Elimu ya Ki Mungu unahitajika Sana hasa kuanzia kwa wadogo Hadi wakubwa nilishawahi kushuhudia tukio Baba kampiga mwanae kichwani walkua wanagombana Tena wote watu wazima huyo mwanae aipoanguka chini baba yake alkua anajiuliza kama katoka usingizin nimefanya Nini he nimefanya Nini baadae yule mtu alkufa na huyo mtu alifungwa mda mrefu hivo shetani wengi bado hammujui mnaweza kumlaumu mtu Ila sihali ya kawaida mapepo wanamvaa mtu mda huo anakua siyeye Ila yanakua yenyewe yanafanya túkio Kisha yanaondoka anabaki pekeyake akiwa hajui jambo nitafuteni ninajumbe nyingi nimefanya huduma hivo naelewa ibilisi anavotenda kazi kawaida mtu hawezi fanya hayo lazima adui awepo Ndani yake sikawaida nikama mtu kichaa pale anakua si yeye mbona wewe mwenye akili timamu huwezi kula Jalalani? Hadi uingiwe na mapepo ndipo mtu hugeuzwa ufahamu
@@twiseghekisilu8845 Wachache km wewe ndo wanajua hiyo Siri. Ndio maana sasa ivi akili yake imerudi hajui hata yuko wapi. Kuna nguvu ya kipepo ilimuingia akajikuta anatumika kufanya unyama ambao katika hali ya kawaida asingeweza kufanya.
Jamani hao wasichana wa kigoma kwa kuact ndo wenyewe tunao majumbani tunawajua hapo anapotezea asionekane kama ana makosa. Baada ya siku 3 ndo kapatikana kajificha hajala ataacha kuchanganyikiwa kumchinja mtu sio jambo dogo kiasi awaze mpaka achanganyikiwe. Huyo kuna watu wako nyuma yake mpaka kapewa na chai😂😂😂
Nakuunga mkono dada nilimchukua kutoka kigoma bahati mbaya sikujua familia yake alikuja j2 alikua yupo vizur anafurahi Cha ajabu alikua hataki kuongea na simu nikiwepo alisema mkristu na lozar shingoni haitoki kuangalia picha maijabu tu familia yake alikuja j2 alitoroka j2 na pesa zangu alikaa wiki tu yaani wacheshi naamini jmn hawa wa kigoma kuect wameweza alisema kesho dada si kanisani basi tuandae ngua akapiga basi kaah alfajil naamka milango wazi jmn wiki moja tu na hauwezi mjua!!
Nilimleta msichana mmoja kutoka kijijini. Wiki moja tu asubuhi moja haonekani tumehangaika kumtafuta wapi? Baada ya saa 2 hivi. Bint anaita kutoka chumbani uvunguni na huo uvungu ni mdogo basi tukamuuliza ulikuwa wapi akasema niliitwa na mzee ndunduza mzee Ndunduza ndiyo Nani? Ni mzee anataka kunioa lakini sitaki. He hukuwepo humu ndani? Ndiyo. Jamani nilikosa nguvu! Kwahiyo wanakuwa na nguvu za mamlaka za nguvu kutoka kwao! Sina hamu ya maid hadi leo! Mungu tusaidie!
Kwa wazazi waliozaa wanaojua uchungu wa kuzaa na kuleaa jambo hili lisichukuliwe kwa hasira.bado ni mtt mdogo kuna jambo hapa katikati.kama ni ugonjwa au ushirikina.au mapepo wabaya.asaidiwe pengine ukweli utapatika ndugu zangu.
Duh!mchunguzeni kwa umakini kama ana alama au ishara yoyote huwenda walitekwa wakaenda kufanyiwa vitendo hv au alifanya kosa mwnyw na akawa amepata mshtuko baada ya kumuona mtoto yupo ktk hali hiyo
Kweny commen6 umu ndo unajua roho za watu zipoje, ok, ki vyovyote vire MUNGU NI MWEMA SANA, ATABAK KUWA MUNGU, YE MUNGU NDO ALIMLINDA MTOTO HASHM ASIANGAMIE NAAMINI KUNA KUSUDI LA MUNGU NDANI YA UYO MTOTO ,NAOMBA MUNGU AMREM UYO DADA NI MASHAMBULIZ TU YA MAROHO MACHAFU YA GIZA
Sasa kama siku zote hakuwa na makazi, atakosaje kuwa na njaa, kudhoofika na kuwa mchafu. Tena siku zote hakuwa ameoga je atakosaje kutoa harufu mbaya ? Yeye ni Mhalifu tu.
