BIDEN ajikanyaga kwenye MDAHALO na TRUMP, asahau mengi na kupoteza mwelekeo, Democrats wakata tamaa

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 142

  • @paulomaisa340
    @paulomaisa340 6 วันที่ผ่านมา +23

    Nampenda sana turmpo

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 6 วันที่ผ่านมา

      Umesahau aliamuru waafrika warudi kwao

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@Qqambaana walirudi au

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f 5 วันที่ผ่านมา +1

      Nampenda sana trump unatulegezea sauti mvulie chupi bs

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 6 วันที่ผ่านมา +15

    Trump bana huyu jamaa ni mchokozi saaana cheko yake yenyewe na vile anamuangalia Biden ni kicheko tosha

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 6 วันที่ผ่านมา +19

    😂😂😂😂 cjui nini kinanichekesha..sasa yule msemaji wa Hhite House atajitokeza kwa waandishi kumtetea #Bidenica😂

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 6 วันที่ผ่านมา +11

    Hawa wote lao moja tu hamna unafuu 😢

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu 6 วันที่ผ่านมา +13

    Amuna cha mafua wala mafuta iyo umekwisha 😊😅😊

  • @user-rw4qn6zh6n
    @user-rw4qn6zh6n 6 วันที่ผ่านมา +23

    Trump alivyo kuwa anamwangalia sasa😂😂😂😂😂

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 6 วันที่ผ่านมา +7

    Kesha kubwa damu za watu wa gaza ishamlewesha mungu atamlipa hapahapa duniani kwa kuchochea vita

  • @redpromediat.o.tstrongteam1679
    @redpromediat.o.tstrongteam1679 6 วันที่ผ่านมา +14

    Ndo nilikuwa nasubiria. Hii mada kali mno.

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 6 วันที่ผ่านมา +21

    Viva Trump
    Mungu mpe uraisi Trump iwe sababu ya kusimamisha vita

    • @MohammedGabaye
      @MohammedGabaye 6 วันที่ผ่านมา +2

      Uyo tramp ndio nsenge kabisa

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 วันที่ผ่านมา

      Nani kakudanganya?

    • @Farhah0035
      @Farhah0035 6 วันที่ผ่านมา

      Uyu kama ndo tramp ndo aliziteta mada za ushoga simpendi wallah

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 5 วันที่ผ่านมา

      Kumbe watu hawajui tramp kuwa ndo hatarii

    • @joshuawenceslaus2466
      @joshuawenceslaus2466 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@Farhah0035Trump hatetei ushoga acha ujinga kama hufuatilii siasa za marekani Kaa kimya, bora Trump kuliko biden

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 6 วันที่ผ่านมา +10

    Nilikuwa natizama live last night nilikuwa nacheka kauli za Trump Kwa Biden na watu waliokuwa waki comments ... Aise watu wengi inaonesha hawamtaki Biden... Hata alipoongelea kuhusu Putin, Kim na Xi 😂😂😂

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 6 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana muche ajikanyage tu mda wake wa kuwa mtoto ushafikia

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 6 วันที่ผ่านมา +6

    Very good mh trump. Kwa kufanya vizur

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 6 วันที่ผ่านมา +4

    Cheki Trump anavyomkata jicho Biden hahahahahahaha inanichekesha 😂😂😂😂 kwelikweli

  • @jacksonseverin5670
    @jacksonseverin5670 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tumpu yupo vzr ila sera zake haziibebi africa

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 6 วันที่ผ่านมา

    Thanks Bundara!

