TEUZI ALIZOFANYA RAIS SAMIA, MZEE MAKAMBA AFUNGUKA, SAMIA APONGEZWE ANAFANYA KAZI NZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 437

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 หลายเดือนก่อน +20

    Huyu Mzee stakagi kumsikiliza maana alisemaga kuwa WENYE ROHO MBAYA TUMEWAZIKA.KAURI YAKE HIYO HAIWEZI KUSAULIKA HATA AJIKOSHE VIPI.

  • @user-qv4jb7mt5q
    @user-qv4jb7mt5q หลายเดือนก่อน +22

    Jerry Slaa angebakia wizara ya ardhi.

    • @user-bz5yw8oj5s
      @user-bz5yw8oj5s หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kabisa Slaa hakutakiwa atoke ardhi ametatua kero nyingi kama Lukuvi

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir หลายเดือนก่อน

      Lukuvi hakuwa mzuri au unajisahaulisha dogo.
      Lukuvi ni mjinga na mbaguzi tu​@@user-bz5yw8oj5s

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 หลายเดือนก่อน

      Amegusa sehemu nyeti, unajua haki hatakiwi

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir หลายเดือนก่อน

      @@user-qv4jb7mt5q uwezi kuingilia mipango ya rais, kwani hapo mwanzo ulijua kama Slaa atakuwa kwenye hiyo wizara??

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 หลายเดือนก่อน +41

    Mzee makamba kichwa kina umma🎉🎉🎉 wazuri hawatolewi kwenye nafasi zao ❤❤❤

    • @chiniyamuti
      @chiniyamuti หลายเดือนก่อน +6

      Hizi ni familia za walamba asali😂🤣😂🤣

    • @user-bi7gk7im4f
      @user-bi7gk7im4f หลายเดือนก่อน +2

      Kabisaaa

    • @jullythedone8615
      @jullythedone8615 หลายเดือนก่อน +1

      Maneno yatamla huyu mzee

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 หลายเดือนก่อน

      @@chiniyamuti watakubali

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 หลายเดือนก่อน

      @@jullythedone8615 😂😂😂😂

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 หลายเดือนก่อน +43

    NAmpongeza rais kwa kazi nzuri. Tunahitaji wachapa kazi sio janja janja.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +3

      Sio tumpongeze tu cha msingi kama kweli kuna wizi wa kura unafanyika tumuombe rais na chama chake wakomeshe mara moja kwani inawezekana haya aliyoongea Nape ni ukweli mtupu.kumbuka hata Ally Karume alishasema huko Zanzibar chaguzi zote CCM haikuwahi kushinda.

    • @ismailchibonda5005
      @ismailchibonda5005 หลายเดือนก่อน

      @@johnnkelebe7360 kwa toto la yule mzee nimefurahi Sana nimeumia kwa Jeri slaa angebaki pale pale kwenye ardhi.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน +5

      ​@@MathewNathan-yb2bz Uchaguzi ni mpira wa kona hakuna siku utaacha kugombaniwa na hii ipo duniani kote. Ni upuuzi kudhani CCM haijashinda. Hata ndani ya vyama vyenyewe ambako CCM haipo figisu za kura tunazisikia.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@hajihassan5433 acha ujinga na upuuzi kwa kuwa na dhana hiyo.Kuna mataifa kibao Afrika yanayoendesha chaguzi zao kwa njia ya haki kibao.Hapa kwetu tunaosababisha tuibiwe kura ni sisi wenyewe watanzania kwa kutopenda kwetu Haki na taifa lisillopenda haki hilo ni taifa la shetani.watu wanakwenda kanisani na misikitini na tuna dini mbalimbali lakini watu bado tu tumemkumbatia shetani na kazi zake.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 หลายเดือนก่อน

      unampongeza nini wakat ye namakamba ndio wamezunguka nchi zote kuuza rasilimali nalile lijumba lakifahar dubai nilao baada wameiba mali na fedha zote ndio anawaweka pembeni wakasimamie mamiradi yao nchi za nje halafu unampongeza kwa lipi ? nchi imebaki nyeupe haina chochote ndio kajifanya kuwatoa unadhani nape alikua anaropoka vile bila kujua analofanya? wamajipanga na rais wao ili watoke huko juu wakasimamie mamirad yao walio yaweka nje ya nchi

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 หลายเดือนก่อน +32

    Tunamshukuru mh.rais kwa kufanya Baharia umetulia Sasa kwa kutuondolea majambazi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +4

      Sio tumpongeze tu rais ,kikubwa rais anatakiwa akomeshe kabisa wizi wa kura unaofanywa na chama chake wakati wa uchaguzi.Nape pia tumpongeze kwa kusema ukweli.Kuna baadhi ya wana ccm pia ambao no wazalendo na wacha Mungu wanakerwa sana na tabia hii ya wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali.