Kwa umri alionao inaonekana ni roho tu ilikua nyuma yake kutekeleza tukio la kuua maana kama walikua wanaishi nae vizuri sio kawaida iliwahi kutokea miaka kadhaa nyuma mschana wa jirani tena alikua mdogo sana kama 14 hv boss zake hawakuwepo ghafla tu alikua amebeba mtoto mgongoni akaanza kujitupa mwenyewe nikamuwahi nikamnyamganya mtoto akanyanyua mawe akaanza kunipiga tujifunze kuchunguza tubanapowatoa hawa watoto wa watu jamani
Kwa hiyo wewe ungefanyaje mda mwingine tuwe na huruma hata mama wa mtoto kasema asipigwe apelekwe kituoni akatoe maelezo, mda mwingine tuwe na hofu ya Mungu pengine nae katumika pasipo yeye kujua maana Dunia hii Ina mambo mengi
Jameni nawapongeza jirani zetu ,huyu angekuwa Kenya walaai ingekuwa past tens,Yani ata jishi la police halingemkuta,Kenya uwe wazimu ama uwe na mapepo ,hayo yote yako ,NI mawe Tu utapogwa
Hicho kitendo alichofanya lazima achganyikiwe...na harufu kwa mwanamke kama hujaoga siku 3 na kuendelea lazima.harufu iwe mbaya...msitake kujitoa ufahamu...kawa chezea akili nanyi mkachezewa.😊
Maeelezo ya mama wa mtoto binti amekaa nae vzr bila shida ,yeye anashukuru mwanae kapona na amemsamehe binti hajui kitu gani kilimpata sasa wewe nani usisamehe endapo mlengwa ameshamsamehe
Hao Mabosi Wake Wenda Wako Kwenye Maagano Ya Lusifa Wenda Shetani Alimtumia Kutaka Kutoa Sadaka Lakini Kwakua Binti Yuko Na Nguvu Ya Mungu Ndio Mana Akuweza Kufanya Ivo Sio Akili Yake Uyo Hao Mabosi Wazi Wako kwenye Maagano Ya Utajili Wa Mwendo Kasi Sio Bule
Mara nyingi wasichana kama Hawa wanakuwaga wanga hawajui wamefanya nini wote wanaotenda matendo kama hayo! Angalieni matukio yote kama hayo! Anakuwa siyo yeye lakini hizo malsmke kutoka kwao! Na hata kuonekana ni maombi ya wazazi na watu! Mpelelezeni sana tu!