  • @user-vr4vw7dk7j
    @user-vr4vw7dk7j 6 วันที่ผ่านมา +1

    The 1

  • @EmanuelNicholaus-of1qg
    @EmanuelNicholaus-of1qg 6 วันที่ผ่านมา +1

    Raisi ana kigugumzi

  • @iddiramadhani5111
    @iddiramadhani5111 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wamarekani eti wanaona hilo ni jambo baya akati wameruhusu uchafu,

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 6 วันที่ผ่านมา +2

    jamn democratic mbn hamnaa akili kwann mnamlazimisha biden

  • @frank18112
    @frank18112 6 วันที่ผ่านมา +5

    Tanzania pia tuweke midahalo kama hii...😊

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 5 วันที่ผ่านมา

      Nani atakubali unafikiri

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 5 วันที่ผ่านมา

      Nani atakubali unafikiri

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 6 วันที่ผ่านมา +5

    Wote wamezeeka hamna mzima hapo wote wapigwe chini

  • @salimali-rf9er
    @salimali-rf9er 6 วันที่ผ่านมา +1

    Walisahau humpiga shindano ya energiser robot,ili awe active

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 วันที่ผ่านมา

    Uyu miaka yake imesha pita yy ahache wengine watawale 😅😅😅😅 baiden kachoka kabisa 😢😢😢😢😢 sioni baiden kushinda

  • @Elybwayz
    @Elybwayz 6 วันที่ผ่านมา +1

    Heee ata wao wanadaiwa duu mimi ni nan 😅

  • @ce-08
    @ce-08 6 วันที่ผ่านมา +3

    Angekuwa ndiyo rais wa Afrika hapo wangemsema kweli kweli hajiwezi lakini bahati mbaya ni wao sasa

    • @mussakiziyzi408
      @mussakiziyzi408 6 วันที่ผ่านมา +1

      Wazunqu hawana time ya kuwasema watu weusi
      Mansemana wenyew,mnaibiana wenyewe na kuuwana wenyew kwa wenyewe.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@mussakiziyzi408ww choko unatetea mashoga

    • @user-xl9so6jg1e
      @user-xl9so6jg1e 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@mussakiziyzi408kwel kabsa

  • @user-vh3hj8mt6l
    @user-vh3hj8mt6l 6 วันที่ผ่านมา +2

    Trump ww n noma Sana Yan unamuangalia Biden kijeuri kweli aki hii nkali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 4 วันที่ผ่านมา

    Kusema ukweli uyu mzee amchoka hajiwezi kabisa

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 6 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini mboka kama Amedhohofu sana

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 6 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia hii omba sana usokutane na changamoto ambazo hata pesa haiwezi kukusaidia chochote...omba sana!!!!!

  • @BabasahdSahd
    @BabasahdSahd 6 วันที่ผ่านมา

    Kwan beiden ninan aswaaa kama mnajua lecode yake nijuzeni😂😂 malekan inachekesha mngu ata walipa xku moja

  • @mayunga..777
    @mayunga..777 6 วันที่ผ่านมา +4

    Trump sura yake bwana😂😂😂

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona wazee sana

    • @89_Media
      @89_Media 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ila wana mitonyo💸💵
      Moja ya sifa kushinda uchaguzi mkuu Marekani,ili usiwe mwizi mwizi😂😂😂

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 6 วันที่ผ่านมา +1

    kwanza Trump kavaaa tai nyekundu nzuri Sana alitakiwa havae Joe Biden Kama raisi wa sasa.

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaaa na si kumchukia lakini aachane tu na uongozi lakini hii inaonyesha kuna watu au mtu sahii analiendesha taifa

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 6 วันที่ผ่านมา

    Eeeh yani anaongea kama roboti

  • @hassanikaawizy2597
    @hassanikaawizy2597 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wakwanza

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 6 วันที่ผ่านมา +2

    Trump ndie anaefaa kuwa Rais nipo Tanzania lakin kama kunaruhusa ya kupiga kura basi kura yangu nampigia kura mwamba trump

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 6 วันที่ผ่านมา

      Hata hao wamarekani wenyewe hawawezi kuchagua, rais anachaguliwa na Masenata wala sio raia

