Video hii ya BIDEN akimpuuza na kumbagua mpiga kura Mmarekani Mweusi yazua hasira mtandaoni

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 695

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 7 วันที่ผ่านมา +220

    Hakuna aliebora kwa Allah s w ispokua anaemuabudu yeye tu kama unaamini like

    • @user-es4uf6gj7u
      @user-es4uf6gj7u 7 วันที่ผ่านมา +1

      Sis wenye tushindwa kujitambua nakujiani kama tuna uwezo wakijiongoza wenywe tunaona kama bila ya wao sisi hatuwezi nizaifu mkubwa wakifikra na kiimani husband viongozi walioko madarakani

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 6 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo Allah ana ubora gani?

    • @KHAMIS_SHILINGI
      @KHAMIS_SHILINGI 6 วันที่ผ่านมา

      Utakuja kujua inshaallaah 😢

    • @officialsalim3955
      @officialsalim3955 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@vincentcharles4385Chunga maneno yako...

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 8 วันที่ผ่านมา +156

    Hakuna Siku Mzungu Atapenda Mtu Mweusi,Hata Akikupenda Huwa Na Kachuki Fulani,Ogopa Mzungu 😭😭😭😡

    • @kassimabussa6583
      @kassimabussa6583 7 วันที่ผ่านมา +9

      Nikweli kabisa wazungu hawawezi kutupenda kamwe inatia uchungu huyo binti

    • @jeanpierrekwizera6400
      @jeanpierrekwizera6400 7 วันที่ผ่านมา +8

      Nikweli haujakosea

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 7 วันที่ผ่านมา +4

      Never happen

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 7 วันที่ผ่านมา +4

      Siyo wote

    • @salumchande2702
      @salumchande2702 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo jaymondi anabaguliwa kumbe😂

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 8 วันที่ผ่านมา +261

    Kama unaamini sote ni wa Mungu mmoja gonga like

    • @francejuya1248
      @francejuya1248 7 วันที่ผ่านมา +2

      Sisi na wazungu ni tofauti kabisa sisi ndio Wana wa Muumba wa kweli SEMA tumepoteza asili kupitia dini

    • @cryptoboy-5
      @cryptoboy-5 7 วันที่ผ่านมา +4

      hayo mambo ya mungu ndyo yanayo tuludisha nyuma tumeinginiziwa imani za hovyo na wageni kuacha ualisia wetu wa kiafrica na kujikuta kupokea imani za watu ambazo zinatufanya mpaka leo tumekuwa wajinga na kuwa kichaka cha maladhi

    • @Awatee
      @Awatee 7 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@cryptoboy-5jidanganye siku ukifa utajua vzr

    • @Awatee
      @Awatee 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@francejuya1248hakuna mzungu wala china sie sote ni wa Mwenyezi Mungu lkn wazungu wanajiona wao wajuzi

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 7 วันที่ผ่านมา +2

      @@cryptoboy-5 sasa hapa dini imeingiaje? Watu waliozoea kwenda kwa waganga utawajua tu!😅

  • @user-ly9lp2ed4m
    @user-ly9lp2ed4m 7 วันที่ผ่านมา +21

    Hainishtui kiasi cha kunifanya niwaze sana kuhusiana na hii ishu coz I know I’m the best in front of my creator and I believe that there’s a reason behind why I were created black, so I’m very proud to be the way I am and I’ll never ever regret to, Code ni moja tu akikubagua mbague.

    • @user-nb2jw4km6f
      @user-nb2jw4km6f 7 วันที่ผ่านมา +1

      Yaani nilikua nasikiaga ubaguzi leo nimeuona live

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 7 วันที่ผ่านมา +45

    Aki nimeumia roho 😢😢😢

  • @user-es7jn7cp5d
    @user-es7jn7cp5d 8 วันที่ผ่านมา +31

    Mimi siwenzi kushangaa kwa ngonzi nyeupe kuhusu ubanguzi Kama sisi kwa sisi tunabaguana wafrica kwa nn isewe kwa nzungu Africa tuungane

