MBUNGE KEISHA AFIKA ALIPOZIKWA MTOTO ASIMWE, MACHOZI YAMTOKA, ANENA MAZITO "WANAJIDANGANYA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @mwanakijana31
    @mwanakijana31 2 วันที่ผ่านมา +11

    Daaaah nmeumia kiukweli na maneno ya mheshimiwa

  • @HelsonRuchagula
    @HelsonRuchagula 2 วันที่ผ่านมา +11

    Inauma sana,na Hawa watu wanaroho mbaya sana

  • @Khadijamatanza-kh2gt
    @Khadijamatanza-kh2gt 2 วันที่ผ่านมา +6

    Innalilah wainalillah lajuuni

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 วันที่ผ่านมา +1

    Apumzike kwa amani mtoto asimwe
    Mungu ampe faraja na subira mama asimwe.

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 วันที่ผ่านมา +7

    Yaan maumivu niliyopata ata sisem nikiona picha ya uyu mtt nalia sana😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢mimi nikimkumbuka yule PAROKO,PAROKO,PAROKO😢😢😢

  • @saidmbemba2112
    @saidmbemba2112 2 วันที่ผ่านมา +6

    Pumzika kwa Amani

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 วันที่ผ่านมา +1

    Utajiri unatoka kwa Mungu nguvu ya kujituma kwa bidiii na kufanya kaz kwa bidiii... Kuuwa mwenzako ili upate hii si sawa.. #Tumuamini Mungu anaweza yote

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 2 วันที่ผ่านมา +1

    Inalilaahi wainalilah rajighun polen wazazi pamoja na jamaa zake

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 2 วันที่ผ่านมา +2

    God in heaven help her😭😭😭😭😭

  • @nickomassawe8539
    @nickomassawe8539 2 วันที่ผ่านมา +5

    Natamani adhabu ya awa watu walio fanya ivi iwe ya kikatili kama walivyo mfanyia ivi uyu mtoto ifanyike adharani watu wajifunze kwao kwa kuona kwa macho yao

    • @HappyFarmhouse-bo1tc
      @HappyFarmhouse-bo1tc 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaani ningefunga safari mpka bukoba nikashuhudie wanavouwawa

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mdogo wangu

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba วันที่ผ่านมา

    Inaumiza mno mno.pole sana

  • @NajmaHuseni
    @NajmaHuseni 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @JosephineMhanila
    @JosephineMhanila วันที่ผ่านมา

    Aki,umemaanisha,mungu akulinde mheshimiwa ni wachache sana wenye moyo huo

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 2 วันที่ผ่านมา +10

    Unapoteza mtoto kwa uchungu na unapoteza kipenz cha moyo kwa tamaaa za shetan dah inauma Mungu muone huyu mama kibanadam ni ngum mnoooo

  • @PeacefulSheep-se7oz
    @PeacefulSheep-se7oz วันที่ผ่านมา

    Inauma sana jamn

  • @user-hd5bg8qw1b
    @user-hd5bg8qw1b 2 วันที่ผ่านมา +1

    POLE MWANANGU MUNGU YUPO AKUPE SUBRA KIPINDI HIKI KIGUM.NAKAMA KWELI MUMEO KASHIRIKI HUYO HAFAI ANAWEZA KUKUUA HATA WW

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 2 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani 😢😢😢😢

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange วันที่ผ่านมา

    Inalilaahi wainalilah rajighuni

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo baba mtoto atalaanika milele

  • @democritenzoisaba9117
    @democritenzoisaba9117 2 วันที่ผ่านมา +1

    Inasikitisha sana /

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 วันที่ผ่านมา

    Innallilah wainallilah rajiun 😢😢😢

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 วันที่ผ่านมา

    إن لله وانا إليه راجعون. Amelaaniwa wanao tenda maovu

  • @Teaching356
    @Teaching356 วันที่ผ่านมา

    Nimelia upya😭

  • @ShidaMalonga
    @ShidaMalonga วันที่ผ่านมา

    Ndivyo ilivyo wana siasa ndio wabaya hao usiwatetee

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani.

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 2 วันที่ผ่านมา

    Nimelia sanaaa nimejikuta machozi yamenitokaaaa pole mdogo wanguu

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 2 วันที่ผ่านมา

    Innalilah waiynna ilay rajoon

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z วันที่ผ่านมา

    Asimwe angekua mtu mkubwa sana tz,,maana alikua na nyota ya upendo sana na watu,,angalien tuu nyie,,wangapi albuno wameuawa ila waheshimiwa hawakwenda wala selikali haishughuriki kama kwa huyu malaika,,
    Yaan mashetani hawa wamekatisha maisha na ndoto za mrembo asimwe,,na jina lake lilikua zuri kama yeye mwenyewe

  • @JojiJakobo
    @JojiJakobo วันที่ผ่านมา

    Adhabu ya kunyongwa ni muhimu nipotayari kuwa mnyongaji

  • @agnesdastan4153
    @agnesdastan4153 วันที่ผ่านมา

    😢😢

  • @NeemaMatias-dh8ge
    @NeemaMatias-dh8ge วันที่ผ่านมา

    😭😭

  • @Naju645
    @Naju645 2 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @fetyalmas698
    @fetyalmas698 2 วันที่ผ่านมา

    Inauma jamaan😢😢

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢

  • @ZabibuHassani
    @ZabibuHassani 2 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭

  • @user-dq4ur9kk6h
    @user-dq4ur9kk6h 2 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢

  • @user-dy8yc5ml1p
    @user-dy8yc5ml1p วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @sarahjidiku
    @sarahjidiku 2 วันที่ผ่านมา

    😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪

  • @luluray2115
    @luluray2115 วันที่ผ่านมา

    😢😢