Watanzania tuwe na akili inawezekana huyo Mtoto katumiwa mashetani waliofanya hayo matukio lazima tuwe na akili timamu,pili inawezekana anajua alichokifanya lkn anajifanya chizi yote yanawezekana
Halafu watu wanawapongeza police kwa juhudi na kazi yao waliyoifanya sasa police kz ipi wameifanya jaman Raia mpewe maua yenu Police wapongezwe kwenye kuua panya road na utekaji tu wakaka zetu😂😂
MUNGU ana tumika hapa duniyani na Shetani anatumika ina onekana hapo kuna gizaa uyo dada angepelekwa ku maombi lakini vile ni serikali hawajuwi hilo sababu hata wampime kichwa watakuta iko sawa mambo za giza hawazionagi ku hospital
Hivi wanavosema watoto Waterbeach kwa makundi ndiyo kusema kazi ya kutuchukulia watoto wetu haina mjadala waanxishe vikos jamii. Wananchi kila nyumba tulips angalau 5000 tank kila mwezi ili walinxi wa jadi walipwe kila mtaa bila hivyo hata waokota machupa sasa wanaiba watoto wanawatia kwenye magunia huko kigamboni jamani hili sisi wananchi tusilufumbiye macho mtoto wako ni wangu
Kuna wakati mtu anaweza kujifanyisha kichaa kutokana namabosi wake walivyo mtuma ajifanyishe kichaa avae kama kichaa na ageuze nguo ili kupoteza ushaidi, kikubwa ni kutaka kujua historia yake kama alishawai kupata tatizo la akili
Serikali angalieni kwaupande wapili japo amuamini shiriki ila apo panakkitu kama wanaishi vizury basi ayo ninapepo yana tupwa kwenye moyo wa mwanadamu yakatowe damu mshameheni iyo niajaly mbaya kwasabu ata yeye anahitaji msahada
Hapo kuna kitu nyuma uchunguze wa kina ufanyike bado namashaka na huyo mtt kuchinjwa kwanza hyo binti kaishi na huyo mama kwa muda gani kingne imani za kishirikina zipo kitu kinamvaa afanye kitu nawe anatiwa uchizi asiongee lolote kwanza jiulize kwann alikua anamtafuta boc wake hili jambo ni gumu sn
Wala sio kote wananyanyaswa mshukuru Mungu kama hayajakukuta maana wengine huja na mazabahu zao za kichawi na anapambana atimize lengo lake na mengine mengi tuu ila pia kitendo hicho ni ujatili mkubwa hata kama ana ugomvi na mwajiri wake
Kwa maelezo ya hawa watu inawezekana huyu dada hakufanya hilo tukio pengine kuna jambo liliwakuta hapo nyumbani yey na mtoto yote kwa yote tusubiri polisi watakuja na majibu sahihi
Sasa mnasema anatoa harufu kwahyo kutoa harufu ndio uchuz sasa hajaoga cku tatu kwann asitoe harufu hebu asituhektie hapo na amechanganyikiwa na njaa damu nzito kuliko maji anazinduka ya matako yake hana shida ya akili angekua chiz angekaa hapo hapo baada ya kumchinja mtoto wa watu sasa kilichomkimbiza nini na ikiwa alikua hajielew
Huyu itakuwa alivamiwa na pepo sio hali ya kawaida!!alikuwa akiishi vizuri na hiyo familia
Asante Kwa Kutufuatilia

Hakika hapo kuna kitu c bure 😢
Kabisa
Jamani hao wasichana wa kigoma kwa kuact ndo wenyewe tunao majumbani tunawajua hapo anapotezea asionekane kama ana makosa. Baada ya siku 3 ndo kapatikana kajificha hajala ataacha kuchanganyikiwa kumchinja mtu sio jambo dogo kiasi awaze mpaka achanganyikiwe. Huyo kuna watu wako nyuma yake mpaka kapewa na chai😂😂😂
Asante Kwa Kutufuatilia
Hili nalo tena
Ni maagent wa kuzimu
Ha
Nakuunga mkono dada nilimchukua kutoka kigoma bahati mbaya sikujua familia yake alikuja j2 alikua yupo vizur anafurahi Cha ajabu alikua hataki kuongea na simu nikiwepo alisema mkristu na lozar shingoni haitoki kuangalia picha maijabu tu familia yake alikuja j2 alitoroka j2 na pesa zangu alikaa wiki tu yaani wacheshi naamini jmn hawa wa kigoma kuect wameweza alisema kesho dada si kanisani basi tuandae ngua akapiga basi kaah alfajil naamka milango wazi jmn wiki moja tu na hauwezi mjua!!
Nilimleta msichana mmoja kutoka kijijini. Wiki moja tu asubuhi moja haonekani tumehangaika kumtafuta wapi? Baada ya saa 2 hivi. Bint anaita kutoka chumbani uvunguni na huo uvungu ni mdogo basi tukamuuliza ulikuwa wapi akasema niliitwa na mzee ndunduza mzee Ndunduza ndiyo Nani? Ni mzee anataka kunioa lakini sitaki. He hukuwepo humu ndani? Ndiyo. Jamani nilikosa nguvu! Kwahiyo wanakuwa na nguvu za mamlaka za nguvu kutoka kwao! Sina hamu ya maid hadi leo! Mungu tusaidie!