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 7 วันที่ผ่านมา +41

    Hakuna chakushagaa hapo wazungu wote hawatupendi sisi weusi

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 7 วันที่ผ่านมา +2

      Wazungu hawawapendi hata waarabu sio muafrika tu

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 6 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-dx6dm6lh1i🎉🎉🎉🎉kabisaaa

  • @user-el6mm4lh4m
    @user-el6mm4lh4m 7 วันที่ผ่านมา +8

    Uyoo..so Raisi ni mubaguzi wa Rangi.....🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ hafai kuwa mtawala

  • @HamadKhamis-l9e
    @HamadKhamis-l9e 7 วันที่ผ่านมา +14

    Ifike wakat cc watu weusi tujitambue km tunabaguliwa tusilazimishe kujichanganya nao Ni bora zaid tuish maisha yetu mana haitokuja tokezea ubaguzi WA watu weusi kuondoka duniani kwasababu hata watoto wao huwasomesha namna ya kutubagua

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 7 วันที่ผ่านมา +2

      Acha kwenda kwenye makanisa na misikiti yaho kwaza

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@frocoissango8973Makanisa yao yako wapi?

    • @KASSIMMHILU-oh5ch
      @KASSIMMHILU-oh5ch 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kinachotakiwa ni kujikomboa kifikra Kwanza...Ukipenda kusaidiwa ujiandae na kibaguliwa

  • @andrewokbazil1018
    @andrewokbazil1018 7 วันที่ผ่านมา +46

    Ubaguzi Marekani haujaanza leo,una historia yake.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 7 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa eti ata Biden mwenye upungufu wa kumbukumbu analeta ubaguzi duuh. Mbona rais mwenyewe mgonjwa jmn

  • @fahadhassan1714
    @fahadhassan1714 7 วันที่ผ่านมา +26

    Ndo ache shobo za wazungu yy ashajiona kima anakwenda vipi kwa nguruwe mweupe ndo akome

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 8 วันที่ผ่านมา +15

    Kutoka Gikombaa Nairobi leo sijakusikia kaka ulivyotokea nimefurahi sana big up family ya sns

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 8 วันที่ผ่านมา +1

      VIPI GEN-Z
      KESHO WATAKIWASH🔥?

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 8 วันที่ผ่านมา

      @@allahisone6386 hapana Kesho ni sikuku ya sabasaba

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 7 วันที่ผ่านมา +1

      Gikomba nyie weziiiii sana 😂😂😂😂

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 7 วันที่ผ่านมา

      @@Officialjidaa-sn9cs ndo akili yako imekutuma ivyo

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 7 วันที่ผ่านมา

      @@Brunotarimo10 si kweli Kwan uongo

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 7 วันที่ผ่านมา +12

    Haya Ruto umeona kaz hiy adi unapendwa ujue wana shida zao..Na huy mbibi wa kizungu kama ndio alimuanzishia kiran yan alianz kumbagua kitambo...mie ushaur kama upo huko we tafuta pesa urud mambo yao waachie ila nk vyema kaongeza kura kwa trump hasa kwa watu weusi walioumizwa na hilo...trump naye keshapata hoja ya kumkaanga na kufanyia kampeni

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 8 วันที่ผ่านมา +27

    mbaguz huyu jamaaa. ameisha

  • @rajah9328
    @rajah9328 7 วันที่ผ่านมา +6

    Tunashabikia sana wazungu tena ao ao ndio wanasema Human Rights ila ubaguzi kwaio umezidi

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 7 วันที่ผ่านมา +8

    Kweli kabisa ,amebagua huyu mdada mweusi ,amekosea sana

  • @andrewokbazil1018
    @andrewokbazil1018 7 วันที่ผ่านมา +10

    Ubaguzi Marekani haujaanza leo,, una historia yake

  • @wallaceexpert4081
    @wallaceexpert4081 7 วันที่ผ่านมา +12

    Dah kuna aibu nyingine zinaumiza tena asa kwa mtu unaemuamini.