    • @user-qp5vi9yt6m
      @user-qp5vi9yt6m หลายเดือนก่อน

      Mnajidanganya iyo inaitwa triki tu​@@MathewNathan-yb2bz

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@hassanimngetege2904 Rais kumuondoa Nape sio kwamba kaondoa majambazi wote.Hapo cha msingi Rais anatakiwa achukukue hatua kwa kukomesha kabisa wizi wa kura unaofanywa na chama chake.kumbuka hata Ally karume alisema katika kila chaguzi huko Zanzibar ccm haijawahi kushinda.Hii inadhirihisha ni kweli kabisa kuna wizi unafanyika.Tumpongeze Nape kwa kusema ukweli na pia tumpongeze rais kwa kumtumbua Nape ila kubwa tumuombe rais sasa achukue hatua ya kukomesha kabisa wizi wa kura. na pia awachukulie hatua wale mafisadi wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@MathewNathan-yb2bzuko sahihi kabisa, na naamini hawa watawala wasingekuwa wanaiba kura kwenye chaguzi zetu hata moto wa kuhitaji katiba mpya usingewaka kiasi hiki.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@jumakisailo8496 CCM wanakera sana na huu ndio wakati wa kumsihi Rais Samia na chama chake waache kabisa na wakomeshe kabisa wizi wa kura katika chaguzi zijazo na waendeshe chaguzi hizi kwa njia ya HAKI.Nape kaongea ukweli na pia Ally karume pia alisema kuwa huko Zanzibar kila chaguzi zinapifanyika huko visiwani CCM haijawahi kushinda,pia kitabu cha Mkapa jinsi alivyowauwa Wazanzibari na wengine kufia baharini kwa kutetea haki yao ya ushindi,pia uchaguzi wa 2019 na 2020 ulioporwa.Hii ina dhihirisha kweli CCM wanaiba kura.Hivyo tunamuomba Rais akomeshe dhambi hii ya wizi wa kura unaofanywa na CCM.kuiba kura ni uhaini,ni dhambi,ni kuvunja sheria na katiba ya nchi.Tunamuomba rais afanye mageuzi kwa kuongoza nchi kwa kufuata Utu,ubinadamu,haki,sheria na katiba ya nchi.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน +19

    Yaani mwigulu nape januari ni ziro kabisa hawatufai kabisa mama hongera Sasa mwigulu Bado mtoe mamaa

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 หลายเดือนก่อน +4

      SSH ni mjanja msione kama kuna unafuu CCM ni ile ile lengo lao ni lilelile msibweteke mnaopingana nayo

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@marcokaroje8980hahahaaaa, una akili nyingi sana wewe! Kampeni zimekaribia, watawekwa maraika wema, ili kutengeneza mapito ya shetani, mashetani hao watarudishwa tena kwenye nafasi zao, au kubwa zaidi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@martinisadru9899CCM kuna malaika kweli? Mi simuoni wote mashetani! Umesema kweli kwenye kurudishwa, hii ni danganya tu watawapa nafasi nyingine hawa watoto wao lazima wawaweke kwenye nafasi ya Kula hela za serikali

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi หลายเดือนก่อน +2

      Bado bosi wa dar nae apitiwe

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 หลายเดือนก่อน

      Comment ya Maana Kabisa🎉

  • @MathiasMongo-jk9so
    @MathiasMongo-jk9so หลายเดือนก่อน +13

    MWIGULU NCHEMBA Nae hafai

  • @user-uh3eg5cj2r
    @user-uh3eg5cj2r หลายเดือนก่อน +47

    UNAJUA kiukweli January makamba hatufai kabisa akiwemo na Rizwan hawatufii ndyo maana hata hayati Magufuri hakutaka hata kusikia harufu zao!

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-uh3eg5cj2r hahaa hahaa wanajulikana ata kwa data hawafai

    • @NassoroMbawala
      @NassoroMbawala หลายเดือนก่อน +1

      Ww ni kuma toa sababu unazosema hawatufai sikuzote inchi inaongozwa kwa sheria sio maamuzi je muheshimiwa raisi ameweka wazi sababu ya kuwafuta kazi mpaka unaropoka tu hawatufai je kesho wakiludi tena utasemaje tunakatiba mbovu sana kwenye hii nchi raia hana thamani ktk serikali yy ni mtu wakupelekeshwa tu😢😢😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@NassoroMbawalasasa ndo nini kumtukana mwenzio? Hovyooooooo akili mbovu tu, na wewe si utoe hoja yako.

