DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Kutokana na WHO miaka ya hivi karibuni, zaidi ya watu milioni moja wanakufa kila mwaka kutokana na tatizo la msongo wa mawazo (traumas). Zipo sababu nyingi zinazochangia katika tatizo hili ambazo zinaweza kuonekana kutokana na dalili mbalimbali zinazoweza kuonekana. Na pia zipo tiba za namna gani ya kutatua tatizo la #TIBANADALILIZAMSONGOWAMAWAZO.
    Katika video hii nimeweza kuelezea dalili na tiba mbalimbali za msongo wa mawazo.
    usisahau ku share, like na subscribe.

ความคิดเห็น • 53

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Nimekubali sana mwamba mgomba WA njonge, mm yondi WA hapo Kwa mwanakanuda mwamashindike🙏🤝 goog lesson Mungu akubariki sana❤

  • @EnockAlex-pk5dl
    @EnockAlex-pk5dl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi. Somo zurii

  • @barakadaniel9276
    @barakadaniel9276 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa Somo zuri kaka Mgomba🙏🙏

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  ปีที่แล้ว

      Asante sana rafiki. Share link kwa rafiki zako wabarikiwe zaidi

  • @JoseahMayugu-gw2yu
    @JoseahMayugu-gw2yu 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa SoMo Zur mtumishi

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri😊

  • @jenniferhamis9315
    @jenniferhamis9315 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana kwa somo zuri

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  11 หลายเดือนก่อน

      Amina. Ubarikiwe zaidi, endelea kufuatilia kubarikiwa zaidi

  • @FaridaShabani-yr7rh
    @FaridaShabani-yr7rh 4 หลายเดือนก่อน

    Docta asante sana kwa ushauli hizo dalili nnazo kabisa

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  4 หลายเดือนก่อน

      Pole wasiliana nami kwa 0765928215 au +255719397995 kwa ushauri

  • @tandagubi3116
    @tandagubi3116 5 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed My friend.

  • @gidsonmarko9800
    @gidsonmarko9800 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana mtumishi

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  2 ปีที่แล้ว

      Amina. Ubarikiwe sana. Watumie wengine link wabarikiwe pia

  • @ndakihekimatv3839
    @ndakihekimatv3839 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mwinjilist

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  2 ปีที่แล้ว

      Amina. Ubarikiwe pia. Share kwa wengine wabarikiwe zaidi

  • @ibadaonlinetv
    @ibadaonlinetv 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @MauaShaibu-n8e
    @MauaShaibu-n8e ปีที่แล้ว

    Asate sana❤

  • @evajoram2701
    @evajoram2701 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed

  • @JerryJeremiah-p4c
    @JerryJeremiah-p4c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Somo zuri sana

  • @Vanny301
    @Vanny301 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwaaaa

  • @VeronicaJohn-fb4uq
    @VeronicaJohn-fb4uq 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  9 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe sana. Subscribe na ku share kubariki wengine

  • @awamiwakubanda5926
    @awamiwakubanda5926 11 หลายเดือนก่อน

    Be blessed classmate

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  11 หลายเดือนก่อน

      Ahsante classmate wangu. Nitafute inbox tafadhali kwa 0765928215

  • @EdithaChatyaule
    @EdithaChatyaule 3 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani naomba nikuulize Yan mm naumwa na kichwa mara kwa mara naishiwa nguvu hd kuna mda macho yanauma hd nahc kizunguzungu nisaidie shida itakuwa nn 😢samahan

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana rafiki. Naomba unitafute inbox kwa namba hii +255765928215

    • @EdithaChatyaule
      @EdithaChatyaule 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa

    • @MogiAbdallah
      @MogiAbdallah 23 วันที่ผ่านมา

      Uyu mm kabisa😢 Vp umetumia dawa gn au ni maombi tu?

  • @MilicaDaniel-e1c
    @MilicaDaniel-e1c ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 8 หลายเดือนก่อน

    Umesahau moja, kuokoka ni lazima

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nkwel kaka hebu tufungue akili ama utufungue moyo kkaangu

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Mungu akubariki na kutupa amani sote

  • @laurentmichael6445
    @laurentmichael6445 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  3 ปีที่แล้ว

      Amina, ubarikiwe pia rafiki, waweza share zaidi wabarikiwe wengine

  • @SamsonRaphael-pr8fk
    @SamsonRaphael-pr8fk 6 หลายเดือนก่อน +1

    msongo wa mawazo. yanaweza kusababisha mtu akavua nguo na kusikia sauti zinamwamlisha ??

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  2 หลายเดือนก่อน

      N kweli hilii jambo limekuwa changamoto sana, ndiyo maana tunaelimishana tuliepuke

  • @MsemwaSamson-cn6xn
    @MsemwaSamson-cn6xn ปีที่แล้ว

    Suri

  • @TumainiMaswanya
    @TumainiMaswanya 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nina msongo wa mawazo sipati usingizi usiku na mchana. Nina hofu wasiwasi hamu ya kula sina natamani kujiua napata shida kizuguzungu kukojoa kila mara upweke

    • @masomoyakarne5122
      @masomoyakarne5122  5 หลายเดือนก่อน

      Pole sana rafiki. Ni hali ya muda tu naamini utakaa sawa, Hebu Naomba unitafute inbox kwa namba zifuatazo 0765928215 au 0719397995 ili tusaidiane.

    • @VeronikaSangawe
      @VeronikaSangawe หลายเดือนก่อน

      Dia pole

    • @MARYAsembo-ne3xk
      @MARYAsembo-ne3xk หลายเดือนก่อน

      Pole rafiki yangu, utakuwa sawa na uyo pepo kujinyonga atashindwa,kama dipresion nilipona ata ww naupone rafiki yangu

    • @RestitutaValerian
      @RestitutaValerian 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@MARYAsembo-ne3xkhabari

    • @MogiAbdallah
      @MogiAbdallah 23 วันที่ผ่านมา

      Uyu mm kabisa 😢japo naona yangu ni zaidi ya ilo ila Tumuombe sana Mwenyez mungu haya ni mapepo sio hali ya kawaida 🙏🏽