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 7 วันที่ผ่านมา +1

      Yani i feel her pain mim peke nimeumia utadhan ni mim kampa mfadhaiko mbele za watu…. Ila na wao wakome

  • @user-kx5oc7nt5p
    @user-kx5oc7nt5p 3 วันที่ผ่านมา +1

    Daah, kweli bhana hawa watu hawatupend. Imenihuzunisha

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 7 วันที่ผ่านมา +1

    Jmn mrembo mzuri mwamfrica yaani anapendeza kazidi hawa weupe kama vile wana ugonjwa wa ukoma. Dada mweusi mzuriii sana, angalia tu macho yake tu jmn mtoto huyu dahhh!! Wazungu jmn Mbinguni hawataingia!! Sisi sote ni wa Mungu mmoja. Amen.

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 8 วันที่ผ่านมา +12

    Baguzi halitoboi this time

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 7 วันที่ผ่านมา

      Hata huyo trump mbaguzi waamerika their in trouble 😂

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 7 วันที่ผ่านมา +2

    Dah!nimejisikia vibaya sana

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida sio dada tatizo ni mfumo wetu wa akili katika uso wa Dunia hata ningekuwa mm ingetokea hivo tu asiwaze kwetu ss ni shujaa wetu dada mwenyewe mrembo mzuri tu jaman❤

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 5 วันที่ผ่านมา

    Very Sad 😢, Namkumbuka Jk Nyerere alisema… wazungu ni….ma….bwa! Kwa kweli

  • @AbdulraufSalum
    @AbdulraufSalum 8 วันที่ผ่านมา +12

    Na yy kafat nn apo

    • @hopechidera
      @hopechidera 7 วันที่ผ่านมา +2

      🤣🤣🤣hapo sasa,hata nami najiuliza hivo...

    • @star_wizard2792
      @star_wizard2792 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 kapata alichokifuata

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 7 วันที่ผ่านมา +12

    Kwa kweli imeniuma hadi machozi

  • @digital21.13
    @digital21.13 5 วันที่ผ่านมา

    Nyoooo. Kutwa kuzungumzia uchaguz wa Marekan.. Wa Tanzania aaah

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi watu weusi Mungu alivyo tuumba ndio tunao jali utu wa watu wote dada your still strong don't be so sad

  • @raissafabien4285
    @raissafabien4285 5 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢Be strong my girl✊✊and be courage. We will win as the black😍

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 8 วันที่ผ่านมา +8

    Is not a first time from him

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hata Trum mbaguz na hata huku kwetu pia kuna ubaguz wabongo hujifanya wako juu na wapemba na wao usiseme waunguja tuko kimya tunawatizama tu

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 7 วันที่ผ่านมา +7

    Kababu kasenge haka!

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ucjali kana kufa tu kesho kakaktane na adhabu za mungu kibri chote kitaisha😢😢😢

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 7 วันที่ผ่านมา +1

    Yaah ,its not their home, Africa is, Africa is the paradise, Black is beauty always.

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 7 วันที่ผ่านมา +8

    Hakuna watu wabaguzi kma hawa ngozi nyeupe sijui wanajiona kina nani hapa dunian aiseee hata mimi nishakosa kaz dubai sababu tu ni rangi n mweusi🙌🏾🙌🏾

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 7 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢😢😢

    • @AmusedCatfish-hd8wo
      @AmusedCatfish-hd8wo 6 วันที่ผ่านมา

      Nipo Dubai mwaka 7 sijaona Hilo

    • @abdulrazackabbas2634
      @abdulrazackabbas2634 6 วันที่ผ่านมา +1

      Tembea kweny matamasha sio upo dubai unalal kwenye kochi siku nzima

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 6 วันที่ผ่านมา

      @@AmusedCatfish-hd8wo hayajakukuta tulia

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 6 วันที่ผ่านมา

      @@abdulrazackabbas2634 mwambie huyo haya mamb yapo ukisikia mwenzio unaona n uzishi likikukuta sasa

  • @ziggysamson5956
    @ziggysamson5956 7 วันที่ผ่านมา

    Takwambia Nini Kaka Sky mbona uku Capetown na sisi uzuni namadjozi vimetujaa,Allah Amchukue na Hamlaze mahali pema motoni

  • @SaidiAmiri-qv5ed
    @SaidiAmiri-qv5ed 7 วันที่ผ่านมา +2

    Ni ssi tu huwa tunajipendekeza kwa hawa watu weupe,sio wazungu tu hata wahindi,waarabu wachina,wote wanajiona wao bora zaidi na wenye bahati zaidi yetu.SISI TUKUBALI TU KIBAYA ZAIDI HAWA WATU MUNGU AMEWABARIKI MALI HAPO KIBIRI NDO KINAZIDI ZAIDI TUFANYE IBADA SANA ILI FUNGU LETU TULIKUTE KWA MUNGU WETU ILA HAPA DUNIANI HAWA WATU WANATAMANI WANGETUONDOA WATU WOTE WEUSI WABAKI WAO TU.