    • @NassoroMbawala
      @NassoroMbawala หลายเดือนก่อน +2

      We naye choko mnawivu wa kimaendeleo nape kasema ukweli kunabahazi ya maeneo wanahiba kula kuipatia ccm ushindi mfano si mmeuona uchaguzi wa mwaka 2020

    • @user-tq4go3sn5b
      @user-tq4go3sn5b หลายเดือนก่อน

      ​@@NassoroMbawalasasa matusi ya nn mbn mwishoni umeelezea vzr

  • @user-pg2wk7zi5q
    @user-pg2wk7zi5q หลายเดือนก่อน +15

    Mzee makamba wazuri hawatenguliwi kinyume chake unakijua mwenyewe.

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 หลายเดือนก่อน

      Wabaya ndy wanatangulia.......unaona .fulan........yupo😂.

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 หลายเดือนก่อน +4

    Slaaa arudi ardhi tafadhali tafadhali

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 หลายเดือนก่อน +5

    Nampongeza Rais kwa kuondoa mizoga serikalini

  • @EmmanuelMwangelengel
    @EmmanuelMwangelengel หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri Sanaa mzee wangu Masha malefu kwako ❤❤❤❤❤❤

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango หลายเดือนก่อน +8

    Hongera SANA mzee makamba kwa maneno YAKO hakika mzee umeiva Kisiasa! Kwa sababu haya wakati wa Uongozi wenu figisufigisu zilikuwepo sana,Lakini kikubwa ni kuangalia Utendaji wa kazi wenye mafanikio,Kwani Kwani majaribu na Makwazo ya Adui shetani hayaepukiki kiurahisi bali tunazidi kupambana naye KILA itwaapo leo kwa kufunga na kuomba kwa sisi wakristo!( Biblia,Kitabu cha Isaya 41:10 na AYUBU 5:12 na Yeremia 15:20 Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth) Zaburi 119:165) Kazi iendeleeeeee Amani,Utulivu na Mshikamano! Tanzania ni Taifa teule na mwenyezi Mungu subbahhannah wattallah!

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 หลายเดือนก่อน

      Unafiki huo anaongea wakati chin chin anawatumia wazee mwanae arudishwe

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 หลายเดือนก่อน

      Mnafiki huyu kaiva wapi?

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +2

      Anajikosha tuuu Hana lolote

    • @user-lw3tg3yg5b
      @user-lw3tg3yg5b หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna mtu mbaya kama mzee Makamba ndiye aliyeleta Rushwa ndani ya ccm akiwa katibu mnafiki Mkubwa msiba alisema

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir หลายเดือนก่อน

      Usituletee mambo ya kidini ktk uongozi wa nchi ambayo haina dini.ni ujinga ujue

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 หลายเดือนก่อน +40

    Hili zee silipendi hata kidogo

    • @brownjulius8514
      @brownjulius8514 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi kusema kweli mzee wa hivyo kabisa

    • @user-bi7gk7im4f
      @user-bi7gk7im4f หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 หลายเดือนก่อน

      ​@@brownjulius8514kuna mwingine yule wa msoga; ogapa mtu anayekuchekea hata kama umekosa anasubili umpe kisogo

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani alikufanyaje? Tujifunze kusamehe, na kumchukia mwana-adamu mwenzako ni sawa na kumchukia MUNGU.

  • @Albertogasper88
    @Albertogasper88 หลายเดือนก่อน +21

    Sasa mtamuwelewa Magufuli...... Bado kurusi kimoja waziri wa fedha....

    • @msafirithomas7751
      @msafirithomas7751 หลายเดือนก่อน

      We mnafiki

    • @joezeno8
      @joezeno8 หลายเดือนก่อน +1

      Chalamila naye

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +4

      Huyu mzee ni mnafiki sana. Alisema vibaya kuhusu kifo cha mjomba. Tunangoja aishi miaka 6000.

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

      ​@@kolosii4351. Alisemaje 😲😲😲

    • @NurudinZuberi
      @NurudinZuberi หลายเดือนก่อน

      @@kolosii4351kabisa kizee kina roho mbaya

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 หลายเดือนก่อน +4

    Nape na Makamba hawatoshi sema ni huko kubebana kwao kunawapa nafasi ya kuendelea kuonekana serikalini 😢

  • @ChachaNyabare
    @ChachaNyabare หลายเดือนก่อน +6

    Magu aliwaona hawana uwezo mama akawarudisha kumchalenji mangu sasa kazi zao hakuna bdo mmoja wazir wa fedha

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +2

      Mama nae si ndo walewale? Atawapa sehemu nyingine waendelee kucheza na kuiba ni watoto wao g

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf หลายเดือนก่อน +15

    Janja janja mzee 😅😅😅😅

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kauli za Zee hili, ni kwamba wameondolewa ili uchaguzi ukipita warudishwe. Huu ni mchongo tu wala hawajaondolewa watarudi tena ni mambo ya kisiasa.