Asante Kwa Kutufuatilia
Duu polee
Cdhani kama ni akili zake maana dunia hii ina mambo huenda ametumika kama chambo Mungu amsaidie sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Too bad haha yeye ajiuwe such innocent handsome boy
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwa wazazi waliozaa wanaojua uchungu wa kuzaa na kuleaa jambo hili lisichukuliwe kwa hasira.bado ni mtt mdogo kuna jambo hapa katikati.kama ni ugonjwa au ushirikina.au mapepo wabaya.asaidiwe pengine ukweli utapatika ndugu zangu.
Asante Kwa Kutufuatilia
Watu wasizoer sanaa kuajilii wadadaa wa kazii😢😢😢😢😢nao wanaa madhalaa
Asante Kwa Kutufuatilia
Aaaa naee alikuaa amepitrzaa fahamu kavisa😢😢😢
Asante Kwa Kutufuatilia
Duh!mchunguzeni kwa umakini kama ana alama au ishara yoyote huwenda walitekwa wakaenda kufanyiwa vitendo hv au alifanya kosa mwnyw na akawa amepata mshtuko baada ya kumuona mtoto yupo ktk hali hiyo
Asante Kwa Kutufuatilia
Pont kubw sana
@@hellenwilliamwilliam8256 💯💯💯haswaa maana wanaweza kusema kuwa alimuumiza kumbe walitekwa au alimuumiza mwnyw yote mawili hadi yafanywe uchunguzi
Ibilisi yupo kazn,Allah atunusuru
Asante Kwa Kutufuatilia
Kuzinduka si alikuwa ananjaaaaa akwende zake akajua vzr atasema ukweli. Kuhusj harufu si hajaogaaaaa na hajala alijificha
Asante Kwa Kutufuatilia
Nguvu ya giza hiyo....mungu
amsimamie huyu binti🙏
Asante Kwa Kutufuatilia
Kweny commen6 umu ndo unajua roho za watu zipoje, ok, ki vyovyote vire MUNGU NI MWEMA SANA, ATABAK KUWA MUNGU, YE MUNGU NDO ALIMLINDA MTOTO HASHM ASIANGAMIE NAAMINI KUNA KUSUDI LA MUNGU NDANI YA UYO MTOTO ,NAOMBA MUNGU AMREM UYO DADA NI MASHAMBULIZ TU YA MAROHO MACHAFU YA GIZA
Asante Kwa Kutufuatilia
Muwe mnaacha umbea sa mnmpeleka polisi wa nn, mi angekuja kwangu mngetafuta adi mngekoma.
Asante Kwa Kutufuatilia
Sasa kama siku zote hakuwa na makazi, atakosaje kuwa na njaa, kudhoofika na kuwa mchafu. Tena siku zote hakuwa ameoga je atakosaje kutoa harufu mbaya ? Yeye ni Mhalifu tu.