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 7 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu anawaumbua 2

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 6 วันที่ผ่านมา

    Ilibidi sisi tuwachukie wazungu na tuwabague ila kuna mahali wametuwahi ila katika kuumbwa sisi tumebarikiwa sana trust

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows 8 วันที่ผ่านมา +8

    Shenzi huyu mzee 🚮

  • @RamaMikidad-vm3we
    @RamaMikidad-vm3we 7 วันที่ผ่านมา +5

    Inakeraa aricho kifanya biden. Ila kama irivyo kawaida wachafu wengi ndiyo wanavaaga nguo safi nakuaminika kiulaisi ishakua kawaida2 vitukama ivyo ugenini kule. Unakuta hao hao wa wanaobaguriwa ndiyo wanao mumarizia kula ya ushindi haanhahahaha

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa wazungu hawawezi kutupenda sisi watu weusi, ni sisi tuu ndio tunajipendekeza kwao.
    "If one day the Europeans praise me,
    know that I have betrayed you" very great quotations By Samora Machel.

    • @santinoplacid7571
      @santinoplacid7571 7 วันที่ผ่านมา

      tutafanyaje sasa wakati ndio wametufanya tuwategemee kwa kila kitu😢😢

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 7 วันที่ผ่านมา

      @@santinoplacid7571 wao ndio wanaotutegemea waafrica kwa kila kitu, madini na rasilimali nyengine nyingi, ni muda kwa viongozi wetu kubadili muelekeo kwa manufaa yetu nasio manufaa ya mabeberu

  • @eestermos9933
    @eestermos9933 7 วันที่ผ่านมา +3

    Dah inauma sana

  • @tensotv
    @tensotv 6 วันที่ผ่านมา

    Daah so sad.. nimelia sana

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 7 วันที่ผ่านมา

    Skay kaka nafurahi sana unavo tupa vitu va kudunia nikuambietu hawa wazungu sio watu kabisa

  • @hustlerchembes786
    @hustlerchembes786 6 วันที่ผ่านมา

    Vizee vimezeeka vinaenda kufa ndomana havijali watu sey no to rashizim lachesism

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 7 วันที่ผ่านมา +9

    Aisee sns mpo vizur sana

  • @mamy8220
    @mamy8220 7 วันที่ผ่านมา

    Kuna kaka aisema ivi vitu walimutukana kaka wawatu nimelia sana 😢😢 ubaguzi upo 😢

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi hata nkiambwa jckie kama upo nyumban lakn cjsahau mimi n Nan 😂😂😂😂

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 7 วันที่ผ่านมา +2

    Daah😢😢😢😢😢

  • @MzeeNdaloo
    @MzeeNdaloo 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hii inafunzokubwa kwa viongozi machawa wawa zungu wanaokula pesa zawazungu wajuwe wana wauza nduguzao kwa watu ambao hawawapendi
    Nandiomaana viongozi wa kiafrika wenye msimamo huwa wanawauwa
    R.i.p magufuli

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 7 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli mschana kajisikia vibaya sana, inasikitisha sana amemdhalilisha kiukweli, mwanzoni nilimpenda Biden, ila kwa hili simpendi tena.

