mwanafunzi wa chuo udsm "course ya PHILOSOPHY & ETHICS". Nmependezwa na hii mada maana uzoefu wa uhalisia wa maarifa yoyote huanzia kutiririka kwenye fikra yakinifu...maadili ya kujisimamia kimawanda yangepewa vyeo Ndani ya kila mwanandoa basi hili tatizo la ndoa za kupimiana ladha zilipwewa lisingekuepo.
Yes trully said and Mashaallah 🎯words have it's weight but I need ur help 🙏🏻 talking with u private
Dr nakuelewaga sana aisee.
Asante Sana doctor
umeongea kweli jmn wakt mwengine ni ghulka na matamanio tu wanaume wanachepuka nishida kila kit kizr wanafanyiwa
unakuta vyote hvyo unamfanyia lkn still bado anakuumiza akisema huyu aliyenae hana shepu labda kma ya mkewe apo napo docta tunakitibu vp hili
Kweli kabisa doctor wangu
Nice teacher
Dr. Mauki somo zuri..naomba ushauri maana mpenz wng ameanza kuchepuka na imekuwa ngumu yy kumuacha huyo mwanamke. Je natakiwa nifanyaje
Lesson learned, thanks
Asante sana
Mm nataka unifuze
Appreciate dr
Doctor your on point 👏👏👏👏
Asante sana
Dokta mi Niko nashida
Hi dokta mi Niko na shida nimependa ushauri wako
@@husnastevene8965 tuwasiliane kwa 0713407182
Asante sana. Je umesubscribe channel?
You nailed it
Jaman mung akupe maisha marefi
Asante dr
Thnx and bless you!!
Kweli kabisaa
Well said
Vzr san
Hiyo "rule out" hapo 6:40 - 6:45 sidhani kama ni sahihi.
Nifamueje doctor Mme wangu hanithamini kabisaaa
Mwanzo wa mahusiano yenu alikuwa anakuthamini?
Yani he does not value nor appreciate wat I do
Nice
Has ante Sana mm mwenye nina matatizo sana kwenye ndoa yangu
Asante sana
Good idea
GOLD.
Dr mme wng knisaliti nashindwa kusahau nna maumv cn ktk moyo wng nmekonda kwa mawaz kma nmeathrk kisyklgia naumia cn
acha utoto wewe Toka dunian ianze wewe ndio wakwanza kusalitiwa unatakiwa kujua mwanaume yoyote yule hatosheki na mwanamke mmoja usipo mruhusu aongeze wake kadri anavyohitaji ujue michepuko ni lazima sasa wewe ukiumia haisaidii kitu mwenzio anamichepuko yake huko kubali kisaikolojia kuwa mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja akirudi kwako shukuru mungu
Noted
Thanx broo
Bless you
Niko kwenye mgogoro japo ni mkosaji najiona kama chanzo ni mm😢😢
Sijisifu ila namshukuru MUNGU sijawai ona wala kunidharau kwa mume wangu ni anatamani kila muda awe na mimi nimpatie haki yake na nikimpa anafurahi kuliko kawaida kifupi naeza sema hajawai nisaliti wala kuchepuka au kufanya mapenzi nje n mimi
Hongera my
Sara shaibu una miaka mingapi kwenye ndoa yako?
Ni miaka 9 kwa sasa sijaona dharau wala chitiii yeyote ile na kila akiingia akitoka furaha inatawala na amani na sijawai peleka kesi kanisani wala kwa wazazi namshukuru MUNGU kwa hili
Mm nashinndwa dokta nipo kawaida ni mama nyumbani napenda san kujishugulisha lkn ilifika mahali mme wangu akatembea na wasichana wa kazi na ndo nimejua hili limeniumiza sana
Kabisaaa hili linawezekana jaman wanaume wenye mapenzi ya kwel na wanaojieshimu wapo
Ila wanaume kuchepuka ni kawaida yao na wengine umalaya wamezoea
Dr mauki naomba unisaidie nifanyeje ili mume wangu awe ananishirikisha katk mipango yake??? Please can u help u'r contact? I wan follow in-box
Plz naomba msaada wako me nnampenzi wangu miyaka 2 sasa ila hapo awali alikuwa anampenzi mwingine me nilikuwa sijui baada kugundua kanambia nimvuliye amuwache ila habari na me sababu nampenda na yeye anajijali je hapo kuna ukweli plz help me
Mimi ni mwanamke,hapa doctr umesema ukweli,Mungu pekee ndio msaada.
Kama mwanaume anagubu inakuwaje Dk
Nashukuru dokt lakini siyo wapare hatauwe malaika hawakosi kitu tabiy tu
Naomba namb yako kwass
Dah!!
I learned something good
Asante sna
Nic but nahitaji kukuuliza maswali binafsi
Naomba unidm
Kaka umeua kabisa, hakuna nyongeza Tena!
Habari kaka angu je kunauwezekano wa mwanaume kumaliza miezi miwili bila kukutana na mwanamke?
Dr. Mi nilikua namtu wang tulikua tunapendana sana na tulikua namaleng lakin rafiki angu ambae nilimuamin akaenda kwamganga nakumpeperusha mtu wang ili aniache na ampnde yeye nisaidie nifanyej
Haaaaaaalalaaaa move on my dear
Dr naomba nisaidie mume wangu nahisi anachepuko na namheshimu sana nifanyeje ili awe kama zamani maana kabadirika sana
Nahis tu muulize tu ili kutoka wasiwasi
Aendeeee tu mimi huyu wang nimemchoka kabisa ata hamu nae sina Ana majibu makali mno kias ata najut kumjuwa yan sipend
Thanks
Tufundishe kaka wengine tuko ngizan
Ubalikiwe umenfundsha
Thank you 🙏
Me nataka niulize Kam upo kwenye mahusiano bad amjaoan ufanye nn ili mwenzi wako asichepuke
Mimi miaka ya nyuma wanaume nilio kua nao walikua hawanielewi ata nifanye nini lakini mwaka uu nimepata mwanaume ambae ananielewa namuelewa na kila mmoja anamfulahia mwenzake kiukweli yani siitaji mwingine nayeye haitaji kua namwingine yani sijawai kua na mwanaume mnyenyekevu uyu ndio wakwanza
Mwanamke asiye na heshima kwa mume hana maana kwenye ndoa , piga chini.
Dr. Inakuwaje unamheshim mwanaume unamfanyia kila kitu lakini akija anakufokea bila sababu alafu mkiwa faragha anasema amechoka mnalala hadi asubui akiamka anakwambia atachelewa kazini hapa shida ni nn?
Yaani umeongelea mimi kabisaa