Asante Kwa Kutufuatilia
Watanzania tuna upendo yaani mmemgundua kuwa ndio aliyefanya tukio ila hadi chai mmempika baada ya kushindwa kula chakula duuu
Kwa umri alionao inaonekana ni roho tu ilikua nyuma yake kutekeleza tukio la kuua maana kama walikua wanaishi nae vizuri sio kawaida iliwahi kutokea miaka kadhaa nyuma mschana wa jirani tena alikua mdogo sana kama 14 hv boss zake hawakuwepo ghafla tu alikua amebeba mtoto mgongoni akaanza kujitupa mwenyewe nikamuwahi nikamnyamganya mtoto akanyanyua mawe akaanza kunipiga tujifunze kuchunguza tubanapowatoa hawa watoto wa watu jamani
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwa hiyo wewe ungefanyaje mda mwingine tuwe na huruma hata mama wa mtoto kasema asipigwe apelekwe kituoni akatoe maelezo, mda mwingine tuwe na hofu ya Mungu pengine nae katumika pasipo yeye kujua maana Dunia hii Ina mambo mengi
Jameni nawapongeza jirani zetu ,huyu angekuwa Kenya walaai ingekuwa past tens,Yani ata jishi la police halingemkuta,Kenya uwe wazimu ama uwe na mapepo ,hayo yote yako ,NI mawe Tu utapogwa
@@user-cg3vf2bl6b 🥺🥺🥺
Hicho kitendo alichofanya lazima achganyikiwe...na harufu kwa mwanamke kama hujaoga siku 3 na kuendelea lazima.harufu iwe mbaya...msitake kujitoa ufahamu...kawa chezea akili nanyi mkachezewa.😊
Asante Kwa Kutufuatilia
Itakuwa huwa una U.T.I sugu, na fungus kitita kizima
Maeelezo ya mama wa mtoto binti amekaa nae vzr bila shida ,yeye anashukuru mwanae kapona na amemsamehe binti hajui kitu gani kilimpata sasa wewe nani usisamehe endapo mlengwa ameshamsamehe
Asante Kwa Kutufuatilia
Hao Mabosi Wake Wenda Wako Kwenye Maagano Ya Lusifa Wenda Shetani Alimtumia Kutaka Kutoa Sadaka Lakini Kwakua Binti Yuko Na Nguvu Ya Mungu Ndio Mana Akuweza Kufanya Ivo Sio Akili Yake Uyo Hao Mabosi Wazi Wako kwenye Maagano Ya Utajili Wa Mwendo Kasi Sio Bule
Asante Kwa Kutufuatilia
Mara nyingi wasichana kama Hawa wanakuwaga wanga hawajui wamefanya nini wote wanaotenda matendo kama hayo! Angalieni matukio yote kama hayo! Anakuwa siyo yeye lakini hizo malsmke kutoka kwao! Na hata kuonekana ni maombi ya wazazi na watu! Mpelelezeni sana tu!
Asante Kwa Kutufuatilia
Hapo kuna jambo nyuma inatakiwa kufuatiliwa taratibu huenda yakajulikana mengi sana.
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu kuna kitu alifanyiwa na tukio hakufanya yeye ni wahuni tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Watanzania tuwe na akili inawezekana huyo Mtoto katumiwa mashetani waliofanya hayo matukio lazima tuwe na akili timamu,pili inawezekana anajua alichokifanya lkn anajifanya chizi yote yanawezekana
Asante Kwa Kutufuatilia
Ndiyo maana mfanyakazi akikasiriwa hua asira yke humalizia kw mme wa mtu wafanyakazi wahawa hua anamalizia kutembea kufanya mapezi na mme wa mtu
Asante Kwa Kutufuatilia
Umenena yalishatupata
Jamani! Muombeni MUNGU awaonyeshe ukweli ulivo! Maana shetan yupo kazin
Asante Kwa Kutufuatilia
Dada huyo anatumika.
Halafu watu wanawapongeza police kwa juhudi na kazi yao waliyoifanya sasa police kz ipi wameifanya jaman Raia mpewe maua yenu Police wapongezwe kwenye kuua panya road na utekaji tu wakaka zetu😂😂
Asante Kwa Kututufuatilia
Afu polisi wakasema wao ndo walio fanya jitahidi zote kumupata huyo binti 😂
Asante Kwa Kutufuatilia
Ila police😂😂😂
Muongo huyo anajijua vizuri anajitoa ufahamu tuu!!
Asante Kwa Kutufuatilia
Una uhakika Gani best km waliomuona wanaeleza hivi
MUNGU ana tumika hapa duniyani na Shetani anatumika ina onekana hapo kuna gizaa uyo dada angepelekwa ku maombi lakini vile ni serikali hawajuwi hilo sababu hata wampime kichwa watakuta iko sawa mambo za giza hawazionagi ku hospital
Asante Kwa Kutufuatilia
Mungu wangu😢😢😢😢nyieeeeh jmni shetani yupo kazni
Asante Kwa Kutufuatilia
Muongo huyo kama ni kichaa kwanini alikimbia baada ya kumchinja mtoto? Kichaa angebakia hapo hapo maana hajielewi
Asante Kwa Kutufuatilia
Haswa
Hapana huyo mm nahic akili ilimruka baada ya kuingia kwenye hilo pagale damu ni nzito kuliko moji jaman ila mungu ndo anaejua zaid
Ulishawahi kupata shida ya afya ya akili lakini?