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 6 วันที่ผ่านมา

      @@Fgldesigns alafu utasikia raiya wao wanademokrasia kumbe hawana lolote

    • @mtenhussein
      @mtenhussein 5 วันที่ผ่านมา

      @@Fgldesigns. Lengo la kupiga kura ni kuwashawishi wapiga kura wanaowakilisha jimbo lako, ambao nao watapiga kura kumchagua mgombea wako.
      Katika kila jimbo, kura ya watu wengi huamua idadi ya wapiga kura ambao wameahidi kumpigia kura mgombeaji wa chama fulani. Sio uchaguzi wa moja kwa moja; unapiga kura kumchagua mtu ambaye atapiga kura kwa niaba yako.
      Mshindi sio kila mara mtu aliyeshinda kura nyingi kwa sababu mbili:
      1. Majimbo madogo yana uzito kupita kiasi katika idadi ya wapiga kura wanaopata. Kila jimbo hupata wapiga kura sawa na idadi ya wawakilishi pamoja na maseneta wawili. Wawakilishi wanalingana na idadi ya watu, lakini maseneta kuna mfumo tofauti: kila jimbo linapata wawili, iwe Californi au Rhode Island(Ndio state ndogo sana Marekani). Kwa hivyo majimbo madogo hupata kura kadhaa za ziada.
      2. Upeo wa ushindi katika jimbo haujalishi. Ukishinda 100% ya kura katika CA na ukingo mdogo kwingineko, bado unaweza kushinda uchaguzi ikiwa maeneo uliyoshinda kwa nywele yatakuwa na wapiga kura wengi kuliko California.
      Kwa hivyo sio mfumo uliojengwa ili kuakisi kura ya watu wengi; ni mfumo uliojengwa ili kuhakikisha kuwa majimbo makubwa hayaendeshi uchaguzi upande mmoja mara kwa mara. Lakini matokeo kwa ujumla yanawiana na kura za watu wengi. Katika uchaguzi huu uliopita (ambapo Clinton alishinda kwa kishindo kikubwa katika California na New York na kushindwa kwa tofauti ndogo katika majimbo mengine mengi), lakini kwa wingi wa majimbo mengine.
      Unapaswa kupiga kura kwa sababu ile ile ambayo ungepiga kura katika uchaguzi wa moja kwa moja: kumfanya mtu wako afisini. Ni kwamba tu unampigia kura mpiga kura, sio moja kwa moja kwa mgombea. Chuo cha uchaguzi huchagua, lakini unachagua chuo cha uchaguzi.

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 5 วันที่ผ่านมา +1

    Biden ni kama robot vile

  • @Zuu673
    @Zuu673 6 วันที่ผ่านมา

    Wala hakuna wa maana apo

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 6 วันที่ผ่านมา +1

      Lkn panapo na vbaya viwili bs ki1 kitakua afadhali

  • @LUJIGA_PODCAST
    @LUJIGA_PODCAST 6 วันที่ผ่านมา +1

    😅😅😅😅😅😅 ila Trump

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kamaaa unamkubal Trump

  • @Agath45
    @Agath45 6 วันที่ผ่านมา

    Nilingojea kwa hamu sana. Ila trump kauwa

  • @luckkaserekadancer6832
    @luckkaserekadancer6832 5 วันที่ผ่านมา

    Huyo biden ni robot😂😂😂mnipe like zangu

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 6 วันที่ผ่านมา +1

    Trump Sasa alivyo kunja mdomo 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 6 วันที่ผ่านมา

    Angekuwa rais wa wenzao uyu sijui ingekuaje bahat mbaya ni wao

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 2 วันที่ผ่านมา

    Trump hii sura yake sasa na alivyo jaariwa zarau😂

  • @katayaloveness5529
    @katayaloveness5529 6 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂trump siyo mambo yake 😂😂😂

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 6 วันที่ผ่านมา

    Mara anajamba huyo mzee, kun clip km tatu au nne hiv anajamba

  • @BaboumitengaMutenga
    @BaboumitengaMutenga 6 วันที่ผ่านมา

    1❤

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 5 วันที่ผ่านมา

    Hamjuagi Biden ni Robort? Ile ni AI. Biden alishafariki.

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 6 วันที่ผ่านมา +1

    Biden ni mzee mwenye shida ya akili wapaswa kumwacha astaafu 😕Hata hajui anachozungumza.