    • @hkaniugu
      @hkaniugu 6 วันที่ผ่านมา

      Waafrika wenyewe hawapendani

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 7 วันที่ผ่านมา

    nimeumia sana kwa kweli huyu jamaa anaroho mbaya sana sana

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 8 วันที่ผ่านมา +7

    Si warudi kwao Africa

  • @tumaininalaila2865
    @tumaininalaila2865 7 วันที่ผ่านมา

    Asife moyo hii ndo dunia na dunia always haina usawa usawa upo kwa Mungu pekeyake

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 7 วันที่ผ่านมา +1

    aisee kaka wewe ni mbunifu Sana kwenye Sanaa umeiwasilisha vizur Sana

  • @user-sc5gt6gs3s
    @user-sc5gt6gs3s 7 วันที่ผ่านมา

    Inauma ila mm nikizani mtu akiwa na umri uyo sasa anajuwa kama akuna tofauti wa mtu na ungine kumbe ukubwa njinga 😢😢

  • @wtnyambizi9876
    @wtnyambizi9876 7 วันที่ผ่านมา

    OMG I feel Her huu ni ubaguzi sema kama kajaribu kuuficha flani hivi

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 6 วันที่ผ่านมา

    Kujipendekeza Kwao sana

  • @starjay3052
    @starjay3052 7 วันที่ผ่านมา +4

    dah 😢

  • @user-zp6kv3ir3v
    @user-zp6kv3ir3v 5 วันที่ผ่านมา

    Too bad for us as Africans and our race of people in USA

  • @abaabelard9668
    @abaabelard9668 7 วันที่ผ่านมา +3

    Inaumiza sana😢

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 6 วันที่ผ่านมา

    Hawa weusi wanatakiwa wafanye yafuatayo:
    1. Wasimpigie kura huyu magazine na badala yake wampigie wa Republican ingawaje wao ni wabaya zaidi.
    2. Wasome kwenye disciplines tofauti
    3. Watafute pesa kwenye maeneo tofauti
    4. Watengeneze wanasiasa wengi
    5. Waongeze idadi yao nk

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 7 วันที่ผ่านมา

    Ila Luto ni mweusi zaidi kuliko huyu dada, be care African 😢

  • @hellennehemia9269
    @hellennehemia9269 7 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan ingekua ni Mimi,huyo mbibi kwanza ningemtia ngumi ya uso ..

  • @alexmahenge3817
    @alexmahenge3817 7 วันที่ผ่านมา +1

    4:16 Hafai kua Rais tena Hana Maana kwa kizazi Cha sasa. Nimemfuta Kuanzia sasa. Aibu imrudie Biden mara 100

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 6 วันที่ผ่านมา

    Nlijionea kanisani kuna mtoto aliyekuwa anabatizwa msimamizi alikuwa mweusi akaambiwa sogea kasubirie nje alipotolewa nje na mwenye mtoto akatoka nae na baadhi ya wengine wakatoka nusu ya kanisa walisusia ile ibada wakapanda magari yao wakaondoka hii kitu ipo kila sehem kwa wazungu wabaguzi sana😢

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j 7 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana ila ni funzo kwa wengine wanaojipendekeza

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli,Hadi huruma

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 7 วันที่ผ่านมา

    Waafrica acheni kujipendkeza kwa wazungu mwisho wake ndio kama hayo yanayowakuta

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 7 วันที่ผ่านมา +2

    Machoko yatakuja hapa kumtetea choko mwenzao

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 7 วันที่ผ่านมา

    Lizee linaroho mbaya sana hili

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t 7 วันที่ผ่านมา

    Hivi inanikumbusha civil Rights movement 1960 huko marekani. Wamarekani weusi waliteseka kwa miaka mingi Sana. Walibaguliwa kwa Mambo mengi. Wakachoka wakaamua kulianzisha. Wakaazisha civil Rights movement wakinakili baadhi ya vifungu kutoka kwa katiba yao ya marekani. Nawakumbuka mashujaa wao Kama Martin Luther King, Fred shuttlesworth, Rosa Packs,, wanasheria Kama Autherin Lucy,Thurgood Marshall na Arthur Shores.

