Innalillah wainaileh rajioon jamani. Tanzania muache mauwaji mumuogope Mungu anawaona hata kama Kuna ubaya adhabu ya Mungu ipo Msihukum Hakim yupo na iyo kulawati muache mumezidi kwani hamna wanawake mpaka mufanye hivo Mungu awalaani yalio uwa yarab walipie marehem
Mungu wasamehe waliofanya hili tukio sababu linaumiza sanaaa hatujui waliwakosea wapi ila hawakustahili kuwahukumu hivyo wangewaacha tuuu hai .ila naamini Mungu wewe unajua haki ya kila mtu basi Mungu na wao naomba wakamatwe wapate haki yao .poleni sanaaa wafiwa Mungu azipumzishe roho zao mahala pema peponi.
Innalillah waina illah Rajiun poleni sana hakika Tanzania nchi yangu mambo yamebadilika sana sana matukio yamezidi mno kama c kulawiti bc kuuwawa kama c kuuwawa bc kutekwa haya yoote sijui yametokea wapi yaani ni mtihani mkubwa
Mama samia mama mamayetu hivi hawawanaotendo haya wanakuchukuliaje auwanakutakanini mama mi siwaelewi au wanapima maji ya mto !baba kamanda wangu shujaa wangu igp wambura naamini ksbisa hujashindwa tusaidie baba
Walohusika wote Watafutwe wanyongwe Hadi kufa,,,lakini pia wabakaji woote hasa walombaka bint wa yombe Vilevile,,maaana wamezoea,na tuone wakupewa hyo adhabu Ili iwe FUNDISHO.
Mwanzo Ilikuwa Arusha, Arusha kidogo haya matukio km yanapungua! Sasahiv geita na dodoma 😢😢😢 Mungu tunaomba utupe mwisho mwema 😢😢. Serikali iko wapi jamani
😢😢😢😢 inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia Yaan amani imeshatoweka Tanzania sio nchi ya amani tena 😢😢😢😢😢
Inaumiza sana .
Duuh I'm speechless 🙊 poleni wafiwa. R.I.P mama na mtoto
Jamani Tanzania yetu hii tunaelekea wapi lakini?!,Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi 😢😢
Inaumiza sana
Tanzania kuna mahali tumemkosea Mungu sasa laana inatujia hii hali siyo ya kawaida.
Ni laana ya magufuri jamani mbona taifa hili linaelekea wapi
Usimtukuze binadam hata wewe ni marehem mtarajiwa watu hawana hofu ya mungu serikali wawezekeze pia kwenye dini watu wahofishwe@@RukiaSalum-n4m
Innalillah wainaileh rajioon jamani. Tanzania muache mauwaji mumuogope Mungu anawaona hata kama Kuna ubaya adhabu ya Mungu ipo Msihukum Hakim yupo na iyo kulawati muache mumezidi kwani hamna wanawake mpaka mufanye hivo Mungu awalaani yalio uwa yarab walipie marehem
Mungu wasamehe waliofanya hili tukio sababu linaumiza sanaaa hatujui waliwakosea wapi ila hawakustahili kuwahukumu hivyo wangewaacha tuuu hai .ila naamini Mungu wewe unajua haki ya kila mtu basi Mungu na wao naomba wakamatwe wapate haki yao .poleni sanaaa wafiwa Mungu azipumzishe roho zao mahala pema peponi.
Awata samehewa na watakua wana waka ivyo
Dah!! poleni sana 😂 Tanzania inaelekea wapi MUNGU tusaidie
Laana hii inaila nchi yetu,Mungu tusaidie
Wanawake tujitokeze Tuungane Tuombe Mungu haya mambo yanatisha Wanawake waombolezaji tujitokeze
Inauma sana jamani duh!