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert หลายเดือนก่อน +16

    Huyu nape alishajifanya ndo mwenye nchi safi safi sana

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k หลายเดือนก่อน +1

      Moyo kumbe ulikuwa una kuuma swali? kwa sasa mshahara wa nape unalipwa wewe?

    • @alfredndau9195
      @alfredndau9195 หลายเดือนก่อน +3

      Mshahara unathamani kuzidi utu wa watanzania mkuu?

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 หลายเดือนก่อน +14

    Tunataka jerry slaa arudishwe Ardhi pls

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 หลายเดือนก่อน

      Kabisa nampenda ana khof ya mungu ndio Maana anaweza

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 หลายเดือนก่อน +16

    Wemzee makamba ndiyo ulisema watu wabaya hawafi RIP JPM

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Ndo huyo huyo! Hawa ndo wanajiona Tanzania ni nchi yso

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Jpm alikua detector uchwara

    • @MeenaHassan-fd9vv
      @MeenaHassan-fd9vv หลายเดือนก่อน

      ​@@robertphilip385makamba na mwanae makamba wote ni machoko tuuu na wasipewe position yoyote makuma hao

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      @@MeenaHassan-fd9vv kwani ndani ya ccm nanini anafaa? Wote wezi tu

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir หลายเดือนก่อน

      ​@@MeenaHassan-fd9vvAcha matusi wewe mjinga.
      Toast point zinazojieleza

  • @GabiMag
    @GabiMag หลายเดือนก่อน +3

    Wanaosema Hawarudi Tena
    Gonga like

    • @AGM19697
      @AGM19697 หลายเดือนก่อน

      Subiri watarudi tu

  • @Gamba177
    @Gamba177 หลายเดือนก่อน +7

    Mama kakosea kumtowa Jerry Silaa nafasi yake Waziri wa ardhi, inaonyesha mama yetu anapenda migogoro irudie tena hiyo migogoro mpaka leo haijamalizika na Slaa alikuwa anaitatua migogoro kwa akili sana, nimeshtuka sana kuona huyu Mama Samia anataka hii migogoro na matapeli warudi tena Ardhi kuendeleza wizi sababu yule kiboko ya matapeli kaondolewa sijui huyu mama ana Nia gani kuhusu hii migogoro inaelekea mama Samia anapendelea walalahoi waendelee kunyonywa viongozi wanahusika na wizi wa viwanja ndiyo imebidi mumtowe Jerry nafasi yake ???

    • @JoyceStive
      @JoyceStive หลายเดือนก่อน

      Bando

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 หลายเดือนก่อน

      Jerry alikua serious sana na siasa Ccm hayo mambo hawayataki

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 หลายเดือนก่อน

      Yaani jamaa yangu nimeshangaa na kwa uchungu mkubwa nimesikitika sana kuona Jerry slaa anatolewa Ardhi arudi. Alikua amemakinika sana na kufats sheria. Mi nilitungushwa na ati miaka 3 ddma hadi mwshimiwa Jerry slaa alipoanzisha Klinik ya ardhi faili lange likapatiksna wakati walikua wanasema halionekani..yaani mm akitaka achaguliwe kwa kishindo amrudishe Jerry slaa Ardhi pls tunakuomba raisi wetu

  • @revpiusedward5942
    @revpiusedward5942 หลายเดือนก่อน +12

    Si unajua tena wazuri huwa hawafi

    • @gracemwakibolwa7910
      @gracemwakibolwa7910 หลายเดือนก่อน

      Shida mzee huyu anaongea sana mengine angekaa kimya ni aibu tu.

    • @ellymzalendo4517
      @ellymzalendo4517 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @user-jb7nh5pp2e
    @user-jb7nh5pp2e หลายเดือนก่อน

    Ongera mama wetu...kwa kazi nzuri.

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 หลายเดือนก่อน +6

    Wazuri hawatenguliwi

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 หลายเดือนก่อน +5

    Kanaongea lkn kameumia Sana Hana lolote

    • @robertigohe7477
      @robertigohe7477 หลายเดือนก่อน

      Huyu mzee ni hatari....