  • @kitikawamuwa1279
    @kitikawamuwa1279 7 วันที่ผ่านมา

    Inaumiza kweli naskia najiskiya kama ni mimi

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ndomana uwislam umenyosha tutasimama kwenye swala hija aijalishi we mzungu au mweusi .na mbora katika cc anaefanya mazuri kwa Allah

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 7 วันที่ผ่านมา +1

      Uislam ndo haki

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 7 วันที่ผ่านมา

      Hata ukristo haukuruhusu ubaguzi,ubaguzi nitabia ya watu weupe wote dhidi ya mtu mweusi,warabu na wahindi ni wabaguz xana pia,hakuna Cha uislam Wala ukristo

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 7 วันที่ผ่านมา

      @@josephkiwale374 hao mashoga wazungu wamezid ubaguz mashetani hayo

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 2 วันที่ผ่านมา

    Wazungu wabaguzi mnooo 😢😢😢😢😢😢😢

  • @goodlegacytv5068
    @goodlegacytv5068 7 วันที่ผ่านมา +3

    Anajipendekeza

  • @ghhj-ij7xs
    @ghhj-ij7xs 7 วันที่ผ่านมา

    Weusi tunabaguliwa sana aise yote tisa kumi tupambanee yoooh😢😢😮😅

  • @user-nb2jw4km6f
    @user-nb2jw4km6f 7 วันที่ผ่านมา

    Du!nimemuonea huruma huyu dada Jamani 😮😮 bora nilizaliwa Africa kwenye asili yetu.

  • @MuthokaMutava-r4b
    @MuthokaMutava-r4b 7 วันที่ผ่านมา

    Atajua hajui

  • @BertrandNiyomwungere-fs9xi
    @BertrandNiyomwungere-fs9xi 8 วันที่ผ่านมา +3

    😭😭😭

  • @hermanKajiru
    @hermanKajiru 7 วันที่ผ่านมา

    I think the black American people should think twice of how to support the politician. It is so sad.

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t 7 วันที่ผ่านมา

    The black queen never give up, I know you feel so sad because of this but stand firm be strong coz there's a day the truth will reveal it. I know you have a lot of love with your president but the president Biden make rejected to you. But I promise you all African and worldwide appreciate you and we love you forever.

  • @user-in4kg3kj8x
    @user-in4kg3kj8x 7 วันที่ผ่านมา

    Daaaah maskin na bango lake kubwa lkn wapiiii wengne hawana hta mabango lkn hug za kutosha

  • @computerjoshua96
    @computerjoshua96 7 วันที่ผ่านมา

    Daah huu ni ubaguzi wawazi kabisa some shit ain't cheap 😢,

  • @oredimrajabu
    @oredimrajabu 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni mmarekani mweusi ,nipo San diego california , kwa hili alilo lifanya Biden amedhihirisha kuwa yeye ni mbaguzi kabisa.. kura yangu hawezi kuipata kamwe.. ndio maana hata katika uchaguzi wa awali nilimchagua yena bwana Trump. 😢😢😢😢

  • @rashidkapile
    @rashidkapile 6 วันที่ผ่านมา

    Huyo Dada amebaguliwa

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah4786 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kiumbe mbora mbele ya mwenyezi mungu ispokuwa awe mchamungu.

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 7 วันที่ผ่านมา +3

    Ndo akome kujipendekeza😢

    • @computerjoshua96
      @computerjoshua96 7 วันที่ผ่านมา

      Kila siku harufu ya maiti kwa wafiwa ni uzuni lakini kwa asiye usika na msiba ni harufu mbaya 😢

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s 7 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉​@@computerjoshua96

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 5 วันที่ผ่านมา

    Hao Ndio Wazungu Tunaowafaham Kamwe hawatofungamana nawatu wausi labda kunajambo lao wakiwa wanalitaka

  • @nadinemasengo9970
    @nadinemasengo9970 7 วันที่ผ่านมา

    Sijuwi kwanini najisikia vibaya na nivitu naviona kila siku 😢

  • @kimodomusic9760
    @kimodomusic9760 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ngoja niendelee kuishi kwenye nchi yang nifanye sanaa Zang has hizi habari za kwenda nje ya nchi ni hatali 😢😢😢😢

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 7 วันที่ผ่านมา +1

      Uko nchini kwako hubaguliwi? Tena afadhai ubaguliwe na mgeni kuliko kubaguliwa nchini kwako. Nchini kwako ukiwa huna pesa ndefu unaonekana muhuni tu.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 วันที่ผ่านมา