Mungu awalaze salama mbinguni
Pole wafiwa 😭😭😭😭
Daaaaah! Nchi yangu naumia sana
Mungu tusaidie
Mungu wangu
Innalillah waina illah Rajiun poleni sana hakika Tanzania nchi yangu mambo yamebadilika sana sana matukio yamezidi mno kama c kulawiti bc kuuwawa kama c kuuwawa bc kutekwa haya yoote sijui yametokea wapi yaani ni mtihani mkubwa
Poleni sana jamani hii hali zio
Daaa hatari sana watu sijui tumekuwaje
Hii nchi jaman utafikir hakna viongoz yaan wapo tu kama hawaon daah😢
Jamani mbona kama serekari haipo matukio Yamezidi jamani sasa tumsubili bwana yesu Tupinganie tu bwana tunakuomba tusaidie jamani
Daah sio powa kabisa
Innalillah wainnaillah rajoon😢😢😢
Hivi kuna nini kwenye hii Nchi jamani. WHY?
Tanzania kuna hatari kwa sasa mama yetu samia weka sheria jamani jamani hivi ni vitu gani😢
Lailahailah nsataraa family rabby,
Poleni San inauma san
😭😭😭
Dodoma😢😢😢Dodoma 😢😢😢Dodoma kuna nn jamaniiii
E mungu tusaidie nashindwa nicoment nini😭
Mama samia mama mamayetu hivi hawawanaotendo haya wanakuchukuliaje auwanakutakanini mama mi siwaelewi au wanapima maji ya mto !baba kamanda wangu shujaa wangu igp wambura naamini ksbisa hujashindwa tusaidie baba
Dodoma dodoma halafu ni Ikulu kubwa ya Taifa la Tz 😢 heee uwiii. Wauaji Mungu anawaona
Ndugu zangu, kunavitu tukiviendekeza, damu zawatu izi, zitatuandama
Naomba yule alielawiti Mwanza, hatakama nikigigo akamatwe, yule afande wa Dodoma asilindwe, yule wa moshi akamatwe, .
Tukifanya hivyo tutatulia.lasivyo laana hizi zitatwandama.
Jmniii mbon matukio kama haya yanazid kkithir😭😭😭😭
Sasahv watu kuuawawa na kulawitiwa Ni dodoma
Magu uliko anajua Mungu
Utakuta walimwagiwa dawa za kuwalaza wameuliwa wakiwa na usingizi huoni hata huyo wa kiume huoni hakusikia
Hata kama angekuwa amefanya kitu kibaya kwa mtu lakini huyu mtoto wamemuuwa wanini laana hii
😢😢😢
Dodoma mmmmmmm ni hatar huu mkoa majangiri wote wapo dodoma jamani matukio ya kutisha yoooote dodoma jamani mtupumzishe polen wana familia wote
Walohusika wote Watafutwe wanyongwe Hadi kufa,,,lakini pia wabakaji woote hasa walombaka bint wa yombe Vilevile,,maaana wamezoea,na tuone wakupewa hyo adhabu Ili iwe FUNDISHO.
Mwanzo Ilikuwa Arusha, Arusha kidogo haya matukio km yanapungua! Sasahiv geita na dodoma 😢😢😢 Mungu tunaomba utupe mwisho mwema 😢😢. Serikali iko wapi jamani
Mkoa wa dodoma aletwe makonda jamani
Wameshaona mahakama ni pahala salama au ni Nini maaana yake!???
tunahita
ji maombi ya kitaifa
Muondoshe makao makuu mbona sasa dodoma kumekuwa na mauaji ilikuwa hakuna kabisa
RAISI YUPO WAPI??
😭😭😭😭😭😭😭😭
Dodoma kuna nini?Amiri jeshi mkuu Dodoma kuna mahali panavuja.
Panavuja Sana
Dodoma uogozi huu abadilishe
Mleteeni makondaa jamani mkoo huuu meoza
Mkuuu wa mkoaa kashidwa
Daaaaah! Nchi yangu naumia sana
😢😢😢