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 หลายเดือนก่อน +10

    Mama kazingua silaa wizara ya upumbavu baada ya wizara ya wanyonge ardhi? Ni nani ana mshauri huyu mama?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kitu kilinishangaza kweli lakini nampa haki ya kusikilizwa anaweza kutoa maelezo kwa nini akafanya hivyo.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +3

    Licha ya kuwa tunampongeza rais kwa hatua yake ya kumtengua Nape ila kwa upande mwingine jambo kuu na muhimu ni kumuomba Rais Samia akomeshe wizi wa kura unaosemekana unafanywa na chama chake kila chaguzi zinapofanyika nchini.Nape sio wa kwanza kutoa kauli ya jinsi CCM inavyoiba kura wakati wa uchaguzi,pia Ally karume alishasema kuwa huko visiwani Zanzibar kila chaguzi zinapofanyika CCM haijawahi kushinda.Hivyo kauli ya Nape na Ally karume na uchaguzi ulioporwa wa 2019 na 2020 unathibitisha kuwa CCM wana hulka hiyo ya kuiba kura kwa kuendesha siasa za kihaini na zisizo na HAKI.Hapa inabidi pia tumshukuru Nape kwa kuongea ukweli jinsi wizi unavyofanyika.Pia tumuombe na kumsihi sana Rais wetu aachane na akomeshe kabisa wizi wa kura uliokuwa unafanywa na chama chake.kwa sasa awe na hofu na Mungu na aendeshe chaguzi zijazo Kwa HAKI.Nina imani Rais Samia hana tabia hiyo ya wizi wa kura ila aangalie wapambe wake walio chini yake ambao ni mafisadi wakubwa kwani wao inawezekana ndio wanaofanya tabia hiyo ya wizi wa kura na kuendesha siasa za hovyo.Kauli ya Nape sio ya kuipuuza na hii rais aitumie kuwafundisha wana CCM uzalendo na haki ya kila mtanzania kuchaguliwa kwa haki.Hao wanaoiba kura ndio hao hao wakiwa serikalini ndio huwa mafisadi,wala rushwa,majambazi,wezi na wabadhirifu wakubwa na hawanabuzalendo wowote zaidi ya matumbo yao.Tunapenda pia kumshukuru Nape kwa kuongea ukweli kwani katoa siri ya kweli ya nini kinafanyika katika kila chaguzi.katoa siri ya chumbani hadharani ni mpango wa Mungu tu.Mungu kawaumbua.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 หลายเดือนก่อน

      Panya ni panya tu kaka, desturi yao ni Moja, CCm ni Ile Ile,siku tukipata Tume huru ndio tutakuwa na uchaguzi wahaki, fikilia pamoja na mjomba magu kufanya vizuri lakin kwenye uchaguzi wa 2020 Kila mwenye macho na akili timamu alijionea vizuri, pia kauli zake zakusema mkurungezi nakuteua Mimi,gari nakupa Mimi namshahara nakulipa Mimi Sasa nione unamtangaza mpinzani kashinda, yote haya yalifanyika mama akiwa makamu wake ,

    • @AzizMangara
      @AzizMangara หลายเดือนก่อน +1

      Upo sahihi.

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk หลายเดือนก่อน +1

    Jery Slaa angeachwa wizara iliyokuwepo. Maana hiyo wizara ni moja ya wizara inayotesa wananchi. Jery ni mtu alosomea sheria na ile wizara inachangamoto nyingi sana. Hii panga pangua inafanya utendaji unazorota. Jery angeachwa pale pale

  • @AjiaMohamed-rt5pb
    @AjiaMohamed-rt5pb หลายเดือนก่อน +13

    Hvi kwani mpaka ahojiwe mxee makamba kwani hii nchi ya kwake ufala huu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 หลายเดือนก่อน +1

    Makamba yupo vizur saana. Ameongew point.

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwa slaa kupeleka wizara ya umbea mama kakosea, koti alikuwa nalo lilimwenea, WIZARA YA ARDHI,

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

      Kuna kitu kagusa au atagusa Cha wakubwa wakamuwah ili asikiguse

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-eu6ql9zl7n haki kutoa dhuruma Ni shida sn, pengine kamusaidia

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน

    Pengine pumzi zimeisha ama ajali za kisiasa pia zipo. Kweli Mh Rais hapangiwi. Yeye atamweka amfae kwa wakati muhimu. Mambo ya kifua yanatoka wapi? Kwani walizaliwa na vyeo? Hao wengine wanaotolewa hawana wazazi? Nao mkawahoji basi wazazi wao. Why Mzee Makamba tu?

  • @Wambula..deogratias
    @Wambula..deogratias หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mzee makamba anasema wamepumzishwa watarudishwa je wengine hawapo

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

      Haamin kama wameondolewa

  • @dochikibaraza2944
    @dochikibaraza2944 หลายเดือนก่อน

    HONGERA SANA MZEE MAKAMBA, NI MTU WA BUSARA SAAANA NA HEKIMA.
    ALLAH ATUJAZE MOYO WA SUBRA NA HEKIMA

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน +1

    Toto lako makamba limefukuzwa lilikua linazingua likizani limefika toka

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ulihurumie taifa letu. Aliyeshiba hamjui mwenye njaa jamani. Uongozi ni kutumika na wala sio kutumikiwa. Mungu tuhurumie wanyonge wako. . Apendaye fedha hatashiba fedha. Na ndivyo ilivyo. Asante mungu wewe iliyemtetezi wa kweli. Anaamini uko pamoja nasi.