Usiombe ndugu
atakuwa hayuko sawa atakuwa anamapepo
Harufu kali si damu ya yule mtoto wlaliyamvhinja
Asante Kwa Kutufuatilia
Hivi wanavosema watoto Waterbeach kwa makundi ndiyo kusema kazi ya kutuchukulia watoto wetu haina mjadala waanxishe vikos jamii. Wananchi kila nyumba tulips angalau 5000 tank kila mwezi ili walinxi wa jadi walipwe kila mtaa bila hivyo hata waokota machupa sasa wanaiba watoto wanawatia kwenye magunia huko kigamboni jamani hili sisi wananchi tusilufumbiye macho mtoto wako ni wangu
Asante Kwa Kwa Kutufuatilia
Huyo binti ni maigizo tu maana watu wa Kg ni hatari
Asante Kwa Kutufuatilia
Kumbe polisi hawakumkamata kakamatwa na wananchi
Asante Kwa Kutufuatilia
😂😂😂😂😂 nimecheka kama mazuri kumbe ulikuwa unajiuliza swali kama langu
Muongo analytics hakuna sasa lazima awe amefanya hivyo damu ya mtoto imemdhuru lakini akili yake ipo sawa anaj8fanya tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu binti mm namjua mpaka kwao tena anahakili kabisa sema, tu ameona ajizime data
Asante Kwa Kutufuatilia
Jamani avheni kuwatumia watoto wawatu kufanya mambo yenu kìchawi
Asante Kwa Kutufuatilia
watazania jiulizen kwaza kwakpndi chote alikua wapi uyo dada kwaiyo ndomjue kua ilo jambo hakulifanya kwa kujipendea alitupiwa pepo
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu ni mchawi hapo anavyosema amezinduka alikuwa huko kwa wachawi wenzake wakubwa wake ila akili anazo anazuga tu.
Asante Kwa Kutufuatilia
Kuna wakati mtu anaweza kujifanyisha kichaa kutokana namabosi wake walivyo mtuma ajifanyishe kichaa avae kama kichaa na ageuze nguo ili kupoteza ushaidi, kikubwa ni kutaka kujua historia yake kama alishawai kupata tatizo la akili
Asante Kwa Kutufuatilia
Haswa
Kigoma hyoo noma sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu wakati anafanya hilo tukio alikuwa hajitambui yaani hakudhamilia kufanya kitendo kama hicho
Asante Kwa Kutufuatilia
Kuna jambo haliko sawa sbb jiulize kwann alikua anamtafuta boc wake
Asante Kwa Kutufuatilia
Mh huyo binti atakuwa anatumika na nguvu za giza
Asante Kwa Kutufuatilia
Upo sahihi.. anatumika kiushirikina
Kweli kbs anatumika bila yy kujuwa ama pia anawezakuwa ni mchawi
Huyu anatumika bila yeye kujijua kuwa ana tumikia shetani.
WATAKUWA WANAMTUMIA WACHAWI
Asante Kwa Kutufuatilia
Sasa kama usingemwachia wewe na yeye wote simtakua sawa.mtu katenda kosa muoji msikilize kwanza sio kua kama yeye.
