'HOUSE GIRL' AJICHANGANYA MBELE YA POLISI ADAKWA KWA KUMJERUHI MTOTO WA 'BOSS' WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 41

  • @user-ot9zb6eg7f
    @user-ot9zb6eg7f หลายเดือนก่อน +7

    Waliyomteka jamaa yetu akatupwavmtoni awajulikani na wajakamatwa je na mauwaji ya mbagala hiii nchii

  • @fridagustaphmwenda6658
    @fridagustaphmwenda6658 หลายเดือนก่อน +5

    Ukiona mtu anatetea maiaji ujue naye ni muuaji tu😊

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 หลายเดือนก่อน +3

    Hatuna. Ulinzi ktk dunia hii ni kulia na MUNGU MAANA shetani ndo adui yetu no 1

  • @syliviasimon8415
    @syliviasimon8415 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu wangu tunaomba ulinzi wako, maishani mwetuuuu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน +6

    Wafanyakaz mnawakamata ila waliomteka sativa mmmmh

    • @user-uo9tq8cc7q
      @user-uo9tq8cc7q หลายเดือนก่อน

      Waliomteka sativa watapelekwa mahakamani lini?

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 หลายเดือนก่อน +3

    Nilijua tu atakamatwa tu maana polisi wakiamua haufiki popote

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wahalifu km huyu na wale Wanaowabaka watoto wanaolawiti watoto wauliwe!!!’

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 หลายเดือนก่อน

      Chizi anakuwaga kwa jirani ......😔😔Akiwa ndani kwako sio chizi

  • @ShamimHassan-qm1et
    @ShamimHassan-qm1et หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzur aadabishwe kdg😂

  • @hajially4527
    @hajially4527 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanini nayeye msimkate koromeo ili iwe ngoma droo

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +2

      Kwa hiyo unataka upanga Kwa upanga?!

  • @DottoChobwi
    @DottoChobwi หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri kamanda wetu

  • @AloyceEmanueli
    @AloyceEmanueli หลายเดือนก่อน

    Acheni kutufany watt wadogo Kama mmemkamata mbona hamumuonesh tumuonee?? Mnafukia mamb meng mpk mnasema taarifa za kutekwq watt ni za huongo ili wananch wasiwe na was was wkt watot wetu wanazd kupotea kila day

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน +1

    NA WEWE ACHA MAMBO YAKO HV BANDARI NA MTOTO KIPI NI BORA?

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 หลายเดือนก่อน

    Asante kamanda kwa ushauri wa maana

  • @MarthaMoris-zg2bj
    @MarthaMoris-zg2bj หลายเดือนก่อน

    Good

  • @user-ct7vm7bq9w
    @user-ct7vm7bq9w หลายเดือนก่อน

    Mungu atawalipa kwa jitihada zenu

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci หลายเดือนก่อน

    Safi kamanda

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk หลายเดือนก่อน

    Hivi ki Swahili kikoje kulinda watoto na watu ambassador wana umri mdogo😮😮😮😮😮

  • @AngelinaMwalongo
    @AngelinaMwalongo หลายเดือนก่อน +2

    Afungwe miaka Mia mpumbavu huyo

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeeeh maana hafai katika jamii

    • @ShamimHassan-qm1et
      @ShamimHassan-qm1et หลายเดือนก่อน

      Lkn hajauwa miak mia ya Nini atahukumiwa miaka ya kawaida sio yote hiyo

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 หลายเดือนก่อน

      Ninyi akina mama mjaribu kujihoji ikiwa ma house girl wenu mnawatendea nini? sidhani kwamba huyo binti angefanya hilo jambo ikiwa hateseki na kzna ile kauli ya mama wa mtoto kwamba huyo binti alikuwa mhuni tu, hii inaashiria kwamba alikuwa anaishi na bomu analolijua sasa likamlipukia. Mungu amponye mtoto.Wito kwa police tusaidieni kuwagia nguvuni na wanaowateka watu msikae kimya.

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow หลายเดือนก่อน

    Mulilo unaonea wanyonge tuu waliouuza bandari zetu mbona hujawakamata

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

      Uko nje ya mada iliyopo mezan

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana huyo binti kuna kitu nyuma au mtu. Jambo la ajabu kabisa.

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j หลายเดือนก่อน

    Kama alikua anateseka kwa bosi wje angenda kwenye viombo vya dola sio kumumiza mtoto anamakosa gani mtoto mdogo

    • @mariafranklyimo6406
      @mariafranklyimo6406 หลายเดือนก่อน

      Shida ni huyo mtu mzima anaemnyanyasa mtoto wa mwenzie sa huyu binti unadhan si mapepp tuu yanamuingia

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv หลายเดือนก่อน

    Porisi💪🙏

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 หลายเดือนก่อน

    Mmh

  • @KhadijaSalum-nf5mf
    @KhadijaSalum-nf5mf หลายเดือนก่อน

    Afingwe tu

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ukweri utajilikana na mujifunze kuishi vizuri na wafanyakazi wenu

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe na ww utakuwaa muhusika huenda ikawa ulimshawishi huyo binti

    • @NyotaBalolane.
      @NyotaBalolane. หลายเดือนก่อน +1

      Kutokuishi vizuri ndo ku sema amchinje mtoto? Yaani una mpasheriya Mungu akusamehe

    • @AishaHussein-en3wf
      @AishaHussein-en3wf หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa,mabosi baazi wanaatesa wadada,wapewe elim waishi nao vizur

    • @Wendynaturalandfoodproducts
      @Wendynaturalandfoodproducts หลายเดือนก่อน

      Ndio amchinje mtoto sasa..mfyuuuuu akafie jela uko ​@@AishaHussein-en3wf

    • @user-zv2ng6ov2k
      @user-zv2ng6ov2k หลายเดือนก่อน

      @@NyotaBalolane.Mungu amusame kweli