      Ata nchini kwako ni wabaguzi sema ninyi mmezoea ubaguzi wa rangi tu. Wewe mtanzania ukienda dukani kwa mtanzania mwenzako, halafu muda huo huo akaja mzungu kwenye duka hilo, mzungu atasikilizwa na kuhudumiwa wa kwanza hata kama wewe umemtangulia kufika.
      Mkienda nyumbani kwenu ndugu zako wenye hela ndio wanaonekana wa maana zaidi, wewe usie na hela wanakubagua na kukuona huna umuhimu au una umuhimu mdogo sana. Hata baba yako unakuta anabagua watoto, anapendelea watoto wenye mafanikio halafu wale wasio na kitu anawaona takataka

  • @user-nz8ly5sr3o
    @user-nz8ly5sr3o 7 วันที่ผ่านมา

    Mababu zetu walizingua sana kuwauza ndugu zetu uko ulaya ona weusi wanavyobaguliwa pole sana weusi wenzetu mlioko uko ma ulaya marekani Asia kikubwa dua MUNGU yu pamoja nanyie

  • @gervasshepi6351
    @gervasshepi6351 7 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeumia sanaaa sitaki hata kutazama

  • @user-sn4iq6cu1f
    @user-sn4iq6cu1f 8 วันที่ผ่านมา +16

    Ndo mjioneee uko waaafrika mnaojipendekeza na wazungu eakati wala hawawapendi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 วันที่ผ่านมา

      Ubaguzi uko kila sehemu na kila kabila duniani.Hapa hapa Tanzania tunabaguana sembuse huko Marekani.Hebu angalia hapo kenya wanavyobaguana,ww mbara nenda zanzibar au nende arabuni huko kote kuna ubaguzi.

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f 7 วันที่ผ่านมา

      @@MathewNathan-yb2bz ni lini ww ulishawahi kwenda zanzibar ukabaguliwa au unaushahidi wwte wa video au audio ikimuonyesha mtu wabara au ww mwenyew ukibaguliwa? Usiongee kwahisia ongea kiuhalisia usiongee kwa chuki mm nimeshaenda znzibar na nimeshakaa zaidi ya miaka miwili na hawaja wahi kunibagua na sijawahi kusikia kma kuna mtu wa bara amebaguliwa labda tuseme2 kua ss wabara tumetokea kuwachukua wazanzibali huo ndio ukwel tunawatengenezea chuki ila wale watu ni watofauti kabisa kwanza hawana habal kabisa na mtu kule kila mtu anaangalia maisha yke aisee kwakwl wale jamaa ni haki yao wakatae muungano mana kwanza hatufanani nao kwachochote nikimaanisha maadili yao hayaendani kabisa na yakwetu

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@MathewNathan-yb2bzlazma uwatetee mashoga wenzako

  • @godymaster8727
    @godymaster8727 7 วันที่ผ่านมา +2

    Haya makuma yalija kwenu mnawaona malaika kumazenu

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 7 วันที่ผ่านมา +1

    Anayempenda Allah tu ndio kafaulu, Allah hambagui mtu ila kwa madhabi yake usipotubu

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sishangai kuonaili kwani nikawaidayao kuwabagua watu wengine ndomana wanakwenda kwenye matifa mengine kufanya ugaidi nakisha wanawaita wao ndio magaidi kwani alieondoka alifanyaje sialisema akipata uraisi atawatoa raia wakigeni wate na wananchi wao walishangilia alipoingia alifanyaje si aliwatimua kwaiyo msishangae atawanaopigwa kisasi ni raia wakigeni

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 7 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada yangu mweusi wewe ni wathamami kubwa badili tu eneo apo sio
    Alafu Ruto na weusi wake woote eti Biden kampa kiti chake akiikaliye
    Kwa mtazamo huu Mimi naamini
    Bila shaka kile kiti hakikuwa chenyewe na kama kitakuwa ni chenyewe baada ya Ruto kukiikaliya kilitupwa

  • @user-gq1mp9nu5q
    @user-gq1mp9nu5q 7 วันที่ผ่านมา

    Nashangaaga sana watu wwnavyo papatikia nch za watu