  • @charleshousedecoration8679
    @charleshousedecoration8679 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo niswanga TU wenye hakiri tunajuwa kinachoendelea mama hawezi kutoa nguzo zake harafu aweke ngunzo ya mpapai never for one day 😂😂😂

  • @mcback4384
    @mcback4384 หลายเดือนก่อน

    Magufuli alivyowatumbua Samia aliona wameonewa, bado na Kinana atamtumbua

  • @mukhtarnasser6837
    @mukhtarnasser6837 หลายเดือนก่อน +3

    Now We Tz , who is MZEE MAKAMBA , just old ya Mzee like all old man , might nothing

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 หลายเดือนก่อน +1

    Ni sawa kuwatengua, lakini mama kwa Nini umemgusa Jerry?

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

      Mie mwenyewe nashangaa

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wasirudi tena serikalini. Rais ulichelewa.

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e หลายเดือนก่อน +3

    Jamaaa jelly alikuwa anafanya vizurii kwenye Ardhi jmn

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Labda kawagusa 😂😂😂

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

    Mashat ya kijan hayo yanamsumbua!

  • @elizabethjacob6090
    @elizabethjacob6090 หลายเดือนก่อน

    Jerry, Slaa ulimpatia kwenye uwaziri wa ardhi,ardhi,ardhi tuimeiona kazi yake mama tuomba umrudishe like ni jembe haswaaa🎉🎉🎉🎉🎉

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Atakua amegusa vitu vya wakuu

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน +1

    Warudishwe kwanini imetosha waingie wapya na tuone utendaji wao

  • @victorwilliam1111
    @victorwilliam1111 หลายเดือนก่อน +1

    Wachonganish nyie kwa kwel kwa hiyo kumuuliza inatusaidia nini

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e หลายเดือนก่อน

    Kuna vijana wengi wenye weledi ndani ya CCM ,hao watafute kazi za kufanya siyo uteuzi tena byee

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 หลายเดือนก่อน +1

    Eti wazuri hawafi #NONSENSE wewe mzee na mwanao

  • @zakeoleonard440
    @zakeoleonard440 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka mwanae atumbuliwe ndo afunguke mbona teuzi zingine huwa anapiga kimya kama hayupo

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

      Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadam mchungu

  • @richardswai5206
    @richardswai5206 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee Toka aseme wazuri hawafi nilimchukia sana nikaona hana timamu

  • @user-hw6uq9vy5r
    @user-hw6uq9vy5r หลายเดือนก่อน

    Hawa hawafai kabisa katika serikali ya jamhuri ya Muungano.mimi nashukuru nakupongeza kinafiki tu.Mama Samia adumu kazi nzuri anayoifanya haangalii wewe nimtoto wa nani "wabaya ndiyo wanakufa "

  • @bahatimanyilizu8213
    @bahatimanyilizu8213 หลายเดือนก่อน

    Fact mxee makamba umenena

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 หลายเดือนก่อน +1

    huo ni ujinga kawaweka miaka 4 wameiba pesa zote ndio anawatoa wakale walizoiba kisha atawarydisha tena hamna hata is maana samia kalifanya zaid kuwachezea akili masikin

  • @AbdulkarimKazungu
    @AbdulkarimKazungu หลายเดือนก่อน +1

    Chonde mh Rais tunakuomba Waziri wa Ardhi Silaa umrudishe ktk hawamu sita huyo nimtendaji mzri asilimia 85

  • @revocatusreuben4605
    @revocatusreuben4605 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye kocha wa simba ipo powa lakn mambo mengne hupo zero

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

    Kila siku panguapangua kwenye ardhi kulitakiwa kupate utulivu sio mara huyu leo kesho yule to migogoro itaisha kwel?