  • @hemedisufiani3219
    @hemedisufiani3219 6 วันที่ผ่านมา

    Mpumbavu baideni kauwa watu wengi sana huyu mzeeee loho zitamtesa sana kabuli lake litawaka moto milele 😢😢😢

  • @bryanzeconfesor5476
    @bryanzeconfesor5476 6 วันที่ผ่านมา +2

    Trumph kajikaza sana kuto kumwingilia Biden na kumchamba Kwa udhaifu wake😂😂😂

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei 6 วันที่ผ่านมา

    Najarbu kutafakar ikifika tz hi democracy, huku samia vs mbowe! Naamin siku hyohyo kuna mtu ataomba kujiuzuru😂😂😂

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂 trump hivyo anavyomtizama..... Biden

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 6 วันที่ผ่านมา

    Team Trump 🎉

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wote wamezeeka wakwende huko kwan America haina vijana wa kugombea urais😢

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 6 วันที่ผ่านมา

      Wampe Kanye West tu

    • @wadantz123
      @wadantz123 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@partnersah8802😂😂😂😂😂😂

    • @BenjaminMetanyau
      @BenjaminMetanyau 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 วันที่ผ่านมา

      America wote mashoga

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 6 วันที่ผ่านมา

    Hawa wazee wote wana bore,kwani hakuna vijana hukooo

  • @KarisBaya
    @KarisBaya 6 วันที่ผ่านมา

    Bado biden atashinda tu,hakuna wa kumzuia hapo

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 6 วันที่ผ่านมา +1

    Ina maaana wa democrats hawana wagombea wengine zaidi ya Biden😂😂

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 6 วันที่ผ่านมา

    Wasioleweka

  • @MHDFURNITURE-jn2rx
    @MHDFURNITURE-jn2rx 5 วันที่ผ่านมา

    baiden kama lowasa

  • @kassimramadhani3198
    @kassimramadhani3198 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona haujachambua na alio yasema Trump

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 วันที่ผ่านมา

    DT for the president hii Amerika inamhitaji mwamba wa sheria kali Trump akishinda tu wenye upinde wakatafute kwa kuishi 😂

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 6 วันที่ผ่านมา

    Mimi kama mkenya niko team trumph,,, huyu biden amepea ruto kiburi they mus go

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 6 วันที่ผ่านมา

    Speech diosder 😂😂😂

  • @MohammedGabaye
    @MohammedGabaye 6 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wengi wanamtaka tramp ila tramp ndio mpumbav akiwa rais

    • @sarastephano3409
      @sarastephano3409 6 วันที่ผ่านมา +1

      hakuna waislam wanaomkubali Trump maana Ni myahudi😂

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 6 วันที่ผ่านมา

    Make American great again, Viva Trump

  • @hebertotanaely6607
    @hebertotanaely6607 6 วันที่ผ่านมา

    Marekani toka atoke Obama Bado hawajapata Raisi, Antony Blinken anafaa

    • @Awatee
      @Awatee 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 6 วันที่ผ่านมา

    Trump kama kichaa flani hiv 😂😂 kumbe ni genius

  • @Ibrah__
    @Ibrah__ 3 วันที่ผ่านมา

    Ulafi wa madaraka Jaman, Biden kazeeka vibaya, aachie madaraka. Kufiamadaraka

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 6 วันที่ผ่านมา

    Kaz kwen waislam mambo yameanza kuchangamka mnajifanya kmsifu Trump nnasahau kpind chake alizuia nch za kiislam kuingia america viva tramp

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Si ubakie kwako, unatafuta nini usikohitajika!

  • @democritenzoisaba9117
    @democritenzoisaba9117 6 วันที่ผ่านมา

    TRUMP /YES

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa😅 kwanini wanajua na wana uhakika kama hayuko vuzuri alafu wana kuhusu hii midahalo kwani ni lazima?😅😅😅

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 6 วันที่ผ่านมา

      Sio tz hiyo utake usitake lazima ufanye

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 6 วันที่ผ่านมา

      Hyo ni katiba ya USA🇺🇸

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 6 วันที่ผ่านมา

      @@personpeter2221 okay!

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 6 วันที่ผ่านมา

      @@AjiaMohamed-rt5pb eeh kumbe!