Asante Kwa Kutufuatilia
Serikali angalieni kwaupande wapili japo amuamini shiriki ila apo panakkitu kama wanaishi vizury basi ayo ninapepo yana tupwa kwenye moyo wa mwanadamu yakatowe damu mshameheni iyo niajaly mbaya kwasabu ata yeye anahitaji msahada
Asante Kwa Kutufuatilia
@@ICONTVTZ na nyie pia Mungu awa bariki kwakutuletea abary
Hapo kuna kitu nyuma uchunguze wa kina ufanyike bado namashaka na huyo mtt kuchinjwa kwanza hyo binti kaishi na huyo mama kwa muda gani kingne imani za kishirikina zipo kitu kinamvaa afanye kitu nawe anatiwa uchizi asiongee lolote kwanza jiulize kwann alikua anamtafuta boc wake hili jambo ni gumu sn
Asante Kwa Kutufuatilia
Uyo nidamu iyo aliyo imwaga ya Moto inasumbua nabangi imemuingiauyo anajitiauchizi ana lolote muuwajiuyo mmnisinge mwachauyo shezizake 😢😢😢
Asante Kwa Kutufuatilia
Wamemtegea Pepo wachawi hawana akili 😢
Asante Kwa Kutufuatilia
Njaa ndo imesaidia mkumpata dah hii hatari
Asante Kwa Kutufuatilia
Jeshi la Polisi la TZ lina maaskari wenye ujuzi na uzoefu wa hali ya juu hivyo kama ni chizi au amejifanya kuwa ni chizi watajua tu
Asante Kwa Kutufuatilia
wafanya kazi. wandani amuwalip mishaala .Yao asilazao ndio izo nanyinyi iwefuzo
Wala sio kote wananyanyaswa mshukuru Mungu kama hayajakukuta maana wengine huja na mazabahu zao za kichawi na anapambana atimize lengo lake na mengine mengi tuu ila pia kitendo hicho ni ujatili mkubwa hata kama ana ugomvi na mwajiri wake
Asante Kwa Kututufuatilia
Huyo toka mwanzo nilisema ni mapepo yamemkumba
Asante Kwa Kutufuatilia
Ukut walivamiw yey kuon hil tatiz akil zikamrud na kukimbia jaman chunguzen kwanz wakamp akil pia polic wamchunguz kwa taratib jaman
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwa maelezo ya hawa watu inawezekana huyu dada hakufanya hilo tukio pengine kuna jambo liliwakuta hapo nyumbani yey na mtoto yote kwa yote tusubiri polisi watakuja na majibu sahihi
Asante Kwa Kutufuatilia
we story hujaisikia kwamba mtoto aliulizwa nani kakuchinja akasema dada au masikio Yako yanashida
Tuwe tunawaombea kabla hatujaishi nao shetan nae yupo kazin
Asante Kwa Kutufuatilia
Sasa mnasema anatoa harufu kwahyo kutoa harufu ndio uchuz sasa hajaoga cku tatu kwann asitoe harufu hebu asituhektie hapo na amechanganyikiwa na njaa damu nzito kuliko maji anazinduka ya matako yake hana shida ya akili angekua chiz angekaa hapo hapo baada ya kumchinja mtoto wa watu sasa kilichomkimbiza nini na ikiwa alikua hajielew
Asante Kwa Kutufuatilia
@@MariamKileo-mu8rv wamtie kibano sawasawa atasema tu tuliokuwa hatuyajui si ajabu kafanya matukio mengi tu!
Mhh hajabakwa kweli huyo
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo kajiecti tu apate njia za kutokea hapo alipo anajua kila kitu kwanini alitoroka kama mgojwa.
Asante Kwa Kutufuatilia
Uyu itakuwa shetan aimvaa akawa anamtumikisha
Asante Kwa kutufatilia
Sasa polisi tumsaka na kumkamata kumbe kapelekwa
Asante Kwa Kutufuatilia
Sio akili yake
Wampeleke akacheki afya kama anamatatizo ya Akili.
Asante Kwa Kutufuatilia
Alikuwa anazuga hakuna lolote
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo mwongo siyo kicha anajifanyisha
Asante Kwa Kututufuatilia
Hapana huyo Binti anafanya hivyo kuogopa sheria anaonekana ni mzoefu
Asante Kwa Kutufuatilia
Atakuwa ni mchawi,mabinti wengi ni wachawi.
Asante Kwa Kutufuatilia
Dam ya yule mtoto ilimzuru alichanganyikiwa
Asante Kwa Kutufuatilia
Akuna cha pepo anajua alicho kifanya aulizwe vizuri atasema ukweli
Asante Kwa Kutufuatilia
Sio kila nyumba inafaa kuchuku biti wa kazi wengine ni maagent tuwe makini na watu wakuletewa na madalali
Asante Kwa Kutufuatilia
Kweli kabisa
Iman ni nyingi na hazifanani kwakwel. Shetani anamvaa mtu na kumtumikisha ?