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi wa habari bhan a😂 mnampa umaarufu bure mlitaka aongeeaje huyo mzee mwacheni yeye anashiba na familia yake mnaboa sana

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania wana kumbukumbu!!😅😅😅

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 หลายเดือนก่อน +1

    Rais amefanya mamuzi sahihi sana kwa ustawi wake mwenyewe na nchi, Bado mchwa au viwavi jeshi wengine paleee kwenye 'maokoto' anatakiwa mtu mweledi sana, muangalifu na muadilifu ktk kuendesha uchumi wa Kodi na Fedha.
    Nchi iendelee kupambana na Rushwa,ukwepaji Kodi, Ubadhirifu Mali ya umma,uharibifu wa mazingira,ukosefu wa haki nchini, Imarisha institution independence, achague watu sahihi maeneo sahihi, ni makosa kudhani wasaidizi wote wa Magufuli walikuwa wabaya, Matokeo yake Wana recycle wakati Rais ana pool kubwa ya kuchagua watu wenye akili kubwa sana.
    Mfumo wake wa kutambua watu sahihi kwa kwenye maeneo strategic una mapungufu sana.
    Alichofanya Rais ni jambo kubwa sana na sahihi tutegemee wengi Sasa hivi kuheshimu mamlaka na kuweka mikia kati kati ya miguu Yao.
    Unajenga Nairobi Kenya nyumba nzuri kwetu midabwada Nonsense brother!

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน +1

    Hata hivyo tumekula hasara walihitajika kutumbuliwa muda mrefu,ila mzee kwa kupiga debe,

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 หลายเดือนก่อน +1

    Wazuri hawatolewagi Mzee makamba.

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 หลายเดือนก่อน

    Hawaa n zeroo kabsaaa hamna kituuu , raisi sio kocha acha ujunga mzeee

  • @lucasmolel8129
    @lucasmolel8129 หลายเดือนก่อน +1

    Edo kazi yake Mpira bana mambo ya siasa iyo ajui

  • @ambwenemwakyagi412
    @ambwenemwakyagi412 หลายเดือนก่อน

    Rais ni kocha tena wa basketball game ambayo watu wanatoka na kurudi

  • @MarryZahabu
    @MarryZahabu หลายเดือนก่อน

    Asane mzee makamba Kwa maneno yako ya busara

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni geresha tu ili wapinzani waone kuwa Rais anawasikiliza hasa aliyotamka Nape lakini mimi naona taabu iko palepale wadau mpo?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Mzee Yusufu Makamba wazuri ndiyo wanatolewa. Hongera January Makamba baba yako anakupongeza sana. Kwa kazi ya kupoteza mapesa. Kwahiyo una fanya uchawa ili mwanao arudishwe?

  • @nasranasra5348
    @nasranasra5348 หลายเดือนก่อน

    Mama umefanya mmakosa sana kumtoa jerry slaa huyo ndie angekuo gezea kura kwzni anadili na wnyonge wanao nyaswa na wenye pesa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Acha kuwapongeza wezi kama huyo mwanao 😢😢Alaaniwe kwa wizi wa kimataifa Alipe mali yote na afungwe maisha😢😢

  • @mkombozifreshoil
    @mkombozifreshoil หลายเดือนก่อน +1

    Laah slaa angebagi ardhi.

  • @stevenialbert5033
    @stevenialbert5033 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu nape mwiguru January na lidhiwani ipo siku wananchi tunahasira nao

  • @ConfusedFrog-lc9db
    @ConfusedFrog-lc9db หลายเดือนก่อน

    Tanzania bado sana kisiasa hii energy yote wangetumia kuutengeza uchumi wa nchi

  • @gerraldbukelebe7775
    @gerraldbukelebe7775 หลายเดือนก่อน

    Maneno mengi lkn ndo hivyo tena wabaya wamekufa...Mzee hii kauli itakutesa mno

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz หลายเดือนก่อน

    Ukweli ni kwamba januari ni mzigo kwa CCM bali Wana CCM hawajalijua hili bado hata ubunge Wa bumbuli ni tatizo tu

  • @David-if6nk
    @David-if6nk หลายเดือนก่อน

    Hii nchi ilishakuwa ya koo fulani, kuna haja kubwa sana ya kufanya mapinduzi au kutawaliwa upya na wakoloni

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 หลายเดือนก่อน

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 หลายเดือนก่อน

    Sawa Mzee! Msema kweli ni Mpenzi wa MUNGU

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j หลายเดือนก่อน +11

    Sasa slaa unamtoa izara nyet unampeleka kwenye upuuz haka kamchezo tusha washitkia

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi หลายเดือนก่อน +1

      Kweliii kaka jamaa alikua ana tetea sana wanchiii wameamua kumtoa silay ngoja tuone anaekuja awezi kua mpenda aki kama silay

    • @user-bi7gk7im4f
      @user-bi7gk7im4f หลายเดือนก่อน +1

      Yaaani kaka nadhani Kuna kitu kiliguswaa na Jerry slaaa

    • @user-bi7gk7im4f
      @user-bi7gk7im4f หลายเดือนก่อน

      Cha wakubwa wa hii nchi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Labda aliwagusa pabaya 😂!