  • @alexbahindolwa3921
    @alexbahindolwa3921 6 วันที่ผ่านมา

    Huo muono wa Trump sasa 😂😂.jpt

  • @joshemman520
    @joshemman520 6 วันที่ผ่านมา

    plz like video

  • @joshuawenceslaus2466
    @joshuawenceslaus2466 2 วันที่ผ่านมา

    Roe vs wade iliondolewa chini ya Biden😂😂😂 asimseme Trump, halafu sasa mahakama ya marekan imempa kinga Trump, hahahahahahah kwahyo huyu mzee bado yupo yupo, na hii ni kesi ya biden, kwasababu mahakama ya juu ilisema Mahakama haina mamlaka ya kuamua utoaj mimba bunge ndio ina hiyo haki, so wabunge wa democrats ilibidi walete muswada bungeni wa kupromote utoaj mimba walishindwa, so wasimlaumu Trump🤣🤣🤣🤣 hawa jamaa hawashindi tenaa

  • @user-it7ih1it3m
    @user-it7ih1it3m 6 วันที่ผ่านมา

    Ilipaswa kichwa cha habari kiandikwe biden kayakanyaga lkn sio kajikanyaga😂😂

  • @kembopere4961
    @kembopere4961 6 วันที่ผ่านมา

    Nyie acheni habari za uongo...ndo kuongeya kwa Baden.

  • @MosesHarerimana-ku2cp
    @MosesHarerimana-ku2cp 6 วันที่ผ่านมา

    Trump ipo makini san😂😂

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 6 วันที่ผ่านมา

    Trump anamwangalia biden kama vile helewi

  • @e11said23
    @e11said23 6 วันที่ผ่านมา

    Trump kawapa mayahudi mji mkuu jerusalem nauyu baiden kaja kupiga haya karibuni wote mbwa nyie uwanjani mpaka muombe poo

  • @HarounRashid-rh6jr
    @HarounRashid-rh6jr 6 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 6 วันที่ผ่านมา

    Trump direct white house ❤

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 6 วันที่ผ่านมา

    Trump apewe nchi Baden apumzike

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 6 วันที่ผ่านมา +2

    Biden inasemekana ni Robot tu sio mtu sahihi

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 วันที่ผ่านมา

      Inasemekana wapi Biden kawa kwenye siasa miaka zaidi ya 50 , ni sawa we Leo useme yusuph makamba sio mtu ni robot

    • @emmaonalloh5515
      @emmaonalloh5515 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@FahadAbubakariakili yake haiko sawa anasahau sahau vitu

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 วันที่ผ่านมา

      @@emmaonalloh5515 uzee

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 6 วันที่ผ่านมา

      @@FahadAbubakari inasemekana huyu Biden sio yule halisia wakawa wanaonesha na tofauti za Biden Og na huyu Robot wanaamini yule halisi ashafariki

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 6 วันที่ผ่านมา

      @@emmaonalloh5515 unatakiwa kabla hujajibu uelewe kwanza sijasema huyu sio Biden kwamba nna uhakika 100% ila nimeongea kwa baadhi ya madai ya wa2 yanaweza yasiwe yakwel pia ndomaana shule mkaambiwa read instructions yaan jibu kitu ambacho unaelewa nacho ok!

  • @salimali-rf9er
    @salimali-rf9er 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu biden ni gay, hayo sio mafua, hiyo sauti ishaanza kubadilika, hivyo ndio mahanis wanavyokuwa

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 6 วันที่ผ่านมา

    Trump latima ashinde

  • @AjudeKaluwa-bp1zz
    @AjudeKaluwa-bp1zz 6 วันที่ผ่านมา

    Welcome trump Biden buried

  • @ramadhanikazimoto3052
    @ramadhanikazimoto3052 6 วันที่ผ่านมา

    Uwe unanyama kaka tuwasikilize viongozi mda wotw unaongea wewe tu unakera bana

  • @kingpunzy194
    @kingpunzy194 6 วันที่ผ่านมา

    Kaka Sky sie wengine tulikuwa tunasubiria hatma ya GAZA na URUSI, ila jamaa wamecheza trick Kwenye kuuliza maswali na kujibu maswali. Biden & Trump are Zionists Brothers