Asante Kwa Kutufuatilia
Pingu tu Na gerezani,na uchunguzi ufanyike
Asante Kwa Kutufuatilia
Huenda pengine ana tatizo la afya ya akili,akafanyiwe tathmini na uchunguzi kwa mwanasaikolojia
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo kawachota akili nanyi mkachoteka....siki hizi watu wajanja sana...kuchinja mtu sio kazi ndogo.. lazima achanganyikiwe
Asante Kwa Kutufuatilia
Aliipata mshutuko baada ya tukio
Asante Kwa Kutufuatilia
SIKWELI ALIJUAJE NDIO KAZINDUKA UONGOOOO
Asante Kwa Kutufuatilia
@@ICONTVTZ ucjali pamojasana
Mwongo huyo damu ya kijana itamtesa njaa na hofu
Asante Kwa Kutufuatilia
Apimwe akili yawezekana cyo akili zake maana kwamaelezo hayo yawezekana alirukwa na akili
Asante Kwa Kutufuatilia
Jamani mental illness is real
Gerezani tu ,hakuna ujanja
Asante Kwa Kutufuatilia
Damu imemchanganya lazima achanganyikiwe
Asante Kwa Kwa Kutufuatilia
Kutokuwa na Nguvu sababu alikuwa na njiani Sheri’s itachukua mkondo wake
Asante Kwa Kutufuatilia
NINASHAKA NA MAELEZO YA MVAA KAPERO ALIKOOMBA MAJI MTUHUMIWA ACHUNGUZWE VIZURI MAELEZO YAKE HAYANYOOKI
Asante Kwa Kutufuatilia
Jamn ushawe upo duniy hii unawez kufanya kitu ikaw siakiliyko😭😭😭
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu anajfanyisha itakuwa altumwa figo
Asante Kwa Kutufuatilia
Achunguzwe uwenda mchawiii
Asante Kwa Kutufuatilia
Walimtumia pepo jaman
Asante Kwa Kutufuatilia
Kichaa wa majalalan anachinga na anakimbia jamani msihukumu kitabu kwa kusoma jalada
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo mtoto anatumika kiroho kuna jambo lipo katikati apo atakuwa n agent co bure
Asante Kwa Kutufuatilia
damu ya mtu ciomchezo ndio.maana kachanganyikiwa huyu mtoto
Asante Kwa Kwa Kutufuatilia
Weeeeee anaigza huyo
Asante Kwa Kutufuatilia
Hanashida yaakili pepolimetumwa kuwen makin sana jamani
Asante Kwa Kutufuatilia
Mungu amsaidie huwenda hua anakichaa kinakuja kwa msimu jaman
Asante Kwa Kutufuatilia
Police warisema wamemkuta wao kwenye jumba bovu au cjasikia vzr
😂😂😂polisi watanzania wakitangaza maneno 10 shika mawili nane yaache😂😂hao ndio polis wetu
Asante Kwa Kutufuatilia
Kweli police waongo walisema amekutwa goba jumba bovu
@@SadamSarita-t7ztena wakasema kwajina maarufu pagale 😂😂😂
@khadijaham😅😅😅isi5561
Waachini polc wadanye kz yao wao wanamjua chiz au llaa
Asante Kwa Kutufuatilia
Anaakili zake timam sema imemruka tu alipofanya tukio lakini ni mzima tu huyu afungwe tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyo atakua anapepo.
Asante Kwa Kutufuatilia
kiufupi mchukueni mukampishe anaweza kujifanyisha pia anaweza kua na tatizo kiufupi apimwe tena kwenye hospital za kijeshi
Asante Kwa Kutufuatilia
Anajiju alilofanya sasa anajitoa ufahamu ili muone hana akili ni muongo
Asante Kwa Kutufuatilia
Duuh inabidi hi iangaliwe kwa makini sana jaman
Asante Kwa Kutufuatilia