    • @BabuGga-td3mg
      @BabuGga-td3mg หลายเดือนก่อน

      Kauli ya mzee inasema anawapumzisha baadae watarudi tena😂, hao watu wawili J&N itakua kuna nguvu wanaiandaa kuelekea uchaguzi, kikubwa uzima tutaona yaliomo

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 หลายเดือนก่อน

    Mzeeee Kashapaniki tayari anaulizwa swapi dogo lakini anatoa maelezo buku.

  • @kingkube5000
    @kingkube5000 หลายเดือนก่อน

    Mzee anafitina huyo anaitaji ikulu mwanae apate simkubali sana

  • @user-en2md9kn5n
    @user-en2md9kn5n หลายเดือนก่อน +14

    Babu mbona km nyodo zimeisha walenyuki waojenga kwenye Shamba la bibi yako vp bado wapo 😂😂😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @scottgeorge5677
      @scottgeorge5677 หลายเดือนก่อน

      😂😂 asali imeingia chumvi

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c หลายเดือนก่อน +1

    Anandaliwa kuja kua makamu wa rais 2025

  • @MathiasSongoyi
    @MathiasSongoyi หลายเดือนก่อน

    Kwa nini asubilie uchaguzi?

  • @MohamedSaid-jw3nq
    @MohamedSaid-jw3nq หลายเดือนก่อน

    Waingietena kwani hakuna wengine

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 หลายเดือนก่อน +1

    Tuache tabia ya kushangilia mtu kuenguliwa
    hao ni wanasiasa wanafahamiana muda wowote wanaweza kurudi tuwe na akiba wa maneno

  • @user-mv7cy4bc3j
    @user-mv7cy4bc3j หลายเดือนก่อน

    Kujifanya waho wanajua kilakitu nakumbe nchi wanaiweka gizani mama usihishie hapo waone wengine na kuwatumbua hili wakujue kua wewe ni rais wanchi tunakushukuru sana mungu akupe mahono zaidi

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน

    Pongezi kwa wizi. Makamba hakumusaidia mama. Makamba kaifrisi nchi. Musiweke mpira kwenye uongozi wa nchi. Ni mateso kwa watanzania

  • @PeterMlungu-fb2jv
    @PeterMlungu-fb2jv หลายเดือนก่อน +2

    Rais aendelee kubadilisha hata wakuu wa Mikpa na wilaya

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si หลายเดือนก่อน

    Hakika mama uko vizuri sana ❤❤❤❤

  • @nathanpallangyo5244
    @nathanpallangyo5244 หลายเดือนก่อน

    WANATOLEWA WANARUDISHWA WANATOLEWA WANARUDISHWA KAULI TATA YA MZEE MAKAMBA SIASA NI MCHEZO MBAYA😢

  • @user-ej2th7jc9k
    @user-ej2th7jc9k หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno wakati wa magufuli hukuyasema...sasa ngoja tuone asiporudishwa ndani ya miezi sita kama baba yake huyu makamba hajaenda kuiandama ikulu😂😂😂😂mzee tunakujua vizuri sana wewe...

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 หลายเดือนก่อน

    Mzee mtoto wako umemlea katika misingi mibovu sana hapa Bado watuondolee mwigulu nchemba sasa mambo yataenda vizuri

  • @user-uj7kj3fh7n
    @user-uj7kj3fh7n หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu hapo ni walewale tu na mambo ni yaleyale tu hakuna kilichobadilika

  • @victormbaga5772
    @victormbaga5772 หลายเดือนก่อน

    Kupumbaza watu kwa uchawi.tunaendea vipind vya uchaguzi maelbino wahame nchi kwanza .wakat wa kampen mikutano ya chadema kutawanywa kwa mabomu.siku ya kura piga kura yako ondoka haraka ukasikilizie kwenye radio .na mapolice wanashurutisha kusimamia ujinga huu.mdamfupi wataanza kuzungusha nzindiko lao la mwenge. Mungu wa lsirael tuponye

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza หลายเดือนก่อน

    Nyinyi wachokozi vijana makamba vijana wachokozi wanakuchokoza ni mimi mzee mwenzako tulikuwa wote kivukoni college chuo cha siyasa

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 หลายเดือนก่อน

      Huko ndio mlifundishwa hii siasa mbovu namna hii

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 หลายเดือนก่อน

      Huko ndio mlifundishwa hii siasa mbovu namna hii

  • @britoMdemeka-eg6xj
    @britoMdemeka-eg6xj หลายเดือนก่อน

    Hapo ni mchezo wa kutupanga wananchi kisaikolo jia nnacho jua wametumwa kazi flani ya siri

  • @adamumyala-js9fh
    @adamumyala-js9fh หลายเดือนก่อน

    Wazuri hawatenguliwi ndoo maana ameachwa.